UKINIPA SISEMI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 1
“Hapana Klinika mimi Siwezi kufanya Hivyo hata siku Moja naomba Basi Muogope Mungu.
Utafanyaje Vitu kama Hivyo wakati Unajua kabsa malengo yangu ni yapi ambayo nataka kuyafikia.
Kwanza kitu kama hiki hukupaswa kuniambia kabsa maana siyo mahara pake na nilishaapa sitaweza kufanya kitu kama hiki hata siku moja maana ni kinyume na maadili ambayo nasomemea”
Nilimwambia Klinika huku nikiwa natetemeka maana kitu ambacho alikuwa anakitaka kutoka kwangu ilikuwa hakiwezekani kabsa.
Kwanza Mimi Mwenyewe sikuwa tayari Kufanya kitu kama kile hata siku Moja pili kitu ambacho klinika alikuwa anahitaji Tufanye ilikuwa kinyume na Maadili ya shule ambayo nilikuwa Nasomea.
Upande Mwingine kwa kweli Nilikuwa nashangaa Sana kwa Mwanamke Mzuri kama Klinika Kusomea Usister maana asilimia kubwa ya Wanafunzi wa Seminari Hususani wanaosomea Usister huwa na Sura ambazo Siyo za Kuvutia Sana.
Upande wa Klinika kwa kweli yeye alikuwa na Sura ya Kuvutia Sana ambayo Ukimwangalia kwa Makini na ukiwa mwanaume Kamili lazima Moyo utatamani kuongea neno Juu yake.
Akiwa Kidato cha Kwanza Seminari ya ya kuifadhi jina aliweza Kusababisha Mapadri wawili kutolewa cheo cha Upadri kutokana na kushindwa Kuvumilia hatima kutembea nae.
Siyo Mapadri tu pia hata Waseminari (Wanafunzi wakiume wanaosomea Upadri)Wengine walikuwa Wanafukuzwa hususana shule ambayo nilikuwa nasomea mimi.
Shule nyingi za Seminari huwa zinatenganishwa yani Wanaume Tofauti na Wanawake tofauti ila Shule ambayo nilikuwa ninasomea Mimi ilikuwa Shule Moja kubwa ambayo sawa ilikuwa Imegawanya mara mbili Wanawake tofauti na Wanaume tofauti lakini ilikuwa Ndani ya Uzio mmoja.
Hivyo Kwa Uzuri ambayo alikuwa nayo Klinika kwa kweli Waseminari wengi walijikuta wanasahau kile ambacho kilikuwa kinawaleta pale Shuleni na kukuta wanavunja amri ya tatu ya Mungu na hatimae
Wakikamatwa wanafukuzwa.
Upande wa Klinika yeye alikuwa hafukuzwi hata Ikitokea kuwa mkakamatwa Mnafanya Ugoni basi aliyekuwa anafukuzwa alikuwa ni Mwanaume.
Hii ilitokana na baba yake alikuwa tajiri sana pia alikuwa Mchungaji.
Uzuri wa Klinika kwa kweli Hata mimi Ulikuwa unanitesa Sana na Kutamani Kuvunja amri ya Tatu ila kila nilipokuwa Nakumbuka Mazingira ambako nimetokea Nilikuwa naapa sitaweza kufanya kitu Kigumu kama Hicho.
Ugumu wa Maisha ya Nyumbani ambayo ulipelekea hadi Kubadilisha Dini kutoka Uislamu hadi Kuwa Mkristo aliyekolea hatimae Kuchukuliwa na Wazungu na kwenda kuanza kusomea Upadri ndio ulinifanya kupinga kile kitu ambacho klinika alikuwa anakitaka kutoka kwangu.
Laiti kama Mama yangu angelikuwa na kazi yeyote hususani hata angekuwa Mwalimu basi kwa Uzuri ambaye alikuwa nayo Klinika kamwe nisingeweza kuendelea Kuvumilia.
“Hapana naomba Usiseme hivyo Sam Unaweza kunifanya nikawa kichaa, kwa kweli tangia nizaliwe sijawahi kumpenda Mwanaume kama ninavyokupenda wewe.
Sawa Najua kama Hapa Tulipo hiki kitu ni kinyume kabsa na Hairusiwi kufanya lakini naomba Nipe hata Mara moja.
Najua itakuwa Vigumu kwako kufanya kitu kama hiki maana Utakuwa Umevunja sheria nyingi sana, moja utakuwa Umevunja Sheria ya Mungu na Dini pia utakuwa umevunja sheria za kipadri ila tafadhari naomba nipe kidogo.
Naapa Sam UKINIPA SISEMI kweli kabsa siwezi kumwambia Mtu yeyote zaidi hii siri itabaki kuwa yako na yangu.
Nakupenda Sana Sam kila Muda nakufikilia wewe na Maisha yangu yatakuwa Magumu bila Kunipa hicho kitu
“Aliongea Klinika huku akiwa siliasi kabsa.
Yani Maneno ambayo alikuwa anaongea Klinika yalikuwa yakijinga lakini kwa Upande wake yalikuwa yanakaribia hadi kumtoa Machozi.
Yale Maneno ya Kliniki kwa kweli yalinifanya hadi nilianza kutokwa na Machozi maana katika Maneno ya kipumbavu ambayo nilihisi Klinika aliwahi kuongea yalikuwa yale.
“Mwanangu hakuna jinsi na hali ya Mama yako nazani Unaijua, Wakati baba yako anakufa alinipa kazi tatu tu.
Kazi ya Kwanza aliniambia kuwa nikulee katika maadili mema ya misingi ya Dini ya Kiislamu, kazi ya pili aliniambia nihakikisha nakupatia elimu bora ya Duniani na elimu ya Akhellah na kazi ya Mwisho alinipa nihakikishe nakufunza kuishi maisha vizuri na watu.
Mwanangu kazi ya kwanza na yapili nahisi naelekea kushindwa.
Mwanangu nazani unajua unaenda kumaliza Mwaka haujaenda shuleni kutokana na Hali Ngumu ya Maisha.
