BOSS USIINGIZE YOTE INAUMA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 1
“Mamkubwa unasema kweli?
“Ndio kipenzi jiandae utakuja kuchukuliwa kesho mapema, unaenda mjini na utakuwa huko ukifanya kazi vizuri, sawa kipenzi?
“Sawa mamkubwa nakuahidi kuwa nitafanya vizuri, na nitawatumia hela na vitu vizuri kutoka dar”
“Haya sasa ndio ujue kuwa tunakutegemea wewe tuu, siunaona maisha yetu yalivyo mwanangu, na ndugu zako wote hawa nenda ujue kuwa wanakutegemea wewe, na usituangushe sawa?
“Sawa mamkubwa sitowaangusha, hiyo ni ahadi yangu kwenu, nitafanya chochote kuhakikisha siwaangushi, kwani ninakumbuka vizuri kabisa nilipo toka na maisha niliyoyaishi, tulipopata tulikula pamoja na tulipokosa tulilala na njaaa, hata mama yangu mzazi alipoteza maisha kwa kukosa matibabu, kisa hatukuwa na uwezo wakumpeleka hospital, inaniuma sana mamkubwa leo hii mimi sina mama kutokana na kukosa pesa, nimeamini kuwa kukosa pesa ni kubaya sana mamkubwa, hivyo nitajituma sana”
“Haya nafurahi kujua kuwa umejifunza kitu hivyo hautotuangusha, haya sasa nenda ukalale kwani kesho mapema sana yule dada atakuja kukuchukua, na upange na nguo zako kabla hujalala sawa?
“Sawa mamkubwa”
Niliingia chumbani kwetu tunapo lala mimi na wenzangu, kiukweli nilisha komaa kutokana na niliyo pitia katika maisha niliyoyaishi, ninamiaka kumi na sita mwezi wa saba natimiza kumi na saba kamili, ni mtoto wa pekee kwa mamaangu mzazi aliefariki baada ya kukosa matibabu, aliumwa gafla na tukampoteza hatukuwa na pesa za kumlipia huduma, niliumia sana kiukweli sitosahau hili maishani mwangu, kwasasa ninalelewa na mamaangu mkubwa ambae ndio mbadala wa mama, yeye pia anawatoto wanne wakiume watatu mmoja wakike ambaye nimdogo, alipoona kuwa maisha hayaendi kila wanavyo jitahidi ndio akaamua kunitafutia kazi mimi, ni kazi yakwenda kumlea mtoto mdogo huko mjini, babayangu alivyompa mimba mama yangu alikimbia na kumuacha, japo familia yake ipo hapa kijijini kwetu ila ilinikana hawanitambui, nami ninaishi kama siwatambui pia, nilipanga nguo zangu vizuri kabisa na kisha nilipanda kitandani nikalala, hatimae alfajiri ilifika na mamkubwa alikuja chumbani kwatu akaniamsha, na kisha aliniambia:
“Haya sasa inuka na ujiandae yule mdada yupo hapa anakungoja sawa?
“Sawa mamkubwa”
Niliinuka na kuchukua nguo zangu nilizokuwa nimeziandaa kisha nikavaa, kulikuwa na baridi sana ndio maana sikutaka hata kuoga, nilipo maliza nilipiga mswaki na kubeba mfuko wangu wa nguo nikiwa tayari kwa safari, yule mdada alimuaga mamkubwa kisha akaniambia mimi:
“Haya twende binti”
Nilimuaga mamkubwa na kisha tuliondoka ila niliondoka huku nikilia sana, kwani sijawahi kutengana nao tangu najitambua hivyo ilikuwa ngumu sana, kukubaliana naukweli japo nilikuwa nimeamua haswaa kwenda kutafuta kwaajili ya familia, yule mdada aliniambia;
“Jikaze tuu utazoea kwani maisha ndivyo yanavyotaka, siku moja utaungana nao tena usihofu kipenzi sawa?
Niliitikia kwa kichwa huku nikifuta machozi yangu, tulifika standi ya mabasi yule dada alikata ticket, na kisha tuliingia ndani ya basi tukakaa na kusubilia watu wajaze siti tuanze safari, ili chukua kama nusu saa tu watu kujaana baada ya hapo gari ikaanza kuondoka, kutoka Nzega kuelekea dar tulitoka hapo ilikuwa saa kumi na mbili alfajiri, hadi tunaingia dar ilikuwa saa tatu usiku, kusema ukweli nilikuwa nimechoka sana maana ndio mala yakwanza mimi kusafiri mwendo mrefu hivi, tuliposhuka stend ya mabasi mbezi kunagari ilikuja na kutupokea ilikuwa ni gari aina ya v8, tulichukuliwa hapo mbezi stend yamagufuri hadi maeneo ya mbezi beach, tulifika kwenye nyumba moja nzuri sana ilikuwa ni bonge la jumba ina gorofa mbili, ni nyumba ambazo tumezoea kuziona kwenye TV tu na kuona kwenye magazeti, nilibaki nikishangaa hadi gari inazama ndani baada ya kufunguliwa na mlinzi, kisha gari ilipofika sehemu ya kupaki ilipaki na kisha tulishuka kutoka kwenye gari, nilibaki nikishangaa mataa na uzuri wa nyumba hiyo, yule dada tuliekuja nae akaniambia:
“Umepaona hapa ndio utakuwa unafanya kazi humu ndani, nawewe utaishi humu vipi umepaonaje?
