DAAH.. KUMBE NI NDUGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 13
“Akasitaajabu kumuona kumuona mwanae ameanguka chini Ghafla, hakujua tatizo ni nini,,SONGA MBELEE,,,
” Mda huo huo Zoi, alikuwa anaingia ndani ndipo akamuona Baba maua anavua Shati yake Zoi, alijificha kidogo Harafu akaanza kujiuliza
“Mh Anataka, kufanya nini tena huyu mbona anavua nguo, alijiuliza huku atazama nini kitokea hapo,
Zoi, Akamuoa Baba maua anampepea mwanae aliyeanguka chini,
“Mh kumbe maua ameanguka
Zoi, alisema kwa mstuko kisha akakimbia haraka mpaka sehemu aliyopo baba maua,
* Kaka nini kimemkuta maua,
* Hata Mimi Sielewi nilikuwa naongea nae mda mfupi uliyopita,
Mara Ghafla amedondoka chini Hebu nenda ulete ndoo ya maji tumumwangie, Baba maua alimjibu Zoi, kisha akamuagiza ndoo ya maji, Zoi alienda punde akarudi na ndoo ya maji, wakamumwagia , Lakini bado Maua hakuzinduka Zoi, akaleta maji mengine wakamumwagia tena, Maua alizinduka, akainuka kisha akaanza kujiangalia,
* Mbona nimelowa hivi nini kimetokea,
* ulikuwa umezimia tumekumwagia maji,
” Zoi akajibu,
* kichwa kinaniuma naona kizungu zungu naomba niende kulala,
* Pole mwanangu nenda ukalale ngoja nimuagize Joshua, akakununulie vidonge vya uje umeze, natumai hali yako itakaa sawa,
“Baba maua alimwambia Mwanae ,
* Sawa Baba, maua alikubari kisha akaenda chumbani yeye Na Zoi,
alipofika chumbani, Akavua nguo zilizo lowana maji, kisha akavaa nguo nyingine baada ya hapo akaketi kitandani akaanza kufikiria, alikumbuka Majibu ya baba yake, “”Ukimuona Mtu mwenye chapta kama yako ujue huyo ni ndugu yako””
” Maua alikumbuka hivyo,
Akaanza kujiuliza,
* mh inamaana Joshua ni ndugu yangu, Na kama kweli ni ndugu yangu je atakuwa nani yangu, Maua alijiuliza maswali magumu ambayo alikosa majibu yake,
* Maua, unawaza nini mbona unalia, Zoi. Akamuuliza maua,
* Ma mdogo we acha tu Leo Baba Amefanya nimemkumbuka mpenzi wangu wa aliyenisaliti,
* kivipi,
* Shati aliyoivaa Baba inafanana na shati ambayo nilishaga wahi kumnunulia mpenzi wangu Hafu siku ananisaliti alivaa nguo niliyo mnunulia Mimi nakumbuka anikana mbele ya rafiki zangu huku akiniambia eti Mimi ni kahaba tu najipendekeza kwake,,
yani nilipo ionashati hiyo nikapata kizunguzungu,
” Maua alijibu kwa kusingizia matukio ya mpenzi wake wa zamani,
ambayo ni kweli alishawahi kufanyiwa,
” kabla Zoi, hajaongea wala kuuliza swali lingine, Nikabisha mlangoni kwao,
* Nani wewe,
* Mimi joshua nimeleta vidongo vya maua,
nilipojibu hivo kimiya kikatawala kidogo Mara Mlango ukafunguliwa,
* Haya nipe ,
” Maua, akanimbia nilimtazama usoni nikamuona amebadilika, yani hayupo kama nilivyo mzoea,
* vipi mbona uko hivyo unaumwa nini,
* Naumwa maleliya ya hakili,
Maua, alinijibu hivo kisha akafunga mlango, ikanibidi niondoke lakini jibu alilonijibu Sikuliewa kabisa, Eti Naumwa maleliya ya hakili, hivi hakili nazo huwa inaumwa maleliya,
Nilijiuliza nikakosa jibu, ikabidi nipotezee tu,
” Wakati nipo home nimejituliza sina ishu, jamaa mmoja bosi flani hivi akanipigia simu ili nikaitazame nyumba yake kisha tuelewane bei, nimpakie Langi maana alikuwa anakabiliwa na Swala la husuri siku za usoni, Sasa nyumbani kwake kunatakiwa kuonekane safi,
Basi nilitoka nikaenda kuitazama nyumba Nilimkuta akaanza kunionyesha sehemu anazohitaji kupakiwa langi niliitazama nyumba lakini katika kutazama Nilimuona Demu mmoja mkali alikuwa anaosha vyombo Bila shaka yule huyu atakuwa Dada wa kazi huyu lazima nimgonge simalizi kupaka langi kama sijamgonga, Nilijiasemea mwenyewe, kimoyo moyo, “basi tulielewana na huyo bosi,
ila nikamwambia aandae aina ya langi inayotakiwa kupakwa, Baada ya maelewano, niliondoka nikapotelea mtaani kufata Mishe mishe zangu zingine,
” Usiku saa mbili nikarudi nyumbani, niligonga Geti baada ya mda Maua alikuja akanifungulia,
* Joshua ulikuwa wapi usiku wote huu,
* Nilikuwa nimeenda kuangalia kazi maana kunamtu alinipigia anahitaji kufanyiwa kazi yake, vipi mbona unaniuliza.