Moyo wangu unaniuma Sana maana kile ambacho alikiongea baba yako kabla ya kufa leo tunaenda kukivunja.
Leo hii nakubadilisha Jina lako kutoka Ibrahimu na utakuwa Unaitwa Samweli ili Mwanangu usome.
Kuna Wazangu Wamekuja na Wamevutiwa na akili yako uliyo nayo hivyo wanakuchukua na kukupeleka kwenye shule yao ya Seminari kwa ajili ya Kukusomesha na baadae utakuwa padri.
Najua hata wewe hupendi kubadilisha Dini kutoka Dini ya baba yako na mama yako na kwenda dini ya Kikristo lakini hakuna jinsi.
Mwanangu unachotakiwa kuelewa Dini zote ni Dini za Mungu na hakuna Dini nzuri na Dini mbaya hivyo Nakuomba ukubali Ombi langu na Kesho utakuja kuchukuliwa na kupelekwa kwenye hiyo Shule kwa ajili ya kuanza Masomo yako.
Naombe Ukienda kule kazana Kusoma Mwanangu ili Uje kunisaidia Maisha yangu Mwanangu.
Hivyo nimeamua kwenda kinyume na matakwa mawili ya baba yako ili Mwanangu usome na kuwa na Maisha Mazuri sitaki Mwanangu Uje uishi maisha kama ambayo Tunaishi sasa hivi.
Maisha ambayo yalipelekea hata baba yako kufa kinyama
“Nilikumbuka Maneno ambayo alikuwa anaongea Mama yangu kabla ya kuondoka kuja shuleni kwa kweli sikutaka hata kumuona Klinika.
Nilichofanya nilianza kuondoka pale huku moyo Ukiwa unaniuma na Machozi yakiwa yananitoka.
Kuondoka pale siyo kwamba nilikuwa simpendi klinika ila Moyo wangu Ulikuwa unaniuma maama kama ningesubutu kufanya hovyo nisingekuwa na Sifa ya kusomea Upadri tena.
Ingawa Nyuma dini yangu nilikuwa muislamu ila kwa Muda Ule nilikuwa tayari Mroma Mzuri sana na ambaye alikuwa anaijua dini vilivyo.
Tayari kwenye Maisha yangu mapenzi nilikuwa nimeshaweka Xxxxx.
Yani ingawala Nilikuwa na hisia kali tu za kimapenzi lakini nilisha weka sitakuja kulala na Mwanamke hadi nakufa Kama Sheria za Dini ambazo zilikuwa zinataka.
Wakati nikiwa naondoka pale cha ajabu na kilichozidi kunichanganya Klinika alinifuata na kunishika mkono.
Kitendo cha Klinika kunishika Mkono wake ilifanya Mwili wangu kusisimka mbaya.
Sehemu Ya 2
Klinika mungu alimjalia kuwa na mikono laini ambayo ilikuwa na Ubaridi flani hivi. Hata aliponishika Raha ya ajabu ilianza kunijia.
“Sam Narudia tena Tafadhari naomba Usinifanyie hivyo Naapa kwa jina la Mungu wangu UKINIPA SISEMI wala hakuna mtu yeyote atakayejua.
pia Sam Hii sura yako kwa kweli hupendezi hata kuwa padri maana utawatesa wanawake wengi sana. Hivi kwa nini umeamua kujifunga Hivi Sam
“Aliongea Klinika huku akizidi kunivuta ili nimsogelee. Lile swali la Klinika kwa kweli lilinishitua sana maana Nakumbuka siyo yeye tu ambaye alishawahi kuniambia kitu kama Hicho.
Nakumbuka Siku Moja nilikuwa nimetoka Uwanjani Kufanya Mazoezi hata Sister Magreth aliwahi kuniita na Kuniambia Maneno kama hayo. Hivyo Kusikia kwa maneno tena hayo kwa Mwanamke mzuri kama Klinika kwa kweli ilibidi nishituke maana mimi nilikuwa Nasikia tu naambiwa Mzuri lakini uzuri wenyewe nilikuwa siuoni. Kwa Mwanamke Mzuri na Mrembo kama Klinika kuniambia hivyo kweli nilianza kuamini kama Mimi nilikuwa ni Mwanaume Mzuri. “Klinika Kwa Lugha nzuri yakipole kama mang’ati anakamua Mziwa naomba niachie Mkono niondoke. Hicho kitu ambacho unakiomba kwa kweli hakiwezi kutokea hata Siku moja. Hivi Unajua mimi hadi kuwa hapa nimepitia mangapi. Klinika unataka na Mimi nifukuzwe Shuleni kama Frank, Mandewa ulivyosababisha wakafukuzwa. Naomba haja zako za umalaya zisinifanye mimi nikakosa kile ambacho nataka. Klinika lengo langu mimi ni Kusoma na kuwa Padri mzuri na Sijaja hapa kusomea ngono mbona Umeng’ang’ania hivi UKINIPA SISEMI hiyo ndio njia unatumiaga kuwarubuni wanaume ili wakupe alafu wafukuzwe shule”Nilimwambia Klinika na kuanza kuondoka maana niliona nikiendelea kukaa pale moyo ni nyama unaweza kunishawishi nikaingia pabaya
Baada ya kumwambia vile Klinika mimi nilianza kuondoka lakini Upande Mwingine wa Moyo wangu nilikuwa naumia sana. Maana Mwanake mzuri kama klinika kuniambia kuwa ananipenda alafu nikamkataa nilijiona kama Napiga teke bakuri la dhahabu. Kwa pale nilikuwa sina Ujanja kwa kweli. Sikuwa tayari hata Siku moja kuharibu maisha yangu kwa Tamaa za Ngono. Maisha Magumu ambayo mama yangu alikuwa anaishi sikuwa na budi ya Kusoma kwa bidii ili nije kumsaidia. Wakati Nikiwa naondoka pale ambapo nilikuwa naongea cha Ajabu Klinika alinifauata kwa kasi na Kuja kunishika. “Sam katika Maisha yangu kamwe siwezi kukubali kuishi bila wewe. Nitafanya kila njia ili niwe na wew:
