JAMANI TAKO LANGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 16
👉 Jamani baba mdogo akachunguria sasa dirishani akaona jamaa anapeleka mdomo kwa mama mdogo na mama mdogo anapeleka mdomo kwa jamaa nia wakutane kati wabusiane au wabadirishane mate,
Dah yani…👇
Baba mdogo asira zikampanda sana akawa anaangaria uku anasema moyoni wakibusiana kweli hapa kutanuka,
Sasa anashangaa mama mdogo anampa kibao yule jamaa na kumwambia,
” Wewe unadhani kila mtu anapaswa kutongozwa tu si ndio ukome mshenzi wewe na ukirudia nakufuta kazi.
” Sasa jamaa akaomba samahani,
Sasa baba mdogo nusu acheke ila akajikaza akatoka dirishani akaenda kukaa kwa wenzie jamaa katoka OFISINI anaanza kuwapiga uongo wenzie,
” Oya ameniambia atanipa jibu saizi muda wa kazi awezi kunipa jibu ila dem yule mimi namng’oa nyinyi mtaona tu.
” Sasa baba mdogo kusema uyo muongo awezi akanyamaza kimya,
Sasa wakati mama mdogo anaondoka akamwita yule jamaa akamuonyesha kidole na kumwambia,
” Wewe usije ukarudia tena ujinga wako.
” Sasa jamaa akaenda kuwaongopea wenzie Oya ameniambia asije akajua mtu sasa washikaji hili liishie hapa hapa.
” Wote waliamini kweli kumbe anawapiga uongo,
Sasa baba mdogo nafasi ya kwenda ata kwa asha ambaye amempangia chumba ana akirudi kachoka yani ata dider amnyandui wala mama mdogo amnyandui,
Sasa mama mdogo aliporudi,
Baba mdogo anamwambia mama mdogo,
” Mke wangu kesho nipangie kwenye wepesi kidogo unajua nachoka sana.
” Mama mdogo anasema,
Nikikupangia kwenye wepesi watu watastuka wewe ni mume wangu wewe vumilia tu.
” baba mdogo anaona hii Kari ikabidi ana la kusema analala mzungu wa nne.
” Upande wangu mimi sasa baba mkwe akaendelea na Visa vyake akaniambia,
” Wewe mke wa mwanangu unao upendeleo mbona unamuwekea mama yako mkwe maji ya kuoga mimi uniwekei?.
” Nikaona kweli hapa nakosea nakuwa napendelea upande mmoja ila nikifikiria kwenye busara naona si vizuri mimi kumuwekea baba mkwe maji ila nikasema kibompoli waswahiri wanasema funika kikombe mwanaharamu apite acha nimuweke maji tu.
” Nikampelekea maji akaenda kuoga sasa usiku mama mkwe kaenda kulala chumbani kwake mimi nikawa natoa toa vyombo mezani tulivyokulia nia nikaviweke sehemu inayopaswa kukaa vyombo vichafu,
Si ndio baba mkwe naona kaja na domo lake limejaa ananiambia,
” Ivi mwanangu wewe uogopi wachawi?.
” Nikamwambia,
Wachawi kivipi?.
” Akaniambia,
Wachawi wanakubeba wewe na kukupeleka nje mimi mkubwa nimejua ilo mapema inabidi upate kinga wewe.
” Sasa nikawaza au ndio maana mrango nilikuta wazi asubui itakuwa kweli wachawi walinibeba nini nikaingia uoga Nikamwambia baba mkwe,
” Kama unaweza kunipa kinga nipe mimi sitaki mambo ayo ya wachawi.
” Baba mkwe akaona sasa ndio nafasi akaniambia ingia chumbani kwako arafu urudi kinyume nyume kama wachawi wanavyorudi ila usistuke chochote utaharibu kinga mimi nitakuwa nyuma yako.
