𝗨𝗧𝗔𝗡𝗜𝗣𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 6
Mara ghafla malango ukaanza kugongwa huki ikiambatana Sauti ilyo uliza
mnagombana nini huko chumbani hebu fungueni mlango,
SONGA NAYOO,,,,,
ilikuwa saut ya mke wa boss ,daudi alinachia” *nikafungua mlango huku nikiwa nimechukia sana nilipishana na mke wa boss nikaenda chumbani kwangu nikajifungia huko” harafu nikaanza kulia* wewe daudi umemfanya nini mtoto” wa watu, daudi aliulizwa hivo na mama yake* hapana mama Mimi sijamfanya kitu” ni yeye amejikwaa akaanguka chini nikajalibu kumshika mkono nimnyue ndo akasema hataki” harafu akaanza kulia* daudi alimdanga hivo mama yake”*daudi wewe daudi, unazani Mimi sikujui tabia zako ngoja naenda kumwambia baba yako* mke wa boss alisema harafu akatoka chumbani kwa daudi akatelimka chini ya ngazi” moja kwa moja akenda chumbani kwa Mme wake” Mme wangu daudi tayali amesha aanza visa vyake ndio maana hatukai na wafanya kazi humu ndani” *hebu kaniite huyo daudi na Dada waje ukumbini”boss alimwambia “mke wake kweli elenda akamuita daudi* harafu alikuja akanigonge na mimi” nikafungua harafu akaniambia kwa upole” penda mwanangu” hebu shuka chini tukazungumze, Mme wangu akikuuliza kitu mwambie ukweli usiogope sawa, nilikubali tukashuka chini, mpaka ukumbini tukamkuta boss na daudi wamekaa* daudi, umemfanya nini huyu Dada, boss alimuuliza hivo daudi akiwa amemkazia macho,* hamna sijamfanya kitu baba* ila nilimwita chumbani kwangu unisaidie kutandika shuka kitandani maana lilikuwa linani zingu kwa bahati mbaya alikanga shuka na Mimi nilikuwa nalivuta, ndo akaanguka chini”daudi alijibu hivo “
boss akanitazama mimi ” ety dada ni kweli anacho kisema daudi” ndio boss ni kweli lakini meneno mengine amedanga Mimi sijateleza wala sijaanguka chini *wakati nataka kutokota chumbani kwake alinivuta tukaangukia kitandani akataka kunichum kwa bahati nzuri mama aliwahi kuja” nilijibu hivo’? Daudi alinitazama” kwa jicho baya mpaka nikaogopa”*ikabidi nitazame chini tu, daudi unani danganya Mimi, unajua tumempata wapi huyu Dada, *unaujua gumu wa kupata Dada wa kazi sikuhizi, wewe* unajua umesababisha wadada wangapi wanaondoka hapa kwajili ya ujinga wako*” ni malangapi nakuonya uache huo upuuzi wako” bado unarudia tu* nimechoka kuongea na wewe, mtoto gani huna adabu wewe* Dada hebu nenda nje ukamwambie mjishi akupe fimbo” nje nitumbue jipu hili umezidi usaha*, boss aliniambia hivo” akiwa amekasilika*nilitoka njee kwenda kwenye kibanda cha mjeshi, nilipo kalibia nikaanza kusikia sauti za mahaba”zinalia ndani ya kibanda nikafikili labda* mjeshi ameingiza demu kwenye kibanda, chake* nilinyatia talatibu” mpaka pale nikachungulia”.nikamuona mjeshi, amekaa anangalia video za xxx niliziona vizuri tu kutokana na ukubwa wa simu yake” mhh niliguna harafu nilitulia kidogo kuangalia , sasa wakati naweka pozi la kwanza nione vizuri, Mara ghafla mjeshi alilitoa dude lake ndani ya suluwali’* mama weeee lilikuwa lefu limesima imara kama mnara harafu Nene” mhh huyu mjeshi ndo anani taka Mimi anitie lote hili jamani, si ataniua penda Mimi” nilijisemea hivo kimoyo moyo” Mara tena nikamuona mjeshi analitingisha tingisha* harafu akasema. Siku akinikubali penda’nitafurahi mtoto mtamu kama yule kwanza nitamwambia ainyonye kama wanavyo nyonyana wazungu harafu sasa namtia kwenye kitumbua chake nampiga nayo mpaka anaanze kuona ma sita sita” * wakati anasema hivo mjeshi nilikuwa namsikiliza tu”harafu namtazama bila yeye, kujua” mhhh wanaume jamani mna mambo.
