BABA MDOGO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 6
Blaza alifoka kwa sauti kubwa mpaka ikamtisha Neila”
SONGA NAYOO,,,,,,,
Mimi Niliinuka pale kwenye kochi nikasimama harafu nikamwambia Blaza, Nisikilize Blaza, huyu mtoto wako anatabia chafu mimi nimeshindwa kukaa nae hivyo nilikuita hapa
uje umuchukue sina maelezo ya kukueleza zaidi kwa sababu, umesha jionea hapa, kwa hali uliyotukuta ndivyo mwanao Anataka,
Blaza Nilimchana makavu, Akamtazama Neila, kwa sekunde kadhaa. kutokana na hasira alizokuwa nazo, Alianza kumpiga makofi
Mimi sikutaka hata kuingilia, Niliondoka nikaenda chumbani kwa Neila Nikachukua begi lake la nguo. Nikalifungua kisha nikazitia nguo zilizokuwa zinazagaa zagaa , baada ya hapo Nikalifunga kisha nikalibeba kuja mpaka ukumbini, nilipofika nikasema, Blaza shika begi la mwanao uondoke nae mtaenda kumalizana nyumbani, Blaza Alilipokea begi kisha akampa Neila wakaondoka zao Mimi nilifunga mlango harafu nikaketi pale ukumbini, Nikaanza kuyawaza matendo ya Neila, daah bola ameondoka sasa nitakuwa Nimeepuka majaribu ya shetani huu, Niliongea mwenyewe, huku nikiendelea kutazama move kwenye tv” zilipofika saa za kulala, Nilienda nikalala usingizi mnono, Ni majira ya asubuhi Niliamshwa na mlio wa simu yangu Niliamka Nikatazama Nani ambae Anapiga asubuhi yote hiyo kushtua watu waliyo lala Nilikuta ni namba ya mke wangu. Malikia Edina” Nilipokea, Hallo,
*eeh Hallo Mme wangu habari za kuamuka, nilisika sauti ya malikia Edina, ikiniuliza hivyo, *Njema tu mke wangu vipi haliyako,
*Nipo salama Mme wangu Lakini Mimi Nilikuwa naomba kurudi nyumbani kwangu huku kijijini kunatisha usiku silali nasikia sauti za ajabu ikiwemo na kuota ndoto mbaya, Naogopa sana, Edina, alinieleza hivyo, kwakuwa nilikuwa namjari mke wangu sikutaka kumupinga maombi yake Nilimwambia,
* pole sana mke wangu Hata Mimi ningependa urudi ila utawaambia Nini wazazi wako, maana ulisha wapa ahadi kwamba unakaa miezi miwili”
* Mme wangu usijari kuhusu hilo nitaongea nao tu watanielewa,
*basi sawa wewe onga nao utanijurisha ukitaka kuanza safali,
*sawa mme wangu nakutakia asubuhi njema, Tulimaliza mazungumuzo. Mimi na malikia Edina, Nikaiweka simu pembeni kisha nikaende kuuchapa usingizi tu, nilikuja kuamka saa 3 Nikajiandaa kisha nikaenda Ofisini kwangu kuendelea na kazi ya uandishi kama kawaida, wakati nipo ndani ya ofisi. Mlango uligongwa, Nikamkalibisha mgongaji akaingia Ndani, Alikuwa ni shemeji mke wa Blaza, *Kalibu shemeji. Nilimkalibisha,
*Asante shemeji habari za hapa,
* Nzuri sijui huko utokako,
*Nilipotoka ni salama tu shemeji.
OK kalibu ukae mbona umesimama , nilimwambia shemeji, akaketi harafu akaanza kuniuliza maswali kuhusu Neila,
*shemeji Nimekuja uniambie chanzo cha kumfukuza Neila nyumbani kwako, shemeji, aliniuliza hivyo, nikamjibu kama ifuatavyo,,,, *shemeji Mimi siwezi kukuficha mtoto wenu amenishinda” anatabia chafu sana
Neila Amewahi kuniambia ananipenda mimi, Neila amewahi kunivulia nguo anataka Tufanye mapenzi, yeye hajari kama Mimi ni baba yake mdogo, istoshe bado mtoto unafikili Mimi naanzaje kuishi na mtoto kama Huyo Nimemshidwa kabisa ndio maana nimemrudisha, kwenu, shemeji Nilimwambia ukweli wote, harafu nikamsikiliza atasema nini, *mhh pole sana shemeji Peter “ila Naomba umusamehe maana hajui alitendalo na utusamehe na wazazi wake,
*msijari shemeji Mimi wala sina kinyonga na mtu kuweni na Amani”
“haya Peter ngoja Mimi niende nyumbani nilikuwa nimeenda sokoni nikaona nipitie hapa, tuyamalize haya ila jana Neila alipigwa sana Na baba yake,
*poa shemeji ngoja Mimi niendelee na shughuli yangu,
shemeji aliondoka Mimi nikabaki, ofisini nikiandika. Kitabu cha story moja Kali sana Ambayo inatalajia kutoka hivi kalibuni.
