WANAWAKE WENYE AKILI NA UWEZO MKUBWA KUACHIKA KWENYE NDOA – SABABU HIZI HAPA
Napozungumzia “Akili Na Uwezo” — Namaanisha Elimu, Fedha, Mamlaka, Ushawishi Nk.
Imethibitika Kwamba Wanawake Wengi Wenye Mafanikio Makubwa (Wanasiasa, Wanasanii, Wafanyabiashara, Wasomi). Huwa Mahusiano Yao Yanavurugika Kwa Sababu Hizi:
1. Kiburi (Arrogance)
Mafanikio Huleta Kiburi Kwa Baadhi Yao. Mwanamke Anaanza Kujiona Hawezi Kuwa Chini Ya Mwanaume. Unakuta Anasema “Siwezi Kuendeshwa.” Hii Inawafanya Wanaume Wawakimbie.
2. Kutaka Kutawala (Control Freak)
Kwa Sababu Anaongoza Kwenye Ofisi, Anataka Kuongoza Hata Nyumbani. Unakuta Anataka Kukaa Nafasi Ya Mwanaume. Mwisho Huleta Migogoro. Hii Hutokea Pale Ambapo Mwanaume Anakuwa Hataki Kuongozwa na Mwanamke.
3. Msimamo Na Upeo (Stance & Scope)
Wengi Wanakuwa Na Mtazamo Mpana Sana, Wasiokubali Kitu Kirahisi. Hali Hii Huwafanya Wanaume Wajihisi Wadogo. Na Mara Nyingi Hupishana Kimawazo. Kwahiyo, Ni Ukweli Usiopingika Kwamba,
Lakini Wapo Wanaoachika Kwa Sababu Ya Tabia Zao.

