GIFT NISHACHAFUA CHUPI MIMI JAMANIIIII AAAAASSSH
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 21
Katika msiba wa kuupumzisha mwili wa marehemu aliyesadikika kuwa ni Ryan, tulimuona Brinnah na Gift wakiwa ni miongoni mwa watu waliohudhuria katika mazishi hayo🥹🥹🥹katika zile harakati za kuushusha mwili wa marehemu katika nyumba yake ya milele💔💔 Gift aliogopa kusogea pale kaburini ikabidi ajitenge nyuma mbali kabisa na lilipo chimbwa kaburi la mchumba wake Ryan🥵🥵 akiwa katika hali ya huzuni na majonzi ghafla akaanza kuhisi kama kuna uwepo wa Ryan jirani na sehemu alipokuwepo😳😳 alianza kugeuka huku na kule wakati huo rafiki yake ambaye ni Brinnah alikuwa kasogea kaburini ili aweze kushiriki katika kumpumzisha shemeji yake ambaye ni Ryan😕😕 Gift anadai baada ya kuangaza kushoto na kulia bado hakufanikiwa kumuona Ryan……nafsi ikazidi kumsukuma ageuke nyuma akageuka😳😳😳kwa mbali ndipo alipomuona mwanaume mmoja hivi muonekano wa huyo mwanaume ni kama wa mchumba wake Ryan😳😳huyu mbona ni Ryan😳😳..
*Tuendelee*
haraka ikabidi nipige hatua kumfuata🫢🫢🫢 kadri nilivyozidi kumsogelea naye ndo akawa anazidi kupotea machoni kwangu😳😳nilitamani kuita lakini nikaogopa …..wakati bado naendelea kumfukuzia ghafla nikamsikia Brinnah akiwa ananiita Gee unaenda wapi?!🗣️🗣️🗣️ Gee hebu simama unaenda wapi wewe????…..ilibidi nisimame kumsikiliza Brinnah maana alianza kuhisi huenda nimechanganyikiwa🥵🥵 kitendo cha kusimama kumsikiliza nilipogeuka tena kumtizama Ryan sikumuona tena💔💔💔sijui kaelekea wapi😭😭😭nikaanza kuangua kilio rafiki yangu akazidi kunishangaa Gee unalia nini😳😳😳 nikamwambia nimemuona Ryan 🥹🥹 Gift unaongea nini wewe????😳😳😳 umemuona mtu aliyekwisha zikwa au umeuona mzimu😕😕nikamwambia hapana Brinnah ni Ryan ni yeye hata tembea yake ni yeye😭😭😭nimemuona alikuwa amesimama nyuma yangu umbali kidogo kutoka sehemu nilipokuwa nimesimama😭😭😭alikuwa kavaa nguo nyeusi na kofia naamini ni yeye siwezi kushindwa kumjua…… nilizidi kumsisitiza Brinnah kuwa mtu niliyemuona ni Ryan….Brinnah akaniomba tukachukue gari tumfuatilie tulielekea kwenye gari haraka tukaanza kumtafuta Ryan…..