Kwa kuwa Umeshakataa UKINIPA SISEMI sasa unaenda kunipa kwa Nguvu na hata Wakiona potelea mbali. Pia hiki ambacho unakisomea Sam ni kama Unapoteza Muda tu Maana wewe ni Mwanaume mzuri ambao unawatesa wanawake hivyo kamwe hautaweza kuwa Padri hata siku moja. Hivi Unajua kwa Nini mimi nipo hapa? Mimi nipo hapa siyo kwamba nasomea Usister nipo hapa kwa lengo la baba yangu kunifanya niwe binti mzuri tu nisishawishike nikiwa bado mdogo. Sina Mengi tutaonana siku nyingine hata ikiwa kinguvu tutafanya. Ila mimi nakushauri hii UKINIPA SISEMI ndio ilikuwa njia nzuri ya kukufanya wewe kuendelea kuwa Mwanaseminari. Kwa kuwa umejifanya Mwanaume usiyedindisha na Mwanaume mwenye Uchungu basi Klinita naye atatumia Nguvu. Naondoka ila Mwisho kabsa nakufundisha kuwa mimi Siitwi Klinika bali naitwa Klinita”Aliongea Klinita yale Maneno na kuanza kuondoka. Yale Maneno ya Klinita kwa kweli yalizidi kunishangaza. Nilishindwa kuelewa huyu Mwanamke anataka nini kwangu mbona Maisha yangu anataka kuyaweka Matatani. Kitendo cha kuniambia kuwa hata Nguvu atatumia kwa kweli ndio kilizidi kuchanganya kichwa changu na kuhisi naenda kupoteza Nafasi yangu ya kuwa mwanaseminari. Shule yetu kwa kweli ilikuwa ni Shule Kubwa na ilikuwa na Wanafunzi karibia mia tisa. Pale pale kwenye uzio mmoja kulikuwa na Shule mbili za Seminari Moja ilikuwa ya kike ambao walikuwa na lengo la kusomea Usister na nyingine ilikuwa ya Waseminari(Wanafunzi wakiume ambao walikuwa wanasoma ili kuja kuwa Mapadri). Lakini kila shule ilikuwa inajitegemea kwa kila kitu kula uongozi na tulikuwa tunashindana hadi kimtiani. Baada ya Kuondoka klinita na mimi niliondoka huku nikiwa nimechoshwa na Maneno ya klinita. Niliondoka kuelekea Bwenini kwangu, nilipokaribia na Bweni nilimuona Rafiki yangu Saimon akiwa anakuja kwangu kama vile alikuwa na Shida ya kuniambia kitu flani. Ilibidi nilimsubilia maana Saimon Ndio alikuwa Rafiki yangu ambaye alikuwa ananisaidia vitu vingi sana. Saimoni baba yake alikuwa ni Padri pia alikuwa mtu mwenye pesa zake. Katika Waseminari ambao walikuwa wanaakili na walikuwa na misimamo pamoja na Mawazo mazuri mojawapo alikuwa ni Saimon. Saimoni yeye alikuwa anafanana kidogo na Mimi maana yeye alikuwa hana mama ila alikuwa na baba tu. Baba yake na Saimon alimzaa Mwanae akiwa amempa mimba binti ambae walikuwa wanasoma Darasa moja. Baada ya kesi kwisha yani wazazi wa baba yake na Saimon kumalizana na wazazi wa mama yake na Saimon babu yake na Saimon aliamua kumpeleka Mwanao seminari kusomea mambo ya Upadri huko ndiko baba yake na Saimoni alifanikiwa kuwa padri ingawa tayari alikuwa ameshapata mtoto. “Sam Vipi mbona unatembea kama mtu ambaye Umechoka sana. Sister Mage alikuwa anakutafuta na Amesema uende kwake kwa ajili ya kufanya maombi. Pia kuwa Makini na huyo Sister maana hata mimi simuamini sana maana tabia yake mimi huwa siielewi”yalikuwa ni Maneno ya Saimon ambayo yalinishitua kidogo. Kitendo cha kusikia kuwa Sister Mage alikuwa ananitafuta tukafanye maombi kilinishitua maana hata siku moja sikuwahi kwenda kufanya maombi kwa sister Magreth. “Poa nitaenda na nitakuwa nipo Makini sana Sai ila kakwambia niende Saa Ngapi”Nilimuuliza Sai. “Baada ya chakula cha Mchana kasema uende, ila mimi Narudia kuwa naye Makini huyo maana anaweza kukufanya ukakosa kile kitu ambacho kimekufanya hadi ukawa hapa. Unajua Sister Mage ni UKINIPA SISEMI kwa hiyo lazima uwe naye makini”Aliongea Saimon maneno ambayo yalinishitua kidogo. Neno UKINIPA SISEMI nilikuwa nalisikia sana kipindi naongea na Klinita leo nilikuwa nalisikia kwa Sai. “Nitakuwa Makini sana Sai wala hakuna kitu kibaya ambacho kitanifika mimi. Ila hili Neno UKINIPA SISEMI maana yake ni nini mbona mimi silielewi. Labda nikuulize wewe maana nimeanza kulisikia leo na linazidi kupanda chati watu wawili sasa mmelitamka. Wakwanza ni Klinita kaniambia neno kama hilo hebu niambia kuwa linamaana Gani”Nilimwambia Saimon. Nilipomuuliza Saimoni kwa kweli nilishangaa akicheka sana. “Sam inamaana umeishi hapa huu mwaka wa Sita hujajua maana ya UKINIPA SISEMI kama hujajua basi mimi siwezi kukufundisha maana siyo muda utaenda kufahamu. Pia huyu Klinita amekuambia lini hilo neno”Aliongea Saimon na Kunitupia Swali. Mimi Niliamua kumuelezea kila kitu Sai hadi Maneno ambayo Klinita aliniambia ya kunitaka kimapenzi. Sikuweza kumficha neno lolote Sam maana yeye ndio alikuwa rafiki yangu na tulikuwa hatufichani kwa kitu chochote kile. “Klinita kama kweli kakwambia vile basi lile Neno La UKINIPA SISEMI lifanyie ufumbuzi haraka sana na tumia umakini wa hali ya juu la sivyo siyo Muda tutakupoteza hapa shuleni. Sam Klinita ni Binti Mzuri sana hata mimi nilikuwa natamani kucheza Mchezo wa UKINIPA SISEMI ila nilikuwa naogopa maana alishasababisha Waseminari wengi kufukuzwa.
