MJEDA MBONA KUBWA SANA?
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 01
“Am I tried to express that to you , I don’t take place like this , why do you not understand, me ?” Alikuwa akiongeaa mdada wa kizungu akimwambia yule mkaka aliokuwa nae kwenye gari , alikuwa anaongeaa kwa sauti hadi walikuwa wakinikera mimi sasa huku dukani kwangu sasa , kama wajinga yaani sikupendaa kabisa hii tabiaa ya mtu kuja kufanya fujoo mbele ya duka lanagu la vipodozi
Nisijiproud sana sio la kwangu ni duka la mama mmoja mkarimu aliniajiri hapa na sio kwamba nalipwa pesa ndefu hapana ila kwa maisha yangu inanikidhi ni duka la vipodozi na ninalipwa 150k tu sio pesa nyingi kwa watu wenginee hii pesa ni pesa ya mafuta 🤭 , ila mimi ndio pesa inayoendesha maisha yangu na nimeridhika nayo kabisa maisha ninayoishi sio mazuri ila nayapenda sana jaman, ni ya kwangu ya kujitegemeaa , sipangiwi na mtuu mimi japo nakaa uswahilini na kuhusu familia mimi nina mama pekee ambae anakaa huku huku na nina mdogo wangu wa kike kwetu mimi ndio nilisoma nikaishiaa form two lakini maan bada ya baba yangu kufariki tuliyumba kiuchumi mnoo na nilisomeaa shule za hadhi sana , kwasabab baba ni alikuwa anapes nyingii mnoo , ila ni alikuwa na madeni huko bank , tukajikuta ile nyumba imeuzwa ambayo tulikuwa tunakaa na maduka pia yalipigwa mnada kufidiaa deni laa baba yangu , na muda baba anakufa ndio mama alikuwa ana mimba ya mdogo wangu Ayman na baba amefariki miaka 13 iliopita , ila baba hakuwa ana nyumba moja hivyoo nyumba ilibakiaa ilikuwa ni ile ya kule Chanika na ndipo anapokaa mama , hivyoo mama anakaa kwenye nyumba bomba tu , na ndugu upande wa baba toka baba yangu alipofariki wamekata mawasiliano na sisi kabisaa yaani ,
Mamaa hana kazi japo ana saloon ya kike ambayo inampatia pesa ya kula mdogo wangu hasomi kwasababu ni alikataa shule mwenyew na ninahisi ni kwa sababu baba hayupo maan sisi hatumuogopi mama hata robo tunamuona kawaidaa tu kama vile bibi yetu 😅 baba angekuwepo atake asitake angesoma 😆 maan baba ni hachekeshii hata robo yaani ila huyuu Ayman akili zake ni kama za shangazi Zakia yaani na yeye hakusomaga yaani ,mimi naitwa Ayra sio Ayra Star hapana mimi ni Ayra wa kibongoo mswahili balaaa mtoto aliekuwa wa kishuaa akawa kapuku bàdae 😆😆
“Am sorry Clara but here we can get amazing skin care for that is my best cosmetic shop” aliongeaa yule mwanaume na huyu mkaka mimi namfahamu mara nyingi huwa anakuja hapa nakununua mafuta yale ya kiume au perfumes ni duka kubwa maan lipo kati kati ya mji bhana ila muuzaji nipo mwenyew labda tunakuwaga wawili kama mwenye duka akiwepo ila asipokuwepo huwa na kuwa mwenyew duka lipo hapa ilala ni kubwa maan limeendikwa juu kwa bango kubwa Mam cosmetics 💄, ila huyu mzungu ni anamaringoo tu ety anasema hapauswahili labda pengine alikuwa anataka akanunulie shopers sijui 💁♀️, “okay so here you came many times with your another gf ? , why always breaks my heart Majid?” Yule mzungu alikuwa anauliza , mimi sijui ni mzungu , mwarabu shauli yake atajuaa mwemyew mimi sijali yaani mpaka hapo sijali , walibishana kwa vingereza ila sauti zilikuwa kali maan walikuwa mbele ya duka langu jamani mimi walikuwa wananikwaza hawajuii tuu yaani ninavyokerekwa “okay we’ll go somewhere you need okay?” Alisema yule mkaka na yule mzungu hakujibu , yule mkaka aliwasha gari na kuondoka mimi nilikuwa nawashangaa tu yaani kama mapanzi hovyoo😏, kujifanya waingereza hawana lolote wanipishe miee niendelee na kazi yangu
