WATOTO WA BOSI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 11
Bi Afsa alikuj chumbani kwang kugong lakin sikufungua mlango aliamua kuingia ndani alinikut nimelala huk nalia. Enh shida nn tena nimekuon tofaut ndio maan nimekuj kukuuliza halaf nakuon unalia haya nielez shid nn? Bi Afsa aliniuliz. Hamna kitu nipo sawa sema kichw tu ndio kinanium . Kichwa tu ndio kinakufany ulie mm ni mama yako niliyekuwep hat iama sijakuzaa na ndio maan nakuuliz toka juz unajidai kunifich hay nakuuliza una mahusihano na Alvin. Ndio naomba nisameh mama nilikuw naogop kukuambia nampenda sana Alvin lakin Cathy anatuvuruga akil. Pole nyamaza ila ungeniuliz kwanz ningekutahadharish ww unawez kushindana na watu weny fedha zaid utabaki kuumia tu Sasa najua utaumia sana ila naomba uachane na Alvin fany kaz ili upate hela uwe na maisha yak. Bi Afsa aliongea kitu ambacho ni kigumu San kwang lakn nikikumbuk maish ya manyanyaso ya nyumban kwetu nilijikut nikikubal maamuz hayo. Sawa mama kuanzia leo naachana na Alvin pia nitakuw bize na kaz ili niwe na maisha yangu niliongea huku machozi yakimtiririka mashavuni mwangu. Jikaze kwa hilo ngoj nikuache upumzike . Bi Afsa alitoka na kuniacha chumbani . Nilipitiw na usingizi nilikuj kuamk asubuhi .niliingia bafuni kuoga nilitok nje kwa ajil ya usafi . Nilimkut bi Afsa tayar yupo jikon anaandaa chai nilimsalimia nilichukua fagio na kuelekea chumban kwa Dallan ambay tangu jana hakuwepo nyumbani. Wakat napand ngaz kuelekea juu Cathy nay alitoka chumbani kwa Alvin akiw na kang tu. Enhe bora nimekuon huu mguu ulikuw kwak naomba ukanitandikie kitanda pia ufagie naend jikoni kuandaa chakul cha mume wang mtarajiw Cathy aliongea kwa dharau. Sawa dada Cathy nilimjib huku nikitabasam Cathy alinishangaa kwa sabab hajategemea jins nilivyokuw alidhan nitanuna. Niliingia chumban kwa Alvin kwa ajil ya kufanya usafi. Nilifik kitandani sikuamin kuona shuk limetanduk lipo hovy hovy . Pia bahadh ya sehem limelow. Machozi ya hasir yalianza kunitok Tena. Yaan mm ndio nije kusafisha uchafu wao ni jins gan wamenidharau niliongea kwa uchungu. Nilianz kufagia mara mlango ulifunguliwa Alvin aliingia ndani. Waoh kipenzi Chang sijakuona tangu jana vip umeamkaje mama? Alvin aliongea na kunikumbatia. Nilimsukum nilimuangalia kwa hasr had alijishtukia. Vip Allin huna nn ww mbon upo hivyo mke Wang. Mke wako kwa ndoa ipi ulifanikisha kunivua chupi siku ile hotelin bas sahau Tena kuhus mm Asante kwa kuniingiz kweny dunia ya mapenz siwez kuvumilia ujinga wen huu mnaoufanya. Sikuelewi kipenzi Chang unaongea nini mbona unaniacha njia pand . Mhh mmefany ujing wenu halaf mm ndio nije kuwafulia hata Kama ni dharau hii ni too much. Sijafanya ujing wowote narudia sijafanya kitu chochot na Cathy siwez kufanya hivyo . Nilimvut shat had kitandani kwenye mashuk haya angalia ss hii ni Nini. Alvin alishangaa kuona vile. Allin naapia kwa jina la Mungu sijafanya kitu chochot na Cathy huu ni mchez nahis Cathy kauchez hili mm na ww tugomban huwez amin Jana alifung mlang na