𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗖𝗛𝗔𝗔 𝗟𝗔𝗞𝗜𝗡𝗜 𝗠𝗠𝗠𝗠𝗛
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadith
SEHEMU YA 6
Mwisho Clara alijikuta anataka Masu amalize mchezo , Masu akimlaza juu ya maboksi yaliyokuwa yameandikwa chini. Hapo ndipo Masu alipomaliza ufundi wake wote na Clara. Alikuwa akipiga kuelele za kufurahia .
Safari ilikuwa ndefu sana , Masu alikuwa akiweza .
Baada ya mchezo kuisha kila mtu alikuwa hoi.
Masu alinyanyuka akaondoka na kumuacha Clara.
” Mmmh hivi mimi najielewa kweli kufanya hiki kitendo na huyu kichaa? Clara ni kama alikuwa akijilaumu kwa kitendo alichofanya.
Alinyanyuka na kujiweka sawa kisha akavaa nguo zake na kuondoka.
Aliondoka bila wasiwasi sababu kulikuwa na kigiza hivyo sio rahisi watu kumuona.
Alifika nyumbani kwake akiwa hoi lakini alikuwa na furaha moyoni mwake maana alipata kitu ambacho hakuwahi kukipata.
Aliingia bafuni akaoga vizuri alipomaliza alirudi chumbani kitandani kwake akavaa nguo za kulalia kisha akajilaza kitandani huku akiwa anavuta tashwira ya kile kilichotokea kwenye jumba bovu.
Simu yake iliita akaangalia kwenye screen , alipoona namba ya Ibra hakuona haja ya kupokea alisogeza pembeni.
Na kuendelea kumfikiria kichaa Masu .
Siku hiyo Clara mwili wake ulikuwa mwepesi na akili yake ilikuwa imetulia na alichokuwa akifikiria nikile alichofanyiwa na Masu alikumbuka kila jambo hatua kwa hatua na kubaki akitabasamu.
” Kwa asilimia mia moja najua nimefanya kosa lakini nimefaidi.
Hatimae usingizi ulimpitia na kupata usingizi mzuri.
Kesho yake kulipokucha aliamka na kwenda bafuni kuoga na kujiandaa kwaajili ya kwenda kazini . Alipokuwa anataka kutoka Ibra alifika na gari yake.
” Habari za asubuhi.
” Salama , mbona leo mapema upo hapa?
” Kwanini jana hukupokea simu zangu na Mida ya saa kumi na mbili nilikuja hapa sikukukuta.
” Aaaah saa ile nilikuwa kwenye daladala na siunajua tena mbanano wa kwenye daladala nikashindwa kupokea.
” Na mbona ilipofika nyumbani haukunipigia ?
” Yani jana nilikuwa nimechoka sana nikifika nyumbani na kulala , missed call za ko nimetimiza asubuhi.
” Sawa , ila uwe inajitahidi kunitafuta.
” Sawa.
” Twende basi nikipitishwa kazini kwako.
” Poa.
Walitoka pamoja na kwenda kupanda kwenye gari kisha wakaondoka kuelekea kazini kwa Clara.
Siku hiyo Clara aliingia kazini akiwa na furaha sana , alikuwa mchangamfu mno aliongea na kucheka na kila mtu.
” Vipi shoga yangu kuna jambo gani jipya?
” Hakuna jipya.
” Mbona unafuraha kiasi hivyo ? Au ndoto yako na mr Ibrahim imetimia?
“Aaaah wapi, yani bila bila.
” Usijali ipo siku mambo yatakuwa sawa.
” Yote ni mapenzi ya Mungu mpenzi.
Mishi alishangaa kwanini Clara alikuwa akijibu bila kuumia wala kusomeka mama ilivyokuwa siku zote.
” Clara usijifanye mjinga , najua vizuri sana kuna jambo gani unanificha?
Clara alicheka.
” Acha umbea mtoto wa kike alafu kumbuka hapa ni kazini tufanye kazi kwanza mambo mengine badae.
Clara alichukua mafaili na kuanza kufanya kazi zake .
Baada ya muda wa kazi kuisha Ibra alimpigia simu na kutaka kwenda kumchukua lakini Clara alikataa kwa kisingizio kuna sehemu anaenda na Mishi.
Baada ya kukata simu Mishi alimuuliza.
” Kwanini umemdanganya?
” Nimeamua tu.
” Clara kuna jambo unanificha.
” Jambo gani?
” Unalijua wewe.
” Tulia shoga yangu ipo siku nitakwambia.