Sehemu ya 7
niliguna kidogo na kusema hivo kwa saut ya chini ” harafu nikaendelea kusema anajidandanya huyu mjeshi atanipata wapi labda anibake , nilipo sema hivo nikarudi nyuma talatibu. Mpaka nikaona hapa inatosho nikasimama nikaanza kumuita mjeshi mjeshi, uko wapi. Niko huku mjeshi alijibu huku anatia dude lake ndani ya suluwali harafu akastopisha xx kwenye simu nilienda mpaka mlangoni nikamkuta anachomekea chomekea,
penda vipi umekuja tupige story mjeshi aliniuliza nikamtazama kwanza kabla ya kumjibu, nikawa natamani kucheka lakini nilijizuia tu, nikamwambia boss kaniambie nije unipe fimbo, eehee ndio maana boss napendaga Mimi kwa sababu anayajuaga shida zangu na sasa kaniona nateseka kwajiri yako mrembo, harafu unani ringia umeona sasa
boss mwenyewe amekwambia uje kabisa nikupe fimbo ingia humu ndani mrembo
nikupe fimbo ya ukweli, ujisikie raha mtoto mzuri”
mjeshi aliniambia hivo’ akaanza kutaka kunishika mkono nikaanza nikarudi nyuma harafu nikamwambia
* we mjeshi usinizoee kwani nilikwambia Mimi nataka dude lako mjinga nini
mimi nimeagizwa unipe fimbo ya mti ,
kama hutaki basi naenda kumwambia boss, aaah penda usiwe na hasira kiasi hiko* naomba unisamshe bule mrembo nilikuwa nafikilia nikupe fimbo yangu
kumbe fimbo ya mti basi shika hii hapa mjeshi alinipa fimbo nikapeleka ndani
*penda mbona umechelewa sana kuleta fimbo nilipofika ndani boss aliniuliza hivo, mjeshi alikuwa anaitafuta. nilijibu Ok ilete hapa boss aliiomba fimbo nikampa. harafu akamwambia daudi alale chini. Daudi alilala akachapwa bakola tano harafu akaambiwa asirudie tena daudi alikubali akainuka na kwenda juu chumbani kwake, penda siku nyingine akikuletea upuuzi wake tuambie sisi ni kama wazazi wako , fanya kazi kwa malengo badae uje ushi maisha mazuri sawa mwanangu, mke wa boss aliniamba hivo, nikakubaliana nae, haya rejesha fimbo kwa mjeshi *mwambie aitunze boss, aliniagiza tena kurejesha fimbo kwa mjeshi, nilichukua nika peleka. Nilipo kalibia tena kwenye kibanda” nikaanza kusikia zile saut za mahaba, nikamuita kwa mbali mjeshi njoo huku mjeshi alipo sikia sauti yangu alitoka mbio ndani ya kibanda, penda umerudi tena, ndio nimerudi shika hii fimbo yako boss kasema uitunze, nilimwambia mjeshi harafu nikampa fimbo yake akaipokea, Mimi nikarudi ndani
siku hio ilipita kesho yake asubuhi na mapema nilikua, nafanya usafi juu Mara daudi alitoka ndani ya chumba chake akiwa na boksa tu alijipitisha kalibu yangu harafu akaingia chooni mhh huyu daudi hana hata aibu jamani ndoni nini sasa kupita hapa amevaa vile, nilijisemea huku nikiendelea na usafi wangi baada ya mda daudi alitoka chooni, akaingia tena chumbani kwake ,sikutaka hata kumwangalia , nilimaliza kusafisha huko juu nikahamia chini nako nikasafisha nikawa nimemaliza. baada ya hapo nikaandaa chai nayo nikamaliza harafu nikatoa nje dasimini la nguo chafu nikaanza kufua kwenye mashine nilimaliza mapema tu kwa sababu hazikuwa nyingi saa mbili na nusu boss , na mke wake waliamka, walifanya kwanza usafi wa miili yao harafu wakaja mezani kunywa chai.