Nilikuwa nimekaa zangu maan ilikiwa ni mchana , mida ya jioni hivii namuoma yule mzungu kaja na gari lake kapack mbele ya duka langu , nasema kangu coz nikiwa dukani navaa uhusika wa duka akashuka na miwani yake nyeusi akanifata mpaka pale ila uso wake ulionesha dhahiri hakuja kwa heri
Episode 02
“You have any affair with my bf?🤨” Nilimtizama huku nipo natafakari jibu la kumpatiaa huyuu mzungu sijui mwarabu atajuaa mwenyew huko na shida zake maan analeta ubabae sehemu isiyo muhusu hajui kwamba hii sio nchi yake, akili ya kumchamba ilinijiaa kwanza jitu sio nchi yake shobo za nini sasa hovyoo 🙄 “Wee hebu tulizana wee bichwa ,ongea kiswahili usinichanganyiee language wengine tumeishia la pili E sawa eeh kwahyo sitaki unichanganyiee mada haya ntakuzinguaa haya ongeaa kiswahili kama huwezi toka dukani kwangu maan hiii sura uliovaa sio ya mteja sina haja ya kuongea na wewe politely “ niliongeaa kwa nyodo na kwa dharau ya hali ya juu mnoo maan nilikuwa namuona kama kijitu tu huyuu mjinga sasie na kwaoo , aniachee nitbe na kwetu “okay nitajaribu “ aliongeaa kiswahili japo kwa shida sana yaani, si unafahamu vile mzungu akiwa anaongea kiswahili anakuwaga kama anafanya comedy , nilijikuta na cheka ila sio kwamba kingereza sielewi ila kiswahili ningemmudu zaidi
“Kama unajuaa unauhusiano wowote na mwanaume wangu achana nae tafadhari, maana mimi kukumaliza dakika mbili sioni shida hivyoo nakuombaa achana na mume wangu” Aah hapa nikashtuka kumbee mzunguu wa ubungoo 😆😆, mzungu gani wa hukoo uzunguni anaongea kiswahili namna hiii hii mipango jamani nisipocheka nitaonekana mnafki kabisa 😆😅 ,nilicheka kwa nguvu mimi sina maneno mengi japo nina mdomo ila sinaga maneno mengi si uanelewa nilikuliaa ushuani enzi hizoo kwahyo itikadi za kishuaa bado ninazo kichwani kwangu jamani “sawa nimekuelewa unaweza ukanipisha maan sio mteja na pia umesimama mbele ya biashara yangu hivyoo nipishe tafadhari, nihudumie wateja” alinitizama kwa dharau hasa huku akishusha mawani yake ili aniangalie vizuri zaidi maan ni kama alikuwa hajanielewa kabisa yaani , alinitizama baada ya hapo akaondoka zake , ila aliondoka kwa madaha sana kabla hajafika kwenye gari maan wakati anaondoka kulikuwa na mteja alinirudiaa tena mara ya pili
“Sorry can I buy half of your shop?(samahan naweza nunua nusu ya duka lako?)” Nilimtizama tuu nikamjibu “ndio kama unaweza thamani yake , usijali unataka perfumes or kitu gani?”alinitizama akatabasamu “usijali naelewa hofu yakoo 😊, nipe perfumes zote za bei kwanziaa 80k “ nilimtizama akilini mwake akadhani kwamba dukani hakuna nilitabasamu , nikamtoleaa karibuni hamsini hivi na sio “is that all?” Aliuliza yule mzungu wa ubungoo “hapana ila nimekupa sample tu zingine zipo” alinitizama akacheka zake tuu “okay madam I will buy all it’s okay but I want 200 pieces” nilijua kuwa alikuwa anataka kujionesha mbele yangu kama anazo ila na mimi niliamaua kumkomoaa hivyoo nilimchanganyiaa sikumpa zote etty za 80k hapana tena za 80k zilikuwa chache kama 54 hivi zingine zote ni kama za 60k mpka 55k , na nilijuaa tu huyu hana pakuzipeleka vile vile jamani ila niliuza sana hii siku na kwa msaada wake nilitoka na pesa ya ganji ya kutoshaa maan ule mzigo ulikuwa unaanzia kwenye million kuendeleaa , alilipiaa na kuondoka zake nilishukuruh Mungu kaleta neema kubwa ya jioni jioni hata kama ni ya makasiliko ila ni neema ya kutosha pia , muda wa kufunga ulifika huwa nina kawaida ya kufunga hesabu na kumuwasilishia