” Unasubiri mambo yaharibike ndio uniambie?
” Wasiwasi wako miwa bure mimi naenda nyumbani kwangu kupumzika .
” Sawa.
” Tutaonana kesho kipenzi.
Waliagana Mishi akashuka njia yake na Clara akaenda kivyake.
Clara akachukua bajaji kwaajili ya kurudi kwake.
Akiwa ndani ya bajaji alimuona Masu akiwa amejilaza pembeni ya barabara.
” Kaka hebu niache hapa.
” Lakini hapa hakuna sehemu nzuri ya kusimama dada.
” Nishushe hata hapo mbele kidogo .
Bajaj ilienda kusimama mbele kidogo , Clara alishuka na kulipa nauli yake kisha akarudi nyumba kule alipomuona Masu.
alimkuta Masu bado akiwa amelala huku pembeni kukiwa na chupa yake ya maji ya kunywa na kipande cha andazi.
Clara alichuchumaa na kumshika begani huku akimuita jina lake kwa upole,
Masu, Masu….
Alitokea kaka mmoja na kumwambia.
” Wewe dada unataka nini kwa huyo kichaa? Aliamka hapo na kutaka kukipiga hakuna wa kukusaidia.
” Vipi kama ni ndugu yangu?
” Kichaa kikiwa kimemiolea hatakuwa ndugu.
Clara alipuuza maneno ya yule kaka akaendelea kumuamsha.
Masu alifumbua macho akamuangalia kisha taratibu akanyanyuka na kukaa. Alioneksna alikuwa kwenye usingizi mzito sana, alijinyoosha kisha akaendelea kumuangalia Clara usoni bila gazabkukwwpesha macho yake ila Clara aliangalia chini kwa aibu.
SEHEMU YA 7
Masu alinyanyuka na kuchukua vitu vyake kisha akaondoka, aliiga hatua kama tano kisha akasimama na kugeuka nyuma kumuangalia Clara.
Masu akitabasamu kisha akaendelea kuondoka .
” Uuuuh yani nashindwa kujizuia kabisa juu yake.
Akijisemea Clara kisha akaondoka.
Baada ya siku mbili kupita Clara alijikuta anakosa utulivu kabisa , ndani palikuwa hapakaliki Alijikuta anatamani kuonana na Masu.
” Kwa muda huu anaweza akawa yupo kwenye jumba bovu acha niende nikamuangalie.
Clara alitoka akachukua usafiri wa pikipiki na kuelekea mpaka kwenye lile jumba bovu.
Kwakuwa kulikuwa na kigiza alishindwa kuingia akawa amesimama nje alichungulia kwa mbali, mara Masu alitokea .
” Masu… Clara aliita lakini Masu hakuitikia alimshika mkono na kumvutia kwenye jumba bovu . Masu akawasha tochi ndogo iliyofungwa fungwa kwa kamba.
” Masu nimekuja kukuangalia. Aliongea Clara huku alimshika begani.
Masu hakutaka kupoteza muda alianza kudhihirika na mwili wa Clara na kupiga show kabambe baada ya kumaliza kama kawaida yake aliondoka na Clara akatoka na kwenda nyumbani kwake.
Mara kwa mara walikuwa wakikutana na Masu , hakuogopa hata kukaa bar sehemu za wazi lakini usiku walikuwa wakikutana kwenye jumba bovu.
Clara akawa kanogewa mno na penzi la kichaa hakuwa anasikia wala kuona ila ilikuwa ni siri yake. Hakuwa akimuwazia sana Ibra hata alipokuwa alikuta msg za wanawake kwenye simu ya Ibra hakuwa na kelele wala wivu uliopitiliza. Ilifikia hatua mpaka Ibra akawa anamshangaa.
Siku moja ilikuwa siku ya jumamosi Clara alienda kufanya usafi nyani kwa Ibra mara simu ya Ibra ikaingiza messege ilikuwa ni messege ya mapenzi kutoka kwa mwanamke wake.
Clara alisima ile messege kisha akatoka mpaka sebleni na kumpa Ibra simu yake
” Bado haijawa hana nae?
” Nani?
” Huyo aliekutumia messege?
Ibra alifungua messege na kuisoma kisha akamuangalia usoni na kusema.
” Nani kakuruhusu kusoma messege zangu ?
” Mimi ni mpenzi wako nina haki ya kujua kila kitu chako.
” Kumbe mpenzi ambae hunipstii kile ninachotaka.