“Kweli naenda kuishi humu?
“Ndio”
“Mmh! Ninyumba nzuri sana”
“Haya sasa twende ndani”
Alinishika mkono na huku nikiwa nimeshika shangazi kaja langu, na chini nimevaa yebo na nilikuwa makini nikishangaa, tulipofika mlangoni aligonga mlango akaja mdada mmoja kufungua, kisha alitukalibisha ndani tukaingia hadi sebreni, kisha yule dada alienda kumtaarifu bosi wake kuwa kunawageni wamekuja, kisha akarudi na kutuletea juice yamatunda kilamtu grass yake, na kutuambia:
“Karibu boss anakuja kasema mumsubili”
“Sawa hakuna shida”
Alijibu yule dada alienileta hapo, na baada ya muda kidogo alikuja mbaba mmoja mrefu kiasi mweupe, ni smart kifuakipana kiasi ana body nzuri kifupi ni handsome, nimtu mzima kiasi alipofika yule dada nilie kuja nae akamsalimia hapo, na mimi pia nilimsalimia baada ya hapo akatuambia:
“Ndio mmeingia sasa hivi sio?
“Ndio”
“Hata chakula mtakuwa hamjala?
“Ndio hatujala bado bos”
“Ok sawa ngoja nimuambiie dada awaandalie chakula kabisa”
Kisha alienda na kumuambia dada, baada ya hapo alirudi na kumuuliza yule dada niliekuja nae:
“Haya niambie Jennifer”
“Boss nimemleta binti huyu hapa anaitwa camira ndio mara yake ya kwanza kuja dar, na nimtoto wa pekee kwa mamaake japo kuwa mamaake alifariki, ila anaishi na mama mkubwa wake ndio alienikabizi, ni binti mpole mwenye nidhamu na upendo”
“Ok karibu sana Camira mimi naitwa Mr Donald, ndio boss wako na nibaba wa mtoto mmoja anaitwa Henry, ambae ndio jukumu lako lililo kuleta hapa, natumai utalifanya vizuri sana sio Camira?
“Ndio”
“Haya Jennifer tuinukeni tusogee kwenye meza ya chakula kitakuwa tayari, karibu sana Camira”
“Asante”
Tuliinuka na kuelekea dining kwenye meza ya chakula, na tulipofika tulikaa na kuanza kula chakula pamoja na boss, kumbe nae alikuwa bado hajala tulikula pamoja, kusema ukweli nilikuwa naoga sana hata chakula sikukila kwa raha jioni hiyo, Mr Donald aka muambia yule dada alienileta:
“Ukisha maliza kula deleva yupo atakurudisha kwako, na kama kuna lolote utanijulisha, huyu binti amesha fika dada wa jikoni atamuonyesha chumba chake chakulala, kisha kesho ataonana na jukumu lake sawa?
“Sawa boss Donald”
“Haya muwe na usiku mwema mimi naenda chumbani kwangu, kuna bahasha hapo utaichukua Jennifer, by Camira”
“By
“Tutaendelea kufahamiana kipenzi sawa”
Boss Donald aliongea huku akiiinuka na kuelekea chumbani kwake baada ya kumaliza kula, nasisi tulisha maliza kula da Jennifer akaenda kuichukua bahasha yake na kuiweka kwenye pochi yake, kisha alimuita dada wa jikoni na kunikabidhi kwake, baada ya hapo aliniaga na kuniachia mawasiliano yake tu nikipata changa moto nimjulishe kisha akaondoka, yule mdada wa jikoni alinipeleka hadi kwenye chumba changu chakulala, akanionyesha kilakitu chumba nikikubwa kizuri kuna AC na ni master choo chake kina jacuzzi kinanukia vizuri mno, yaani nikama hotel alinionyesha mataulo na slips za bafuni sabuni na vitu vingine sivijui hata matumizi yake, baada ya hapo akaniuliza:
“Kama kunakitu kingine unahitaji?
“Hapana nipo sawa”
“Unaitwa nani?
“Naitwa Camira”
“Jisikie upo nyumbani Camira sawa?
“Sawa”
“Usiku mwema”
“Nakwako pia”
Kisha alifungua mlango na kuondoka niliingia bafuni nikawa nashangaa tuu sijui namna ya kuoga nitafanyaje, hakuna kopo ndoo sijui itakuwaje.
SEHEMU YA 2
Nilihangaika hapo nikagusa bomba la mvua niliogopa sana, lakini ndio nikajifunza maana kwetu nilipo toka mambo hayo sikuyaona kabisa, nilipoona yale maji yanavyotoka vizuri nikajisemea:
“Wacha nioge haya yanayotoka kama mvua”
Nilivua nguo chapu chapu na kuchukua sabuni niliyoonyeshwa kisha nikaanza kuoga, nilioga nikijisikia vizuri sana nililipenda hilo bomba kusema ukweli nilioga hapo muda mrefu sana, kisha nilichukua taulo na kujifuta maji na baada ya hapo nilivaa nguo nikapanda kitandani kulala, nilijitahidi kulala lakini ungenini usingizi kuja haraka sio rahisi, nilikuja kupitiwa usingizi muda ukiwa umeenda sana kama saa nane saa tisa hivi usiku, nilikuja kushtuka saa kumi na mbili alfajiri nikaamka, niliingia bafuni nikaosha uso wangu vizuri na kisha nilifungua mlango nikatoka chumbani, nilitembea nikiwa sielewi naenda wapi maana nyumba nikubwa yakifahari na mimi nimgeni bado sipajui, nilitembea kwa mbele huko nilikutanda na dada wa jikoni, akaniuliza:
“Camira habari yako umeamka salama?
