JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 1
(shida ya maji shikamoo)
_________________________
Mume wangu mume wangu ndio unaondoka.
” Ndio naondoka kwani vipi?
” Samahani mume wangu pesa hii aitoshi.
” Uliwai kuona wapi pesa inatosha uoni matajili kila siku wanatafuta.
L” Samahani sipo uko namaanisha pesa aitoshi gharama ya maisha imepanda dumu la maji linauzwa tsh 1000 sasa ivi kuna shida ya maji.
” Wewe sikia katafute maji yanapouzwa shilingi Mia au 200 uchote usinizingue.
” Wapi sasa.
” Hao wanaokuuzia dumu 1000 wanachota wapi waulize.
” Mume wangu inawezekana ni mbali.
” Mbali Kesho tu acha niwai.
( Mume wangu sio mtu wa kuelewa jambo kirahisi uyo kaondoka…kaniachia tsh 5000 ndani maji amna na vyoo vyetu ivi vinaitaji maji mengi naishi ubungo Riverside kwetu tuna shida ya maji sio mchezo natoka nje kufikilia natoa wapi maji namuona mkaka mmoja anauza maji kwa pikipiki anamuuzia jilani yangu dumu sita yani jilani anatoa elf sita ananunua maji ile pesa imepita bajeti yangu nikamuuliza yule kaka)
” Samahani kaka za saizi.
” Salama.
” Ivi maji unatoa wapi?
” Kwa kapangura ila kuna foleni kubwa na sizani kama ayajakatika.
” Ndio wapi?
” Unapajua ruge?
” Ndio.
” Sasa ukifika ruge ulizia au utaona watu wanaenda au wanarudi.
” Sawa dumu shilingi ngapi?
” 200 tu.
( Sasa hapo kwa kapangura ni sehemu ya kwenda na pikipiki kwa 1000 ukipanda bajaj ni 500 kutokana na mimi nilipo…nilichukua ndoo mbili uyo naenda kuchota maji kwa kapangura…nimetembea na jua langu mpaka bombani kweli nilikuta foleni nikampigia simu mume wangu)
” Mume wangu maji yanatoka uku ruge kwa ndani ndani ila kuna bonge la foleni.
” Wewe kaa tu ilimradi urudi na maji.
” Nakwambia usije ukarudi nyumbani ukaona sipo tukagombana.
” Mimi nipo bize na kazi zangu usiku nikute chakula.
” Sawa.
( Yani naishi maisha magumu sana kisa ndani kuna unga tu basi elf tano ijue mboga ijue mkaa ijue mimi kula asubuhi na mchana usiku na yeye akikute chakula…mimi asubuhi napiga pasi ndefu siri nakujaga kula mchana shida hii ya maji ndio inanichanganya akili…nilikaa kwenye foleni kuanzia saa nne mpaka saa tisa ndio nachota maji ndoo mbili…sasa kubeba izo ndoo na umbali wake nilibeba moja moja ya kwanza nikaipeleka kichwa kinawaka moto shingo inauma nikaenda kumalizia ndoo ya pili narudi nyumbani namuona mume wangu karudi na rafiki zake anamwambia rafiki yake)
” Mimina maji ukaoge usiogope mimi mwe
Nataka nikaoge.
” Mimi nimezoea kuoga ndoo kubwa nyumbani.
” Basi mimina kwenye ndoo ndogo izo mbili ukaoge.
(jamani sio siri utosi ulikuwa unanicheza kuzuia siwezi ivi kweli shida ya maji hii mtu akaoge ndoo ndogo mbili…na kweli kaenda kuoga anashukuru pale…na mume wangu akaenda kuoga maji nusu…nikabaki na nusu aya sijaoga sijapika hapa nanuka majasho kuzibeba izi ndoo…alafu mume wangu ananiaga)
” Kwaheri nilikuja kuoga mala moja tu wai kupika Leo njaa inaniuma sana.