Baada ya siku tatu. Mke wangu Edina, alirudi nyumbani, kama nilivyo waambia mwanzo kwamba mke wangu alikuwa ni mjamzito alikuwa kalibu kujifungua, mida ya mchana tukiwa tumekaa mezani, tunakula,
malikia Edina akaniambia Mme wangu Hii mimba inanisumbua sana kwa sababu imesha kuwa kubwa istoshe ni mimba yangu ya kwanza, siwezi kufanya kazi zote za humu ndani hivyo nilikuwa naomba uniletee mtu wa kunisaidia saidia kipindi wewe ukiwepo kazini, *Ghaaah mke wangu kuhusu hilo usijari
kesho nitaenda kutafuta Dada wa kazi za ndani aje akusaidie,
*mhh hapana Mimi simtaki Dada wa kazi, Edina, alisema,
*sasa unamtaka nani,
* Mimi namtaka rafiki yangu Neila tena aje tuishi nae hapa, mke wangu aliniambia hivyo kwamba anamtaka Neila arudi tena hapa nyumbani kwangu,,
* Ghaah malikia Edina siwezi kukubari ombi lako Neila hafai kuja kuishi hapa,
*Kwanini Neila sifae kuja hapa”
*Anatabia chafu sizipendi kabisa”
*Mme wangu Naomba utambue kwamba mmama mjamzito anachambua watu wa kukaa nae kalibu, usishangae nikikuambia kwamba, Napenda uwepo wa Neila hapa nyumbani kuliko uwepo wako,Tafadhali naomba ukamlete Neila, Natamani sana kumuona,
mke wangu aliniambia hivyo
Nikamjibu kwa sauti ya juu,
*wewe Nimekwambia simtaki Neila nyumbani hapa, Nilimwambia hivyo,Malikia Edina, akanuna akasusa mpaka chakula, nilijalibu kumubembeleza lakini hijatiji lake lilikuwa ni Neila, tu, daah Niliishiwa nguvu kiukweli,siku nzima ikapita hatuongei Mimi na Edina”
Hii khaki ilinikosesha furaha sana, maana nilikuwa sipendi kugombana na mke wangu,, Siku iliyofata nilienda kazini huku nikiwa na mawazo tele kichwani, kusema kweli sikuweza kufanya chochote ndani ya ofisi nilikuwa nawaza tu, badae nikaamua kufunga
kisha nikaenda kwa rafiki yangu pilipili, kwenda kupata ushauri maana swala limesha kuwa zito nisingeweza kulipatia ufumbuzi peke yangu, kwa bahati nzuri nilimkuta pilipili anawalisha majani ng’ombe wake wa kizungu, Tulisamilana kisha nikamueleza shida yangu, baada ya kumweleza Akanipa ushauri,,
*rafiki Peter Mimi nakushauri usikubari
arudi yule mtoto nyumbani kwako kwa sababu atakuja kuvunja ndoa yenu, pilipili alinishauri hivyo, nikakubaliana nae tuliendelea kupiga story kidogo badae nilimuaga nikaondoka kwenda nyumbani Nilipofika nyumbani. Nikashuka kwenye honda kisha nikaanza kusogea mlango wa kuingia ndani, Mara nikamsikia mke wangu anaongea na mtu mwingine mle ndani nilisogea kalibu. Nikasikilizia, ghafla nikasikia sauti ya mtoto Neila anaongea huku anacheka, baada ya kusikia sauti yake tu pumzi ikanijaa”
SEHEMU YA 7
nilipumua harafu nikajifuta jasho kidogo, baada ya hapo nikaanza kujishauli.nilingie ndani nimutimue Neila au vipi, nilipo jishauli nikaona bola niingie kisha nimutimue tu bila kuuliza swali lolote, nilingia full, Nikawashitukiza tu. Neila
wewe inukauende nyumbani kwenu sitaki kukuona ndani ya nyumba yangu fanya haraka kabla sijakutandika bakola, Niliongea hivo huku nimekunja ndita ilembaya, wanasema kikatili, Neila aliinuka haraka kwa uoga akataka kutoka nje Lakini kabla hajatoka. Edina alimushika mkono, akamwambia Neila usiondoke hapa nimekuleta Mimi utakaa kwa ridhaa yangu , Edina, aliongea hivo huku amemshikilia Neila,harafu akanigeukia Mimi akaniambia, Mme wangu kwanini unapenda kunikosesha furaha Mimi, Nionee huruma jamani, Mimi ni mjamzito Nipatie fuhara ninayoitaka, naomba umuache Neila tuishi nae hapa kwa sababu yeye ndio furaha yangu,
mke wangu Edina, aliniambia hivo, huku anatokwa na machozi.
