NILIPOFUNGWA GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 21
Nilikurupuka kitandani kama mwehu, wale wadada makahaba watatu wakatoka chumbani kama walivyo nami nikabaki nahangaika kuvaa nguo zangu na wakati huohuo nikasikia mlango ukigongwa kwa fujo nikazidi kuingiwa wasiwasi
“nifungulie mlango Paul!” Hans aliongea nikaenda na kumfungulia mlango
“kulikoni tena kuna nini huko?”
“polisi!” alinijibu nikiufunga mlango huo kwa ndani kwa ufunguo
“kwani wamefuata nini hao polisi!”
“kuna msako wanaufanya sasa wewe fanya kitu kimoja vaa zile nguo za pale ukutani, baibui lile na mtandio ujifanye mwanamke fasta!”
“kwanini Hans nivae kama mwanamke sikuelewi ujue!?”
“wewe vaa tu utanielewa baadae ndiyo njia iliyobaki ya kujiokoa polisi wanakuja huku, wakiingia ndiyo tunatakiwa tujifanye mimi nawewe ni wapenzi watashindwa cha kufanya halafu utasalimika maana utaonekana mwanamke wa Kiislamu mwenye staha yako namimi nitaonekana kama mumeo, wakitukuta hawatatukamata fanya hivyo Paul fasta!” Hans aliniambia akinisukuma kwa nguvu nikaenda mpaka liliponing’inizwa lile baibui jeusi na hijabu nikalivuta na kuanza kulivaa haraka haraka,
Nilipovaa Hans yule rafiki yangu akaenda mlangoni na kufungua mlango uliokuwa ukigongwa akaingia mdada mmoja nikashangaa akija na vitu kwenye mfuko ambavyo sikuvitambua vizuri akanifuata pale nilipo na kuufungua akatoa make up wakanikalisha kitandani na kuanza kunipaka paka haraka haraka, mwanadada huyo aliyeonekana ni mtaalamu kwenye idara hiyo ya urembo alitumia dakika tano tu kuniweka vizuri usoni kisha akatoa kitu mfano wa matiti ya mwanamke na kunivua baibui langu nililolivaa akakipachika kifuani mwangu
“sielewi Hans nini kinachoendelea bro mbona nawekewa vitu vya ajabu” nilimwuliza
“utaelewa tu kaka, bila ya kukufanya wewe kama mwanamke hutoweza kuwakwepa polisi walio huko kwenye kasino, kila mwanaume amekamatwa kasoro mimi nawewe tu kaka, sasa sitaki nawewe uonekane upo kwenye genge hili la wahalifu nililopo wakati nimekuita mimi kwa mambo mengine ya kibiashara tu au upo tayari kuingia kwenye mikono ya polisi bila sababu kwa ajili tu eti ya uhalifu wa watu wengine!?” Hans aliniuliza
“hapana sipo tayari!”
“basi nisikilize mimi kaka na ufanye kama ninavyokwambia, ongea sauti yako ile ya kike tu ile unayoiigiziaga tangu tupo shuleni tutakapotoka hapa ndiyo itakapokuwa pona yako, watakapokusikia unaongea ya kiume na upo kwenye mavazi haya watajua moja kwa moja wewe ni muhalifu na unahusika na mzigo!”
“mzigo, mzigo gani tena?”
“utaelewa tu wewe fanya ninachokuambia usibadili, vipi yupo tayari?” alinijibu akimwuliza yule dada aliyekuwa ananiremba remba na kunitengeneza uso
“tayari bosi!” alimjibu
“twende Paul!” Hans aliniambia
“wapi tena?”
“twende tu utapaona!” alinijibu tukatoka ndani ya chumba hicho haraka haraka nikiwa nimevaa baibui
Tulipofika kule kwenye Casino tulikuta kupo kimya, polisi kikosi maalum kikiwa kimetanda na askari wakizunguka zunguka na bunduki zao ndefu ndani ya Casino hiyo kila mmoja akiwa ametulia kwenye meza yake kimya, walipotuona wote wakatutazama,
Askari mmoja akiwa na bunduki yake akaja na kutufuata,
“huyu ndiye Sherma?” alimwuliza Hans ambae alikuwa amenishika huku akitetemeka
“pona yako ni kujifanya mwanamke ila ukiongea sauti ya kiume tumekwisha!?” Hans alininong’oneza kichini chini na kumuitikia yule askari kwa kichwa akimaanisha ndiye mimi,
“mna uhakika ni mwanamke kweli huyu na siyo mwanaume mmemtengeza tu kutupiga changa la macho?”
“ni huyu afande kweli!”