Tulizidi kwenda mbali sehemu ambazo wala hatuzijui🥲🥲🥲🥲 ilifika hatua gari likazima saa mbili usiku na tuko katika mitaa tusiyoijua na kibaya zaidi simu yangu ilikuwa imeshazima maana kila muda nilikuwa najaribu jaribu kumpigia Ryan kwenye ile namba yake😩😩😩🙌bado hakuwa anapatikana🥲🥲🥲 baada ya gari kuzima tulitelemka ili kuikagua shida nini🫢🫢 hatukuwa wataalam wa masuala ya magari wala hatukutambua shida ni ipi kila tulipojaribu kuliwasha gari liliishia kuunguruma tu kama mashine na kuzima jenyewe😳😳😳😳tunafanyaje ilibidi tuanze kujihoji kumbuka sehemu tulipo ni mbali sana na nyumbani na kibaya zaidi gari imezima na mkumbuke siku iliyokuwa inafuata ndo ilikuwa siku ya ndoa yangu na Brighton 😩😩🙌 tulisimama pembezoni mwa gari tukaanza kujadiliana cha kufanya tulikubaliana turudi nyumbani tuangalie mazingira kisha usiku wa manane tulipanga mimi nitoroke nimuache Brinnah peke yake ili hapo kesho yeye ndo aende kufunga ndoa na Brighton🙌🙌🙌 nilichukua simu ya Brinnah nikampigia baba sauti yake ilikuwa yenye wasiwasi sana baba aliniita na kiniuliza niko wapi nikamwambia baba niko saloon nafanyiwa maandalizi kwani umesahau kuwa kesho ni ndoa yangu😳😳 ilibidi nijitoe fahamu ili kumfanya baba aamini kuwa kweli nimeliridhia swala la ndoa😕
Baba aliponisikia nikisema hivyo alitabasamu kisha akaniambia umekua mwangu😊😊😊 nakusubilia nyumbani binti yangu🥰🥰🥰 nilikata simu kisha tukaanza kutafuta usafiri wa kuturegesha nyumbani ile gari ya Brinnah tulitafuta gereji tukaiacha huko tulipanda tren tukarejea mjini kisha tukakodi tax iliyotupeleka hadi nyumbani kwetu…..kabla sijaingia ndani ikabidi nijifunike kitambaa kichwani mwangu ili kuwaaminisha kuwa kweli nimetokea saloon😌😌…… nililivua lile baibui nikalichana na kulikunja vizuri kisha nikajitanda kichwani🧕🧕…..nilipoingia ndani bibi na baadhi ya marafiki zake wa karibu walianza kupiga vigere gere walinipokea wakanipeleka chumbani kwangu Brinnah nilimuacha nje nilipofika chumbani kwangu nikakivua kile kitambaa nikakitupa huko kisha haraka nikaanza kuichaji simu yangu na kupanga nguo zangu kwa ajili ya kuikimbia ile nyumba🥲🥲 nilipark vitu vyangu vyote kwenye mabegi baada ya hapo nikaanza kutafuta namna ya kuviondoa kule ndani😕😕😕 wakati shamra shamra zilipokuwa zikiendelea huko flow ya chini mimi nikawa niko busy kuyashusha mabegi yangu chini kwa kutumia kamba😩😩 nje alikuwepo Brinnah na dreva tax aliyetuleta nilimuomba anisubilie ili aweze kuniondosha pale nyumbani……
Baada ya kuyashusha mabegi yangu yote ilibidi sasa kule ndani nipapange vizuri 😩😩😩nilivipanga vitu vya Brinnah chumbani kwangu😌😌 nguo zake nikaziweka kabatini kwangu baada ya hapo niliichomoa simu yangu chaji nikaichukua na ile fake skin nikaiweka kwenye mkoba wangu baada ya hapo nikatoka nilipofika flow ya chini ilipokuwa inaendelea sherehe niliwaona wageni waalikwa jinsi walivyokuwa wanakunywa na kuenjoy baba yangu alikuwa ameketi pembeni akinywa na kuenjoy nilimtizama sana kisha moyoni nikajisemea I’m very sorry Daddy kiukweli nimeshindwa kuisimamia promise niliyokupromise nisamehe kwa kuwa leo hii ninaondoka kwenda kuishi mbali kwa sababu siko tayari kuolewa na mwanaume nisiyempenda🥹🥹 nilipokwisha kuyanena hayo nilimtizama bibi yangu aliyekuwa anacheza na kufurahi niliwaangalia sana baada ya hapo nikaanza kupiga hatua🚶🏼♀️🚶🏼♀️ nilipoukaribia mlango ghafla nilimsikia bibi akiwa ananiuliza wewe unaenda wapi?????😳😳niliogopa na kuanza kutetemeka🫢🫢 bibi alipiga hatua hadi sehemu nilipo akasimama na kuniambia wewe ni bibi harusi mtarajiwa unatakiwa kuwa chumbani kwako mida hii ujiandae kwa ajili ya ndoa yako😳😳😳na kwanza umebeba nini humu kwenye mkoba?!??????.ni usiku sahizi unaonekana kama mtu anayetaka kusafiri☺️☺️☺️hebu nieleze mjukuu wangu ni wapi unapotaka kwenda??????😳😳😳Bibi alionyesha kuwa na wasiwasi na mimi alinitoa ule mkoba akaanza kuufungua mungu wangu😳😳😳😳 kumbuka kwenye mkoba nilibeba ile fake skin ili nikifika nje nimpe Brinnah aivae ndo aingie ndani ili wakimuona wajue ni mimi 😳😳😳🙌
Je Gift atafanikiwa kutoka?!?…..
