WATOTO WA BOSI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 16
Tulitoka hotelini na kuelekea nyumbani kwa akina Alvin. Tulifika nyumbani na kuingia ndani nilimkut bi Afsa jikon nilifurah kumuon . Enhe binti yangu hatimay umerudi Tena bi Afsa aliongea. Ndio mama shikamoo nilimsalimia. Marahaba karibu , asante mama nimechok ngoj kwanz nipumzike Niliend chumbani kwang kulala maan nilijhs kuchok sana. Nilikuj kuamshw na bi Afsa Allin bosi amefika anahitaj kuongea na ww fanya harak. Niliinuk na kutok nje nilimkut mama pamoj na Alvin. Nilikaa kwenye kiti na kumsalimia mama yake na Alvin aliitikia kwa furaha zote had nilijikut nikishangaa maana sio kawaida. Nasikia una ujauzito wa kijana wangu? Bosi aliniuliz. Ndio mama nilijib huku nikiw na was was . Sawa utakaa hapa hadi ujifungue Kish tutajua kitu gan tutafanya. Sawa mama nilimuitikia bosi . Mama yake na Alvin aliondoka na kutuacha mm na Alvin. Alvin ina maana mama yako amerudi kwa sabab yetu ss kisha kaongea maneno mawil tu na kuondoka nilimuuliz Alvin. Hata mm sielewi ila nahs itakuw kuna mzigo kaleta toka nje sio kwa ajili yetu pekee. Mhhh sawa niligun maan was was uliniingia kidogo. Usijal kipenzi uko na mm hakuna kibaya kitakachokupata sawa Alvin alinipa moyo . Vipi kuhusu Cathy mbon simuoni hap niliulz. Unamtaka au? hawezi kuwepo hapa Dallan kaniambia aliondoka leo asubuhi baada ya kusikia ww ni mjamzito. Sawa . Nilitoka sebleni na kwend jikoni ili nikamsaidie kaz bi Afsa. Nilimkut anaosh vyomb. Mama ngoj nikusaidie kuosh vyomb nahs tang jana umechok kwel hukuw na msaada. Hapana acha usishik vyomb bosi amekataz ww hapa sasa hivi ni mke mtarajiwa wa kijana wake kwahy hutakiw kufanya kaz pia utakuw unalala na Alvin sasa hivi. Enhe ndio yamekuwa hayo tena mama nilimuuliz bi Afsa. Sasa si ndio ulichokuw unakitak uwe mke wa mtoto wa bosi wako au. Hapana mama sikutak iwe hivyo imetokea tu bahat mbaya. Sawa nenda kapumzik maan nimesikia ww ni mjamzito bi Afsa aliniuliz. Ndio mama ni mjamzito ila sio kwamb ndio siwez kufanya kaz nitakuwa nafanya sitaki kujilemaz. Maongez yalinog na bi Afsa mara bosi alikuj jikon ilibid wote tunyamaz kimy. Jion kutakuw na wagen kashereh kadog tu tutakuw wanafamilia wachach ili tukutambulish wakujue kuw ww ndio mke mtarajiwa wa Alvin kwahy bi Afsa hakikisha chakula kinakuwepo na ww Allin jiandae tukanunue vitu tutaenda pamoj na Alvin. Tulimuitikia pale bosi alitok na kutuacha jikoni. Mbona Kama mapigo yak ya moyo yanakuenda kas vip? Bi Afsa aliniuliz Mhh mama uoga muhimu yaan huyu mama tang nirud nina mashaka naye we mtu hakupend abadilike ghafla tu. Binti yangu una akili siku zote ili umpate adui yako lazima uwe karb naye kwahy akil kichwani mwako. Mama na ww mzee wa misemo tulijikut tukichek nilitoka sebleni na kuwakut wapo tayar. Tuliondok na kuelekea mjin kununua vitu. Njia nzim tulikuw tunapig stor huku tukifurahi wot kwa pamoj. Natak uend hospital nzur ya private ndio uanze klinik nataka mjukuu Wang asipate shid bosi aliongea. Sawa mama nilimjib. Tulimaliz manunuz na kurud nyumbani. Maandaliz yalifanyik na shereh ilifik Alvin alinitambulish kuwa mm ni mke wake mtarajiw tulikul na kunywa. Shereh iliish watu waliondoka na cc tukaend chumbani kwet kulala. Alvin mama yako kabadilik sana sijui shid ni nn? Nilimuuliz Alvin