𝗨𝗧𝗔𝗡𝗜𝗣𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehem ya 26
panda umeanza lini hiyo tabia na mmetoka wapi sahizi, mama simoni aliniuliza”
songa nayoo,,,,,, wewe penda nakuuliza mbona hunijibu mmetoka wapi” mama tulikuwa tumeenda hospitali Mara moja huyu mjeshi amenipiga jiwe kwa bahati mbaya alikuwa anamfukuza” kunguru” asile mkate wake”pia hapa nilipo najisikia vibaya ndio maana alikuwa amenishilia nisianguke la mama hakuna kitu kingine kibaya tulicho fanya” nilimdanganya, mama simoni harafu nikajiangusha makusudi lengo langu aniamini kile nilicho mwambia” mhh mjeshi nawewe usiwe unarusha mawe ovyo tazama mtoto wa watu ulivyo muumiza haya mbebe umpeleke ndani” mama simoni alisema huku akiwa anasikitika zile hasira zake zote nilipotea” mjeshi alinibeba na minguvu yake’ nilihisi raha pindi alipo kuwa amenibeba nilitamani anibebe hivo hivo mpaka jioni lakini ndo hivo sikuweza kusema kwa sababu nilikuwa kwenye maigizo namuigizia mama simoni ” mjeshi alinifikisha ndani” hapo chini kulikuwa na chumba cha kulala wageni au mtu yoyote anajisikia kupumzika mchana” mama simoni alisema nipelekwe katika chumba kile mjeshi alinipeleka akanilaza kitandani harafu yeye akatoka.Mama simoni aliingia chumbani humo kisha akakaa pembeni yangu akaanza kunitazama alinionea huruma sana kwa jinsi nilivyo jikausha. utazani nakalibia kufa” kumbe naigiza kuumwa tu* penda umekunywa vitonge vya kupunguza maumivu lakini” mama simoni aliniuliza huku ananishika kichwani” ndio mama nimekunywa lakini naona hazisaidii chochote nazidi kuumwa tu” nilijibu” haya basi ngoja nikuletee vidonge ninavyo tumiaga Mimi” umeze harafu tuone inakuwa vipi *alisema mama simoni harafu akainuka kwenda chumbani kwake* mbali na uongo kweli kichwa kilikuwa kinaniuma ila sio sana, lakini ilinibidi kujiwanya naumwa sana kusudi mama simoni asinilite mashaka kati yangu na mjeshi ” baada ya mda mfupi mama simoni alirudi akiwa na kikombe cha maji aliniambia niinuke kidogo niweze kunywa vidoge harafu nisukumizie na maji” kweli niliamka nikapokea vidoge vilikuwa viwili hata sikujuwa zina itwaje, niliziweka mdomoni nika chukua maji nikanywa baada ya hapo nikalala tena kusikilizia kama maumivu yata pungua au vipi’* Wakati huo Simoni alikuwa ameshafika hospitali” alikuta kunawatu wameingia kwenye chumba alicho lazwa baba yake” maana baba yake alikuwa mtu mkubwa selekalini harafu pia alikuwa anapendwa na watu wengi tu”
hiyvo watu walipo pata taalifa za kwamba amepata ajari wengi sana walikuja kumwangalia na kumpa pole huyo, mweshimiwa mbunge baba simoni” au boss wangu “simoni alisubili mpaka ilipo fika zamu yake kuingia nayeye akaingia kumuona mzazi wake alimsalimia”kisha akamwekea chai, harafu akasema baba chai hii hapa nimekuletea’ aah simoni mbona mmechwe sana kuleta Mimi tayari nimesha kunywa nimeletea na esi, yule rafiki yangu boss alisema hivo” simoni hakupata hata shida ya kuuliza maana esi, alikuwa anamjua, na kweli ni rafiki mkubwa wa baba yake” harafu esi huyo,huyo ndiyo aliyemupa kazi ya kumsaidia kuongea na Mimi ilikusudi nikubari kuwa mpenzi wake “
Haya baba kama umekunywa ngoja nirudi nyumbani ilikusudi mama nae aje akuone ” simoni alisema hivo” kwani mama yako huko nyumbani anafanya nini” yani baba ilikuwa hivi Mimi na mama tulikuwa tunakuja wote huku lakini kabla hatujafika mama akalime turudi tena nyumbani na sababu ya kurudi alikuwa amesahau pesa” sasa tulipo fika nyumbanni hatukukuta mtu yoyote penda na mjeshi hawapo hatujui hata wameenda wapi” kwahiyo mama alibakia kuwasubili mpaka watakapo rudi au Mimi nikiwahi kurudi basi yeye atakuja huku” simoni alimwambia hivo”