“hebu sajenti msachi huyo mwanamke na huyo jamaa!” kamanda huyo alimwamrisha askari wa chini yake akaja kutusearch mimi na Hans
Na ndipo niliposhuhudia wakitoa mzigo uliofungwa fungwa katika baibui nililolivaa na askari huyo alikifungua na kumbe kilikuwa ni kipakiti kilichojaa unga mweupe ambao sikuifahamu, askari huyo akauchana na kuulamba kisha akamwangalia mkuu wake,
“ni madawa ya kulevya!” alimwambia
“kamata wote hao wawili!” kamanda huyo wa kikosi aliamrisha tukakamatwa mimi na Hans rafiki yangu huku nikiwa sielewi kinachoendelea, Hans akinisisitiza kwa ishara niongee sauti ya kike au ninyamaze kwa usalama wetu, ndipo tukatolewa nje na kupakizwa kwenye gari la polisi hao walilokuwa wamelipaki nje tukapelekwa moja kwa moja mpaka kwenye kituo kikuu cha polisi……
……..
“mh pole Paul kwahiyo kwenye kesi ikawaje sasa?” Queen aliniuliza huku Anitha akiwa ameshalala zamani
“ndo hivyo mpaka nimefikia hapa, jamaa wanashughulikia suala la kunitoa, ila nimegundua walinisakizia tu ili kumuokoa mchumba wake Hans ambae ndiye aliyekuwa akitafutwa na polisi kwa ajili ya uuzaji wa madawa ya kulevya aitwae Sherma!” nilimjibu Queen ambae nae hakunijibu kitu kumbe alikuwa ameshalala ameniacha peke yangu, nami nikapitiwa na usingizi……
Tukiwa katikati ya usingizi mimi nikiwa katikati, Anitha upande huu na Queen upande mwingine,
“moto motoooo!” tukasikia kelele na mayowe makali kutoka nje, ikiwa ni usiku wa manane, nikakurupuka na kuwaamsha wote tuliokuwamo ndani ya selo hiyo, tukavaa na kutaka kutoka haraka haraka ndani ya chumba cha selo, lakini mlango ukiwa umefungwa kwa kufuli kwa nje, wafungwa wote wakipiga makelele, askari mmoja wa kike akakatiza akikimbia
“afande afande tufungulie tutakufa humu!” tulimwita
“sina muda huo kila mtu ajiokoe mwenyewe!” askari huyo alijibu akairusha funguo ambayo iliangukia karibu na mlangoni lakini kwa nje na ndipo niliponyoosha mkono wangu kwa tabu kujaribu kuivuta nikahangaika kama baada ya dakika tatu ndo nikaipata na kuivuta, nikafungua mlango, tukatoka wote nane tuliokuwa humo kwenye chemba nikawafungulia na wengine, huku wengine nikiwatupia funguo wajifungulie wenyewe
Ni kweli tulipotoka nje tulikuta moto mkubwa ukilipuka na kwenye jengo kuu la chakula, ikisadikika ulianzia jikoni, jengo hilo ambalo tunalitumia kula chakula (kantini) na jiko kuu la gereza likiwa humo lilikuwa likiwaka moto na kwa sababu ya mitungi ya gesi kadhaa iliyokuwa ndani ya jiko kuu la gereza moto ulizidi kuwa mkubwa ukilipuka, kila mmoja akijaribu kuokoa maisha yake, siyo askari siyo mfungwa na siyo mfanyakazi wowote wa gereza
“tunaenda wapi?” Anitha aliuliza
“tutorokeniii!!” Queen alishauru tukabaki njia panda, wote wakiniangalia mimi ili wajue nitaamua nini, nikitazama wafungwa wengi walitumia fursa hiyo kutoroka maana hakuna askari aliyekuwa na muda na wafungwa wengi mda huo….