Episode 22
Bibi alininyakua ule mkoba akaanza kuufungua😳😳bibi unafanya nini🫢🫢🫢ilibidi nimtoe haraka kabla hajaufungua☺️☺️☺️ unaenda wapi nikamwambia natoka kumuona Brighton nje mara moja😩😩😩nilitoka nje hadi ilipo tax nikampatia rafiki yangu Brinnah akaivaa ile fake skin tukabaridishana na nguo akavaa nilizokuwa nazo nami nikavaa za kwake😭😭 baada ya hapo tulikumbatiana sanaa😭😭😭 tulitakiana kila la kheri kila mmoja aliishia kulia😔😔mwisho wa siku tukapeana mkono wa kwa kheri 🤝👋tulikumbatia🫂🫂na kuagana nilipanda kwenye tax nikampungia Brinnah mkono👋👋naye akanipungia mkono akaniambia I wish you all the best💘💘💘niliondoka pale nyumbani kwetu nikamuacha Brinnah aende akaichukue nafasi yangu…..sikujua pa kuelekea ni wapi nilichokihitaji ni kuondoka tu😩😩🚶🏼♀️🚶🏼♀️Dereva aliondoa gari hadi barabara kuu akasimama na kuniuliza madame unaelekea wapi?!……sikuenda mbali nilichukua hotel mtaa wa pili nikakaa huko….. kesho kulivyokucha niliwasiliana na Brinnah kama kawaida akaniambia hakuna mtu aliyemshitukia na tayari wako katika harakati za kwenda kanisani kufunga ndoa😭😭😭nilimuwish tu all the best😔😔😔😔nilikaa kule hotel kwa siku nzima nikawa najiuliza wapi sehemu sahihi panaponifaa kwenda kuyaanza maisha yangu mapya😩😩😩nilipata wazo la kwenda South Africa kwa ndugu zake mama nilishughulikia visa ndani ya one week nikapata ndani ya hiyo week nzima bado Brighton hakuwa amemshitukia Brinnah 🫢🫢🫢
Ilibidi niondoke Sweden nilimtaarifu bibi nikamwambia niko njiani kwenda kuwaona nchini South bibi alifurahi mno😔😔nilimuomba tu kitu kimoja asimwambie yoyote kuhusiana na safari yangu ya south😑😑😑 alishtuka kidogo lakini nikamwambia tutaongea nikifika…… nilipofika South nilipokelewa na mamdogo wangu mdogo wa mama pamoja na bibi yangu mzaa mama……. walinichukua hadi nyumbani wanaishi wawili tu mjini Cape Town……..nilivyofika pale kwa bibi ilibidi tu niwaweke wazi hali halisi ilivyo bibi akaniambia ni bora nibakie pale niishi nao🙏🙏 na vile bibi hakupataga muda wa kunilea kipindi chote yani hakutaka tena nirudi kwa baba🥱🥱🥱bibi na mamdogo walinifurahia hatari, baada ya kufika kwa bibi nilijikuta nimejawa na amani sana🤣🤣🤣kwanza tu maisha wanayoishi allooh🙌🙌🙌 bibi alizaaga watoto wawili tu marehemu mama yangu na mamdogo wangu Lerato….mamdogo Lerato ndo last born kadogo dogo kama mimi🥰🥰 na umri pia tunaringana hatupishani mbali👋👋👋 wanaishi maisha mazuri sana kusema kweli nilipapenda mno🥰🥰 mom Lerato alinipeleka chumbani kwake akaniambia tuishi wote chumbani kwake nikishazoea ile hali ya upweke ikiondoka nitahamia chumbani kwangu…….
