WATOTO WA BOSI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 26
Asubuhi Dallan alikuj kuniamsha chumbani kwang. Niliinuk na kukaa kitandani nilimuangalia Dallan uson . Najua unaniangalia umenisahau yaan kiujuml umetusahau wot humu ndani ila ipo siku nitakueleza ww ni nani na ilikuwaj had leo hii upo na mm hapa. Dallan aliongea huku machoz yakimlenga machoni mwake. Sikumjib kitu chochote niliendelea kumtazama tu. Sikia Allin umenipa heshima kubwa sana ambayo hata mama yang hajui ni kias gan una thaman kubwa kwang umenipatia watoto ili hal sikuw na huo uwezo nilikata tamaa baada ya kuona hivi lakin leo naend kukupa heshima ya kuwa mke wangu. Sijaelew unamaanisha nini Dallan nilimuulz. Leo tunafunga haruc mm na ww sijal umepona au la nataka uwe mke wang. Enhe mbona ghafla sana hata bila kunitaarifu jaman nijiandae. Ujiandae kuhus nn Allin kila kitu kimepangwa tayar na nilitaka iwe sapraiz lakin nimejikuta tu furah imezid nimeshindw hata kunyamaza nimekuja kukuambia. Nilijikut siamin kabisa maneno ya Dallan machoz ya furah yalinitok nilimkumbuk sana baba yang na yy angekuwep ili ashuhudie bint yake nikiolew japo alinifukuz nyumbani kwak ila sio makosa yak. Unalia nn mke wangu au hujapenda kukupa hiz taarifa za ndoa. Hapana nimefurahi ila nahitaji baba yangu awepo nataka aje ashuhudie mwenyewe bint yake leo hii naolew . Kaul hii ilimshtua kidogo Dallan. Aliin niambie ukwel una kumbukumbu au la Dallan aliniuliz. Sijapotez kumbukumbu ninaz Dallan nilijib kwa hacra. Kwann sasa umedanganya hili had nimeangaika kumtafuta daktari kutok nje aje akutibie. Nisamehe Dallan kwa hili mm nimefanya hivi ili niyaokoe maisha yangu na watoto wang pia najua kabsa mama yako hanipendi na ananichukia sana alidirik hadi kunitoa mimba leo hii anaona wajukuu watam sana sio nilianz kulia. Bas sawa tafadhali usilie hii itakuw siri yangu mm na ww had tutakapoondok kwend kuishi kwenye nyumba yetu naomba uniambie baba yako anaish wap nikampatie mwaliko. Nilijikut nikifurah baada ya kusikia hivyo nilimtajia nyumbani kwet Dallan. Sawa naondok nitarud mda sio mrefu tutakutana kanisani. Dallan alitoka nje na kuniacha peke yangu chumbani. Mara bi Afsa alikuj Shikamoo mama nilimsalimia. Marahaba vipi umeamkaje binti yangu bi Afsa aliniuliz. Salama tu vipi watoto wang wanaendeleaje. Wako salama wanakunyw maziw hatar yaan una watoto wazur umewazaa Dallan na Alvin. Kwel niliongea huku nikicheka ndio binti yangu nimekuj kukuambia ujiandae twend salun ukapambwe . Sawa nipe dakika ishirini tu nitakuw tayar. Nilimjib bi Afsa niliingia bafuni kuoga nilijiandaa na kutoka nje. Nilienda chumbani kwa watoto wang ambao wapo chin ya uangaliz maalum wa madaktar niliwatazam kwa mud huku nikiw siamin Kama ndio mm niliowazaa kwenye tumbo lang. Bi Afsa alikuj kuniit tuliondok na kwend saluni kupambw. Tulifik saluni tulikut mpambaj yupo tayar anatusubir. Nilianza kutengenezwa nywel zang ghafla alikuj mwanamke ili atengenezwe nywel zak. Habar shost naona huk unapamba bi harus leo. Ndio niko na mke wa bosi hapa kaa pembeni kwanz mpambaj aliongea. Mh sawa yaan tang mume wang anifukuz nyumbani ndio naona umuhimu wa ndoa mwanamke huyo aliongea. Pole shost na ww ulizid kumnyanyasa mtoto wak kipindi kile unakuj kuhadithia hapa nilikuw nakutizama tu maan nilijua huk unapoolekea siko pazur ona sasa. Maongez yao nilitaman kumuon huyo mwanamk maan hakuw tofaut na tabia za mama yang wa kufikia. Tafadhali naomba niende choon haja ndogo imeniban nilimwambia mpambaj. Sawa dada aliniacha niliinuk na kugeuka sikuamin kumuon mama yang wa kamb huku akiwa amepungua vibay mno. Allin ni ww mama aliniuliz huk akionyesha mshangao. Ndio mm ulidhan nimekuf nipo mzima tu vip hal zen nilimuuliz. Allin bint yangu nahitaji kuongea na ww tafadhali. Subir kwanz haruc yang ipite Malaya mm nilienda kudanga hatimay leo naolew sijui binti zako wap na bikra zao had leo nilimuuliz. Mda wote huo bi Afsa alikuw akinitazam tu hajui kinachoendelea kat yetu na mama wa kambo. Nilikaa kwenye kiti nikamwambia mpambaj endelea muda unaenda nisije kuchelew kwenye haruc. Mara shela la harusi lililetw mama wa kambo alikuw kimy tu kajiinamia.