( Nilishindwa kumjibu…nilichukua kopo mbili kwenda kujimwagia Nikaingia jikoni kupika mboga nilinunua za majani…uku nawaza maisha aya yatakuwaje nilibaki na 1000 nilinunua maji kwa yule mkaka alikuja akanimiminia uku ananisifia)
” Wakubwa wanafaidi.
” Nini?
” Yani mtoto mzuri kama wewe ulikuwa unajiumiza kubeba maji wakati umeolewa mume unaye tena anafaidi.
( Moyoni nasema ajui tu nyuma ya pazia nikawa namwambia)
” Sasa anafaidi nini?
” Anafaidi matunda ya mwilini mwako mtoto chuchu saa sita.
( Nilikaa kimya akamimima maji kwenye mdoo uyo akaondoka….mume wangu akarudi na rafiki yake mwengine anamwambia)
” Karibu karibu naona umetoka majasho ngoja nikakuangalizie maji ukaoge.
” Utakuwa umefanya la maana sana kwangu sina ata tone tena weka mengi maana nataka nishushe mzigo.
( Akachukua ndoo mbili akamimina maji yale naumia Moyoni kusema siwezi kweli alienda kuoga na kufanya ya kushusha mzigo maji akayamaliza akukaa akaondoka…sasa mume wangu akala alipomaliza kula akaniambia)
” Sasa hapa nioge nilale sasa ivi kuna joto sana uwezi kulala bila kuoga.
” Maji yameisha mume wangu.
( Niliwekwa kibao kimoja cha mdomo mpaka nikajing’ata paaaaaaa)
” Una akili maji yanaishaje ndani mfano nimebanwa na tumbo la kuhara inakuwaje maji ni uhai wewe unadiliki kusema maji yameisha.
( Niliinama nalia mimi kwa kile kibao akaninyanyua tena na Kofi la mgongoni ananiambia)
” Chukua ndoo katafute maji popote pale.
( Akanisukuma nje…sina pesa nawaza kule kwa kapangura bombani atanikopesa kweli…naenda kashafunga napata wapi maji mala nakutana na kaka Muuza maji mwenye Kauli yake wakubwa wanafaidi)
” Unatafuta maji saizi amna labla twende ukachukue kwangu.
” Mimi sina pesa lakini ya kukupa iyo 1000.
” Nakupa bule tu.
( Nilienda kweli ndani kwake maji yapo ila anakaa chumba kimoja naona madumu yale ananiambia)
” Ingia basi umimine maji.
( Shida izi niliingia..naingia na yeye anaingia ananiambia)
” Samahani naomba tuwe wapenzi mimi nitakuwa msaada mkubwa kwako.
” Hapana mimi nina mume wangu naomba nimimine tu maji niondoke.
( Naona ananisogelea kama kashabadilika ivi yani hamu imempanda kanishika mzigo wangu ananiambia)
” Itakuwa siri yetu mimi nakuletea dumu 10 kila siku pale usipate shida ya maji kipindi chote ichi kigumu naomba tuwe wapenzi.
( Kaongea jambo zuri ila ndio nikubali kisa maji Dah yani)
Sehemu ya 2
Nikamwambia
” Naomba niende tutaongea siku nyengine.
” Kwaiyo umekubali mimi ni wako itakuwa siri yetu.
( Niliona nijibu kwa kumlidhisha tu hili nitoke na maji)
” Ndio.
( Akanipa maji…nikaondoka nayo nimebeba ndoo naenda nyumbani namkuta mzee mmoja anamwambia mume wangu)
” kijana acha mfumo dume kwenye hili janga la maji unatuona sisi wanaume wenzio tunakaa foleni mabombani tunasaidia wake zetu maji kuchota wewe usiku huu unamtuma mkeo akatafute maji unakosea.
” Mimi jandoni sikufundishwa uboshoke yani nikae foleni bombani kama vile sijaoa huo ni ujinga.