Daah nilikuwa sipendi kabisa kumuona Malikia Edina anatokwa machozi lakini ndo hivyo tena, *Nisikilize Mke wangu,, wewe humjui huyu neila yani unachimb shimo mambalo. litakuja kukuzika mwenyemwe,, tambua kufunga nyoka ni sawa ila kumbuka ipo siku akatakuja kukung’ata mwenyewe, huyu Neila sio mtu mzuri kwenye ndoa yetu” Mimi namjua sana bola umuachie andezake kwao,
* hapana Mme wangu kama unaona Neila hafai kuishi hapa basi Mimi nitaenda kuishi nyumbani kwao, Tunakuachia jumba lako,, *Gaaah Edina usikife huko ila Mimi nakutakia mema sana lakini unayakataa mema yangu Nakuomba usije ukanilaumu badae,Niliongea kwa uchungu kisha nikatoka nje nikaenda kuchukua honda yangu, nilikuwa naenda nyumbani. Kwa rafiki yangu pilipili, sikutumia dakika nyingi nikafika,,
* Aah bwana Peter umerudi tena,kalibu. Pilipili alinikabisha. tukakaa kwenye viti vya kizamani viko kama kochi lakini vyamiti
pilipili nimerudi tena maana nimeenda nyumbani kwangu Nimemkuta yule mtoto ameletwa tena aliyemuleta ni mke wangu, Nimejalibu kumfukuza lakini mke wangu Anapinga maamuzi yangu eti anataka Neila tuishi nae, yani hapanilipo hakili yangu haisomeki sjui nafanya nini,
*Daah pole sana Peter rafiki yangu ila naomba nikwambie kitu kwamba. Hayo yote ni majaribu ya mwenyezi mungu.kwakuwa mke wako ametaka umuache yule mtoto aishi pale nyumbani, basi kubali kuishi nae” ila nakusihi usije ukakubali tamaa ya mwili wako ikutawale kwa kumtani yule mtoto kwa mitego yake ,harafu kingine umkataze kuvaa nguo za ajabu ajabu ukiwa wewe upo pale nyumbani,
Neno LA mwisho nakupa, kuwa na msimamo rafiki yangu,
Mimi nimemaliza kukupa ushauri umebaki wewe kuufanyia kazi kama vile refa amepuliza kipenga wachezaji waanze kucheza”
pilipili. Aliniambia hivo, Nikaona ushauri wake ni mzuri
siku zote namwamini sana pilipili kwa sababu anaona mbali kimawazo,
* asante sana rafiki yangu nakwamina kwa ushauri mzuri nitafanya kama ulivyo sema wewe ndio kocha Mimi mchezaji nakuhakishia mechi hii nitashinda,
*”sawa sawa Peter jitaidi ni majaribu madogo madogo, tuliongea mengi Mimi na rafiki pilipili badae tulitoka tukaenda kwenye banda LA gahawa,, kuywa gahawa ilikuwa ni kawaida yetu, story zilinoga sana, mahali pale usiku ulipozidi kipimo Mimi nikaondoka nikamacha pilipili,
anaendelea kudanganya watu, yani katika watu waongo pilipili alikuwa namba mbili kuna mzee mwingine alikuwa muongo zaidi ya move za
jeti Lee.
Kwenye gahawa kuna mambo ndio maana sisi wanaume tunapenda kuenda, yani hataukiwa umegombana na mke wako wewe nenda kwenye gahawa ukirudi hasira zote zimeisha,, baada ya mimi kuondoka nilienda nyumbani usiku ule nilikuta wamelala niliga mlango haikupita mda ulifunguliwa nikaingia ndani na honda yangu,,
*baba chakuka hiko mezani utakula ukimaliza utaniita jine niondoe vyombo, Neila, aliniambia hivo nikamtazama Mara moja tu nikaendelea na kazi yangu ya kuweke Honda vizuri, alipoona namkaushia, Hakuenda tena chumbani alikaa kalibu na meza ya,chakula akaanza kunitazama,
Nilipo weka honda vizuri nikasogea mezani nikaaanza kula chakula, wakati nakula nimekolea mwenyewe kama basikeli kwenye mtelemuko Mara ghafla nilianza kuhisi usingizi mzito, nikawa najaribu kujizuia nisisinzie lakini haikuwa rahisi” .Neila alisogea akaniuliza
*baba vipi, mbona naona kama unasinzia,
*hata Mimi sielewi naona maruerue tu
*mhh pole baba inuka basi nikupeleke chumbani ukalale,upumzike, Neila Aliniambia hivo Niliinuka kwa tabusana Neila akaanza kunikokota kuelekea chumbani kwake,
hakili zangu zilikuwa bado zipo kidogo nikamuuliza
*Neila unanipeleka wapi sasa huko,
baba usijari nakupeleka chumbani kwangu harafu.mimi Naenda kulala na mama madogo chumbani kwenu, Neila alinijibu, hivo,