Sehemu Ya 3
Nazani wewe Mwenyewe ulijionea kwa Rafiki yetu Mandewa hata alikuwa hachapewa hata ule mchezo dili likayeyuka kafukuzwa. Sikutishii ila cheza mchezo na Klinita kwa Umakini wa hali ya Juu maana Kumkataa Klinita pia Utakuwa unajitafutia matatizo tu maana yule hata kinguvu anaweza”Aliongea Saimon maneno ambayo yalizidi kunitia hofu. Nilipotaka kumuuliza zaidi kuhusu maana ya UKINIPA SISEMI kengele ya kwenda kula iligongwa hivyo Sai aliamua kukatisha ile stori na wote tulienda hadi Bwenini tukachukua vyombo na kwenda kuchukua chakula. Muda ule zile Stori tuliacha kabsa maana stori kama zile zilikuwa za siri. Baada ya kula nilioga na hatimae niliamua kutii wito wa Sister Mage na kuanza kuelekea kwake.nilienda hadi kwa Sister Mage kisha nikakaribishwa hadi ndani. Nilikaribishwa tu kwa Sauti kutoka chumbani akiniambia nikae kwenye sofa anakuja. Nilikaa kwenye sofa kwa muda kama wa dakika tano ndipo nilimuona Sister mage akiwa anakuja. Kwa kweli moyo wangu uliruka Paaa na mapigo ya moyo yalizidi kwenda mbio baada ya Kumuona Sister Magreth akiwa anakuja sebureni huku akiwa amejifunga rubega huku ikiwa khanga nyepesi. Yani asilimia kubwa ya Mwili wa Sisiter Mage ulikuwa unaoneka. Ile khanga ambaye alijifunga kwanza ilifanya nyama zake za magoti kuoneneka huku michirizi ya rangi ya kikahawia ambayo inamfanya Mwanaume pindi anapoiona kuwa na hisia kali ilikuwa inaoneka. Pia mabega ya Sister mage yalikuwa yapo nje huku kifuani matiti yake yalikuwa yamenyanyua khanga yake vizuri. “Nashukuru Sam kwa Kuja nazani Umekuja muda Mwafaka wa kuja kufanya maombi. Unajua nyumba hii bwana kuna watu wananichezea hivyo nahitaji kufanya maombi ya kutosha sana leo”Aliongea Sister Mage huku akiwa anakuja kwangu. Alipofika karibu na kwangu sofa zilikuwa zipo nyingi tu sebureni kwake cha ajabu alikuja kukaa kwenye sofa ambayo nilikuwa nimekaa mimi. Alipokaa ile khanga yake ambayo alijifunga sijui aliikalia maana ilijivuta kwenda juu na Mapaja meupe yenye nywele kama mvi yalikuwa yanaonekana. Moyo wangu kwa kweli ulirukaa paa na baridi ya ajabu ilianza kuniingia. Muda ule nilishindwa kuangalia pembeni wala kuondoka zaidi macho yangu yaliganda kuangalia mapaja huku nikiwa natetemeka.
Kwa kweli Ule Mkao ambao Sister Mage alikuwa Amekaa ulikuwa siyo Mkao wa kawaida kabsa. Licha ya Mimi kumwangalia Huku nikiwa natetemeka lakini yeye wala hakujali zaidi alijifanya kuanza kujiandaa tayari kwa Kuanza kufanya Maombi. “Lakini Sister Mage Huwezi kufanya Maombi hivi huku Ukiwa Upo hivi. Inahitaji ubadilishe nguo alafu ndio tufanye maombi”Uvumilivu ulinishinda na kujikuta Namwambia vile Sister Mage. Nilipomwambia Vile cha ajabu Sister yeye alicheka sana. Tena kicheko ambacho alikuwa anacheka kilionekana kama cha Dharau hivi. “Sama kweli bado Umepungukiwa na Amani Sana, Mungu alinileta hapa Duniani nikiwa uchi leo hii Unaniambia kuwa nikavae nguo ndio nije nifanye maombi. Kama Nguo kwa Mungu ndio zinafanya maombi yangu kukubaliwa basi tungelikuwa tunazaliwa huku tukiwa na Nguo maana kwa Mungu hakuna ambacho kinashindikana. Hivyo maombi hayajalishi hadi ukiwa Umevaa Nguo nzuri sijui zenye heshima ndio uombe. Mungu anapokea shida ya Mtu kwa kile ambacho anakitaka ila siyo Mavazi ya Mtu”Aliongea Sister Maneno ambayo yalinifanya kuzidi kumshangaa. Kwa yale Maneno ya Sister sikutaka hata Kumuuliza kitu kingine zaidi ya Kukubali na kumwambia tuanze kuomba. Maombi yalianza pale pale kwa sister na kwa kawaida mimi wakati nikiwa naomba huwa Nafumba hadi macho yangu. Wakati nikiwa naendelea na Maombi huku nikiwa nimefumba macho nilihisi kama Mikono laini na yenye Ubaridi ikishika Mikono yangu. Ile hali ilinishitua na kufumbua macho kuona nani yule ambayo alinishika wakati tukiwa kwenye Maombi. Nilipofumbua Macho yangu cha ajabu nilimuona Sister Magreth akiwa amesogea karibu kabsa na Mimi huku akiwa ananiangalia kwa Mapozi mbaya zaidi. Ile Dalili ya Mapozi ya Sister kwa jinsi ambavyo alikuwa anaangalia kwa kweli hadi mimi iliniogopesha. “Sister Magreth kuna Nini mbona umenisogelea karibu sana alafu unanishika wakati nikiwa nipo kwenye maombi”Nilimuuliza Sister Mage ambaye muda ule alionekana Mtu ambaye alikuwa kama kachoka sana. Macho tu ambaye alikuwa ananiangalia na kunirembulia kama nyoka mwenye kifafa nilianza kuhisi kuna kitu cha hatari sister Magreth alikuwa anakitaka kutoka kwangu. “Sam kuna Mtu