Mom Lerato alinipangia vitu vyangu kabatini mimi nikaelekea bathroom kwenda kuoga nilipomaliza tulikuta bibi kaishaandaa chakula tukala baada ya hapo kila mmoja akajiachia bibi yangu ni wale wabibi wa mjini mjini🙈🙈 alf maisha yake yote hajawahi kuwa katika under control ya mwanaume bibi ni single mother mwenye pesa nyingi sana na naskia hata kipindi baba alipomuoa mama inasemekana kuwa mama yangu alikuwa na mkwanja mrefu kuliko baba yangu…..bibi yangu siyo mzee anaonekana tu aliwahi kuzaa ukimwangalia bado analipa na ni mrembo hatari…….bibi na mamdogo kila mmoja alitulia kwenye computer yake nahisi walikuwa na mambo yao ya kikazi ilibidi mimi nipande juu chumbani kwenda kujipumzisha…..usiku huo kabla ya kulala niliona ni vyema nimtafute rafiki yangu Brinnah nimfahamishe kuwa tayari nishawapata ndugu zangu niko salama ili asikae na wasiwasi……nilipiga simu kwa namba nyingine by the way nilivyotoroka nyumbani ilibidi nibadili namba za simu…..simu iliita akapokea Brinnah aliongea kwa sauti ya chini sana akaniambia best Brighton leo kanikazia anataka tufanye mapenzi sijui nifanyeje😩😩😩nilimuuliza Brinnah swali wewe unajisikiaje akikugusa?!….. Brinnah akaniambia I think I love him😔😔😔, nahisi nampenda and I have a lot of feelings for him ni mwanaume mzuri sana kitu nachohofia itakuwaje siku akigundua hii sura niliyonayo ni fake💔💔💔 moyo wangu kila kukicha unazidi tu kumpenda naye ananipenda akijua mimi ni wewe natamani nijiweke kwenye uhalisia wangu lakini naogopa Brighton akijua kuwa mimi siyo wewe Gift atanikataa😭😭najua tulifanya hivi kwa lengo moja tu la kukusaidia wewe usiolewe naye sikujua kama moyo wangu utafall kwa Brighton😔😔😔Brinnah aliniomba akaniambia bestie naomba unisaidie kipi nifanye ili niweze kubakia kwa Brighton I really love him na siko tayari kuachana nayeye😭😭😭😭💔💔💔
Brinnah aliongea kwa kumaanisha alidai kuwa kaishachoka kuishi kwenye maigizo na kila siku moyo wake unazidi kuvutiwa na Brighton🫢🫢🫢 Brighton bado alikuwa na imani kuwa mwanamke aliyefunga naye ndoa ni mimi🫢🫢🫢 wako honey moon lakini hawajawahi kusex kila siku Brinnah anatoa sababu mpya zinazomfanya Brighton aendelee kumpa muda huku akiendelea kuamini kuwa ni mimi ndiye aliyenioa☺️☺️☺️kipi tufanye ilibidi tena tuanze kuumiza akili🥲🥲🥲 Brinnah alijitolea kunisaidia mimi nisiolewe na mwanaume nisiyempenda akajitoa kwa lolote lile alidanganya kwa ajili yangu😔😔 aliiacha familia yake kwa ajili yangu kusema kweli alijitolea mno imefikia hatua naye anahitaji msaada kutoka kwangu nifanye nini ili niweze kuitimiza furaha yake???.??? Alichokitaka ni kuwa na Brighton wavunje ile ndoa ya mchongo wafunge ndoa ya ukweli na kila mmoja awe huru kwa mwenzie🥲🥲🥲 sikujua kipi nimsaidie rafiki yangu nilimuomba tu anipe muda nitafute njia nzuri ya kumsaidia🙌🙌🙌 nilipomaliza kuongea na Brinnah nilisali kisha nikalala…….
