DAAH.. KUMBE NI NDUGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 7
“Ananitazama kwa umakini mkubwa, mimi nilikuwa simjui Lakini sauti yake nilishawahi kuisikia,
SONGA MBELEE,,,,,
* Zoi, kwani unamfahamu Joshua,
Mama maua, alimuuliza msichana ambaye walikuja nae,
* Hapana Dada nimemfananisha ,
na Rafiki yangu tu,
Zoi, alijibu hivo lakini aliendelea kunitazama zaidi,
wakati bado tupo hapo getini maua nae alikuja,
akawapokea kwa furaha wazazi wake,
* jamani Mama mdogo kalibu tena nyumbani kwetu, maua, alimwambia, Zoi,
* Assante maua nakuona umesha kuwa binti mkubwa inabidi tukutafutie mchumba uolewe,
* Ma mdogo bwana umeanza masihara yako, Lete nikusaidie begi,
maua alisema kisha akapewa begi na mfuko wa lambo uliyokuwa na vitu ndani yake,
* wakati huo Mimi nilikuwa napeleka ndani mabegi ya wazazi wa maua,
* Vipi Joshua Ulikuwa unaishi vizuri na maua maana hata wewe unamjua jinsi alivyo mkolofi,
” mama maua, aliniuliza hivo,
* alinisumbua siku mbili tatu, lakini tulipatana mpaka leo,
baada Mimi kujibu hivo Maua na Zoi, waliingia ndani,
“””Sababu Mimi sikuwa mwana,
familia niliondoka nikatoka nje,
” Huyu Zoi, Kwanini alikuwa ananitazama hivi, Harafu namuona kama anafanana na mtoto wa Mjomba khamisi, wa kule kijijini, Hata sauti yake ni kama yeye,
Nilijiuliza huku nimeketi kwenye ndoo, lakini nilikosa jibu” ikanibidi kupotezaea, “niliendelea na mambo mengine kwenye simu, Niliwasha data, Kisha nikaingia Instagram, nilikuwa na demu wangu mmoja alikuwa mzuri kuliko Tunda,
lakini sijawahi kuonana nae Live,
,” basi nikaanza kuchati nae kupoteza mda,
“Nilichati na demu wangu wa Instagram, mpaka saa sita mchana,
nikazima data baada ya kuishiwa bando,
* Maua, fungua huo mfuko wa lambo kuna maembe na karanga chukua maembe mawili harafu chota karanga kwenye bakuli kisha umpelekee Joshua na yeye akapate kuonja vitu vya kutoka kijijini,
” Maua alimbiwa hivo na baba yake.
* Sawa Dady, baada ya kujibu akachukua bakuli kisha akafungua mfuko akachukua maembe mawili kama alivyo ambiwa, akachota na karanga, harafu akatoka,
nazo nje,
* Joshua mbona hauna furaha umekaa kinyonge tatizo nini beby,
maua aliniuliza alipofika sehemu niliyokaa,,
*_Hapana maua Mimi nipo sawa huo wasiwasi wako tu,
* Mmmh Haya basi shika maembe na karanga nimekuletea ule iliuongeze nguvu za kiume, leo usiku Nakuja chumbani kwako unikojolee mabao makali kama mashuti ya Messi, na Ranaldo,
“Maua aliniambia hivo,
* Lini unakuja chumbani kwangu,
* Leo usiku nitakufata usifunge mlango uegeshe tu,
* Utakujaje wakati unalala na mgeni,
* Usijari kuhusu hilo nitamtoloka tu,,
Baada ya kunijibu
“maua akawa anaitwa kule ndani
” basi aliondoka,
Mimi nilibaki na furaha baada ya maua kuniambia kwamba atakuja usiku chumbani kwangu, nilianza kula kalanga Mpaka nikazimaliza zote sababu nilikuwa nazipenda Sana, Mida ya jioni ilipofika nikaenda, uwanja wa mpira kufanya mazoezi, Saa kumi na mbili jioni nilirudi nyumbani Kabla ya yote nilienda kuoga baada yakuoga nikaingia chumbani kwangu kubadili nguo,
“* Nifanye nini ili nimtazame joshua mgongini kwake nione kama anayo chapta, au Hana,