ananisumbua Sana kwenye Fikra za akili yangu, hata maombi haya nafanya siyo kwamba nasumbuliwa na wachawi bali nafanya kwa ajili ya mtu huyo. Sam mimi ni Sister na Nimefanya hii kazi kwa Muda wa miaka nane sijawahi kuomba Maombi kama haya ila leo nimeamua kuomba haya Maombi. Inauma Sana Kuvunja amri ya Kisister ambayo huwa tunaapa ndio Maana kabla ya kuvunja hiyo Sheria nimeamua nianze na Maombi kabsa. Mtu mwenyewe ambaye namfanyia maombi na yeye yupo hapa na anashiriki kuomba ila nashangaa kwa nini Maombi yangu hayajafikia na kunielewa kwa kile ambacho nakitaka. Sam Kwa kweli wewe ni Mwanaume Mzuri sana na kila Mwanamke mwenye hisia za Mapenzi akikuona lazima akutake. Nimevumilia nimechoka Sam nahitaji unipe Utama. UKINIPA SISEMI sam kweli kabsa maana umenifanya nichanganyikiwe sana”Aliongea Sister Mage maneno ambayo yalifanya Moyo wangu kuruka paa. Kwa kweli mimi sikuamini kama yale maneno alikuwa anaongea Sister Magreth ambaye alikuwa anaheshimiwa na kila Mwanaseminari kutokana na nidhamu ya tabia yake na kukemea wasiwe na tabia mbaya. Sister Magreth yeye ndio alikuwa anashughulikia nizamu pale Shuleni kwa pande zote mbili girls na boys. Hata Rafiki yangu Mandewa ambayo ilisadikika kuwa alikuwa na Uhusiano na Klinita yeye ndio alimfukuza. Kiufupi Sister Magreth alikuwa anasikilizwa sana shuleni pale na yeye ndio alikuwa kama mwamuzi mkuu wa kuamua kama Mwanafunzi kafanya makosa aweze kufukuzwa. “Sister nahisi Pepo mchafu kakutembelea unahitaji maombi kweli. Kwa kweli hicho kitu ingawa sijakijua nini unataka ila unatakiwa uelewe tu huo mchezo ambao unataka kufanya mimi siwezi kuucheza maana sina Ufundi wa aina yeyoyote kuhusu huo mchezo. Labda kwa kukusaidia tu naomba fanya maombi ya huo Mchezo kwa mtu Mwingine ila siyo mimi. Pia kitu gani hicho Ambacho unakisema kuwa nikikupa hutasema”Nilimwambia Sister Magreth kwa Ujasiri Mkubwa. “Sam naomba Usiongee hivyo utaniua na Pressure yani kwa Jinsi ambavyo Nakupenda hadi nafikia Kuchanganyikiwa. UKINIPA SISEMI ni Mchezo flani ambao wanafanya wanafunzi wa Seminari huenda ikawa wanafunzi kwa walimu wao au wanafunzi kwa wanafunzi. Ukipa sisemi inamaana yakuwa kwa kuwa hapa tunazuiwa mchezo huo yani kufanya Mapenzi basi wanafunzi wanapeana kwa siri na kutunziana Siri Hivyo ndio maana waliita huo Mchezo UKINIPA SISEMI. Kweli kabsa Sam nakuhakikishia kuwa hautakuwa kwenye hatari UKINIPA SISEMI”Aliongea sister Magreth huku akianza tena kusogea kwangu. “Hapana kwa kweli mimi haiwezi tokea kwangu hata siku Moja. Kwanza Mimi siamini kama Sister Mwenye nidhamu kama wewe kuniomba kitu kama hicho. Huenda huu ndio mchezo wako na unaupenda sana. Sasa Mimi UKINIPA NASEMA Hivyo sitaki unipe naondoka na sitaki maombi yako tena”Nilimwambia Sister Magreth na kuanza kuondoka maana sikutaka kabsa kuendelea kuwepo pale. Wakati nikiwa naondoka cha ajabu Sister Magreth alinikimbilia na kunishika Mkono. “Sam umeamini usemi niliyokwambia kuwa Mungu hapokei maombi hata Ukiwa umevaa vizuri maana mungu alimuumba bindamu na kumleta duniani akiwa uchi. Hizi Nguo ambazo tunavaa ni mbinu za binadamu tu kujifanya kumfundisha Mungu kazi. Hivyo basi nilifanya maombi kwako huku nikiwa nimejifunga khanga ya kichina huenda ndio maana maombi yangu hujayaelewa. Hivyo basi ngoja niteo hii Khanga alafu nifanye maombi tena huenda ukanielewa”Aliongea Sister Magreth kisha nilibaki nikiwa Nashangaa zaidi nilipomuona Sister Magreth akifungua khanga yake tayari kwa kuitoa kwenye mwili wake ili tufanye maombi tena upya.
Sehemu Ya 4
Kwa kweli Maneno ya Sister Magreth yalizidi kunishangaza sana. Kitendo cha kuanza kufungua Khanga yake ambao alijifunga huku akisema tufanye Maombi upya yalizidi kunifanya nishangae zaidi. Bado Sikuona ni Shetani Gani ambayo alimwingia Sister Magreth hadi kutaka Kufikia kufanya mambo ambayo yalikuwa kinyume na Matakwa ya Mungu. “Sister Magreth unanifundisha Nini mimi kwa hiki ambacho unataka kukifanya. Hivi hukumbuki kama Ulikula kiapo kama wewe utakuwa Sister bora. Nazani wewe ndio Unajua mashariti Vizuri zaidi ya kusomea Upadri kwa nini Unataka kunifanya mimi kuwa Mkosevu kwa Mungu wangu. Tafadhari Sister Mage Nipo chini ya Miguu yako usifanye hicho kitu ambacho Unataka maana ni Dhambi kwa Mungu”Nilimwambia Sister Magreth huku nikiwa naogopa hata Kumwangalia Maana tayari khanga yake ilishafika kwenye kifua na alikuwa anataka kuitoa yote.