SEHEMU YA 22
Nilibaki njia panda nikishindwa kujua cha kufanya wakati pilika pilika zikiendelea, kila mtu akijitahidi kujiokoa nafsi yake na moto huo ambao haukuishia kwenye jengo moja tu, ukasambaa kwenye majengo mengine ya karibu likiwemo lile tulilotoka tunalolala
“twendeni tutoroke Paul, tutorokeni!” Queen alisisitiza
“tupiteni hivi!” Anitha aliongea akinivuta mkono
“hapana huku ndo kuna njia tupiteni huku!” Queen alikataa akinishika mkono kunivutia upande mwingine nikiwa bado sijafanya maamuzi ama ya kubaki au kutoroka nikiwaza je nikitafutwa baadae, lakini nikakumbuka kuwa najulikana kama mwanamke tena kwa jina la kike, Sherma, na siyo kwa asili yangu ya kiume na jina langu halisi, Paul, akili zangu zikarudi mahali pake
“wote chini ya ulinzi!” askari mmoja alipata ujasiri wa kupiga risasi juu akijaribu kututisha wafungwa na hapo ndipo lilipokuja jibu la moja kwa moja kwangu
“tutorokeniii” niliwaambia Anitha na Queen nikiwashika mikono wote na kuanza kukimbia nao kutoka kwenye gereza hilo, maana geti kuu lilishavunjwa na wakati wafungwa (mahabusu) wenzetu wengi wakikimbilia barabara kuu ya vumbi ya kuelekea kwenye barabara kuu ya lami kilomita kadhaa mbele, mimi nikakimbilia upande wa bondeni, gereza hilo likiwa nje kidogo ya jiji porini ndani ndani
“tunaenda wapi huku Paul mbona mimi naogopaaaa!!” Anitha aliniambia nilipoingia nao msituni kwenye miti mirefu, kukitisha kwelikweli usiku huo wa manane lakini mbala mwezi ikitumulikia na kutusaidia kuona mbele
“Paul hakuna wanyama huko kweli si bora tungefuatana na wenzetu ile barabara kuu huku wapi tutakuja kung’atwa na nyoka”
Queen nae aliongea kwa wasiwasi wakati tukizidi kuchanja mbuga kuelekea mahali tusipopajua tena ndani ya msitu mnene usiku wa manane, hata mimi niliogopa lakini ndo mwanaume sasa nitafanyaje wakati wanawake hawa ndiyo wananitegemea, tukaendelea kushuka bondeni usiku wa manane kwa mbali tukisikia milio ya ving’ora vya gari za jeshi la polisi na gari za wagonjwa (ambulance) zikionekana kuelekea gerezani kutoa msaada
Tulishuka tukikimbia na kutembea kwa takribani lisaa limoja mpaka Anitha na Queen wakaanza kuchoka na kusimama simama wakihema nikaribu kuwabembeleza tuendelee na safari lakini hawakuweza, nikawahurumia kutokana na uchovu walionao na ndipo nilipoona mti mmoja mzuri kwa ajili ya kupumzikia nikawaonyesha na tukaenda taratibu kwa machale na kukaa chini ya mti huo
“kunatisha mh???!” Anitha aliongea akipepesa pepesa macho kulia na kushoto
“sijui hakuna majoka hapa maana mh???!” Queen nae aliongea kwa wasiwasi akimsaidia Anitha kutazama tazama kulia na kushoto kama usalama upo
“woga wenu ndo utawapa shida ninyi wenyewe hapa cha msingi potezeeni mengine kisha mlale”…….
…………
Asubuhi ilifika nikawa wa kwanza kuamka nikiwatazama Anitha na Queen walikuwa bado wamelala tukiwa tumelala kwenye nyasi chini ya mti huo mkubwa, ikiwa ni saa kumi na mbili asubuhi ndege wakiwa wameshaamka wanalia tu kwenye miti
“Anitha, Queen amkaa!” niliwaamsha kwa kuwatikisa tikisa
“abee!”
“nimechoka bwana!” kila mmoja aliitika kiuchovu huku ndo kwanza wakijigeuza geuza pale chini kwenye nyasi wakihisi kama bado wapo kitandani nami nikainuka nikitembea tembea kutazama mazingira na muda huohuo nikaona nyumba ndogo ya matofali ya vyumba viwili yenye dirisha moja tu na mlango ikiwa peke yake mita chache mbele, nikasogea na kwenda kuitazama, nikikaribia kwa machale na kugonga mlango wa nyumba hiyo mara kadhaa bila kujibiwa na mtu na ndipo nilipousukuma mlango huo uliokuwa umekaza tu lakini ukiwa haujafungwa, nikausukuma na kuingia ndani
“hodi hodiii!” niliita bila kujibiwa na mtu, nikikuta kiti kimoja kikuu kuu na nilipofungua mlango wa chumbani nikakutana na kitanda kidogo cha mbao chenye godoro kuu kuu la tano kwa sita na mashuka yaliyokunjwa kunjwa nikabaki nakikagua chumba hicho ambacho kilionekana kutokaliwa na watu muda mrefu maana mpaka nyasi zilijiotea ndani ikabidi nitoke kwenda kuwaita Anitha na Queen nao waje wajionee ninachokiona, wakati naenda kuwafuata nikawaona wakija mbio mbio kunifuata waliponiona wakafunga breki mbele yangu huku wakihema
“kulikoni?” niliwauliza
“mbona umetuacha peke yetu hujatuamsha Pau!?”
“mpaka tumeamka tukachanganyikiwa tukasema au ametutoroka huyu?”
