NILIFANYA MAPENZI NA MTOTO WANGU ILI NIPATE UTAJIRI – NAJUTA SASA
Nikiwa Na Miaka 27, Nilipitia mateso makubwa ya umasikini, Kila nilicho gusa kilikua hakiendi, ukweli nilikata tamaa na kusema chochote naweza nikafanya ili nipate utajiri.
Wakati huo nilikua na Mke na mtoto 1 mwenye Miaka 2, Kwenye pitapita nikakutana na mtaalam ambae alisema inawezekana kupata utajiri wa majini na nikafanikiwa, basi nikaenda kwake na akanipa masharti ya namna ya kufanya.
Sharti gumu lilikua ni kulala na binti yangu, baada ya hapo utajiri utakuja. Nilipata roho ya Ukasiri na kukubali mashart yote.
Siku moja, Mke alikua ametoka kwenda kuchotaaji mbali kidogo, nilatumia nafasi hio kufanya ukatili, Nilimuingilia mtoto wangu, huku moyo ukiwa na majuto na maumivu makali.
Mke aliporudi usiku ule hakugundua chochote, na baada ya siku 3 mtoto aliumwa ghafla na kupoteza maisha. baada ya pale kwenye kila biashara niliokua nafanya faida inakuja mara 5 yake, nikapata utajiri ghafla na maisha yakabadilika, tukapata mtoto mwengine huyu alikua wa kiume.
Mikaa 5 Kupita, nikiwa tajiri ninae tamba mjini, kuna masharti ya Mali niliyakosea, basi utajiri ule ukaanza kuondoka polepole, Hadi nikafirisika kabisa.
Katika miaka yote hii, Mke wangu hakufaham chochote zaidi alikua ananiombea kila siku ili nifanikiwe. kwasasa nina miaka 40, na watoto 3, lakini dhambi niliofanya inanitesa hadi leo
Nakua nawasiwasi mda wote, sina amani, ni mwenye majuto, Nimetubu sana kwa Mungu wangu anisamehe na kunipa maisha mapya lakini bado nakosa Amani, Kwa Tulio wahi pitia dhambi za aina hii, Naomba Ushauri Mliwezaje kutubu na Kupata Amani mpya ya Moyo ili maisha yaendelee