“Sam hivi Unafikilia Mapadri wote na Masister ambao wapo kwenye hii Dunia hawafanyi hicho kitu. Pia nani alikuambia kama kufanya hicho kitu ni Dhambi wakati Mungu mwenyewe alimuumba binadamu na kumwambia wazaane. Sasa kama hujui humu Mapadri wanafanya sana mapenzi na watu mbalimbali ila kwa siri.
Sawa wapo ambao hawafanyi na wapo ambao wanafanya ndio Maana Mimi nikakwambia kuwa UKINIPA SISEMI itakuwa siri yangu tu ya Mimi na wewe. Ila kama ukijifanya Unajua basi utakosa upadri pia utafukuzwa kwenye hii Shule Mapema Sana.”
/Aliongea Sister Magreth huku akipita mbele yangu na kwenda kusimama kwenye Mlango kama Inshara ya kunizuia nisipite. Bado Sister Magreth alikuwa ameishikilia khanga ambayo tayari alikuwa ameshafungua rubega. “Sam naomba Nisikilize kwa Makini, mimi ni mwanamke kama wanawake wengine na ninahisia za Mapenzi. Hivyo basi naomba kile ambacho nitakuomba unitimizie la Sivyo nitapiga kelele na kuwaambia Mapadri kuwa unanitaka kimapenzi. Sam kumbuka kuwa mimi ndio ambaye nilifanya Mambo hadi wewe ukachukuliwa na Kuja kusomeshwa huku. Mimi ndio nilicheza huu Mchezo hadi wewe kuja shule ya Seminari na kusomeshwa bure. Nilifanya hivyo kwa kuwa nilikuwa naujua uzuri wako wa sura na nilihitaji kufaidi penzi lako. Tangia nianze kazi ya Usister kwa kweli sijawahi kufanya Mapenzi na Mtu yeyote yule. Wewe nataka uwe wa kwanza kwangu na nahitaji wewe ndio Unitolee usichana wangu”Aliongea tena Sister Magreth maneno ambayo yalinifanya nizidi kuchanganyikiwa. Kweli kulikuwa na Mashindano makali sana ambayo walikuwa wanatafuta Wanafunzi ambao watasomeshwa bure na misheni. Mitihani mbali mbali tulifanya na mimi ikiwepo kubadili dini. Baada ya Mitihani Sister Magreth ndio alileta matokeo na mimi pamoja na Rafiki yangu Mandewa ambaye alishafukuzwa tulibahatika kupata nafasi ya kusomeshwa na misheni kwenye kata yetu ingawa watu wengi walisimama na kupiga kuwa mimi nilikuwa muislamu lakini Sister mangreth hakujali. Sasa yale Maneno ya Sister Magreth kusema kuwa yeye ndio aliyenisaidia mimi kujiunga shule ile yalinifanya kukumbuka mbali sana. Wakati nikiwa natafakari yale Maneno ambayo Sister Magreth aliniambia nilishangaa kuona Sister akiendeleza tena zoezi lake la kutoa ile Khanga. Kwa kweli Sisiter Mangreth licha ya kuwa Sister pamoja na kuwa na Umri mkubwa lakini alikuwa Mzuri. Hata wakati anasusha khanga yake kuipeleka chini sehemu za Mwili wake hususani tumbo kitovu na Matiti yake yalikuwa yamesimama vizuri. Dalili ya nyonyo za Sister Magreth zilikuwa zinaoneka hazija shikwa kabsa.
Siyo Wanawake wengine bado hajazaa lakini ukikuta nyonyo zake zilivyonyonywa tu na kushikwa shikwa na Wanaume zimelala kama vile amenyonyeshwa watoto wanne.
“Sister Nimekubali kile kitu ambacho unataka ila tafadhari naomba nipe muda nifikilie na iwe kweli UKINIPA SISEMI maana mimi maisha yangu nategemea hapa. Tena naomba iwe mara moja tu wala isiwe kila siku
“Nilimwambia Sister Magreth maana sikuwa na Jinsi, ili kutoka kwenye nyuma ya Sister Magreth nilikubali kutoa ahadi fake.
Nilipoongea yale Maneno nilishangaa kumuona Sister Magreth akijifunga khanga yake na kunikimbilia mimi kisha alikuja kunikumbatia kwa Nguvu.