” mmmh hapa itabidi nimteke kimapenzi nitamgundua mara moja nikifanya hivyo,
Zoi, alijiambia yeye mwenyewe huku anasaidiana na Maua” kupika chakula cha usiku,
,”Saa mbili usiku chakula kilitengwa mezani walikula wao wanne kama familiya,
kisha Zoi, akaambiwa aniletee chakula kweli aliniletea chakula changu kwenye sahani,
* hodi humu ndani,
Zoi, alibisha kwenye mlango wa chumba changu,
” Nilifungua kisha nikamuuliza
* vipi,
* Joshua nimekuletea chakula jamani pokea basi,
*assante lakini wewe unaitwa nani, mbona kama nilisha wahi kusikia sauti yako sehemu,
* Mimi naitwa Zoi, ila kuhusu sauti yangu usijari watu wengi wanasauti mzuri
kama yangu” kwa sasa ngoja Mimi niende sitoweza kuongea na wewe zaidi,
lakini nitakufata usiku wa saa Sita au saa saba nije tuzungumze,
nakuomba usifunge mlango wako
Zoi, aliniambia hivo harafu akaondoka, “kwangu ulianza kuwa mtihani maana Maua, alikwesha niahidi kwamba atanifata usiku chumbani kwangu na huyu nae ameniahidi, vile vile hapa sasa sijui,,
SEHEMU YA 8
” Heeh hapa itabidi niufunge mlango ili akija yeyote agonge nimfungulie,
bila kufanya hivyo itakuwa balaa,
Nilijiambia hivo baada ya Zoi, kuondoka,
“Basi nilianza kula chula nilicho letewa, “Duuh nilijiona Nina bahati kweli maana kuwepewa chakula, na mwenyenyumba wakati mimi Mimi mpanga tu, lilikuwa siyo jambo rahisi,
“Nilikula mpaka nikashiba chakula kilibakia kidogo nikakihifadhi, kisha nikaweka mazingira ya chumba vizuri, maana nilijua kwamba Nitalala na demu huo,
” Sasa naona kimekaa fuleshi kitanda changu ngoja Niingie Facebook nitafute demu wa kuchati nae, Nilijiambia hivo baada ya kumaliza kutandika kitanda,
* Ma mdogo twende tukalale basi au wewe bado unatazama Tv,
* Hapana maua twende tu kwanza hapa nilipo nasinzia, Zoi, alimjibu maua,
kisha wakaenda kulala kwenye chumba chao, maua na Zoi, Walikuwa wanachorana bila kujuna kwamba wanalengo moja, maana maua alikuwa amepenga kumtoloka Zoi,
” Zoi nae alipanga kumtoloka maua,
basi walitandika kitanda wakalala, Hata hawakupiga stori nyingi, wakalala, Kutokana na uchovu wa safari,
Zoi akajikuta ameandamwa, na usingizi japo alijalibu kujizuwia asisinzie lakini macho yaligoma kabisa, akalala fofo fo, Mida ya saa Sita na Nusu ilipofika Maua, aliamka akamtazama Zoi,
” Mmmh Amesinzia tena anakoroma inaonyesha amechoka sana, hii ndiyo nafasi yangu,
Maua, alisema hivo kisha akashuka kitandani talatibu, harafu akaufata mlango akaufungua talatibu,
Maua alitoka chumbani kwao huku akiwa na nguo nyepesi za kulalia, alikuja hadi kwenye mlango wa chumba changu” alipofika akajalibu kuusukuma mlango ukawa mgumu ikabidi agonge,
” Mimi nilikuwa macho tu Mda wote
Kwa maana hiyo Maua, alipogonga tu nikasikia, Niliinuka nikaenda kufungua, Maua, akaingia kisha nikaufunga,
* Joshua nilikwambia usifunge mbona umefunga,
Maua, aliniuliza hivo,
* Nimeufunga sasa hivi Mimi nilifikiri hauji Nilitaka nilale, nilimdanganya maua,
* Mmmh haya Bwana Ndo nimekuja sasa “Maua aliniambia hivo Huku amesimama anang’ata kucha zake,