* Hakuna kitu ila unajua Joshua wewe, umeniingiza kwenye matatizo makubwa,
” kwanza naomba uniambie wewe ni nani yangu,
Maua, aliuliza swali la kushangaza kidogo,
* Maua wewe ni mpenzi wangu pia ni mke wangu mtalajiwa, kwanini lakini unaniuliza maswali ambayo unayajua majibu yake,
* Mimi ni mapenzi wako. sawa ila kwanini hukutaka kuniambia kwamba na wewe unachapta kama yangu mgongoni kwako,
* Maua, Mimi nilikuwa nafikiri umesha iyona maana tangu tuanzishe mahusiano ni mwezi sasa, hebu kumbuka tulikuwa tukifanya mapenzi pamoja, tunaoga pamoja, kweli hukuiona chapta mgoni kwangu,
mbona yako niliiona mapema,
* Ndiyo sikuiona sababu ulikuwa unanikwepa kwepa,
* Sasa nani kakwambia kama mimi ninachapta mgongoni,
* Ma mdogo Zoi, ameniambia amekuona unayo,
Maua, aliponijibu hivo Nikafikiri kidogo mara nikakumbuka siku ambayo alinikimbia Zoi, kule chooni,
” Nikagundua kumbe ndiyo maana alinikimbia,
* Kwani hii chapta inamaana gani, Nikamuuliza Maua,
* hinamaana wewe Joshua haujui au unanipumbaza tu, kwanini lakini mwanaume wewe uneniingiza kwenye laana sikuitalajia,
Sasa Naondoka ila kesho nikikufata, nahitaji unipatie jibu moja tu,
wewe ni nani yangu,
Maua aliniambia hivo harafu akaanza kualiondoka kwa kukimbia huku analia, Mimi sasa nikabaki mdomo wazi Huku Najiuliza”
“Kwanini maua ananiuliza mwamba Mimi ni nani yake
Kwani kunanini hapa katikati mbona sielewi, Nilijiuliza hivo,,,,
SEHEMU YA 14
Lakini sikupata jibu, Basi niliufunga mlango mdogo wa Geti Namimi nikaenda huko huko ndani, alikoenda Maua,
Watu wote niliwakuta wamekaa ukumbini, kutazama mchezo wa kihindi kwenye tivii, walikuwa wanadanganywa kinoma noma, maana nawajua wahindi kwa uongo wako vizuri,
” Mimi sikutaka kudanganyika hivyo, niliwasalimia kisha nikaenda zangu kulala,
Saa nne usiku nikiwa nimelala Mara Ghafla mlango wa chumba changu ukagongwa, niliinuka na usingizi wangu nikaenda kufungua, Dah nilikutana na sura nzuri ya maua, akaniambia,
* Nimekuleta chakula hiki hapa,
* Assante vipi Leo hauji kulala na Mimi, Nina hamu ya kuzibua kidogo,
harafu nataka tuongee iliunieleweshe kuhusu hizi chapta,
Nilimwambia hivo Maua,
* joshua hiyo chapta uliyo nayo ni ishara ya kwamba wewe ni ndugu yangu, maana hata Mimi Nina chapta kama hiyo,
Siwezi tena kulala nawewe,
* Khaah ishara ya ndugu kivipi”
Wewe nani kakwambia “Nilimuuliza Maua huku nimepatwa mshituko mkubwa, maana habari hiyo ilikuwa ngeni kwangu,
* Baba ndo ameniambia kwahivyo kuanzia sasa mimi na wewe tuheshimiane kama ndugu,
usiku mwima,
Maua, akanijibu hivo kisha akaondoka, kulala,
” Mimi nikafunga mlango kisha nikaketi kitandani mawazo mengi kichwani yakani jaa, mpaka nikashindwa kula pia nikachelewa kupata usingizi, sababu ya mawazo,
” Lakini ilifika wakati nikasinzia,,
Kesho yake Asubuhi na mapema niliamka nikaenda kwenye mishe mishe zangu maana nilikuwa nimepungukiwa mfukoni,
” Mida ya saa nne wakati Naendelea na kazi
“Mara ghafla simu ikaita, niliitoa mfukoni nikapokea,
*Hallow Maua vipi,
* Joshua nahitaji uniletee Ndimu tano sasa hivi ninahamu nazo,
Maua, aliniambia hivo,
Mara baada kupokea,
* Maua Nipo mbali sasa hivi siwezi kuja nyumbani harafu ninafanya kazi,
* Basi kama hauji Namuambia baba kama umenjjaza mimba,
*Aaah Tafadhali Maua usimwambie nakuleta ndimu sasa hivi,
* Haya fanya haraka harafu ninunulie na Maembe mabichi,,
” Maua, aliniambia hivo,
Sikuwa na budi ikanibidi niache kazi yangu kisha nikaenda kununua hizo ndimu na maembe,
” nilivipeleka nyumbani Kisha nikampa Maua kwa siri,
“Tabiya ya Maua kula ndimu na maembe, ilishamiri takiribani Siku tatu,
Huku akilala lala ovyo bila mpangilio,
” Siku moja akiwa amelala Mama na baba yake walirudi kutoka kazini,