” Basi kama unataka ivyo nunua dumu tsh 1000 ma juzi tuliuziwa maji dumu 1500 nakwambia ukweli gharama za maisha zimepanda.
” Kwenu sio kwangu wanawake mnawaendekeza unazani kijijini akunaga shida ya maji mbona wamama wanaenda umbari mrefu kufata maji tena kwengine kuna milima wanabeba maji mimi mke wangu atabeba maji atakuwa mwanamke tofauti na wa kwenu hao.
” Sawa naona Shemeji anarudi na maji.
” Si ayo kayapata mimi sikai na mke kama nakaa ma yai niseme litapasuka.
” Sawa.
( Mimi nimechoka nasema uyu ajui nimekoswaswa kuliwa chumbani kwa muuza maji anajisifia ujinga tu hapa….basi akatumia yale maji usiku kalala ananiambia)
” Wewe unajua kuna wanaume wengine wajinga sana yule mzee na umri ule anakaa foleni kwenye maji si ufala ule.
” Anamsaidia mkewe ndio vizuri.
” Kama anampenda sana basi angemsaidia kubeba mimba.
” Mume wangu sio Kauli nzuri iyo.
” Mpumbavu yule Kesho ukachote maji ufue nguo zote humu ndani.
” Sawa.
( Tulilala uku nasema Moyoni nina mume katili sio mwanaume mwenye moyo wa huruma na mimi…asubuhi kanitolea nguo zake nje uzuri nyumba inayo fensi alafu anavaa majinzi tu nawaza maji mengi nayatoa wapi yeye kashaacha TSH 5000 kaondoka…wakati nawaza nasikia mlango unagongwa kufungua kaka muuza maji kaniletea mkokoteni mzima dumu kumi anatimiza ahadi yake…sikutaka kujivunga nikalisafisha jaba namimina kwenye jaba mengine nimeweka kwenye beseni…sasa wakati namimina kwenye jaba yule mkaka akawa ananisaidia kufikicha yale majinzi ya mume wangu…yani Kuna watu sio waoga na mimi namimina kidogo kidogo nimependa kujichetua kwake maana majinzi magumu kweli….dk 20 tu nguo zote ngumu kanifulia akaanika akachukua madumu yake ananiambia)
” Nakupenda sana.
” Asante.
( Basi akaondoka mimi nikafua nguo zengine zilizobaki…alafu nikaenda gengeni kutafuta dagaa njiani naona madada wawili wanaongea)
” Mimi yule muuza maji akinitongoza nampa awe ananipa maji bure aya maisha kununua maji dumu 1000 si mchezo na sisi ivi vyoo vyetu sasa.
” Ndio umpe Kisa maji.
” Sasa kama anakuletea dumu 7 kila siku si elf saba kakugomboa kwanini usimpe yani akinitongoza tu sijivungi.
” Ila kweli na Sisi wanawake tulivyokuwa wavivu kuweka ndoo kichwani mbona yule kaka kama anataka wanawake atawala wengi.
( Mimi nikawavuka nasema kimoyoni kumbe yule kaka kama atamtongoza yule dada atampa nikamwangalia kanizidi kwa shep mpaka sura nikatulia zangu kimya nikanunua kilichonipeleka gengeni nikarudi zangu nyumbani…sijala nyama siku nyingi kweli pesa nayoachiwa aitoshi…basi mchana yule kaka akaja na mfuko kaweka kuku nusu akaniambia)
” Kula wewe uyo usije kumpa mumeo.
” Sawa.
( Aliondoka nikasonga ugali chap nikajisosomora vizuri nikatupa mifupa mbali kabisa…Nikaingia jikoni kumpikia midagaa mume wangu…usiku akaja akala akatulia…siku ya pili akaondoka akanipunguzia bajeti akanipa elf nne)
” Mume wangu mbona Leo umeacha elf nne.
” Wewe unazani kila siku sikukuu maisha kuna kupanda na kushuka Leo yameshuka.