Nilimsogelea kisha, nikambeba Nikamlaza kitandani bila kupoteza mda, nikaanza kumtekenya tekenya Sehemu husika, Nilinyonya chuchu za maua, Nikalamba hadi kisima chenye asali, maua alipagawa. Akawa anakubali kubali kila kitu Nilimwambia, maua anyonye mashine yangu bila, ubishi maua alikubali. Akaikamata kisha akaanza kuilamba kidogo kidogo kwa mapozi badae akaibugia yote mdomoni, ilikuwa raha tupu baada kutekenyana na kuchezeana Hatimae, tukaanza kufanya mapenzi, Tulitumia masaa Mawili,
” hadi tunamaliza Show ilikuwa saa Tisa ya usiku,
Tulikuwa tumechoka tunahema kama bata, Sasa wakati maua anapumzika kidogo iliande chumbani kwake, usingizi uliyokuwa hauna adabu ukampitia, siyo yeye tu hata Mimi, Tulilala wee mpaka saa moja asubuhi,, Maua ndo alikuwa wakwanza, kuamka ,
” Mmmh kumbe saa moja sasa jamani nitatokaje humu, Maua alijiuliza hivyo baada ya kutazama saa kwenye simu yangu,
*_Joshua Amka bwana bado umelala tu,
Maua, alianza kuniamsha baada ya kunitingisha tingisha Nikaamka,
* khaa maua Mbonabado upo huku, kwanini usiku haujaondoka,
* Joshua usingizi ulinipitia,
Maua,, alinijibu hivo, nikainuka kitandani kisha nikaenda mlangoni ila kabla sijafungua nilichungulia kwanza, ndipo Moyo wangu ulianza, kudunda kama kitenesi hiyo ni baada ya kumuona, Baba maua anakuja kwenye chumba changu, kabla sijafanya chochote mlango ukagongwa ngongo ngooo Joshua, fungua nataka kuchukua kitu changu. Mala moja, Baba maua alisema hivo baada ya kugonga mlango,
Kwanza nikamtazama,
Maua nikumuona jinsi Anavyo Tetemeka kwa uoga,,,
SEHEMU YA 9
” mwanaume hakili “Niliwaza nifanye kitu gani ili maua asionekane, Mara nikapata wazo,
“Nilimfata maua, pale kitandani kisha nikamwambia
* Maua joo ujifiche hapa nyuma ya mlango,
* Joshua jamani naogopa baba ataniona Leo nimeumbuka Mimi,
bora nijifiche uvungini,
* hebu nisikilize Mimi hivi unajua kitu anachukuja kukichukua baba yako kiko sehemu gani,
* sijuwi,
* sasa kikiwa uvunguni si utaonekana moja kwa moja, njoo ujifiche nyuma ya mlango haraka Mimi nifungue, Tulibishana bishana Mimi na Maua, hatimae alikubali kujificha mlangoni,
* Joshua fungua nichukue haraka Mimi nataka niwahi kazini,
Baba maua alisema hivyo, NaMimi nikaufungua mlango,
Akaingia,
* Mbona umechelewa kufungua ulikuwa umelala,
* ndiyo mzee nilikuwa nimelala Nikamjibu hivo Baba maua,
” sasa utata ulianza kutokea pale alipoanza kutafuta kitu alichokifata maana alipokuwa anazania kipo hakukikuta,
* Joshua hebu pisha hapo mlangoni kunakimfuko cha blue nataka nikiangalie. Baba maua aliniambia hivo ilibaki kidogo nijikojolee kwa uoga, maana hapo ndipo nilipo mficha maua,
* Aaahee Usijari mzee wangu ngoja nikusaidie nilimwambia hivo,
huku nimebabaika kama mwizi,
macho yangu yalikuwa hayatulii kabisa, Kutokana na ulefu wangu nilipitisha tu mkono, Nikakishika kimfiko kilichokuwa kwenye msumali uliyogongelewa kalibu na mlango” nilikishusha, kisha nikampa, Baba maua alipokesha kisha akakifungua na kuangalia,,
* Eeeh faili, niliyokuwa naitafuta
hii hapa,,Baba maua alisema hivyo kisha akaniaga na kuondoka zake, “Nilifunga mlango, Kisha nikamwambia Maua,
*umeona sasa baba yako amesachi chumba kizima mpaka uvunguni je ungejificha huko uvunguni unazani kingetokea nini hadi, sasa
* Mmmh sijuwi ingekuwaje ila hatahapa, ilibaki kidogo tu anione,
