JAMANI TAKO LANGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 21
👉 baba mdogo akahamua sasa kufanya ivi…👇
Kwenda bar kunywa POMBE kutoa mshipa wa aibu aje alianzishe kwa mkewe awezi kuacha kazi kirahisi rahisi kwa sababu ya mapenzi,
Sasa akawa bar anakunywa ndio akamuona jamaa mmoja anakunywa na yeye ikabidi amuombe ushauri akamwelezea mwanzo mwisho,
” Jamaa akamwambia,
” Mwamba wewe mwanaume mwenzangu acha nikwambie ukweli kwanza uliposema uliwakuta zanzibar boss wako na mkeo hapo ujue wewe umezungukwa,
Pili wewe ushajichanganya kwenye kufumaniwa ata ungekuwa wewe ndio boss ungemfukuza mkeo kazi sasa nikwambie kitu wewe akuna ulichopoteza zaidi ya kazi tu,
Unachotaka kwenda kufanya utapoteza kitu kikubwa sana muda na mambo yako kuharibika kwa sababu wewe utawekwa ndani tu uwezi kwenda kufanya fujo OFISINI kwa watu,
Sasa nikushauri rudi nyumbani mkeo akija muonge najua atakuja na swaga la taraka wewe hapo sikushauri utajua mwenyewe,
Ila wewe mwenyewe unayo makosa iweje utembee na mfanyakazi wenu mpaka umpangie chumba.
” Baba mdogo akaona asiende kufanya fujo akanywa POMBE akarudi nyumbani kwake sasa,
Pombe imemshukia chini,
Yani alipomuona dider tu akutaka kufunga mrango wala kwenda nae chumbani hapo hapo ukumbini akamwambia inama unipe vyangu,
Dider anaona uyu ni bwana ake na anamchuna kweli kweli dider amekaa kimasirahi zaidi akainama akamwachia yote yako,
” Baba mdogo akutaka kulemba sasa akatoa mpini wake akamwingiza nao dider kwenye kopo la asari lenye majina mengi ila JINA lake kuu ukisema umetukana,
Basi baba mdogo anamshindua dider kwenye kibompoli chake yani mwanzo mwisho na dider na yeye anatoa uno la paka mremavu yani wanakura raha zao,
Kumbe mama mdogo na yeye anakuja kuchukua taraka yake sasa mrango upo wazi si akaingia alichokiona alishika mikono kichwani yani akuamini macho yake,
Anamuona baba mdogo anamshindua dider kweli kweli uku wao wenyewe awana habari dider anaulilia mpini,
” Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah uwiii tamuuuuuuu Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah Ooooooooooooooooòoooooooooo asante nimwagie ndani my niliumisi kweli mpini wako mtamu penzi kama hili ulinipa zanzibar nakumbuka asante hapo hapo assssss Mmmmmmmm unaweza my mtukane mkeo Basi.
” Jamani baba mdogo linamtoka tusi sasa anamtukana mama mdogo yani ajui mama mdogo yupo nyuma yake yeye baba mdogo limemtoka tusi kubwa yani kamtukana bibi akuna asiyejua lile tusi linatamkwaje kwa tafsida amesema,
” Mke wangu kibompoli la mama yake…
” Wewe wewe mama mdogo amesikia ametukanwa mama yake dah yani…
Sehemu ya 22
Alienda kuchukua chupa ya soda nia ampige nayo baba mdogo kichwani maana amekasirika tusi Zito la mama yake,
Yani bibi yangu,
Sasa bahati nzuri kwa baba mdogo mama mdogo anashika chupa ya soda inateleza inaanguka,
Wao ndio wakastuka baba mdogo akamuwahi mama mdogo asije kumdhuru dider,
Na dider na yeye akutaka kulemba alipoona kimenuka alivaa nguo zake na akaondoka na suruali ya baba mdogo,
Na ndio kulikuwa na pesa ya MALIPO ya baba mdogo yeye dider akasema moyoni mtajuana wenyewe mke na mume,
” Sasa mama mdogo anataka taraka na vitu vya ndani wagawane,
Baba mdogo ana ujanja wa kujitetea akafanya ivyo kweli,
Sasa ndoa ya mama mdogo na baba mdogo ikavunjika rasmi,
Mama mdogo pesa anayo akaenda kumpa vitu rafiki yake vee akamwambia,
” Tumia au uza mimi sitaki kuwa na kumbukumbu mbaya kwenye maisha yangu yani yule mwanaume nimemchukia Sana kumbe mchafu ivi.