Niliongea nae na akanielew kwahy Sasa hiv ni kitu kimoj na ss jitahid kumuheshim tu. Sawa nimekuelewa Alvin nipe story mume Wang. Stor sina ila kesh tutaondoka na mama Sweden. Kaul hii ilinishtua kidg niliinuk na kumuangalia vizuri Alvin. Mbon ghafla hivy Alvin had nimeshtuk. Ni ghafla kwel mama kanitumia mesej Sasa hiv hap ila usijal kuna mizigo ya biashara naenda kuchukua sitachelew wiki tu nafanya hivy kwa kuw mama hatarud mm ndio nitarud nayo kwa ajili ya uangaliz. Sawa nakupenda Alvin nilimwambia na kumbusu. Asant mke wang. Tuliamk asubuhi na mapema Alvin alijiandaa pamoj na mama yake . Mimi na Dallan tuliwasindikiz uwanja wa ndege. Tulikaa had ndeg ilivyoondok na cc tukarud nyumbani. Dallan alinishusha na yy akaondoka kwenye mihangahiko yake. Mi niliingia ndan Kwa kuwa nilikuw na njaa nilipitiliz jikon ili nikal nilimkut bi Afsa anapik. Shikamoo mama nilimsalmia. Marahaba za utokako aliniuliza Salama tu nina njaa hatar vip mana msosi upo wap. Angalia hapo ila nina maagizo yako kutoka kwa bosi. Maagizo gani mama wakati nilikuw naye kule uwanja wa ndege hajanipatia. Labda alisahau ujiandae uende ukaanz klinik katka hospital wanayotibiw wao kwahy kuna mtu atakuj kukuchukua hapa . Nilijikut nikipigwa na butwaa kwann anilazimish hospital yao. Na kwanini hicho kitu asiongee mbele ya Alvin hapa kuna kitu . Niliwaz sana kengele ya hatar iligong kichwani nikijumuish na safar ya ghafla ya Alvin. Sawa mama ngoj nikajiandae nilimjib bi Afsa na kwend chumbani. Niliingia ndan niliichukua simu nilitafuta namb ya Alvin lakn haikupatikan.
Episode 17
Nilijikut hofu ikiniingia kwa kweli niliingia bafuni kuoga nilivaa na kukaa kitandani . Mara mlang wa chumbani uligongwa niliinuk na kwend kufungua nilimkut bi Afsa . Mama vipi nilimuuliz huku nikiw na hofu tele. Huyo mtu aliyekuja kukuchukua ameshafik yupo sebleni anakusubir ww tu. Sawa nakuj sasa hivi nilimjib bi Afsa na kuufung mlango. Eh Mungu naomba unisaidie katika hili nahitaji msaada wako. Niliongea hivy na kutok nje nilimkut mwanamk wa makamo amekaa sebleni ananingoja. Allin aliniit Nilishangaa kanifaham vipi nilimsalimia. Marahaba madam Jenny alinipa taarifa zak ndio maan umeshangaa nimekujuaj yule mwanamke aliongea nilizid kumtizam uson kwa umakin. Twend maan muda umeenda tulitoka nje na kuingia kwenye gar derev wak aliwash gar kisha tukaondok. Tulikuw kimy mda wote kweny gar lakin gafla yule mwanamke alitoa kitambaa cheusi na kunifunga mach alichukua kamb na kunifunga mikono Mama tunaelekea wapi Kwan? Nilimuuliz yule mwanamke. Kwan mkwe wako hajakuambia tatizo la nyie wanawak mna tamaa sana hiv ww una hadh gani ya kuwa na mtoto wa madam Jenny. Maneno ya mwanamk huyo yalinishtua na kujikuta nikianza kuogopa. Mbona sikuelewi una maanisha nini mama. Utajua tukifik huko hii ndio dawa ya watu wenye tamaa kam nyie. Nilikos msaada sikujua gar linaelekea wap baada ya muda mref gar lilisimama nilifunguliw kitambaa machon pia alinifungua mikono. Sikia binti utii wako ndio utakaokuokoa hapa tumekuleta hapa hospitali kukutoa hiyo mimb na ikitok utaondoka mbal na hapa usije ukarud kwa Alvin. Pia nakuony ole wako uweke sura ya huzun tukiingia humu ndani nitakuua. Haya shuka haraka kweny gar yule mwanamke aliniamrisha . Tulishuka kwenye gar na kuingia ndani ya hiyo hospital kupitia