π π¨ππ’ππ’ πͺπ ππππππππ
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadi
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
Pamoja na kuekwa ‘blacklist’ lakini bado alihitaji walahi kuisikia sauti ya Carson hata kwa ufupi tu , hapo alipanga kutumia namba nyingine kwani namba zake zote ziliwekwa blacklistk.
Irene aliinuka taratibu alisogea mpaka sebuleni ambapo alimkuta Miriam amekaa kwenye kochi akiangalia mkanda wa maigizo.
“Miriam mdogo wangu niazime simu yako mara moja kuna mtu nataka kuongea naye.”
“Aah sawa sister⦔
“Si inapiga”
“Enhee dada”
Miriam alisema kisha alimkabidhi dada yake simu pasipo kutaka kujua ni nani ambaye dada yake anataka kuwasiliana naye.
Irene aliikamata simu kisha akaenda upande wa kuandika namba , alianza kuandika namba lakini cha ajabu pale alipoziandika namba nne tu za mwanzo namba za Carson zilitokezea zote zikiwa zimeseviwa ‘Honey’. Miriam alikuwa na namba za Carson kumbe, kitu ambacho Irene hakukiwaza kabla lakini si tu kuwa na namba za bali namna ambavyo alimsevu ndiyo ambayo ilikuwa ya kutilia mashaka.
Irene kichwa kilimjaa alitamani amrukie mdogo wake lakini hata hivyo aliweza kujituliza zaidi pia alijiona anahitaji ushahidi zaidi kuthibitisha kile akiwazacho. Hapo alianza kuikagua simu ya Miriam.
Alienda upande wa namba zilizopigwa na kupiga lakini hakufanikiwa kuona chochote cha kutilia mashaka, aliamua kwenda kwenye upande wa meseji na kuanza kupekua meseji moja moja mpaka pale alipokutana na meseji kutoka kwa mtu aliyeseviwa ‘Honey’.
Alifungua na kuanza kusoma lakini meseji ambazo alikutana nazo zilimaliza nguvu na kumtia hasira.
Meseji nyingi zilikuwa ni za kutoka kwa Miriam kwenda kwa Carson tena zilikuwa ni meseji tata ambazo zilimthibitishia Irene moja kwa moja kwamba Miriam alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Carson.
“Asante mpenzi kwa ulichonifanya nakupenda sana”
“Nimeimiss mb** yako mume wangu tafadhali itunze ukirudi unipe mimi tu”
Irene alizisoma zile meseji lakini alifanikiwa kusoma sms tatu tu hasira zilimpanda na kujikuta akimrukia Miriam.
“Wewe mtoto kumbe ni mshenzi, kwanini unatoka kimapenzi na Carson “
Irene alifoka huku akimsogelea Miriam.
“Huna akili wewe, nikuulize wewe kwanini unatoka na Carson na wakati una mchumba wako , Ivan. tena⦔
Miriam alisema lakini kabla hata hajamaliza alijikuta akirukiwa na kuanza kupeww makonde ya haraka haraka.
Nguvu za Miriam zilikuwa hazitoshi mbele ya Irene, hivyo Miriam alijikuta akipewaa kipigo cha paka mwizi na mbaya zaidi hakuwepo wa kugombelezea.
Irene, aliyafanya yote kwa ajili ya upendo wake ambao alikuwa nao juu ta Carson.
Alimpiga ndugu yake kipigo cha mbwa koko.
***********************
Majira ya saa moja jioni gari ndogo aina ya crown, iliingia ndani ya nyumba moja ya kifahari kisha ikaegeshwa halafu baada ya hapo alishuka binti mmoja hivi mdogo mdogo .binti huyu mdomoni alikuwa anatokwa na damu pia usoni alikuwa amevimba.
Hakuwa mwingine bali alikuwa ni Miriam.
Miriam baada ya kupigwa na dada yake kwa sababu tu ya kukutwa na meseji za mapenzi ambazo ziliashiria kwamba kulikuwa na mahusiano baina yake na Carson . Aliamua kuwasha gari moja kwa moja mpaka kwa Ivan.
Ivan alikuwa ni mchumba wa Irene ambaye alikuwa na mipango naye ya ndoa, na tayari alishamvisha hadi pete ya uchumba.