funguo aliifich mm nimelala chini mke wang tafadhali naomba usinifanyie hivy Allin nakupenda mke wang. Endeleeni na maisha yenu mm ni mfanyakaz hapa kwahiyo acha nifanye kaz sina muda na ww. Mara Cathy alikuj chumbani akiwa amebeba sinia la chakul. Mume Wang nimekuletea chai Cathy aliongea na kuweka kweny stuli iliyokuwa pembeni yake. Mkeo kakuletea chai kaka Alvin ila mfundishe kuw mkimaliz kufanya mapenzi awe anafua mm siwez kufanya huo ujing. Nilitoka nje na kuwaacha ndani wawil huk Alvin akiwa na hasr. Nilitoka sebleni na kumkut Dallan amekaa mezan ili anywe chai. Vipi kaka Dallan tang Jana sijakuona ulikuwa wap? Nilimuuliz Dallan. Niliend kwenye party ya rafik yangu nilishindwa kurud njoo tukae tunywe wote chai Allin. Nilitabasam na kukaa kweny kiti pamoj na Dallan. Alvin naye alikuj toka chumbani kwake na na kuja kukaa mezan na ss huk akiwa na hasir. Niliuchun kimy na kuendelea na stor na Dallan. Muda wote huo Alvin alikuwa akiniangalia huk mach yake yalikuw mekund kama mtu aliyekuw analia.
Episode 12
Alvin mbona upo hivy kama haupo saw nn shida ? Dallan alimuuliz. Anh itakuw mkewe kamvurug sio bure niliongea huku nikijilazimish kucheka ili aumie. Mke gan wakat mm nakujua ww ndio shemej yangu. Mh shemeji yak ni Cathy sina mahusihano na Alvin mm ni mfanyakaz hapa kwahiyo hilo naomba ulifute akilin ww na Alvin ni kaka zangu. Mbona siwaelew mna shid gan ninyi Dallan aliuliz. Hatuna shida kaka vipi nikuongezee mikate nilimuuliz Dallan. Hapan inatosha nahs kushiba tu hapa. Sawa niliinuk na kwend jikoni kuandaa chakul cha mchan. Sikujua waliongea nn mara Dallan alikuj jikon. Eh Kaka Dallan ushamaliz kula mara hii nilimuuliz. Ndio sijamaliz inabid niende kumnunulia dawa Alvin anaumw. Mhh dawa gan hiz si mngempa hata panado angekaa vzr tu. Hamna hayupo poa ngoj niende tu. Mara Cathy alikuj kulet sinia la chakul huku likiw na chakul bile vile lilionekan halijagusw. Cathy jiandae tukamnunulie dawa Alvin hayupo saw anaumw. Sawa ngoja nikajiandae nakuj. Cathy alijaandaa wakaondoka yy na Dallan kumnunulia dawa Alvin. Niliendelea na kaz ya kupika huku moyon nikiw na mawaz meng ya kumuacha Alvin ikiw bado nampenda. Alvin alikuja jikon na kusimama mlangoni aliniangalia kwa muda kisha akaniambia. Allin nahitaji maji ya kunyw naomba uniletee nipo chumbani kwang. Sawa kaka Alvin nilimuitikia . Nilichukua maj na kumpelekea Alvin chumbani kwake. Nilipig hod Alvin alikuj kufungua mlango. Nilisimama mlangon pale pale sikutak kuingia ndani. Kaka Alvin maj yako haya hapa . Hivi ww una akil timamu unathubutu vip kumwambia bosi wako hivy ina maana mm nipokee maj hapa mlangon nenda kayawek pale mezan na siku nyingine usije ukarudia kaz utakosa. Sawa kaka Alvin naomba unisameh kwa hili nilimjib na kuingia ndani. Ile nimeingia jamaa akafunga mlang niligeuk na kumuangalia huku nikiw na hofu. Kaka Alvin hivi ww ni mzima kwel ss umefunga mlango wa nn. Ni swal la kufurahish kwa kwel mumeo akifunga mlango unamuuliz kafung kwann jiongez ww ni mtu mzima now . Naomba ufungue