” Sawa.
( Akaondoka zake…dk 20 yu mkaka muuza maji akaja Leo ajaja na maji akaniambia)
” Nilikuwa nakuletea maji ila nimeisi utakuwa nayo maji yako nimeuza shika elf kumi hii baadae.
” Sawa..
( Akaondoka zake..yani kama naanza kumuelewa ivi yani ajaniletea maji ila kanipa pesa…nikatulia zangu mchana nikasema na mimi nikalifuraishe tumbo nikanunue chips mayai na mishikaki…naenda kwa muuza chips mtaa wa nne uko si ndio namuona mume wangu anakula kuku nusu peke yake chips mayai juice kubwa nikamfata)
” Mume wangu ndio nini?
” Nenda nyumbani tutakuja kuongea nyumbani.
( Niliondoka ata hamu ya kula iliniishia nawaza kumbe yeye anakula vizuri mimi ananiachia pesa ya kula ovyo…mawazo yakazima njaa…alirudi usiku na fimbo najiuliza fimbo ya nini kumbe ya kunichapa mimi..akanisogelea na mkwaju wa mgongoni paaaaa)
” Mshenzi wewe kumbe unazurula mchana nani kakwambie ufike kule.
” Ndio unanipiga mume wangu.
( Akanipiga tena mkwaju wa makalio paaaaa)
” Nakuuliza nani kakwambia ufike kule unijibu leo nitakuumiza humu.
( Niliona upenyo nikakimbia akafunga mlango ananiambia)
” Lala uko uko nje usirudi humu mshenzi wewe.
( Nilitoka najikuta naenda kwa mkaka muuza maji uku Nalia machozi yananitoka…nafika kwa mkaka muuza maji nikamkuta Nikaingia ndani kwake akanikumbatia ananiuliza)
” Nini kinakuliza mpenzi.
” Mume wangu kanipiga.
” Usilie nyamaza my.
( Nashangaa ananilamba machozi yale uku ananikuna kuna kichwa ananibembeleza jamani)
Sehemu ya 3
Nasikia raha nikawa nimetulia akaniambia)
” Umekula?
” Sijala bado.
” Basi subili ule my.
( Aliniweka kwenye sofa taratibu kweli nimekaa namuwaza yeye mbona uyu anajua kujali kuliko mume wangu…alitoka nje kumbe kaenda kuninunulia wali kwa mama ntilie na kuku nusu akaniletea na juice…kweli nilikula uku ananiambia)
” Usilie nyamaza.
” Sawa.
” Niambie kisa nini mpaka amekupiga?
( Nikamwadisia mwanzo mwisho akaniambia)
” Uyo kakufukuza ila ukilala nje ni tatizo kubwa zaidi nakupenda na sitaki upate tatizo naomba urudi akakufukuze tena katoe taarifa kwa mjumbe mdanganye mjumbe unaenda kulala kwa shoga yako alafu ndio uje ulale uku Sawa.
” Sawa.
( Nilikuwa nimeshiba nikaondoka kweli uku nasema kumbe kuna vijana sio wahuni Angekuwa mwengine ndio angeona nafasi ya kunila…nikaenda nikagonga mlango mume wangu ataki kufungua tena ananiambia)
” Sifungui sitaki kukuua.
( Nikatoka nikaenda kwa mjumbe kumwambia yanayoendelea mjumbe akanichukua mpaka kwa mume wangu mjumbe ni mama mtu mzima)
” Hodi hodi hodi.
” Karibu.
( Alifungua mlango akaniona mimi na mjumbe akafunga)
” Mama kama upo na uyo wewe nenda tu kanikera sana alali humu.
( Mjumbe akaninong’oneza)
” Mumeo ni chizi kidogo au?
” Sijui.
” Muwe mnafatilia istoliya za makuzi za waume zenu uyu chizi kidogo.
” Sijui.
” Wapigie ndugu zake.
” Simu ipo humo ndani.