“Nimeamka salama niko vizuri”
“Ok sawa twende huku sasa, maana uko unapokwenda ni chumbani kwa bos”
Nilishtuka na kumfuata huyo dada wa jikoni akaniambia:
“Camira mimi naitwa dada Merry sawa”
“Ok sawa”
Tulienda hadi jikoni aliniambia kuwa:
“Hapa ndio jikoni kipenzi karibu sana”
Nijiko zuri lina kila kitu cha kisasa nilibaki nikiwa nimetoa macho kwa kushangaa, kwani kusema ukweli sijawahi kuviona majiko ya gesi na umeme ma ovena vitu vingi vingi, dada Merry akaniambia:
“Usijali utavijua kilakitu”
“Sawa”
Kisha aliniambia nikae akaniandalia grass ya maziwa na kunipa ninywe, nikiwa hapo jikoni nakunywa yeye alikuwa akifanya kazi zake za kuandaa kifungua kinywa, alipika vitu vingi vitamu tamu hapo mimi majina sikuwa navijua ila alikuwa akinionjesha vyote, akaniambia:
“Camira unamiaka mingapi wewe?
“Nina miaka kumi na sita sasa”
“Kumbe, mbona haupo shule kipenzi”
“Sina ada dada Merry ndio maana nipo hapa kutafuta hela”
“Ok pole sana kipenzi, ila sijakuambia wewe ni mrembo sana, ungekuwa umesoma ungeenda kushiriki mashindano ya urembo, maana ulivyo mrefu mrembo na una kishepu cha kimiss, mpenzi wewe ni mrembo haswaa”
Nilitabasam tuu na kumjibu:
“Asante sana dada Merry”
Tukiwa tunapiga story zetu hapo jikoni mara tukasikia Merry akiitwa, dada Merry aliondoka haraka kwani alikuwa anaitwa na bosi Donald, alipofika huko aliambiwa aniite mimi niende ofisini kwake, hapo nyumbani kunachumba kimoja ni ofisi ya boss Donald, nikamuambia:
“Nisindikize dada Merry sipajui mimi”
Alinipeleka adi kwenye mrango wa ofisi na kisha akaniambia:
“Ni hapa gonga tuu”
“Sawa asante da Merry, lakini bosi sio mkali dada Merry”
“Sio mkali anaupendo na kujali ila ukifanya tofauti ndio mkorofi, na hapendi uongo ila ukimuomba msamaha hana shida kabisa, haya sasa usichelewe gonga sasa”
Kisha aliondoka dada Merry na kuniacha hapo mlangoni, nikavuta pumzi kisha nikagonga mlango, baada ya muda nilisikia:
“Ingia”
Nikanyonga kitasa na mlango ukafunguka kisha nikaingia, ilikuwa ni ofisi kubwa nzuri sana nilimkuta yupo bize na Laptop yake hapo mezani, nilipoingia nilimsalimia na kisha akaniambia:
“Karibu sana Camira”
“Asante,
“Vipi unafurahia kuwa hapa?
“Ndio nafurahia”
“Ok vizuri sasa baada ya kupata kifungua kinywa, Merry atakupatia nguo za kuvaa za ofisini sawa?
“Sawa boss”
“Haya nafurahi kuona umeamka saLama unaweza kwenda Merry akakupa nguo na viatu, kisha atakupeleka chumbani kwa Henry ukamtizame kama kaamka, na utapewa ratiba zake sawa Camira?
“Sawa boss”
“Haya nenda kwa Merry”
“Sawa”
Nilipo maliza niliondoka hapo ofisini na kwenda jikoni kwa Merry, nilipo mkuta nilimuambia nilicho ambiwa, na Merry alienda akaniletea nguo zangu sare za kazi pamoja na raba, akaniambia:
“Haya nenda ukabadili sasa na kisha nikusindikize chumbani kwa boss Henry”
Nikaenda chumbani kwangu na kubadili nguo nikavaa zile nguo za sare, kilikuwa kigauni kifupi na raba pamoja na sox, nikavivaa nilijitizama kwenye kioo hakika nilionekana mrembo sana, nahivi nina mguu mzuri achatuu, kisha nikatoka na kwenda alipokuwa Merry, habla sijafika jikoni nilikutana na boss Donald, huwezi amini aliganda kwa kuduwaa akinishangaa mimi, nilipata wasiwasi sana nilipo ona hivyo niliogopa na kujihisi uenda labda kunakitu hakipo sawa labda nimekosea kuvaa.
SEHEMU YA 3
Kisha alishtuka baada ya ufahamu wake wa akili ulipo mrejea, akaniambia:
“Camira umependeza sana”
Nikiwa naona aibu hata kumtizama nilijibu:
“Asante boss”
“Kama upo tayari twende nikakutambulishe kwa mtoto wangu Henry”
“Nipo tayari bos”
“Ok haya twende nifuate”
Nilimfuata hadi tulipofika kwenye mlango wa chumba cha Henry, na baada ya hapo boss akaniambia;
“Camira chumba hiki ndio chumba cha Henry”
“Ok sawa boss”
Kisha akanyonga kitasa na kufungua mlango baada ya hapo tuliingia wote, kilikuwa ni chumba kizuri mno kina kila kitu kwaajili ya mtoto, yaani matajiri bwana achatuu nilibaki nikiwa nimetoa macho tuu, sasa huyo Henry mwenyewe sasa nilijua anaweza kuwa anamiaka nane au saba, lakini ni mtoto wa mwaka mmoja wakiume tulimkuta akiwa bado kalala, aliniambia:
“Camira sogea umuone”
Nilisogea nikamuona nimzuri kama babaake, nikamuuliza:
“Samahani boss mamaake yupo wapi?