tukiwa tayari tumeshaingia chumbani kwake,,,
*Kwani kakwambia Mimi nilale huku,, niliuliza tena,
*Ndio baba,
ngoja nikuwashie feni nikuache upumzike Neila aliniambia harafu akasogea kwenye swichi akawasha feni mara ghafla nikashangaa amezima taa, ya humo chumbani kukabaki Giza, totolo””
SEHEMU YA 8
Nene ne Neila vipi mbona umezima taa, Nilimuuliza hivo huku machoni kwangu napambana na usingizi mzito uliyokuwa ukiniandana, lakini Neila hakunijibu badala yake Nilisikia kitasa cha mlango kimelia Mara mbili, Nikaanza kumuita Neila Neila”nilimuita kama mara tatu, nilipoona haitikii Nikatia tiki kwamba ameondoka,, *ngoja nifunge mlango vizuri isijekuwa ameuegesha tu badae aje kunisumbua, nilijisekea hivyo, Nikainuka kitandani Nikaenda mpaka mlangoni, Nikakuta umefungwa kweli, basi nikarudi kulala Nililala bila kujitambua maana usingizi uliyonipata siku hiyo sijui ulitoka wapi, ilipofika mida furani ya usiku wa manane kabisa, nikaanza kulala kama nilivyo zoea kurusha miguu kule mikono nayo huko, basi katika kurusha mkono nikajikuta nimeshika mtu, pembeni yangu, Kuseme kweli nilikuwa nimejisahabu kabisa kama nipo kwenye chumba, cha Neila, Baada ya kuona nimeshika mtu Nikajua ni mke wangu, nikaendelea kulala, ulipita mda mfupi,Yule mtu alianza kunishika shika, mikono yake ilikuwa ya moto yenye kusisimua mwili wangu, nilipokuwa nahisi hivo nilikuwa nasikilizia tu, kinacho endelea mara nikawekea paja kwenye ubavu wangu, harafu yule mtu akanisogelea zaidi akafanya kama ananikumbatia,, Hapo sasa nikafumbua macho , Nikaona mke wangu Leo anataka miti kasi nikaanza kushikana nae mabusu nikampiga Nilimshika shika sana, lakini, mwili wa mtu yule nilianza kuhisi tofauti na mke wangu,
oohooh moja kwa moja nilipitisha mkono kwenye tumbo,,nikakuta kitumbo kidogo tu hata hakijulikani kama nacho kitumbo, Hapo Hapo nikamuuliza wewe nani, Nilipo uliza nikaona kimiya tu ikabidi niinuke kitandani nikaenda kuwasha taa Nilipo washa tu Nikamuona Neila, Amekaa kitandani ananitazama,,
*khaaa Neila unafanya nini huku, nilimuuliza hivo huku nauangalia mkana wa suluwali yangu kama haijafungulia, Nilishituka kukuta tayari umesha funguli. Haraka sana nikapeka mkono ndani kuishika mashine yangu kama imefanya kazi au ilikuwa bado, Nilishikuru baada ya kukuta kupo kukavu yani haijafanya kazi yani wewe Neila umekosa Adabu kiasi hiki umenivua mkanda mpaka mimi baba yako mdogo” unataka nini kwangu wewe mtoto,, kwanza nani kakutuma unifanyie hivi eeh.
* Samahani baba hajanituma mtu ila Nimatazizo yangu mwenyewe,tu sio siri Nakupenda nahitaji penzi lako, nakuahidi ukinipa sitomwambia mtu yoyote itakuwa siri ya mimi na wewe tu, Neila Aliniambia manone hayo nikayasikia kwa masikio yangu,
* Aah AaaaaH wewe Neila nitakupasua umbongo sasa hivi nani unamwambie upuuzi huo hujaona wanaume wote huko mtaani mpaka uje unione Mimi baba yako mdogo hivi unawazimu au una majini wewe mtoto”
* baba najua hupendi kile ambacho nakitaka mimi, ila naomba upenda japo kwa Leo tu” unihurumie Nateseka sana kwajili yako, upendo wangu kwako umezidi, samani yangu, imefikia hatua nikiwa shuleni nikianza kuandika naandika jina lako na maneno furani”
harafu nakuchora sura yako,, nikamaliza nampa mwalimu dafutali ilianisahihishe akilisoma tu ananiita harafu anaanza kunipiga bakola yote hiyo inatokea kwa sababu yako
ba mdodo,
Neila, aliniambia, hivo Nikaona kweli huyu mtoto pasua kichwa, kama ukimchekea anakupeleka pabaya” Niliangaza macho yangu ilikutazama fimbo, lakini Nilikosa nikauchomoa mkanda wangu kisha nikamsogelea Neila harafu nikamtandika nao mmoja wa kwenye mgongo,, baada ya kumpiga aliangukia kitandani nikamtandika mwingine, nikamuona halii nikongeza kumpiga nilimpiga kama mara tano lakini Neila hakuzubutu kulia kwa sauti hata kidogo,,yani alikuwa analia kimiya kimiya tu,
