HAINA MABEGA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA SITA
Sikutaka kuwa mnyonge, hata siku moja sijawahi pigwa na mwanamke mbali na mama angu alienizaa, kwa nguvu sana niliiondoa mikono yake shingoni mwangu, bila kusema neno niliziendea nguo zangu wakati navaa alikua ananivuta vuta mgongoni.
”Aiseh Furaha mapenzi ya kuchungana chungana kama watoto mimi siwezi, pia mapenzi ya kupigana ni mwiko kwenye maisha yangu, utampendaje mtu usiemwamini, mimi nawewe tumemalizana naomba nivae nguo zangu niende” nilijibu kwa kifupi sana huku nikionesha kutopendezwa na kile alichokua ananifanyia, aliendelea kulalamika mimi sikumsikiliza nilivaa nguo zangu nilipotaka kutoka nje, alikiwahi kitasa na kukaa na funguo.
“Mbona unanitesa wewe kwamba ukinijibu vizuri nikapooza huu moyo utakosa nini, mimi ni mkubwa sawa lakini ni mwanamke nina moyo dhaifu na unaumia, sasa kutaka kuondoka na kunitolea maneno hayo unataka nijisikiaje mimi” Dr Furaha aliongea kwa kubembeleza na kulalamika juu, nilijua sasa nimeonesha misuli yangu vyema na ndani ya chumba kila mmoja alisimama kwenye nafasi yake, alijulikana mwanaume nani na mwanamke nani.
“Wewe ndio umetaka tufikie hapa, ungeniuliza kwa upole, mimi ningeshindwa kukujibu, mapenzi ya ubabe sio mambo yangu kabisa kama huwezi kuzicontrol hasira zako mbele yangu ni bora uniache na maisha yangu hiyo ndio itakua salama yangu”
“Bhasi baba angu natulia nakusikiliza” sijui nilimpa nini Dr Furaha alikua mpole na kunywea mbele yangu, tulirudi na kukaa kitandani.
“Sikia mimi nilienda ofisini kwa Madam Brigita kwa kuwa sikua na namna nyingine, mwenzangu alizidiwa na wateja ikabidi niende tu na kuhusu namba alichukua ili awe ananiagiza oda na sijui kwanini kaamka na kunitafuta, ukitazama hata kwenye hizo sms hakuna sehemu nimemtumia meseji hata moja kwa maana sina ukaribu nae wowote na hayupo akilini mwangu, pili mambo ya kuchunguzana chunguzana kwenye mambo ya simu haitakua na afya yoyote kwenye mapenzi yetu, ndio maana simu yako ikipigwa au ikiingia meseji siwezi itolea macho kwakua najua ni yako na mimi hainihusu unapaswa na wewe uwe hivyo hivyo kwangu” niliongea kiume na kuweka misingi ya yeye kufuata. Mwanaume kwenye mahusiano yoyote ni ruksa kukasirika ila sio kununa, mwanaume hanuni bwana, kitu usipokipenda mweleze huyo mwanamke wako, mwekee misingi hapa tunakwenda hivi pale tunavuka namna ile na huku usipite ni mstari mwekundu na hiyo ndio njia ya kutopoteza pambano la utii mbele ya mwanamke kwakua ukinuna ndio mwanzo wa yeye kutafuta furaha mahali pengine.
“Sawa baba angu kipenzi, nimekuelewa lakini usiweke mahusiano yoyote ya karibu na Brigita namjua alivyo na tabia mbaya za kuiba wanaume wa watu, kwahiyo kama swala ni kazi, bhasi liwe huduma za kazi na si kingine na kuhusu simu yako nitakaa nayo mbali, usikasirike zaidi mume wangu jamani” heee nimeitwa mume mwenzenu nilifurahi moyoni nikasema kweli mwanaume ni mwanaume tu, tulimaliza hilo burudani nyingine ziliendelea, tulikula, tukala tena ilipofika jioni, niliaga kwamba naenda nyumbani alinilazimisha nilale pale eti anautaka mchezo usiku mzima mimi nilimzingua kwamba siwezi kulala nje, haraka haraka alinitumia laki nne kwenye simu yangu eti ya pole kwa uchovu, nikajiambia huyo anapalilia penzi ili nizidi kumpenda zaidi, kweli mishindo inalipa.