Episode 27
Enh ww kumbe ndio Allin ? Yule mpambaj aliniuliz . Ndio mm Kwan vp kuna tatiz nilimuulz. Hapana mama yako alikuw anakuongelea ww kila siku tafadhali msamehe yaan hapo alipo katimuliw na baba yako nyumbani baada ya mdogo wako kumsemea mamb aliyokuw anakufanyia. Tafadhali mm mbona Sina mama amefarik tangu nipo mdogo mama yangu yupi sasa huyo ? Duuh haya bhana ila inauma sana si rahis kusameh yule mpambaj alinijib. Allin mbona sielewi kitu gan kinaendelea hapa? Bi Afsa aliniuliz. Usijal mama nitakueleza kila kitu baadae ngoj tumaliz shereh. Sawa. Nilimaliza kupambwa pale nilivaa gauni lang la harus . Allin binti yangu kipenzi naomba kuongea na ww nipo kweny wakat mgumu sana mama wa kamb aliongea huku machoz yakimtoka. Tafadhali tuheshimian nimekuambia ngoj nimaliz habar za haruc labd nawez kukufikiria sawa . Tulitok nje na kukuta gar linatusubir tuliingia kweny gar na kuondoka huku tukimuacha mama wa kambo pamoj na watu wengin wakitusindikiz kwa macho. Tulifika kanisani nilikut watu tayar wanatusubir sisi tu. Nilienda madhabahun ambap padr alikuw yupo tayar kutufungish ndoa. Dallan aliulizw kama yup tayar kunioa na kuwa mke wak alikubali watu walishangilia pia niliulizwa na mm nilimjib tulivishan pete na kupew barak Kish tukatoka kanisan na kwend msasani kupiga picha baada ya hapo tulirud nyumbani kwa ajili ya sherehe. Tulifika nyumbani tulikut watu weng tayar wameshafik niliingia chumban pamoj na Dallan kubadilish nguo ili twend kweny party . Allin nashukuru leo nimetimiz ahad yangu ya kukuoa Dallan aliniambia na kunikumbatia. Asante usijal Dallan kil kitu mungu ndie mpangaj nakupenda na nahaid sitokuacha hata ukiw vipi umenijal kweny mazingir magum yote niliyopitia. Asante mke wang pia baba yako atakuwepo kweny shereh yet kwahiyo ondoa shaka . Waoh kwel Dallan mbona nahs Kama utan tu niliongea kwa furah na kunikut nikimbusu Dallan mdomon bila kupotez mud tulianz kubadilishana mate. Muda mke Wang watu wanatusubir huko nje hebu tubadilishe nguo harak . Sawa nilimjib Dallan tulibadilisha nguo na kutok nje kweny sherh . Tuliingia kwa wimbo maalum ambao Alvin na mke wak walitusindikiz hadi kweny viti ambap tulitakiw tukae. Tulikaa chin Kisha ratib zingin zilianza . Ulifika mda wang wa kutambulisha ndug zang. Sikuon dalili ya baba kuwep nilijikut nikikos furah lakin nilitamka tu . Napenda kuwatambulish baba yang kipenzi popote alipo asimame. Sikuamin kumuona baba yang akisimama sikumuon zaid ya miaka mitano na nusu tangu alipoenda kusoma marekan nilijikt machoz yakinitok baada ya kumuona. Baba alikuj kunikumbatia alishindwa kujizuia . Baba alichukua maik na kuongea kwa furah. Jaman nahc furah sana leo ni siku muhimu sana kwa bint yang ambaye sikumuon kwa miak mitan hatimay leo amefunga pingu za maish na mume wake Dallan. Sina cha kusema zaid ya kuwapongez sana pia nawazawadia nyumba pamoj na gar mbili pamoj na dola elfu ishirini. Kila mtu hakuamin kusikia hivyo hadi madam Jenny alipigwa na butwaa . Watu walishangilia na kupig makof. Duuh kwel usimdharau mtu Alvin aliongea huku