” Aya tunafanyaje sasa na mimi kwangu pale kuna ugeni utaenda kulala wapi?
” Nitaenda kulala kwa shoga yangu.
( Tunaongea sauti ya chini kabisa…mjumbe akapaza sauti sasa anamwambia mume wangu)
” Naondoka na mkeo ila unachofanya sio kizuri.
” Wewe nenda nae tu.
( Tulitoka na mjumbe yule uku nawaza au kweli mume wangu chizi sasa kwa kosa lipi aswa hapa…njiani mjumbe ananiambia)
” Asubuhi sana uje twende tena kama ataki ukae pale akupe simu ufanye mawasiliano na ndugu zake Sawa.
” Sawa.
” Yani mumeo nimeshindwa kumpatia jibu kama vile maji yanavyotuzingua na yeye anakuzingua wewe.
” Acha tu mjumbe.
” Sasa unaenda kulala kwa shoga yako mala usiku maji yanatoka unakuwa unamsaidia shoga yako kujaza maji uku kwako maji auna na wauza maji wanatukomesha dumu 1000.
” Yani maji ndio tatizo kubwa ila yataisha tu mvua zinakaribia.
” Sawa basi nenda ila ndio uwai kuamka mwanangu.
” Sawa.
( Niliondoka uku najua kabisa Leo siwezi kuachwa salama nilale na mwanaume mpaka asubuhi aniache ivi ivi ila kama atataka nitamuomba atumie kinga maana naweza kunasa mimba mambo yakawa mengi…natembea uku naongea mwenyewe…mpaka kwa kaka muuza maji akanifungulia mlango Nikaingia…Nilikaa kwenye kiti yeye yupo kitandani namwadisia yaliyojili akaniambia)
” Ngoja nitege alarms saa 11 alfajiri nikuamshe ywende kwa mjumbe.
” Sawa.
” Sasa njoo ulale kitandani my.
” Mimi nitalala hapa hapa kwenye sofa.
” sofa sio kitanda njoo ulale kitandani my.
” Mimi nitalala kwa Leo si nina shida.
( Akashuka kitandani akaja kunishika mkono ananipeleka kitandani)
” My kwanini ulale kwenye sofa na upo kwa mpenzi wako ninayekupenda.
” Mimi naogopa kulala kitandani.
” Unaogopa nini?
( Uku ananibeba ananiweka kitandani sijawai kubebwa na mume wangu kupandishwa kitandani naisi uyu kaka ni fundi alinishusha taratibu kitandani nikawa nishalala kitandani ananiambia)
” Umezoea kulala na taa au niizime.
( Sijui nini kimenikuta najikuta nimeropoka)
” Izime.
( Kaka muuza maji akaenda kuzima taa kukawa na giza akawasha redio mziki laini alafu sasa anakuja kitandani nawaza hapa naliwa Leo alivyopanda akaniwekea mkono kwenye kiuno ananiambia)
” Naomba unipende sitakuumiza na sitotaka ulie tena wewe ni mrembo sana nakupenda sana.
( Mkono wake autulii kwenye kiuno pale namuuliza)
” Wewe auna demu?
” Sina.
” Unaniongopea.
” Kweli sina demu ona nimekushika tu nimechafua boxsa.
( Akashika mkono wangu akaupeleka kwenye nanii yake kweli ametoa mbegu nanii ya moto ananiambia)
” Naomba niwe free kwenye mwili wako my.
( Nikubali au nikatae najiuliza hapa Dah yani)
Sehemu ya 4
Nikajikuta nimesema
” Sawa.
(Kaka muuza maji akanikumbatia kwa furaha sasa naona mdomo wake anauleta mdomoni kwangu kabla ajanigusisha simu yake inaita ule mwanga wa simu ulinifanya nione aibu nikafumba macho yeye akaniachia akashuka kitandani kupokea simu)
” Haloo.