” Unamaanisha nini kusema hivyo?
” Nahangaika sana na wewe kuhusu mtoto , nimetumia gharama nyingi sana kwenye hospitali makubwa makubwa lakini wapi . Inaonekana zamani ulikuwa unakitembeza sana ukawa unapata mimba na kutoa sasa saizi mimi ahangsika na wewe debe tupu.
Ibra aliongea maneno makali sana lakini safari hii Clara hakutoa chizi lake akicheka .
” Asante baba ubarikiwe.
” Na nitahakikisha sana na siku sio nyingi utasikia naitwa baba , nanunua pempas kwa sana.
Clara alienda chumbani akabadili nguo zake na kuondoka .
” Wewe unaenda wapi, umemaliza kufanya usafi?
” Mimi sio house girl wako wamchukie huyo mama wa mtoto wako mtarajiwa aje akusafishie.
Clara alibamiza mlango na kuondoka.
Alienda karibu na fukwe kwaajili ya kujiuliza , sio kwamba maneno ya Ibra hayakumuuma ila alijikaza tu.
Alikaa kwenye mchanga huku akiwa anachora choma na kuandika kwenye mchanga huku upepo mwanana wa bahari ukimpepea.
Mara Masu alifika na kukaa pembeni yake.
Clara alimuangalia na Masu akaachia tabasamu. Clara alitoa tabasamu dogo , akaangalia chini na kuongea kwa upole.
” Ilikuwaje kama nipo hapa?
” Unalia tena? Nikupeleke ukapande ndege ukale pizza na bagga.
” Silii ila kaniumiza tena kama kawaida yake. Sijui kwanini ananichukulia kama mtu nisiejiweza kwa chochote yani mimi bila yeye sio kitu. Clara hakuongea kama anataka faraja kutoka kwa Masu bali aliongea mwenyewe ili moyo wake upoe. Masu alimsogelea karibu na kumshika kiganja cha mkono huku akipapasa. Clara alimuangalia usoni huku machozi yakimtoka, Masu alimuonyesha kifuani akiwa na maana ajikaze kifuani kwake . Clara aliachia tabasamu
” Asante Masu lakini siwezi nitashangaa watu.
Masu alinyanyuka na kujikunguta michanga kisha akaondoka huku akikimbia.
Clara alimuangalia na huku akicheka na kusema.
” Yani anapenda kukimbia sijui alikuwa mwana riadha.
Akiendelea kukaa pale ufukweni mpaka jua lilipoanza Kutana aliondoka na kurudi nyumbani kwake.
Ilipofika usiku Mida ya saa mbili mlango uligongwa. Moja kwa moja Clara alikua atakuwa ni Ibra .
” Najua ni yeye safari hii sikubali msamaha wake kirahisi.
Alinyanyuka na kwenda kufungua mlango. Alifungua mlango na kuona mtu anaondoka .
” Masu? Clara alitoka haraka na kumfuata , ni kweli alikuwa Masu.
” Masu… Aliita na Masu akageuka kumuangalia.
” Umejuaje ninapokaa?
” Twende.
” Wapi.
” Kwangu.
Clara alimuangalia na kutabasamu kisha akamshika mkono na kurudi nae nyumbani kwake.
SEHEMU YA 8
Waliingia ndani na Clara akafunga mlango . Walienda kukaa kwenye kochi .
” Subiri nakuja.
Clara alienda kuchukua sahani na hotpot ya chakula akampakulia Masu nae akajipakulia kwenye sahani yake wakaanza kula pamoja huku kukiwa kimnya, Masu alikuwa katulia anakula.
Baada ya kumaliza kula Clara alisimama na kwenda kumshika mkono wakaenda bafuni.
” Nataka kukuogesha. Alianza kumvua nguo zake zilizokuwa zimechsnika na suruali iliyokuwa imefungwa kwa kamba ya Manila . Alimaliza kumtoa nguo zote na kuanza kumuonesha , Masu alisimama akiwa anamuangalia tu jinsi Clara alivyokuwa akitaka sabuni ya kunukia kwenye mwili wake. Alimmwagia maji huku nae nguo yake ikiwa imelowana kwa maji . Masu alishindwa kujizuia alimshika na kumalizana nae pale pale bafuni baada ya hapo walipiga tena pamoja na kwenda kumalizia mchezo kitandani.
Usiku ule walilala usingizi mzito sana kutokana na uchovu .
Kulipokucha asubuhi waliambiwa na simu ya Clara iliyokuwa inaita. Clara aliangalia alikuwa ni Ibra.