” Jamani mimi najua wazee hawa wanajua kinga sana si nikakubari akaanza yeye kuingia ndani sasa na mimi nikawa naingia kinyume nyume,
Jamani naona nashikwa matako yangu na baba mkwe nikikumbuka amesema nisistuke si nikawa navumiria kushikwa hili nipate kinga,
Jamani baba mkwe ananikudua sketi yangu,
Wewe wewe nashangaa anashika mapaja yangu nikawa nasema kimoyoni hii mikono inapoelekea sipo na kweli baba mkwe mikono yake aishushi kwa chini anaipandisha kwa juu nia aniguse matako yangu nyama kwa nyama,
Dah yani…
Sehemu ya 17
Nikasema hapa akuna cha kinga kinachoendelea uyu mzee ananitaka sasa si kitu kizuri mimi kutembea na baba mkwe,
Nikaenda kwa mbele yani nimepiga atua kwenda kwa mbele kujinasua kwenye mikono yake uku namwambia,
” Baba mkwe Basi kama kinga yenyewe ndio iyo acha nikeshe usiku nasikiliza redio kesho naenda kwenye dua sitaki kinga ya style iyo wewe sawa na baba yangu mzazi siwezi kujidharirisha mimi.
” Baba mkwe akikumbuka kibao kimemvimbisha mdomo anashindwa sasa kutumia nguvu yani nimemuona kabisa mbeleni kasimamisha mpini wake akili yake ilikuwa ni kuninyandua tu ana lolote,
Mwenyewe akatoka nje ya chumba uku anasema,
” Kama utaki Basi acha ufe wachawi wanaua watu wanene tu na huu mwanzo wa mwaka nia nikuwala tu nyinyi watu wanene.
” Mimi moyoni nasema uyu ana lolote ananitisha tisha nione uoga nikubari ujinga wake,
Basi alipotoka nikawasha redio nia nisikilize mawaidha mpaka asubui niende kuombewa dua ya kinga ya watu wabaya,
Basi kwenye redio kulikuwa na mawaidha aya…
” Naam vipenzi Wangu Wekend tulivu ukiwa na familia yko mnapeana nasaha mbali mbali na ushauri huku chai ya iliki kwa mbali hivi vtu vinafanyika siku hizi?
Aya kama avifanyiki wewe mwanamke uliye kwenye ndoa nisikilize sasa,
Mke kumsinga mumeo mkasingana nyote ndo wako ayuni Wa ubani anaekupa burudani tena chumbani mthamini mliwaze mmbembeleze ya kwako umwambie na yake akueleze ndoa yataka ubunifu na utundu siku zote badilika uwe mpya uone ladha ya ndoa yako mdhibiti mumeo usipigwe bao nje mtoto Wa kike sio kujiweka machafu rafu rafu mwanamke usafi unukie chumbani kunukie aliud na manukato ujipake umfanye mumeo awe na raha ya kushinda na ww asijutie kukuchagua muonyesho mahaba mvalie nguo fupi na ndefu nyepes na nzito ndo wako huyo ruksa kumvalia,
Kaa nae chini mueleze yako yanayokuudhi kwa hikma na busara nidhamu na unyenyekevu atakuelewa na kubadilika kauli ndo ngao yenu mapenzi hayahitaji ubabe hata siku moja na hakuna ndoa isiyokosa mitihan sababu kila mtihani tumeumbiwa ss wanadamu popote pale tulipo yatatufika mengi lkn njia bora ni kushukuru tu na kutumia busara na hekma kupata ufumbuzi Wa kulitatua Yale yatakaejitokeza ucha Mungu ndo ukuta Wa ndoa ZETU,
IBILIS hapiti ikiwa ndoa zetu kuna ucha Mungu ndani Yke mazuri tukaombeana kushauriana mambo ya kher penye kher kuelekezana mabaya kukatazana na kujipamba na tabia njema tukapata kufaulu ndoa ina raha yake na karaha utake ww tu pale unapokuwa kukosa njia iliyo sahihi ukaanza kufanya machafu nje kuna watu wanakila kitu lkn hawapati muda Wa kukaa na wenziwao amani hutoeka wana magari majumba Mali lkn utulivu unakosekana mume hana muda Wa kukaa na familia Yke kujua nn kinawasibu na Mke anakosa haki Yke ya msingi tna iliyomleta kwa mumewe,