“Wakamkuta amelala huku pembeni yake kuna vipande vya ndimu,
* Mme wangu huyu mwanao nahisi kama mjamzito maana simweliwi kabisa sikuhizi hebu tazama anakula ndimu harafu analala tu, Siku hizi hapiki Anapika Zoi tu,
* Kwani hizi ndiyo dalili za mimba,
* Ndiyo Mme wangu, huyu anamimba kabisa,
* Hebu muamshe, Baba Maua alisema hivo, Maua akaamshwa,
* Wewe Maua Unamimba,
*_Hapana baba Mimi sina mimba
* Kwanini unakula ndimu na maembe kila Siku tunakosa, maembe ya mchuzi humu ndani kumbe unakula wewe, Nambie hiyo mimba ya nani kabla sijakukata ulimi wako,
Nilimusikia Baba Maua anamuuliza na kumtishia kumkata ulimi mwanae, “Nilichungulia kwenye dilisha nikamuona ameshika kisu kidogo mkononi,
Wakati huo Maua alikuwa,,,,
SEHEMU YA 15
anajiandaa kujibu
huku akione kuogopa zaidi,
* Maua nakuuliza kwa Mara ya mwisho hii mimba hiyo ya nani,
* Baba mimi nilibakwa na wanaume wawili kipindi nyinyi mlisafiri kijijini,
Maua akajibu harafu akaanza kulia,
* Maua, ulibakwa kinanani hao walio kubaka,
* sikuweza kuwajua Baba sababu walinifunga kitambaa usoni Maua akajibu tena, Hii sasa ilikuwa balaa kubwa maana Baba na mama yake wali, changanyikiwa zile hasira za kutaka kumkata ulimi likapotea kisi akakiona kizito wakati kilikuwa kidogo tu, alikiangusha chini, baba Maua alianza kumlaumu sana, mwanae kwa kujitenga peke yake kila wakati,
* Kila siku tulikuwa tunakwambia usikae mbali na joshua, kama ungetusikiliza, yasingetokea yote haya, umeona sasa,
* Lakini baba Maua huu siyo mda wakumlaumu mtoto yatupasa tumpeleke hospital akapimwe, huenda akawa ameambukizwa na magonjwa mengine ukiachilia mbali hii mimba,
“Mama Maua, akamwambia Mme wake,
” Hilo nalo lilikuwa jambo la msingi katika matukia kama hayo,
“Basi walikubaliana “Wakamwambia Maua akajiandea, iliwaende huko hospitali, Maua alikwenda kuoga kisha akabadili nguo alipo maliza wakaondoka Zao,
“Mimi nilikuwa naitazama picha yote
kwa kuchungulia dilishani,
Sasa walipoondoka hao watatu, Nikabakia Mimi na Zoi, Nilimfata Maana alikuwa jikoni anapika,
* Zoi mambo,
* Powa vipi umekuja kunisaidia kupika,
Zoi, akaniukiza,
* Hapana ila nimekuja kukuuliza mbona siku ile ulinikimbia ukaacha kuoga na Mimi,
* Kwa sababu nilihisi kutu kutoka kwako,
Zoi akajibu,
* kitu gani ulichokihisi wewe,
* mgongoni kwako una chapta kama niliyo nayo mimi we huoni kama zinaishara furani, lakini mimi na wewe hatujui,
Zoi, aliponijibu hivo, Nikagungua kumbe na yeye Ni ndugu maana Maua Alisha wahi kuniambia kwamba yeyote mwenye chapta ya kufanana na yangu basi ni ndugu yangu,
* Daah kumbe Na wewe ni ndugu yangu,
* Mh umejuae kama hii ni ishara ya ungugu,
Zoi, akaniuliza,
* Maua alisha wahi kunimbia maana hata yeye Anayo chapta, harafu alishawahi kuambiwa na baba yake,
nikamjibu zoi,
” Wakati tunaendelea kuongea Mara mlio wa honi ya gari tukausikia kule nje,
ikabidi niende kufungua geti,
nilifungua wakaingia maua na wazazi wake, sikujua majibu waliyo yapata huko hospitali,
Maisha yakaendelea, Zilipita takilibani siku tatu, ndipo mapenzi, ya mimi na maua yakaanza kujirejea tena, yani nilikuwa nikimtazama maua, roho inaniumua maana nilikuwa nampenda, haikuwa rahisi kuachana nae Wakati nimelala zangu kitandani usiku Mara ghafla meseji ikaingia kwenye simu yangu,
Nikaifungua,
* Joshua hivi tumeachana au bado,
maua akaniuliza kwenye meseji,
* Hata mimi sielewi maana najisikia kukupenda zaidi,
Nikajibu hivo,
* Mimi mwenzio sijielewi kabisa natamani kuja chumbani kwako,
* Njoo tu maana hata Mimi natamani kukubusu,
Nikajibu hivo Maua hukutuma meseji tena, nikasubiri mpaka nikasinzia tu, Siku hiyo maua hukuja chumbani kwangu, Niliumia sio kitoto,
