𝗕𝗔𝗕𝗔 𝗧𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗥𝗜
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 01
rafiki yangu nakukabithi”hawa watoto wangu wawili kwa sababu hakuna mtu mwingine ninae muamini zaidi yako”najua”vita sikuzote haitabiriki kikubwa ni kuomba mungu”kama nikirudi salama nitashukuru ila ikiteoka bahati mbaya labda nikapigwa risasi nikafa*naomba uwatunze sana wanangu”wachukulie kama watoto wako ingawa huna mtoto”Nikifa nenda kaishi nao kwenye nyumba yangu siku wakikuwa utawaeleza ukweli nawe utakuwa kama baba yao badala yangu”kwaheri rafiki tuta onana mungu akipenda**hayo yalikuwa maneno ya mwisho” ambayo aliongea kwa kinywa chake.Nami nikasikia kwa masikio yangu”ilikuwa ni siku mbaya sana siku ambayo nilitengana na rafiki yangu”danyeli, yeye akielekea kwenye vita nami akiniachia jukumu zito la kulea watoto wawili wenye umuli wa miaka miwili,istoshe walikuwa mapacha” pia wakike woto “sawa rafiki yangu nitafanya kama ulivyo niambia,ila naomba mungu hatakama msipo shida vita hii urudi nyumbani tuna kusubiri Mimi pamona na watoto wako”ikitokea bahati mbaya umekufa msalimie sana shemeji”mwambie tuna mkumbuka kwa wema wake”, nilingea maneno hayo nikiwa nime kumbatiana na rafiki yangu tunaliliana kama watoto wadogo*
maji ukisha yavulia nguo haina budi kuyaoga hivyo”rafiki yangu nae ilimlazimu kwenda vitani kwa sababu alikuwa mwana jeshi tena wa mstari wa mbele”mda unaenda, fanya mlazile kuagana”tuingie vitani”alisema mwana jeshi mmoja baada ya kutuona tume gandana tu”tuliachiana rafiki yangu akaondoka”huku akiwa anani tazama kwa mala ya mwisho”na mimi nilimtazama”nika mpungia mkono”kisha nikainga ndani” kuwangalie watoto wakati huo walikuwa wame lala nilifika nikaanza kuwangalia baada ya kuwaona wako sawa,nilichukua shuka nika wafunika”mwili nikaacha nyuso zao wapate kupumua vizuri* harafu nikatoka kwenda,kwa jirani kununua maziwa ya ng’ombe nilijua pindi wakiamka tu watakuwa na njaa” nilipo nunua”nikarudi ndani”nikayaweka kwenye vikopo vyao ambavyo viko kama ziwa la mama” nilipo maliza”nami nikajilaza pembeni yao”
SEHEMU YA 02
“Sasa nikaanza kufikiria jinsi ya kulea watoto wa rafiki yangu,
Baada ya masaa kadhaa kupita watoto waliamka, Nilianza kujichekesha huku nikiwatekenya ilinawao wacheke
Ni mmoja tu alicheka lakini mwingine alilia Nikajua labda ananjaa hivyo nikampa chupa yake ya mazima Kweli sikukosea maana baada ya kumpa tu alinyamaza, Basi na mwingine nae nikampa wakaanza kunywa,,
Maisha yaliendelea Na hali ya kulea watoto ikawa inanishida maana walinichosha mno kutokana na usumbufu wao kibaya zaidi mmjo alikuwa anapenda kulala mchana sasa ikifika usiku yeye kazi yake kulia tu na kukojoa kitandani, Kwakweli watoto wale walinipa Shida mno Mpaka nikatamani Danyeli Arudi achukue watoto wake,
“Baada ya wiki mbili Nilipokea Taarifa kwamba rafiki yangu Danyeli amefariki kwenye uwanja Wa vita, habari hiyo ilikuwa mbaya kwangu, Nililia sana kumpoteza rafiki yangu kipenzi na yeye ndiye aliyeniachia jukumu la kuwalea watoto wake,
” ila asiyekubali kushidwa sio mshindani, basi hati mimi nilikubali kwamba nimempoteza Danyeli,
japo haikuwa rahisi kusahau lakini Nilipiga moyo konde, Siku zilizidi kusonga kama maji ya kwenye mtelemko Hatimae ukakatika mwaka mmoja, ikawasasa wale watoto wamesha aanza kukuwa Walikwa wanatembea Na kuongea hapo kidogo niliweza hata kufanya majukumu yangu mengine,, sababu nilikuwa naweza kuwaacha kwa jirani wakicheza na watoto wanzao,
* Joshua hivi wale watoto unaoishi nao Ni watoto wakoo au sio wakwako maana wewe mh”
” Rusia Mtoto wajirani yangu Mwana ldi, aliniuliza hivyo wakati huo nilikuwa Narudi zangu nyumbani,