Mke ataka aridhishwe ktk tendo LA ndoa ni haki yake na tatizo hili ndoa nyingi huvunjika kwa sababu kukosekana tendo hili sababu tendo hili ndo imebeba muhimili mzima Wa ndoa yenyewe ikikosekana tendo hili kwa Mke na mume ndoa hyo hutetereka kukosa utulivu Wa nafsi Mke na mume yapaswaa kila mmoja afurahie tendo hilo tna kwa kuridhishana sio mmoja aridhike hapana itakuwa dhulma kubwa mno ndani Yke hyo ni stara kwenu nyote kiu zenu nani azikate km sio Nyinyi wanandoa wenywe lkn ndoa za sasa ni fashion imekuwa na sio stara tena kila mmoja abadilike aone ladha ya ndoa Yke msiishi kwa mazoea mnavumiliana kisa mmezaaa MNA watoto kwann muishi kwa mazoea mapenzi yasipote kwenu mpendane muheshimiane mvumiliane na kuhurumiana na mengi ya kuongea sitomaliza na Leo,
Nawatakia wanandoa wote barka na aman na vizazi vyema awajalie subra na maelewano mpendane kililahi na waliyo bado Allah awajalie waume Wa kher na wake wema nasi atujalie wake wema tukamilishe dini yetu Allah atuhifadhi sote Ammyn”)
” Jamani nilisikia raha sana kusikiliza mawaidha uku nasema kimoyoni akirudi mume wangu nitamsinga,
Basi ilifika asubui mimi nikamchukua mama mkwe wangu nikaenda nae kwenye dua sasa mimi nia yangu ni kupata dua ya kinga kumbe Mungu ana kusudio lake naenda kumtibu mama mkwe uchizi wake wa kurogwa,
Jamani nilipofika kwenye dua shekhe alisoma dua mpaka mama mkwe anatapika uchawi aliorishwa unaomfanya awe ajitambui,
Sasa na mume wangu anarudi namuelekeza nipo kwenye dua anakuja anaona mama yake anatapika kweli kweli,
Jamani uwezo Wa Mungu ni mkubwa mama mkwe akarudi kuwa sawa,
Anajitambua na akamjua mwanawe,
Jamani alimkumbatia kwa furaha na kuanza Kulia maana sasa ufahamu ushamjia vizuri,
Alinishukuru mimi pamoja na shekhe sasa tumerudi nyumbani,
Mama mkwe akamuomba msamaha baba mkwe na baba mkwe kuona mkewe wa zamani afya ya akili imerudi alienda kumpima akamkuta yupo sawa,
Basi baba mkwe akachukua uhamuzi wa kumrudia mkewe,
Na Sisi sasa ndio tukaondoka zetu kwenye chumba cha mume wangu,
Ndio siku yangu ya kwanza nampa tunda mume wangu Jamani nilikuwa nina hamu nayo si mchezo sikutaka kulemba nikaenda kuoga niwe msafi kama kwenye mawaidha walivyosema mwanamke usafi,
Sasa mume wangu na yeye akutaka aninyandue kwenye chumba chake akaniambia twende hotelini,
Jamani nilisikia raha sana kwenda hotelini na moyoni nikasema uko kazi kazi akuna kulala,
Yani tulifika hotelini mtoto wa kike mimi nikajitupa kitandani puu kama mzigo nipo tayari kwa mapambano,
Mume wangu akaja na yeye kitandani kwa mara ya kwanza ananiletea mdomo na mimi nikamsogezea mdomo tukaanza kubadirishana mate taratibu uku kila mmoja anampapasa mwenzie yani sio mchezo mapenzi matamu nyinyi,
Mume wangu akanivua nguo zote nikabaki mtupu mimi sasa nimelala chari nimetanua miguu manuu,
Dah yani…
Sehemu ya 18
Mume wangu akaanza kuniminya minya mapaja yangu kwa viganja vyake mimi nasikia raha tu mpapaso wake kwangu,
Uku ananiambia,
” Mke wangu nakupenda sana nilikuwahidi sitotembea na wewe kimapenzi mpaka uwe mke wangu nadhani ahadi yangu nimetimiza kwako.