*wewe Neila wewe nitakuja kukuua mimi
kama utaendelea kunitamukia maneno yako ya hajabu hajabu, kuanzia Leo iwe mwanzo na mwisho kuinambia maneno kama hayo sipendi *ba mdogo, bola uniuwe tu lakini sitoacha kukupenda kamwe nitakuambia nakupenda,, mpaka utakubali kawaida yangu nikilianzisha jambo lazima nilimalize siishii njiani kwani baba ukikubali kunatatizo gani jamaniii eeh Mimi pia ni mwana mke kama wengine hebu jaribu kusoma hitabu vya zamani kabisa utakuta watu walikuwa wana owana ndugu kwa ndugu, na hawakupata mazara yoyote” neila aliniambia hivyo”
*We Neila, unaogea nini hebu nyamaza kimiya hivi maana ya undugu ni kitugani mpaka unanivunjia heshima kisasi hiki”
*baba Mimi sijui undugu kitu gani, Mimi najua nakupenda wewe basi, Nelia alinijibu hivo” “nikataka kumpiga lakini moyo ukasita nikaona bora niondoke kwenye chumba hiko niligeuka nikaenda mlangoni, ilinifungue nitoke nje, lakini ilishindikana kwa sababu ufunguo ulikuwa haupo pale
* Neila naomba funguo, nifungue nitoke nje, *baba sikupi Leo unalala huku huku mpaka Asubuhi” Nelia alinijibu.
Daah nilichoka kabisa ilikuwa sio rahisi kuuvuka huu mtiahani, na sijui kama nitavuka, maana ulipofikia sio pazuri,
*Neila naomba funguo niende kwa mke wangu mimi,
*nimesha kwambia ba mdogo sikupi funguo mpaka ukubali kunionjesha penzi lako “
sasa nakupata dakika 5 tu za kujishauli kama bado hutaki Mimi napiga kelele nasima unanibaka nimechoka kukubembeleza”
Neila Aliniambia hivo nikashtuka, kwa sababu kama atafanya hivyo, Nitapata bonge la kesi, lenye makosa mengi ndani yake,
*baba zimekaki Danika 3 Nipige kelele,
kubali tu lasivyo utajuta nikipiga kelele, Neila aliniambia, hivyo, Nikaanza kujiuliza
*kama nikikataa nitapata mazara gani Atakapo piga kelele”
je nikikubali kutembea na mtoto wa kaka yangu,wa damu, nitapata faida gani,,,,
SEHEMU YA 9
Nilijiuliza maswali mawili,, nikapata jibu moja kati ya maswali hayo,
*Ba mdogo, dakika zimeisha Mimi napiga kelele,, Neila aliniambia harafu akajiweka mazingira ya uchi na hapo kitandani akavuruga vuruga lengo lake lilikuwa kwamba wakija watu wakute humo chumbani kumevalakana iliwaamini kama Kweli nilitaka kumbaka,,
*hapana hapana Neila usipige kelele nimesha kubari Nilimwambia hivyo huku namsogelea. alinitazama kisha akaniuliza.
* Ba mdogo unasema kweli au unataka kunichezea kamachezo, Mimi ni mtoto wa mjini sidanganyiki ovyo ujue,,
*Hapana Neila siwezi kukuchezea kamchezo we tulia nikufanyie mavutu moyo wako ufurahi” harafu kila siku nitakuwa nakufanyia, mamaa,,Nilimjibu hivo harafu nikamshika mapega kisha nikamkalisha kitandani harafu nikaanza kumpiga swaga za kinyawezi
* unajua wewe Neila ni mrembo sijawahi kuona harafu ni mwanamke wa ainayako tu hakuna duniani msichana mwenye bizaini kama yako kiukweli unavutia sana mpaka ulikuwa unani ogopesha pale unapo niambia unataka kufanya mapenzi na Mimi nilihisi huenda nitakuchafua na kukutia shombo kwenye mwili wako wa samani zaidi ya ya mama yangu”
niliendelea kupiga swaga,,
Nakupenda sana Neila ila tatizo huo uzuri wako naona aibu Mimi nikipita na wewe mbele ya marafiki zangu nitaonekana kama mimi ni mlinzi wako kumbe ni mpenzi,, ila kwakuwa umelizia wewe kuwa na Mimi kuanzia Leo nitakuwa namtoroka mke wangu kila siku
usiku nakuja kulala kwako mtoto mzuri mrembo, Hebu tandika vizuri kitanda tulale mpenzi nikupe mapenzi,, Nilimwambia maneno yenye kuingia kwenye moyo wake Neila alipagawa sana na swaga zangu za kinyawezi, alinikumbatia kwanza kisha akanibusu,,