boss aliposikia habari hiyo alitamani kupona ili arudi nyumbani maana habari mjeshi kutoka na penda ilikuwa mkuki kwake* hivi huyu mlinzi anani tafuta nini Mimi nimesha mwambia asilete mazoea na mfanya kazi wangu mbona hataki kunielewa” nikija kutoka humu naenda kumtimua niletewe mlinzi mwingine sipendi kukaa na watu ambao wapo chini yangu harafu bado hawa tekilezi kile ninacho kisema boss” alisema kwa hasira alihisi mjeshi kanitoa hapo nyumbani na kunipeleka geto na huko geto sasa alitabili vibaya sana* Haya nenda haraka huko nyumbani ukaangalie kama wamerudi wapumbavu hawa ” boss alimwambia simoni” basi simoni aliondoka. Akaenda kwenye gari harafu akaanza kurudi nyumbani” ngoja kwanza nipitie kwa huyu mama ikibidi tuende nae nyumbani kwetu akaanze kumuweka sawa penda” maana naona huyu mjeshi anazidi kiwango kwa inafikia hatua mpaka anatoka nae*” simoni alijisemea hivo harafu akaunganisha mpaka nyumbani kwa shangazi yangu* kwa bahati nzuri alipo fika tu akamkuta shangazi yupo nje anakosha vyombo, simoni alisimamisha gari harafu akashuka” wakati huo shangazi alikuwa anamtazama tu anavyo kuja. Hodi. Hodi kwenye nyumba hii’ kalibu mwanangu simoni” Shangazi alimkalibisa simoni wakasalimia baada ya hapo wakaanza kuongea * mama nimeona nikufate maana mambo yanazidi kuwa magumu kule nyumbani Simoni alimwambia shangazi * mwanangu mbona unakuwa na haraka kiasi hiko nilisha kwambia kwambacpenda ni wako. Mimi nilikuwa najiandaa kupika chakula Nile kwanza nipate sela nzuri za kukupambia kwa penda *harafu ndio nije huko nyumbani kwenu ” shangazi alisema kwa kujiamini zaidi akamfanya simoni apate imani” sawa mama Mimi nimesha punguza mkali ila nakuomba uache tu mambo ya kupika twende nyumbani kwetu utakula huko *_sawa ngoja basi nijiandee. Nisubiri baada ya dakika tano tutaondoka”simoni alisubiri na kweli baada dakika tano shangazi alikuwa amesha maliza kujiandaa, walingia kwenye gari, wakaja nyumbani wali piga honi geti” wakasubiri kidogo mjeshi akafungua mlango wakaingia ndani” kwa kumtazama tu mjeshi alikuwa hayupo sawa kimawazo maana alifungua geti akiwa mngonge machozi yana mlenga* shangazi na simoni hawa kumuuliza kinacho msibu wao walishuka kwenye gari wakaingia ndani walipo ingia tu wakasikia mtu analia chumbani walikimbia haraka mpaka wenye kile chumbani walimta mama simoni amepagawa, anali huku anasema penda amka usifee nitaozea jera Mimi amka jamani usife”hapo hapo simoni na shangazi nao wakaanza kupiga makelele simoni aliukumbatia mwili wangu huku machozi mengi yaki mtoka. wewe mama simoni utanieleza leo umemfanya nini mwanangu shangazi alimuuliza huku anamkaba mama simoni “
Sehem ya 27
baada ya kumkaba alimuachia aliona hatasaidia chochote hata angeanza kumpiga angeingia kwenye matatizo mengine tu” akanigeukia Mimi tena niliyopo kitandani penda mwanangu amka shangazi alisema huku ananitikisa kwa kunguvu” machozi yake pamoja na machozi ya simoni yalikuwa yana nidondokea tu. hakika ilikuwa kilio kisicho na kikomo walilia sana”* Daah sasa hapa jera inanihusu lazima nitaambiwa nimemuuwa Mimi tu maana hata mama simoni tuli mdanganya kwamba Mimi ndiyo niliye mpiga jiwe penda, uongo nao wakati mwingine haufai ona sasa, bora tungesema ukweli tu sijui nitoloke. Maana niki,kamatwa kwenda jera familiya yangu nani atailea watoto wangu nani atawatunza na mke wangu ataishije , ooh shit ngoja nitoroke kabla hayajawa makubwa, hizo pesa za ulinzi ninazo dai