” Jamani mimi nasikia utamu tu anavyonifanyia nikawa namjibu uku pumzi juu juu inanitoka si kwa utamu ninaosikia wa mpapaso,
Jamani mume wangu kumbe fundi sio mwanaume mwenye mipaka kwenye mapenzi,
Jamani aliniletea ulimi kwenye shavu langu moja la kibompoli yani analamba shavu la Kulia uku dole gumba lake kaweka juu ya gear yangu,
Sasa ananisugua gear kwa style ya kuibonyeza bonyeza kama deleva anapiga honi,
Jamani nasikia utamu mimi nazidi kumtanuria miguu mume wangu anicheze anavyotaka,
Uku nawaza mume wangu anaona gear yangu kama honi ya gali la kazini kwake nini,
Wakati nawaza mume wangu akanipekechua mashavu yangu ya kibompoli Jamani Jamani akaniweka ulimi kwenye wekundu wangu wa ndani,
Akawa ananilamba uku anapekechua mashavu yangu ya kibompoli,
Nasikia raha kweli kweli mimi mwenyewe nakata uno uku natoa mguno mdogo mdogo,
” Uwii Uwii nasikia utamu mume wangu hapo hapo.
” Jamani nilivyomwambia ivyo naona ametoa ulimi kwenye kibompoli akaleta kwa juu yani anasugua gear sasa kwa ulimi,
Uku kwenye kibompoli akaniweka dole sasa anazungusha dole mdogo mdogo kwenye kuta zangu za kibompoli,
Uku ananizungushia ulimi kwenye gear mimi mwenyewe naomba mpini sio kwa kupandishwa hamu uku namwambia,
” Mume wangu naomba uninyandue nasikia hamu ya kunyanduliwa naomba uninyandue mume wangu nakuomba.
” Jamani naomba mpaka natoka machozi yani kweli hamu imenipanda kweli kweli,
Mume wangu akachukua mpini wake akauweka juu ya gear yangu akaanza kunipiga brash hapo akazidi kunivuruga yani hamu inapanda mpaka naona utelezi umejaa kama wote kwenye kibompoli yangu,
Jamani hakutaka anitese sana na hamu akanikandamiza nao mpini mtamu wa moto unakuna kuta zote,
Akaanza kunipamp sasa mwendo minyama nje minyama ndani,
Uku ananinyonya shingoni Jamani utamu kunyonywa shingoni uku nasukumiwa mpini ndani,
Mimi nimejitanua kweli kweli miguu nimekunja mwenyewe kwenye kifua changu uku nimemkumbatia mume wangu nampa uno la kuukatikia mpini,
Uku nampa miguno,
” Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah uwiii tamuuuuuuu Ooooooooooooooooòoooooooooo asante mume wangu.
” Na yeye aongei akashusha ulimi kwenye madodo yangu anazungusha ulimi kwenye ncha ya dodo,
Uku ameongeza spead ya kunipamp Jamani nasikia utamu mimi si mchezo,
Mume wangu akaniambia,
” My aya badirisha style.
” Jamani mimi nikaona acha nimgeukie anione umbo langu vizuri nikageuka nikabong’oa bong’o nipo juu ya kitanda nimepiga magoti namsikilizia mume wangu atafanyaje nyuma uko,
Jamani mume wangu aliyabusu matuta yangu na akaniambia,
” Mke wangu una umbo zuri sana na unayo tabia nzuri mke wangu umekamirika kila idara na una kibompoli kitamu.
” Jamani akuna asiyependa sifa nasikia raha ananisifia uku ananiminya matuta yangu yenyewe,
Sasa nashangaa mume wangu akayatanua matuta yangu tanuu,
Nikastuka kimya kimya mume wangu anataka anipelekee mpini kwa mpalange au mbona kayatanua matuta yenyewe,
Jamani si nasikia ulimi unapita pembeni ya matuta yangu kwa ndani ila unakuja maeneo ya kwenye bulawayo,
Nikazani mume wangu anataka aninyonye bulawayo,
Kumbe mawazo yangu potofu alinilamba tu kwenye matuta arafu akaniambia nitanue nikamtanuria,
Akaanza kuniingiza mpini kwenye kibompoli ananipamp uku anachezea matuta yangu,
Jamani utamu mpaka nilikojoa akajoa wote tulifika kileleni,
Tulipeana raha mpaka asubui,
” Sasa siku zikaenda mkatili akaja bara uku akaniona nimezidi kunona umbo limezidi kuwa zuri,
Akatoka hapo akaenda kumwambia yule jamaa aliyetaka kunioa,
” Oya yule safi yupo vizuri wewe mchukue mwanamke yule mnaendana yani sio chizi kama unavyofikiria.