mlang wa nyum hata sikujua ni wapi. Kila mtu alikuwa bize na shughul zake tulipanda lift tukatokezea kweny korid hapo tulimkut mdada wa kizungu aliyevaa nguo za kidaktar akitusubir Ndio huyu ? yule mdada aliuliz Ndio dada yule mwanamke alimjib Sawa mngoj hapo kweny bench ndan ya nusu saa kila kitu kitakuw sawa. Niliingia na yule dada ndan aliniamur nilale kwenye kitanda pembeni kulikuwa na vifaa vying . Nilimuuliz yule dada kwa lugha ya kingerez maan nilikuw nakijua kwahy sikupat shid. Dada unapenda watoto ? Ndio napenda watoto sana kwanini umeniuliz hivy. Nimekuuliz kwa sabab naona unataka utoe kiumbe chang kisichokuw na hatia niliongea huku machozi yakinitok. Kwan bint hadi kufika hapa si mmeshaurian huko nyumbani unakuj kutoa mimb ? yul daktari aliniuliz . Sijataka nitolew ujauzito mm lakin niliongea kwa hasira. Lakin ww ni mwanafunzi nimeambiwa na mama yako tuitoe. Mama yang yupi sina mama alifariki tangu nipo mdog maish yangu yaliharibik tangia hapo sina ndug zaidi ya mtoto aliyeko tumbon mwang kila kitu ulichoambiw ni cha uongo hii ni njama tu . Sasa binti tutafanya nn na mm nimeshalipw fedha kwa ajil yako na mm siwez kuzirudish. Basi ondoa uhai Wang nife pamoj na mtoto wangu. Sawa nimekuelewa nitakusaidia ila itabid ujidai mimb imetoka ila nakuomba usirudi kwa madam Jenny maan siku akifahamu hili maish huna na mm kaz nitakosa. Nilimshukur sana yule daktari Baada ya nusu saa aliniruhus nitok nilitoka nje huk nikijidai kutembea kwa taab nikiashiria nina maumivu makali ya tumbo. Narudi 🚶🚶
Episode 18
Yule mwanamke alivyoniona alifurah alinisogelea na kuninong’onez honger binti jasiri ww siku nyingine usije ukarudia kujilelengesh kwa watu wenye fedha. Sikumjib kitu zaid ya kumuangalia tu machozi ya uchungu na hasir yalinitok ndio yalizid kumuaminisha kuwa mimba imeshatolew. Alichukua simu yake na kumpigia bosi mama yake na Alvin. Madamu kaz imekamilik sasa kilichobak kingn . Cjui aliongea nn aliitikia na kukat simu. Tulipanda lift na kutoka nje tuliingia kweny gar nilifungw kitambaa Tena uson ili nisijue ni Mahal gan. Baada ya muda tulifika nyumbani kwa kwa akin Alvin nilifunguliw kitambaa na kushuka kweny gar. Niliingia ndan na kumkuta Bi Afsa anaandaa chakula mezan. Enhe klinik masaa yote had nilipatwa na was was juu yako bi Afsa aliongea. Niko sawa mama kuna mahal tulipitia ila usijal niko sawa mama Nina njaa hatar . Nilikaa mezan na kupakua msosi nilianz kula kama mweh maana wale wajinga hawakunip hata chakul. Mama vip Dallan yupo wap mbona sijamuona kutwa nzim niliuliz. We ndio tukuuliz alikuj hapa amekaa sana ila kaend uwanja wa ndege kumpokea mama yak na Alvin. Enh si wameondok leo inawezekana vipi wakarud leo. Wameishia hapo kenya tu mzigo waliotak waufuate umeagizwa kumb. Mhh sawa niliitikia lakin moyon nilijua ulikuwa ni mtego wa mama yake na Alvin. Amefanya hivyo ili amzuge mume wang. Niliimalz kula niliinuk na kwend chumbani . Niliog na kujilaza kitandani nilikuw na mawaz meng kichwan mwang. Mimba haijatok na nikikaa hapa tumbo litazid kukua nitaenda wapi sehem yenye usalama . Ila ngoja leo Alvin akija nitamuelez ukweli kwa kilichotokea leo. Nikiwa kati kati ya mawaz mlang ulifunguliwa aliingia Alvin . Mke wang kipenzi Alvin aliniit na kunisogelea pale kitandani. Nilitak kuinuka lakini