mlango nitok sitak mazoea na ww Alvin moyo Wang umeshakubal matokeo nimekubal kushindwa Alvin niliongea huku machozi yakinileng kweny macho. Ishara ya kulia ni nn unajua maana yake una maumivu makali moyon mwako kuw bado unanipenda ila unaigiz utakuj ufe na presh kabl ya siku zak. Hiyo haikuhus maji nishalet fungua mlango nitok kabl sijapiga kelele unatak unibake. Mm ndio natak upige kelele ili kila mtu ajue nina mahusihano na ww. Alvin alinisogelea na kunivutia kitandani. Unataka ufany nn Alvin niachie tafadhali. Nilijitahid kushindana naye lakini sikuw na nguvu ya kubishan naye. Kwa hili utanisameh Allin ila utajua baadae kwa nn nafany hiv. Alvin alinivua nguo zangu bila hat ya huruma. Aliniingilia kinguvu nilipat maumivu kidog ila kadr alivyoendelea nilianz kusikia raha nilijikut nikimpa ushirikian na yy. Nakupenda Alvin sidhani Kama nitawez kukuacha najarb nikusahau lakini nashindw nilimwambia Alvin. Asante kwa kunipend mke wang ahadi yangu ya kukuoa lazim niitimiz usijal kipenzi changu. Tulirudia raundi ya pili tukaend bafuni kuoga . Nilitok bafuni nikachukua nguo zangu na kuvaa. Alvin naondok naenda kufanya kaz zangu. Hebu subir kwanz nikupe kitu kimoj Alvin aliongea na kwend kwenye kabat lak kuchukua hich kitu. Unataka unipe nn ten Alvin nilimuuliz. Shika hichi hapa nilipokea ile bahasha ndog nilifungua ndani na kukut kipimo cha kupimia mimba . Hichi kipimo cha nn ww unanipatia mm cha nn nakuuliza niliongea kwa hasira. Kaa wik Kish upime mimba nilikuwa nakudanganya kuwa namwaga nje lakin sijawahi mi nilikuw namwagia ndani samahani kwa hilo nahitaji mtoto nataka nizae na ww. Mungu wangu Alvin kwann umefanya hivy lakini niliongea huku nalia. Nimefanya hivi ili usiniache tena Kama siku zile hotelin mimb haijaingia bas leo itakuw imeingia nakupenda San kipenzi Chang. Nilimuangalia Alvin kwa hasr sikia Alvin nakuchukia mwanaume ww Tena kaa mbal na mm sitak uniharibie malengo yang leo nimetelez tu kulala na haitojirudia tena. Mhh utawez kwel jana ulisemaj utakuj kulala na mm na leo yamekukuta mangap? Alvin aliongea huku akitabasamu. Nilimuangalia kwa hasira sikumjib kitu nilitok nje harak na kwend chumbani kwang. Mungu wangu saidia nisiwe na mimba hapan Sina mimb ngoja nikanunue p2 nimeze
Episode 13
Nawaza nikanunue p2 nilichukua ile elfu tatu niliyopew na shost yang. Nilitok had nje nilimkut mlinz amekaa kweny kiti. Habar naomba nifungulie get niende dukan. Samahani dada huwez kutok hum hadi nipew ruhus na bosi . Nimeagizwa na huyo bos halaf ww unanizuia mm nimekuw mfungw hebu fungua mlango huk. We binti jeur inaonekana hebu ngoj kwanz mlinzi alichukua simu yake na kumpigia Alvin. Baada ya dakika mbili Alvin alikuj na kunikut getin. Unasem nimekutum kitu gan hich nilichokutum naomba urud ndan mlinz naomba huyu bint usij ukamfungulia mlang akatoka nje. Alvin aliondoka na kutuacha mm na mlinz. Pole mama mm nafuat amri rudi tu ndani katulie. Nilirud ndan nikiw nimekasirika mungu Wang nitafanyaj inabid nimez kabla masaa hayajapit nakumbuka dada