“Mamayake nimeshindwana naye nikamchukua mtoto wangu tu”
“Ok sawa hakuna shida boss, nitamlea vizuri sana nitamjali kuliko kitu chochote usihofu, utanipa orodha ya vitu anavyo penda na asivyopenda”
“Sawa, naomba nikuamini, kwani mtoto wangu ndio kila kitu changu Camira”
“Sawa boss”
Kisha alichukua kitabu kilichokuwa kina kilakitu cha kumuhusu mtoto, kilikuwa hapo hapo chumbani kwa Henry, nikapokea na kurudi kumtizama Henry alivyo lala, nikamgusa na kusema:
“Mtoto mzuri sana”
Mtoto nilipo mgusa aliihisi kuguswa akafumbua macho na kunitizama, boss Donald alikuwepo hapo pia alimpa tabasam mtoto na kujiandaa kumbeba, chaajabu mtoto alitabasam kuniona mimi na kunipa ishara anataka nimnyanyue mimi, hivyo niliweka kitabu pembeni nikamnyanyua alifurahi sana na kuniegemea begani kwangu kwa upendo mkubwa, hadi bos alishangaa na kusema:
“Ajabu mtoto ndio anakuona tuu kwa mara yakwanza anaonyesha kukupenda namna hii, Camira unamiaka mingapi wewe?
“Ninamiaka kumi na sita nakalibia kumi na saba boss”
“Una mdogowako?
“Lah ni mdogo wangu mtoto wa mamkubwa”
“Ok sawa, haya njoo huku bafuni kwake umuogeshe”
Alikuwa sambamba namimi ashuhudie labda mtoto akinikataa anisaidie, na aone je nitaweza kumuhudumia mtoto kwa uPendo, hivyo tulienda bafuni pamoja na kumvua nguo mtoto huku akinisaidia boss Donald, chaajabu ni kuwa mtoto alikuwa hamtaki babaake amguse, alikuwa akinililia mimi tuu hadi babaake alikuwa akicheka, kisha tulimuandalia maji ya uvugu vugu na kwenda kumuingiza humo kwenye kisink chake chakuongea, tulimuogesha kwa pamoja huku tukicheza nae, hadi nilijikuta najisahau kama huyu ni boss wangu, tulikuwa tuna mmwagia maji mimi na Henry, huku Henry akifurahia sana anacheka mno, nilipokuja kukumbuka kuwa ni boss nilishtuka na kumuambia:
“Samahani, samahani sana boss nisamehe”
Nilikuwa namuomba msamaha huku nikimfuta maji usoni na kitaulo kidogo cha mtoto, akanishika mkono aliganda akinitizama usoni huku akiwa kaushika mkono wangu, namimi nilibaki namshangaa nikijiuliza mbona kaganda ananishangaa kwani nina nini, mtoto akachapa maji yaka turukia wote machoni ndio ufahamu ukamrudia Mr Donald, akaniambia:
“Haya mtoe kwenye maji tayari kaisha maliza kuoga”
“Sawa boss”
Mr Donald aliinuka na kutoka kabisa chumbani kwa mtoto, na kutuacha mimi na Henry pekeetu, alienda moja kwa moja chumbani kwake na kukaa akijiuliza maswali mwenyewe:
“Ninatatizo gani mbona kama kunakitu kinanivuta kwa huyu bonti eeh!, alafu nikadogo sana ila nikarembo mno nashindwa kujicontroo sijui kwanini”
Aliongea mwenyewe huku akibadili shati siku ilikuwa ni ya mapumziko, ndio maana hakuwa ameenda ofisini kwake, mala nyingi siku za mapumziko hupenda kucheza na mtoto wake, nilimfuta maji Henry na kumpaka mafuta baada ya hapo nilimvalisha nguo, kisha nilimbeba na kwenda nae dining room kumpatia breakfast kwani nae anakiti chake, pamoja na yoote nilikuwa nikijiuliza maswali mwenyewe mbona simuelewi boss Donald, lakini nilidharau na tulipofika dining nikamuweka kwenye kiti chake, kisha nilianza kumuandalia chakula chake hapo kwa maelekezo ya dada Merry, huku nikicheza nae mtoto muda kidogo boss nae alikuja kupata breakfast nae, Merry alimkaribisha hapo na kisha mimi niliendelea kumlisha chakula Henry, nilipo maliza kumlisha nili taka kumnyanyue ili twende kwenye chumba cha michezo, Mr Donald akamiambia :
“Camira kaa upate breakfast nawewe”
“Asante boss nitakula baadae akilala Henry”
“Hapana Merry utamchukua Henry na kumpeleka kwenye chumba cha kuchezea huko, ili Camira ale kwanza ndio atakuja kukupokea sawa?