* Mke wangu mimi inaniuma sana, yani mtoto tumemsomesha kwa garama nyingi vile harafu wanakuja wajinga tu wanambaka na kumtia mimba,
“Baba maua alimwambia mke wake,
* ndo imesha tokea Mme wangu we unafikiri tutafanya nini,
* Tunayo njia ya kufanya Twende tukawaangalie kwa mganga lazima tutawatambua tu,
* Wewe unafikiri mganga anaweza kuwajua waliyo mtia mimba maua,
* ndiyo mke wangu yule mganga ni mahili sana pia ni rafiki yangu atatusaidia, Baba maua akajibu hivo, wakakubaliana yeye na mke wake Hawakupoteza mda waliondoka asubuhi hiyo wakaelekea kwa mganga Mdochi, kutazama ni nani aliye mpa mimba mtoto wao maua,,,
SEHEMU YA 16
“Mganga mdochi alikuwa anakaa mbali na mjini kwahivyo ilikuwa mbali sana, Baba maua na mke wake. Wakatumia Masaa matatu hadi kufika kwa mganga mdochi,, walifika wakapaki Gari yao pembeni kalibu na kilinge cha mganga mdochi,
Baada ya kupaki gari wakashuka kisha wakaanza kubisha hodi,
* KalibuTupo huku, Mama mmoja aliitikia huku anatokeza mlangoni ,
* Ooh kumbe Shemeji kalibuni jamani,
* Asante shemeji Habari za siku,
“Baba maua akasalimia,
* Nzuri shemeji Lakini Mme wangu nae Mgojwa anaumwa,
Huyo mama akajibu,
* Khaah Anaumwa nini tena na ameanza lini kuumwa,
Baba maua akauliza huku akipoteza furaha na amani moyoni mwake,
* Tangu juzi anasema kichwa kinamuuma, ndiyo maana mmekuta hakuna hata wateja Leo,
Mama yule akajibu tena,
“Basi wakabidi kuingia ndani Kumtazama mganga mdochi,
Kweli wakamkuta Mdochi, amelala walimsalimia kisha wakaongea nae, kidogo, hali yake haikuwa Nzuri kabisa alikuwa hawezi hata kupiga matunguli yake,
* Mdochi Mimi na mke wangu tulikuja kwa shida mhimu sijui itakuaje sasa, Baba maua akauliza,
* Juma Leo sitaweza kufanya chochote maana kicha kinaniuma sana, Mdochi akajibu kiunyonge hadi anatia huruma,
* Mdochi tunafaa kukupeleka Hospital ukapate huduma nzuri,
Mama maua, akasema,
* Hapana shemeji Mimi huwa siendagi hospital nitapona kwa kutumia dawa zangu mwenyewe, siwezi kununua dawa wakati nachimbua bule tu,
nyinyi msicho kijua ni kwamba dawa za hospital zinatokana na miti shamba, Mfano Vidonge, nyinyi unazani kimetokana na nini,
Mdochi, akawauliza hivo, lakini hakuna aliyejibu sababu walikuwa hawajui,
Basi baada ya masaa kadhaa Baba maua na mke wake wakaaga kuondoka,
Mdochi aliwaluhusu kisha akawaambia waje J Mosi, siku hiyo ilikuwa J nne , Baba maua na mke wake wakarudi ludi nyumbani bila kufanikisha walicho kiendea kwa mganga mdochi,
” Mida hiyo ilikuwa saa nane mchana , wakati Baba maua na mke wake wanafika nyumbani,
“Na Mimi nilikuwa nafika maana asubuhi nilienda kule kwa bosi kumpakia langi ukuta wake,
” Chakula cha mchana tulikula pamoja tulipo maliza kula, kila mtu akaenda kupumzika kivyake mwenye kula mwenye kuchat mwenye kutazama tv,
” Zoi, alikuwa chumbani kwao, amepumzika Mara Ghafla akaanza kujifikiria
” Mh yani tangu nije huku mjini sijapata mwanaume yoyote wa kunipuguza hamu zangu hapa nilipo ninahamu baraa naweza kumpa hata mtoto akiniomba, nitapata vipi mwanaume wa kunisugua kupunguza nyege jamani,
mh mbona kwenye macho yangu anakuja Joshua, ila ndugu yangu yule Lakini hata tukifanya nani atajua itabaki siri yetu tu, Eeh Tutafanya siri ngoja Nitamfata Leo usiku chumbani kwake,
Zoi akajishauli hivyo baada ya kuwaza mengi kuhusu hisia zake,
” Wakati huo maua yeye alikuwa ukumbini anaangalia zake tivii huku anakula ambe mbichi haikuwa noma sababu wazazi wake walijua kuwa anamimba,
“. Sijafanya mapenzi yapata wiki saa Leo itabidi nienda chumbani kwa joshua nikajifiche mpaka Joshua atakapo sinzia ndipo nijitokeze, Maua akajishauli hivyo,
” Basi masaa yalisonga hatimae usiku ukaingia, baada ya kula chakula usiku lakini wakati tunakula maua alikuwa hayupo, Wote tulijua kuwa yupo chumbani amelala, tulitawanyika kila mtu akaenda chumbani kwake. Kulala,