harafu Akaniambia,
*mhh unajua kuongea kama wale watu wa samani nimekwaminia Ndio maana nakupenda wewe,,Neila aliniambia huku anatandika kitanda,,alipomaliza Tukalala kitandani,, harafu nikaendelea kumpiga sikendo tu huku namsha shika kidogo, ilipofika wakati ule mgumu wa kutaka kupigana miti kasi, Nilimwambia,, Neila Twende nje kwanza nataka niende nikakojoe maana mkojo umenikaba kama jambazi linataka kunipora hela,, kwa jinsi nilivyokuwa nimemlainisha Neila Alikubali tena akaongezea kusema kwamba hata yeye anamkojo, tuliinuka kitandani Neila akaenda kuuchukua ufungua pale alipokuwa ameuficha wakati anafungua mlango Mimi nilichukua nguo zangu fasta” nikazificha nyuma ya mgongo wangu kwa kutumia mikono,, Tulipo toka sebuleni tulikuwa tunanyata ilimke wangu edina asisikie Tulitoka vizuri tu, Kisha tukazinguka uani bafuni huko,,Neila akaingia kukojoa,, alipoingia tu Mimi nikavaa Fasta ngua zangu,, harafu nikala kona nilitoka mbio nyumbani kwangu huku nikimuacha Neila yupo chooni, Nilikimbia usiku ule mpaka nikafika nyumbani kwa rafiki yangu pilipili,, Nilifika nahema juu juu, kama nimekimbizwa na polisi” Nilimgongea mlango mfululizo,, pilipili alifungua mlango kwa tahadhali maana nilivyo kuwa nimegonga ulikuwa ugongaji sio wa kawaida,
*wewe nani. Pilipili
aliniuliza.
* Ghaah Mimi Peter,,
*Oooh Peter kulikoni tena usiku huu nyumbani kwangu,,
* pilipili wewe acha tu hebu tuingie ndani nikusimulie,
Nilimwambia pilipili. Basi tukaongia ndani
*Eeeehe nambie Peter,,
*daah pilipili mwenzio ninamtihani mzito.
Yule mtoto anazidi kuniingiza matatani zaidi yani huwezi kuamini ninavyo kwamba nilikuwa kwenye chumba chake hata sielewi nilifikaje huko alikuwa ananilazimisha tufanye mapenzi Nilipo kataa akanibia kwamba atapiga kelele huku Kisema kwamba nambaka,,
ikabidi nijichetue hakili nikakubali
ila kabla sija mfanya chochote nilianza kumpiga swaga za kinyawezi mpaka akatuliza mkali ili kumlainisha zaidi nilimchezea kwenye tumbo na mgongoni kumpapasa akazidi kupagawa ndipo nikamwambia kwamba tuende nje Mara moja kwanza nikakojoe ndo nije nimpige miti kasi,, alikubali Tulipo toka nje yeye alitangulia kuingia bafuni ndo nikapata hii nafasi ya kukimbia kuja huku kwako,
yani sina hamu kabisa na nyumbani kwangu,, Nilimsimulia pilipili,, akasikitika sana kisha akaniambia”
*pole sana rafiki yangu kwa huyu mtoto nimeanimi kuwa ana mambo makubwa kuliko hata umuli wake sasa itabidi kesho uiteshe kikao pale nyumbani kwako wazazi wa huyo mtoto na mke wako pamoja na Mimi,
ilitujue tunalitatua vipi hili tatizo kwa sasa hakuna haja ya kulijadili sisi wawili twende tukalate,, tu pilipili aliniambia hivo,,
nilikuwa namwania pilipili kwa ushari Mzuri alikuwa mshauri nzuri sana hata kwenye kile kikao alichokitaka niliamini kwamba mambo yote yatenda kuishia hapo.Tulienda kulala mpaka asubuhi,, pilipili alikuwa na kawaida ya kwenda kukata majani ya ng’ombe kila siku akiamka tulienda nae kukata hayo majani
saa nne ilipofika nilienda nyumbani kwangu nikamkuta mke wangu amenuna
Akaniuliza
*Mme wangu Jana ulilala wapi,,
*Mke wangu Mimi nililala kwa rafiki yangu pilipili na sababu kubwa ya kulala huko
ni huyu Neila
* inamaana Neila anakufanya wewe usilale nyumbani kwako “,
*ndio mke wangu Neila hana hakili nzuri sijui wewe unapendea nini tu,
,ila tuachane na hayo Leo jioni kutakuwa na kikao cha familiya hapa. Sasa hivi naenda nyumbani kwa kaka Nasoro” nikamwambie pamoja na shemeji iliwahuzulie kikao hiki
*Mhh, Mme wangu kikao kinahusu nini tena,
*Utakuja kujua kikao kikianza”
nilimjibu Edina ambae ni mke wangu. Kisha nikaingia ndani nikatoa honda yangu baada ya hapo nikawasha harafu nikaanza safali ya kuelekea nyumbani kwa kaka nasoro, Nilipofika huko napo nikakuta mambo mengine ambayo yalivuruga latiba yangu