* Afadhali ilibaki je angekuona,
* sijuwi ingekuaje tu, sasa fanya mpango Mimi nitoke huku, Maua aliniambia hivyo,
” bila kuchelewa nilifungua mlango nikatoka hadi ukumbini kutazama mazingira, Nikaona hakuna mtu, nilirudi nikamwambia Maua aende,
kweli alitoka sasa alipofika ukumbini, akakutana na Zoi, huyo ni mama yake mdogo, na alikuwa mdogo kweli,
* Maua, Ulikuwa wapi usiku nimekuangalia kitandani haupo hadi asubuhi hii pia hauku wepo,
Zoi, alimuuliza maua,
* Ma mdogo bwana, Mimi mbona nilikuwepo ila usiku nilitoka Mara moja kwenda chooni, nilipo rudi nikalala,
” ila kitu kingine ambacho hukijuwi
Ma mdogo, mimi huwa naamka mapema kuliko mtu yoyote hapa nyumbani, kwahiyo usishangae sana utanizoea tu,
” Duuh Maua, nae kwa uongo alikuwa yumo, alimdanganya Zoi,
uongo ambao uliyokalibu na kweli,
* kumbe ndo hivyo basi, na Mimi uwe unaniamsha maana huwa nalala sana,
* Usijari Ma mdogo nitakuamsha, kuanzia kesho, Baada ya maua kujibu hivo, akaenda chumbani kwao kisha akavua izo nguo, za kulalia akajifunga kanga moja, harafu akaenda zake kuoga,
* Mida ya saa Mbili na dakika kadhaa,,nilitoka chumbani kwangu na Mimi nikaenda kuoga, na kufanya usafi wa meno, Nilipomaliza Nikaenda kuvaa pamba kali zangu, harafu nikatoka, Nilikuwa na mpango wa kwenda kunywa Chai, mgahawani lakini, nilipofika sebeleni Nikawakuta maua na Zoi, pamoja na mama maua, Niliwasalimia kwa hekima tu, tena kwa kishamoo kila mtu,
*Joshua umependeza hivyo mwanangu unaenda wapi, Mama Maua, aliniuliza hivyo baada ya salamu,
* Naenda hapo mgahawani kupata chai, kidogo maana naona njaa inaniletea usiku tumboni,
*mh unamaneno Joshua jamani uneona wapi njaaa ikaleta usiku tumboni”Zoi aliniiuliza lakini sikumjibu sababu nilikuwa bize namsikiliza, mama maua anavyo niambia,
*Joshua wewe unapenda, kutumia hela ovyo, hivi haukumbuki Mme wangu alikwambia utakuwa unakula hapa asubuhi mchana na usiku, Nakuomba utambue kwamba, tumekufanya kuwa mwana familiya yetu, kwa sababu unalingana na familiya hii, kwahiyo unapo hisi njaa, muulize mtu yoyote kuhusu chakula, au ukiona ugumu kuuliza ingia jikoni angalia ukiona chakula chukua kula umenielewa,
Mama Maua, aliniambia hivo,
* Nimekuelewa mama, nikajibu,
* Haya kaa hapa usubiri chai maana bado inachemka jikoni,
“Mama Maua aliniambia, Namimi nikakaa Kukaa kwangu hapo ulikuwa mtihani mwingine maana Maua alikuwa ananiangalia mpaka mama yake akamwambia,
* Maua usimwangalie hivo mwenzio atajisikia vibaya, alipoambiwa na mama yake
Hapo kidogo Maua, aliponguza kidogo, “_baada ya mda kidogo chai ikawa tayari tulianza kunywa huku tunaongea mambo mengine mbali mbali, “tulipo maliza kunywa chai,
Mama Maua akamwambia Maua,
* Maua, nenda ukajiandae nataka tuende sokoni Mara moja kununua vitu,
“Maua hakuwa na jinsi ikabidi afanye hivyo,
* Zoi sisi tunaenda sokoni Mara moja wewe bakia hapa nyumbani upumzike maana najua umechoka na safari ya jana,
* Sawa Dada nendeni tu mtanikuta, Baada mama Maua na mwanae kuondoka Tukabaki wawili ndani ya nyumba,
