MSITU WA SHULE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 1
Mwaka 1975 ilijengwa Shule ya msingi kijiji cha igegu, Shule ilipojengwa Watoto waliandishishwa ili kujipatia Elimu katika Shule hiyo, Wazazi walipeleka shule watoto wao kila mwaka, Eneo la Shule hiyo lilikuwa kubwa mno kiasi kwamba, hadi msitu uliyokuwa kalibu na Shule. Ukawa ni mali ya selikani, Lakini kabla msitu hujamilikiwa na Selikali
“Alikuwepo mzee mmoja aliyekuwa akiumiliki msitu huo, Mzee huyo aliye julikana kwa jina la Nige yeye alikuwa mhamiaji tu katika kijiji hata nchini yeye alikuwa mnigeria,
mzee Nige, ndiye aliyeutengeneza msitu kwa kipindi kilefu sababu alikuwa anaotesha miti kila siku hatimae ukawa msitu yeye pekee ndiye alikuwa anaingia msituni poli kubwa,
Hakuna mtu mwingine alisubutu kwenda kuingia mle msituni, sababu msitu ulikuwa unatisha usiku na mchana, yani Heli ukapotee kwenye msitu wa jeshi kuliko kupotea kwenye msitu wa mzee Nige,
Wakati Shule inajenywa Mzee Nige akafatiki,
” Sababu hakuwa na ndugu yoyote mkoani huko Eneo lile la msitu pamoja na maeneo mengine yaka chukuliwa na Selikani, Baada ya mzee Nige kufariki msitu ukawa mwepesi Wanafunzi wakawa wanaingia kufyeka majani na kukata baadhi ya mti ilikuuweka Hali ya usafi,
Ebwane Baada ya Miaka mitano msitu Hakuogopeka Tena pia ulianza kupungua,
Siku moja Mwalimu Wa Hesabu aliingia kufundisha katika Darasa la Tano, Mwalimu aliwapa maswali matano wanafunzi wake, kisha akasubiri majibu kila mwanafunzi alipaswa kujaza majibu sahihi kwenye buku lake,
wanafunzi aliwapa dakika 15 za kujaza majibu, ilipofika Monita wa darasa alikusanya mabuku yote, Harafu akayapeleka kwa Mwalimu,
“Wakati Mwalimu anasahihisha akagundua kwamba wanafunzi wengi wamekosa Ndipo akamuita msichana, mmoja,
Anita Nenda nje ukanile fimbo Tatu,
Mwalimu alisema hivyo baada ya mwanafunzi Anita kufika pale,
Sawa Mwalimu, Anita akajibu harafu akatoka nje, Anita alienda moja kwa moja msituni, alifika akakata fimbo zote tatu Lakini alipotaka kiondoka Mara Ghafla akaitwa Anita aligeuka na kutazama sauti ilipotokea, Anita hakuamini macho yake, baada ya kumuona kijana mzuri anevalia Suti nyeusi ambazo zilimpezesha zaidi”
Sio sir Anita alipagawa na uzuri ya yule kijana,
Anita njoo” Kijana akamuita tena kwa Mara ya pili,
Hapo ndipo Anita akazitupa fimbo alizoagizwa na Mwalimu wa darasa, harafu akasogea kalibu Na kijana yule.
Kisha Anita akamuuliza
Kwani Wewe Ni nani umetokea wapi, mbona ni mgeni kwenye macho yangu
na jina langu umelijuaje ,,,
SEHEMU YA 2
Anita alimuuliza maswali mfululizo kwa yule kijana aliye mbele yake,
Anita mrembo majibu ya maswali yako yapo ila Siwezi kukujibu hapa sio sehemu nzuri kwa upande wangu, Tafathali nakuomba Tuingie Msituni Nikakujibu Maswali yako yote
harafu baada ya hapo Utarudi Darasani,
Mmmh Aku mimi siwezi kuingia huko Naogopa kwanza wewe ni mwanaume na Mimi mwanamke kinaweza kutokea kitu cha tofauti,
nijibu hapa hapa kama huwezi Mimi Naenda Darasani,
Anita mtoto mzuri hebu njoo mama usikatae Nitakupa pesa nyingi,
kiasi gani cha fedha utakacho nipa wewe muongo tu, Anita akauliza kwa Shauku baada ya kusikia neno Pesa,
Nitakupa Eluf moja ya kitanzania,
Mmmh Nipe kwanza niione,
Baada ya kusema hivyo Anita akapewa Hiyo pesa eluf moja Kipindi hiko eluf moja ilikuwa na zamani kubwa mno yani ukipata eluf moja samani yake sawa na Laki moja ya mwaka 2019
“ukizingatia kule ilikuwa ni kijijini msichana mwenye Umuli chini ya miaka 22 kumiliki pesa kama hiyo sio jambo rahisi,
