𝗝𝗢𝗚𝗢𝗢 𝗪𝗔 𝗠𝗨𝗠𝗘 𝗪𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗛𝗔𝗡𝗬𝗔𝗡𝗬𝗨𝗞𝗜, 𝗠𝗣𝗔𝗞𝗔 𝗔𝗠𝗣𝗘 𝗗𝗔𝗗𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗘 𝗔𝗜𝗟𝗔𝗠𝗕𝗘
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya Kwanza
Mwanzo sikuwa naelewa kabisa alivyonioa alikataa Saba zile tukakae hotelini pamoja na kamati ya harusi kumpangia saba akae hotelini…nikajua labla anataka nizoee nyumba mapema…tulirudi Kwake ila kwake anakaa na dada yake mimi namwita wifi…maajabu niliyokutana nayo mume wangu akitoka chumbani akirudi ndio kasimama imara anataka tendo la ndoa…nampa akimaliza anapumzika…ila akitoka chumbani akirudi tayali kasimamisha tena…nampa…mawazo yakanijia mume wangu ni muanga labla wa video za wakubwa inawezekana anaenda kuziangalia alafu akipanda mzuka ndio anakuja kula tunda la halali…sikuwa nafurahia yendo kwa sababu aniandai nasikia maumivu tu…Moyoni najuta kuolewa na mwanaume atujajuana kiundani kwanza…Saba kuisha na mimi nina michubuo kama yote…mume wangu akawa anaenda kazini nabaki na wifi yangu cha ajabu wifi akatoa fumbo ambalo naona kabisa ni langu)
” Wifi tuma unajua kuna shoga yangu anaitwa Esta kwenye ndoa yake alinifurahisha.
” Alikufurahisha nini?
” alipomaliza Saba aliniambia mumewe kaenda raund 21.
” Unamaanisha nini?
” Yani mumewe kwa siku anaenda raund tatu.
( Nilikaa kimya kidogo nikitafakari ni mimi kabisa ila nikaona inawezekana ndio tabia za wanaume wakiwa kwenye ndoa sikutaka kuwaza sana juu ya ilo nikamwambia)
” Uyo rafiki yako tabia yake mbaya kwanini anakwambia siri ya ndani?
” Sasa Sisi ni marafiki tumeshibana jambo ilo mbona dogo tu.
.
” Mimi siwezi nikatoa siri za ndani nikamwambia shoga yangu.
” Wewe ndio mke sasa kaka kapata mke nilizani utachekelea swala la Esta.
” Siwezi wifi kuchekelea ujinga inawezekana rafiki yako ajafundwa.
” Kweli kabisa.
( Basi tuliachana na story tukapika kwa kushirikiana nikampenda wifi yangu si mtu wa kujiona…usiku mume wangu akarudi akaenda kuoga akala…tukaingia chumbani sasa naona anatoka nasema kimoyoni akirudi kazi ninayo akili ikaniambia mfate ujue anaangalia video za kikubwa au?…kweli nilinyanyuka nanyata namuona mume wangu anaingia chumbani kwa dada yake…nikaenda mpaka mlangoni nikachungulia ndani kupitia kitobo cha kitasa Nilishangaa nasema tena Nilishangaa naona mume wangu kaitoa kwenye bukta anampa dada yake na dada yake kaipokea kwa mdomo…nilitetemeka nini hichi naona inasimama sasa nawaza Saba zote alikuwa anakuja humu nikawa nishapata jibu kumbe lile lilikuwa fumbo…dada mtu analembua ulimi upo nje analamba jogoo wa mume wangu…kiukweli nilishindwa kuvumilia)
Dah yani…
Sehemu ya Pili
Nilirudi ndani fasta chumbani kwangu Nilishindwa kuvumilia kuona mume wangu anamlisha dada yake jogoo…nikaingia zangu chumbani uku nawaza je ni Mila au ni wapenzi mimi nimeolewa kuficha zambi zao…dk 3 mume wangu anakuja kama kawaida yake kashawika…nilimpa haki yake ya ndoa uku namtafakari…uzuri siku iyo alienda moja tu..akalala asubuhi akaondoka mimi kama sijui kinachoendelea…nimeamka nipo na wifi yangu tunapiga story…mala mama mkwe na baba mkwe wakaja…utambulisho ulikuwa mzuri sana walinipenda sana…baba mkwe akasema)
” Bint nakupa zawadi ya gali mwisho wa mwezi huu.
” Asante baba.
( Mama mkwe akasema)
” Nakujazia mafuta full tank kwenye gali yako na zawadi nyengine sema unataka simu gani nikununulie leo hii.
( Basi nishapewa ruxsa niseme simu gani ila naona aibu nikamwambia)
” Yoyote ile mama mimi nitashukuru.
( Wifi akadakia)
” iPhone ya kisasa sema wifi unataka ununuliwe tekno au?
” Hata iyo Nitashukuru wifi.