Sehemu Ya 5
Kwa kweli kitendo cha Sister Magreth kuja kunikumbatia Matiti yake ambayo yalikuwa na Ugumu kama kitumbua cha Mchele kilicholala yalinigusa kifuani Hali ambayo ilimifanya Mwili wangu kusisimka mbaya. Sister Magreth kwa kweli alijaliwa kuwa na Uzuri wa aina yake. Kitendo cha kunisogelea kisha kunikumbatia alafu akaniachia na kusimama Karibu yangu kulifanya kuona Mwapo wa Matiti yake Meupe ambayo yalifanya Mapigo ya moyo wangu kuanza kwenda mbio. Tamaa ya ajabu ya kutaka kumuathi Mungu wangu ilizidi kuniandama ndani ya Moyo wangu. Kilichonifanya nizidi kuchanganyikiwa ni pale nilipoona Moja ya titi la Sister Magreth kwa juu kidogo lilikuwa na tatuu iliyokuwa inasomeka thanks. “Sam Nazani nimeshakwambia siyo kwamba nimekutamani ila ni Upendo wa Moyo ambao nilikuwa nateseka nae tangu nikikuona ukiwa mdogo. Kiufupi wewe ndio Mwanaume ambaye nilichagua utakuja kunitolea Bikra yangu huenda na kunivunjia Heshima ya Kuwa Sister Magreth. Hisia za Moyo wangu kwa kweli zinanitesa na Siwezi kuendelea kuvumilia UKINIPA SISEMI kwa kweli itakuwa siri yako na Mimi”Aliongea Sister Magreth huku akiniangalia kwa jicho la kulegea utafikilia nyanya Mbovu. Moyo wangu kwa kweli ulizidi kwenda mbio hasa niliposikia Sister wa Nizamu ambayo alikuwa anaogopwa Pale Seminary Muda ule alikuwa anaongea Maneno ya kumuhasi Mungu. Nakumbuka Kabla ya Sister Magreth Hajaja kunikumbatia nilikubali kile ambacho alikuwa anakitaka ili Niweze tu kutoka nyumbani kwake. Ila kwa Muda ule ambao alikuwa amenikumbatia hisia Zingine kali ambazo nilikuwa sizipendi zilikuwa zinanijia. Baada ya Kumwangalia Sister Magreth kwa macho ya Kumtamani Hatimae niliondoka na Kwenda hadi chumbani kwangu. Huwezi amini kwenye ile shule kila Mwanafunzi alikuwa na chumba chake utafikili tupo chuo kikuu. Nilipofika Chumbani kwangu kwa kweli nilijitupia kitandani na kuanza kuwaza Mambo machache ambayo yalinitokea siku ile. Niliwaza wanawake wawili wazuri mmoja akiwa Sister na Mwingine mwanafunzi mwenzangu ingawa tulikuwa tunasoma shule tofauti ndani ya fensi moja ndio nilizidi kuchoka. Kila nikikumbuka Umbo la Klinita pamoja na Sister Mage Ndio Hisia kali za kimapenzi zilikuwa zinanijia. Kwa kuwa Sehemu zangu za Siri zilikuwa zimesimama niliendelea kulala Pale Kitandani maana ningeamka ilikuwa ni Hatari maana katika shule za Seminary Mwanafunzi Ukigunduliwa Umedindisha lazima ufatiliwe kwa Makini na lazima utakuwa kwenye Hatari. Nilikaa pale Kitandani kwa Muda wa Saa moja nikiwaza na Kutafakari Maneno ambayo Klinita na Magreth walikuwa Wananiambia Hatimae Usingizi ulinipitia. Nilikuja kushituka Muda wa Saa kumi na mbili Kamili Kengele ya Chakula cha Usiku ilipogingwa. Nilienda hadi Jikoni nikachukua chakula na kuanza kula. Nilipomaliza kula Nilienda hadi Prepo na kuanza kusoma. Nilisoma Hadi Muda wa Saa tano Usiku ndipo Niliamua kuondoka na Kwenda kwenye chumba changu kulala. Kwa Kawaida shule za Seminary Wanafunzi ambao wanasoma kwa kuja kumtumikia Mungu huwa haina hata haja ya kufunga milango maana hatuibiani. Hivyo wakati nikiwa naenda prepo sikufunga mlango kwa kufuri zaidi ya kurudisha tu. Niliingia hadi chumbani kwangu ila Siku ile ilinishangaza sana maana wakati naondoka taa nilikuwa nimewasha lakini cha ajabu muda ule nilikuta taa imezima. Mguu wangu ulipoingia tu chumbani na kupiga hatua tatu kwenda mbele pua yangu ilikutana na harufu nzuri ya perfume ambayo ilinishitua kidogo. Ile Harufu ya Perfume ilinishitua kwa Kuwa ile Harufu ya Perfume alikuwa ananukia Klinita tulipokutana na Kunitongoza kwa mara ya kwanza. Sikutaka kushangaa sana ile Perfume zaidi nilipiga hatu tena hadi sehemu ambayo kulikuwepo Switch ya taa na kuiwasha. Nilipowasha ile Taa kwa kweli kidogo nianguke chini kwa Pressure nilipomuona Klinita akiwa Amelala kwenye kitanda changu huku akiwa na
Gauni laini la kulalia tu. Kwa kweli kile kitendo kilinifanya kuanza kutetemeka maana Mwanafunzi wa kike Kuingia kwenye Chumba na Mwanaume ilikuwa ni Hatari kubwa. Niligeuka nyuma na kuondoka kwa kasi kwenda mlangoni na kufunga mlango kwa Ndani Huku nikiwa natetemeka. Muda ule Hadi Machozi yalianza kunitoka maana kwa Dalili ile nilihisi naenda kukikosa kile Ambacho Mama yangu alikuwa ananisihi nikipate. “Sam Huna Muda wa kushangaa kwa kile ambacho unakiona, Najua unajihisi vibaya ila Jua Mwenzako ndio nateseka kuliko hata wewe. Bora Sam homa yako uliyonayo unaweza kunywa hata Miseto ukapona ila yangu ni Hatari sana. Najua mwanamke kuingia chumba cha mwanaume hi Hatari sana hasa kwa Sisi Watawa ila Sina Jinsi. Sam nimeshindwa Kusoma leo Muda wowote nakuwaza wewe tafadhari naomba nionjeshe hata Kidogo ili nipunguze Mawazo” aliongea Klinita kwa Sauti tamu yenye hisia ya Hali ya Juu ambayo ilimfanya hadi kuanza kulengwa na machozi. Yale Maneno ya Klinita pamoja na Dalili ambayo alikuwa ameionyesha niligundua kuwa yule Demu alikuwa ananipenda Sana. Ila mimi Muda ule sikuwa na Njia ya Kumsaidia maana tulikuwa kwenye hatari. Sawa hata mimi Moyo wangu ulikuwa unampenda Sana Klinita ila sikuwa na Jinsi maana nilikuwa Mwanafunzi tena ambaye nasomeshwa ili Baadae