“hapana sijawatoroka na siwezi kuwatoroka mimi niliwaamsha nikaona mmechoka sana nikaja kuangalia angalia huku ndo nikaona nyumba pale ile pale!”
“hebu twende tukalione!” Anitha aliongea tukaanza kutembea mdogo mdogo kuifuata nyumba hiyo iliyokuwa imetulia peke yake porini humo kukiwa na nyasi fupi fupi na mti mmoja mmoja
“grggrrrrrrrrr!” ndipo tuliposikia muungurumo mzito wakati tukiikaribia nyumba hiyo
“nyie mmekisikia nilichokisikia mimi?” Anitha aliuliza tukisimama
“nimesikia ni radi itakuwa mvua inataka kunyesha!” Queen alijibu nami nikiwa nimehisi kama sauti ya mnyama, nilipotazama mita kadhaa mbele nikamshuhudia simba dume akiwa anatembe kwa madaha akija huku huku tulipo, mapigo ya moyo yakaanza kunienda mbio, nikawaza niwaambie hawa akina dada au nisiwaambie…….
SEHEMU YA 23
Peke yangu ndiye niliyemwona simba huyo ambae alikuwa akitembea kuja huku tulipo, Anitha na mwenzake Queen wakiwa hawajamuona bado simba huyo dume ambae alikuwa akitembea kwa madaha, nikatamani niwaambie ili tuharakishe tujiokoe roho zetu mbele ya mnyama huyo hatari kwa maisha ya binadamu na mfugo wa aina yoyote, lakini nikawaza huenda kuwaambia kwangu badala ya kuwaokoa akina mama hawa ndokwanza nitawapoteza maana watakapomwona mnyama huyo ambae wamezoea kumwona kwenye televisheni tu, kwenye kipindi cha wanyama na mbuga za wanyama watavurugwa na huenda wakasababisha simba huyo ambae alikuwa hajatuona bado akatuona na kutusababishia balaa
“Tuharakishe jamani!” niliwasisitiza nikitangulia mbele yao na wao wakija haraka haraka nyuma
“Paul tusubiri basi” Queen aliita kwa sauti na ndipo simba aliposikia sautj hiyo na akatuona kwa mbali akaanza kukimbia kutufuata,
“Anitha, Queen simba huyoo tuingie ndani!” niliwaita wadada hao wawili kwa sauti kali wakageuza shingo zao na kumshuhudia simba huyo dume akija kwa kasi, Anitha na Qeen walirukia ndani bila kujielewa pamoja na mimi mwenyewe kisha nikaufunga mlango kwa ndani
“mh roho yangu nahisi kufa kufa Paul ooooppps!” Anitha alihema huku akiwa amejishika kifuani kwenye ziwa lake la kushoto upande wa moyo
“hivi ni kweli niliyemwona ni simba au ni macho yangu tu jamani!” Queen aliuliza huku akiruka ruka kama aliyebanwa na mkojo anayesubiria foleni ya kuingia chooni
“ndo yeye!” nilijibu nikichungulia dirishani tukamwona simba huyo aliyeonekana amewinda amekula na ameshiba, akitokea bondeni akapita taratibu akielekea milimani
“woooooop” nilishusha pumzi ndefu
“hapa mbugani nini?” Anitha aliuliza
“inawezekana!” Queen alijinu wote tukatazamana kwa sekunde kadhaa wakiingiwa wasiwasi, yule simba akapita zake kumbe wala alikuwa hatukimbizi sisi, alikuwa akikimbia kimbia mwenyewe baada ya kushiba akionekana ametolea bondeni kunywa maji….
