CHUMBANI KWETU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 1
naitwa zawadi,story yangu inaanzia wakati nina miaka kumi na saba, siku moja wazazi wangu walinambia kuwa naolewa siku chache zijazo🥺
nijiandae dah sikuwa tayari kuolewa wakati huo lakini wazazi wakaniforce sikua na namna😔afu kibaya mtu mwenyewe anaenioa simjui🙄
zaidi tu kuna mzee anaitwa mzee jabir ndo alikuja kusema Kuna mtoto wa dada ake ndo anataka mke na yeye kaniona mimi🥺basi mimi nilikua sitaki lakini wazazi wangu hawakutaka kunielewa😂😂😂
nikamuomba rafiki angu ushauri anaitwa bety akanambia nisikatae bahati kama nikienda uko nsipomridhia mume nifanye visa mpaka niachwe💃 nikasema asante kipenzi 😘 ushauri mzuri sana
basi nikafungishwa ndoa,siku ya ndoa yenyewe mume hakuja🤪🧐 nikaolewa na mtoto wa mzee jabir kwa niaba ya uyo mume,asubuhi ya siku iliyofuata tukaondoka Mimi,mzee jabir na mama wa mume alikuja Kijijini kufata mke wa mwanae(mimi)
😂😂😂 basi wenyewe wakakaa mbele,mimi nikakaa siti ya nyuma nina mawazo hatari😭 nikapitiwa na usingizi sangapi nisiote tumefika nimekuta mume mwenyewe ni mzee😏 nilishtuka nikapiga kelele🙄mamaaaaah….!!
mama mkwe akasimamisha gari kwanza🤔una nini zawadi? wakaanza niuliza ikabidi niseme nimeota wakanipa pole, safari ikaendelea tukafika mjini usiku tukapokelewa na mdada nikaambiwa ni binamu wa mume wangu, anaitwa zuhura akanambia nimuite wifi zuu basi akanipeleka nikaoge nikamfata,
kwanza alikua mcheshi hadi raha🥰 akanipeleka chumba kimoja akanipa kanga akanambia niingie kuoga ,bafu lilikuwa ndani umo umo, nikaingia nikaoga nilivyotoka akanipa gauni maana niliambiwa nyumbani nisichukue nguo nitanunuliwa huko huko😉🥰
akanambia twende ukale sasa,akawa ananihudumia si mwajua bibi harusi tena🙃❤ basi mama mkwe akanambia kuwa bahati mbaya mume wangu amepata dharura ameenda Zanzibar ila kesho asubuhi anarudi,
nikajisemea mngejua ata sina shida nae mbwa huyo😏 nikaambiwa nikalale mule chumbani peke angu🙄kwanza nilikuwa naogopaje…!!
🙄 bonge la chumba uwiiiiih….!🙂nikakaa nawaza hivi huyo mume atakuaje kuaje🙄 usingizi ukanipitia 😔🙌
asubuhi wifi zuu akaja niamsha amka wifi ukaoge unywe chai za asubuhi wifi salama umeamkaje salama pole na uchovu wa safari nishapoa,
basi nikaamka nkaoga nikaenda sitting room nikawakuta mama mkwe na mzee jabir nikawasalimia tukawa tunakunywa chai,kidogo house gal akawa ameingia na bag ametoka nalo nje ,
mama mkwe akasema eeeh huyu ashafika,akanigeukia mimi mumeo asharudi sasa dada katoka mpokea,kidogo tunasikia anakuja anaongea na simu uwiiii uwiiiiih..!
si kwa m_bass ule🙄 nikaanza hisi moyo unaenda mbio🥺 dah….!!!! sijui ntakutana na nini nimeolewa mtu simjui😭😭😭
Episode 2
alikuwa tu mkaka flan smart,ana sifa zote za mwanaume mzuri, handsome, mtanashati😘😘💃nikajisemea lakini mbona kanipita miaka nilivyomkadiria nikaona anafika 27_30🙄 kifup sikumpenda🤔
akaanza tusalimia akamkumbatia mama ake🤔 akaja akampa mkono mzee jabir wakasalimia mara Mzee jabir amlaumu haji kumsalimia Kijijini akajibu majukumu meng amsamehe bure,
akaja nipa mkono mimi mambo? poa mama mkwe akadakia ndo mkeo huyo ooh nashukuru kumfahamu karibu sana asante waitwa nani zawadi ok mimi naitwa amani nashukuru kukufahamu pia ok,
akaondoka zake chumbani 🤔nawaza ndo nimfate au😂🤔 nkatulia tu kidogo ma mkwe akasema eti niende khaaa ma mkwe nae🥺🙄 nikaenda mdogo mdogo nikaingia kwa woga 🤔 nikakuta katoka kuoga yupo kifua wazi na kipens chake anachezea zake simu,
nikakaa zangu kitandani yeye kwenye sofa hana muda na mimi🤣🤣🤔 akalala kabisa wee nikatoka💃💃 nikaenda kukaa na wifi zuu chumbani kwake,
mchana akaamka bas wifi zuu akasema tukale akatuandalia chakula uko uko chumbani tukawa tunakula basi mimi nkawa na aibu 😁 yeye yuko bize anakula uku anachat, mbona hauli akaniuliza nakula 🙈 unakula polepole kwanini?