” mh mbona maua hayupo huku, Zoi, akajiuliza baada ya kuingia chumbani na kumkosa maua,
” lakini hakutaka kujisumbua kumtafuta, Zoi, akapotezaea harafu akalala zake,
Kwa upande wangu nilifika nikakuta kitanda kimetandikwa kipo safi,
” Nani amenitandikia tena, nikajiuliza lakini nikakosa jibu, Nilivua nguo kisha nikalala, Usiku ulipo enda sana, Mara Ghafla nikasikia mlango wangu umefunguliwa Nilifumbua macho nikamuona Zoi, ameingia Moyo ukanidunda, nikamuuliza
* Zoi umefata nini. Huku usiku wote Huu,
* Joshua nimekuja tulale wote naogopa kulala peke yangu,
* peke yako kivipi wakati mnalala wawili,
* jamani Joshua maua hayupo kaenda kulala chumba kingine,wakati Zoi ananijibu hivo tayari alikuwa amesha fika kitandani alianza kunishika Shika na Mimi nikanogewa maana nilikuwa na mzuka Zoi aliponishita nikalegea,
” Wakati huo Kumbe maua nae alikuwa humo humo chumbani kwangu
alikuwa amejificha chini ya uvungu wa kitanda,
mda wote alikuwa amesinzia ndiyo akachelewa hata kujitokeza,
Sasa akaamka Baada ya kusikia Sauti ya mwanamke anaogea na Mimi juu ya kitanda,
Maua alianza kutoka uvunguni kwa,,,
SEHEMU YA 17
* joshua huyu mwanamke ni nani
“Maua akauliza Mara baada ya kuchomoka uvunguni, Ghafla tulitulia kimiya Mimi na Zoi, tulipo isikia sauti ya Maua,
* mbona haunijibu Maua akauliza tena kisha akaiwasha taa ya humo chumbani, akatuona vizuri” Daah lilikuwa bonge la aibu Mimi na Zoi hatukuweza hata kumtazama Maua, tulibaki vichwa chini kama Kondoo Wa mchungaji,
* Mh Joshua unakosa nini kwangu mpaka unakuja kufanya mapenzi na mama yangu mdogo, Nikupe nini Ulizike nimekupa kila kitu au unataka roho yangu niambie, au kisa ninaujauzito Wako ndiyo maana unaniona Sina maana mpaka unanisaliti kwa ndugu yangu wa damu, nijibu hata swali moja basi, Maua aliongea maneno Mengi na kuniuliza maswali, ila sikujibu hata Swali moja,
“Lakini tu niliumizwa na, maneno yake, Balaa hili limesha kuwa kubwa sijui itakuaje,
“Nilijiambia mwenyewe kimoyomoyo, Wakati huo “Zoi nae alishituka baada ya kugundua kwamba Maua ni mpenzi wangu Tena alichostahajabu zaidi ni pale maua aliposema kwamba mimba aliyonayo ni yangu,
Zoi akaondoka kwa hasira bila kusema neno lolote,
alipoondoka kidogo nikapata ujasiri wa kuongea na Maua,
* Maua naomba unisamehe haikuwa kusudio langu kukusaliti Mimi bado nakupenda sana, lakini yule amekuja mwenyewe chumbani kwangu akaanza kunilazimisha tufanye mapenzi, Lakini Mimi nilikuwa Sitaki, harafu imekuwa bahati nzuri umewahi kuja sijafanya nae kitu chochote,
Nikamwambia Maua, Huku Nimempigia magoti kalibu na miguu yake,
” Machozi ya Maua yalikuwa yanani dondokea kwenye kichwa changu chenye upala,
* Joshua wewe muongo hujafanya nae nini wakati nimewakuta mnanyonyana midomo yani siamini, umenitonesha kidonda changu sikutegemea kama na wewe utakuwa kama yule wa mwanzo kisho uondoke nyumbani kwetu kama usipo ondoka nitakunywa sumu nife pamoja na mtoto wako” Sitaki kukuona mbele ya macho yangu,, baada kunimbia hivo maua aligeuka talatibu akaanza kuondoka huku analia kwa kwikwi,
yani bila kutoa sauti,
” Nilishiwa swaga kabisa nikamuacha maua, akatoka chumbani kwangu,
Mimi nikabaki najililia huku najilauma kwa tamaa zangu za kijinga,
Nitaenda kuishi wapi sasa kama nitaondoka hapa, Nikajiuliza hivyo lakini sikupata jibu, Usiku kucha nilikesha nikiwa nawaza Sikupata usingizi hata kidogo,
Hiyo kwangu ilikuwa afadhali maua yeye alikesha analia,
“” Asubuhi palipo kucha Baba Maua, Aliondoka kwenda kazini kama kawaida yake, Nyumbani tukabaki watu Wanne, Mida ya saa mbili Nilitoka chumbani na Begi langu Nilikwenda Sebuleni, Nikawakuta Wanakunywa chai,
