USIINGIZE HILO DUDE JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
Alichukua na kuiangalia vizuri. Ilikuwa ni picha ya msichana aliyejaaliwa umbo lenye ushawishi wa kimapenzi. Msichana huyo ndani ya picha alipigwa kwa upande wa nyuma, alivalia mtandio pekee hivyo ulionekana mgongo wake, kiuno chake jinsi kilivyojitenga, ule weupe kama rangi ya mtume kutoka dubai. Makalio yake yalionekana dhahiri yana msamba maana ule mtandio ni kama ulitaka kuzama katikati ya makalio hayo. Lakini kwa pembeni alikuwa ameshika gitaa.
Toni akiwa bado anaitazama hiyo picha, dude lake lilidinda na kunyooka mbele kama tochi itumikayo kwenye mbio za kufukuza mwizi. Nyuma ya hiyo picha liliandikwa jina lililosomeka “Natalia Chawene” chini yake paliandikwa namba “19”
Alizidi kuchanganyikiwa Toni, alijaribu kujifinya kuona kama anahisi maumivu, alipongundua anahisi maumivu hakutaka kuamini kama hayo mazingira ni kweli. Alipoiangalia bahari aliona kama imeungana na anga, hakukuwa na chombo chochote cha usafiri ambacho kingemfanya ajiulize kati ya kuelekea msituni na kukata maji kipi kingekuwa bora kwake.
Akiwa kama alivyozaliwa alisikia mlio wa gitaa kwa mbali sana. Alishtuka, akaanza kuufuatilia, hatua moja ilivuta nyingine kwa uwoga msituni, kadri alivyoisogelea ndivyo ilisikika kwa sauti kubwa, akaanza kusikia mpaka sauti ya mwimbaji, aligundua ilikuwa ni sauti ya kike.
Aliifuatilia mpaka akamuona mtu mwenyewe, ni yuleyule aliyekuwa kwenye ile picha aliyoikuta ndani ya begi lake. Msichana huyo alikuwa amevalia mtandio na aliketi kwenye gogo kavu lililokatwa muda mrefu.
Kwa jinsi alivyokaa, makalio yalijimwaga zaidi, juu hakuvalia chochote, Toni alijikuta akishindwa kuzuia kumwangalia msichana huyo, alijikuta akisogea taratibu na kusahau kuwa hakuwa mavazi yeyote zaidi ya begi alilolibeba.
Katika hatua zake za kunyata, dude lilikuwa limetangulia mbele, Toni alijishangaa maana ugwadu aliokuwa nao ni kama hakufanya tendo hilo kwa miaka mingi mno. Mara “Karakacha” alikanyaga mti mkavu kwahiyo ukatoa sauti iliyomshtua yule msichana, mshtuko uliomfanya kugeuka nyuma,
“Usinisogelee, wewe ni nani?” msichana huyo aliongea hivyo kwa jazba, hapo ndipo umbo lake la kimahaba lililojichora vyema lilionekana kwa usahihi
“Samahani dada yangu, sijui nimefikaje huku, wewe ndiye mtu wa kwanza kukutana naye, kuna lolote unajua?”
“Mimi mwenyewe sijui chochote,”
“Ulifikaje huku?”
“Hata sikumbuki, nilijikuta niko ufukweni, nikaokota begi ambalo lilikuwa na chakula pamoja na kinga,”
“Halikuwa na picha?”
“Ilikuwepo ila ni picha ya nanihii…”
“Ya?”
“Ya hiyo naniihii na inafanana kabisa…”
Msichana huyo alimaanisha alikuwa na picha na dude la Toni. Naye Toni alitoa picha ya huyo msichana,
“Natalia Chawene?” Toni alimwonyesha hiyo picha huku akilitaja jina hilo
“Ndilo jina langu, umelijuaje?”
“Limeandikwa nyuma ya hii picha.”
Msichana huyo ambaye alikiri kuwa Natalia alikuwa ni yeye, Alipiga hatua za taratibu kuifuata ile picha ili aiangalie vizuri lakini aligomea njiani baada ya kuliona dude la Toni likiwa limedinda mno.
“Una muda gani kwenye hili eneo?”
“Siku mbili,”
“Unalala msituni?”
“Hapana, kuna nyumba nzuri tu ipo…”
“Mh! Kwakweli hata sielewi…”
“Twende nikupeleke…”
Basi Natalia aliongoza njia, kifuani alikuwa wazi kabisa, alikosa cha kujifunika, mikono yake ndio ilimfanya kazi ya kuziba zile chuchu tu.
Jinsi Natalia alivyokuwa akitembea, ukizingatia mtandio mwepesi ndicho alichovaa. Mtandio wenyewe ulionekana kama una unyevunyevu fulani kwasababu ulikuwa una dalili za kunata kwenye makalio. Ule mtikisiko wa makalio ulizidi kumdindisha Toni aliyekuwa katika wakati mgumu sana.
Kila muda deki ilimeza CD, yaani mtandio ulikuwa ukinasa kwenye msamba. Mtandio wenyewe ulikuwa mdogo hivyo ulijishikiza kiunoni kama ushahidi tu. Toni alifanya utalii wa umbo mwanana la Natalia kwa nyuma mpaka akasahau kabisa yupo eneo gani.
Waliwasili kwenye hiyo nyumba ambayo ilijengwa kwa kutumia mbao, sakafu ilikuwa ya simenti na juu waliezeka bati.
“Hapa unaishi peke yako?”
“Ndiyo, kuna kila kitu kasoro kitu kimoja tu,”
“Kitu gani?”
“Nguo,”
“Kha!”
“Utashangaa mengi…”
Basi walipoongea hivyo, Toni alikaribishwa ndani ambapo ilikuwa ni nyumba nzuri hasa, ilikuwa na kila kitu kimfaacho tajiri kutumia.
Toni alibaki akishangaa ambapo alikuwa akipitishwa maeneo mengi ya nyumba hiyo, katika maeneo yote aliyopitishwa, kwenye chumba cha kulala palimfanya kutamani kukitumia
INAENDELEA