* penda kajiandee nina taka tutoke Mara moja. tuende mjini sikoni utanunue vitu, maana kesho kutwa kuna shelehe itafanyika hapa nyumbabi”*boss naliniambia, nikaenda juu moja kwa mkoja nikaenda chooni nikaoga nilipo maliza nikajifunga kanga harafu nguo zingine nikazibeba mkononi” nikatoa kisha nikaanza kwenda chumbani kwangu nilimuona daudi amesimama mlangoni ananitazama sijui alikuwa anakula kwa macho, nilifika chumbani nikavaa nguo zangu zuri za heshima nikapendeza mwengewe* harafu nikatoka na kushuka chini nilimkuta boss ananisubili Mimi tu tulitoka nje. tukaenda kuingia kwenye gari mjeshi alifungua geti tukapita, safali ya kwenda sokoni ikaanza, penda twende tupitie huku Kwanza kuna kitu naenda kupitia sehemu harafu tutapia huko huko kwenda sokoni.Sawa, boss aliniambia hivo.nikajibu poa, nilipo jibu nikamuona boss , anatabasamu na kujilamba ulimi.Tulienda mpaka mwenye nyumba moja nzur tu ila ilionekana haina watu, boss alitoa funguo akafungua mlango, harafu akanishika mkono na kuniambia penda ,usiogope twende ndani hakuna kitu kibaya kitakacho tokea,* nachukua kitu mara moja tu harafu tuna ondoka*
Sehemu ya 8
boss we nenda kachukue tu Mimi nakusubiri hapa siwezi kuingia humo” , nilikataa kuingia ndani maana nilikuwa siamini kabisa kuingia ndani mwanaume” tukiwa wawili harafu tutoke kama tulivyo ingia sio rahisi, penda jamani unaogopa nini , boss, Mimi siogopi kitu ila ingia wewe peke yako Mimi siingii harafu Mimi sipendi kulazimishwa kitu ambacho sikitaki, kama mmenichoka nirudisheni kwetu maana naona mmesha aanza kuniletea vitu ambavyo sivipendi, nilimchana kwa usubavu ilikuonyesha msimamo wangu kama mwana mke,ninae jielewa*, penda mwanangu usifike huko mbali. Basi nisubili nikachukue harafu tuondoke, boss. alishika adabu yake baada ya kumkazia, kamba mwana mke ukijilegeza au ukiwa unamuopa boss, anawaza kukufanya kitu anacho jisikia yeye,, sasa Mimi upuuzi kama huo nilikuwa sina* boss,aliingia ndani punde akatoka sijui alienda kuchukua kitu gani cha fasta kiasi hiko Mimi hata sikutaka kumuuliza ; alifunga mlango kisha tukaingia kwenye gari moja kwa moja tulienda sokoni tukanunua mazaga zaga kibao harafu boss, akaenda kuninunulia nguo mpaya ilikunikosha moyo maana aliona kwamba ameni kosea sana, kumbe Mimi wala, nilikuwa sana kinyongo nae* nilikuwa naona poa, tu nilifurahi sana alipo ninulia nguo, nzuri za heshima, ila akaja kuniboa tena” ety alitaka kununulia vimini* nikavi kataa *boss kama unani nunulia nguo hizi Mimi sizivai ” kwanini penda hizi nguo za kisasa ukivaa zita kupendaza zaidi , boss alianza kuni bembeleza ili nikubali aninunulie vimini, lakini , nika mwambia, sipendi kuva nguo hizo, hizi ulizo ninunulia zina tosha, nilipo mwambia hivo boss akakubali matokea, *
tuliondoka, tuaenda nyumbani, mjeshi alifungua geti tukaingia ndani, alifunga geti harafu akaja kunisaidia kushusha mizigo, na kuipeleka ndani, mrembo wangu nimekuss, zawadi yangu iko wapi sasa, mjeshi alianza maneno yake, nikatoa embe kwenye mfuko nikampa wakati huo boss alikuwa amesha ingia ndani, Asante mrembo wangu ndio maana nakupendaga ila upunguze hasira zako uwe kama hivi siku zote hata mungu atacheka, mjeshi aliniambia hivo” akiwa anaweka embe leke pembeni kwenye ua, * tatizo lako wewe mjeshi unawaza ujinga tu kila wakati unazani nikukuchekea wewe tungefanya kazi hapa yani kitambo sana tunge fukuzwa* hebu fata kilicho kulete