nikajibaraguza nakula🤣🤣🤣 usiku ukafika nikawa nawaza leo ntajuta🥺 sa aman alikuwa ameenda nje, nikajikuta nalia wazaz wamenkomesha😭😭😭 akaingia mbona unalia?🤔 ha_hamn_a hamna wakati unalia niambie una tatizo gani? bhana ee kwani kusema bei gani😂😂😂 nikamwambia nalia wazaz wangu wamenilazimisha kuolewa kwanza akacheka😂
😂😂 afu akanambia kwahiyo hukutaka kuolewa? ndio😒 ooh pole sana,kwahy unatakaje? hapo ndo ikawa kipengele🥲 okay sikia usilie mbona ni jambo dogo hilo,weee si hautaki mume? usijali kuhusu hilo wewe kaa tu Kwa amani hapa ukijisikia umechoka au unataka kuondoka niambie nakupa talaka bas so etiii eeeh?
mmmmh nikawaza mbona kirahis😳 yaani akaniacha nilale kitandani yeye akalala kwenye sofa 🥳 nikasema au ana matatizo huyu kaka😂😂😂 nkalala mpaka asubuhi hakunifanya chochote😳akaamka zake mimi nilikuja shtuka ndo ananiamsha kuniaga anaondoka kazini pia anampitisha anko wake stand arud kijijini🥳
tukaagana nikamtakia kazi njema,muda kidogo nikaamka na mimi kuoga wifi zuu akaja nisalimia alikuwa ananipenda sana wifi angu, baada ya kumaliza kazi tukawa tumekaa sitting room tunapiga story,mama mkwe akasema anaondoka kwenye mishe zake mjini tukabaki watatu,mimi wifi na dada wa kazi
jioni amani akarudi kazini nikampokea 😊 tukaingia chumbani ,akawa ananiuliza umeshindaje mke wangu salama tu za kazi nzuri kabisa pole na uchovu wa kazi usijali ndo ukubwa,
afu jana nilikwambia usiwe mnyonge kama kuna kitu unataka unaniambia yaan usiwe na huzuni mama ajue sawa ila sikumuelewa mwenzenu Ina maana kwa watu tu_act wanandoa lakini chumbani ni kama kaka na dada,sa nawaza na yeye alilazimishwa kuoa au😳
akasema ataniita roommate nikamuuliza kwanini akasema sababu tunalala chumba kimoja😂hata hiyo siku ya pili pia hakunigusa nyieee😂😂😂
asubuhi nikawa mimi nimewahi kuamka nikatoka nikakuta wifi zuu anadeki wifi unaenda wapi asubuh yote hii nakuja kusaidia kazi mmmh wewe ni bibi harusi bhana utafanya siku zijazo jamani kwa kazi gani hizo nishindwe kufanya wifi aaah..
! hamna bhana ngoja wik iishe ,basi aman akatoka nikambebea bag lake nimsindikize kwenye gari aondoke, mama mkwe akatoka tukasalimiana mama mkwe akasema mkeo hana nguo weekend ufanye mpango ukamnunulie sisi tulimnunulia chache tu akachague mwenyewe sawa hamna shida tutaenda hiyo weekend, si ndio mke wangu ndio wakaondoka
basi week nzima hatukufanya chochote 🤣🤣lakini tukiwa sitting room na watu ni mashamsham na kupretend kumbe ndani wala hatugusani😂 sijui aman ana shida gani jamani analala zake kwenye sofa, asubuhi ananiamsha roommate mimi naenda kazini ubaki salama 😂😂😂
INAENDELEA