Niliyaanza maisha mapya mjini Cape Town maisha ya kifahari yenye kila kitu lakini sikuwa na furaha💔💔 nilikuwa napata upendo wa kulelewa na kudekezwa kama katoto si mnayajua mapenzi ya bibi kwa mjukuu eeh😩😩😩bibi alinipa kila kitu but still i was not happy💔💔💔mapenzi ya mwanaume ninayempenda ndo kitu nilichokuwa nakimiss😔😔😔ndoto juu ya Ryan zilizidi kunitesa mara niote ananiita mara niote tunacheza kuch kuch hotahe😩😩😩kiufupi nilishindwa kabisa kumsahau💔💔💔siku moja Weekend mom Lerato aliniomba tutoke bwana angalau tukarefresh nipunguze na mawazo🙈🙈 nilijiandaa nikauramba mida ya saa moja moja usiku akaja mwanaume wake kutuchukua akatupeleka nyumbani kwake kibaya zaidi boyfriend wa mamdogo Lerato kumbe naye ni mjeda😭😭😭kibaya kushinda vyote sehemu anapoishi ni nje ya hospital kubwa ya kijeshi muda wote ukitoka hata kibalazani watu unaowaona ni wajeda tu😔😔😔 mchumba wa mamdogo Lerato ni Dactari wa kijeshi maeneo anapoishi ni eneo la jeshi kila nilipozidi kuziona zile sare zao za jeshi ndivyo nilivyozidi kuteseka na kuumia moyo😑😑😑niliteseka mno mwenzenu😭😭😭 kila nilipoiona ile sare ya jeshi machoni mwangu ilikuwa inanijia taswira ya Ryan wangu😭😭😭yale maumivu ya kila siku yalinichosha ikafikia hatua nikafanya uamuzi mgumu….
Ni uamuzi gani🥺🥺…….
Episode 23
Kadri siku zilivyozidi kusonga nami nikaanza kujiuliza nitaishi hivi mpaka lini💔💔💔maisha ya stress mawazo na maumivu yasiyoisha mpaka lini?!..??…. ilifikia hatua nikaona ni vyema nifanye uamuzi💔💔💔💔 niliamua kuamini kuwa Ryan hayupo tena hai alishakufa💔💔💔 nilijipa siku saba za kuyavumilia maumivu makali ya mwisho then baada ya hapo niliamua kumsahau Ryan nilizichoma kumbukumbu zote za vitu alivyowahi kunipatia Ryan haikuwa rahisi lakini sikutaka kuendelea kuwa vile💔💔💔…..baada ya hayo maamuzi magumu nilipanga safari ya kurudi nchini Sweden kwa ajili ya kwenda kuuweka ukweli wote wazi kwa familia yangu na ya kwao Brighton😝😝……nilipanga kikao na wazazi wote wa Brighton bila kumsahau baba pamoja na bibi yangu🥲🥲…..safari ya nchini Sweden sikurudi peke yangu nilisindikizwa na bibi yangu wa South Africa pamoja na mamdogo wangu Lerato😍😍….. tulifika mapema siku mbili kabla ya siku husika ya kikao😑😑…… tulipumzika hotelini siku iliyofuata wazazi wa Brighton nao wakawasili kutoka nchini China☺️☺️ ilipowadia siku ya kikao wazazi ndio waliotangulia kufika eneo la tukio kisha akafuatia Brinnah ambaye bado alikuwa anatambulika kama Gift fake😩😩🙌