” Nyumba hii aiwezi kuchajiwa simu za bei rahisi twende mjini ukachague simu kama hii.
( Ananionyesha simu ambayo mimi mwenyewe nilikuwa naziona kwenye matangazo tu sikuwa na wazo kuna siku nitakuwa nayo iPhone ya kisasa….tulitoka na mama mkwe na wifi nasema mwenyewe kimoyoni…familia ya kitajili hii ila sasa uyu wifi ndio anataka kuitoa doa kwanini aulambe wa mume wangu….nawaza tu uku tunaenda mjini Nawaza tena mwisho wa mwezi napewa gali…kweli tulifika mjini nikanunuliwa simu tukarudi nyumbani…wakwe wakaondoka..ndio sasa wifi ananiambia)
” Tuma umeona chumba hichi usije ukakifungua.
” Sawa.
( Uku nawaza inawezekana kuna pesa zao wameziweka humo…basi usiku ukafika mume wangu karudi akala kama kawaida yake akaingia chumbani na mimi Nikaingia akalala saa Saba akanyanyuka na mimi nikanyanyuka namfata bila yeye kujua..nia yangu nione tena mpaka mwisho je anamla kwanza moja dada yake ndio anakuja kunila mimi au Anaishia kunyonywa tu…cha ajabu akafika sebuleni akakaa kwenye kiti…nikajificha asinione dk mbili dada mtu na yeye akafika akiwa na mzee…nikawa namshangaa yule mzee ana midevu meupe alafu yule mzee akasema)
” Wewe sasa umemaliza shalt la kunyonywa na dada yako alafu ukamalizie haja kwa mkeo umefanya vizuri sana.
( Mimi naangalia tu mume wangu akasema)
” Kwaiyo mkuu nafanyaje tena niendelee kumpa dada au?
” Hapana sasa inatakiwa mkeo ndio ampe dada yako ampitishe ulimi sehemu zake za siri alafu wewe uje kuweka tu.
” Samahani mkuu mke wangu sitaki ajue ya nyuma ya pazia.
” Mwambie anachotaka dada mpe muhaidi zawadi kwani akinyonywa anazulika.
” Dah anaweza akakataa itakuwaje?
” Unampa taraka kwani wanawake wameisha duniani.
( Niliona ukimya umetawala dk 1 wifi anasema)
” Je nikimtongoza mimi sio vizuri.
” Inatakiwa mumewe ndio amwambie alafu mke akubari kuja kukupa naondoka nimemaliza.
( Nikamuona yule mzee anaondoka anaingia chumba kile ambacho wifi aliniambia nisije kukifungua…nikarudi chumbani nikalala…uku nawaza sana juu ya lile tukio mume wangu akaja akaniamsha akaniambia)
” Samahani mke wangu narudia tena Samahani chukua milioni hii ni yako naomba unisaidie kitu kimoja tu.
” Kipi?
” Twende chumbani kwa dada akunyonye nipate utelezi hii ni siri yetu mke wangu nakuomba Shika kabisa pesa hii.
( Dah naona pesa kweli nawaza mwisho wa mwezi baba mkwe ananipa gali…nikikataa anaweza kuniacha hapa nafanyaje wakati nawaza nipo kimya mume wangu akasema)
” Nakuongeza milioni nyengine ziwe mbili twende mke wangu nakuomba.
(Duu nichukue niende au?)
Sehemu ya Tatu
Najiuliza nikapata jibu nikamwambia mume wangu)
” Hiyo itakuwa si tabia nzuri mimi kumpa dada yako sehemu zangu za siri azilambe.
” Mke wangu ilo najua ila naomba naomba sana hii ni siri yetu mke wangu.
( Nikamdanganya)
” Naisi nakaribia kuingia kwenye siku zangu inawezekana ikatoka nikawa nimemlisha wifi uchafu na uchafu huu nasikia ni sumu anaweza kufa wifi.
” Basi mke wangu lala sikilizia leo Kesho kama aijatoka kesho umpe wifi yako.