nazisamehe” mjeshi alijisemea mwenyewe harafu akachukuwa uamzi wa kutoroka, ilikusudi akwepe msala” maana alikuwa anahisi kama nimekufa, aliingia ndani ya kibanda chake akaanza kufungasha vilago vyake iliasepe. alifungasha kila kitu kilicho chake harafu akata otoke lakini kabla hajafanya hivo, ghafla simu yake ikaita. alipo angalia nani amepiga akakuta ni namba ya mama simoni ambayo alikuwa amei,sevu boss 2″ aliingalia kwa sekunde kadhaa huku anajishauli apokee au asipokee, moyo wake ulipendekeza kwamba apokee kweli alipoka kisha akasikia* , mjeshi njoo haraka huku ndani msaidiane na simoni. Kumbeba penda tumuwahishe hospitali kumbe bado hajafa” ilisikika sauti ya mama simoni kwenye simu ya mjeshi, ikabidi asitishe zoezi la kutoroka aliweka begi kisha akakimbia kuja ndani” alifika akaninyanyua yeye peke yake. mpaka kwenye gari walisaidiana kuniingiza baada ya hapo simoni, aliwasha gari mjeshi alifungua mlango simoni akapita hapo nyumbani alibakia mjeshi peke yake,
safari ya kuelekea hospitali. ilianza simoni, alikuwa kicheche wa kuendesha gari yani kasi aliyo kuwa anaendesha sio ya nchii. Kusema kweli simoni alikuwa anakimbiza gari mpaka shangazi na mama yake wakawa wana ogopa, alitumia dakika chache tu kufika mhimbili, wali nishisha haraka waka nipelea ndani ya hospitali, nili pokelewa na wahudumu wa pale kisha nika,pelekwa kwanye chumba cha huduma*, eehe mama simoni hebu tueleze. Ukweli* nini kime’ mkuta penda mpaka akawe katika hali hiyo* shangazi alimuuliza mama simoni” esi” hata sijui nikueleze vipi” ila ngoja nijalibu kuku fahamisha, ni kwama,,, penda na mlinzi yule tuliye muacha nyumbani. walikuwa wametoka , sasa walipo rudi nika wauliza mmetoka wapi huyu penda akanijibu kwamba wametoka hospitali. Walikuwa wameenda kutibiwa jeraha alilo pigwa jiwe kwa bahati mbaya ,na hiyo mlizi, alikuwa akirusha jiwe kwa jiya kumfukuza kunguri ndipo likamfika. baada ya kumaliza, kunieleza penda,alidondoka chini ndipo nika mwambia mjeshi, ambebe ampeleke ndani, sasa tulipo fika ndani nika muuliza penda anajisikiaje akasema anazidi kuumwa tu ndipo nikaamua kwenda chumbani kwangu kumchulia vidonge vya kutuliza maumivu” nilimpa akameza, baada ya mda hali yake ikabadilika penda akaanza kurusha rusha minguu huku akisema anakuwa Mara akanyamaza kimiyaa, hivo ndivyo ilivyo kuwa,* mama simoni alimueleze shangazi kilatu, hata simoni, alisikia. Maelezo hayo, akaanza kujiuliza kivyake vyake, . daah inamaana kumbe walikuwa wameenda hospitali”kumbe jiwe nililo mpiga penda” nilimuumiza.naanza kuzijutia hasira zangu, ona sasa nataka kumuuwa mwana mke ninae mpenda, nitaishi vipi Mimi kwenye dunia hii” simoni alijiuliza harafu akaanza kulia tens” kweli ilikuwa inamuuma sana” shangazi nae alibaki kujiuliza nani mwenye makosa hapo mjeshi au mama simoni alijiuliza lakini jibu haliku patikana “”*esi ngoja nika muone Mme wangu mara moja harafu nimpe habari hii” mama simoni alimuaga shangazi, harafu akaenda kwenye chumba alicho lazwa mmewe aliingia watu waliyo kuwepo wakato, alifika akapiga magoti kwanza harafu akaanza kulia tena , vipi mke wangu mbona unalia kuna tatizo boss” aliuliza, ndio Mme wangu nitatizo kubwa sana linaweza kunipeleka jela nikafungwa kifungo cha maisha Mimi” samahani sana Mme wangu naomba unisamehe , tatizo gani tena mke wangu”hebu nieleze”. Penda, mme wangu. Pendaaa*_ penda amefanya nini tena *_siwezi kukuelezea Mimi ila yupo mtu akatakuja kukwambia napenda kukuaga’ kwamba kuanzia Leo Mimi na wewe hatuta onana tena ukipona naomba uwatunze