” Yule jamaa akaja nyumbani kwa baba akamwambia baba,
” Mimi nataka nimuoe safi nasikia ni mzima yani mzee nipo tayari nilipe maari mala mbili na niliyosema.
” Baba akamwambia,
Nenda uje kesho jioni nakupa jibu.
” Kijana yule akaondoka,
Sasa baba akifikiria pesa anaona milioni 40 hii akamsubiri mama akamwambia,
” Mama safi akuna ndoa ya bure mimi nasitisha ndoa ya safi na mumewe na safi arudi hapa aolewe na tajiri.
” Mama anasema,
Kivipi yani mbona sielewi?.
” Baba akamwelezea yote ya maari milioni 40.
” Mama akasema,
Aiwezekani safi ni mke wa mtu uwezi ukamuodhesha tena.
” Baba akasimama akasema,
Wewe mke wangu safi ameolewa kwa maari ya shilingi ngapi?
Si tumempa bure tu sasa namnyang’anya bure kwani yeye ajui duniani akuna cha bure nasema kesho naenda mjini kumchukua safi aje hapa aolewe sina mengi na wewe ni mke wangu nitiii mumeo yani wewe unisikilize mimi ukikataa nakupiga sitaki kutawaliwa mimi safi anaolewa.
” Mama akawa kimya anawaza hii aibu kubwa inataka kuja,
Jamani asubui asubui baba kapanda mell anakuja bara kunichukua mimi niriludi zanzibar niolewe,
Dah yani…
Sehemu ya 19
Mama yangu akanipigia simu akanipigia simu akaniuliza,
” Mwanangu ivi mama yako mdogo anapajua hapo kwako?.
” Nikamwambia,
Apajui ata namba yangu ana kwani kuna nini mama?.
” Akaniambia,
Baba yako kimempanda na uyu anapelekeshwa na mkatili nishagundua sasa anataka aje akuchukue uje uolewe uku na tajiri naomba mwanangu uzime simu yako hili akija azurule na jiji akichoka arudi zanzibar mimi sitaki aibu na uyu mkatili nitaenda kumpa vidonge vyake sitaki ujinga atii.
” Mimi nilicheka kimoyoni mama alipomalizia Neno atii Nikamwambia,
Mama mbona ilo swala alitawezekana mimi kuolewa ndoa mbili arafu sio kama sikumsikia uyo anayesemekana tajiri siku aliyosema awezi kuoa chizi sasa baba si anajua mimi chizi na ameniodhesha kwa dhana mimi chizi kwaiyo kampa uyu mume wangu mbuzi kwenye gunia,
Sasa wewe usiwaze mama acha nitakuja mwenyewe kumuonyesha uchizi uyo baba na uyo anajiita tajiri kama kwangu kanipendea umbo langu sio peke yangu zanzibar mwenye umbo hili tupo wengi wengine wananizidi mama nisiongee sana nitajikuta natukana maana nimechefukwa.
” Mama akakata simu,
Mimi nilikuwa nipo peke yangu nisharudi kutoka hotelini nipo mwepesi mume wangu kanichetua aswaa yani tumekura tendo la ndoa kwa raha zetu sasa hili nipoteze mawazo mimi ni TV au redio ndio ya kunipotezea mawazo sina shoga mimi,
Basi nikaweka mawaidha kwenye redio nizidi kupata maarifa kichwani maana si kwa muingiriano huu wa mawazo yani mimi nikaolewe tena,
Sasa mawaidha yalianza kwenye redio aya…
“Naam vipenzi vya Allah Ndugu zangu ktk imani tutambue kwann ndoa nyingi huyumba na kuvunjika sababu ni hizi na ss waume hatufahamu,
Kwanza tu fahamu mwanamke ni kiumbe gani ana haki gani ana sifa gani kwann Mwenyezi Mungu alimpa uwezo wa kubeba mimba mwanamke na kulea mimba miezi Tisa heka heka anazopitia mwanamke kutapika yy kula udongo yy barufu yy kila mitihan yuko ndani yake ni kias gan Allah amejazwa subra uvumilivu ndani ni kias gan mola wetu amempa daraja mwanamke na hilo huwezi kutambua pasipo kuwa na iman na khofu juu ya mola wako ukiwa huna imani wala khofu utapata wapi khofu juu ya kiumbe cha Allah ndugu zangu huwezi ndo maana ndoa nyingi huvunjika chanzo ni ss waume kumtambua mke ni nani ameolewa kwa ajili gan ndoa inataka hatujui hayo sababu hatuna khofu na mungu dunia imetushika tu na matamanio ya nafsi hatutumii akili alizo tupa Allah,