Tuliingia kwenye gari safari ilienda moja kwa moja mpaka mtaa mmoja kabla ya kufikia mtaani kwetu nilimwambia aniachie hapo kwani kufika mtaani na watu wanione nashuka kwenye hiyo ndinga maneno yangekua mengi sana, aliponiacha nikachukua boda mpaka mtaani, kichwani nilikua nawaza nitajibu nimelala wapi usiku uliopita mbinu niliyoipata kwamba nililala kwa mfanyakazi mwenzetu kwakua nilichelewa kutoka mgahawani nilikua nimejikoki kabisa nilitembea mpaka nyumbani nilifungua mlango nilipofika sebuleni nilitamani kuzimia kama sio kuzimia bhasi ardhi ifunguke niweze kuingia ndani yake, wazazi walikua na ugeni, ugeni ulikua wa Zai na wazazi wake pia alikuwepo kaka ake Muddy akinitazama kwa macho ya hasira na yenye kunitamani kunishushia makonde mazito, nikimtazama Zai alikua anatia huruma, alishindwa kunitazama kabisa mkononi alikua na hogo, kimbembe kwenye familia.
SEHEMU YA SABA
“Gasper njoo ukae hapa” baba aliniita namimi nilienda kukaa pembeni yake japo nilikua na hofu kuu. Nilisalimia kwa heshima ni wazazi wangu pekee ndio walioitikia, wazazi wa Zai hakuna hata mmoja alieitikia salamu yangu kwakua walikua na hasira sana na mimi.
“Mwanangu unamjua huyu binti?”
“Ndio baba namjua ni mdogo angu hapa mtaani”
“Mdogo ako au kinyama chako cha hamu, oya mzee usinitibue nitakukata kata na mapanga wee fala” Muddy alishindwa kuzuia hasira yake na kusimama akitaka kunifuata ili anipige, nikweli nilikua na mwili wa mazoezi lakini mazoezi yangu yalikua kwaajili ya kujenga mwili na sio kupigana, kama tungewekewa ulingo Mudy angenichakaza vibaya sana, bahati nzuri Baba Zai alimkamata Muddy na kumrudisha chini, muddy hakufurukuta mbele ya baba yake kwakua baba ake alikua kuli wa kubeba mizigo mizito, hali ikatulia kidogo.
“Sikia we bwana mdogo Gasper naona mzee wako anazunguka zunguka hapa, juzi Muddy aliwakuta kichochoroni wewe na Zai mmekumbatiana kimahaba kabisa, wewe ukamkimbia ndipo ajari hii ya Zai kuvunjika mkono ilipotokea, sasa sikia wewe upo kwenye mahusiano na mwanafunzi, hili ni kosa kubwa kisheria na adhabu yake unaijua nikikupeleka polisi, angekua amemaliza shule huyu leo ningekufungisha ndoa ya mkeka kwakua sitaki ujinga kabisa, bahati yako ni kwamba tumempima mimba na hana mimba hiyo imekua ponea yako kitendo cha kutembea na mtoto wangu ni lazima nikutoze faini, hii faini ni msamaha mkubwa sana niliotoa kwako na ukigoma kutoa faini leo hii, ujue kesho mapema nipo kituo cha polisi, faini ni laki mbili cash, pia utatoa laki moja nyingine kama gharama niliyotumia kumuuguzia mpuuzi mwenzako ule mkono, jumla nataka laki tatu hapa bila hiyo ujue wewe ni mfungwa mtarajiwa” baba Zai aliweka msimamo wake huo mzito.
“Nikweli kijana amekosea na swala la kumtoza faini ni sehemu ya msamaha kwakua mambo haya yangefika serikalini yangekua na hatari kubwa zaidi, ndugu yangu mimi siipingi hiyo faini ila naomba utufikirie na kutupunguzia bhasi si unajua hali ya maisha ilivyo”
“Haipungui hata mia kudadadeki zenu” Muddy alidakia.
“Nazani mmesikia hapo haipungui hata kidogo” Baba Zai nae alikazia, wazazi walitazamana usoni, waliona nimewaletea majanga makubwa, pesa hiyo iliyohitajika haikuwepo ndani, kwahiyo walikua wanapitia mgogoro mzito ndani ya mioyo yao.