” Yani hapa ndio usemi wa waswahiri unatimia nyani alioni bulawayo yake,
Sasa vee akaona afadhari tena ana vikoba vinamchanganya akili akachukua vitu akauza,
Uku moyoni anasema vita ya pazi furaha kwa kunguru,
Sasa mambo yakaenda ivyo upande wao mama mdogo akaenda kujikabizi kwa boss mazima akawekwa hotelini analala hotelini anaenda kazini.
” Sasa upande wa baba akakutana na mkatili na mkatili ndio anamchochea baba avuruge ndoa yangu hili rafiki yake anichukue mimi,
Na baba akawa ashajazwa maneno na mkatili na yeye alikuwa kashapanga kwenda kumwambia mama aje anichukue mwanawe na mama anahusika kwenye uzimaji wa simu yangu na mama mdogo,
Baba alipofika kwa mama akutaka kungojea kuulizwa za uko yeye alianza moja kwa moja,
” Wewe mke wangu unaniona mimi mjinga sana si ndio umewaambia wazime simu hili nisifanikishe lengo langu sasa nasema ivi toka ndani kanifatie mwanangu kwa mumewe uyo ndoa Basi anakuja kuolewa uku.
” Sasa mama kabla ajajibu akatokea mzee mmoja anaitwa mzee makame akasema,
” Baba safi unakosea sana tena sana,
Wewe nimekusikia pale unaongea na mkatili mimi nakwambia ukweli adui wa mtu ni mtu wake wa karibu yani mkatili ni adui kwako anataka uonekane kituko kwenye huu mji na tena uonekane baba usiye jitambua,
Aiwezekani umbo la mwanao liwe kigezo cha maari kubwa au kumuuza kama ivyo unavyotaka,
Wewe unajua wanawake wote wapo sawa kwa Mwenyezi Mungu wewe sasa unataka kuweka matabaka na si akili zako unadhani mkatili anapotaja nyama za nyongeza za mtoto wako kwa lugha kabisa ambayo si ya stara ni matusi anakutukana mimi nakushauri achana na ilo wazo muache safi atulie kwenye ndoa yake,
Usitake safi awe kama mgomba wa ndizi uzazi unamponza yani mgomba ukizaa tu ndizi zikikomaa unakatwa,
Sasa na safi yasiwe nyama za nyongeza zinamponza nimemaliza.
” Mama alijua mzee makame anazungumzia matuta yangu ndio yananiponza,
Baba akasema,
” Wewe mzee makame nenda na safari yako mimi nasema ivi mwanangu awezi kuolewa kwa style hile nataka nimpe mwenye pesa zake.
” Sasa mama hapo amekaa kimya mara baba anapigiwa simu na mkatili anaambiwa,
” Baba safi anapokaa mwanao nishapajua Kuna mtu amemuona sasa twende bara ukafanye uliyokusudia twende baba safi pesa IPO kwenye mfuko wa shati anasubiriwa safi tu afike kwenye hapa zanzibar.
” Baba Jamani akutaka ata kuingia ndani akasema acha niende kumbe dunia kijiji sasa safi kwake kushajulikana naenda kumchukua.
” Jamani mama anachanganyikiwa simu yangu aipatikani na baba ndio anakuja kunichukua,
” Mimi mwenyewe sina hili wala lile nipo kwangu nasikiliza redio Leo tunapewa somo la kitandani kupitia redio somo ni hili..
” Wadada mpoo?
Wanaume wanapenda vyakula vya aina mbili.
1 Chakula cha chumbani.
2. Chakula cha jikoni
Usimnyime mumeo chakula chochote kati ya hivyo eti sababu tu mmegombana ama umedai kitu hakukupatia.