( Nilikubali siku hili ipite…nililala nikawa naota ndoto yani ndoto kama picha vile maneno aliyokuwa ananiambia baba yangu kabla siku ya ndoa yangu aliniambia)
1.Mwanangu unakwenda kuolewa na Mwanaume (Mume) na siyo marafiki, Hakikisha haushindi kwa Marafiki sasa kama ilivyokuwa kabla ya kuolewa kwako,Umesikia Mwanangu…..Heshimu ndoa yako
2.Mwanangu SIRI ZAKO NA MUMEO ni MARUFUKU kuzitoa nje,Usifikiri kila unayemuelezea SIRI Zako na Mumeo anafurahia WENGINE wanakucheka,JIFUNZE KUTUNZA SIRI ZAKO NA MUMEO..Mwanangu
3.Mwanangu Wewe ni Mlinzi wa MUMEO…Mlinde kwa MAOMBI Kila WAKATI Usifikiri MAOMBI YAMEISHA ULIPOINGIA KWENYE NDOA,HAPANA UKIZUBAA TU,YULE MWIZI ATAKUJA
4.Mwanangu Mimi na Mama Yako tumezeeka na mda wetu umetutupa mkono ila furaha yetu inaenda kutimia kwa kukulea, ukakua katika maadili na ndoa yetu sasa na wewe unaenda kupata yako tumetimiza ndoto yetu ya kukuona ukiwa mama ambaye atayaenzi yote mema na kuwa na ndoa itakayodumu kama yetu ikitawaliwa na furaha na upendo… Linda sana ndoa yako
5.Mwanangu ulipokua mdogo shuleni na nyumbani tulikusifu sana kuwa umechangamka na wajua kuongea kweli kweli tena umerithi kutoka kwa bibi yako ila mwanangu mdomo ule umezibwa rasmi leo yakupasa kuwa na maneno machache au ukimya kabisa maana katika ndoa uongeaji saaaaana ni kero kubwa …. Cha msingi msikilize mmeo.
6.Mwanangu leo unaolewa na mmeo mtakayeishi pamoja milele sio mwanasiasa au mshindani wa debate shuleni tafadhali epuka argument au mabishano yasiyo na msingi ili kujenga familia yenye furaha muda wote… mabishano ni sumu katika ndoa.
7.Mwanangu unaolewa, kule unakoenda kuishi tambua sio kituo cha redio au television bali ni nyumbani kwako wewe na familia yako hivyo ni marufuku kupokea au kusambaza habari za ndani na nje… Epuka umbea ni uchafu katika ndoa.
8.Mwanangu siku ulipojisikia kuumwa au shida yeyote mtu wa kwanza kumshirikisha alikua mama yako kisha baadae mimi, hakika ulifanya vyema kabisa ila sasa mwanangu kuanzia leo ikitokea jambo lolote mtu wa kwanza kumshirikisha awe mme wako…. muamini mmeo.
9.Mwanangu tumekufunza yote ila hatujakufunza mafunzo ya kivita na uasi tafadhali tambua kule unakoenda kuishi mmeo ana wazazi na ndugu zake, waheshimu kama ulivyokua unatuheshimu dumisha upendo tambua wao sasa ndio familia yako mpya…. Epuka kuwa mchochezi na chanzo cha migogoro na chuki NDOA ISIJEKUKUSHINDA.
10..Mwanangu siku zote amini chochote apatacho mtu ni majaliwa ya MUNGU usitamani maisha ya wengine, mvumilie mmeo kwa chochote alichonacho au apatacho, ridhika nae, mkumbatie mtie moyo muombee hakika mtafanikiwa ardhini na mbinguni maana MUNGU hujibu maombi yao wamtafutao kwa bidii wakizishika amri zake na kujituma katika kufanya kazi.. Epuka tamaa ya utajiri na mali nyingi.
Ndoa sio kitchen party au send off bali ni mfumo mpya wa maisha unaohitaji wawili wenye kutoka familia tofauti kuunda familia moja itakayounganisha na kuyaenzi yale yote mema ya pande zote na kuwa bora zaidi itakayodumu kwa mafanikio na amani pia furaha tele.
( Nilistuka kwenye ndoto namwangalia mume wangu amelala nawaza ndoto inamaana gani mbona maneno ya siri ya ndani nisitoe nje yananizunguka kichwani…nikalala tena sikuota tena asubuhi kama akuna kilichotokea mume wangu kaondoka na wifi ananichangamkia kama kawaida uku mimi nawaza usiku itakuwaje na sipo kwenye siku zangu…Nikaingia chumbani kuwaza sana ivi nimpe wifi anilambe kweli…mala wifi ananiita nikatoka chumbani ananiambia)
” Tuma wewe umependwa sana na wakwe zako unajua baba kaagiza gali Leo jipya nje yani ataki utumie gali ishatumiwa na mtu yani ata mimi mwanawe ajawai kuninunulia gali ziro kilomita.
( Nikawa natabasamu akanionyesha gali yenyewe na ushamba wangu sijui majina ya magali ila gali zuri…basi Muda ukaenda mume wangu karudi kama kawaida kaoga kala kaja ndani kaweka milioni tatu mezani akaniambia)
” Mke wangu usiwaze sana chukua pesa iyo twende chumbani kwa dada.
( Nikajiuliza amejua nini mimi sipo kwenye siku zangu nawaza Style ivi Nalala chali au?…je nikikubali ndio inakuwa tabia endelevu au mala moja najishangaa nauliza)
” Mume wangu Leo tu au kila siku.
” Leo tu kama Kesho tutaenda tena nakupa milioni nne Kesho twende mke wangu.
( Kanyosha mkono nichukue ile milioni tatu nikalambwe pesa naitamani nawaza na gali jipya yani kichwani mvurugano)
Dah yani..
INAENDELEA