Miriam alihitaji nini kwa Ivan, hakuna ambaye alijua zaidi ya yeye mwenyewe.
Taratibu alipiga hatua na kuzama ndani.
Ivan akiwa amekaa subeleni akiangalia mpira mara ghafla alistuka mlango ukifunguliwa kisha Miriam akaingia huku machozi yakimtoka.
Ivan, alimuangalia Miriam aligundua kuna jambo halipo sawa japokuwa hakujua ni jambo gani.
“Miriam..kuna nini shemeji yangu ?”
Ivan, alisema kwa mfadhaiko.
Miriam hakusema kitu badala yake alimrushia kitu Ivan.
Ivan alikidaka akakitazama lakini asielewe.
“Hii ni flash.. imefanya nini”
“Itie katika laptop uitazame”
“Ina nini”
Ivan , aliuliza tena.
“Nimetoka nyumbani mpaka hapa kwa lengo la kukukabidhi hii flashi, bado tu hujagundua ni muhimu kiasi gani wewe kuifungua”
“Ooh ok “
Ivan, alisema kisha aliitia ile flashi katika laptop ambayo ilikuwa juu ya meza, alipekua pekua mafailia kadhaa ambayo yalikuwa ndani ya flashi ile mpaka pale alipokutana na video zaidi ya tano. Video hizi zilikuwa pekee yake katika ile flashi hapakuwa na kitu kingine, yaani flashi nzima ilikuwa na video tano tu, hapo Ivan alihisi zile video zina namna si bure,
Aliiplei (play) video moja lakini kile ambacho alikiona hakuamini macho yake, alijikuta akiishiwa nguvu.
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
Ivan, alihisi huenda labda yupo usingizini kwa kile ambacho anakiona katika laptop baada ya kuchomeka flashi aliyopewa na Miriam.
Alijipiga piga makofi usoni ili kama yupo ndotoni astuke lakini hata baada ya kujipiga piga bado aliendelea kukiona kile kile ambacho alikiona mwanzo hapo aligundua kwanba hakuwa ndotoni bali alichokiona ndio ilikuwa hali halisi.
Katika ile video ilimuonesha Irene akiwa na mwanaume mwingine ( Carson) wakipeana utamu. Huku Irene akitoa miguno na maneno mengi kumsifu yule mwanaume (Carson) miguno hii na maneno haya Ivan hakuwahi kupewa hata siku moja.
Hasira zilimpanda kisha taratibu machozi yalianza kumtiririka katika uso wake.
Miriam alifurahia kuona machozi katika uso wa Ivan kwani alijua fika machozi haya hayatomwagika bure bali yatakuja na maamuzi, maamuzi ambayo yatamuumiza Irene, na hiyo ndio itakuwa furaha yake, alitaka Irene aumie maradufu kama sehemu ya kulipiza kisasi kwa kipigo alichompa. Hakutaka kufikiria kabisa kama Irene ni dada yake wa damu, wanachangia baba na mama , pia mateso ambayo yatamfika Irene pia yatakuwa mateso yake sasabu ni damu moja, hakuwaza hivyo.
Ivan, alitoa leso mfukoni alifuta machozi lakini bado machozi yaliendelea kumshuka, haraka alipiga hatua kuelekea chumbani kisha dakika mbili mbele alirejea tena sebuleni, lakini safari hii hakusimama wala hakumsemesha Miriam bali alimpita kama kisiki, moja kwa moja alielekea nje.
Miriam alimfata kwa nyuma huku akiwa hajui ni kipi kipo katika fikra za Ivan.
Ivan aliingia katika gari yake na kuanza safari.
Miriam alibaki amepigwa na butwaa kwani Ivan hakutaka kujishughulisha naye kabisa.
*******************************
Irene akiwa kakaa sebule kajiinamia fulana yake nyeupe ikiwa na chembe chembe za damu, pia nywele zake zilikuwa timtim, uso ulimjaa kwa hasira.
Alikuwa amejiinamia chini huku akiendelea kuwaza.
Alikuwa bado haamini kama Carson anaweza kutoka kimapenzi na Miriam, roho ilimuuma pia alijikuta akimchukia ndugu yake kuliko kitu chochote kile.