watoto wetu pia uwambie nawapenda sana”” kwa heli Mme wangu”mama simoni alimuaga Mme wake harafu akaondoka,* akamacha Mme wake haelewe nini kinaendelea” boss alitamani sana ainuke iliamfate mke wake lakini hakuweza kuinuka” penda” kafanya nini sasa” boss alijiuliza lakini, akakosa jibu, ikabidi apige kelele, baada ya kupiga kilele tu dokta alikuja mbio, alipo ingia tu akaambiwa” we dokita, hebu nenda umkate yule mwana mke aliye toka sasa hivi’ boss alimwambia dokta, kweli alitoka ilikwenda kumkata mama simoni, lakini haku fanikiwa kumuona, mama simoni alikuwa amekula chocho*” wewe mama ni mgonjwa wako aliye lazwa* kwenye chumba hiki” ndiyo dokita naomba utuambie ana endekaje shangazi alimuuliza, kwa pupa akitamani kujua hari yangu*” kwanza napenda kuwapo pole sana maana haya matatizo kila mtu yana mkuta, tume”jitahidi humfanyia huduma lakini, dokita alisema harafu asta kumaliza, simoni na shangazi wali mkodolea macho” kisha simoni akauliza kwa jaziba lakini nini dokita, tuambie”
Sehem ya 28
dokta alipo himizwa kutoa majibu ya hali yangu basi hakuwa na budi kumalizia,,, lakini tumefanya mbinu zote ila hatujaona tatizo linalo msumbua vipimo vyetu vina tuonyesha. Ni mzima kabisa, ila tukimtazama kwa macho hali yake hailizishi kabisa”dokta aliseme. shangazi na simoni wakabaki midomo wazi tu * mhh dokta jamani una tusaidiaje, shangazi aliuliza kwa huzuni’
mimi ninacho waomba mchukueni muende nae hospitali nyingine maana vifaa havifanani huenda tatito lake lika,gundulika huko dokta aliwashauri shangazi na simoni. Kweli wakakubali ushauri huo wani litolewa kwenye chumba hicho wakaniingiza kwenye gari kisha tukaanza safari ya kuelekea katika hospitali nyingine”tulipo kuwa njiani. nilifumbua macho nikageuza shingo nikamuona simoni anaendesha gari nilipo tazama pembeni nikamuona shangazi,
mda huo walikuwa kimiya hawaongea chochote” sasa mimi kila kitu nilikuwa nakijua kutoea nyumbani mpaka hospital, SAA ile walikuwa wana liliana kule nyumbani nilikuwa nawasikia tu hata pale mjeshi wana mpigia simu ili aje wanibebe yeye na simoni nilisikia lakini ndo nilikuwa nawaigizia “nione kama kweli wana, nipenda, safari nilikuwa ikiendelea mara ghafla nikajifanya kukohoa. Shangazi aligeuka nyuma kuni,tazama akakuta nimeamka tena nimekaa huku nimeshika tama, khaaa penda umeamka shangazi aliniuliza kwa mshangao na, kumfanya simoni nae geuke kunitazama, ndio shangazi kwani sasa hivi tunaenda wapi, nilimjibu kisha nikamuuliza swali, penda tunakupelea hospital ukatibiwe, shangazi alijibu mhh nikatiwe nini twendeni nyumbani tu Mimi najisika vizuri haina haja tena kwenda ya huko niliwaambia waka shangaa, sana mgonjwa kaponea njiani wakati wagonjwa wengine wana kufaga njiani”
ikabidi simoni asimamishe gari kando ya barabara ili wanihoji vizuri penda kweli unajisika vizuri. Simoni aliniuliza baada ya kusimamisha gari pembebi ” ndio Mimi niko mzima mbona humunielewi aah’ nilipo jibu hivo shangazi na simoni waka,tazama harafu simoni akawasha gari tukaenda mbele kidogo tukakata kona, kisha tukaanza rasimi kurudi nyumbani shangazi na simoni walifalijika sana kuona nimeamka wakaona sasa mambo yao yatakwenda sawa, wakati huo mama simoni alikuwa chini ya mti mkubwa, anatazama tawi zuri litakalo mbeba pale anapo jinyonga kwa kutumia kitanzi’ mama simoni alikuwa amekata tamaa ya kuishi kabisa maana alijua Mimi ninakufa tu aliona njia sahihi ya kukwepa jela ni kujihukumu kifo yeye mwenyewe” baada kutazama aliweza kuona tawi zuri alipanda juu ya mti akafunga kamba vizuri kisha akashuka, talatibu akaanza kusali sala za mwisho*