Wao walijua aliyealika kikao ni Brinnah ambaye wao Walikuwa wanamtambua kama Gift….muda mfupi baada ya wazazi kuwasili katika eneo la kikao….Brinnah na Brighton nao wakawasili….hotel niliyofikia ndiyo niliyowaomba tukutanie hapo…..baada ya watu wote kuwasili wakawa wanasubilia Brinnah aanzishe agenda iliyomfanya awaite kwenye kikao🤣🤣🙌Brinnah alichokifanya aliniandikia msg akaniambia ni muda wa kulimaliza hili but dont forget that moyo wangu umeshazama in deep kwa Brighton🥹🥹🥹sijui itakuwaje but siko tayari kuachana naye……nilisogea eneo la tukio nikasimama kwenye kona nikawa nawasikiliza Brinnah alipoombwa kufungua kikao alisimama akaanza kupiga hatua kunifuata nami ikabidi sasa nijitokeze wazi kila mtu akaniona😝😝😝 allooh kwanza wote Baada ya kuniona walisimama juu😳😳😳nami nikazidi kuwasogelea na tumbo langu la miezi sita limechongoka hatari🙈🙈 baba baada ya kuniona alichanganyikiwa😳😳😳 akiniangalia kweli mimi ni mwanaye sura piwa na kitumbo changu cha ujauzito😩😩😩akimwangalia Brinnah naye sura ni yangu piwa lakini ujauzito hana😳😳😳kila mmoja pale akawa anajiuliza what’s is this,!?… kabla hawajaanza kuhoji maswali nilimgeukia Brinnah nikaanza kumvua ile fake skin😳😳😳aiseee🙈🙈🙈 hakuna aliyeamini kuwa kitu kama kile Kingeweza kutokea🥱🥱 kila mmoja alistaajabu wazazi wa Brighton ikabidi wamhoji mtoto wao umewezaje kuishi na mwanamke kwa miezi yote hiyo bila kumgundua kuwa ni fake🥺🥺🥺 Brighton ilibidi aweke wazi tangu ndoa ilipofungwa hajawahi kumgusa mke wake yeye analala kwenye kochi mke kitandani na yote hayo ni kwa sababu mwanamke alimwambia kuwa bado hayuko tayari na akaomba muda wa kuzoeana🫢🫢
Wazazi wa Brighton walichukia kupita kiasi🥹🥹🥹 lawama zote akatupiwa baba yangu kwanini kawaozeshea mwanamke tofauti☺️☺️☺️maskini baba yangu wala hakujua kilichotokea😔😔 wazazi wa Brighton walimkwapua kijana wao wakamtaka Waondoke lakini Brinnah akawastopisha akawaambia sikilizeni wazee wangu mimi nampenda mtoto wenu🙏🙏na mimi ndo nimetaka kila kitu kiwekwe wazi ili niweze kuwa huru kwa mume wangu🥹🥹🥹 tulifanya hivi kama mchezo but now my heart really loves Brighton 😭😭 Brinnah aliongea mpaka akalia Brinnah aliongea kwa hisia machozi mengi yalimtiririka😔😔wazazi walisikitika na kuuliza upendo wa aina gani unaouzungumzia binti☺️☺️unawezaje kudanganya jambo kubwa kama hili☺️☺️ uliwezaje kufanya kitu cha kipuuzi kama hiki😡😡siku zote sisi tulijua kijana wetu yuko kwenye ndoa kumbe ni upuuzi tu😡😡 urafiki wa wazazi wa Brighton na baba yangu ulivunjika siku hiyo💔💔💔 Brighton na wazazi wake waliondoka bila kuzijali hisia za bestie yangu Brinnah💔💔 hawakuhitaji maongezi yoyote na baba yangu🥺🥺🥺 kila kitu kiliishia pale💔💔💔 Ile nyumba aliyonipaga Brighton wazazi wake walimwambia baba achukue tu hawakuhitaji chochote kile kutoka kwetu hata gari alilonipaga Brighton waliliacha…..baba yangu naye aliondoka kwa hasira huku akiniambia nimemvua nguo hadharani vyema tu nikaendelee kuishi maisha ninayoyataka alimvuta bibi mkono wakaondoka🥺🥺 nilijisikia upweke sana💔💔 nilidondosha chozi mara moja na kulifuta☺️☺️☺️baada ya hapo nikajiambia vyovyote vile ni sawa tu……