“Bhasi tunaomba siku mbili tatu ili tuweze kuwapatia hiyo pesa” baba aliomba.
“Kama mmeshindwa kulipa saivi bhasi tuondoke na kijana mtaenda kulipia hiyo pesa polisi” baba Zai alipoitaja tena polisi nilihisi mapigo ya moyo yananienda kasi, yaani sijawahi lala polisi ndio nipelekwe awee nilihisi kuogopa.
“Eeeeh simama twende wee kipera, si umezoea kula dada za watu twende kule wahuni wakakushone mpaka upasuke” Muddy alisimama na kunifikia alitaka kunisimamisha kwa nguvu, nikamtuliza.
“Tulia bro hiyo pesa naitoa saivi ili hayo mambo yaishe hapa hapa” niliongea kwa kujiamini kabisa. Kauli yangu ya kulilipa deni hilo liliwashangaza sana wazazi wangu yaani siku tatu nipo kazini mshahara wa siku tatu ambao ni elfu thelathini tena ambayo ilimegwa kwa nauli na mambo mengine ningewezaje kulipa deni hilo kubwa, wazazi waliamua kukaa kimya ili washuhudie miujiza.
“Samahani baba Zai naomba namba yako ya simu ili nikutumie hiyo pesa” niliongea huku nikiwa nauchakata muamala kwenye simu yangu.
“Kama unatuma kwenye simu utume na yakutolea kabisa” aliongea na kuitaja namba yake ya simu, mimi nikajiuliza huyu mzazi au winga, nikamtumia laki tatu na ishirini kwa dharau, simu yake ilipotetemeka aliangalia ujumbe wa muamala, uso wake ulibadilika ulionesha namna alivyofurahi.
“Hili limeisha ila wewe Zai na wewe Gasper marufuku kusikia mna mahusiano yoyote hata mkikutana njiani wewe pita huku na yule apite kule sitaki kusikia ujinga mwingine haya tuondokeni” Baba Zai aliichukua familia yake baada ya kunitolea maneno ya vitisho. Walipoondoka mama alianza kunilaumu kwa kuwa na mahusiano na yule mtoto, baba akaniambia aniache nitulie kwanza kwakua hayo yameisha tugange na mengine, japo aliniuliza nilipoipata ile pesa yote ya kulipa faini, alihofia labda nitakua nimeiba pesa ya watu ninapofanyia kazi nikasababisha makosa mengine, nilimtuliza mzee kwamba hiyo pesa ni pesa ya rafiki angu Emma kwakua aligundua mkewe anatatizo la kuchukua pesa na kwenda kufanya maendeleo nyumbani kwao ndio sababu kutomuamini tena mkewe akaamua kunipa mimi nimtunzie pesa yake, baba alinisisitiza nifanye kazi kwa bidii ikiwezekana kila siku niwe naweka elfu tano ili nirejeshe pesa ya watu hakuishia hapo alinitaka pia nikamweleze Emma juu ya matumizi ya pesa hiyo ili awe na taarifa kabisa kuliko siku ananiomba pesa yake na mimi nd’o namwambia nimetumia itakua sio sawa, baba yangu alikua na hekima sana nami nikamkubalia, sikuwa na hamu ya kula hivyo nikaenda chumbani kwangu, simu ilipokea jumbe nyingi kutoka kwa Ester mtoto wa boss kazini, Madam Brigita nae alituma ujumbe akiniuliza mbona nimemkalia kimya na sijampelekea chips alizoniagiza, meseji zote hizo sikutaka kuzijibu, nikajibu meseji ya Dr Furaha alieniuliza kama nimefika salama, nilimjibu na kumtakia usiku mwema, nikaweka simu huko nikalala zangu, saa kumi na moja ilifika kama upepo, nikajiandaa kama kawaida nikapendeza vya kutosha nikatoka na kuingia kazini, nilifanya kazi za kumenya viazi na wenzangu ilipofika saa nne asubuhi ndipo boss alifika, alituangalia tulikua busy na kazi tulimsalimia aliitikia kisha aliondoka zake, ilipofika mishale ya saa sita boss akaniita, akaniambia kwamba nimebadilishwa kitengo kuanzia wakati huo sitokua upande wa chips tena nitakua mhudumu wa kusambaza chakula na kuondoa vyombo, ila posho yangu itaendelea kusimama pale pale, kwangu mimi ilikua unyama tu kwanza niliona ndio wakati wa kuanza hata kujipulizia perfume kwani jikoni kule nilikua sijipulizii kutokana na eneo kuwa na moshi mwingi, nilipewa kitengo cha raha na mshahara ulikua ule ule. Nilianza kazi ya kusambaza chakula kwa wanafunzi, nikiwa kwenye kazi yangu nilimwona mwanamke flani mzuri sana mweupe, nyuma alikua na tako kubwa nilishangaa kwani mizigo kama hiyo mara nyingi huwa kwa wadada weusi, kwa mwonekano alionekana kujipenda sana kuna umatawi flani alikua nao nikampotezea, oda iliyokua mezani mwangu ilikua ya kupeleka ofisini kwa madam Brigita, nilijua kazi ipo kwakua sikua namjibu meseji zake tangu siku iliyopita nikabeba chips, soda na maji makubwa, niligonga akaruhusu niingie, nilipoingia na kuona ni mimi kwanza alifurahi pili alisogea na kufunga mlango kabisa akanitazama usoni na kuniambia.