usifate, unayo yaona* nilimwambia mjishi kisha,nikabeba mzigo nikapeleka ndani, na yeye alinifata kwa nyuma akiwa anatazama kwenye makalio yangu ,yanavyo tetemeka kama mawimbi ya baharini, tulipo maliza kuingia mizogo nikapeleka chumbani nguo zangu nilizo nunuliwa na. Boss, baada ya siku mbili kupita walikuja, vijana wawili tena, hapo nyumbani, niliweza kutambulishwa kwamba ni watoto wa hapo wakati natambulishwa wakaja tena wasichana wawili nao nikaambiwa ni watoto wa hapo, nikatajiwa majina yao wote nikawajua, siku hiyo hiyo ndio nilikuwa siku ya shelehe, mida ya jioni walikuja watu wengi kiasi nyumbani hapo*,ilikuwa shelehe ya kifamiliya na ndungu tu* watu na pesa zao wanafurahia maisha, , huko kijijini watu na watoto wao wanakufa na njaa* maisha haya ila yote ni mipango ya ngungu, maana hata hawa matajili wange zaliwa kijijni wange ishi kama watu wa kijijini na watu wa kijinini wange zaliwa mjini wangeishi kama matajiri” kulikuwa na disiko tulikuwa tunacheza cheza hapo njee Mara,ghafla nikavutwa pembeni, kwa nguvu* nilipo muangalia aliye nivuta nilishangaa ,,kumuona kaka yake daudi, anaeitwa, jakobo*nikamuuliza, khee wewe kaka kwanini, unanivutia huku” penda ,acha kupiga kelele basi nataka nikupe zawadi nzuri ambayo nimetoka nayo Nairobi Kenya, maana nimeona wewe inakufaa kabisa, tafadhali usije ukanifikilia vibaya, Mimi nakupa tu kama Dada yangu* mhh zawadi gani lakini , niliuliza kwa ustarabu na abadu baada ya kuona ninae ongea nae ni mstarabu anajua kuongea vizuri, nikawa natamani kuiona hiyo zawadi,
Sehemu ya 9
simoni aliingiza mkono wake mfukoni akatoa. Cheni zuri iliyo kuwa inamele meta kisha akaniambia hii hapa” nikaipokea kwa furaha
Mara akaniambia “penda hii cheni niliinunua zamani sana nikaitunza mpaka Leo nilikuwa na lengo la kumpa mwana mke nitakae mpenda, lakini bado sija mpata,
ila nilipo kukuta wewe nyumbani kwetu hapa” nikaona kama niki kuzawadia wewe uwe unaivaa itakupendeza sana,
* asante jamani nilishukuru
* haya nenda ndani ukaiangalie vizuri
simoni aliniambia hivo, nikamtazama harafu nikamwambia sawa” nikaondoka kuelekea ndani, nilipoingia nikaenda juu moja kwa moja mpaka chumbani kwangu, nikawasha taa, harafu nikaaza kuitazama cheni ile
kusema kweli ilikuwa nzuri, nilitokea kuipenda sana kila nikiitazama inamelemeta kama bibi harusi, ilikuwa cheni ya zahabu, niliivaa shingoni kisha nikajiangalia kwenye kioo. Nilijipata nacheka mwenyewe, tu maana kuvaa kitu kizuri kama hicho kwangu ilikuwa ndoto”
baada ya mda nilitoka nikaenda kucheza mziki hakika siku hio ilikuwa siku ya furaha, nilipo kuwa nacheza daudi, na watu wengine walikuwa wanani tazama tu jinsi navyo kata mauno yangu penda mie , watoto wa hapo walikuwa hawajui hata kucheze niliwanifuka wote kama ninavyo jifunika shuka wakati wa kulala”
. ilifikia kipindi
, kila mtu anachagua ngoma anayo ipenda, inapigwa harafu nacheza. ikiisha wananipa pesa, nilicheza sana siku hio boss, anipa elfu 50, kucheza nyimbo mbili, nikacheza vizuri , mpaka mke wake nae akatoa pesa nicheze nyimbo anayo ipenda yeye, nikacheza mjeshi, nae akatoa pesa zake za ulinzi nikazichezea , watu walikuwa wanatoa pesa tu nikaona wanataka kuniua nikagoma kucheza maana nilichoka*, ingekua sio kuchoka siku hio ningepata hata laki mbili, ila hata hivo nilifikisha laki moja na eluf 10″na kujipatia umaarufu wa kucheza boss akaniambia atakuwa anani chukua kama ikitokea shelehe kama hiyo,