niwe Padri. Kwa kweli Sikutaka kuyachezea Maisha yangu Maana hadi nilifikia kubadilisha Dini ili niweze kusoma nimsaidie mama yangu leo nije nipoteze bahati kwa Tamaa za Mapenzi. Klinita alipoongea Maneno yale na kuona nipo Kimya alianza kuamka kitandani ili ashuke aje kwangu. Alimka kitandani na kushuka kisha alianza kutembea taratibu kama vile alikuwa anachechemea. Klinita alipoamka kitandani na kuanza kutembea kuja kwangu Gauni yake fupi iliachia kila kiungo kitamu cha Mwili wake. Mguu tu wa Klinita jinsi ambavyo ulikuwa Mzuri ulikuwa unatosha Mwanaume mwenye hisia za Haraka kupigia bao. Kwa kweli Klinita alikuwa Mwanamke ambaye alikuwa na Sura ya kipekee. Hata klinita alipokuwa anakuja kwangu nilishindwa hata Kumzuia nilibaki kumshangaa kwa Jinsi ambavyo Mungu alitumia muda wa kipekee kuyapangilia matirial kwenye mwili wa Klinita wakati akimuumba. Kabla Klinita hajanifikia Nilishitulia na Mlango ambao ulionekana ulikuwa Unagongwa huku mtu akiwa ananiita. Niliposikiliza kwa makini ile Sauti nilisikia ilikuwa Sauti ya Paroko wa Shule. Ile Sauti kwa kweli ilinifanya kuzidi kuchanganyikiwa. Klinita aliposikia ile Sauti alikimbilia kwenye kona na kwenda kujibanza maana mle kulikuwa hakuna hata sehemu ya Kumficha. Nilichofanya nilimwambia Klinita akijifiche karibu na Mabegi. Klinita alipojificha Nilienda mlangoni huku nikiwa natetemeka na kwenda kufungua kisha nilisimama mlango kuwasikiliza shida. Nilipofungua Mlango nilimkuta Paroko akiwa na Sister Magreth. Kitendo cha Kumuona Sister Magreth nilihisi huenda amepiga Rokoo kwa Wanawake na Kumkosa klinita ndio wameamua kukagua kile chumba. “Samahani Sam kwa kukuamsha wakati ulikuwa Muda wako wa Kufaidi ndoto Vizuri. Hivyo Kabla ya kulala nakuomba Sister Magreth anatuomba tukamuombee kwanza maana wachawi Usiku wanamsumbua Sana”Aliongea Paroko
Kwa kweli yale Maneno ya Paroka yalinishitua sana Maana hata Siku moja hakuwahi kuja kunichukua ili nikafanye Maombi kwa Sister Magreth na Maombi tulikuwa tunafanyaga Kanisani na siyo kwenye nyumba ya mtu. “Lakini kwa nini tusiende kanisani tukakemee huyu pepo vizuri kuliko nyumbani kwa Mtu”Nilimuuliza Paroko huku nikitoka chumbani kwangu na kufunga mlango maana nilihisi kama nitaendelea kuongea nikiwa Mlangoni wanaweza kuingia kitu ambacho kingekuwa hatari sana. “Sam yebu acha kuongea maneno ambayo hayapo kwanza hii tabia ya kubisha sehemu ya kwenda kufanyia maombi umeanza lini. Maombi yanafanyika sehemu yeyote ile wala siyo kanisani tu. Nimekwambia Sister Magreth wachawi wanamsumbua nyumbani kwake twende tukamuombee wewe unasema tukapige Upako kanisani kwani huko ndio kuna wachawi”Aliongea Paroko kwa ukali kidogo. Kwa kweli Sikutaka kubisha tena Maana yule alikuwa ni Mkuu wangu alafu pia kwenye maombi tungekuwa na yeye hivyo nilihisi hakuna kitu ambacho kingeharibika. Tuliondoka pale na Kuwapitia baadhi ya Wanafunzi wenzangu wakiume kama Jonas na Daudi ambao na wao Paroko alisema tuwachukue tukaombe. Tulienda hadi nyumbani kwa Sister Magreth na maombi yalianza. Mimi katika kuomba wala sikushiriki vizuri kutoka moyoni maana nilikuwa najua sister mage hakuwa anasumbuliwa na wachawi.Tuliomba kama Muda wa Nusu Saa hivi ndio Tulimaliza ndipo tulimwaga Sisiter Magreth na Sisi tulianza kuondoka na Paroko. ” Paroka yani kweli nimechanganyikiwa hawa wachawi wananipima imani Sana. Unajua nilipokuja kwako Biblia yangu si nilisahau kwenye kiti hivyo naomba Kampe Samweli aniletee” yalikuwa ni Maneno ya Sister Magreth ambayo yalisika. Paroka alimwambia Sister Mage kuwa haina shida. Upande wangu niliposikia yale Maneno kwa kweli nilijua nipo kwenye mtego tena wa Sister Magreth. “Jamani tutaonana kesho ila wewe Sam twende kwanza yumbani kwangu ukachukue biblia umpelekee sisterMagreth”Aliongea Paroko. Yale maneno ya Paroko yalinifanya kushituka kama vile sikusikia kumbe ilikuwa ni Wasiwasi. Nilijaribu kumwambia Mchungaji Kuwa Daudi akachukue maana mimi nahisi kama Baridi hivi na homa ya hapa na hapa lakini paroko alikataa.”Alafu wewe baridi ya nini hivi kwa nini sasa hivi ukitumwa unakataa kataa unapanga kama unavyotaka. Kama unajihisi homa ukishika kitabu cha Mungu kama biblia unaweza hata kupona kabsa. Sasa hivi unafikia hata kukataa kuchukua vitabu vya Mungu”Aliongea Paroko kwa ukali zaidi. Yale maneno ya Paroko kwa kweli yalinishitua na kuamua kutulia na kumfuata kwenda kuchukua bilia kumpelekea Sister Magreth. Nilienda hadi kwa Paroko na kuchukua biblia kisha nilianza kwenda kuwa Sister Magreth. Nilitamani kuacha kumpelekea lakini kama Sister angemuulizia Paroko nilijua ningekuwa kwenye hatari zaidi. Nilipiga moyo konde na kwenda hadi kwa Sister magreth nikapisha hodi na kukaribishwa. Niliingia ndani kama kawaidi nilikaribishwa na sauti tu na Sister alikuwepo chumbani. “Sam nilitee huku biblia maana nimelala na nimevua Nguo hivyo siwezi kuamka Njoo uweke hapa mezani”Aliongea Sister Magreth maneno ambayo yalifanya Hadi moyo wangu kuruka paa. Nilishindwa haya Maneno ya kihuni sister alianza kuyatolea wapi. Namletea Biblia alafu ananimbia nipeleke Chumbani kwake kalala kavua Nguo
INAENDELEA