“Leo humu hutoki ni mimi na wewe yaani ni wawili tu” niliduwazwa kwa maneno hayo.
SEHEMU YA NANE
Mwanaume niliweka chakula mezani na kutulia tuli kama maji mtungini, nilisubiri kuona madam Brigita atafanya nini.
“Kwanini ulikua hunijibu jumbe zangu?” nilichapwa swali la kwanza kabla sijajibu madam Brigita alinikumbatia na kunilalia kifuani, kifua kinaruhusu niliacha mtoto akilalie apate utulivu.
”Sikua na Sms wala dakika ndio maana sikukujibu lakini nilitamani sana kujibu meseji zako”
“Sasa jamani buku tu umeshindwa kujiunga hizo meseji na kuniweka roho juu juu mwenzako au bhasi ungeazima simu au kutuma tafadhali nipigie mimi ningekupigia” Madam Brigita alilalama.
“Sawa nikipata pesa nitaweka vocha au ukinicheki kwa wakati mwingine nitafanya hivyo, ila mimi nawahi kule cafe kuna oda zinaningojea”
“Mmmh mbona haraka hivyo wakati sijalala hata vizuri mwenzako” Madam Brigita aliongea kwa madeko hakujua kama alikua ananisisimua na tayari mwili wangu ulianza kukoa joto.
“Tutazungumza ngoja niwahi”
“Poa ngoja nikuwekee vocha ili nikikutumia sms unijibu”
“Poa ahsante” nilimjibu, hapo hapo alinitumia elfu kumi ya vocha, mimi nilirudi mpaka cafe kufika nikamwona mtoto wa boss Ester ananiniita kwa kukunja vidole, nilimfikia mahali pake pa kazi yeye alikua na sehemu ya kuuza ice cream, chocolate na bites mbalimbali ambazo wanafunzi hasa wakike walizipenda, tulisalimiana.
“Enhe vipi mwenzetu mbona jana kimya kingi au bi mkubwa alikuzingua mpaka ukaona utukasirikie wote” Ester aliniuliza, nikamjibu “hapana ilikwenda fresh tu alinielewa hata hivyo niliporudi nyumbani nikadakwa na homa kweli, nyie maneno yanaumba ukidanganya ugonjwa unashangaa unaumwa kweli”
“Hahaha uongo dhambi mimi mwenyewe alinihoji nimelala wapi nikamwambia kwa rafiki angu sijui hata imekwendaje akanielewa japo kuna maneno alinieleza kwamba nimeshakua nitafute uelekeo sijui umemuelewa hahaha?” Ester alichombeza.
“Mmmh hapo kwa ufupi anataka ukaolewe tu labda kaona kukubana bana kumefikia mwisho”
“Haha ndio hapo, japo alitaka kunitibua tena” Ester aliongea na kuacha kucheka.