“Hii ndiyo nafasi ya kumchunguza Joshua mgongoni kwake, ngoja leo lazima nimgundue kama anayo chapta au hana, “Zoi alijiambia hivo, kisha akaenda chooni alipo ingia akavua nguo zote, harafu akajimwagia maji, makopo mawili tu, Mara ghafla akaanza kuniita kwa sauti kana kwamba, amepatwa na tatizo kubwa,
*Joshua jamani, njoo unisaidie muguu wangu unazamaaaaa, Zoi, alisema hivo kisha akaanza kulia,
Nilikuwa ukumbini naenda chumbani ila Niliposikia kelele hizo, nilienda mbio hadi mlangoni, mwa choo,
* Zoi, umepatwa na nini huko,
*_Joshua ingia unisaidie muguu wangu anauvuta, wahi basi atanikata mguuu wangu jamani,
Zoi aliniambia hivo, Na mimi bila kuwaza nikaingia ilikutoa msaada,
lakini Nilicho kikuta sikuamini macho yangu,,
SEHEMU YA 10
baada ya kuingia nilimkuta Zoi yupo uchi yani hakuwa na kitu chochote cha kuuzitili, mwili wake, Siyo siri Mwanamke yule alikuwa na umbo zuri linye kuvutia, nilipomuona yuko vile tu mashine yangu,
ilisimama kwa kasi ya ajabu,
Zoi, alikuwa na chuchu konzi nzuri, zilizonifanya nitamani kunyonya,
Wakati Namshangaa yeye alikuwa hana habari na mimi aliendelea kuoga taratibu, Kwa kweli Zoi,alikuwa anajiamini Kutokana na uvuri wa umbo lake,
*Zoi, yuko wapi mdudu anayekuvuta mguu, Nilimuuliza hivo huku najifanya kuangalia pembeni,
* Mwenye macho haambiwi tazama, nazani umenielewa
” Zoi akanijibu hivo, nilishindwa kumwelewa, nikamuuliza
* Unamanishi Nini,
* Namanisha vua nguo tuoge pamoja, hunioni Mimi nipo uchi,
* Zoi, Wewe umekuja jana tu imekuaje umenizoea kiasi hiki,
* Joshua sijakuita uje kuniuliza maswali, nimekuita tuoge pamoja, kama huwezi kuoga na Mimi basi ondoka huku,
Zoi, aliniambia hivo huku, anajishika shika kwenye chuchuzake, Nilifikiria kidogo nikaona nisiwa mjinga,
Nilivua ngou zangu nikaziweka pembeni kisha nikamsogelea, Zoi,
* Vipi utakubali Nikuoshe,
Zoi, aliniuliza hivo, yeye alikuwa na Lengo lake kuniambia vile,
* Nioshe tu, hakuna matata, nikamjibu,
” Zoi, alianza kuniosha kwa maji na sabuni, Sasa wakati anaendelea kuniosha alinicheki mgongoni akaiona chapta, Mara Ghafla akaacha kuniosha, Zoi alitoka Chooni haraka, Bila kuniambia chochote, Mimi Nikabaki nimeshangaa tu, sikujua kinacho endelea, Basi, nilioga peke yangu, nilipomaliza nikavaa nguo, zangu nikatoka nje,
Baada ya mda wa saa moja, Maua na mama yake walirudi kutoka sokoni, Mimi ndiye niliyewafungulia geti maana walinikuta hapo nataka kutoka,
* Joshua hebu njoo baba umsaidie huyu mvivu kimzigo kidogo tu ameshindwa, kukibeba, Mama Maua, aliniambia hivo, Nilikuwa mtiifu na mwenye nizamu Nilienda nikawasaidia, Nikaondoka nikaenda kwenye mishe mishe zangu, lakini nilikuwa nafikiria ilikuaje mpaka Zoi, akanikimbia, Lakini
Sikupata jibu kabisa,
” Sikuhiyo sikuenda hata kazini, maana mimi nilikuwa fundi Langi, ishu zangu ni kupaka langi kwenye nyumba za matajiri,
Nilienda kwa lafiki yangu kupiga story mbili tatu kupoteza Mda,
* Dada hivi unamfahamu joshuo,
” Zoi, alimuuliza Mama maua, Wakati huo walikuwa Wameketi ukumbini wao wawili tu maua, hakuwepo,
* Joshua gani unaye mzunguzia wewe,
* huyu tunayeishi nae hapa,
* ndiyo namfahamu kwani vipi,
* siyo kumfahamu hivyo, yani namanisha kwamba unawajua ndugu zake,
* Mh kwa kweli ndugu zakemimi siwajui, kwanini umeniuliza hivo,
” Mama maua, alijibu kisha akauliza,