” Oya mzee anasema Kesho afungui Kuna sehemu anaenda Kwaiyo tulioweka madumu kule tukachote maji saizi tuyatoe tujue tunaweka wapi.
” Poa Kesho itakuwa magoli sana acha nichukue na dumu zengine zote nikusanye maji usiku huu huu.
” Poa mwana shida ya maji kwetu furaha tunapiga pesa Kesho mwendo wa dumu 1500 usilete pigo za huruma wakati dawasa wenyewe awana huruma na watu wao.
” Kauli za uchochezi izo ziache dawaso wanawapenda wateja wao ila maji ndio madogo nakuja.
( Alikata simu akaniambia)
” Mimi naenda kuchota maji sijajua nitarudi saa ngapi kama nitakesha wewe asubuhi funga mlango funguo weka juu ya mlango Sawa my.
” Sawa.
( Aliondoka akanifanya nizidi kuvutiwa na yeye anajali kazi sio mapenzi angekuwa mwengine hapa angeniambia nipige moja kwanza alafu niondoke maana baazi ya wanaume wanapenda chini kweli…Nililala asubuhi sana nikaondoka kwa mjumbe..kaka Muuza maji ajaja usiku tena alikuwa bize na maji uko…nikafika kwa mjumbe akanipeleka kwa mume wangu asubuhi akafungua mlango mjumbe akasema)
” Uyu amelala kwangu saizi wewe hasira zimeshuka tuonge.
” Subilini dada yangu anakuja.
( Dk tano nyingi kweli wifi kaja alafu wifi akawa kama yeye ndio mjumbe)
” Hee niambie sababu ya wewe kufukuzwa usiku hapa.
( Nikamweleza yote kisa mimi kumuona mume wangu anakula akadakia)
.
” Sasa wewe mtaa wa nne kule ulifata nini kama sio umbea aya umemkuta anakula kwanini ulishindwa kujizuia mtoto wa kike wamama zetu walikuwa wanapika kuku nyama zote wanawapa baba zetu wao wanakula miguu na vichwa…nyama mpaka wapewe ulizani wao walikuwa wajinga walikuwa wanajishikilia.
( Mjumbe akasema)
” Na aya kumpiga inakuwaje?
” Uyu ajapigwa kaonywa aliyepigwa anaweza kuzungumza mdomo saizi ungekuwa umejaa unafanya masihara na kupigwa nini?
” Sawa dada mtu hitimisho nini sasa maana wewe ndio umekuwa mjumbe.
” Hitimisho ajishikilie mtoto wa kike uyu sio jambo dogo anakimbilia Kwako mjumbe wewe ndio umemfungisha ndoa uyu ndoa uvumilivu.
” Sawa amekusikia ila kumbuka na wewe mwanamke.
” Tena mwanamke wa nguvu.
( Kesi ikaisha kwa mimi naonekana nina makosa…mume wangu akaacha 2000 ya kula ananiambia)
” Mimi naenda zangu pesa ya kula iyo.
( Mjumbe ananiangalia mimi kwa huruma sana alafu wifi akasema)
” Kachenji unipe buku ya pikipiki mimi mmenisumbua asubuhi asubuhi.
” Chukua tu yote mimi nitakoroga uji nitakunywa unga upo ndani.
” Sawa.
( Wifi akachukua ile 2000 akaondoka na mume wangu akaondoka mjumbe akaniambia)
” Yakikushinda chukua uhamuzi mimi naondoka zangu.
” Uhamuzi gani sasa mjumbe nichukue.
” Mimi sitaki nikufundishe kila kitu wewe wa kike tumia akili yako hapa akuna ndoa Bali kuna doa.
” Mjumbe unamahanisha nini?
” Wewe ukiwa mkubwa utajua acha niende mie.