Usigeuze kuwa ni fimbo ya kumchapia wala kitanda kisiwe mahakama.
Tabasamu linamaliza mizozo na migogoro acha kununa nuna ongea ili kuweka mambo sawa.
Maliza migogoro yako tatua kesi zako acha kupeleka nyumbani kesi ndogo ndogo litapokua kubwa limekushinda tu ndio peleka nyumbani na anza kwa wazazi wake.
” Basi mimi nacheka peke yangu uku nafundwa kupitia redio,
Usingizi ukanichukua kidogo nastushwa na hodi sasa nikadhani mume wangu karudi kazini naenda kufungua mrango nakutana na baba yupo na mkatili,
” Baba anasema,
Safi kama mimi ni baba yako chukua begi twende ZANZIBAR Leo hii na saa hii.
” Nikamuuliza,
Baba mbona utaki salamu na vile vile mimi ni mke wa mtu siwezi kwenda kwa style iyo.
” Baba akaongea kwa ukari,
” Wewe mke wa nani?
Nasema ivi sitaki makubwa twende zanzibar saa hii nimemaliza kusema kifatacho matendo wewe kunyanyua mguu wako sasa.
” Yani baba ananichanganya hapa sasa najiuliza nimwambieje uyu au nifanyaje dah yani…
Sehemu ya 23
Nikameza mate ya akili nikaingia ndani nikamtumia sms mume wangu kuwa kuna tatizo kidogo nyumbani ZANZIBAR naenda fasta narudi asiwe na wasiwasi,
Na mume wangu ni Mzungu wa roho alituma pesa tu ya nauri uku akisema fanya fasta uende,
Nia yangu nisiwape faida wapangaji wenzangu pale nikaondoka na baba uku nimemwandikia sms mama kuwa nakuja ZANZIBAR Leo baba ndio atanipa ladhi siwezi kupelekeshwa na tamaa zake za kuniuza,
Mama akunijibu kitu kumbe alienda bandarini kutusubiri,
Bahati nzuri mama yupo bandarini pale anakuta wamama wanamzungumzia yule mwanaume mwenye pesa zake vibaya yani alikuwa yupo na yeye pale na gali lake ananisubili,
Mama mmoja akamuonyesha kidole yule kijana na kusema,
” Unamuona yule kijana anatumia pesa zake vibaya kuharibu wanawake wenye maumbo makubwa yani ni mshenzi wa tabia yule kuna dada mmoja mpaka Leo kamuaribu mgongo na kamuacha kwa wazazi wake sasa ivi anatafuta mwanamke mwengine na dalali wake ni mkatili yani kijana mmoja anaitwa mkatili yeye kazi yake ni kutafuta wanawake wenye maumbo makubwa tu mshenzi uyu mwangarie kama mtu kweli vile.
” Mama alisikia kwa masikio yake akasema moyoni aiwezekani mwanangu akaharibiwe mgongo kumbe kuna watu washenzi duniani kama hawa na uyu mkatili ni mtu mbaya sana kumbe anajua anachofanya sasa acha mwanangu afike nilianzishe hapa hapa tena uyu mama atakuwa msaada wangu,
Mama akamwita yule mama aliyekuwa anatoa taharifa ile pembeni akamwelezea mambo yangu mwanzo mwisho yule mama akasema,
” Shoga nipo tayari kukusaidia yule si mwanaume tena kwa ushahidi kamiri acha nimpigie yule mwanamke aliyeharibiwa mgongo kwa sababu amepanga kumshitaki mshenzi uyu alikuwa anamlazimisha kunywa POMBE na akawa anampitia kinyume na maumbile kamwaribu kamtupa kwa wazazi wake,
Tena kwa maneno ya kashfa kamwambia wazazi wako nimewapa pesa nyingi sana waambie wakutibie,
Acha nimwambie na simu hapa.
” Kweli yule mama alimpigia uyo mwanamke aliyetendwa ivyo na uyo mwanamke akasema,
Nakuja hapo hapo kumwaribia na kumuokoa uyo dada uyo si mwanaume na uyo baba yake asimfatishe mkatili wote ni washenzi wa tabia hao mkatili ni adui namba mbili akitoka uyo mwanaume ni namba moja nakuja.