* Rusia kwanini umeniuliza hivyo
kwanza umerudi lini kutoka huko India,
* Nimerudi jana Tu, Sasa hao watoto wawili Wazuri niliwakuta nyumbani kwetu nikamuuliza mama akanijibu kwamba ni watoto Wako Eti ni kweli,
* Ndiyo ni kweli wale ni watoto wangu
ila kwa bahati mbaya mama yao alifariki baada ya kujifungua tu, “Nilimdanganya hivyo Rusia Sikutaka kumwambia ukweli sababu nilihofia Angehalibu jambo hapo baadae,
*_Mmmh Joshua unawatoto wazuri Sana hongera kwa hilo, ila pole kwa kumpoteza mzazi mwenzako,
*Nimesha poa ngoja niwahi nyumbani nikawapikie chakula mda umeenda sana Nilimwambia Rusia kisha nikaondoka zangu Rusia alibaki anakodolea macho kunitazama Ninavyo kwenda,
” Baada ya mwaka mmoja Niliwapeleka watoto Shule wakati huo walikuwa na miaka minne,
Nilifika shuleni nikaanza kuulizwa maswali na mwalimu,
* Wewe mzazi Unaitwa Nani,
* Naitwa Joshua peter,
*Ehe Joshua hawa watoto wanamiaka mingapi,
* Minne, Nikajibu hivyo,
*Huyu Anaitwa Nani,
* Anaitwa Juneti, Na huyu anaitwa Janeti, Nikamjibu mwalimu Baada ya hapo Mwalimu akaniambia niwaache
baadae saa 6 mchana Nirudi kuwachukua,
Basi niliondoka nikawaacha Juneti Na Janeti, hapo shule,
SEHEMU YA 03
Nilikwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila Siku. badae ilipofika mchana nikarudi shuleni nikawachukua watoto harafu tukaenda zetu nyumbani *Baba ninunulie pipi”
Janeti. akaniambia hivo.
Baada ya kupita kalibu na duka,
Kwakuwa nilikuwa nawapenda na kuwajari nikawanunulia. Hizo pipi harafu tukaendelea na safari ya kurudi nyumbani,
Tulipofika nyumbani Nikaanza kupika chakula cha mchana.
Wao watoto walivua sale za shule wakaanza kucheza.
Saa moja badae chakula kikawa tayari,
” Niliwaita watoto walipokuja tukaanza kula.
* Baba eti kesho tunaenda tena shule.
Juneti” akaniuliza hivyo.
* Ndio mnaenda”
* mh nitafurahi sana maana shuleni kunaraha Leo tumekula kacholi na visheti.
Vilikuwa vitamu”
Janeti nae akaniambia vile,
* misiendekeze kula kacholi Shuleni ninachotaka msome mmenielewa”
* Sawa baba Tutasoma.
Juneti akajibu”
Basi tukaendelea kula.
“””Maisha yakaendelea.
Juneti na janeti waliendelea kusoma Hatimae sasa wakawa mabinti wakubwa wakawa wananisaidia kupika na kufua nguo wakirudi shule.
Sasa nikawa huru kufanya kazi zangu ilikuhakisha kwamba juneti na janeti wanasoma vizuri”
Siku moja ilikuwa ji mosi Juneti na janati hawakuenda shule Niliamka nikapiga mshaki nikanawa uso kisha nikajiandaa iliniende kwa rafiki yangu sababu nilikuwa ninamiadi nae Lakini nilipokwenda kutazama pale ninapo wekaga koti langu nilishangaa halipo”
Wakati huo juneti anatoka chumbani kwao huku anafikicha macho kana kwamba ameamka sasa hivi”
* Juneti.nani kauondoa mkoti wangu hapa ,
* Baba mimi Sijui Ndo naamka sasa hivi Labda muulize janeti,
“Juneti akajibu,
* Huyo janeti yupowapi hebu muite.
*Juneti akamuita janeti “alipokuja nikamuuliza.
* Wewe janeti Koti langu lipowapi.
* Baba nilikufichia Sababu ninataka nikuulize.
* kuniuliza vipi.
* Baba wewe kila ukitoka lazima uchukue mkoti kwanini.
“Janeti akaniuliza hivyo.
* Janeti huo sio mda wa kujua siri za mkoti wangu nipe niende nachelewa.
Nikamjibu hivyo Janeti akanipa mkoti nikaondoka nikawaacha juneti na janeti nyumbani,
Nilikwenda kukutana na rafiki yangu tukazungumza mengi badae mimi nikarudi nyumbani ilikuwa majira ya saa kumi na moja
“”nikamuita juneti harafu nikamuagiza
Dukani.Juneti akajianda akavaa nguo nzuri akapendeza, alikwenda peke yake
Baada ya saa mooja na dakika Nikamuona juneti anarudi huku mwendo wake wakutembea umebadilika; Harafu alikuwa analia
Nikamuuliza.
* Juneti mbona unatembea upande upande tatizo nini…..
INAENDELEA