, wakati mama simoni anasali mjeshi nae alikuwa amesha timka nyumbani alionekana yupo kwenye kituo cha daladala anasubili usafili iliafali” aende nyumbani kwa mke wake akafanye mpango wa kuhama kabisa mjini aende kijijini akaishi huko kwa sababu huku mjini kumusha kuwa majanga” simoni hebu mpigie simu mama yako umjulishe kama penda amepona shangazi alimwambia simoni* kweli simoni alitoa simu yake akampigia mama yake, simu iliita mpaka ikakata bira kupokelewa akapiga tena, ikakata, mama nae hapokei simu au itakuwa ameiacha nyumbani ngoja nimpigie mjieshi “Simoni aliseme kisha akampigia. Mjeshi.mjeshi nae hakupokea hapo sasa wasi wasi ulianza kututanda. Hasa Mimi nilimhofia sana mpenzi mjeshi. Nilihisi huenda amekimbia,”simoni hebu nipe simu yako mara moja, nilimwambia simoni akanipa kisha nikaanza kuandika ujumbe nilijua lazima atausoma” beby Mimi mpenzi wako penda mbona hupokei simu me tayari nimesha pona acha presha bwana nakuja unione*’ niliandika hivo kisha nikatuma mjeshi aliusoma ujumbe wangu ghafla moyo wake akajawa furaha hapo hapo akachenji latiba lengo la kusafili likafa” kisha akaanza kurudi nyumbani alifiia yeye mwanzo kabla sisi hatujafika baada ya kufika akatupigia simu” akatuuliza mmefika wapi tupo hapa kalibu we funyua geti. Nijibu mimi” kweli tulikuwa tumekalibia kufika tulitumia dakika 1 tukawasili nyumbani mpaka ndani ya geti tulishuka mjeshi alifurafi sana kuniona Niko mzima. Hata Mimi nilifurahi sana nikajikuta nashindwa ukizui furaha yangu” nikaanza kumfata mjishi lakini kabla sija fikisha ta hatua tatu ghafla, kwenye simu ya simoni ukaingia ujumbe kwa sababu nilikuwa nayo Mimi shangazi aliniambia niusome.ikabidi nisimame niwasomee kwa saut” ujumbe ulisomeka hivi
. simoni mwanangu Mimi ni mama yako naomba unisamehe sana” najua nime, kupotezea furaha yako ya maishi nisamehe sana hakuwa kusudio langu penda kumpa penda vidonge tofati sikusu tazama vizuri kopo LA vidonge nimepa vidonge ambavyo havimfali kwa umili wake” nisamehe sana najua kama unampenda” sasa nimeamua kuji hukumu Mimi mwenyewe ‘sababu sipendi kwenda kufungwa jela, simoni nime aumua kujingonga ili nisafili pamoja na penda, najua sasa hivi tayari amesha kufa ngoja na Mimi nimfate” siku ukifa utakuja kumkuta huku nitakuwa tayari nimesha mwandaa kuwa mke wako’ Kwaheli kwaheli mwanangu. Simoni” Nakupenda sana”** ujumbe niliuosoma kwa sauti watu wote walisikia nilipo maliza kusoma tu nguvu zika niisha nikaanguka chini na kuzimia sikuweza kutambua hali ya wenzangu
Sehem ya 29
baada ya kuzimia shangazi alianza kunipepea wakati huo simoni, alikuwa amecha nganyikiwa zaidi ya chizi aliokota simu haraka kisha akaanza kumpigia mama yake “lakini simu ilikuwa inaita bira kupokelewa” simoni alilia sana, upande mwengine” alionekana mama simoni anakivaa kile kitanzi ambacho alikuwa amekiandaa dakika 10″ zilizo pita, wakati mama simoni anakivaa hicho kitanzi alikuwa amesimamia gogo, alipo hakikisha kitanzi kimemshika ipasavyo. alilipushi hilo gogo likaamgukia pembeni” hapo sasa mama simoni” akawa hewani baada ya sekunde chache tu akaanza kurusha, miguu huku akijalibu kukizuea kitanzi kisimkaze. lakini , ilikuwa kazi bule. Kwa bahati nzuri kuliwa na babu mmoja anapita maeneo hayo huku akiwa amebeba panga na shoka ghafla aliona mtu anajinyonga hakuta kuwaza sana “aliona akianza kukimbia mpaka kufika pale huenda angechewea alicho kifanya sasa alirusha hiyo panga yake yenye makali hakuweza kukosea panga ililenga pale pale