JOIN US WHATSAPP
CLICK HERE
JOIN US TELEGRAM
CLICK HERE
“NASHANGAA INAKUWAJE KUNA WANAUME WANARIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA” – MWANAHABARI AHOJI
Mwanahabari Andrew Kibe kwa mara nyingine amezua mjadala mtandaoni baada ya kuhoji ni kwa nini baadhi ya wanaume huchagua kuwa na mwanamke mmoja pekee maishani mwao.
Andrew Kibe: Nashangaa jinsi baadhi ya wanaume wanaridhika na mwanamke mmoja tu
Katika chapisho lililoshirikiwa kwenye X mnamo Ijumaa, Februari 27, 2026, Kibe alisema haelewi jinsi baadhi ya wanaume wanahisi kuridhika kuwa na mpenzi mmoja pekee. Kauli yake ilionekana kuashiria kwamba anaunga mkono wazo la mwanamume mmoja kuwa na wanawake zaidi ya mmoja.
“Nashangaa jinsi baadhi ya wanaume wanaridhika na mwanamke mmoja,” Kibe aliandika.
Chanzo: KENYAPAGE