boss mzigo ambao unakuepo haman , nilimpa tarifa nzuri alifurahi na kusema kesho ntaenda sokoni mama Sakina ni mtu poa sana na ananiamini mnoo mimi sio mtuu wa hovyoo ananilipa kidogo ila ninashukuru ila behind the seen mimi ni mtu wa kuongeza bei jamani ,kitu cha 15 na kuuzia 25 , 10 yote yangu , niliondoka hapo nina pesa ya kutosha niliwaza kwenda kwa Mama yangu sasa ambae ni anakaa chanika sikutaka kwenda kwangu maan nimepanga maeneo ya buguruni nilikiwa nishammsi mama japo ni mbali sikuwa na jinsi zaidi ya kubolt na kuondoka zangu
Episode 03
Nilifika nilimkuta mama nyumbani , nikampa ubuyu wa mambo yotee yaliyonikuta mimi binti yake siku ya leoo alinicheka kidogoo maan ni yanachekesha , nilikuwa namsubiri Ayman maan ni mdogoo ila naweza sema ana akili ana miaka 13 tu ila ni anaakili kama mchwa yaani ushauri huwa namuombaga yeye na mimi sinaga marafiki , rafiki yangu ni yeye peke yake nilikiwa namsubiri maan mama huwa anamuacha saloon yeye anakuja kupika maaana niwe mkweli ni hatujui kupika hata roboo yaani hatujiwezi inshort kwenye maswal ya jikoni sis hatupo vizuri hata roboo ni vile tu kutokana na malezi tuliokulia maana kulikuwa na wafanyakazi kila kona kipindi nakua na mimi nilikuwa busy na vitabu sana , at least mdogo wangu anaweza kupika pika maan yeye hajakulia maisha ambayo mimi nimekuliaa nayoo kabisa na hata huko kwangu hata jikoo sina , huwa nanunuga mgahawani chakula maan hata sahani sina pia vilee vile, niliokuwa namsubiri alifika tukala akaoga nikaa nae chumbani sasa tupashane habari na chawa wangu yeye anaongea sana , ila mimi nina dharau mnoo
“Sawa usijali kwahyoo hapo dawa haijui , si amesema yeye sijuii ni na nini unatembeaa na bwana wake sasa katembee naee sasa aonee kama ulikiwa unamaanisha sio utani maan hapo hutembei nae kaanza kujifyokoloaa maneno ukitembeaa nae je sijui hawa watu wapoje mimi wananikera ni hawajuii tu wananiuzi mimi duuh 😏, sasa hapo dawa wewe tembea tu na huyoo mwanaume wake kwanza tu anavyoonekana ni ana hela sana achana na huyo mzungu wa ubungoo atakuumiza kichwa wewe kaa hapo angalia jinsi gani tu ya kuwa naee huyoo mwanaume wake sawa sister ?” Alisema Ayman “wewe Ayman hivi unajua mimi naogopa kaaahidi anaweza kuniuaa”
“Wee akuuwe aone hee mbona atarudi kwao kipofuu yaani mhh hiii nayo hatarii mbona , hee hebu ajaribuu tuone hhhh hyio nayo mbona kali ya mwaka sasa, hee tena nilikuwa nasema tu kuwa nae kwenye mahusiano hata kimchongo mchongo ila sasa inavyoolekea lala nae kabisa” hee nilitoaa macho mimi jamani hapo kwenye kulala nae mimi jamani nina nyodo kuwa na mwanaume siwezi na sijawahi “wee Ayman hayo mambo umeyajuliaa wapi?” Alinitizama tu hakujibu kitu , aliinuka mpaka kwenye kabati lake akafunguaa akatoka na vicheni cheni “Tafadhari shikaa hii kiuno cha mtoto wa kike hakiwagi kitupu , usinione mdogo usingekuja kufuata ushauri kwangu maan najuaa ndio kilichokuleta, utashanga hadi kwenye ndoa mimi naja kuwa somo hhh usinione mtoto” jamani mimi nilikoma aligeuka akapanda kitandani akalala jamani huyuu mjinga ila ni kama wazo lilikuwa zuri nitajifikiriaa ila nikavaa kwanza zile cheni nilizopewa nilielewa maana ukubwa tu ulikiwa unatosheaa kiunoo zilikuwa tatu ,nililaaa na mimi
Ila mimi ilinibidi kuamka mapema sana kwasababu ya kuwa mimi nahitajika kifuata mzigoo hukoo unapotakiwa kufatwa ,nilikuwa nina maagizo tayari ya sehemu ya kuchukuaa hela na kwenda kufuata mzigoo