” Sasa bandarini tunasubiriwa na mama kashapata kampani ya ukombozi Sisi tupo kwenye mell baba anamwambia mkatili,
” Unajua mzee makame akili ana anasema eti adui yangu ni wewe ivi akili anayo kweli wewe unapambania kumuweka mwanangu kwenye maisha Bora hahahahahaha kuna wazee wanazeeka vibaya.
” Mkatili akasema,
Yule ana mtoto mwenye matuta makubwa ndio shida yake watoto wake wamemlithi yeye wote wana matuta kama ndimu ya shilingi tano nani awatake wale sasa wale ndio wa laki tatu tatu yani kama nyanya ni masaro hahahahahaha.
” Yani wenyewe wanaongea wanagongeana tano uku tunakaribia kufika bandarini,
Jamani muda kidogo tukafika bandarini tukashuka baba ananirinda nisije toroka,
Sasa ile nashuka kwenye mell naona yule kijana ananikimbilia aniwao mimi yani anajizima data anahisi mimi ni mkewe au mwanamke wake,
Sasa aliponikaribia uku ametanua mikono yake yani anasema,
” Wao my wangu kipenzi changu.
” Aliponikaribia tu nikamuweka kibao kimoja tu cha shavuni uku namwambia,
” Unikome kuniwao mke wa mtu mimi.
” Baba aligeuka kwa asira kama zote yani anataka kunipiga sijui au anataka kunitukana sasa akanisogerea na yeye anasema,
” Mkumbatie mumeo.
” Jamani asira si kitu kizuri nasikia sauti ya mama ikiwa na asira kama zote inasema,
” Kama kukumbatia kuzuri kumbatianeni wenyewe muache mwanangu sitaki aguswe kabisa na uyu kijana mjaa lana..
” Jamani baba akamgeukia mama ajajari yupo kwenye kundi la watu alimkunja mama nia ampige wewe wewe,
Kilichotokea hapo dah yani…
Sehemu ya 24
Alitokea yule mwanamke wa yule kijana akamzuia baba na uku anasema,
” Wewe mzee usiwe kama baba yangu Leo anajuta kwanini aliniodhesha kwa uyu mwanaharamu wewe unamjua uyu na uyu mkatili ni mshenzi tu tena kaa mbari wewe mkatili..
” Baba akawa amepigwa na butwaa kuona yule mwanamke ana mzigo mkubwa kama wangu arafu anasema ayo maneno,
Sasa baba wakati anashangaa anaona kijana na mkatili wanaingia kwenye gali wanaondoka zao,
” Yule mwanamke akuona aibu alimwambia baba ukweli wote wa yule kijana na mkatili ni mshenga wa ushenzi ni dalali,
Baba akabaki hoi akawa nusu anaaamini nusu aamini,
Sasa baba akasema,
” Mke wangu nisamehe twende nyumbani tukaonge aya mambo vizuri.
” Sasa yule mama aliyemwita yule msichana akasema,
” Mzee wangu usije ukamuodhesha yule kijana mke si mwanaume yule.
” Baba na mama na mimi tukaondoka tulipanda bajaji sasa tunapita uwanjani tunaona njia imezibwa na watu wengi kumbe mchungaji mmoja alikuwa anatoa somo,
Sasa lile somo kama la mzee makame alipomwambia baba adui ni mtu wako wa karibu,
Yani yule deleva wa bajaji alisimama pale na baba akawa anasikiliza somo likawa linamgusa japo mchungaji ajui kuna watu unawafika ujumbe moja kwa moja,
Mchungaji alitoa somo hili..
” ADUI WA MTU NI WATU WA NYUMBANI KWAKE AU WA KARIBU SANA NA YEYE.
Kwa maana mwana humwaibisha babaye, na binti huondoka ashindane na mamaye; na mwanamke aliyeolewa hushindana na mavyaaye; ADUI ZA MTU NI WATU WA NYUMBANI MWAKE MWENYEWE……
Mika 7:6
Neno la Mungu linatufundisha kuwa
“Adui yako ni mtu wako wa karibu”
Wanaosababisha tuwe jinsi tulivyo leo, Sio watu wa mbali Bali ni watu ambao tuliwaamini….. Tukawaeleza matatizo yetu, mipango yetu, malengo yetu na maono yetu……. Baada ya Kujua UDHAIFU WETU wakautumia kutuangamiza.