Tulitulia kimya kisha mimi nikatoka kutazama kama mazingira yapo salama nikawaaaga kuwa naenda kukagua kagua tu asubuhi hiyo jua likianza kuwaka, nikawaachia maagizo wafanye fanye usafi kwenye nyumba hiyo tusiyoijua alikuwa anaishi nani na alikuwa anafanya nini porini peke yake
Nilipoteremka kule alipotokea simba nikakuta kumbe kuna mto mkubwa wa maji ambayo yanaenda taratibu, kukiwa kumetulia tuli, nikavua shati langu na kujaribu kutega samaki, nikajikuta napata samaki zaidi ya kumi waliokuwa juu juu tu kwenye mto huo, nikawavua nikifurahi na kurudi nao nyumbani huku nikakutana na Queen na Anitha ambao walinishangaa na kuniuliza uliza maswali, wakataka nikawaonyeshe mto huo ndipo nikawashauri wabebe mashuka ya mule ndani ya kulalia na ndoo moja kuukuu tukavisafishe, wakabeba tukaongozana wakiwa wanatembea kiuwoga uwonga mpaka kwenye mto huo, tulipofika wakayafua mashuka hayo makuu kuu nikiwa naangalia usalama wao
Na ndipo wote tukaamua kuoga kabisa na kunywa maji hayo machache tukiyachota kwenye chupa ndogo tuliyoikuta ndani ya nyumba hiyo ikiwa na asali iliyokaa siku nyingi tukaimwaga na kuisafisha chupa kisha tukaifadhia maji ya mto huo kwa ajili ya kunywa, tukarejea nyumbani, Queen na Anitha wakiwa wamefanya usafi wakaanika zile nguo nguo walizozifua kisha mimi jua lilipowaka waka majira ya saa sita, ardhi ilipokauka unyevu unyevu nikachukua vijiti na kuvipekecha pekecha kama nilivyowahi kufanya wakati nikiwa mdogo kwa babu nilipokuwa namsindikiza mawindoni, moto ukakubali kwa kusumbuka sana nikarundika rundika nyasi nyasi nyingi ndipo ukawaka kabisa nikaanza kuwachoma wale samaki tayari kwa kuliwa tukiwa hatujui tutatokaje eneo hilo hatujui njia tulioingilia wala ya kutokea
Nilipowachoma samaki wote nikarudi nao ndani kisha nikaufunga mlango huo kwa ndani nikitengeneza komeo la mbao na miti nikaviegesha mlangoni kuzuia mlango usifunguke, nikawatenga samaki hao wa kuchoma pamoja na maji tukaanza kula taratibu, kumbe gereza tulilokuwa tumefungwa katika mkoa huo lilikuwa porini siyo mbali sana na hifadhi ndogo ya wanyama
Tulikula samaki hao wenye minofu mpaka tukawamaliza na kushiba, Queen na Anitha walitaka kuwabakisha kwa ajili ya baadae lakini nikawazuia nikawaambia wale washibe baadae nitashuka tena bondeni kuvua, wakanibishia lakini mwishowe wakakubaliana na mimi ikiwa ni mchana sasa jua ni kali kweli kweli
Tulipiga stori mpaka majira ya saa nane nane nguo zikiwa zimeshakauka zikatandikwa kitandani, Anitha aliyekuwa amechoka akaingia chumbani kulala mimi nikabaki na Queen sebuleni kwenye kiti kikubwa kilichotengenezwa kwa miti kisicho na foronya
“asante kwa yote Paul bila ya wewe tusingekuwa hapa!” Queen aliniambia huku akinishika mkono
“hata mimi bila ya ninyi tusingeondoka jela” nilimjibu akatabasamu na kusogeza midomo yake kinywani mwangu tukaanza kunyonyana mate pale kwenye kiti huku tukipapasana papasana na kushikana shikana
“mh mh kwahiyo mkasubiria nilale ili muenjoi wenyewe eeh?” mara tukamsikia Anitha kumbe alikuwa amesimama kwenye mlango wa chumbani akitutazama
“karibu!” nilimjibu akaanza kuja, lakini wakati huo huo tukahisi ardhi na nyumba vikitikisika kama tetemeko fulani, wote tukasimama kujua kulikoni…….
SEHEMU YA 24
Mtikisiko ulizidi nyumba nzima ikitikisika tukiwa hatujui unatokana na nini, nikamvuta Anitha aliyekuwa amesimama akakaa na sisi kwenye kiti tukatulia huku akina dada hao wakiwa wamenikumbatia kwa wasiwasi na ndipo tukasikia vishindo vizito vya kama miguu nikashawishika kwenda dirishani kujua kulikoni na ndipo niliposhuhudia msafara wa tembo zaidi ya hamsini wakipita kwa foleni kuelekea mtoni kunywa maji
“njoo muone!” niliwaita
“nini!?”
“mimi naogopa mwenzenu!” walijibu wakaja kuchungulia wakashangaa kuona kundi kubwa la tembo likipita na wakati tukitazama kupitia dirishani tukamwona tembo mmoja akiwa amechepuka kwenye msafara na kuja hukuhuku kwenye nyumba tuliyomo,
“toba tunakufa!”
“Paul tukimbie!” Anitha na Queen waliniambia wakikimbilia chumbani kwa woga,
“ngoja nitazame kinachoendelea!” nilijibu siyo kwamba sikuwa nina hofu ila usalama wangu na hawa wanawake wawili ulikuwa ni kujua kila kinachoendelea na siyo kukimbia kila tukio
Nilimshuhudia tembo huyo mkubwa kuliko kijumba hicho tulichomo akijikuna kuna kwenye nyuma hiyo ubavuni mwake akionekana kuna kitu kilikuwa kinamuwasha ubavuni kisha akaondoka zake kurudi kwenye msafara wa wenzake
“njooni ameondoka!” niliwaita wakatoka chumbani kwa wasiwasi
“alikuja kufanya nini kwani?” Anitha aliniuliza
“kujikuna!”