Nilifanikisha zoezi langu ila mzigo ulikuwa mkubwa sana nisingeweza kabisa kuubeba mwenyew kuutoa kulee chimboo kupandisha mpak huku juu ndioo nipate kubolt ni kipengele kingine hikiii , niliwalipa watu wa kunibebea mpaka barabarani walifanya hivyoo nikawa nimesimama barabarani nipo nabolt sasa ili kila kitu kikae sawa mambo mengine yaende , ila bolt zilikuwa zinasumbuaa sana na mtandao pia ulikuwa unazinguaa mnoo yani
Nikiwa nimesimama lilisimama gari mbele yangu , likafunguliwa mlangoo akashuka yule mkaka wa jana ambae ni mteja wangu mzuuri sana wa dukani pale Majid ila alikuwa kavaa magwanda nilibaki namtizama maan sikuwahi kujuaa kama ni mwanajeshi kwa kiswahili cha mtaani sikuwahi kujua kama ni mjeda…
Episode 04
“Unahitajia msaada wa chochote miss?” Aliniuliza na mimi saa ngapi nisimuuliza “kwani wewe ni mwanajeshi?” Alitabasamu tuu hakunijibu kituu , akanisaidiaa kubeba vitu akaweka kwenye boot la gari jamani huyu kaka ana nguvuu , maan huu mzigo walibeba watu watatu tena ni wanaume ila yeye kaubeba peke yake ni haki awe na nguvu jamani mhh apewe mauwa yake🌼 🌸 🙌, alinitizam bado nikiwa nimesimama nashangaa hii suprise “okay madam utasubiri hapo mpaka saa ngapi bolt za huku leo zipo busy sana kwa maana huu mzigo wako unavyooonekana haupakiwi kwenye daladala ni lazma request ya gari ifanyike” nilikuwa namuona kama mzimu mjuee nilikuwa namkodoleaa mimachoo tu jamani isitoshe nina maongezi na wewe “okay najua huamini hiki ninachofanya tafadhali naomba panda kwenye gari ntakuelezea hili” nilipanda tu sikuwa na jinsi
Tulifika dukani akanisaidiaa na kuuushusha mzigo mimi nikawa naupanga sasa maana lazima niupangee na niliupanga mwenyewe sikutaka msaada wake tena kw ahapa kanisaidia vya kutosha “okay madam dada muuza vipodozi samahani kwa kitu ambacho mpenzi wangu alikifanya kwako jana?” Aliniambiaa yule Majid “ kwanza unawezaje kuvumilia kuwa na yule mpenzi wa vile ambaee hana maana sasa yaani kama mjinga mimi ningekuwa wewe ningemuachaa sipendii kuwa na mtu ambae tabia zake ni mbali na muonekano wake 😅” alinitizama tu maan nilikuwa bado nilikuwa naongea
“Kwanza ulimtoaa wapi yule mzungu , mswahili ?” Alinitizama sana n
Akajikuta tu anatabasamu simu yake iliita akaomba kupokeaa aliongea ila alikuwa anaongea kama vile mtu anaongeaa na kiongozi wake jeshini vile wanaaanzaga na salamu etyg jambo afande mimi nacheka sina mbavu hata hhhhh 😊, choka mee jamani 🙌 , alimaliza kuongea akanigeukiaa “samahani nitarudi baadae samahani nina kitu urgently jeshini naondoka madam cosmetics, ila nitarudi kuongea kuhusu kila kitu , ila naweza sema asante” aliinuka nakuondoka mimi bado muda huoo nilikuwa napanga vitu bado “okay nimesahau naomba tuwe marafiki tafadhali “ nilitabasamu nilitaka kukataa ila wazo la huyu mdogo wangu mjinga yalinijiaa kichwani nikaona yes hii ndio njiaa y akumpa urafiki ,urafiki baadae napita nae 😄 😉, aliondokaa tayari
Nilimaliza kupanga vitu vyanguu , na hii siku mama sakina alikuja nilimzoea sana huyu mama ananitreat vizuri kama vile rafiki yake na mimi namchukuliaa kama mama yangu vile , ni mtu mzuri sana yaani , ila aliwahi kuondokaa sana ni kana kwamba alikuwa anawahi kitu hivyoo aliondoka zake , nilikaa mwenyew maan duka huwa nafunga saa tatu siwezi kufaunga saa nnne mimi jaman😁 naogopa kukabwa hhhhh 😆😉
Nilishangaa mida ya saa mbili na dakika kama 23 kama sikoseii naona tena gari la yule mkaka Majid, alishuka akanifata tu hakunisalimiaa alianza kuongea