“Si alitaka kukuondoa kazini kuna mjinga mmoja aliondokaga kwa dharau ndio amerudi kuomba tena kazi sasa sijui alimpaga nini mama angu maana kwa maneno yale ningekua mimi nisingempa tena kazi lakini yeye alipoongea kidogo tu kapata kazi yule jamaa atakua mchawi sio bure, nilijitahidi kumuomba sana ndio akakuhamisha kitengo kwenda eneo la kuhudumia wateja” hapo akili ikanikaa sawa nilimuelewa Ester mtu aliemzungumzia ni yule niliemkuta jikoni akiwa na Emma, kumbe nilitakiwa kufukuzwa kazi ili jamaa aingie alooh.
“Daah sawa bhana nashukuru kama ulinitetea kwa boss, Mungu akubariki sana”
“Poa sema unajua nini?”
“Kitu gani?” Nilimuuliza huku nikimkazia macho aliniambia
“Naitaka tena na leo” Ester aliongea huku akioneshea kidole chake kwenye rungu langu.
“Emu toka huko ngoja nikaendelee na kazi zangu” nilimpuuza na kuondoka zangu, nikiendelea na kazi yangu ya kusambaza chakula kwa watu walioagiza kutoka kwenye cafe yetu, ujumbe uliingia kwenye simu yangu.
“Upumzike kidogo, jua ni kali sana nakuona unavyokata mitaa” ujumbe ulisomeka namna hiyo kutoka kwa Madam Brigita.
“Hahaha niache nichape kazi, mwanaume kazi tutapumzika mbinguni kwa baba” nilimjibu namna hiyo.
“Badae usiku tutoke tukacheze mziki kidogo” kuusoma ujumbe huo nilimwelewa anataka twende club, nikamwambia
“kwa leo hapana labda kidogo weekend” nilimjibu hivyo sio kwamba sikupenda mziki la hashaa niliupenda mziki na nilikua dancer mkali tu tena nikikamatia kiuno cha mwanamke ombea kisiwe cha shemeji yangu kwani ataniganda tu nilikua na uwezo wa kukishika kwa namna ya pekee, uwezo wa kukitomasa usipimie, sikutaka kwenda club kwa kua ilikua katikati ya wiki halafu mziki nilipendelea nikiucheza iwe mpaka asubuhi, kwenda Club siku za kawaida ni michoresho hiyo nitoke club niunganishe job ingekua jau kubwa.
“Bhasi nitakusubiri mpaka utoke kazini then tutaenda sehemu tupate msosi na kuzungumza kidogo” nikakubali pendekezo hilo la pili ilipofika saa mbili kamili, Ester alinifuata na kuniambia anamaanisha kile alichoniambia kwamba anaitaka michezo usiku huo, nikamwambia
“Siko fresh na huwa sipendi kucheza chini ya kiwango, nikiwa poa nitakutafuta”
“Poa bhasi hiyo badae tukitoka kazini tupitie pharmacy upate hata dawa” nikakubali japo kishingo upande nilimwona demu ameshaanza kuwa jau ameanza michezo ya kuniganda ganda hovyo sio kweli, nikafanya kazi ilipofika saa mbili na nusu kwakua sikua na kipengele cha kukabidhi mahesabu nikaondoka Cafe bila kumuaga Ester, nikafika eneo la vimbweta nikamtumia ujumbe Madam Brigita kwamba tuondoke. Madam hakua na gari hivyo alirequest bolt ilifika mpaka getini tukaingia ndani ya gari, ilitupeleka mpaka kwenye bar flani hivi hapo palikua na vinywaji pamoja na chakula maeneo ya Goba.
Madam Brigita aliagiza kuku mzima kwa kila mmoja pia aliagiza vinywaji aliniuliza mimi natumia nini nikamwambia “Aniletee Dragon energy tu inatosha” sikua mlevi wala mtu wa kuvuta sigala wala shisha, nilikua kundi la watu watulivu, ubaya wa kundi hili kama haupo karibu na Mungu wako litakupeleka kwenye dhambi flani ambayo unaitenda bila ya kujiona una hatia nayo ni dhambi ya kupenda chini yaani michezo ya kupenda kuvua chupi za wanawake, mimi nilikua nakacheo kangu kwenye umoja huo.
Tukiwa hapo bar tunapata chakula na kunywa taratibu, madam Brigita yeye alikua na Savannah, nikawa namuangalia tu naijua savannah ilivyo na kawaida ya kukimbilia chini ukinywa nyingi zaidi, tuliongea mambo mengi, mara kwenye meza yetu alikuja mwanaume mmoja na kukaa karibu na Madam Brigita, chupa ya bia aliyokuja nayo aliiweka juu mezani.