Mary alisema masaa yakipit haifany kaz itakuwaj Kama mimb iliingia siku ile hotelin mungu Wang sitaki iwe hivyo hebu kwanz nipime. Nilienda kweny chumb cha huduma ya kwanz niliangalia kweny boksi nilikuta vipim vya kupimia mimba Nilikichukua kipim nilikiangalia kwa muda kisha nikakiwek kabatini Kish nikatoka nje. Siwez kupima sina mimba mm na sirudii kufanya tena. Niliend jikon ili niandae chakula cha mchana. Akina Dallan walirudi na kunikut naandaa chakul mezan. Walifikia kukaa mezan Alvin naye alikuj toka chumbani kwake. Alvin dawa tumenunua ule ushibe ndio unywe Cathy aliongea. Asant dawa nimeshaipat now Niko vizuri Alvin alimjib Cathy. Sijakuelew unamaanisha nn Alvin. Allin amenipa dawa niliyokuw naitak kwahy Sasa Niko poa samahanini kwa usumbufu lakin. Muda wote huo Dallan anajifany yuko biz na sim huk anakul. Nilikaa jikoni na kupakua chakula nilianz kula mar Dallan alikuj na vyomb vichaf. Jaman kaka Dallan kwann umeleta vyomb ungeacha tu . Lazima nikusaidie bhana sio dhamb mara moj moj. Enh Dallan hivi ni kweli mlienda kununua dawa za Alvin?. Ilikuw gia tu kwann umemnunia kaka yang bila sabab Allin mm nakuambia ukwel Alvin hampend Cathy . Mhh naomba uniambie mahusihano yao yalikuw vipi mwanzon nilimuuliz. Kabla hajanijib Cathy alikuj jikon Dallan aliniag na kutok jikon. Dawa gan hiyo uliyompa Alvin kiasi kwamb amepona gafla?. Mi nilimp Panadol tu nilimjib na kutok jikon. Nilikutan na Alvin anashuk ngaz Allin nahitaji kuongea na ww niligeuk na kumuangalia kwa muda. Unataka kuongea na mm nini nina kaz za kufanya nilimjib na kuelekea chumban kwang . Alvin alinifuata chumbani aliingia bila ya kupig hod. Alvin unaingia bila hod ungenikut sijavaa nguo je? Niliongea kwa hasira. Mimi sijal hilo nimekuon mara ngapi ukiwa hujavaa nguo sembus leo tafadhali nakuonya katika ukoo wetu mimba hazitolew na ukijarib utakufa narudia tena utakuf kwahy kuwa makin. Hahaha aliyekuambia nina mimba nan mm sina mimb kwanz sikuw kwenye siku za hatar kwahy toka nje Alvin bi Afsa asije akakukuta humu ndani ukazua vitu vyingn. Sawa natoka Alvin alinisogelea na kunibus. Ile ansnibus Cathy aliingia chumbani kwang bila ya kupiga hodi. What!!!! Alvin nilikuw siamin kam una mahusihano na huyu mbwa leo ndio nimefaham Cathy aliongea kwa saut iliyofany watu wote wasikie. Jiheshim Cathy mpenz Wang anaitwa Allin na sio mbwa Alvin aliongea kwa hasira. Mara bi Afsa alikuj pamoj na Dallan Vipi kuna nn tena nyie vijan bi Afsa aliuliz. Ngoj nimpigie bosi wako ajue ujinga unaoufanya humu ndan badala ya kufanya kaz mjing ww. Cathy aliongea kwa hasira na kutok chumbani na kutuacha tukimtizam tu bila ya kuongea kitu. Kaka kumetokea nn mbon hivi Dallan aliuliz. Huyu ni mjing tu mwachen ampigie mama simu mm sijal kitu. Alvin na Dallan walitok nje nikabak na Bi Afsa. Allin nilikuambiaj kuhus Alvin mbon husikii bint yang sasa naona kabisa unaenda kupotez kazi yako ndio kwanz una wiki tat tu. Mama tafadhali niombee msamaha mm sitarudia ten sina mahal pa kwend Alvin mwenyew ndio ananifuat.