Lakini akiwa amekaa amejiinamia mara ghafla mlango wa sebuleni ulisukumwa kwa nguvu.
Irene aliinua macho yake, hapo uso kwa uso alikutana na Ivan akiwa amesimama mbele yake, uso akiwa ameukunja akitetemeka kwa hasira.
Irene ,alistuka alimtazama Ivan akagundua kwamba Ivan hayupo sawa na ujio wake haukuwa mwema.
Alijaribu kujiweka sawa kwa lengo la kutaka kuficha yale anayopitia lakini alishindwa kwani uso wake ulimuumbua.
“Irene “
Ivan, aliita kwa sauti ya juu.
“Karibu, Ivan wangu upo sawa?”
“Siwezi kuwa sawa Irene⦔
Ivan, alisema kisha akaweka kituo kifupi halafu akaendelea.
“Hivi ni kipi ambacho sijakupa Irene.. nakutunza kwa kila kitu hakuna ambacho unakitaka nikashindwa kukutimizia, kipi umekosa kwangu?”
Ivan , alifoka.
“Siβ¦si..sikuelewi , Ivan Unazungumza nini jamani”
“Pumbavu wewe , mnafiki mkubwa nakutunza lakini bado unatoka unaenda kugongwa na wanaume wengine tena afadhali ungegongwa na watu wenye hadhi zao lakini sio kwa yule kijakazi, hivi kipi ambacho anacho mimi sina?”
Ivan , alifoka.
Irene,hapo sasa aligundua kwamba Miriam tayari kashaenda kutoa siri, lak
ini hakujua kwamba si siri tu Miriam alimuonesha Ivan mpaka video.
“Najua huyu ni Miriam , naomba mpenzi usimsikilize hata kidogo ni mnafiki na muongo sasa ukoo wote tunamjua”
Irene alijaribu kujitetea.
“Nina miaka 27 sasa hakuna uwongo ambao unaweza kufanya kazi dhidi yangu, nishaongopewa sana, siwezi kukuruhusu wewe mtoto mdogo uniongopee nimeona kila kitu, nadhani hunijui vizuri “
Ivan alisema kisha aliingiza mkono wake ndani ya koti lake dogo, alitoka na bastora.
Alimnyooshea Irene huku machozi yakimtoka.
Irene macho yalimtoka alitamani akimbie lakini hakuwa na nafasi hiyo.
“Sipo tayari kushuhudia aibu hii”
Ivan alisema kisha akaikoki bastora yake , hakuwa akitania.
“No..no Ivan, nisamehe mpenzi ni she⦔
Irene alijitetea lakini kabla hata hajamaliza, bastora moja ilitua kifuani kwake na huo ndio ukawa mwisho wa kauli yake.
Ivan, aliendelea kuuchapa risasi mwili wa Irene zaidi ya mara tano mpaka pale alipohakikisha Irene katulia tulii, hatikisi mguu wala kidole.
Kisha akajiwekea bastora kichwani na yeye akajifumua. Hapo hapo alienda chini.
Huu ndio ukawa mwisho wa wapenzi hawa wawili ambao walikuwa tayari washavishana pete na siku za karibuni walitarajia kufunga ndoa, lakini kila kitu kiliharibika chanzo kikiwa ni MUHOGO WA KIJAKAZI,
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Upande wa pili ndani ya hoteli kubwa ya kifahari visiwani Zanzibar. Mama Irene na Carson walikuwa zao chumba namba 24, wamekaa kwa kujinafasi kama mtu na mume wake na wala si tena mtu na kijakazi wake.Walikuwa hawajui chochote kilichoendelea huko Dar es salaam.Carson alikuwa amelala kitandani akiwa kama alivyozaliwa kama ambavyo mama Irene alitaka kwani alipenda sana kuuona muhogo wa Carson ukiwa nje muda wote hakumtaka avae hata tauro.mama Irene yeye alikuwa amekaa mbele ya ‘dressing-table’ akijiangalia namna ambavyo alikuwa akizipangilia shanga vyema kiunoni mwake. Shanga zaidi ya saba zenye rangi tofauti tofauti zilipamba kiuno cha mama Irene.Mama Irene alikuwa amepania kumpa Carson, vile ambavyo alitamani kumfanyia mumewe lakini ilishindikana baada ya kunyimwa nafasi hiyo.Baada ya kujifunga vyema shanga kiuoni taratibu aligeuka nyuma kisha akamtazama Carson ambaye muda wote alikuwa akimtazama.Mama Irene kwa jicho regevu ambalo liliregezwa kwa kungu manga ambayo aliitafuna dakika kadhaa nyuma, alimkonyeza Carson kisha alizing’ata ng’ata lipsi zake halafu taratibu alianza kuzipiga hatua kumfata Carson kitandani.Carson alijitayarisha kumkabili mwanamama huyo kiakili,kimwili na hata kihisia pia.”Nataka nilale halafu unilalia kwa juu unifanyie masaji, uyabinye binye matak yangu na kum* yangu pia*
Mama Irene alisema akiwa amejikalisha kitandani pembeni kidogo ya Carson. akiuchezea muhogo wa Carson kwa mikono yake laini, huku akimtizama usoni kwa macho maregevu yaliyokosa aibu.