akimuangalia mama yak na kuanza kucheka. Baba aliend kukaa niliwatambulish na wazaz wa Halima pamoj na Halima kama sehem ya familia yangu. Watu walitoa zawad tulikul pamoj na kunywa pamoj na kuchez . Hatimay shereh iliisha Salam na kila mtu aliondoka na kubak familia kam familia. Niliingia chumban kubadilish nguo mara madam Jenny alikuj chumbani. Kumbe una baba tena ni tajiri tu Sasa kwann ulikuw unaish maish magum? Madam Jenny aliniuliz. Ni historia ndef mama mkwe siwez kuelez hap nitapata machung. Sawa usijal Dallan alinieleza kila kitu leo asubuhi pia najua kuw hujapotez kumbukumbu umefanya kwa ajili yang. Ndio ni kwa sabab najua hunipendi mama mkwe nilimjib kwa ujasir. Tafadhali naomba unisameh sana Allin sikuwah kujua Kama kijana wangu ana matatiz na leo hii hatimay umemfanya aitwe baba . Madam Jenny alipiga magoti hadi chin. Tafadhali mama usipige magot sio vizur kabis . Najua ila ni lazim nifany hivi nimekutendea ubaya mwing Allin naomba unisameh nakuomba madam Jenny aliongea huku akiwa analia. Nimeshakusameh mama mkwe kuw na aman. Kwel madam Jenny alisimama na kunikumbatia.
Episode 28
Madam Jenny alitoka chumbani na kuniacha peke yangu. Baada ya muda mfupi Dallan alikuja chumbani alinikumbatia kwa furaha hatimay leo na mm nina mke kwel Mungu ni mkubw. Kwel Dallan Mungu ni mkubw hata mm sijategemea kwa kwel. Sawa kesh tutaamia kweny nyumb aliyotup baba yak kama heshim pia kutakuw na kikao cha familia nyumbani kwenu kwahy kesh tutaend kwen. Sawa usijal mume Wang nina using kwel siku ya leo nimechok had sijaenda kuwaona watoto. Usijal wamelala wamekunyw maziw wameshib. Sawa Dallan alinibus Kish tukalala hadi asubuh. Asubuh tuliamk tulikunyw chai ambay iliandaliw maalum kwa ajil yet tulienda kuwaon watoto Kish tukaend nyumbani kwet . Nilimkut baba na mama pamoj na watoto wake. Mama alivyonion alipiga magoti huku akilia. Allin nakir mbele ya baba yako nimekutesa sana naomba unisameh najutia matendo yang mama wa kambo aliongea kwa uchungu. Mama tafadhali naomba uinuke siku zote binaadam tunapaswa kulipa wema kwa ubay na sio ubaya kwa ubaya mm nimeshakusameh tayr kwa kuw umejutia makosa yako mbele ya watu nilimjib mama wa kamb na kumuinua pale chini. Asante binti yangu nashukuru sana mungu akubariki sana. Usijal nilimgeukia baba ambaye alikuw amekasirik. Baba msameh mama yy ni binaadam tu lazm akosee tafadhali nakuomba niliongea kwa msisitizo. Yaan Kama sio ww binti yangu kipenzi kumuombea msamaha nisingemsameh ila yot maish nimekusamehe mke Wang. Mama wa kamb alimkumbatia baba baada ya kusamehew. Tulikul pamoj chakula cha mchan Kish tukaondok . Tulirud kwa madam Jenny tuliwachukua watoto wetu na kwend kuanza maish yet mapya mm na Dallan. Huku Alvin akiwa na mke wake pia nilitoa kias cha fedha nilimpatia Halima na wazazi wak. Maisha yet yalikuw mazur huk mume Wang akiendelea kupat tiba katik hospital kubw na hatimay alipon baad ya miak mitatu tulibahatik kupat mapach wengin wa kike . Furah iliongezek na upend ulizid huku familia zote tatu zikipendana na kuwa kama ndugu.
MWISHO