Episode 14
Kwahy ww ulishindwa kukataa sasa matokeo ndio hay hebu tusubir majib ya bosi ataamua nn juu yako kama ufukuzwe au la. Majibu ya bi Afsa yalinimaliz nguvu kabisa na kujion kweli mm ni mjing kabisa. Alvin umeniponza kwann hukutak kukaa mbal na mm had leo hii yanatokea hay ona sasa nitakaa wap kama nikifukuzw hap niliongea peke yang kam chiz . Nilitoka na kuelekea jikon kuandaa chakul cha jion. Nilipik wali na samak nilivyomaliz nilipelek chakul mezan. Kisha nilienda jikon ili na mm nile chakul. Nilipakua na kuanza kula lakin gafla nilihs kichefuchef . Niliinuk harak na kukimbia chumbani kwang nilifung mlang na kwend choon . Nilitapik sana niliinuk na kutok nje kunywa maj nilikutan na bi Afsa. Vipi mbon nimekuon umetok mbio shida nn? Nilijiskia kutapika ndio maan nilikimbia harak vile. Bi Afsa alinivuta had chumbani kwang na kuniuliza vizuri. Ww isije ikawa mimba umesem umetapik ila hamn wiki mbil zilizopita si ulikuw kwenye siku zako bi Afsa aliongea. Moyon angejua siku zile sikuw period niliamua nimuitikie ili niue so. Ndio mama sina mimb kwanz sijawah kufanya kitu na Alvin. Mhh sawa labda utakuw na malaria kesh nitamuomb Alvin au Dallan wakupelek hospital. Hamna shid mama nitakuw saw tu nitanunua dawa tu nutakunyw. Sawa bi Afsa alitoka chumbani na kuniacha peke yang. Nimetapik halaf siku zang sijaingia mh hapan ilibid niblidi juzi itakuw mzunguko wang umebadilik . Nilijiongelesh huku moyon nikiw na hofu sana mwishowe niliinuk na kwend kabatini kuchukua kipimo. Nilienda choon nilichukua mkoj kidog na kupim nilikaa baada ya dakika tan sikuamin baada ya kuona mistar imejichor miwili niliishiw nguv na kujikuta nipo chin nimekaa. Alvin kwann umenisababishia matatizo ona sas nina mimba nitaelekea wap sasa. Nililia sana niliporidhik niliinuk na kutok choon . Nilikaa kitandani nikiw na mawaz hatar machozi yalizid kunitiririk nisijue la kufanya . Mama ungekuwep nisingekuw nahangaik hivi kama sina mahal pa kuishi nahs kuchanganyikiw sijui niitoe mmhmhm hapan sitoi mimba kama kufukuzwa nifukuzwe tu popot pale nitaenda. Mara mlango wang wa chumbani uligongw nilijifuta machozi harak na kuinuk nilifungua na kumkuta Cathy mlangoni hapo. Hatimaye za mwizi ni arobain nimeongea na mama mkwe nimemwambia upuuzi wako wote uliokuw unaufanya na kijan wak kwahy anahitaj kuongea na ww. Sikumjib kitu Cathy zaid ya kumuangalia tu. Cathy alichukua simu yake aliwasha data na kumpigia sim bosi kupitia Whatsapp. Bosi hakuchelewa kupokea kwa kuwa alikuwa online. Neno la kwanz aliloongea bosi niliumia sana. Yupo wapi huyo Malaya asiyefunzw na wazazi wak bosi aliuliz. Huyu hapa mama Cathy alichukua simu yake na kunipatia. Nilichukua na kuiwek mkononi maan ilikuw na saut kubw. Alooh shikamoo mama nilimsalmia Koma mm sio mama yako binti Malay ww huna hata adab kwann unatembea na kijana Wang bosi alinifokea kwa kweli nilishikw na hasr nilishindwa kujib. Naona unanionyesh kibur hutak kujib sasa hutapew fedha za ulizofany kaz nakuomba uondoke sasa hiv sitaki nikuone