ili nikacheze kisha nipate pesa, nilifurahi sana, ndio maana wahenga wanasema kipaji chako ndio mtaji wako* shelehe ilipoisha watu waliokuwa wageni waalikwa waliondoka,
na sisi tukaenda, kulala Daah huyu dada Nouma, yani anakatika kama hana mifupa,
simoni alisema hivo akiwa chumbani kwako, wakiwa wamelala wote watatu walikuwa analala chumba kimoja ila vitanda vilikuwa viwili”
* anajua kucheza sawa ila anaringa huyo,
wee muone hivo tu daudi alimwambia simoni,
* GhaaaH daudi yule Dada yupo sawa kabisa kuringa maana ni nzuri harafu anajielewa
yani yule kumpata mpaka utumie hakili ya kuzaliwa tena uzunguke mzunguko mlefu harafu ndo uje umumtongoze lakini ukikueupuka tu huwezi kumpata mpaka atapatwa na watu wajanja kama Mimi “simoni, alimwambi daudi basi waliendelea na story,
Wakati huo Mimi nilikuwa kwangu chumbani napanga matumizi ya pesa nilizo pata,
* sasa hizi naziweka harafu hizi namtumia mama, nilizi pangilia mipango harafu nikalala, ilipofika asubuhi kama kawaida niliamka nikaanza kufanya usafi wa nyumba na kuandaa chai. Siku zilisonga,
Lakini daudi, aliondoka hapo nyumbani,
akaenda kuishi kwa rafiki yake kwa sababu alifanya mbinu zake zote iliale kitumbua changu” lakini alishindwa hivyo alinichukia uwepo wangu pale nyumbani kwao ulimkele ndiyo maana akaamua kuondoka yeye iliasiwe ananiona”
Sio siri Mimi nilikuwa simpendi hata kidogo” baada ya kuondoka daudi”
wale wasichana wawili nao walirudi masomoni, hata kaka yao mkubwa alisafiri kenya
hapo nyumbani tulibaki watu watano tu,
yani Mimi, mjeshi. simoni ,boss na mke wake, maisha yaliendelea tulianza kujenga urafiki Mimi na simoni, yani simoni alikuwa mtu mpole anajua kuongea na Mimi vizuri, urafiki
ulipokolea sana simoni, akawa ananisaidia kufua, hata kupika chakula” mida hiyo boss na mke wake walikuwa kazini
* siku moja tulikuwa Mimi na simoni kule jikoni” akinisaidia kukata kachumbali,
Mara ghafla akajikata kisu, kidoleni mwake damu zikaaza kumtoka kwa wingi”
nilimuonea huruma mpaka nikaji shangaa maana niliona kama nimemkata Mimi
nikamsogelea harafu nikaanza kumwambia pole simoni. Huku namshika mkono ilinitazame, alipojikata,
bira kutarajia nikajitapa simoni ananikumbatia harafu akaanza kuniambia ,
* usijari penda,
yote nafanya kwajiri yako , simoni
alipo niambia hivo huku ameni kumbatia,
nilijisikia tofati sana mwilini mwangu
nikamwambia
* haya simoni niachie basi
* penda tulia kidogo, wewe ndio dawa yangu
Nilivyo kukumbatia hivi ndivyo unani ponya
jeraha langu nikikuachia tu kidole changu kitakatika”
simoni anilijibu. Hivo nikaishiwa pozi kabisa, penda mie”
“ikabidi nitulie maana niliogopa simoni asije akakatika kidole nikapata kesi kwa boss”
Sehemu ya 10
ilinibidi nimuachie tu simoni anikumbatie ili amalize haja yake * baada ya mda akaniambia penda asante sana nimefurahi kuukumbatia mwili wako
,* baada ya kunambia hivo simoni akaniachia, kisha akaondoka huko jikoni, akaniacha Mimi nazubaa zubaa, tu hata siamini kama Leo mwili wangu ume kumbatiwa na mwana ume *maana toka nizaliwe sijawahi kabisa