* Mh Joshua, mbona umefungasha begi unakwenda wapi baba,
Mama maua akaniuliza,
* Mama, Mimi nasafiri kidogo naenda Mwanza,
Nikamdanganya hivyo mama maua,
* Muongo haendi mwanza wala nini anaondoka tu hapa,
Zoi, akadakia kwa kusema hivyo,
* mh joshua kumbe unaniongopea, kwanini unaondoka, kunatatizo gani hebu nieleze,
“Wakati naulizwa hivo Maua, aliinuka akatoka nje, yeye alikuwa hataki hata kuniona,
* Mimi najua kila kitu kama utaondoka Nitasema kila kitu harafu utaliona balaa lake, kwa usalama wako, tafadhali Joshua rudisha bengi ndani,,
Zoi, akaniambia hivo,,
“Mama maua alishangaa maneno ya Zoi, akauliza,
* Kwani kunanini kinaendelea,,,
SEHEMU YA 18
baada ya kuulizwa hivo Mimi Sikujibu chochote, nikageuza nikarudi chumbani kwangu, Nilipofika nikafunga mlango kisha begi nikalitupia kitandani,
” Daah Sina jinsi maana kama bora nibakie tu naweza kuongea na maua akanielewa, kulilko nikiondoka
Zoi, atamwaga mchele kwa kuku wengi, “Nikajiambia hivo”
* Zoi, nini kinaendelea kati yako wewe na Joshua,
* Wifi huu sio mda wa kukwambia sababu mambo yenyewe hayajakaa vizuri naweza nikaongea uongo ikajakuwa aibu kwangu ila nakuomba uvumile iposiku utajua kila kitu, Zoi, akajibu
* Wewe si umemwambia Joshua kama unajua kila kitu nini ambacho unakijua wewe,
* Mimi nilikuwa natishia tu, usiwe na haraka wifi,
Zoi, akajibu harafu akainuka na kuoanza kukusanya vyombo ambovyo wamenywea chai,
” Basi mama maua Hakuwa na jinsi ikabidi abaki kimiya, lakini moyoni mwake akajiwekea mkataba wa kutuchunguza,
” Wakati Maua yuko nje amekaa peke yake kwa huzuni na simanzi
“akaanza kusema,
” Leo ndiyo sikuyangu ya mwisho kuliona jua zuri la hasubuhi “Leo ndiyo mwisho wa kuumizwa katika mapenzi Sitoumia Tena nimechoka sasa kila siku Mimi tu, nisamehe mwanangu uliye tumboni kwangu, kwa kukukatisha ndoto zako za kuliona jua na mwezi,
Leo mama yako ninakufa,
Siwezi kuvumilia,
“Baada ya kujiambia maneno hayo maua, akainuka pale alipokuwa amekaa, Kisha akaenda ndani alimfata mama yake, akamwambia,
* Mama naomba pesa nikanunue Matunda kigengeni,
* Ok sawa nitakupa hiyo pesa ila naomba uniambie unatatizo gani Leo maana nakuona haupo sawa,
* Mama Usijari Nikirudi nitakuja kukueleza tu,
Maua akamwambia Mama kwa ustarabu, Basi akapewa hiyo pesa ya kununua matunda, alipewa sh elfu 2 Maua, alitoka nje, kisha akaanza safari kuelekea dukani,
” Wakati Mimi nikiwi chumbani kwangu nilipata hofu Nikahisi jambo,
Najijua kama nikipata hofu bila sababu Lazima kunajambo baya linataka kutokea, Nilitoka chumbani haraka Ghafla nikakutana Na Zoi, Sebuleni, akaniambia,
* Joshua maua, amekwenda dukani,
* Khaah Kaenda dukani kaenda saa ngapi,
* Sio mda sana nafikiri bado hajafika,
Baada ya kuambiwa hivyo,
“Nilitoka nduki kumkimbilia Maua Maana nilikuwa najua kabisa Anaenda kununua Sumu ili anywe,
nilikimbia Mpaka nikafika Dukani lakini maua Sikumkuta, Nikauliza
* oya Salu ee, Naomba kukuuliza hivi maua, Amekuja hapa,
* Ndiyo amekuja akanunua Sumu ya panya tena ameondoka sasahivi amepita njia hii kwani vipi mzee,
* Story nindefu nitakuambia badae ngoja kwanza nimuwahi, Nikamjibu Salu muuza duka, kisha nikatimua mbio kuelekea kule ameenda maua, Nilikimbia mno lakini Sikumpata maua, ikabidi nianze kuulizia watu lakini kila nimuulizae alisema kwamba hajamuona, Kwakweli nilipagawa nikawa kama kichaa Nilianza kumuita maua njia zima napiga makelele Mimi tu, mpaka Sauti ikagoma Kweni niliamini mapenzi yana nguvu,
japo kuwa hayabebi mizigo, Nilimtafuta Nikachoka nikakaa chini katikati ya njia harafu nikaangua kilio, wakati nalia mvua nayo ikaanza kunyesha ikanisapoti kumulilia Maua, Baada ya mda