ndani kwang. Mama tafadhali naomba niondok hata kesh mm sina mahal pa kukaa nakuomba. Nishaongea mpe simu Cathy nilirudisha simu kwa Cathy sijui waliongea nn. Cathy aliondoka na baad ya mud alikuja na fedh na kunirushia Okota hela hizo kisha nakusubiri uondok tena fany hark. Cathy aliondoka na kuniacha pek yang pale mlangoni maan sikuondok nilisimama hapo hap. Niliinam na kuanza kuokot zile fedha huku nikilia. Alvin alitoka chumbani kwake na kunikut naziokot zile hela huku nalia. Alikuj Mahal nilipo Allin shid nn mama niambie mama yangu kakufukuz sio. Nilisimama na kumuangalia Alvin uson sikumjib kitu niliingia ndan na kuanza kutoa nguo zang kwenye kabat na kuweka kwenye mfuk. Allin niambie shid nn Alvin aliniuliz Tena. Tafadhali kaa mbal na mm mpango wako uliopanga umetimia mama yako kanifukuz sina cha ziada hapa furahien maisha yenu. Niliendelea kupang nguo ghafla Alvin alinipokony zile nguo . Kipimo kilikuw kati kat ya zile nguo kilianguk chini. Alvin aliinama na kukiokot alikichukua na kuangalia . Yaan Allin uko serious uondoke na mimba yang ? Alvin aliongea kwa hasira. Lazima niondok ni mama yak amesem sina budi kuondoka . Mara Cathy alikuj chumbani kwang Bado tu hujamaliza uondoke Cathy aliongea. Alvin alimgeukia Cathy nimemchelewesh mm kuondoka, hivi ww ni mwanamke ambay unaweza kulea familia kwa hiyo roho mbay yako. Sitegemei kuoa mwanamke Kama ww ambay huna hata huruma unafurah mwenzak anavyoondok huu usiku ili hali ikiw hana mahali pa kukaa. Kwa kuwa mama kamfukuz hii ni nyumb yak bas na mm ninaondok siwez kumuacha Allin peke yak usiku kama huu. Alvin unataka uende wapi jaman usiku wot huu mpenz Wang? Cathy aliuliza. Alvin alimuangalia bila ya kuongea kitu chochote. Alinigeukia panga nguo zak haraka nakuj tuondoke . Alvin alielekea chumbani kwake kuchukua begi lak la nguo huk akiwa ameshik kipimo kile mkononi.
Episode 15
Allin umempatia nn Alvin ww sio bure ni mchawi haiwezekan kabisa mwanaume akupende kiasi hichi ili Hali huna lolote Cathy aliongea kwa hasira. Sikumjib niliokot nguo zang alizoziangush Alvin. Ngoj nimpigie mama nimwambie kuw kijana wako anataka kuondoka kisa ya huyu mfanyakaz. Cathy alichukua simu yake na kumpigia mama yake na Alvin simu iliit lakini haikupokelewa kwa kuw bosi hakuw online tena. Sikia Cathy jarib kila vita kupamban ww mwenyewe usiwe unamuingiz mama yake na Alvin kwa sabab anayepend ni mtoto na sio mama mm sina shid ya kuondoka na Alvin yy mwenyw ndio king’ang’aniz mm sielewi shid nn. Mara Alvin alikuj huku akiw amebeba begi lake. Hivi uko serious kuondoka nyumbani Alvin mbona unaleta utani ww? Cathy aliongea. Nimewah kukuigizia yaan wa mwanamk nakuchukia tang ulipotoa mimba yangu. Mhhh Cathy alitoa mimb ya Alvin makubw hay nilijiongelea mwenyewe. Cathy alimuangalia Alvin huku machozi yakimtiririka mashavuni mwake. Najua lakini tunahitaj kukaa tuongee hili suala Alvin. Now umechelewa Cathy zawad niliyoitak Allin anaenda kunipatia muda sio mrefu Alvin alimjib Cathy. Alvin alichukua mfuk wang alinishik