ikakata kamba ambayo alikuwa akijinyonyea mama simoni, baada ya kama kukatika mama simoni alianguka chini kama mzigo, ila hakuumia.babu* aliye muokoa katika kifo alisogea kisha akaanza kumhoji wewe mama kwanini unataka kujiua” babu alimuhoji hivo , ila mama simoni alibaki kimiya tu bira kujibu swali alilo hojiwa” alishia kumtazama” ghafla simu yake ikaita, aliichukua kisha akapokea” mama tafadhali usijuie penda bado hajafa ni mzima tumesha toka hospitali, tuko nyumbani sasa hivi nakuomba mama uniambie uko wapi nikufatee mama usijinyonge bule mama yangu” ilisikika sauti ya Simoni akiongea maneno hayo mama simoni hakuamini anacho kisika, ikabidi aulize kwa mshangao simoni una niambia kweli au, unataka nije nikamatwe na porice ” hapana mama siwezi kuku ongopea Penda ni mzima kabisa yeye ndio ametusomea ujumbe ulio nitimia” naomba uniambie uko wapi nikufate uje umuone” Simoni alimwambia hivo mama yake” simoni wala usipate tabu mwanangu nisubulini nakuja sasa hivi” mama simoni alijibu” kisha akakata simu, akamgeukia yule babu harafu akaanza kumshukuru kwa kusema” asante sana babu kwa kuniokoa maisha yangu ” kumbe ningekufa bule tu mtu ambae nilizani atakufa amesha pona” mama simoni alimwambia huyo babu” usijari mama ni kawaida yetu watanzania kusaidiana” ila ningependa kiss na mkasa japo kwa ufupi” babu aliuliza” ni sitor ndefu yenge mkasa mzito nimeshindwa hata kumsimlia Mme wangu” kama nikikuona tena siku nyingine nitakuadisia ila kwa Leo niache niende nyumbani. Nikamuone huyu mtu kweli yupo hai, mama simoni alijibu ‘kisha akainuka akachukua mkoba wake ambao ulikuwa pembeni tu, akafunga na kutoa kibunda cha pesa ambazo zilikuwa za mme wake hizo pesa ndo zile ambazo hata Mimi nilishaga wahi kuzishika siku ambayo boss alipo pata ajari, zilikuwa pesa nyingi sana, babu hebu shika hizi pesa nakupa kama shukurani yangu kwa kuniokoa masha yangu” mama simoni aliongea hivo huku anampa pesa huyo babu’ hapana mama siwezi kupokea pesa hizo we uondoka tu. ila ukifika nyumbani uniombee baraka kwa mwenyezi mungu ndiyo fadhila ambayo naitaka Mimi” babu alikataa pesa kisha akasema maneno hayo mama simoni alijalibu kumfosi achukue japo nusu lakini ilishi ndikana ,
basi mama simoni ikabidi akubari matokea” ya kwamba ataenda kumuombea babu yule’ mama simoni aliondoka kisha yule babu akaanza kuukata huo mti maana aliona umazingua bora niukate huu mti ni mara ya pili sasa nakuta watu wanataka kujinyonga Napa babu alisema hivo” wakati huo boss, alikuwa amepagawa hajui nini cha kufanya maana hata kutembea alikuwa hawezi” dokita kweli umetafuta kote umemkosa ‘ ndiyo sijafaniwa kumuona kabisa” dokita alijibu. Sasa dokta Mimi naiona hali yangu ipo vizuri kidogo “naomba ufanye mpango nipate basikeli niende nyumbani maana nikiendekea kukaa huku nitakufa na plesha na huko nyumbani matatizo nyumbani kwangu yanazidi kuongezeka mpaka sasa hivi sielewi kitu boss, alimwambia dokta dokta hakuleta mgomo wowote alitoka akaenda kuleta kile kibasike cha kukalia watu walemavu wa miguu “boss, alipakiwa kwenye hicho kibaike akatolewa kwenye kile chumba. Ndugu jamaa na marafiki ambao walikuwepo eneo hilo wali kimchukua boss, wakamleta nyumbani’. wakati huo Mimi nilikuwa nimesha zinduka niliona tu magari matatu ya samani kubwa yana ingia ndani ya mjengo magari hayo yalisimama” boss alishusha kisha akapakiwa tena kwenye hicho kibasikeli ukiluwa na mtu wa kumusukuma. Neno LA kwanza alilo anza kulitamka boss, alisema. wewe mjeshi pumbavu takakata wewe naomba utimke nyumbani kwangu sitaki