Merry aliitikia:
“Sawa boss”
Sikuweza kubisha nikampa mtoto Merry japo kuwa mtoto alikuwa anamkataa na kunitaka mimi, lakini Merry aliondoka nae haraka na mimi nilikaa huku nikimtizama mtoto, nilijikuta nampenda Henry ghafla tuu kama tumezoeana kwa muda, sikutamani kumuacha aende na Merry nilitamani niwe nae mimi tuu, kumbe boss nae aliniona alikuwa akinifuatilia sana, akaniambia:
“Camira, unampenda sana Henry?
“Mmh! Ndio nampenda”
“Nakuona ukiwa nae unasahau kila kitu kabisa, unanifurahisha nimuda mfupi tu tangu umemuona Henry, asante sana Camira unanifanya nijisikie amani hata nikiwa sipo karibu na Henry”
“Usijali boss kuwa na amani Henry nitamtunza kwa moyo safi, nitamjali na kumlinda usihofu kuhusu mimi hata siku moja”
“Asante sana baby Camira”
“Hahahaaa baby Camira?
“Ndio ni katoto”
“Hapana sasahivi nimkubwa mimi sio katoto tena, kunawatu wananitegemea ndio maana mimi sio mtoto”
“Hapana nimaisha tuu lakini wewe bado baby”
“Hapana boss tayari mkubwa”
“Basi sawa nitaona kama kweli nimkubwa kuna mtihani nitakupa, ukiufauru tu nitakuona umekuwa mkubwa sasa”
“Ok sawa nashauku ya kuupata huo mtihani wako haraka”
“Usijari ngoja jioni baada ya kula tutakaa na Henry pamoja sawa”
“Ok sawa”
“Haya kula sasa chakula chako baby”
“Aaah! Hapana bwana usiniite baby”
“Hahahaaaa Ok sawa”
Alinitania hapo na kisha aliniambia nile chakula, baada ya muda alipo maliza yeye kula aliinuka na kuja karibu yangu, akanishika bega kwa nyuma akainama sikioni kwangu na kuniambia:
“Kama hawaja kuambia baby Camira wewe ni mrembo sana hata Henry kaliona hilo”
Kisha aliondoka huku akitabasam niligeuka na kumtizama, lakini aliishia alikuwa anaenda chumba cha ofisi yake, nilitabasam na kuendelea kula nikijisemea mwenyewe:
“Nina bahati sana bosi wangu nimtu mzuri sana anavyo onyesha, pia ana upendo mno asante mungu”
Niliendelea kula kiukweli nilikuwa na raha sana, nilikuwa nikitabasam tuu muda wote wakati nakula.
SEHEMU YA 4
Nilimaliza kula chakula changu nikainuka na kuvikusanya vyombo, nikavipeleka jikoni nilisafisha meza na kisha nilienda haraka chumba cha kuchezea Henry, muda wote kumbe Mr Donald alikuwa akinifuatilia kwenye camera yake, nilipofika huko nilimuambia dada Merry:
“Nimekuja tayari dada Merry”
“Ok sawa basi ngoja niwaache na boss Henry muendelee kucheza pamoja”
“Sawa, ila meza tayari nimesha isafisha”
“Jamani Camira ungeacha tu lakini nashukuru kwa kusaidia”
“Asante na wewe kunipokea kucheza na mtoto unaona tumesaidia”
“Hahahaaaa haya bwana wacha niende mimi”
“Sawa dada Merry”
Akaondoka dada Merry na kutuacha wenyewe, nikamuita Henry alikuwa akicheza hakuwa ameniona mimi nilipo ingia:
“Henry”
Akageuka na kuniona alipogundua nimimi alinikimbilia na kunikumbatia, tukaanza kucheza pamoja alikuwa ni mwenye furaha sana Henry, muda wa kulala ulipofika nilimbeba na kumpeleka chumbani kwake, kisha nilimpa maziwa yake kwenye chuchu aliponaliza tu akalala hapo hapo kitandanj, nilikaa pembeni kwenye kochi namimi nilijiegesha nikajikuta nasinzia pia, wakati tumelala Mr Donald alikuja hadi humo chumbani kwa Henry, na kutukuta tulikuwa tumelala alisogea karibu yangu na kuanza kunitizama vizuri kwa ukaribu kabisa, alinyanyua mkono wale na kuanza kunipapasa uso wangu alitamani anichumu alipofika kwenye rips zangu, akachukua simu yake na kunipiga picha kisha alinibusu kwenye paji la uso wangu, kisha alikaa pembeni akinitizama tuu mimi, nilishtuka baada ya kuhisi kama kunamtu kando yangu, akaniambia:
“Camira lala tuu hakuna shida”
Niliinuka haraka haraka kwa uwoga nikihofia uwenda boss angenifokea kulala kwenye chumba cha mtoto, lakini ndio akaniambia nilale tuu, nikamuambia:
“Hapana boss samahani nimekosea kulala chumbani kwa mtoto, naenda chumbani kwangu sasa”
Nilianza kuondoka lakini akanishika mkono na kuniambia :
“Usiwe na wasiwasi Camira kuwa huru kulala popote, hata ukiwa humu kwa Henry ni vizuri na salama sana kwa Henry sawa?
Niliitikia kwa sauti ya upole:
“Sawa boss”
Kisha aliinuka na kuniambia:
“Jioni ya leo ningependa tukale chakula nje ya hapa nyumbani, utamuandaa Henry nawewe pia sawa?