* Mimi nataka kuwajua ndugu zake tu, Nakuomba uje umeelize Baba maua kama atakuwa anawajua, Zoi alimwambia hivo, Mama maua alikubali lakini nae alibaki na maswali kichwani mwake
Kwanini Zoi, anataka kufahamu familiya ya Joshua,
“mh hapasiyo bule itakuwa kunakitu,
” Mama Maua alijiongelea mwenyewe mojoni hakutaka kumuuliza Zoi,
” mida flani ya mchana Nikarudi kutoka kwa rafiki yangu, nilifika nyumbani nikawakuta wanakula, Walikalibisha,
Nilijiunga tukaanza kula pamoja wakati tunakula ,
“Mara Ghafla Maua, aliinuka akakimbia mbio akatoka nje ,huku ameziba mdomo kana kwamba anataka kutapika,,
SEHEMU YA 11
* Kwanini maua amekimbia ghafla, harafu mbona kama anataka kutapika, Mama maua alituuliza lakini Mimi na Zoi tulibaki kimiya tu sababu tulikuwa hatujui nini kilicho mpata,
” Baada ya dakika mbili, Maua alirudi kisha akaketi,
* Maua ulikuwa umeenda kutapika, Naomba uniambie, unaumwa nini,
maua aliulizwa na mama yake, mimi na Zoi, tulimtazama maua na kumsikiliza atajibu nini?
* Mh Mama nae mimi sijaenda kutapika, ila nilikula chakula cha moto_ kimeniunguza mdomoni ndo nikekimbia kwenda kukitema nje, Jibu la maua, lilikuwa kalibu na ukweli maana chakula kilikuwa cha moto kweli,
* kama uliungua na chakula kwanini ulishindwa kunywa maji ukakipoza,
* Mama niliona shida maana kikumbe chenyewe kile kule, Maua alikuwa anajua kumjibu mama yake,
basi hakuulizwa tena, tukaendelea kula, Mara Ghafla. Simu ya Mama maua ikaanza kuita,
*Zoi, hebu niletee simu yangu
” aliambiwa Zoi sababu yeye ndiye alikuwa kalibu na simu,
Bila kuchelewa Zoi alichukua simu kisha akampa mwenyewe,
* Hallo Mme wangu habari za kazi,
* Nzuri Mke wangu vipi umepika chakula gani Leo,
* Leo sijapika Mimi amapika maua na mama yake mdogo,
* Aaah sawa mke wangu nakuja kula sasa hivi, sijuwi nikuletee zawadi gani mke wangu,
* Niletee Ndizi mbivu nimezimissi sana,
* Ok Ngoja ninunue hapa,
badae basi,
* Sawa, Mama maua alimaliza kuongea na simu, Wakati huo Maua, na Zoi, walikuwa wamesha maliza kula na kuondoka,
* Hivi Joshua baba yako anaitwa nani,
Mama maua aliniuliza hivo,
* Mimi naitwa Joshua peter, lakini peter siyo baba ni mjomba wangu,
* kwanini unatumia jina la mjomba badala ya baba yako,
* kwa sababu babu aliyekuwa ananilea hakuambiwa jina la baba yangu,
hata Mimi hapa nilipo simjuwi baba yangu,
Nilipo maliza kumjibu mama maua,
Mara Mme wake akafika alitusalimia kisha akaenda chumbani, mambo ya kunihoji hoji yakaishia hapo mama maua hakuniuliza swali lingine,
Nilikula nikashiba kisha nikaondoka akabaki peke yeke anamsubiri mmewe,
“Kwanini ananiuliza kuhusu baba yangu, Nilijiuliza nikiwa naingia chumbani kwangu,
* Mme wangu umeleta ndizi nzuri jomoni,
* Umezipenda,
* ndiyo nimezipenda hivi Mme wangu unawajua wazazi wa Joshua,
Mama maua alimuuliza mmewe,
* Sasa hivi siyo mda wa maswali niacha nile nikimaliza kula utaniuliza nitakujibu,
* Mh Aya bwanaa, Mama maua alipojibiwa hivo hakuuliza tena,
hata pale Mme wake alipo maliza kula alisahau kumuuliza,
Maisha yakaendelea, Siku mbili badea maua alinifata kisha akaniambia,
* Joshua Mimi sijisikii vizuri kabisa nakuomba unipeleke hospital nikapime nijue nini tatizo,