yani nilipofika nyumbani kwa Blaza niliwakuta wapo kwenye majinsi makubwa,, Nilipo muuliza Braza akaniambia kwamba mama mkwe wake amefaki dunia, hapo alipo alikuwa ameuagiza mtoto dukani iliakanunue vocha,anipigie aniambie talifa hiyo,
braza, nasoro alipo niambia hivo nikashindwa kumwambia kuhusu kikao ikabidi niungane nae katika majonsi,, tulikaa tukajadili,, kisha tukapanga safali ya wao kwenda msibani huko kisiwani Zanzibar,, baraza na shemeji waliondoka siku hiyo hiyo pamoja na watoto wao wawili hawa wengine watatu waliyo baki niliwachukua nikawapekeka nyumbani kwangu Mimi sikuweza kusafili kwa sababu hali ya mke wangu ilikuwa haitabiliki anaweza akataka kuzaa mda wowote ila nilichangia michango ya lambi lambi na kutuma pesa kutumia katika msiba huo zilipita siku mbili Mimi nikawa nalala kwa rafiki yangu ilipofika siku ya tatu. Mke wangu akaniambia kwamba nilale nyumbani tu kwasababu alikuwa hajisikii vizuri,, kutokana na hali aliyokuwa nayo ilinibidi kubaki nyumbani,, mda wa kulala ulipo wadia. Nilitangulia Mimi kuenda chumbani kwangu kulala baada ya mda mke wangu nae alikuja akiwa pamoja na Neila, Nikamuuliza mke wangu.
*Edina, huyu Neila amekuja kufanya nini huku,,
*Amekuja kulala huku si kuna vitanda vipo viwili wewe lala hapo sisi tutalala hapa,
,Edina alinijibu hivo
Daah nilipooza kama mgonjwa maana Nazijua hakili za Neila kwa usiku ule sijui itakuwaje
SEHEMU YA 10
Nilikosa cha kuongea ikabidi nijifunike shuka nilale, Nilipo lala nilianza kumuomba mungu anilinde kusudi Neila asinifate,
* Neila wewe unalala upande upi ukutani au huku mbele,
Nilimsikia mke wangu anamuuliza Neila,
* Ma mdogo, Mimi napenda kulala mbele silalagi ukutani kwa sababu naogopa kujibamiza usiku Neila, Alimjibu Edina”
*Haya sawa ngoja Mimi nitangulie kulala huko ukutani, Edina, alisema harafu akapanda kidandani Akalala, Neila nae akafata
.baada ya kulala nilikuwa nawasikia wanaongea ongea tu. Hatimae wakachoka Neila akainuka kisha akaenda kuzima taa,
Alipozima Akavua mavazi yake yote harafu akajifunga kanga moja, baada ya hapo Nikamsikia Anasema Leo lazima,
Edina akauliza
,* Lazima nini tena Neila,
* Ma mdongo nilikuwa nasema Leo lazima usingizi uje
*Aaah poa Neila alipanda kitandani akalala, Mimi usingizi ulikuwa hauji kabisa mda wote nilikuwa nimejawa na wasiwasi. Tu” Hapa siwezi kulala ngoja nitoke nikalale sebuleni, Nilijisemea hivo, Kisha nikainuka Talatibu nikaenda mlangoni huku nikiwa nanyatia mwenyewe,, Nilipo kishika kitasa cha mlango Mara ghafla. Nikashangaa mtu amenikumbatia kwa nyuma harafu akaniuliza kwa sauti ya chini,
“unaenda wapi usiku wote huu,Nilitetemeka. Baada ya kugundua kuwa mtu aliye nikumbatia Alikuwa ni Neila
“Nenda msalani,, niachie Nilimjibu huku namtoa mikono yake kwenye mwili wangu,
* Ba mdogo. juzi ulinifanyia ujanja wa kipuuzi sana ukanitoroka ukaniacha chooni peke yangu Nilikeleka ila nikavumilia tu, sikia sasa Leo nataka unijue Mimi ni nani. Si unaona nilivyo kushika. Hapa nakuvuta mpaka kitandani kwa ma mdogo harafu naanguka nawe hapo kisha naseme unanibaka,, Neila aliniambia hivo, bila kuchelewa akaanza kunivuta,, Nilikubari tu tulipokalibia. Nikampiga pigo moja sijui linaitwaje hapo hapo akazimia.Talatibu nikamlaza kitandani, nilipo maliza kumulaza nikasema shezi wewe huwezi kunizidi maalifa harafu nikatoka nikaenda sebuleni nikalala kwenye makochi, palipo kucha asubuhi,, nilidamka mapema nikaenda kazini, sikutaka kusubili chai wala chapati, nipofika kazini Nilipiga kazi kazi siku hiyo ilikuwa j mosi, Niliondoka mapema, Nikaanza kulanda mtaani