Baada ya kupokea hiyo Eluf moja Anita alipagawa kwa furaha bila uwoga akakubali kuambatana na yule kijana kuingia msituni Walitokemea hadi wakafika Sehemu mmoja kulikuwa na miti mitano mikubwa mno, Harafu katikati ya hiyo miti kulikuwa na Nyumba ya wasitani tu ilikuwa nzuri hakuna mfano,
Anita hapa ndipo nyumbani kwangu kalibu Ndani,
Kijana yule alimkalibisha Anita kwa wakati huo Anita anashangaa tu hakuwahi kuona nyumba nzuri kiasi hiko toka azaliwe,
Nyumba ile ilikuwa yakisasa Taa za nyumba ile zilikuwa zinawaka saa zote, kusta sita Anita alikubali kuingia ndani kwa mwanaume Yule,
Eeebwanee, kilicho tokea
” Kwa upande wa pili mwalimu Wa Somo la hisabati Aliyemuagiza fimbo mwanafunzi Anita mda mlefu ulipita Anita hajarejea kuleta fimbo, mwalimu Akaona bora amuagize mwanafunzi Mwingine,
Nuru Paulo, hebu nenda ukaniletee fimbo haraka iwezekanavyo,
harafu ukimuona Anita mwambie Azabu yake inamsubiri fanya haraka,
Baada ya kuambiwa hivyo Msichana mtana Shati na mrembo Nuru Paulo, alitoka mbio hadi akafika kule msituni ambapo wanapenda kukata fimbo wakiagizwa na walimu wao,
Baada ya Nuru kufika msituni, Mara Ghafla alipatwa na mshangao mkubwa baada kumuona Anita Anatokea Msituni Akiwa ameambatana na kijana mwenye sura nzuri ya mvuto kama Malaika Hakuwahi kumuona katika maisha yake, Nuru, akajiuliza Hivi naota au ni macho yangu Mwanaume mzuri kiasi hiki Ametokea wapi hapa kijijini kwetu,
” kwakuwa wao walikuwa bado hawajamuona Nuru alifanya hakiri akajificha Kwenye kichaka Harafu akaanza kuwachungulia”
Anita na yule kijana walifika mpaka kalibu na alipojificha Nuru,
Sasa Wakasimama hapo kisha wakaanza kuagana,
Anita chukua hizi fimbo mpelekee mwalimu wako Najua amekasilika sana kwa sababu umechelewa ila utakapo mpa hizi fimbo atasahau kama ulichelewa, ataendelea na shughuli zake zingine
Mmmh inamaana hata niazibu kwa kusa la kuchelewesha fimbo,
Ndiyo Anita wewe nenda bira wasiwasi wowote niamini Mimi,
Sawa ngoja niende ila nyumbani kwako pazuri jamani nimepapenda natamani nije tena siku nyingine,
Harafu nimesahau jina lako hebu niambie tena,
Mimi Naitwa Bellamy Nige,
Ok Bellamy Wacha Mimi niende,
bay Anita alimuaga kijana mwenye uzuri wa ajabu Baada ya Anita kuondoka Huku nyumbani kijana Bellamy, Aligeuza akaanza kurudi kwenye makazi yake
Kijana Bellamy Alikuwa na malengo yake katika Shule iliyopo kalibu na msitu
Badae utamuelewa tu,
Nani Sasa nimfatilie Sijui nimfate huyu kijana nikajue anakaa wapi Au Ngoja Nimfatilie Anita nikaone kama ni kweli mwalimu atasahau kumwazibu baada ya kushika hizo fimbo, Nuru alijishauli hivyo kisha akatoka kwenye kichaka alipokuwa amejificha Harafu akaanza kufata Anita mpaka Wakafika Darasani Mwalimu alipomuona Anita ameingia kwanza akanyanyuka kwenye kiti Huku anamtazama Anita kwa macho makali Mno,
Anita Nipe hizo fimbo Harafu uniambie ulikuwa wapi Mwalimu alisema kwa hasira huku ananyosha mkono kuzipokea fimbo tano alizoleta Anita kutoka msituni, Wakati Huo Nuru alikuwa Amekodoa macho anatazama kwa Shauku aone kitakacho tokea
Kwa Uoga Anita Alimpa fimbo mwalimu huku mikono yake inatetemeka,,,,
SEHEMU YA 3
Mwalimu alizipokea fimbo akazikamata katika mkono wake wa kulia,
Sasa Mara baada ya kuzikamata Tu Mwalimu alibaki Amesimama vile vile Huku akionekana kama Anaongea na mtu maana mdomo wake ulikuwa unacheza cheza kwa mda wa dakika 1
“Wanafunzi Nao walikuwa kimiya huku wanamtazama Mwalimu wao,
Anita asante sana umeleta fimbo Nzuri kwasababu nimezipenda, wewe Sitakuazibu sababu umenifurahisha Nenda ukakae Sehemu yako usubiri majibu ya jalibio Langu hisabati,
Mwalimu, alimwambia hivyo Anita,