alinikataz. Usiinuk mama k wang nakupenda sana alinisogelea na kunibus. Asant nilimjib vipi mbona mmerud mapem si ilibid muende Sweden. Ni kwel ila dharula ilitokea kwang mm nimeon sawa ili nije kukuona. Sawa najisikia vibay naomba nipumzike kwanz Alvin. Vipi tena mke wang unajisikia vibay sana nikupeleke hospitali. Hapana una was was nn Alvin nilimuuliz. Lazima niwe na hofu kwa kija wang poa ngoj nioge kwanz dar joto san. Alvin aliingia bafuni kuoga alitoka na kuelekea kabatini kuchukua nguo lakin alivyofungua kabat alishtuka . Nn Alvin mbona umeshtuk hivy umeona nn nilimuuliz Alvin. Alinitupia boks la dawa lililokuwa kabatini . Nililichukua na kuliangalia sikujua ni dawa gan kwa kwel. Nilimuuliz dawa za nn hiz Alvin . Alvin alinitandik kibao nilhs kuchanganyikiw akil. Nini Alvin kwann unanipig nilianz kulia . Hili boks la dawa za kutolea mimba linafanya nn chumbani. Dawa za kutoa mimb nilijikut nikiishiw nguvu niliinuk na kusimama. Sielewi kitu Alvin ndio Kwanz naliona hapa. Ndio limetumik unataka kuchez na akili yang unatoa mimba yang nimekufanyia nn Allin . Alvin aliongea kwa hasira nilijikut nikilia na kushindwa kuongea kitu chochote. Damu naz zilianza kutoka baada ya kupigwa kibao cha kushtukizw . Nenda bafuni kajisafish nakusubiri sebleni uelezee hich mbele ya mama. Alvin naomba nisikiliz kwanz mm sijatumia hiz dawa. Kelele muuaj mkubw ww nakuchukia. Alvin alitoka nje na kuniacha chumbani. Niliingia bafuni nilijisafish hof ilinitawal kwa mtoto wangu aliye tumbon kama yupo salam. Niliwaz nan kaweka zile dawa kwenye kabat. Nilivaa na kutok sebleni Dallan naye alikuw anatoka chumbani kwake. Alivyoniona alifurah na kuniuliza. Ulienda wapi leo mbona sijakuona kipenzi Chang. Alvin alinigeuk na kuniangalia pamoj na mama yake. Leo ulitok ulienda kununua dawa za kutoa mimba sio. Nilimuangalia mama yake na Alvin tulikutanisha macho alinikonyez. Ndio nilienda kununua dawa za kutoa mimb siwez kuzaa na ww Alvin . Sijategemea Allin kufanya ujinga kama huu nakuchukia toka mama sihitaji kumuona Allin mbele ya macho yangu . Alvin aliongea kwa hasira huku machozi yakimtoka alitoka na kuelekea chumban kwak. Mhh mama sitegemei kuwa Allin anawez kufanya hiv lazima kuna kitu Dallan aliongea. Nyamaza na ww Allin umeupa jeraha moyo wa kijana wangu huna maana malaya mmoj ww naomba utoke nje nisikuone. Bosi aliongea kwa hasira. Mama usiki huu Allin anaenda wapi ukizingatia ni mtoto wa kike Dallan alilalamik. Bosi alimuita mlinz aje anitoe mule ndan. Mama nitatok mwenyewe bila ya kusukumizw nahitaji nichukue nguo zang. Haukuja na nguo mbwa ww toka humu ndani mama yake na Alvin aliongea kwa hasira. Mama hapan unachofanya sio Allin aende wapi usiku huu. Dallan Sina namna asant nashukuru nilitok nje bila hat ya kugeuk nyum. Lakin Dallan alinikimbilia nje aliingiza mkon mfukoni mwak alitoa simu yake pamoj na pesa kias cha elf hamsin. Nakupa hii simu sijal ina umuhim gan kwang utanitafut kesh asubuh pia kalal hotel usiku huu. Niliondok na kumuacha Dallan akiniangalia
Episode 19