” Huyu nae anataka. Alisema Clara na kusogeza pembeni ile simu. Simu iliita mpaka ikakata, baada ya sekunde iliingia messege.
” Njoo ufungue mlango. Clara alisima na kukaa na muda huo huo mlango ukaanza kugongwa na Masu akakurupuka na kukaa wakati huo Clara alikuwa na wasiwasi.
” Tulia Masu huyo ni Ibra. Clara alihangaika kutafuta sehemu ya kumficha Masu wakati Masu alikuwa alivaa nguo zake.
” Na kuweka wapi sasa, hii itakuwa aibu ya mwaka.
Alimvutia nyuma ya pazia la dirisha na kuweka vizuri kisha akatoka kwenda kufungua mlango.
” Vipi mbona umechelewa kufungua mlango, ulikuwa na nani huku ndani? Aliuliza Ibra . Clara alishituka lakini hakuwa na budi kujikaza.
” Mtu ? Mtu gani huyo unaemzungumzia?
Ibra hakujibu aliingia ndani na kuanza kukagua.
Clara alizidi kuwa na wasiwasi alijua amekwisha siri yake na Masu inaenda kufichuka.
” Unanisumbua bure hakuna mtu huko.
” Kipi iilichokufanya uchekewe kuja kufungua?
” Kwani wewe umefuata nini kwangu ?
” Swali gani la kijinga unaniuliza?
” Ibra mimi na wewe hatuwezani , sina uwezo wa kuzalisha na sitaki kuendelea kuishi kwenye masimango.
” Kwahiyo unataka kusema?
” Tuachane tu.
Ibra alimuangalia usoni na kuanza kucheka kwa dharau.
” Wewe leo hii unaniambia maneno kama hayo?hukimbilia wapi umetoka? Umesahau kuwa mimi ndio tegemeo lako hapa mjini .umetoka kituo cha watoto yatima ukiwa huna mbele wala nyuma nikakupokea na kulitafutia kazi, hii nyumba niznayoishi nalipoa kodi mimi yani kwa asilimia kubwa maisha yako nayaendesha mimi sasa ukiniacha utaishije?
” Nitaishi kwa neema za Mungu na hiki kidogo ninachokiwaza kitanitosha.
” Sawa ila acha nikwambie kitu, siku nikikutana na mwanaume mwingine nitakachofanya itasimulia wajukuu zako.
” Kwahiyo unanitisha?
Wakiwa wanaendelea kuongea wakasikia kitu kimeanguka huko chumbani .
” Kuna nini huko? Ibra aliuliza na Clara alibaki katoa macho .
” Mungu wangu Masu kaharibu. Alijisemea.
Ibra alitaka wenda chumbani Clara akawahi kusimama mlangoni.
” Huku chumbani unafuata nini, chumba changu hakikuhusu.
” Mpuuzi wewe hebu nipishe na nilikuta kuna mwanaume mauwa mtu , anatoka maiti huko ndani. Ibra alimsukuma na kuingia ndani na Clara akamfuata nyuma.
” Huyo malaya mwenzio umemficha wapi?
Clara alikuwa anatetemeka huku jasho likimtoka kama kamwagiwa maji .
SEHEMU YA 9
” Ibra hivi huniamini? Kwanini una kudhalilisha hivyo.
” Nimemwambia kaa kimnya niachie nifanye ninachojisikia kufanya.aliongea Ibra kwa ukali.
Ibra alisogea karibu kabisa na dirisha hapo ndipo hali ilizidi kuwa mbaya kwa Clara.
Hatimae alifunua pazia la dirisha lakini hakukuwa na mtu .
Clara alicheka kwa nguvu na kujisemea
” Hayupo atakuwa kaenda wapi?
Alipojaribu kuangaza macho alihisi labda yupo pale ndani kujificha sehemu nyingine ndipo akaona dirisha la upande wa pili wa chumba kipo wazi. lilikuwa dirisha la alminium na nyavu na halikuwa chuma wala kizuizi cha kuzuia mtu ashindwe kupita.
Clara alijikuta akitabasamu kwa ushindi.
” Si umeona hakuna mtu.
” Ni nani kaangusha hii grass?
” Dirisha kipo wazi itakuwa ni paka.
Kesi iliishia hapo na kila kitu kikawa sawa.
Ilipofika jioni Clara alikuwa maeneo ya sokoni alienda kufanya manunuzi ya vitu vyake .