Mara tu baada ya kuzikama hizo fimbo ambazo ameletewa, hasia zilipotea,
Asante Mwalimu Anita alisema kwa kushukuru Kisha Akaenda kukaa katika Sehemu yake”
Mmmh Nilicho kisikia na ninacho kiona Ni ukweli inamaana yule kijana wa maajabu Nuru paulo alijiambia hivyo baada kujionea mwenyewe
“Anita anaruhusiwa kwenda kukaa bila kuazibiwa,
“Mwalimu alimaliza zoezi la kusahihisha mabuku ya Wanafunzi, Alianza kuwaita mmoja baada ya mwengine
kila mwanafunzi aliye fanya vizuri Hakuazibiwa”
lakini kwa wale mbumbumbu kama Mimi ” yani ambao hawakufanya vizuri” Walitandikwa fimbo iliwaongeze juhudu za kusoma Zaidi”
Sasa Anita yeye Hakufanya vizuri Lakini hakuazibiwa ila aliwekewa alama ya
Katika pepa aliyo andika”
Baada ya Mwalimu kumaliza azabu kipindi chake kikaisha akaondoka zake” ” Darasani wakabaki wana funzi kama kawaida yao Walianza kupiga makelele. Hii Tabiya ipo katika shule zote
mwalimu anapo toka darasani Wanafunzi huanza kupiga kelele,
“Wakati huo Anita alikuwa ametulia Tuli pamoja na kwamba yeye ndiye mwengeaji sana katika darasa lakini kwa mda huo alikuwa kimiya huku Anamfikilia kijana Bellamy aliye kutana nae msituni,
jamani mbona nimetokea kumpenda huyu kijana kichwani kwangu anetawala yeyetu Mmmh imekuaje Mwalimu ameshinwa kunipiga” Anita alijiuliza lakini akakoso jibu,
Mawazo yalipo mzidi sana akaamua kutoka nje ya Darasa harafu akaanza kwenda msituni kumtazama kijana Bellamy,
“Wakati Anita anaelekea huko Msituni Huku nyuma Mwalimu mwingine aliyekuwa anafundisha English aliingia kufundisha kwenye darasa analosoma Anita, Mwalimu alikuwa anaitwa Mwalimu Nzonzy,
Baada ya kuamkiwa na Wanafunzi aliandika kichwa cha somo kwenye ubao mweusi akitumia chaki katika kuandika,
Mwalimu Nzonzy” Naomba ruhusa niende chooni, Nuru paulo alisogea kwa Mwalimu Nzonzy, kisha akamuomba Ruhusa ya kwenda Chooni,
Nenda ila usichelewa kurudi,
Mwalimu Nzonzy, alimuruhusu,
Kumbe Nuru alimdanganya Mwalimu “wala alikuwa haendi chooni alikuwa anakwenda kumfatilia Anita, Nuru Nae alienda hadi Msituni alifika akaanza kuangaza huku na kule lakini hakumuona Anita Wakati bado anashangaa Mara Ghafla akaitwa,,
Nuru, Mrembo unamtafuta nani mbona unahangaika Sana, Nuru alishitushwa na hiyo sauti nzuri iliyokuwa inatokea juu na mti mkubwa, Nuru akatazama juu Akamuona Kijana Bellamy amekaa kwenye tawi la mti,
Nimeagizwa na Mwalimu Nije kumfata Anita maana nimemuona amekuja Huku,
Nuru akajibu,
Anita Umepishana nae amesha rudi darasani nahisi sasa hivi anesha kwa kwenye dawati anamsikiliza Mwalimu nzonzy anacho fundisha,
Bellamy alijibu huku Anatemka chini kutoka mtini,
mmmh Wewe Umejue kama mwalimu Nzonzy anafundisha Darasani kwetu,
Harafu mimi Sikujui Wewe Naomba uniambie umetokea wapi maana Sijawahi kukuona ndiyo Mara yangu ya kwanza, Nuru alimuiliza Bellamy
Hata Anita alikuja akaniuliza hivyo nikamwambia kama unataka kujua nimetokea wapi Twende msituni zaidi nikakwambie yeye alikubali tukaenda nikamwambia
” Hata wewe Kama unataka kujua Twende Msituni,
“Nuru alikuwa amedata mno na sura ya kijana Bellamy Hakuwa Na Jeuli ya kukataa, ila alikuwa anajibabailsha tu,
Mmmmh Mimi naogopa bwana kuingizwa msituni na mwanaume Sijawahi,Harafu sijazowea
Nuru usiogope Mimi ndiyo king
wa huu msitu nitakulinda, Hauta zulika na chochote”
basi haya Twende ila usimicheleweshe, masomo yatanipita Nuru alisema Hivo, Harafu wakambatana na kijana Bellamy Kuzama msituni mpaka wakafika kwenye makazi ya Bellamy Wakaingia Ndani, Mara Baada ya kuingi tu Nuru akapatwa na mshituko mkubwa Baada ya kumuona,,,
INAENDELEA