“Sawa boss”
Kisha aliondoka yaani nilishi kwa upendo mkubwa ndani ya hiyo nyumba, kwani boss alinijali sana alinipenda mno hakunitofautisha na mtoto wake Henry hata kidogo, na upendo wake ulikuwa umezidi kipimo na sikuhofu kitu hata kidogo, nilimchukulia zaidi ya boss kama baba kwangu, alikuwa chochote anachomletea Henry namimi naletewa, akienda kumfanyia shopping Henry alikuwa ananifanyia namimi, ilifikia hatu hadi wenzangu walikuwa wakiniita binti mkubwa wa boss, nilikatazwa hadi kuvaa sare za kazi kabisa, alifanya kila kitu ndani ya moyo wake alijua yeye anafanya nini, ila mimi nilijua niboss ananijari tuu kuna muda tulikuwa tunasafiri pamoja mimi yeye na Henry, nilijua ni kwaajili ya Henry kwani ananipenda sana, na kuna muda tulikuwa tunaenda Nzega kwetu kuwasalimia, tulikuwa tunafikia hotelini na kisha tukisha salimia tunarudi zetu dar, kila mtu alimuona Mr Donald ni wakipekee sana, mtoto alipofikisha miaka mitatu alimpeleka shule baby class, na mimi akaona anipeleke shule kwani nitakuwa niko board sana nyumbani, nilienda kuanza secondary kidato cha kwanza spesho class, nilimfurahisha kwani nilikuwa niko vizuri kichwani nilikuwa nafanya vizuri mno, alikuwa kukicha asubuhi ana ondoka na sisi wote wawili pamoja, tuna anza kumpitisha Henry kwanza kisha nafuata mimi, nilikuwa mrembo nywele nasukwa kila wiki naletewa mtu wa kunisuka nyumbani, na kila nguo mpya zikitoka nilikuwa naletewa nyumbani na wauza nguo, yaani aliwaambia wawe wananiletea tuu na kumuambia boss kisha wanalipwa, nilijua kupendeza jamani nilikuwa nimejisahau kabisa kama pale ni kazini, nilikuwa navaa vipensi vifupi gauni fupi sketi pia fupi, na nilivyokuwa mrefu na kishep cha kimis yaani acha tuu nilikuwa navutia sana, lakini Mr Donald alikuwa hataki hata mtu anione muda wote alipenda niwe karibu naye tu, shule napelekwa na gari na muda wa kurudi nyumbani pia alikuwa anakuja kunipitia yeye, yaani acha tuu siku moja nikiwa natoka shule nayeye alikuwa ananisubili nje ya geti la shule na gari, niliongozana na kijana mmoja ambae tulikuwa tunasoma wote kipindi hicho tayari nipo kidato cha tatu, tulitembea tukipiga stori na kucheke pamoja kumbe Mr Donald alikuwa mbele yangu ndani ya gari, hivyo alituona tulikuwa tunataniana na kucheka huku tukikimbizana, alikasirika sana na kushuka kwenyegari baada ya kutuona, kisha akaja karibu yangu nilishtuka kumuona katika hali hiyo kwani sijazoe kumuona hivyo, nilimsalimia huku nikiogopa kwa sauti ya upole:
“Shikamoo daddy”
Aliniambiaga nisimuite bosi nimuite jina lolote lakini sio boss, hivyo nilipenda kumuita daddy, cha ajabu hakuitikia kabisa salamu yangu na kunishika mkono kwa nguvu akanipeleka ndani ya gari, na kisha na yeye akaingia alikuwa anaonekana anahasira sana, nilimuogopa sana hivyo nilikaa kimya sikumuambia kitu, nayeye alikuwa kimya hadi tulipo fika nyumbani, baada ya kupaki gari alishuka na kuja kunifungulia mlango, kisha alinishika mkono na kunipele hadi ndani, nilikuwa kimya na huku naogopa sana, kisha tulipofika ndani alianza kunifokea kwa kusema:
“Kweli wanawake hawabadiliki niwale wale hata wewe Camira, ninafanya kilakitu ninakupa kila kilicho cha thamani lakini nini unafanya eeh!, kiukweli sijapenda hata kidogo kukuona upo karibu na yule kijana, hata uogopi kama nitakuona ulivyo kosa haya”
Wakati ananifokea hivyo mtoto kumbe alienda kuchukuliwa tayari na dereva wake, alikuwa tayari ndani aliposikia kelele na hakuzoea kabisa makele kama yale, alitoka kuja kuona ndipo alimuona babaake akinigombeza, hivyo alichukia sana alikuja hadi mbele yangu na kunikumbatia, nilijisikia hasira na uchungu sana nililia mno kwani sijamuelewa kabisa Mr Donald, kisha Henry alimgeukia babaake na kumuambia:
“Daddy unakosea hupaswi kumfokea hivyo dada angu mimi, nakuchukia sana kumfanya analia hivi sikupendi daddy tena”
Nikakimbilia chumbani kwangu kwa hasira na kufunga mlango huku nikilia, Henry alichukia pia akaenda chumbani kwake kwa hasira na kuubamiza mlango alitupa tupa mavitu humo kwa hasira, Henry alikuwa tayari amekuwa kuwa anamiaka saba sasa, na mimi nilikuwa tayari nina ishirini na mbili, baada ya muda Mr Donald alijitafakari na kujiona amepaniki tuu hivyo amekosea sana, alikuja hadi mlangoni kwangu na kuugonga mlango, niliinuka na kuufungua nikijua ni dada Merry kaja, nilipo muona kama ni Mr Donald niliusukuma mlango ili niufunge, lakini alinizidi nguvu na kuufungua kisha akaingia ndani na kuubana mlango, nilienda kujilaza kitandani huku nikilia sikutaka hata kumuona kabisa, ila alikuja na kukaa kando kando yangu akaniambia kwa sauti ya upole na kujutia kwa alichokifanya pia alikuwa aliongea kwa hisia sana:
“Camira nisamehe sana kwa nilichokifanya leo, naomba samahani nihisia tuu ziliniongoza, kiukweli kitu ambacho hukijui nikwamba nakupenda sana, tena zaidi ya sana”
Nilishtuka sana kusikia hiyo kauli.