“Nakuombaa sana mdada wa cosmetics, nakuomba sana unisaidiee kwenye hili , kuna party ya kumkalibisha rafiki yangu ametoka honey moon na mke wake hivyoo tafadhari inatakiwa niendee na couple yangu yaani wawili na kesho Clara anaenda USA wazazi wake wamemuita nakuombaa sana tafadhali nisaidiee sina mwingine najuaa imekuwa urgently sana kwangu kukuomba ila nakuomba sana unisaidiee” nilibaki namkodoleaa mimachoo jamani yaani mimi mtu namjua kama mteja wangu iwaje iwe hivi jamani🙌
Episode 05
Aliniomba sana akanibembeleza nikabaki namshangaa tu nikaomba kidogoo nikaongee na simu niliamuaa kumpigia mdogo wangu alikuwa na simu ya magendoo niliongeaa nae mshauri wangu wa hovyoo aliniambiaa nikubali ila nimuulize kuhusu maswala ya nguoo na gaharama ya kila kituu , nilikubali nikamrudiaa sasa ,nikasema nilivyoambiwa na mdogo wangu yaani mimi ni kama kachzi yanai natembelea akili za mdogo wangu 😅😅
Mimi ni mtu mzima maandazi yaani , alikubali kwamba kila kituu atagharamiaa yeye tukabadilishana na namba kabisa , nilikuwa sina wasi wasi kabisa na kuhusus dukani kwasababub kesho ni jumapili huwa hatufunguii hii haikunipa shida kabisa nilikubali kila kitu akanipa na address ya kila kitu sawa nilikubali
Keshoo yake ilifika siku ya mimi kwenda kwenye sherehe kwakweli nisiwe muongoo nilinoga alijuaa kuhakikisha nimewaka hasaa jamni nilipendeza mimi hhhh 🫣😉, tulifika ukumbini tulipanda gari lake ni aina ya BMW, najuaa aina za magari coz nilikuwaga nimezoeaa hili piaa , na mambo ya uzunguni nayajua vizurii yaani kujislay najuaa sana na ninaweza sana sijakaa kam mshamba mshamba nilifika ukumbini kila mtu ananikodoleaa mimacho kama jini maimuna vile 😄 kwa jinsi nilivyowaka 😅, tulifika na tulikaa like couple ya Mr and Mrs tulinoga jamani hhhh ilikuwa pambe sana 👌, tulikuwa tumevaa nguoo za maroon yeye kavaa suti na mimi nimevaa gauni langu la vistone la maroon nilijikuta nammisi hadi baba yangu jaman ,
Ulifika muda wa kucheza jamani , tuliendaa kucheza ila kulikuwaa na mchezo wa vikaratasi hapa , wanaenda couples kuchaguaa watakachokikuta kimeandikwa ndio wanafanya basi ilifika zamu “Mr and Mrs Majid your welcome is your turn” alisema Mc tuliendaa ila jamani tulichokikuta jamani mhhh etty kikaratasi kimeandikwa kiss jamni kumbuka hapo sio wapenzi “jamani Majid unaogopa kumkiss shem mbele yetu unaogoapa nini sasa 😊” alisema yule rafiki yake na huyuu Majid nilijisikiaa kumchukia “ila majid ujue sisi sioo wapenzii kabisa” alinitizama akanambia”haina shida na haina jinsi hapa ni mbele ya watu” uwii nilitoaa machoo mimi hata wanavyokiss sijuii jamni nilichokaa mimi uwiii nilisema leo ntakomaa mimi 🙌 , haikuwa na jinsi zaidi ya kunipa kiss ila aliona hata kurespond siwezi alijua labda ni kwasababu sikuwa tayari na hiloo maan alinipa deep kiss 💋 😘 , nilibaki namtizama tu
Sherehe iliisha alisema ananipeleka kwangu nilikubalii , tukawa tumepandaa gari akawa amenipeleka nyumbani kabisa yaani ila nilikuwa bado sijashuka alinishika mkono wangu “asantee” nilitabasamu nilijikaza kumtizama , hee jamani sijui huyu kijana ni anamizimu etty akasogezaa domo lake jamani mimi akaanza kunipa juice jamani alikuwa ananifakamiaa mimi kama chakula sio kwa hyoo juice alivyokuwa anaikunywaa nilikuwa nahisi mapigo ya moyo yanaenda mbio japo tulipanga na mdogo wangu ila haikuwa rahisi hivii jamani nilijihisi kuishiwa pawa kabisaa akaamuaa kunivuta kabisa karibu yake mwishoo akaniweka chini yeye akawa juu yangu anaendeleea kujipakuliaa juice hata sielewi ni muda gani siti ya gari ililala
Inaendelea…🔥