“Brigita mambo” mwanaume yule alimsalimia Brigita peke ake kama mimi sipo, sikutaka kujishughulisha sana nikapiga kimya nione mchezo utaishia wapi
“Heee wewe tena?” Madam Brigita aliuliza kwa mshangao.
“Ndio ni mimi unahisi nitaacha kukufuatilia unahisi upendo wangu utazimika kirahisi namna hii”
“Ulinisaliti, ukaniumiza, tukaachana kwa amani ukaenda kwa hao uliowaona bora kuliko mimi, mbona unanifuata fuata babu wee niache namimi nifurahi sio kuniletea fyokofyoko zako hapa”
“Brigita mimi na wewe ni wakufa na kuzikana, hatuachani ng’oo au unanikataa kisa huyu kinyago wako, anajua mangapi tumeyapitia”
“Eti kinyago, nikwambie tu anakuzidi mengi sana kwa taarifa yako, wewe mwenyewe kimoja ukimaliza unakoroma mwezako ananipandisha vilele vingi ambavyo hujawahi nipeleka lione kwanza na lisura lake libaya” Brigita aliongea maneno makali sana maneno hayakua yakweli ila alifanya hivyo kumuumiza mwanaume huyo aliekua ex wake.
“Oya maselaa njooni tuue huyu mbwa kajichanganya” jamaa mbavu liliongea kwa sauti yake kubwa, kisha lilichukua chupa ya bia na kuibamiza chini lilikamata kipande cha chupa mkononi mwake, wale waliokua nae kwenye meza walifika haraka kuongeza nguvu. Kwa kuwatazama hakuna hata mmoja ambae nilikua namuweza, nilikua katika hatari kubwa ya kujeruhiwa au kuuwawa kabisa na watu hao.
SEHEMU YA TISA
“Namuua mbele ya macho yako”
“Wee mjinga nini unajua kuua ni rahisi kama unachinja kuku, jaribu nikumwage ubongo wako” Madam Brigita aliongea baada ya kutoa bastola kwenye pochi yake alisimama na kumnyooshea bastola mwanaume huyo. Yule mwanaume na wenzake kuona wanatazamana na chuma walinywea walimchukua yule mwenzao na kuondoka japo alikua anaendelea kutema maneno ya shombo.
“Nitamtafuta huyo dogo nakwambia Brigita nitakunyima furaha maisha yako yote lazima ujue mimi ndio Ali” mwanaume huyo aliongea kwa msisitizo huku akipiga piga kifua chake kwa kono lake kubwa lililoshiba.
“Kwendaaa mwanakwenda weee” Brigita nae alirusha maneno, meneja wa bar alifika na kutupea pole, hamu ya kula ilikata kabisa, nilimwomba Brigita niondoke zangu niwahi nyumbani, japo alinituliza na kunitaka nisubiri kidogo mpaka tumalize chakula nilimkatalia kabisa, sikutaka kubaki eneo hilo nikihofia usalama wa maisha yangu, tulirequest bolt ya gari kila mmoja, alinipa elfu sabini kwaajili ya usafiri niliondoka na kurudi nyumbani, moyoni nilikua bado nahema akili bado haikutulia kuona nimeponyeka kwenye mkono wa ile minjemba, meseji iliyotumwa na Brigita kuniuliza kama nimefika sikuijibu sikutaka mazoea mengine na huyo mwanamke kwanza ana ex wake mkorofi pili alikua anamiliki bastola kwa maana muda wowote nikimkorofisha hatosita kupita na kichwa change, nani alitaka kufa katika umri mdogo namna hiyo.
Usiku ulipita asubuhi nikaingia kazini kama kawaida, Ester alionesha kuninunia kwakua nilimtoroka usiku uliopita hiyo haikua shida sana kwangu kwa maana sikujali sana kuhusu yeye, alichokosea ni kwamba ukinuna uwe na uhakika wa kubembelezwa, mimi sikushughulika na hilo swala hakunivutia kwa lolote sikuona umuhimu wa kumbembeleza.