* Umeanza lini kujisikia vibaya mpenzi wangu,
* tangu juzi tumbo langu halieleweki kabisa nahisi kama kimeingia kitu,
maua aliniambia hivo, Namimi kwa ushamba wangu sikuhisi chochote kwa maua ,nifikiri anaumwa tu, nikamuuliza,
* Unataka nikupeleke lini,
* Leo tu ikibidi sasa hivi,
*powa nenda ukajiandae kisha uombe ufungua wa gari tuende, nilimwambia hivo maua, kweli alienda akajiandaa kisha akamuaga mama yake ,
* Mama Mimi natoka naenda kwa rafiki yangu Mara moja,
* Aya sawa nenda ila usichelewe kurudi maana ninashida na hiyo gari badae nataka kufata deni langu kwa mama harima
* Sawa mama sichelewi,
Maua, alisema kisha akachukua ufungua wa gari, Mimi alinikuta nipo nije, tukaondoka,,Tulikwenda mpaka hospital Tulipokelewa vizuri Nesi,
” Maua akamueleza Nesi matatizo yake, baada ya pale Nesi alimchukua vipimo maua alipo maliza akamwambia,
* Nisubiri nitakuletea majibu hivi punde,
” mimi na Maua tulisubiri baada ya dakika kama tatu nenne hivi,, Nesi alikuja akaketi harafu akatabasamu,
kisha akamuuliza maua,
*Dada huyu ni Mme wako,
” Nesi aliuliza huku amenitazama Mimi,,,
SEHEMU YA 12
” Baada ya kuulizwa hivyo maua alishituka akanitazama na yeye,
kisha akajibu,
* Mh, hapana nesi huyu siyo Mme ila ni mchumba wangu tunapendana sana, tunatarajia kufunga ndoa mwisho wa mwaka huu,
Maua alijibu hivyo, Hapo nikamuona Nesi amefurahi zaidi kisha akasema,
* OK kwanza Napenda kuwapongeza nyinyi nyote wawili kwa kazi nzuri mliyo ifanya maana sasa wewe Dada ni mama kijacho, Ninamanisha kwamba
una ujauzito wa wiki mbili,
Nesi alipomuambia hivyo, maua Nilitetemeka manusura nizimie maana sikutarajia kitu kama hicho,
* Nesi Mimi Nina, mimba, Maua aliuliza kwa taharuki yenye furaha,
* Ndiyo Dada wewe sasa ni mama kijacho, Nesi alipojibu kwa Mara ya pili, Mimi nikaona hakuna tena mjadala Niinuka nikatoka nje ya hospital, huku nimekuja ndita usoni kwa haari, nikaanza kujiambia,
” mambo gani haya upuuzi kabisa, yani anaambiwa unamimba harafu anafurahia, wakati naendelea kuongea peke yangu na kusonya Sonya,
Punde, maua alitoka akanifata nilipo,
* Joshua jamani mbona unaniacha wakati tumekuja wote,
* Umekuja na nani hebu nitokee hapa, unanileta usiku, ondoka na gari lako sitaki kuongozana na wewe na kuanzia Leo sitaki unijuejue, mimba gani yani tumefanya mapenzi siku saba tu,
Leo upate mimba nasema hivi, hiyo mimba siyo yangu,,
Nilimfokea maua mpaka akajisikia vibaya, kwa huzuni, Maua, akaniambia,
* Joshua mpenzi wangu, Hata ukinitukana haita badilisha chochote kwa sababu mimba imesha ingia harafu mtiaji ni wewe Mimi sina mwanaume mwingine zaidi yako, cha msingi tukaechini, tuzungumze ilitujue tunafanya nini kuhusu hii mimba,
* Unataka tuzungume nini wewe unafikiri baba yako atanielewaje Mimi,
Labda Ukaitoe hiyo mimba ndipo Mimi na wewe tutaelewana,
* Joshua mimi siwezi kutoa mimba hata siku moja, siwezi, kuua kiumbe kisicho na hatia, Twende nyumbani tuwahishe gari Mama anataka kutoka nayo,
* vipi kusuhu hilo tumbo lako unampango gani,
*_ kuhusu mimba niachie Mimi mwenyewe nitajua cha kufanya,
“Maua alinijibu hivyo harafu akaingia kwenye gari, Na Mimi Nikaingia,