Niliondok nisijue pa kwenda usiku huo nilitembea had stendi nilipanda bas had kimar kwa rafik yang Halima aliyenitafuta kaz bahat nzur nilimkut maan ni mzee wa kuzurula kama kuku. Halima alishangaa kuniona mda huo Enhe shost mda huu uko hapa unafanya nn ten Halima aliniuliz. Nina matatizo mengi sana ila nahitaji unisaidie nipate pa kulala usiku huu kesho nitajua pa kwenda niliongea huku machozi yakinitok. Kila siku ww ni mtu wa kuja hap kuomba msaada kwann usirudi nyumban mna maish mazur tu ilibid nihangaik mtu Kama mm lakin sio ww. Najua hilo Halima lakini mama yang wa kambo hajawah kunipend alidiriki hata kuniwekea sumu safar hii nitakufa kabs. Duuh pole haya yamekukuta mangap huko shost. Nilimuelezea kwa kina mambo yaliyonifik. Halima alihuzunika sana baada ya kusikia mamb yaliyonikut. Sikia best kesho tutaend hospital kuangalia afya yako pamoj na huyo mtoto tutakaa hapa hadi utakapokuw vizuri. Nilimshukur sana nilienda kuog Nilishangaa kuona dam zimekata kidog nilijipa matumaini mtoto wangu tumbon ni mzima. Halima alinionyesha sehemu ya kulala. Asubuh niliamk nilifany usafi mara Halima aliamk . Umeamk mapema sana Allin ungeacha tu jiandae twend hospitali bac. Mimi na Halima tuliend hospital ili kucheki afya yang. Tulionana na daktari nilimuelezea jinsi ninavyojisikia aliniandikia kipimo cha utrasound. Nilienda kweny kipimo nilipim nilirud kwa daktari kuchukua majib. Niliingia ndan huku nikiw na hofu kubwa. Binti ondoa ujauzito wako uko salama tumbon . Sijakuelewa daktari unamaanisha mimba yangu haijatoka? Ndio ila ningekushaur uanze klinik mapema ili tuwe tunakuangalia afya yako . Sawa daktari nilifurah kusikia ujauzito wang upo salama tumbon . Nilirud na Halima had nyumban kwao. Allin usitake kuondoka hapa harak ss ni kama ndugu kwa kitu ulichonielezea ni bora ukae sehem ya kimaskin lakin aman iwepo sio ukae kwa matajir lakin hauko salama huyo mwanamke ni shetan kabsa. Katika siku ambaz huyu kivuruge wangu aliongea point kama leo. Nilimuangalia Halima kumbe una akil we bint siku moj moj enhe niliongea huku nikichek. Sikuwa na akili ya darasan ila akil ya maish ninayo kumbuk kipind upo ulinisaidia sana Allin na leo narudish fadhila kwako. Duuh sawa mammy asant na mungu akubariki kwa kwel. Mara simu aliyonipatia iliit sikuamin baada ya kuona namba ya Alvin. Nilipokea sikuongea kitu zaid ya kusikiliza tu. Allin ni mm Dallan nimeazima simu ya Kaka sikuw na namna ya kukupat imebid nifanye hiv vipi upo wap? Dallan aliniuliz. Niko sehemu salama nashukuru sana kwa msaada wako Dallan . Usijal ni wajib Wang nataka kuongea na ww kwa kina kuhus mambo yaliyotokea jana. Dallan samahani siwez kukutan na ww sihitaj kurud kwenye familia yenu alichokifanya mama yen kwang inatosha ni mtu mbaya sana na sitaki kuona ukinitafut tena tafadhali . Unamaanisha nini Allin mama yangu ndio aliyekutoa hiyo mimb niambie Allin tafadhali. Nilikata simu nilitoa lain na kuitunza sikutak tena kuwasiliana na mtu yeyote wa familia ya akina Alvin niliona nitajitafutia matatizo bora nilee mimba yang. Nilitafuta mteja niliuza ile simu ya Dallan nilipata fedha za kutosha nilinunua nguo nyingine nilianza biashara ya kukaanga samak na kuwauz hapo hapo nyumbani kwa akina Halima. Maisha yalizid kwenda na hela za kula na mahitaj madog madog hazikunikosa. Tumbo langu lilizid kuwa kubwa siku baada ya siku. Nilijikut na furaha kuish nyumbani kwa akina Halima kiufupi walikuw wakarimu sana. Siku moja nilichukua lain ya Dallan na kuiwek kwenye simu yangu. Meseji nying ziliingia nilifungua mesej moja wap na kuisoma.