SEHEMU YA 5
Niliposikia hivyo nikainuka na kumtizama aliendelea kuongea:
“Tangu siku yakwanza nilipokuona ulipokuwa umevaa nguo sare ya kazi sikufichi ulinivuruga akili moyo na ufahamu wangu wote, Camira sijawahi kuhisi kitu ninachokihisi kwako, nilikuwa nakosa ujasiri wakukuambia hili kwani mapigo yangu ya moyo hudunda sana nikikuona, kunamuda nilikuwa nakuja chumbani kwako usiku nikutazame tuu, kwani umri wako ulikuwa bado sana nikasema nikutunze siku nitapata ujasiri na kukuambia ukweli, lakini leo nimejikuta sina budi kusema haya yote, nakupenda sana Camira”
Nilihisi kuvurugwa kabisa kusikia hayo yote kwani sikuwahi kuwaza kabisa hata siku moja kama itakuwa hivi, ila leo nahisi kama naota kabisa nikainuka pale kitandani na kusogea kwenye dressing table, niliegemea dressing table huku nikiwa nimeinamisha kichwa chini, alikuja na kunishika begani kisha akaniambia:
“Najua utakuwa umeshtuka sana kusikia haya, lakini nakuomba fikilia kwa utaratibu na kisha tafadhari usije niumiza kwa maamuzi mabaya utakayo chukua, jua kuwa moyo wangu unao wewe ukitaka usimame usidunde tena utaamua wewe Camira baadae nipo chumbani kwangu”
Aliondoka na kwenda chumbani kwake akaniacha hapo nikiwa sielewi hata jibu lakumpa, kwani nilihisi dunia imesimama kabisa nilikuwa siamini nilicho kisikia, baadae nilioga na kubadili nguo nilivaa taiti nyeusi ndefu na tishet yangu, kisha nilitoka chumbani na kwenda chumbani kwa Henry, nilipo fika nilimgongea na kisha nilimuambia:
“Henry ni mimi mdogo angu fungua”
Alifungua na kunikumbatia kwa nguvu akaniuliza:
“Dada upo sawa?
“Nipo sawa kabisa kipenzi changu”
“Baba simsamehe kabisa amekosea mno”
“Hapana usiwe hivyo mdogoangu sio sawa kuwa hivyo, sisi ni binadamu hatupaswi kuhukumu tunapaswa kusamehe kama mungu anatusamehe sisi pia tunapaswa kusameeana, alafu yule nibaba sawa Henry hatupaswi kumfanyia hivyo yeye anatulinda kwa vitu vibaya, ndio maana anakuwa mkali tunapokosea hivyo tunapaswa kumuelewa sawa kipenzi changu”
Alinikumbatia na kunijibu:
“Sawa dada, nakupenda sana dadaangu”
“Nakupenda pia mdogoangu, haya sasa twende tukale chakula”
Nilimshika mkono na kumtoa chumbani Henry tulienda hadi dining kula chakula cha usiku pamoja, kama hakujatokea kitu vile, kwani sikutaka kumfanya Henry ajisikie vibaya kwa namna yeyote ile, ni upendo wangu kwa Henry nilikuwa nampenda sana nae ananipenda kuliko chochote, baada ya kufika hapo mezani hatukumkuta daddy Donald, hivyo nikamuambia Henry:
“Kaa hapa nakuja naenda kumuita daddy sawa kipenzi changu”
“Sawa dada”
Nilielekea moja kwa moja hadi chumbani kwa Mr Donald, na kufungua mlango nikamkuta amekaa kwenye sofa na mezani anamvinyo anakunywa, nilipo fika nilienda na kuitoa ile chupa kisha nikamuambia:
“Njoo mezani tunakusubili mimi na Henry tule pamoja, huwezi kunywa kabla ya kula chakula ni hatari kwa afya yako”
Alinitizama tuu kisha alinijibu:
“Mnanitaka mezani nikae nanyie pamoja na yoote niliyo wafanyia?