“kujikuna kivipi kwani tembo anajikunaga?” Queen alishangaa
“eeh anajikuna kwa kwenye miti sasa hapa ameona nyumba hii akaipenda, amekuja kajikuna huyo akaenda zake, niliwajibu Anitha na Queen wakatazamana tu wakishangaa wanachokisikia wakiwa hawajawahi kukisikia nadhani
Nilirudi kukaa kwenye kiti taratibu, lakini Queen akanishika mkono na kuniinua kuelekea chumbani na Anitha akiwa nyuma nyuma, tulipofika chumbani mwanadada Queen akavua nguo zake akibaki uchi na kupanda kitandani huku Anitha akibaki amesimama mlangoni amejishika kiuno, nami nikavua ya kwangu na kupanda kitandani taratibu kisha nikafikia kifuani mwa mwanadada huyo na kuanza kunyonya matiti yake taratibu wote tukiwa uchi kama tulivyozaliwa, Anitha alivua nguo zake na yeye akaja na kupanda kitandani akiwa uchi kama alivyozaliwa na kulishika dudu langu akilipapasa papasa kisha hakuishia hapo akasogeza midomo yake na kuanza kulinyonya dudu langu taratibu huku nikimnyonya mwenzake kifuani matiti moja baada ya jingine
Ujanja alioufanya Anitha wakati nikimnyonya matiti Queen aliyekuwa amefumba macho yake akisikilizia utamu na uchokozi wa ulimi wangu kwenye chuchu za matiti yake akiwa amelala upande upande, Anitha akapitisha kiuno chake katikati ya mapaja yangu akalikamata dudu langu na kuliingiza kwenye uchi wake taratibu likazama nikaanza kumsugua huku nikimnyonya mwenzake, Anitha akiwa ameangalia kwa upande wa nyuma
Midomo yangu ilikuwa ikishughulikia matiti ya Queen wakati dudu langu likiwa limezama kwenye uchi wa mwanadada Anitha nikimshindilia taratibu
“nichomeke Paul chomekaaa!” Queen aliongea ongea
“aaaaaassss mmh aiiiii!” Anitha aliguna guna na kumfanya Queen afumbue macho na kukuta kumbe mwenzake Anitha alishamuwahi zamani
“Mmmmsyuuuuu!!!” Queen alisonya baada ya kukuta Anitha amemuovateki kijanja, mechi aianzishe yeye halafu mtu wa benchi aje afunge goli
Niliendelea kumshindilia dudu Anitha aliyekuwa amegeukia kwa nyuma na midomo yangu nikaipitisha mpaka karikati ya mapaja ya Queen na kuanza kumnyonya uchi wake taratibu nikiuchezesha chezesha ulimi kwa kasi sana
Mambo yalikuwa bam! bam! nikiua ndege wawili kwa wakati mmoja ndani ya nyumba hiyo ndani ya hifadhi hiyo ya wanyama
Queen hakukubali akanivuta na dudu langu likachomoka kwenye uchi wa Anitha na akanipitisha katikati ya mapaja yake nikamchomeka yeye
“jamani ndiyo nini hata sijamaliza!” Anitha alilalamika huku akijishika shika uchi wake
“kwani wewe ndo umeanzisha au?” Queen alimjibu huku akiguna guna wakati nilipoanza kumsugua na yeye taratibu, Anitha akasonya tu na kukaa kitako akiwa amesusa amekasirika
“sasa mnachozozana nini kwani?” niliwauliza huku nikiendelea kumshindilia dudu Anitha
“si huyo hapo Queen mtu hata dakika tano hazijaisha halafu anakuchomoa wewe kwangu ndo tabia gani hiyo sasa?”
“sasa wewe ulivyorukia treni kwa mbele, mimi ndo nimemvuta Paul kitandani tangu mwanzo wewe si ya ulikuwa umelala sasa nalambwa mie na kunyonywa mtoto wa watu nimejifumbia zangu macho nasikilizia utamu wa ulimi kuja kushtuka nakutana na mtu kashategesha matako yake kaingizwa dudu anajisevia tu bila hata kutumia nguvu, ungekuwa wewe Anitha umefanyiwa hivyo ungefurahi kwani si sawa tu na kuiba mume wa mtu?”
“basi yameisha njoo Anitha!” niliwajibu nikimvuta Anitha
“kama amesusa muache mimi niinjoi zangu!”