Akiwa anatembea alihisi kuna mtu anamfuata nyuma ,alipogeuka kuangalia alimuona Masu akiwa kavalia shati jeupe ukiyofubaa iliyokuwa umechanika pembeni na suruali ya damu ya mzee aliyofunga kwa kamba. Shingoni alipitisha kamba iliyofungwa na vikopo viwili na mikono yake ilikuwa mfukoni.
” Ulikuwa unanifuata?
” Muangalie nimependeza leo nilienda kanisani.
Clara akaanza kucheka .
” Umependeza.
Masu hakusema kiti alimsogelea na kuutoa mkoba kwa Clara na kuu beba.
” Nipo hapa nitabeba.
Watu waliokuwepo karibu walicheka .
” Daaaaa huyu kichaa ana kahaba .
Clara alikuwa akitabasamu tu.
Walizunguka pamoja sokoni huku Masu akiwa kabeba mizigo ya Clara , watu walimuangalia Clara na wengine walihoji
” Wewe una moyo humuigopi huyo kichaa.
” Hana madhara.
” Mmmmh basi damu zenu zimeenda na kuna siku alimpiga kijana mmoja.
Baada ya kufanya manunuzi Clara alimpa Masu mfuko wa matunda kisha akaondoka na kumuacha maeneo ya sokoni.
Masu alienda kukaa pembeni ya barabara na kuanza kula yake matunda.
Siku zilienda huku
Clara akiendelea kukutana na masumbuko kwa kificho.
Lakini kama kawaida dunia haina siri, tetesi zilianza kusambaa huko mitaani kuwa kuna binti ana uhusiano wa kimapenzi na kichaa Masu.
Siku hiyo Mishi na Clara walikuwa wamekaa sehemu na Masu Akapita akiwa kavaa sketi.
Mishi alicheka .
” Hii sasa mpya ya mwaka , unamuona Masu?
Clara aliangalia haraka kisha akacheka na kutingisha kichwa.
” Harafu kuna tetesi huko mtaani kuwa kuna mwanamke ana uhusiano wa kimapenzi na Masu.
Clara alikuwa anakunywa soda alipaliwa na kujibiwa sana.
” Vipi wewe?
” Hamna. Alijibu Clara na kuendelea kukohoa.
” Clara mbona hana umeshituka ?
” Hapana , sasa kwanini nishituke?
” Isije ikawa ni wewe Clara.
” Achana na mimi.
” Nina wasiwasi kuna kitu kinaendelea.
” Naomba tuachane na hizo mada.
” Sawa mrs Masumbuko.
Mishi alimtabia lakini Clara hakuonyesha kujali.
Baada ya kuachana kila mmoja alielekea nyumbani kwake .
Clara alikuwa amejilaza kitandani kwake huku akiwa na mawazo .
” Inamaana watu watakuwa hawajaniona au ndio Mishi ananificha hataki kunitaka moja kwa moja?
Vipi kama habari zikimfikua Ibra na watu wengine ninao heshimiana nao?
Mmmmmmmh….. Clara alishusha pumzi ndefu kisha akasema.
” Potelea mbali wacha wajue . Siwezi kuacha Masu ndio starehe yangu na burudani yangu na kama ningekuwa na uwezo nimeondoka na kwenda kukaa nae mbali sana.
Clara anaamua maamuzi magumu penzi la kichaa Masu limeisha kuvuruga akili yake hasikii wala haoni.
SEHEMU YA 10
Clara aliamua kutulia kwa muda ili kusikiliza maneno ya watu .
Baada ya siku kadhaa kupita, Clara aliamua kwenda tena kwenye jumba la Masu kama kawaida yake ilikuwa ni usiku na safari hii aliamua kujificha sura yake kwa kuvaa nikabu.
Lakini siku hiyo mazingira yalikuwa tofauti kulikuwa kimetumia sana na hata ule mwanga hafifu wa tochi haukuwepo.
Clara alijikaza alipiga hatua mpaka karibu na mlangoni kisha akawasha tochi ya simu yake na kuingia ndani.
Alizunguka huku na kule, akiita kwa sauti ya chini,
“Masu… Masu uko wapi?”
Hakukuwa na jibu. Mara akajikwas kwenye tofali na kuanguka chini . Alipokuwa akanyanyuka aliona ndani kwenye yale maboksi aliyokuwa analia Masu.
Clara alishituka na moyo wake ulidunda kwa kasi.
” Mungu wangu.