Nikainuka nikaanza kurudi nyumbani Taratibu mvua nayo ikininyeshea,
baada ya dakika kumi Nikafika nyumbani Nikaingia ndani kuangalia kama maua atakuwa amerudi au La,
* Mama hivi maua amesha rudi,
Nikamuuliza Mama yake,
* mh hapana Maua bado hajarudi na sijui kwanini amechelewa wakati alisema anaenda kwenye kigenge cha salu kununua Matunda,,
Mama maua akanijibu hivo,
” Nikatamani kumwambia kwamba Maua ameenda kununua Sumu, Sio matunda kama alivyo danganywa,
Lakini moyo ulikuwa unasita,,,,
SEHEMU YA 19
* Mh vipi joshua mbona unalia unamatatizo ganiÂ
“Mama maua akaniuliza baada ya kunitazama machoni kwangu,
* Mama naomba unisame Mimi ndiyo,,, kabla simalizia sentesi yangu,
Ghafla Simu ya mama maua ikaita nikasitisha kuongea,, Nae aliichukua simu yake yuu ya kiti cha stuli,
kisha akapokea,
* Hellow, mama maua akasema hivo kisha akasikilizia maana hata namba aliyopigiwa ilikuwa ngeni,
* eeh Halo Naongea na mama maua,
* yes ndiyo Mimi wewe nani,
* Mimi Naitwa Doktali Renard” Napatikana hapo hospitali ya afya na uzazi”
kalibu na shule ya msingi,
“lakini hilo siyo muhimu sana
ila Nasikitika kukujuza kwamba Maua ambae ndiyo mwanao Amekunywa Sumu, haliyake sio mzuri haileti matumaini, Baada ya kuongea hivo yule Dokta akakata simu,
Mama maua alichanganyikiwa akabaki kufanya Hellow Hellow,
* Mama umepata habari gani nikamuuliza,
* jamani mwanangu amekunywa sumu,
* yuko wapi kwa sasa,
* yuko Hospital ya Afya na uzazi pale, ngoja niende haraka nikamuangalie mwanangu, Mama maua aliponijibu hivo, Nilitoka Sipidi Mpaka mwenyewe alishangaa, Kwa mda huo nilikuwa sielewi chochote juu ya maua, nilitumuia dakika chache tu nikafika kwenye hiyo Hospitali,
Nikaingia Ndani Nikamkuta jamaa mmoja ameketi kwenye benchi, Zahiri kwamba anamsubiri Daktari,
* oya vipi,
* fleshi mbona unahema hivyo umefukuzwa huko utokako,,
“jamaa akaniuliza,
* Hapana nimekuja kumcheki bint mmoja ameletwa hapa amekunywa Sumu,
* Aah Mimi ndiye niliye mleta,
kwani wewe ni nani yake,
* Mimi ni ndugu yake Hivi ulimkuta wapi,
* Nimekutana nae kwa mama Mimaa, pale sasa nilikuwa nataka kumtongoza kutokana na uzuri wake,
ndipo akaniambia Hawapendi wanaume wote duniani anakunywa Sumu ilafe Asiwaone mochoni mwake,
ndipo nikamshudia anafungua kipakiti kisha akanywa vilivyomo
” nilizani utani lakini Ghafla akadondo Chini ndipo nilipo amini, kama kweli ile ilikuwa sumu,
nilimchukua nikamuwahisha hapa hospital Sasa nipo nasubiri majibu ya Dokta, Jamaa yule alinihadithia jinsi, ilivyo kuwa mpaka Maua kufika hapa hospital,
Mara Dokta akaja, Tukamuuliza,
* vipi dokta hali ya mgongwa inaendeleaje,
* kwa sasa hali yake Sio mbaya sana ila ameniambia kama kunamtu anaitwa joshua hapa kati yenu aondoke kabisa,
” dokta akatuambia hivo,
Mda huo huo Mama maua Nae alikuwa anawasili,
* Dokta nimesikia unasema Joshua aondoke Kwanini,
* Sio Mimi ila ni Agizo la mgonjwa,
Mama maua alipojibiwa akanitazama,
Kisha akauliza,
* vipi naweza kwenda kumuona mgonjwa,
* hapana mama subiri kidogo mda ukifika nitakuita, Dokta akajibu,
“ilikuepusha mengine Mimi niliondoka na maumivu yangu moyoni,
Nilikwenda Nyumbani Nikamkuta Zoi yupo anatazama miziki kwenye Tv,
* Ooh Joshua kalibu,
Kwanza nipe habari maua anaendeleaje,
* Sijui hali yake, hivi wewe Zoi, unanitaka ni Mimi,
kwanini unataka kusema siri zangu kwa wazazi wa maua nimekukoasea nini,
* Joshua Mimi sitasema siri zako kama utaendelea kubakia hapa ila kama utaondoka Mimi nitasema, kwa sababu wewe ni ndugu yetu Sitaki uondoke mbali familiya yetu,
* Lakini Zoi, Wewe huoni matatizo yanayo jitokeza cheki mpaka maua amefikia kunywa Sumu kwajiri yangu,
bora uniache niondoke harafu nitarudi hasira zake zikipungua
* Joshua hapa hakuna kuondoka, .