Hatujui dini inatueleza nn lkn ukatambua dini inataka nn na mola kasema bs utamjulia mwanamke km umemzaa na mwanamke ukajua kuishi nae na kutambua thamani yake walah hakupi tabu wala shida mfano Leo unaitwa baba Fulani una watoto wengi na majina yao unaitwa ww kwa kuja kwao baba Fulani mtaani nyumbani kwa Jamaa ww burudani je unajuwa mkeo amepitia leba uchungu gani kapitia au kazaa kwa kisu Mara kadhaa ukapata heshima kuitwa baba Fulani,
je tunatambua wake zetu wanapitia hali gan kuanzia kulea mimba hadi kuzaa na bado malezi mtoto akanyonya akalishwa akapata nguvu na afya kwa uwezo wa Allah kusimama kusema kuita mama baba je tuna tamu wanawake wanapitia ktk kulea zaid ya S’s kutoa matumiz tu japo tunatafuta maisha nje kuleta nyumban kwa hali ngumu lkn hatuzid malezi ya wake zetu na majukumu yao hata robo Leo tukipewa lisaa mimba ikae tumbon mwetu hatuwezi kustahamili tungeshika mabango na kuandamana tuwaheshimu mno tuliyo nao wanamchango mkubwa kwetu tutenge muda hata ya kuwasuka nywele wake zetu kukata kucha zao na baadhi za kaz nyumban tukave nafas zao hyo ndoa imara samahan sana sauti Kali lkn ujumbe ufike km hatutambui dini inaelekeza nn na mola anasema nn kamwe hatuwezi kuwa baba bora waume bora kwa wake zetu sababu hatujui jinsi ya kuwaongoza na kujua wanamchango gan na thamani gan kwetu,
ALLAH ATUHIFADHI NA HAYA.
” Mimi nikasema moyoni kama wanaume watakuwa wanasikiliza mawaidha aya yana maana kubwa sana,
Basi nikalala zangu tu napunga upepo mimi safi shamsi.
” Upande wa Aisha anaona baba mdogo aendi kwake anampigia simu aipatikani,
Si ndio akaona asimlete za kuleta kumbe Aisha ni mjamzito akaisi amekimbiwa kumbe baba mdogo anafanya kazi ngumu mpaka awezi kwenda kwa aisha,
Sasa Aisha akawa anaenda nyumbani kwa baba mdogo liwalo na liwe,
Bahati mzuri wanakutana njiani Aisha hapo hapo akamuuliza,
” Ivi umenipa mimba ndio umenikimbia au?.
” Baba mdogo akamwambia,
” Punguza sauti kwanza hapa barabarani ujue.
” Aisha akamwambia aya twende nyumbani kwangu tukaongee.
” Sasa baba mdogo anaondoka na Aisha Aisha nyumbani kwake ambapo baba mdogo ndio kampangia hapo,
Kumbe nyuma yao mama mdogo anakuja kashawaona sasa anawafata mdogo mdogo wao awajamuona Aisha kamshika mkono baba mdogo mpaka kwake wakaingia chumbani Aisha akasema,
” Kabla ya yote ninyandue kwanza uongeze njia mengine yafate.
” Sasa mama mdogo akawa amesikia ile kauri ya Aisha ya kutaka kunyanduliwa aongezwe njia,
Mama mdogo akaenda kugonga mrango na Aisha anaenda kufungua mrango ajui nani anagonga uku baba mdogo kashavua nguo yupo na boxsa tu,
Dah yani…
Sehemu ya 20
Aisha anafungua mrango mama mdogo anaingia mazima ndani bahati mzuri kwa baba mdogo,
Boss wake yani bwana wa mama mdogo ametuma sms kwa mama mdogo na mama mdogo akaona sms imeandikwa,
” My njoo lamada hotel fasta.