“asuse nani msyuuuuu!” Anitha alimjibu Queen huku akisonya, nae akaja akalala chali kwa mbele kama alivyolala Queen, nikaanza kumchomeka dudu mmoja mmoja kwa zamu wakiwa wamelala pamoja ‘kifo cha mende’ na kukunja magoti, nikawa namsugua mmoja mmoja kwa dakika tano huku mikono yangu ikiyatomasa tomasa na kuyashika shika matiti yao mkono wa kulia ukiwa kifuani mwa Queen na wa kushoto kifuani mwa Anitha,
“aaaasssh uuwiiii jamani oooosshh!” walibaki wakishindana kwa miguno na mayowe ya kimahaba kila nilipomsugua mmoja baada ya mwingine, lisaa limoja na nusu likikatika mpaka tulipomaliza mchezo wetu huo wa raha kijasho chembamba kikitutoka nikawabusu busu na kuwashika shika, Anitha akitangulia kupitiwa na usingizi jioni ikiwa imeingia, Queen nae akafuata nami nikajikuta napitiwa na usingizi wote watatu tukalala kitandani
Nilikuja kuamka ikiwa ni usiku giza limeingia tayari, kwa haraka haraka ni kama saa nne au saa tano usiku hivi kwa kukadiria kwa. sababu sikuwa na saa ya kutazama wakati, nikawatazama Anitha na Queen bado walikuwa wanaendelea kuuchapa usingizi tu, nikashuka kitandani nikikaa kitako na kuwafunika kwa shuka sababu ya baridi
Nilipokuwa nimekaa nikiwaza jinsi ya kuondoka ndani ya hifadhi hiyo ndogo ya wanyama nisiyoijua hata jina inaitwaje nikasikia kwa mbali mlio kama wa chombo cha moto yaani gari au pikipiki, nikashtuka na kutoka haraka kujua ni akina nani hao ikibidi niwaombe msaada wa kuondoka eneo hilo
Nikafungua mlango na kutoka ndani ya nyumba hiyo na ni kweli nikaona taa za gari zikimulika kwa mbali nikaingia kwenye barabara hiyo ya vumbi na kupunga mikono juu ili wanione
“msaaada msaadaaaa!” niliita, lakini cha ajabu nikashtukia nikikoswa koswa na risasi
“paaaaah paaaaah!”……..
SEHEMU YA 25
“paah paah!” nilisikia milio ya risasi tena zikinikosa kosa nilipojaribu kupunga mikono juu kuomba msaada kwenye gari hilo nililoliona likija nilipo, nikahisi huenda ni polisi wapo kwenye msako wa kututafuta wafungwa tuliotoroka gerezani au ni majangili wamedhani mimi ni mnyama wakaanza kuniwinda, haraka nikatoka mbio na kukimbilia ndani ya nyumba nikiwakuta Queen na Anitha wakiwa sebuleni wakitembea tembea na na kuzunguka zunguka nao wakiwa hawaelewi cha kufanya baada ya kusikia milio hiyo ya risasi nje
“ulikwenda wapi Paul!”
“kuna nini kwani huko nje mbona kama risasi zimepigwa polisi wanatufuata au?” kila mmoja aliniuliza kivyake
“sijajua ni akina nani maana nilinyoosha mikono yangu kujaribu kuomba msaada baada ya kuliona gari likija nilipo nikashangaa narushiwa risasi sasa sijui ni askari wanafanya msako wa wafungwa tuliotoroka gerezani au ni majangili wakihisi labda mimi ni mnyama sijajua kwakweli”
“jamani tutafanyeje sasa ndo tunafia porini huku?” Anitha aliingiwa na wasiwasi akikaa chini na kuanza kulia
“hapana hatufi usijali mambo yatakuwa sawa tu!” nilimfariji Anitha
Queen yeye alibaki kimya tu huku akitembea tembea akiwaza na kuwazua, na ndipo tuliposikia muungurumo wa gari likisimama nje
“mama tumekwisha!” Queen aliongea akija kunikumbatia mimi kwa woga na Anitha nae akaja wote wakiwa wanaogopa huku wakitetemeka
“msiogope, hakuna kitakachoharibika mimi nipo!” nilijibu nikiwapiga piga mgongoni ingawa namimi nikiogopa kimoyomoyo lakini sikutaka kuuonyesha woga wangu kwa nje kama mwanaume mbele ya wanawake hawa wanaonitegemea na kujiona kama wapo salama mikononi mwangu
“kama kuna mtu yeyote humo ndani atoke mwenyewe ajisalimishe kabla hatujamimina risasi!” mmoja aliongea nje
“nisubirini hapa ngoja niende nikawasikilize hawa watu!” niliwaambia Anitha na Queen
“usiende Paul wakikuua je sisi tutabaki na nani?” Anitha aliuliza kwa wasiwasi akinikumbatia zaidi, tukiongea kwa kunong’ona
“usiende Paul watu wenyewe hatuwajui wapoje na wana lengo gani!” Queen nae alinishawishi
“kama usipotoka tunaua mtu tunahesabu moja mpaka kumi, moja….. mbili… tatu…. nne…. tano… sita…. sabaaa…. nane…… tisa….. ku……! ” kabla hajamalizia nikatoka nje na kuwakuta wanaume hao wawili waliovalia sare kama za mgambo na kofia mmoja akiwa na bunduki mwingine hana ameiacha kwenye gari, wakinitazama na kuninyooshea bunduki
“ni mimi hapa!” nilinyoosha mikono yangu juu
“unaitwa nani?” aliniuliza mmoja
“Paul!”