kukuona boss alipo sema hivo nilishtuka sana nikamtazama mpenzi wangu mjeshi Mara tena boss akamuuliza swali” simoni” wewe simoni mama yako yuko wapi’ baba hata sisi hatujui alipo ila tumeingiea nae kwenye simu akasema anakuja. mda sio mlefu ila Nina wasi wasi sana kama atakuja kwa sababu dakika 20 zilizo pita alinitumia ujumbe mzito kwenye simu yangu hata siwezi kuusoma shika mwenyewe baba usome simoni alimwambia hivo baba yake huku anampa simu, boss alipokea simu kisha akaanza kusoma ujumbe huyo, kabla hata hajamaliza kusoma alianza kulia, kama ujuavyo mtu mzima akilia ujue kuna jambo lina mtatiza boss alilia sana “lakini machozi yake haya kubalidisha chochote, hata mke wake hakurudi kwa kilio chake” Mimi sasa nilianza kufikilia kama mama simoni ameji nyonga mwenyewe nani apewe
lawama zaidi yangu mhh, maigizo yangu mboma yanataka kuleta matatizo makubwa kiasi hiki jamani bora ningesema ukweli tu haya yote yasinge tokea ona sasa mama simoni anakufa hivi kwa upuuzi wangu’. Nilijisemea kimoyo moyo” yalipita masaa matatu tukiwa tuna mgojea mke wa boss” simoni alijalibu kumpigia simu tmama yake kwa mara nyingine tena lakini Mara hii mambo yali, badilika tofati na wakati ule simu ya mama simoni ilikuwa ina patikana. ila sasa hivi hapatikani kabisa kutoku patikana kwa simu ya mama simoni” hofi ya moyo ilitukumba watu wote” haiku julikana mama simoni yuko wapi na kwanini hapatikan”i kila mtu alibaki na maswali ya kujiuliza lakini hakuna hata mmoja aliye pata jibu
Sehem ya 30
upande wa pili mjeshi na yeye alikuwapo kwenye kibanda chake alikuwa anajiuliza dah kwanini” boss, ananiambia niondoke. Nime mkosea nini mimi” Aah hapo siondoki mpaka anilipe pesa yangu mjeshi alijisemea hivo kisha akasimama mlangoni’ huku akiwa ameshikilia bunduki yake mweshimiwa mbunge kwanini unamtukana mlinzi wako harafu unamfukuza kakusoea nini “shangazi alimuuliza boss” lakini boss alikaa kimiya tu hakuweza kumjibu kitu chochote’. Mara ghafla geti likagongwa mjeshi akafungua akakuta ni mama simoni ambae alikuwa anagonga” heeh boss kumbe ni wewe mjeshi aliuliza hivo* ndiyo mimi” mama simoni alijubu” baada ya kumuona mama simoni’ ameingia ndani w tulijawa na furaha ya ajabu. huku tukiwa hatuamini kama kweli mama simoni amerudi salama” Mimi niliwahi nikaenda kumkumbatia huku nikisema” jamani mama umerudi salama” nafurahi sana kukona nilikuwa na hofu sana juu yako” nilimwambia mama simoni” tukiwa tume kumbatiana” asante mwanangu penda” ondoa shaka nimesha rudi ila hata Mimi siamini kukuona uko salama”nilizani utakufa ndio maana nika kimbia” mama simoni alibu hivo” wakati huo simoni na baba yake nao walikuwa wanafurahia kuona mama mwenye nyumba amerudi, mama mbona nilikuwa nakupigia simu hau patikani”simoni alimuuliza hivo mama yake”mwanangu simu yangu ilizima chaji alijibu hivo” baada ya masaa mawili kupita kila kitu kilikuwa kimesha kuwa sana yani yale majanga majanga ya snura” haya kuwepo tena. Shangazi na simoni walikuwa chemba wana onaongea mambo yao Mimi niliwaona”nikawa nawatazama tu kwa sababu sikujua wanaongea nini” walipo fikia tamati ya maongeze yao. wakarudi” shangazi akanifata nilipo kuwa nimekaa. kisha akaanza” kuniambia’penda hebu nisi kilize.nikuambie kitu mhimu sana poa kizuri kwa familiya yetu” unajua penda sasa hivi umesha kua. Mtu mzima unaweza hata kuolewa ukaishi na mme wako vizuri tu” nakuambia hivo kwa sababu ni kweli pia amesha patikana mwana ume hodali wa kukuoa. Atakutunza atakujari kwa kila hali nakuomba ulipokee jambo hili kwa mikono miwili usiniangushe penda ” shangazi aliniambia” nika shtuka harafu nika muuliza”mhh shangazi nani anae taka kuinioa Mim jamani” simoni mtoto wa boss” wako anakutaka wewe maana amekuona kwamba unatabia nzuri harafu wewe mwenyewe ni mzuri kwenye macho yake ” amesha niambia anakupenda sana yuko tayali kufanya chochote kwajiri yako” shangazi alijibu hivo