Samsoni alisalitiwa na mtu wake wa karibu…..
Yesu aliuliwa Kwanza na Yuda Iskariote kabla ya kusulubiwa na alikuwa mtu wake wa karibu,
Angalia, Nani alimuua Habili? Utagundua ni Kaka yake Kaini,
UKITAKA KUELEWA VIZURIII
Waulize watu ambao mwanzo walikuwa wamepiga hatua kimaisha… Halafu leo wapo chini.
Waulize shida Nini?
UTASIKIA (ndugu yangu fulani) AMESABABISHA HAYA,
MY TAKE.
Ishi na watu kwa akili sana….. Leo ni wema kesho Ni wabaya……
Ndani ya kila mwanadamu Kuna wivu…. Mtu huyo akikosa Tunda la KIASI….kukusaliti ni rahisi zaidi….
Usiwaambie watu Your Next Move labda awe moja ya watu wanaohusika….. Mtu wa nje muache aone matokeo yako…..
Yusufu Kidogo afe….. Kisa alitoa Siri ya maisha yake ya baadae…..
KILA MWANADAMU NI MBINAFSI labda ambaye Kazaliwa Mara ya pili na Roho Mtakatifu,
Ukitaka kujua, Embu chukulia mmepiga picha wengi halafu picha imesafishwa,
Je, utaanza kumuangalia Nani Kwenye picha hiyo?
UKWELI UTAKUWA WEWE MWENYEWE na Ukiwa umetoka vibaya unaweza kuichana na kuifuta Kama ipo Kwenye simu,
HII INAONESHA KUWA …..Tunakundi kubwa la watu ambalo halifurahiii MAFANIKIO YETU…..
USIMUAMINI MTU KUPITILIZA, watu wanabadilika…..
USIMTUMAINI mwanadamu, Mtumaini MUNGU pekee.
” Jamani lile somo lilimgusa baba akaguna tu na safari ikaendelea ya kwenda nyumbani.
” Sasa upande wa mama mdogo baada kuacha na baba mdogo akawa anajiachia OFISINI kila mmoja akajua boss ni mwanaume wake kumbe boss anaye mkewe wambea wakaenda kumpa taharifa mkewe,
Na mama mdogo akawa ni mjamzito analeta mapozi kwa bwana ake,
Wapo OFISINI mama mdogo anamwambia mwanaume wake,
” Nikate kucha za mkono wa kushoto hili nikichamba nisije nikajikwangua kibompoli njia ya mwanao ikawa na vidonda si unajua mwanao anatokea hapa.
” Sasa anajitanua kimadeko na mke wa mwanaume wake anaingia OFISINI amesikia maneno yote sasa anafungua mrango anakuta mama mdogo kajitanua tanuu na mwanaume wake anashika mashavu ya kibompoli uku anasema,
” My unatumbua kubwa si mchezo mwanangu anatoka pazuri,
” Sasa mke wa boss yule anaona kwa macho yake si kuadisiwa tena alichokifanya kwanza alipiga meza na chupa ya konyagi paaaaa.
” Walistuka wote mama mdogo na bwana ake wamepigwa na butwaa mama mdogo ajui bwana ake kuwa anaye mke kwaiyo ajui kitu anamwambia bwana ake,
” My uyu ni nani tena,
” Duuu mke mtu amesikia mumewe anaitwa my,
Dah yani alichukua ile chupa akawa anampelekea mama mdogo usoni nia amkite nayo ya uso…
Sehemu ya 25
Bahati mzuri mlinzi wa OFISINI aliingia ndani ya OFISI na akamzuia mke wa boss asifanye vile,
” Uku anamsii,
” Acha utakuja kuuwa asira asara acha.