” Sasa mama mdogo akutaka kuleta shida akawa ameona kwa macho yake mumewe anamsaliti akaondoka,
Kitendo cha kuondoka tu bila kufanya fujo kikawaacha na maswali yasio na majibu baba mdogo na aisha,
Wao wenyewe wakakimbia nyumba waliopanga wakiwa na hofu je kaenda kukodi wauni au kaenda wapi?.
Aisha hamu ya tendo ilikata anahofia usalama wa maisha yake,
Baba mdogo ajui atajitetea vipi kwa mkewe,
Aisha alienda kwa shoga yake moja kwa moja anaitwa fatma akaenda kumwelezea mwanzo mwisho na shoga yake akamwambia,
” Aisha tuliza kipira kwanza hapa uyo mke wa bwana ako si mtu mzuri ata kidogo kama amewafumania ata kibao ajakupiga ata tusi la mama yako ajakupa,
Ana kubwa anataka kukufanyia sasa wewe turia hapa uku tunaangaria upepo unaendaje yani anafanyaje?.
” Aisha akawa mnyonge ikabidi aturie tu.
” Sasa upande wa baba yeye kafika mjini ameenda moja kwa moja kwa mama mdogo nia yake amuulize mama mdogo nakaa wapi?.
Anafika kule amkuti mama mdogo wala baba mdogo anakutana na mfanyakazi tu dider,
Na akamjibu awapo na simu Zao azipatikani,
Baba sasa akili zake anazijua mwenyewe akaingia mtaani kuniulizia kwa kuwaelekeza watu jinsi nilivyo neno lake,
” Yani uyo mwanangu namuuliza ana matako makubwa ivi macho makubwa.
” Sasa kijana mmoja akamwambia baba,
” Wewe mzee hapa sio kijijini hili ni jiji wenye matako makubwa wapo kama wote na wenye macho makubwa arafu huo si uelekezaji kama wewe ni mzazi wewe unapaswa USEME JINA lake au uwe na picha yake sio kauri iyo ayo matusi mzee wangu samahani lakini.
” Baba akuweza kuwa mkari sana kwenye jiji ambalo yeye si mwenyeji,
Akaona hapa mama anahusika kwenye kumkwamisha asinipate mimi kwa sababu simu zote azipatikani sasa akahamua kurudi nyumbani zanzibar na asira kama zote yani amevurugwa kweli kweli.
” Upande wangu mimi nishapanga kesho kutwa niende uko uko zanzibar nikamwambie ukweli baba aniache kwenye ndoa yangu sitaki marumbano mimi nataka niturie kwenye ndoa yangu na ninayempenda mimi.
” Sasa upande wa mama mdogo kumbe amepanga kumfukuza kazi baba mdogo na yeye aombe taraka mpango huo akaenda kumwambia bwana ake ambaye ndio boss wa kampuni,
Ila kamficha kuwa kamfumania yeye akatumia lugha tamu ya mvuto,
” My mimi nakupenda mazima nataka niwe najiachia na wewe pasipo shaka yoyote naona nimfukuze kazi mume wangu na niombe taraka niwe na wewe mazima.
” Boss wake alifurahi sana akasema,
” Hapo ukifanya ivyo nitahamini wewe unanipenda Sana fanya ivyo kweli na mimi nataka nijiachie na wewe kama ivi Leo kwenye show ya daimond na zuchu hapa lamada hotel tunashindwa kujiachia kwa sababu atuna uhuru mpana wewe mke wa mtu.
” Mama mdogo akasema,
Imeisha iyo kesho tu nalianzisha.
” Basi walicheza mziki na wakaenda kulala asubui mama mdogo akaenda OFISINI sura ya kazi yani alipofika akutaka kulemba akamwita baba mdogo akampa barua ya kumsimamisha kazi.
” Baba mdogo anasema kwa sauti ya chini,
” Mke wangu acha kufanya ivi aya ya nyumbani yanaongereka usinifukuze kazi.
” Mama mdogo anaita mlinzi aje amtoe baba mdogo OFISINI anampigia kelele,
Baba mdogo aamini macho yake anavutwa na mlinzi anatolewa nje na kazi ana kuanzia muda huo kwenye barua kuna MALIPO yake ya siku alizofanya kazi,
Baba mdogo akaamua sasa kufanya ivi…
INAENDELEA