“. Ona sasa shangazi umesha niboa tayari” simoni mwanaume gani yule hajui hata kutongaza kwanza Mimi nilisha mwambia simtaki kwa sababu yeye sio chaguo langu yani hajupo kwenye moyo hata robo*’ penda kumbuka tulipo toka kumbuka na wazazi wako wanavyo ishi kule nyumbani maisha yao hayako mazuri kama ukikubali kuishi na.simoni maisha “
yetu yata” badilika kwa sababu umeolewa na mtoto wa tajiri ee penda hii ni bahati yako wengi wanaitaka bahati kama hii lakini hawaipati mpaka wana zeeka tu” penda nakuomba ufikilie mara mbili, *shangazi’ hakuna cha kufikilia hapo Mimi simpendi kabisa simoni yupo mwingine. ambae namuamini ataweza kubadilisha maisha yetu pia huyo ndie nampenda ameniambia atanioa*” mhh penda kumbe una mchumba, ndiyo shangazi kwani simoni haja kwambia* haja niambia mimi ” hebu niambie* Siwezi kukuambia Mimi ila nenda ukamuulize simoni anamjua” harafu mwambie Mimi simtaki tena mwambie nime mtukana” na kama akikutuma tena usije kuniambia’ nilimwambia hivo shangazi* alikosa cha kuniambia’ kwa sababu amesha gundua kwamba ninae mchumba anae niziba masikio” haya penda me nitaenda kumwambia ila sasa huyo mchumba uliye mpata ana pesa” shangazi kamuulize Simoni akikujibu utajua kila kitu.* wataki tunaongea Mimi na shangazi simoni alikuwa chumbani kwake. Huku anatamani mtu aliye mtuma kwangu” aje ampejibu* naomba penda anikubali. yani akinikubali. Nitaimba na kucheza kwa jinsi navyo mpenda yani hakuna mfano” ngoja nisubilie jibu” simoni alijisema hivo” huku nje shangazi aliondoka akaingia ndani kwenda. Kwa simoni kumpa majibu niliyo mpa mimi* wakati huo bosi na mke wake walikuwa wamelala nilipo ona nimebaki Mimi peke yangu hapo nje nikasema hii ndiyo nafasi pekee ya kwenda kwa mpenzi wangu. Mjeshi” Niliinuka nikaenda kwenye kibanda cha mjeshi nilifika nikamkuta mjeshi amejaa tele’ beby vipi mbona una’ onekana una mawazo sana’ nilifika nikamuuliza hivo” akanitazama kwanza kisha akaniambia. penda hebu kaaa hapo tuongee “alipo niambia hivo mjeshi. nikakaa haraka sana kwa wakati huo hakuna mtu niliye kuwa namweshimu kama mjeshi yani mjeshi akiniambia nifanye chochote nafanya’ eehe nambie mpenzi wangu nilisema*. Penda nazani hata wewe umesikia boss’ alivyo niambia kwamba niondoke hapa sasa nime msubilia akiamka anilipe mshahara wangu niondoke. ila kinacho niumiza kichwa najiuliza “nitawezaje kuondoka bila wewe”mjeshi aliniambia hivo* nilishindwa kujizuia nikaanza kulia harafu nikamlalia kwenye kifua chake* nika mwambia” mpenzi lazima tuondoke wote”huwezi kuondoka peke yako uniache Mimi hapa siko tayari* penda sio rahisi kuondoka wote naomba utambue kwamba boss ananitimua hapa ili wewe ubaki. Mimi najua anacho kitaka kwako ni penzi lako sasa anaona mimi ndio nakuziba masikio ndio maana ameamua aniondoe apate nafasi nzuri kwako*wakati tunaongea mimi na mjeshi mara ghafla. tuka shtushwa na swali Kali aliloulizwa mjeshi*_wewe mlinzi unafamnya nini. Mtoto wangu nasema Leo utajieleza kituoni” Kumbe ndiyo mchezo wako huu” nilipo sikia hivo nikainuka kwenye kifua cha mjeshi nikataza mlangoni. ili nimuone anae sema hivo nifanikiwa kumuona. shangazi na mama simoni * ila pembeni
ali kuwepo,,,,,,,,
INAENDELEA