( Nikawa nimebaki na mawazo nikiwa mkubwa nitajua…nilitoka nje nikatafuta cha kukila nikala pesa ninayo aliyonipa kaka muuza maji…alafu namuona yupo bize anapita anapambana kuuza maji…pale nilipokaa sasa karibu na butcher la nyama naangalia kwenye butcher namuona mume wangu yupo na mwanamke anamnunulia nyama….nikajificha anatoka buchani anamsimamisha kaka muuza maji)
” Oya dumu shilingi ngapi?
” 1500.
” Duu Leo yamepanda ivyo.
” Ndio.
( Mume wangu anamuuliza yule mwanamke)
” Baby tuchukue madumu mangapi?
” Matano yanatosha.
” Unajua Leo sirudi kwangu acha tuchukue Saba.
” Sawa.
( Nimesikia kwa masikio yangu mume wangu arudi kwangu…alafu hao wameshikana mikono wanaondoka na kaka muuza maji…roho iliniuma nikarudi nyumbani…kweli jioni ananipigia simu ananiambia)
” Nimekutumia elf tatu katoe 2500 ukanunue chips mayai ule ulale funga mlango Leo sirudi.
” Sawa.
( Nawaza sasa niende kumpa muuza maji anile au nivumilie…yani nipo kwenye mawazo makubwa Nikatoka naenda kununua chips mayai ile pesa yake wala sijaitoa nafika kwa muuza chips nakutana na kaka muuza maji..akaninunulia na mishikaki ya 5000 chips mayai juice juu uyu kaka anajali akaniambia)
” Vipi usiku upo uku mumeo yupo wapi?
( Uyu kaka amjui mume wangu ndio aliyemuuzia maji…na mimi nilivyokuwa mjinga nikamwambia ukweli kuwa mume wangu arudi ila sijamwambia yule aliyemuuzia maji…ila kaka wa maji anapenda kunipa mtihani akaniambia)
” Twende basi ukale kwangu arafu arafu kidogo.
” harafu harafu ndio nini.
” Unipe my kidogo ninyoshe kiuno si unajua kazi zetu izi.
( Yani nikajifanya mtoto)
” Nikupe nini?
” Tamu my naomba twende.
( Nawaza niende au nikasema kimoyoni kama mume wangu anakula saizi uko kwa mwanamke mwengine kwanini mimi niitunze acha nikampe muuza maji akaimwagie maji)
” twende.
Sehemu ya 5
” Sawa ila wewe mke wa mtu sio vizuri kuongozana chukua funguo nikukute ndani.
” Poa.
( Yani nasukumwa na hasira nashika funguo ya kaka muuza maji naanza safari ya kwenda kwake…njiani naonana na wifi kwa mbali anapigwa na mwanaume sasa sijui ni bwana ake au mumewe maana simjui kiundani wifi…nawaza sasa je akisema anakuja kwa kaka yake alafu akinikosa itakuwaje?…nawaza uku watu wameamulia ule ugomvi wanauliza chanzo jamaa anaongea)
” Uyu mke wangu ila anapenda ujinga sana asinione nimesimama na mtu anavamia na kutukana sasa nimesimama na mama yangu mdogo alafu ni kama mama yangu mzazi kwa sababu ndio kanilea yeye kavamia na kumtukana mama mdogo je wewe unafanyaje niambieni tu.
(Akatokea mwenye akili zinafanana akajibu)
“Kumpiga tu mwanamke asiyejielewa dawa yake makofi tu si ata waswahiri wanasema asiyefunzwa na mama yake ufunzwa na walimwengu.
( Mwengine akasema)
“Usiwe unampiga mweleweshe uyu binamu wivu ni sehemu ya maisha yake ila kwa hapo amekukosea yamalizeni nendeni kwenu.
” Sawa.
( Wakaondoka…Moyoni nasema kumbe ndio maana aliniambia kupigwa ni kuonywa uyu kashazoea kupigwa…sikutaka kukatisha safari yangu uyo naenda kwa muuza maji kutokana nilisimama pale kumbe yeye alitangulia akakaa nje ya mlango wake…mimi nafika nafungua mlango tukaingia ndani…basi alinifanyia mahaba ya kunilisha chakula mixsa utani kidogo wa hapa na pale yani ananifanya namzoea nisiwe na aibu nae akaniambia)
” My naomba nipige moja tu hili ukalale kwako sio vizuri kulala nje ya ndoa yako.
