NILISHEA PENZI NA MAMA YANGU, TAZAMA KILICHOTOKEA
Chapter 1
Mimi ni Binti wa Miaka 24, Kuna Kaka nilikutana nae tukapendana, na penzi lilikua na malengo mengi tu , na niliamini tutakua mke na mume. Nilimueleza yote kuhusu familia yangu, picha ya mama yangu nilimuonesha na baba Yangu.
lakini katika hali ya kushangaza siku moja mama aliona picha ambazo nimepiga na mpenzi Wangu, aliniangalia kwa jicho la Ukali Sana kiasi kwamba nikastuka, Akaniambia huyu kijana achana nae mara moja, Nikamuuliza kwanini mama, unamjua au mshawahi kukutana, akasema ndio namjua achana nae tabia zake ni chafu.
Baada ya pale nikaona pengine kweli mama anafaham tabia za huyu kijana, ikabidi nichunguze taratibu kamfaham vipi? Nikaiba simu yake, nikaandika namba ya mpenzi wangu, nikaona anayo kaisevu dereva bajaji.
INAENDELEA