” Mke wa boss akaanza kusema,
” Wewe mume wangu hii ndio asante yako kwa baba yangu nakuuliza hii ndio asante yako baba kakuachia kiwanda mkwewe Leo unanisariti kwenye kiwanda cha baba yangu wewe nakuuliza wewe nijibu?.
” Mama mdogo yamemtoka macho anashangaa bwana ake anapiga magoti kwa mkewe uku anasema,
” Nisamehe mke wangu shetani tu kanipitia NISAMEHE mke wangu.
” Sasa mama mdogo anaona ajabu na kweli mlinzi yule yule aliyemtoa baba mdogo nje na ndio uyo uyo anapewa amri na mke wa boss yani mke wa bwana ake atolewe nje ya ofisi na mlinzi anatii amri.
” Sasa mama mdogo anavutwa na mlinzi nje uku yule mke anasema maneno,
” Ivi wewe umekosa wanaume uko mpaka uje utembee na mume wangu yani umeshindwa kufanya kilichokuleta nakuonea huruma ila ondoka sasa ivi nisije pata zambi ya kukumaliza na kiumbe kisicho na atia.
” Mama mdogo anaondoka uku kavurugwa mpaka kwa shoga yake vee ambaye alimpa vitu akauze akuamini macho yake vee alimbadirikia mama mdogo akamwambia,
” Wewe auna akili wenzio wanafanya ayo ila awadharau ndoa yamekukuta umemfukuza kazi mumeo na wewe umetimuliwa sasa kaa ukijua mwanaume anao uwezo wa kwenda sokoni kubeba mizigo wewe sijui utaenda wapi naomba uondoke tu hapa kwangu isije onekana mimi msagaji bure WASEME nimekuachisha kwa mumeo hili uwe wangu nenda nenda njia nyeupe.
” Mama mdogo anaria anasema vee wewe rafiki yangu sasa mimi nitaenda wapi?.
” Vee akamwambia,
Ujatoka juu ya mti wewe nenda kwa mama yako ukakae uko ule miogo na uji mji umekushinda huu hehehehe umaraya sio mari.
” Sasa mama mdogo anaona mjini sio kuzuri anarudi mwenyewe kwa bibi na bibi mwenyewe ni mgonjwa gonjwa akaenda kijijini uko,
Sasa uko akakutana na dider na dider aliondoka na pesa za baba mdogo akawa yeye ndio boss kijijini kule,
Mama mdogo akaona isiwe tabu alijirudisha nyuma akamuomba msamaha dider,
Yani shida aina adabu mama mdogo akumkosea dider ila kwa sababu ya shida akaomba msamaha hili apate kazi kwa dider apate pesa imsaidie kwenye uzazi wake.
” Dider alimwambia,
” Utakuwa unasimamia vibarua wangu wa kilimo na uturie kama namba moja ya mjini yabaki mjini sawa.
” Mama mdogo akasema sawa.
” Sasa mama mdogo akawa mfanyakazi wa dider,
Kumbe kwenye kuangaika angaika Aisha na yeye kaenda kijijini na kijiji ndio kile kile na mimba yake akaenda kuomba kazi kwa dider,
Sasa dider akamwambia,
” Nenda pale kwa yule dada mwambie akupangie kazi ya kufanya,
” Aisha alikuwa ajamjua ni nani yule anayemfata kwa sababu alimpa kisogo alipofika akamwita,
” Dada dada..
” Mama mdogo anageuka wanakutana USO kwa USO na aisha,
Aisha akastuka yani aliona aliyemkimbia amekutana nae Aisha ajui kitu mama mdogo ana uwezo tena wa lolote yeye akapiga magoti uku mkojo unamtoka anaomba samahani kwa mama mdogo,
” Sasa kojo la Aisha limemwagika chini linaenda walipoanika makopa.
Kwa wale wasiojua makopa ni nini ni miogo iliyoanikwa kwa ajiri ya maandalizi ya kutwanga utoke unga hili usongwe ugali wa muhogo,
Sasa dider anasema kwa ukali,
” Wewe unayepiga magoti mpaka unajikojorea kwanini unafanya ivyo?
” Aisha sasa ikabidi afunguke ukweli wote akaanza kusema…
Sehemu ya 26
Mimi ni mkosefu nimemkosea uyu dada nimetembea na mumewe….
