KICHECHE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 2
Ndani ya mgahawa huo palikuwepo na wanaume wenye mwonekano wa pesa, ni wababa watu wazima kabisa. Kuna namna nilijisikia raha kitendo kile cha wanawaume japo hawajasema ila nilijua wamenikubali haswa, yaani nimewabamba. Mbaba mmoja aliyekuwa mwenyewe ndio alivunja rekodi, alinitazama na nilihisi tu muhogo wake unataka kuchana chupi. Tulikula na tulipomaliza tuliondoka zetu kuendelea kuzurula.
Kilichonirudisha nyumbani mapema ni simu ya mama, alinitaka niende nyumbani kwani mjomba amekuja. Alikuwa anakaa mbali kidogo hivyo ilinibidi nifike nyumbani mapema. Nilipokuwa nikirudi, njiani nilichati na daktari Salimu akinikumbushia ile mechi fupi ya jana usiku, basi nilimbebisha na kumsifia ana muhogo mzuri na mtamu, basi niwaambie mashoga zangu, mwanaume ukimsifia anasikia raha sana hususani kwenye mambo ya chumbani, yaani unatakiwa umfanye ajione ni bora kwa kila kitu alichonacho, hata kama ana kitambi mwambie kuwa unapenda kitambi na utoe sababu yeyote hata kama ya uwongo ili aamini, utakuwa umemuweza mwanaume wako. Rommy hata hakushtukia mchezo, na hata kama akishtukia, silaha yangu kubwa ni kwamba hakuna mwanaume ninayetoka naye halafu hajui kama nina mume.
.
.
Niliwasili nyumbani na kumkuta mama na mjomba wakiwa sebuleni wanapiaga stori. Nilipojitazama nilijisikia aibu maana yale hayakuwa mavazi ya kuvaa mbele ya mjomba. Nilipitiliza mpaka chumbani haraka huku nikicheka kwa aibu kisha nikachukua khanga na kujifunga. Nilimsalimia mjomba niliporudi sebuleni na kupiga stori mbalimbali, mama akawa anasinzia maana dawa zilikuwa zinamwendesha sana. Ikabidi nimsindikize chumbani kwake akapumzike,
“Kaka jisikie huru, uko na mjomba wako hapa, chochote utakachohitaji mwambie,”
“Sawa dada hakuna shida.” Mama alimweleza hivyo mjomba tukiwa tunaelekea chumbani kwake.
Baada ya kumpumzisha mama, nilirejea sebuleni. Kumbe kitambo mjomba alishaoga na kupata chakula kwahiyo alikuwa akikandamiza juisi kwa kwenda mbele.
“Chochote nitakachohitaji nimwambie mjomba wangu,” alisema hivyo mjomba kwa sauti fulani iliyonifanya nicheke
“Yaani hujaacha tu vituko vyako muone kwanza,”
“Ila mwanangu sasahivi ndio umekuwa mzuri kuliko maelezo,”
“Ahsante mjomba.”
Basi ili tusikae kama wakiwa hapo sebuleni, niliwasha runinga ili muda uende. Labda nikuambie kitu kuhusu huyu mjomba wangu. Alinizidi kwa miaka mitano tu, na ndio mtoto wa mwisho kwenye familia yao kina mama. Yaani bibi bila watu kumsema usikute mpaka leo ningekuwa na mdogo wangu ninayemwita mama mdogo. Kwa jina aliitwa Taraji, wakati nikiwa darasa la tano maisha magumu ya kijijini, wakati huo mama alikuwa anahangaika na maisha kwasababu baba yanguvalifariki kitambo sana na sikufanikiwa kumwona. Nilipelekwa nikaishi kwa bibi yangu na ndio hapo nilipokuwa karibu na mjomba Taraji.
Niseme tu ukweli alikuwa ananipenda sana, mpaka mama na bibi walijua lakini hawakuhisi baya lolote waliamini sisi ni ndugu. Kipindi hiko sikuwa najua chochote kwenye mapenzi kwanza nilikuwa naogopa hasa. Mjomba alikuwa akinibembeleza kula niliposusa, alijitahidi mpaka siku nyingine kuninunulia chipsi kwa siri na zilikuwa zikiuzwa mbali kweli. Zawadi ndogo ndogo aliniletea mpaka kuna siku aliniletea kufuri nzuri hasa na sikuweza kuzikataa, nilifanya siri na kumshukuru mjomba. Yeye alikuwa akifanya vibarua vya hapa na pale
.
ITAENDELEA