Episode 20
Enhe namba ngen hii mbona imenitaj mm tena niliongea peke yang. Nilianz kuusom ” Allin najua umefukuzwa nyumbani lakin na mashaka na mama nilipat habar zote kwa Bi Afsa. Kwa binaadam wa kawaida lazima uchukie ila nimetuma pesa hiz katoe uanze maisha yak pia namb ya siri ni hii hap **** by Dallan”. Nilitahamak sana yaan nina miez sita sijawahi kuwasiliana na Dallan lakin bado alizid kunitafut bila ya mafanikio yeyot. Nilimaliza biashara yangu mapema nikaenda kweny kibanda cha m-pesa Kutoa hela. Sikujua kuna sh ngapi nilijarb tu kama masihar kutoa laki sita naambiw salio lang lililobak ni milion nne na kias kadhaa. Kiukwel niliishiw poz sikuamin kuona pesa zote zile . Kaka kuna uwezekan wa kutoa pesa zaid ya milion hapa? Nilimuuliz yule kaka anayetoa pesa. Hapana labda makao makuu ya Airtel kwan vip unahitaj kutoa ww? Hapana nimekuuliz tu nilimjib nilichukua hela zang na kuondoka nyumbani. Nilimkut Halima anapik mwenyw, Vipi mbona kama una furah hivi Halima aliniuliz. Yaan nimeamin Mungu hajawahi kumuacha kiumbe chak alichokiumb kipate shida naomb ujiandae twend Sasa hivi kariakoo natak nikufanyie sapraiz. Sawa Halima alimaliz kupik tulikul harak tulimuag mama yake na kuondoka. Tuliend kutoa zile fedha makao makuu tulipitia benki nilifungua akaunt na kuweka fedha. Hela nyingine tulinunua chakul pamoj na vifaa vya kujifungulia. Tulirud nyumbani jion . Tulifik nyumbani tulimkut mama yake na Halima amekaa nje kweny mkeka alishangaa kutuona tumebba vitu vying. Enhe mmetoa wapi vitu vyote hivi nyie watoto . Mama shikamoo kwanz ww umetuona tu unatuuliz vitu tumetoa wapi Halima alimjib mama yake. Haya marahaba vipi mmetoa wap hivi vitu?. Tumenunua mama nimepokea hela za mchez nikaona si mbaya tununue chakul ndan nyingine hii hapa itakusaidia mama nilitoa elfu hamsini na kumpatia. Mama wa watu alishukur kama nilimpatia milioni. Nashukur sana mbona nimepat hela ya vikoba tena leo saa tisa. Sawa mama ngoj niende ndan nikapumzik maan tumetembea kwel nilisimama ili niingie ndan. Subir kwanz mama yak na Halima alinisimamish. Kuna shida gan mama nilimuuliz. Kijana wa duka la m- pesa alikuj kukulizia. Enh ananiulizia anataka nini na yy mbon anataka kunivurug. Ni muhim Tena mmepishan nusu saa tu hapa. Sawa mama ngoj nikamsikilize anatak nn?. Nilichoka lakin nilijivut hadi kweny kile kibanda nilichotoa pesa asubuh hapakuw mbal na nyumbani kivile. Enhe we joni una shid gani hadi ya kunifuat nyumban . Samahani kuna kijan alikuja hapa masaa mawili yaliyopit. Alikuj kukulizia kuw unaish wap? Nilijikut nikishtuk . We umemuonyesh mahali ninapokaa na yupoj huyo kaka nilimuuliz kwa msisitizo. Ni mrefu kias mweup pia anaonekana kam tajir hivi maan alikuj na gar hapa si la kitoto. Jins alivyokuw anamuelezea huyo mtu nilijua kabis ni Alvin au Dallan. Ulimwambia Mahal ninapokaa nilimuuliz Joni. Mjin hapa huwez juwa mtu ana nia gani mi nilimwambia sifaham ila huwa nakuonag mara nying kwahy jioni atakuj kuchukua jibu ndio maan nimekuig nikuuliz. Mhhh niligun tafadhali mwambie ni mpita njia tu mm sitaki ajue Mahal gani ninapoishi umenisikia vizur Joni. Duuh sawa ila anaonekana ana hela maan kuniulizia tu ww kanipa mpunga Joni aliongea kimasihar. Nilimuangalia kwa jicho la hasr we haya fanya masihara yote ila sitak useme kama unajua Mahal nilip kila la heri. Niliondok na kurudi nyumbani huku nikiwaz hivi huyu Dallan kajuaje Mahal nilip au kupitia laini yake amenitega. Hapa lazima hii lain niivunje sitak kurud kweny ile familia had nijifungue .
INAENDELEA