* mhh ilikuje kwani mpaka simoni ameni kumbatia nilijiuliza hivo ndipo nika kumbuka kwamba simoni alikuwa ameji kata kisu, harafu nikaenda kutazama jeraha lake ndipo akani kumbatia ” basi niliendelea kupika huku nikiwa mwingi wa furaha, nilipo maliza nikapakua na kutia kwenye hotpot kisha nikapeleka mezani nilipo weka nika mpakula kwanza mjeshi maana nilikuwa njmesahau kwani siku zote nakuwa nampakulia jikoni kabla ya kutenga mezani* nilipo mpakulia nika kipeleka kwanza jikoni harafu nikaenda kumuita simoni, aje kula kisha nikaenda tena jikoni na kuchukua chakula cha mjeshi nika mpelekea, kibandani kwake nilimukuta amelala. Kabisa nika weka kwanza chakula kwenye meza yake ndogo mwenyewe, hiyo meza alipewa na boss, ili awe anawekea maji simu na chakula kama akiletewa, mjeshi wewe mjeshi amku ule, chakula nimekuletea, nilimwamsha mjeshi akakurupuka kutoka usingizini nikaanza kumcheka jinsi alivyo amka kwa kubabaika. Penda,unacheka nini hujui kama umeni katisha ndoto mzuri nilikuwa nakuota wewe, aah mjeshi alisema hivo, nikamuuliza umeniota nafanyaje,* nimekuota nakuvua nguo basa yani ilikuwa imebaki chupi tu ghafla umeni katisha *. mjeshi aliniambia hivo bira aibu, nika boleka nikatoka mwenye kibanda chake, * wewe hata ukinuna ipo siku nitakupata tu,nilimsikia mjeshi ananiambia hivo nikaishia zangu ndani, nilimkuta simoni yupo mezani amekaa alikuwa tayari amesha pakua chuakula,chake pia na mimi ameni pakulia nilifika nikakaa tukaanza kula kwa pamoja , na huku tunaongea, hivo wewe penda unamiaka mingapi, simoni, alinuliza hivo, Nina miaka 18 tu nilimujibu simoni kisha nika muuliza na yeye wewe je unamiaka Mimi Nina miaka 23″ simoni alinijibu huku tunaendea kula, Mara boss na mke wake walikuja wakitoka kazini walitukuta Mimi na simoni tuko mezani tunakula niliwa salimia kisha wakapita na kuingia chumbani kwao punde, mjeshi nae akingia akiwa na mzigo akaiweka harafu anani konyeza kisha akatoka, nje baada ya mda mke wa boss alikuja hapo mezani nayeye akaanza kula* mimi nilikula nikashiba harafu nikawaacha simoni na mama yake wanaendela kula ,
nilitoka nje nikamkuta mjeshi amekaa kwenye mti wenye Kivuli kizuri na Mimi nikaenda kukaa hapo. mjeshi sitaki maneno yako naomba tukae kwa amani, nilimwambia hivo mjeshi baada ya kukaa tu,maana mjua mjeshi bila kumtaha dhalisha mapema angeanza kuongea maneno yake ambayo siyapebdi mjeshi alikubali* basi tulianza kuongea vizuri tu, sasa wakati tunaendelea kuongea ongea Mara mjeshi akainuka, harafu akasema penda ngoja nikaweke simu yangu chaji, nakuja sasa hivi* mjeshi aliondoka na kwenda kibandani kwake* zilipita kama dakika mbili tangu mjeshi aingie kwenye kibana chake Mara nikaaza kusikia ananiita penda njoo unisaidie nakufa Mimi nimepigwa shoti ya umeme njoo haraka nitakufa, nilipo sikia mjeshi nasema hivo,nilinuka kisha nikaenda mbio kwenye kipanda chake, nikamkuta ameshikilia swech ya umeme, harafu anatetemeka mkono njoo univutee. Mjeshi aliniambia huku anayoosha mkono wake mwingine, nika mshika, nilipo mshika tu Mara ghafla akaachia ile swechi. Harafu akanivutia kwenye kona,,kisha akanimbia ,mtu yoyote anae pigwa shoti ya umeme na kuokolewa lazima afanye mapenzi pale pale na kama asipo fanya basi anakufa, ila akifanya akiwahi kufanya mapenzi anapona, sasa nakuomba unisaidie nitakufa Mimi, kubali penda tufanye tufanye mapenzi nitakupa chochote utakacho kata mjeshi aniambia, hukuu amesha aanza kunishika shika maziwa yangu * nika muuliza mhh kwani mapenzi ni dawa ya shoti * ndio penda niokoe bado natamani kuishi, *sasa wewe mjeshi Tukifanya mapenzi, Utanipa nini
INAENDELEA


1 Comment
Maintaining prostate health is crucial for men’s overall wellness, especially as they grow older. Conditions like reduced urine flow, interrupted sleep