harafu tukaelekea nyumbani, wakati tupo njiani nikamuuliza maua,
* Maua, hivi unanipenda,
* Ndiyo nakupenda kwanini waniuliza hivyo,
*_Basi kama unanipenda Naomba” usinitaje utakapo ulizwa kuhusu hiyo mimba,
* Hata usinge niambia nilikuwa sikutaji, tatizo wewe muoga sana,
Maua alinijibu hivo,
* Utamtaja nani,
* Nitamjua mwenyewe siku nitakapo ulizwa,
Maua alinijibu hivyo, baada ya mda. tulifika nyumbani, gari tukaiacha nje ya geti harafu sisi tukaingia ndani,
* Mama Nimerudi, Maua alimwambia mama yake,
* Bora umewahi ngoja niende na safari zangu, Mama maua alisema harafu, akachukua fungua kisha akaondoka zake,
Maua, Nae alikwenda chumbani kwao, Mimi nikabaki ukumbini nimeketi,
* Maua mlikuwa Mme kwenda wapi na joshua,
Zoi, alimuuliza maua Mara baada ya kuingia chumbani,
* Tulikuwa tumekwenda kutembea tu,
Si unajua Mimi na yeye ni marafiki,
* Lakini maua nasikia ulikuwa unamchukia sana Joshua, sasa vipi Mme kuwa marafiki,
* Ma mdogo watu wanabadilika tu hivyo na Mimi nimebadilika nikabomoa chuki na kujenga upendo kwake, Maua akajibu hivyo,
* mh ok Lakini maua jichunge usije ukajiingiza katika mapenzi na huyo joshua wako, kwa sababu nayeye nimemuona anayo chapta kama yetu mgongoni,
Maua, alishituka baada ya kuambiwa hivo, na mama yake mdogo Zoi,
*_Kheeh ma mdogo Umemona wapi Joshua akiwa na hiyo chapta,
Maua aliuliza kwa mshangao,
* jana nilimuona wakati anatoka kuoga nilimtazama mgongoni kwake nikaiyona, Zoi, akajibu hivyo,
* Mh Kwani Ma mdogo hizi chapta zinamanisha nini,
* Mimi sijawahi kuambiwa maana ya hizi chapta lakini kabla baba hajafariki alinipa hiko chuma cha kucholea chapta katika mwili wa mtu, aliniambia nimpe baba yako na tiyari nimesha mpa, nilimuuliza Baba maana ya hiko chuma lakini kabla hajanijibu akafariki dunia,
Zoi, alimjibu Maua,
* Sasa nani mwingine anayejua maana ya chapta tulizo chorwa,
* Baba yako tu anajua kama unataka kujua kaa vizuri na baba yako atakueleza maana ya hizi, ila Mimi ninatamani kuwafahamu wazazi wa Joshua, Zoi. alimwambia hivo maua, Daah hii ilikuwa habari mpya nyingine,
Kwa maua,
” mmmh kumbe ndiyo maana Joshua hataki nimtazama mgongoni, kumbe na yeye anachapta kama yangu, Maua, alijiongelea mwenyewe kwenye nafisi yake,
* Ngoja baba akirudi nitamuuliza mpaka aniambie,
* sawa, wewe njoo umuulize,, wacha niende nikaoge maana naona joto balaa, Zoi, alimwambia maua, harafu akatoka kule chumbani, Zoi, alikuja mpaka ukumbini akanikuta nimetulia zangu, Nachati na marikia wangu wa Instagram,
* Hujambo Zoi, aliniambia huku anatoka nje, nikamtazama tu wala sikuitikia,,
” Mida ya saa Nane, mchana Baba maua akarudi kutoka kazini,
” Maua. alikuwa amepania kweli kuujua ukweli wa chapta tulizo chorwa mgongoni,
Kabla hata baba yake hajapumzika. yani alipofika tu akamuuliza,
* Hivi baba hizi chapta niliyo chorwa mgongoni inamaana gani,
* Maua hiyo ni ishara ya undugu mtu yoyote ukimuona anachapta kama hiyo, Tambua kwamba huyo Ni ndugu yako, “Maua alipojibiwa hivyo na baba yake Mara ghafla akaanguka chini Akazimia,,,
“Baba maua na yeye akasitaajabu kumuona, mwanae ameanguka chini Ghafla, Hakujua tatizo ni nini,,,
INAENDELEA