Alitoka haraka huku moyo wake ukiwa na wasiwasi sana .alifika sehemu akasimama na kujikuta machozi yakimtoka kwa hofu.
” Masu kafanya nini? Wamefanya nini Masu?
Usiku ule ulikuwa mgumu sana kwake .
Siku ilipita tena karibu na lile jumba huku akiangalia kwa mbali . Alienda sokoni na sehemu mbalimbali alizokuwa alipendelea kuwepo nasi lakini hakufanikiwa kumuona wala kusikia habari zake.
Hilo swala lilimfanya awe mnyonge sana na kuhisi homa kabisa.
Hatimae wiki mbili zikipita ba Clara alizidi kunyongonyea.
Mishi, rafiki yake wa karibu alimbwmbeleza sana ili ajue shida ni nini lakini Clara bado hakuwa muwazi.
Siku moja Mishi aliingia ofisini kwa Clara bila hodi akamkuta Clara ameinamia mezani, kalamu ikiwa imeshikiliwa mkononi.
Alisogea karibu yake na ku kumuita.
“Clara… ,
Clara alinyanyua kichwa kumuangalia
“wewe siku hizi unatatizo gani?
“Hapana, nipo sawa,” alijibu kwa sauti ya chini
“Sio kweli, siku zote nimekuwa nikijubembekeza sana lakini huongei ila leo utaniambia tu la sivyo nitakutafutia watu wazima waongee na wewe.
” Tuachane na hizo mada. Leo mchana tunaenda kula wapi?
Clara alijaribu kubadilisha mada, lakini Mishi alimkazia macho.
” Wewe usijifanye mtoto nataka tuweke sawa kwenye hili swala.
Baada ya Moshi kumbana sana machozi yakaanza kumtoka Clara.
“Mishi nitakwambia kitu, lakini usinicheke.
“Sitacheka, sema tu. Alisema Mishi huku akikaa vizuri
Clara akavuta pumzi ndefu kisha akasema kwa sauti ya chini “Nilikuwa na uhusiano na Masu.”
Mishi alishtuka, macho yalimtoka.
“Masu? Yule… yule kichaa?
Clara alitikisa kichwa, “Ndio nampenda, Mishi sijui nilianza vipi, sijui kwa nini niliamua kumuweka mtu kama yeye ndani ya moyo wangu. Mishi moyo wangu uko kwake.
Mishi aliduwaaa kwa kumtolea macho hakuwa na lakisema , hakujua aanzie wapi kuongea.
“Sasa simuoni tena, sijui aliko nimefika mpaka kwenye lile jumba lake alilokuwa akiishi lakini hayupo, sijamuona , inaniuma sana.
Mishi aliendelea kukaa kimya kwa muda, alimuangalia rafiki yake ambae alikuwa akilia kwa huzuni.
Hakuamini, lakini aliweza kuona wazi upendo wa kweli uliokuwa ukimsumbua Clara.
upendo ambao haujali sura, akili, wala sifa za mtu, bali ni upendo kutoka moyoni.
“Clara….Mishi alimuita kwa upole na Clara akamuangalia usoni
“Labda Masu karudi kwao, au ndugu zake amemchukua kwaajili ya kumpeleka hospitali.
” Sidhani nilikuta damu nyingi sehemu aliyokuwa ana lala.
Mishi alizidi kushituka.
” Ulifika mpaka kwake?
” Ndio, ilinibidi niende. Nina wasiwasi atakuwa kapatwa na jambo baya.
” Futa hizo dhana , nitakusaidia kumtafuta.
Clara alinyanyua kichwa, akamusnfakua rafiki yake.
“Unadhani tutampata?
“Tutampata, hata kama hatutampata basi lazima tupate taarifa zake. Mishi alijibu kwa msisitizo.
” Sawa.
Clara aliitikia kumridhisha rafiki yake lakini ndani ya moyo wake alihisia kwamba Masu atakuwa kwenye hali mbaya na anahitaji msaada.
Mishi alimsogelea karibu na kumkumbatia.
” Usiwe na hofu kipenzi nipo pamoja na wewe.
” Asante.
Wakivunja kumbatio Clara akamuangalia usoni na kusema.
” Mishi ndugu yangu naomba unistiri kwa hili najua ni aibu kubwa sana ila moyo wangu ndio umeshapenda .
Mishi alikuwa kwenye hali ya sitofahamu lakini akauliza.
” Clara unaweza kunipa siri ya wewe kumpenda yule kichaa ambae hana hata hadhi ya kuwa na wewe binti mrembo?
INAENDELEA