“Njoo tunakutaka”
Kisha nilimshika mkono na kumuinua kisha nilifungua mlango, tukatoka pamoja hadi dining nikiwa nimemshika mkono, Henry alipotuona alifurahi na kutukimbilia akatukumbatia wote, na kutuambia:
“Nawapenda sana dada na daddy, msigombane tena haya njooni tule wote”
Alitushika mikono na kutusogeza mezani kisha dada Merry alikuja, na kutuhudumia alileta chakula hapo mezani nilimchotea chakula Henry, na kisha nikamchotea na daddy Donald, lakini muda wote Donald alikuwa akinitizama tuu mimi, kisha alisema:
“Kusema ukweli asante sana Camira kwa namna yoote unayofanya ilituwe sawa lakini hatupo sawa najua, nnafuraha kuona hilo ndio maana naweza sema hivii wewe ni wakipekee sana maishani mwangu”
Alipo maliza kuongea aliinuka na kumbusu kichwani Henry, akasogea na kwangu akanibusu pia kichwani kisha akaondoka chumbani kwake, niliumia sana kuona Mr Donald ameshindwa kula chakula, lakini nilijikaza sikutaka kumfanya Henry ajisikie vibaya pia, nilijikaza tukala chakula hapo na Henry huku nikiumia ndani kwa ndani, huwa sipendi kumuona mtu anaumia kwasababu yangu, nilazima nitasononeka sana mimi, tulipo maliza kula nilimpeleka Henry chumbani kwake, na kumsimamia hadi akalala usingizi, kisha nilitoja na kwenda hadi chumbani kwa Mr Donald, nilijikuta nalia mimi kwani nilihisi kama anateseka Mr Donald kwaajili yangu, nikamuambia:
“Mimi ndio sababu naomba kurudi nyumbani kwa mamkubwa wangu, kwani sipendi kukuona upo kwenye hali unayopitia sasa hivi, nimezoea kukuona ukiwa na furaha na amani, daddy umenilea vizuri nikuambie tu mimi sina uhusiano na yule kijana, na wala sijawahi kujihusisha na mambo ya mahusiano tangu nizaliwe, kuwa na amani na sitojihusisha na wanaume hadi niwe mkubwa mimi”
Huwezi amini Mr Donald alishtuka kusikia neno tangu nizaliwe sijawahi kujihusisha na mambo ya mahusiano, baada ya hapo alisimama na kunishika mikono kisha akanikumbatia vizuri, huku akinipapasa mgongoni akisema:
“Basi basi sasa nisamehe kipenzi changu nisamehe Camira wangu, umesema kuwa hujawai, Camira ni kweli hujawai?
“Ndio daddy sijawai”
Niliongea huku nikiwa begani kwa Mr Donald bado kanikumbatia, tulikuwa chumbani kwake na alikuwa kazima taa zenye mwanga mkali, kwani alikuwa tayari kajipumzisha kitandani kwake, huku akiwa amewasha lamp ile taa ya kwenye bedside ilikuwa inamwanga hafifu hivii, hata nilipokuja nilikaa pembeni yake hapo kitandani na kuongea yote hayo, ndipo akainuka na kuniinua na mimi alafu akanikumbatia, na kuongea hayo yoote huku akiwa kanikumbatia vizuri kabisa, Mr Donald ni gentleman wa nguvu anakifua kipana mrefu yaani kakaa kiume haswaa, pesa ipo anajipenda haswaa na anavijua vitu vizuri bwana, kisha akaniambia:
“Ok sawa basi naomba uniahidi kitu”
“Kitu gani daddy?
“Niahidi kuwa hutoniacha mimi siku zote utakuwa na mimi”
“Unamaanisha nini daddy?
“Baby Camira nakupenda”
Nilimuachia nikajitoa kwenye mabega yake kisha nilimuambia:
“Lakini daddy hunionei huruma, mimi nimdogo sana kwako daddy, alafu wewe sasahivi ni baba kwangu sio tuu wakukuitana baba, bali ninakuheshimu na kukupenda kama baba yangu mzazi, pia hata mamkubwa alifurahi sana kujua kuwa unanilea kama mwanao itakuwaje akisikia hili?
“Nisikilize Camira kipenzi umri sio tatizo kabisa, tatizo ni moyo mpenzi, nimejitahidi sana kuvumilia japo usogeze miaka angalau utimize miaka ishirini hivi, ili niweze kukuambia haya kwani wewe sio mtoto tena, tafadhari nifikilie namimi”
“Lakini daddy…….
“Shhhhhhiiiiiiii”
Alinikatiza nisiongee kwa kuniziba mdomo na huku akinitizama kimahaba, sijawahi kumuona daddy Donald akiwa katika hali hiyo, kiukweli nilimuonea huruma sana, kisha alianza kunipapasa uso wangu vizuri kabisa, niliganda nikimtizama pia alizishika rips zangu kwa matamanio huku akijiramba midomo yake, taratibu alinisogelea usoni huku mapigo ya moyo wake nikiyasikia, yalikuwa yakimuenda mbio sana kisha alianza kuzi lamba rips zangu vizuri kabisa, nilijikuta nimeganda na kwambali hisia namimi zilianza kuniteka taratibu nilijikuta naupokea ulimi wa daddy machozi yakinitiririka kwa hisia kali, daddy akanivuta karibu yake na mkono mmoja ulikuwa kiunoni kwangu, na mwengine alinishika shingoni kwangu, alininyonya vizuri jamani nahivi ilikuwa ni kiss langu la kwanza kwa mwanaume, asikuambie mtu daddy anajua kula romance hatari, mara ghafla ufahamu wangu ilipo rudi nilijikuta namsukuma huko na kwenda mbio kufungua mlango, kisha nilikimbia mbio kuelekea chumbani kwangu, nikiwa natoka chumbani kwa daddy kumbe dada Merry aliniona alishindwa kunielewa lakini, nyuma daddy Donald nae alitoka chumbani haraka akinifuata kwa nyuma, nilifungua mlango na kuingia chumbani kwangu kisha niliubana mlango, na kuuegemea huku nikishuka kwa kujiburuza taratibu hadi chini kisha nilikaa.
INAENDELEA