mkon na kutok nje. Mda wot huo bi Afsa alikuw mlangoni amesimama ananiangalia kwa huruma. Alvin aliwasha gar na kuondoka nyumbani hapo muda huo ni saa tat na nusu usiku. Alvin umedhamiria kuondoka nyumbani kisa mm mtu nisiye na maan kwel. Hiyo kaul futa nisij kusikia kwang mm una maan kubwa tang siku uliyonipatia zawad ya usichan wako kule hotelini . Sawa sasa tunaenda wapi usiku huu Alvin nilimuuliz. Hela itasema tunaenda wapi ukiwa na pesa kila kitu unafanya hebu fikiria ungeondok peke yako mud huu ungekuw kweny hali gan? Mungu angenilinda Alvin mm nimeepushw vitu vying maishan mwang hadi hiv leo nimekua yote no kwa sabab mungu ananipend. Alvin aliendesha gari hadi kweny hotel alipak gar tulishuk na kuingia ndani aliulizia chumb akapat . Alilipia alipatiw funguo tukaend kwenye chumba chet. Hauna njaa mke wang maana sidhani hat kama umekula? Alvin aliniuliz. Nimekul Alvin ondoa shak pumzika sasa nakuon kam umechok. Daah na nimechok kwel nahs kuvurugwa tu hapa. Nilimuangalia Alvin uson nilijikut nikimuhurumia sana kuona anajitoa kwa sabab yang licha ya mwanz kuwa adui yangu mkubwa. Nilimfuat kitandani alipokaa Alvin nilimkumbatia . Asante sana Alvin nakupenda sana . Nakupenda pia yaani hap nafuraha isiyo kifan Alvin aliongea. Furaha gani hiy mm nisiyoijua mume wang niliulz huk nikiw na natabasam. Alitoa kile kipim na kunionyesh hichi hapa asante kwa kunibebea mtoto Allin. Usijal Alvin kawaida tu. Sawa Alvin alinivut kitandani na kunikumbatia. Njoo mke wang tumjaz mtoto wetu miguu na mikon Alvin aliongea utan na kujikuta tukichek wot kwa furah. Nilikuj kuamk saa mbili za asubuh nilikuw nimechok hatar na shuhul ya usik. Niliinuk na kwend bafuni kuoga nilitoka nilivaa na kukaa kitandani nilijiuliz maswal huyu mtu yupo wap mara sim ya Alvin iliit. Nilichukua na kuon ni Dallan anayepiga nilirudish mahal ilipokuwa . Mara mlang ulifunguliwa Alvin aliingia huk akiwa amebeb chakula. Vipi mama k Wang umeamkaje? Salama tu sijui ww nilimuuliz Niko poa niliona utaamka na njaa nimeenda kukuletea chakul ule. Asante simu yako imeita Alvin alichukua simu yake na kuangalia. Anha huyu ni Dallan sijui anataka nini. Alvin alimpigia simu Dallan alooh kaka ndio maan yak nn jana mumeondok bila ya kuniambia Dallan alilalamik. Kaka ilibid niondok maan dharau zilizid sana. Sawa Cathy alimwambia mama kuwa umeondok na alipata was was San juu yak kias kwamb leo yupo njiani anarud anakuomba urud nyumbani. Mimi siwez kurud hapo kumbuk Allin ni mjamzito sasa. Najua hilo nilimueleza mama kwahy anahitaj kuongea na nyie vizuri ila anataka awakut nyumban. Sawa Alvin alikata simu na kukaa chini. Kwahy Alvin tunarud nyumbani ili tukaongee na mama yak nilimuuliz. Ndio ila sitak kumuamin sana mama yang huyu ana lak jamb tu . Hamna Alvin msikilize mama yako sawa tumsikie atasemaj then tutachukua ss maamuz sawa. Sawa nimekuelewa bas jitahid ule usimwach mtoto wangu na njaa. Sawa. Tulikul harak kisha tulijiandaa ili turud nyumbani tumsikiliz mama yake na Alvin atasemaj.
INAENDELEA