Carson naye alizichezea shanga zilizo katika kiuno cha mama Irene kwa ustadi wa hali ya juu.
“Tukiwa kitandani mimi ni mtumwa wako hakuna kitu utataka malkia wangu halafu nisifanye, nitafanya kila kitu usemacho”
Carson, alijibu.
Mama Irene aliachia tabasamu kisha aliacha kuupapasa muhogo wa Carson badala yake alilala kifudi fudi huku kiuno akiwa amekibinua kwa juu kidogo.
Carson mate yalimjaa mdomoni alitamani amchomeke muhogo muda huo huo kisha aanze kuyabinya binya makalio yake lakini alijipa utulivu kwani alitambua fika haraka haraka itamkosesha vyeo mbele ya mwanamama huyo , pia hakuona sababu yoyote ile ya yeye kuharakisha mambo wakati wapo wawili tu.
Carson alimpandia mama Irene juu kisha akajiegesha kwenye mapaja ya mama Irene chini kidogo ya makalio , kisha taratibu alikiraza kifua chake mgongoni kuanza kuinyonya shingo ya mama Irene huku akiukanda kanda mgongoni wa mama Irene.
Kitendo cha kukilaza kifua chake juu ya mgongo wa mama Irene, kilifanya muhogo wake ujisugue juu ya makalio ya mama Irene.
Mama Irene , alisisimka , alijikuta akichezesha chezesha miguu.
“Aaanh Carson mume wangu napenda namna ambavyo mb** yako inayasugua mata** yangu..mmmhh “
Mama Irene, alisema.
“Mata** yako malaini sana yananisisimua mpenzi , nakupenda sana”
Carson alijibu huku akiendelea kuusugua muhogo wake juu ya makalio ya mama Irene kwa mtindo wa kupanda na kushuka. Huku ulimi wake ukiwa nje ukiuparaza shingo na masikio ya mama Irene.
Kisha taratibu alishuka mpaka mpaka kwenye makalio ya mama Irene, aliyapanua makalio ya mama Irene kisha akaanza kupitisha ulimi kwenye mstari wa ikweta halafu akashuka nao mpaka kwenye mku** hapo akakomea kwa zaidi ya sekunde thelathini, halafu kidole chake alikipenyeza chini kidogo na kuanza kukitia katika papuchi ya mama Irene.
Mama Irene alijikuta akikoroma kwa utamu ambao alikuwa anaupata mwili mzima ulimsisimka, macho yalimlegea.
“Mmmh shhhhh..! Carson utaniua mume wangu, nakupenda..mmmmh huuuuuu aaaah aaah ahhh”
Carson alizidisha kasi na kumfanya mama Irene azidishe kilio.
Wakiwa katikati ya mchezo mara ghafla mlango ulipigwa teke kisha watu wapatao saba waliingia ndani.
Walistuka..!
SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO
Carson na mama Irene wakiwa kama walivyozaliwa , walistuka macho yaliwatoka.
Mama Irene nye** zote zilimuisha pia hata Carson naye muhogo wake ulilala ghafla.
Hawakuamini kile walichokiona.
Wanaume wale ambao waliingia kibabe walikuwa zaidi ya saba pia usoni walivaa maski ambazo ziliwaziba nyuso zao.