Nilikuwa sijui Neila anaendeleaje
Mimi nilikuwa na mishe mishe zangu tu
mchana ilipofika nikaamua kurudi nyumbani,, Nilipofika nikawakuta watoto wanacheza walipo niona walikuja kunisalimia, walipo maliza wakaenda kuendelea na michezo yao, Nilijipa kazi ya kuosha honda yangu nikaanza kuiosha wakati naendelea kuosha nikamuona Neila. Anatoka ndani akiwa na fulushi la nguo alikuja kalibu yangu maana bomba la maji lilikuwa pale pale siku hiyo hakunisalimia Alionekana kuchukia sana, na Mimi nilimpotezea tu sikutaka kumuuliza chochote, kila mtu alikuwa bize na kazi yake Nilipo maliza kuosha Honda yangu nikaenda ndani nikamkuta mke wangu amelala,, nilisimama nikaanza kumtazama tu jinsi alivyo jiachia na kitumbo chake,, kusema kweli Edina, Alikuwa mwana mke mrembo sana kila nikimtazama naona kwamba Mimi Najua kuchagua,
baada ya kumtazama kwa mda nikaamua kulala pembeni yake, usingizi ulinichukua kidogo watoto walikuja kutuamsha ilituende kula chamchana.Tuliamka tukaenda mezani Tukaanza kula mda mwingi Nelia Alikuwa anani angalia kwa chuki Mimi ndo nilimshitukia nikawa nakwepa kumwangalia mpaka tukamaliza kula, tukatawanyika
Mimi nilienda kuoga baada ya hapo nikatoka nikaenda kwa rafiki yangu pilipili”.Siku weza kurudi nyumbani, nikawa nakaa huko labda mara moja mara moja tu nilikuwa nakuja kumusalimia mke wangu pamoja na wale watoto wa Blaza,
ilikuwa siku ya ijumaa Neila alichukua simu ya mke wangu akanipigia kisha akaniambia niende nyumbani haraka nikampeleke hospitali mke wangu ameshikwa na uchungu,
* haya sawa nakuja sasa hivi nilimjibu hivo, harafu nikamwambia pilipili tukaondoka wote tulipofika tukakuta hali ya mke wangu ni mbaya sana dereva tax alikuja tukampakia mke wangu pamoja na sisi tukampeleka hospitali, tulipofika tukapokelewa na wahudumu wa hapo wakamchukua mke wangu sisi tukasubili nje, baada ya mda. Nesi alikuja akatuambia kuwa mke wangu amejifungua mtoto wa kiuome,, Nilifurahi.sana” Hali ya mke wangu ilipokaa vizuri tulipewa ruhusa ya kurudi nyumbani,, furaha ya ndoa ni mtoto hakika Mimi na Edina Tulikuwa watu wenye furaha kubuwa katika ndoa yetu,
maisha yaliendelea Mimi nilikuwa silali pale nyumbani, wiki tatu zilipita Blaza na shemeji walirudi kutoka msibani Zanzibar,, walipo rudi walikuja kumuona mwanangu pia kuwachukua watoto wao,,kasoro Neila tu ndo walimuacha kwa sababu Neila alipendwa sana na mke wangu hivyo alipendekezwa kubaki,,
siku moja Edina mke wangu Alikuwa Ametoka sikujua Alienda wapi maana Mimi nilikuta hayupo. ila nilimukuta Neila Akiwa anamywesha maziwa Mtoto,
ukweli ni kwamba tangu ajifungue mke wangu Mimi na Neila Tulikuwa hatuongei Mara nyingi nilikuwa namnyanyapaa wakati mwingine nilikuwa nakuja nyumbani wakati yeye akiwa ameenda shule akirudi miki naondoka.
Sasa siku hiyo ambayo Alikuwa ameachiwa mtoto ilikuwa J tano nilikuwa najua ameenda shule bahati mbaya nikamkuta yupo,
*Ba mdogo kalibu sana, Neila aliniambia huku anaendelea kumnywesha maziwa mtoto, Nilipuuza nikataka kuenda chumbani kwangu,, Neila Akasimama harafu Akaniambia.
* Ba mdogo kama usipo nisikiliza Leo Namuua huyu mtoto hebu Tazama hapola mezani.
Nilishtuka niliposika maneno hayo kutoka kwa Neila, Nikatazama mezani nikaona vigae vya chupa vilefu vilefu vyenye ncha kama ya sindano vimepangwa,,
*Neila hivyo vigae vya nini,,Nilimuuliza.
* Endapo utazubutu kupiga hatua moja.Tu kusogea Hapa Namtupia huyu mtoto akichomwa na vigae huyu hawezi kupona tena Sasa ili awesalama kubali ninacho taka Mimi,, * Neila kwani unataka nini jamani,nilimuuliza huku nikiwa nimepoa kama maji kwenye mtungi,
* Nataka Tufanye mapenzi, Tu
Neila alinijibu hivo.
Nitafanya nini sasa,,,,,
INAENDELEA