ila kama unapingana na Mimi,
Nenda kitakacho kutokea mimi utajua mwenyewe,
Zoi, akaniambia hivo, ,
* Aah na wewe usinitishe tishe bahna Mimi naondoka, Nilimjibu hivo Zoi harafu
nikaachana nae kisha nikaenda chumbani kwangu, nikachukua begi langu kisha nikatoka nje tiyari kwa Safari,
Zoi, alinitazama Mara moja tu, kisha akachukua simu yake akampigia Baba maua, Sijui alimwambia nini,
“Sasa wakati naendelea na safari yangu ya kutokomea kusiko julikana ,
Mara Ghafla nikashangaa Naulizwa,,
* Joshua unakwenda wapii,
Niligeuka nikatazama ndipo nikamuona Baba maua pamoja na Asikari Mmoja wanashuka ndani ya gari,,,
SEHEMU YA 20
“ohooh balaa gani tena hili sijuwi nikimbie, Nikajiuliza lakini nikajizuia ikabidi nisimame vile vile,
* joshua unakwenda wapi kimiya kimiya bila kuniaga, Baba maua akaniuliza tena, kutokana na uongaji wake nilimgundua kwamba hana hasira,
* mzee wangu nimepata zarula kidogo nasafiri Mwanza kwenda kupaka langi nyumba ya mtu,
* Ghaah sio kihivyo joshua wenzako hawaondoki hivo hebu njoo tukaongee nyumbani, Baba maua akaniambia,
basi nikaingia nao kwenye gari,
* huyu kijana ni nani yako maana namuona Kama mnafanana
harafu wewe ni rafiki yangu wa siku nyingi, pia naijua familiya yenu yote lakini huyu sijawahi kumuona,
” Askali akamuuliza Baba maua kuhusu Mimi,
* Huyu ni mpangaji wangu ila kuhusu kufanana hata Mimi ninamashaka furani ya undugu nae, Lakini sina uhakika bado nafatilia kuhusu hili, “baba maua akajibu,
* Kwani umemuhoji kuhusu familiya yake akakujibu nini,
* Hapana Sijamuhoji lakini kunanjia nyingine lahisi kuliko kumhoji we achana nae tu mda ukifika tutamjua,
Baba maua akamwambia Askali, Maongezi yao yote Niliyasikia, nikagundua kumbe yule Askali alikuwa ni rafiki yake tu wala akujua kunikamata Mimi” wakati Gari inaendelea kwenda huku wao wanaendelea na Story Zao ” Mimi nilikuwa namfikiria maua tu,
“Daah maua akiniona sijui itakuaje yani sasa nafaa kutoroka usiku wakiamka tu sipo, Nilijishauli hivo baada ya kuwaza kwa mda mlefu,
* Maua mwanangu hivi kwanini ulitaka kujiua kwa kunywa Sumu nani amekukosea mpaka ukafikia hivyo,
Mama maua akamuuliza mwanae wakati huo walikuwa wamesha toka hospital wanaelekea nyumbani,
* Mama wewe ndiye ulinishauri nisiwachukie wanaume ukanifanya nikafungua tena moyo wangu kumkalibisha mwanaume mpya tofauti na yule mwa mwazo,,
Lakini juzi Nimefumani yupo na mwanamke mwingine ananisaliti, akanitonesha kidonda changu nikaumia sana mpaka najiona sina sina Samani katika hii dunia ndiyo maana nikanywa sumu ili nife tu,,
* Lakini mwangu Ulipaswa kukifikiria kiumbe ulicho beba tumboni nacho kinatakiwa kuiyona dunia ilivyo,
,hawa wanaume unafaa kuwazoea tu, maana wao hawaliziki” unione Mimi naishi na baba yako ukazani sina maumivu,
Baba yako nilisha mfumania sana kabla hata sijakuzaa wewe na mpaka Leo bado anachepukalakini namvulia tu,
Nakusihi maua kuwa mvumlivu “
” unajua kuishi na mwanaume sawa na kuishi na mtoto mdogo ambae hajui samani, hata ukimpa pesa,
yeye anaichana bila kujari inasamani gani kwa mtu mzima,
Mama maua alijaribu kumuelimisha mwanae,
* Sawa mama nimekuelewa lakini sitaki mwanaume mwingine katika maisha yangu mtoto nitakae mzaa anatosha kunipa faraja,
* Naah vipi kuhusu joshua kwanini ulizuia asije kukuona hospital,
Mama akauliza,
* kuhusu joshua sitaki hata kulisikia jina lake,
* Kwanini kwani amekukosea nini,
* Hapana hajanikosea chochote ila nimejipata namchukia tu, kama tutamkuta nyumbani naomba umfukuze aondoke Lasivyo naondoka mimi,
* mh Maua inawezekanaje umchukie kijana wawatu bila sababu
* Nimesha kwambia mama ndo hivyo hivyo,
* Mh aya nitamfukuza Lakini Maua yapata siku mbili wewe na mama yako mdogo siwaoni mkiongea wala kusalimia mnatatizo gani,
mama maua aliuliza hivyo
,Lakini kabla maua hajajibu wakafika Getini wakati huo nasisi tulikuwa tunafika,,
Geti lilikuwa limefungwa hivyo baba maua akapiga honi Punde Zoi, akaja akafungua tukaingia ndani,
” Nilipo shuka kwenye gari tu Maua akasema,
* Sitaki kumuona mbwa koko,
maua alisema hivo harafu akaninyoshea kidole
“Daah nilijisikia vibaya kweli kweli kuitwa mbwa koko,
* Maua kwanini unanyoshea kidole mwenzio kumbe ndiyo wewe unamfanya Aondoke hapa nyumbani pumbavu kabisa,
Baba maua alifoka kisha akazabua kofi maua,
* Eeh eh Usinipigie mwanangu kisa huyu fisadi wako, tena ukome kumpiga mwanangu Harafu na wewe Takataka Ondoka kwenu sasa hivi,
” Ghafla mama maua alichaluka akaanza kunichambua kama kalanga,
Alinitukana mpaka matusi kama yote ,
* Nasema hivi hapa haondoki mtu mimi ndiyo baba mwenye nyumba,
* hivi wewe Mme wangu unahakiri timamu yani unamtetea mtu ambaye amemunywesha Mwanao Sumu,
* Khaah joshua umemnywesha Sumu mwanangu,
Baba maua aligeuka ghafla baada ya kuambiwa hivo,,,,,
MWISHO WA SEASON ONE
INAENDELEA …………


1 Comment
Nice Story