Hivyo Carson na mama Irene walishindwa kuwatambua vyema.
“Nyi..nyie wakina nan⦔
Mama Irene alisema huku akitetemeka.
Mwanaume mmoja kati ya wale saba, aliweka mkono wake usoni kisha taratibu aliivua maski yake.
Mama Irene na Carson hawakuamini macho yao pale walipomuona Mzee Sodono.
“Mnastuka kuniona hapa ?”
Mzee Sodono alisema.
Mama Irene aliishiwa nguvu ilikuwa bado kidogo azirai.
“Nilijua tu kama kuna namna maana si bure umng’anie kijakazi wa kiume wakati kijakazi wa kike yupo , wewe mwanamke ni mpumbavu sana”
Mzee Sodono alisema.
Kitu ambacho mama Irene alikuwa hajui ni kwamba, tangia siku ya kwanza wanawasili Visiwani Zanzibar kulikuwa na mtu akiwafatilia kila ambacho wanakifanya na mtu huyo aliandaliwa na mzee Sodono siku moja kabla ya mama Irene na Carson hawajawasili visiwani hapo , na hii ilikuwa ni baada ya kuanza kuwa na wasiwasi na mkewe mbele ya kijakazi huyo.
Japo alikuwa Dar es salaam lakini alikuwa anajuzwa kila kitu ambacho kinaendelea visiwani Zanzibar kati ya mkewe na kijakazi wake ,na ilipogundulika kwamba ni kweli mama Irene alikuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Carson, alipanga ratiba zake sawa sawa na zilipokaa vyema
alifunga safari siku hii ya leo mpaka visiwani Zanzibar kwa lengo la kuja kuthibitisha mwenyewe kwa macho yake.
Na kweli alimkuta mkewe akiwa kitandani bila nguo akichizishwa na kijakazi wake.
“Nisamehe mume wangu ni hibilisi tu alinipitia sikudhamiria mimi”
Mama Irene, aliomba msamaha.
“Wewe Carson, ulipata wapi ujasiri wa kunijeruhi hivi, nimekutoa kijijini uje unifanyie kazi kazi zenyewe ndio hii ya kuni*** mke wangu ?”
“Nisamehe mzee sitorudia , ni mama ndiye ambaye alinishawishi na aliniambia nikikataa atanifukuza kazi”
Carson, alijitetea naye.
“Sijawahi kuwaza kama ipo siku nitafanyiwa hiki ninachokiona.. sura yangu nitaificha wapi , mke wangu umenichafua”
Mzee Sodono, alisema huku machozi yamimtoka. Upendo ambaoa alikuwa nao kwa mkewe ulikuwa haupimiki na siku zote alijitahidi kumpa mkewe chochote cha thamani chenye kununulika ambacho alikihitaji kama njia ya kuudhihirisha upendo wake lakini hata hivyo aliishia kuumizwa kihisia vibaya.
Hasira zilimpanda na kujikuta akichukua maamuzi yasiyo sahihi.
Alitoa bastora yake na kuanza kuifyatua kuwalenga mama Irene na Carson pale kitandani, hovyo hovyo. Risasi zaidi ya kumi na moja zilitoka na zote ziliwafikia.
Mzee Sodono aliendelea kupiga risasi mpaka pale zilipoisha ,alimgeukia kijana wake akampokonya bastora , kisha akapiga zingine mbili za mwisho, moja ikitua katika mwili wa Carson na nyingine ikitua katika mwili wa Mama Irene, ambao walikuwa washakata roho dakika moja nyuma.
Halafu zilizobakia alijipiga mwenyewe kichwani. Vijana wake walimuwahi lakini hata hivyo walikuwa tayari washachelewa.
Mzee Sodono, alidondoka chini kama gunia la viazi huku damu nyingi zikimtoka kichwani. Huo ndio ulikuwa mwisho wa maisha yake.
Carson aliingia katika familia ya Mzee Sodono kama mfanyakazi kisha akageuzwa na kuwa mtoa muhogo, na mwisho kabisa alijikuta akisababisha madhara makubwa kwa familia hii. Na sio tu kuisababishia matatizo familia hii pia ilimgharimu uhai wake na kuwaacha njia panda wale ambao walikuwa wanamtegemea..
*******MWISHO********