nilibakia pale na bestie yangu Brinnah nilimkumbatia Brinnah nikamwambia bado mda unao wa kuthibitisha hisia zako juu ya Brighton be strong mamaa kama unampenda muonyeshe ili aweze kukuamini najua haitokuwa rahisi but nakusihi ujaribu☺️ukianza kumlilia mwanaume kama hivi ndo atajiona cake na kuzidi kuvimba kichwa just relax then subiri wakati sahihi kila kitu kitakaa kwenye mstari☺️☺️☺️baada ya kuongea hivyo rafiki yangu Brinnah alishtuka akaniangalia bila kunimaliza😳😳😳 kilichomshitua ni hiyo kauli yangu🤣🤣🤣🤣 hakuamini kama ningeweza kuwa na roho ngumu kiasi hicho🙈🙈🙈 Brinnah baada ya kunitizama kwa muda mrefu akaniuliza youuuuu????😳😳nikamwambia yes bestie kwa sasa nimeamua kuyachukulia mapenzi kama upuuzi tu na sizani kama kuna siku nitaweza kutoa machozi kwa ajili ya mwanaume yoyote😩😩😩 machozi niliyoyamwaga kwa Ryan yanatosha🙌🙌 let’s enjoy life kwanini kujistress maisha yenyewe mafupi☺️☺️☺️ ikifika muda wetu wa kuwapata watu wetu sahihi wala hatutotumia nguvu🫂🫂🫂tulikumbatiana kwa mara nyingine na kicheko kama chote😝😝👋👋 mwisho wa yote Brinnah naye aliniaga akarudi nyumbani kwao💔💔💔nilibakia mmoja tu peke yangu nikawa najiuliza what next💔💔💔ghafla bibi na Lerato walinikumbatia kisha wakaniambia kila kitu kitakaa sawa sikuweza kubakia Sweden niliondoka na bibi tukarudi South Africa……
Ilibidi nianze maisha mapya nyumbani kwa bibi yangu south Africa 👋👋yalikuwa maisha ya raha full kujiachia hakuna kelele ni bata mwanzo mwisho👋👋nilitulia kwanza nikajifungua namshukuru Mungu alinipatia a cute baby boy nilipomaliza uzazi my rich Grand mother alinizawadia gari kali ya kutembelea🥰🥰 akanitafutia na kazi katika kampuni moja hivi ya mzungu iliyopo mjini Cape town🥱🥱🥱nilinawili sana nilipendeza mno😘😘😘 nilianza kazi katika kampuni hiyo kwenye kitengo cha cashier🥱🥱🥱siku ya kwanza ofisini nilivaa suti na viatu virefu sana kusema kweli nilipendeza kupita kiasi😜😜 nakumbuka nilipoingia ofisini hapo the way nilivyokuwa natembea na mlio wa vile viatu ilimfanya kila mtu ofisini pale aniangalie mimi👋👋😌kila walipozidi kunitizama mwenzenu ndo nikaongeza pozi🙈🙈🙈sijui hata nilikuwa najikuta nani🙈🙈 ile ofisi ina mahandsome kinyama😜😜kila nilipokatiza nilikutana na sura tamu tamu🥱🥱 nilikuwa nawapungia mkono na kuwapa hi👋👋nao wakawa wananikonyeza na kunikaribisha😜😜ilionekana kampuni fulani hivi amazing 😜😜sasa ile hali ya kushangaa shangaa huku na kule mara nikapalamiana na mtu😳😳 Mungu wangu 😩😩niliinama haraka nikamuokotea file zake nikampatia sasa wakati nampatia zile files si ndo ikabidi nimtizame sura haa nyieeeeee😳😳🫢
Ni nani huyo tena jamaniii
INAENDELEA