” Sasa dider akasema,
Inatosha ya mjini yabaki mjini wewe fanya kazi ayo mengine achana nayo ata mimi nimetembea na uyo uyo mumewe ila tumesema tuyaache.
” Sasa walikubariana kuyaacha uku kwenye mioyo yao wapo na aibu kubwa kila mmoja ana mabaya yake ila kila mmoja alisema siwezi rudia ujinga tena niliofanya.
” Upande wa baba mdogo anafanya kazi ya kuuza maji kwenye mkokoteni yani maisha yake yameharibiwa na umaraya.
” Sasa upande wetu tunafika nyumbani tu wazazi wa yule mwanamke aliyetumika vibaya kwa makosa ya wazazi wake walikuja kumwambia baba asije akafanya kama walivyofanya wao…
Walimuadisia mwanzo mwisho,
” Baba akasema,
” Jamani mimi nimewaelewa vizuri sana ata mzee makame alisema adui wa mtu ni mtu wake wa Karibu sasa nimekubari uo usemi ata mchungaji mmoja alisema pale uwanjani somo zuri sana limenifungua kichwa nasema kutoka moyoni nimemkosea mke wangu na nimemkosea mwanangu,
Umbo lake lisiwe chanzo cha matatizo kwenye maisha yake naomba tu mwanangu arudi kwenye ndoa yake na mkatili kuanzia Leo sitaki akanyage hapa si mtu mzuri kwa mwanangu mshenzi mkubwa sana yule.
” Moyoni nilisema,
Asante Mungu kwa kunipitisha kwenye hili jaribio na nikawa nasema mama aliamua kusema ya ndani aya akapata jawabu kama angekaa nalo lingekuwa kubwa kwangu kumbe baya linapaswa lisemwe,
Sasa mzee makame mara kaja na baba alimuomba msamaha na mzee makame akasema maneno aya,
” Wazazi Sisi ususani wanaume baazi yetu tunapeleka matatizo kwa watoto wetu wa kike Kwenye vitabu avikuandikwa mwanamke aolewe kwa sababu ya umbo lake,
Ata Waswahili wanasema uzuri wa mwanamke ni tabia sio urembo,
Kuna baazi ya wazazi wanataka maari kubwa ya mwanawe kwa sababu analo umbo kubwa,
Na wengine ukatisha ata ndoa zao kwa sababu katokea mwenye pesa nyumbani kwao,
Mfano wewe baba safi kama ungekatisha hii ndoa ungekuja kujuta sana mimi naomba tusimame imara kumtangaza mkatili na uyu jamaa ni washenzi kwa watoto wetu wa kike ususani wenye maumbo makubwa,
Uyu kijana ana yake anayotaka kufanya sisemi sana ila rengo tuwasaidie wengine uyu kijana afai wapo wengi wenye tabia iyo ila Sisi tuanze na uyu tunayemuona.
” Jamani wazee wale walikubariana kumuweka adhalani yule kijana na mkatili juu ya tabia zao.
” Mimi nilirudi bara uku nyuma nimeacha songombingo iyo nasema moyoni Jamani tako langu,
Limeleta matatizo sana na kuna baazi wenye tako kama hili utumia vibaya umbo lake inakuwa ndio sehemu ya biashara yake,
Nakusihi acha ata wale wenye tabia za kuwapa wanaume tako waache si vizuri kabisa aipendezi kwa Mungu wala kibinadamu….
Sasa mimi nimerudi kwa mume wangu na upendo wangu kama wote kwake upande wa ZANZIBAR uko mkatili na mwenzie wamekimbia kwa aibu awafai kukaa kwenye jamii,
Jamani kufikia hapo ndio mwisho wa simulizi yangu mimi safi shamsi mtaani wananiita jimama kwa sababu ya matuta yangu,
Ila natumia njia kuu…
Nakusihi usiwe kama mama mdogo au dider au Aisha au baba mdogo siwezi sema sana maisha yao yamekuwa mabaya kwa sababu ya umaraya na wewe kama una tabia kama izo naomba uache..
Mwisho