” Sawa.
( Nilikubali kwa moyo mmoja…kweli alinitoa nguo akatoa nguo…tulishiriki tendo…bila kinga na utamu nilipata kwakweli anachelewa kufika kileleni nilipiga bao tatu yeye ndio akapiga ilo moja nikasema kimoyoni moja tu dk 45 na zaidi la pili itakuwaje?…ila nimefurahia tendo…nikaenda kuoga nikarudi zangu nyumbani mwepesi alinipa elf 40 ya kununua sabuni…maana alinichafua nguo ya ndani…siku ilipita…siku ya pili mume wangu alirudi na yule msichana niliyemuona nae buchani ananiambia)
” Uyu ni binamu yangu.
( Mimi siwajui ndugu wote ila kumbukumbu inanijia ndio uyu uyu sikutaka kubisha dk mbili naona ananiambia)
” Mke mwenza naumwa.
( Neno mke mwenza lilinistua kidogo ila mume wangu alitanguliza neno binamu nikapita nalo ilo ilo)
” Pole tatizo nini?
” Tumbo.
( Nikazani chango uku nawaza au kapindwa pindwa sana Jana na mume wangu…mala inakuja bodaboda na nguo…mume wangu ananiambia)
” Shusha nguo za binamu wangu izo ufue acha nikamnunulie dawa muite mwenye maji nunua dumu kumi.
( Nilipewa elf kumi Nilitoka nje kweli kaka muuza maji anapita kama sio yeye alinishughulikia Jana nikamwita akanijazia dumu kumi akuchukua pesa kaleta kwa demu wake uku mimi ile elf kumi ikawa nyongeza kwenye pesa ya sabuni…sasa kweli nilifua nguo zote nikaanika…nikaenda kula mgahawani siku iyo sikupika mgonjwa alikula chips kuku…sasa nilienda kulala nikiwa hoi sana…mgeni kalala chumba chengine…sasa kumbe mume wangu alinichosha na ile miguo nilale sana…alitoka akaenda kwa binamu wake…mimi kimeniamsha mkojo naenda chooni simuoni mume wangu kitandani ndio napita kwenye mlango aliolala mgeni namsikia anaongea ndani mume wangu sauti ya chini)
” Umeamini nakupenda si ulitaka mke wangu akufulie nguo zako amekufulia aya chengine nini unataka.
” My Endelea kwanza kwanza kufanya ukiganda ivyo unakuwa mzito.
( Nikachungulia kupitia pembeni ya mlango naona mume wangu yupo juu ya aliyesema binamu yake tena wapo kama walivyozaliwa binamu kakunja miguu mabegani kwake yani mume wangu kauzamisha nanii yake ndani ya kitumbua…nafanyaje hapa nawaza mala naona mume wangu anapiga uno la nje ndani mwanamke yule anatoa mguno)
” Baby usichomoee jamani hapoo hoooshii my wangu nasikia rahaaa kipenzi .
. yaaaa haaa hooshii mpenzi unajua haswaa kitunakipendagaa .
Hashihii jamaaani slow down be by hoooshii yaaa.
Yote yako Mtukane mkeo my.
( Kweli mume wangu ananitukana)
” Mke wangu fala sana my naomba basi ukae Style nayoipendaga.
” Sawa wewe tu chomoa nikae unavyopendaga.
( Naona kwa macho yangu mwanamke anapiga magoti juu ya kitanda alafu kamsusia mume wangu)
” Aya kazi kwako my.
” Sawa ipokee.
” Sawa my Asante naisikia inazama Asante Aaaaaaaaa zamisha yote Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii.
INAENDELEA