“upo na nani?”
“na wanawake wawili!”
“watoe nje!”
“Queen, Anitha!” niliwaita wakatoka nje wakiwa wameshikana huku wakiogopa
“mmefuata nini huku?”
“tulitekwa tukaja kutupwa huku tulipokuwa kwenye utalii wakatupiga majangili na kutunyang’anya vitu vyetu!” nilidanganya
“poleni sana, sisi wenyewe tunawatafuta majangili wanaoua tembo msituni tulipokuona tukadhani niwewe, afande ingia fanya upekuzi ujue kama ni kweli hawa watu wapo salama
Askari huyo alimwamrisha mwenzake ambae alizidi cheo akampigia saluti kisha akaingia ndani na kufanya upekuzi kwa dakika takribani tano kisha akatoka
“kupo salama mkuu hakuna tatizo wala silaha yoyote!”
“sawa ingieni kwenye gari mkaripoti kituoni!” afande huyo alituambia tukatazamana mimi, Anitha na Queen kisha tukaingia ndani ya gari hilo la wazi ingawa kwa kubanana…….
……….
Kulikucha mapema asubuhi siku ya tatu tangu nirudi nyumbani kwenye chumba changu nikiwa nimepata taarifa yule Hans rafiki yangu aliyenisababishia yote hayo kuwa nae anasota mahabusu na ushahidi ukiwa umekamilika tayari kuwa anajishughulisha na uingizwaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya, biashara ambayo alitaka anitumie mimi bila kupenda anitumie kama njia ya kusafirisha, akisubiri tu hukumu iliyokuwa ikimngoja
Nilifumbua macho leo asubuhi na kumkuta Queen bado amelala anajigeuza geuza kitandani lakini Anitha alishaamka tayari
“vipi ndo maandalizi ya safari mbona umechelewa kuamka?” nilimwuliza akiwa amepanga kusafiri leo kurudi kwao mkoani Queen akiwa wa hapahapa
“nani aliyekwambia kama mimi naondoka?” Anitha aliuliza, kauli ambayo ilimfanya Queen aliyekuwa amelala afumbue macho na kugeuka akimtazama Anitha
“kwani aliyesema jana kuwa anaondoka ni nani au nilisikia vibaya?” Queen aliuliza
“Nimeghairi siondoki kwanza nitaenda wapi nataka nikazifuatilie tu akaunti zangu za benki nikae hapahapa na Paul”
“kha ukae na nani wewe Paul ni wangu wewe si una mume wako ulisema huko mbona kigeugeu wewe?”
“sasa mume wangu si tumegombana nikamvunja mguu mpaka nikapelekwa jela nirudi nikafanye nini?”
“mmeshaanza tena mizozo kama kawaida yenu basi sipendi mngejua yaani!?” niliwaambia
“hebu sema mwenywe Paul kati ya mimi na Queen unampenda nani?” Anitha aliniuliza
“sema Paul si mimi eti nitazame hivi kati ya mimi na Anitha nani ni mrembo?” Queen aliniambia akigeuka geuka nimtazame nikabaki nikijikuna kichwa huku nikiwatazama tu wadada hao wawili walioning’ang’ania kweli kweli
“mi nafikiri wote mpo vizuri na ninawapenda wote tu!” nilowajibu wakatazamana huku wakibinuliana midomo….
Sikuwa na namna zaidi ya kuishi nao wote wawili, Anitha na Queen, Anitha akitoa pesa zake na kuongeza mtaji tukakuza biashara Queen akiwa ni mtu muhangaikaji kweli kweli wa shughuli ndogo ndogo kuliko hata Anitha ambae alikuwa mvivu mvivu lakini mshahara wake ukiendelea kuingia kwenye akaunti zake za benki akiwa ni mtumishi wa serikali……..
MWISHO