Mchana ulipofika alijaribu kuniongelesha na mimi nilimpotezea kiana, hilo lilizidi kumtafuna moyoni, alinitumia meseji nyingi za kuniomba msamaha ili nimsamehe, yaani ni mimi ndio nilimtoroka na bado msamaha aliniomba aloo hapa nilikua najua nakosea ila moyo kujirudi ulikua unagoma, ubaya zaidi alinioneshea kunipenda sana hiyo ndio ilikua mbaya zaidi kwenye mapenzi ukimwonesha mwenzako wewe ni taabani kwake ujue umekwisha vibaya sana, utateswa kwenye hayo mapenzi mpaka mganga wako akuague au mtumishi wako azidishe maombi.
Kama nilivyokueleza kwamba Cafe yetu ilikua na huduma ya kitofauti na cafe nyingine kwa maana kwetu ukiagiza chakula tunaweza kuletea ulipo, hiyo ilikua mbinu ya kivita kupambana na ushindani wa biashara za migahawa mingine. Nilipokea kimemo cha kupeleka chakula sahani tatu za chips yai, soda na maji nilipeleka uwanja wa mpira, nilipokaribia niliipiga namba ya simu niliyopewa ili kuzungumza na muagizaji, nilijitambulisha kwa sauti yangu yenye ukaribisho wa kipekee, kisha niliuliza kwa mara nyingine wamekaa upande gani wa kiwanja, nilielekezwa ni chini ya mti mmoja mkubwa eneo hilo lilikua na nyasi fupi fupi hutumiwa na wanafunzi wengi kupooza akili maana chuo huwa na maovyo ovyo ya masomo magumu, niliwaona wadada watatu wamekaa hapo wakizungumza mambo ya hapa na pale, niliwafikia na kuwasalimia vizuri miongoni mwa wadada hao watatu alikuwepo yule mwenye furushi kubwa yule mweupee aliebarikiwa kila kitu, ukimtazama juu mpaka chini utakosa kuona kasoro yoyote, mtoto alikua na vitu vingi vizuri.
“Oda zenu ni hizi hapa, gharama yake ni elfu kumi na tano”
“Sawa ahsante pesa yako ni hii hapa” alilipia yule dada mzuri zaidi, nilijua kabisa yeye alikua na uchumi mzuri kuwazidi hao wengine, sikujali sana kuhusu hilo.
“Ahsanteni na karibu tuwahudumie zaidi na zaidi” nilishukuru na kuanza kuondoka.
“Samahani kaka mimi naitwa Husna, mwenzangu hapa anaitwa Edina na huyo hapo ni Phia huyu ni yule mwenye mshape sasa, je wewe mkaka smart unaitwa nani vile?” Alitambulisha Husna alionekana kuwa mchangamfu kuliko wenzake.
“Naitwa Gasper ahsante kwa kuwafahamu, naomba niwaache bhasi” nilijibu kwa kifupi na kuondoka zangu kuendelea na kazi nyingine ilipofika jioni Madam Brigita alinitafuta ili nionane nae niligoma kujibu text zake kwa wakati huo Dr Furaha alikua amesafiri kuelekea nchini kenya kwaajili ya mambo yake ya utafiti hivyo sikua na usumbufu nae, Ester ndio kabisaa sikutaka hata kuonana nae ilipofika saa mbili usiku huyo nikachukua boda boda kuelekea nyumbani sikutaka kupanda daladala zingenivuruga tu. Nilipofika nyumbani nilioga na kuingia chumbani kwangu, nilitulia kidogo kitandani nikaperuzi kidogo mtandaoni kidogo kusoma soma kitabu kimoja kilichoandikwa na mwandishi Rajonce John kitabu kinaitwa Nipe Yote kwani Umeiumba Wewe, kinamzungumzia jamaa mmoja wa kuitwa Louis namna alivyokua anafanya kazi ya kuwaridhisha wake za watu kitandani yeye alikua kama toy la kushiriki nalo mapenzi, sharti uwe umeolewa ukiwa huridhiki huko kwenye ndoa yako bhasi yeye atafidia na kukuridhisha, kanuni ilikua hakuna kugandana ni mapenzi tu kila mtu anapita upande wake. Alikisoma kitabu kufika saa sita kasoro aliona meseji ikiingia kwenye simu yake.
“Hi” ni simple tu namna hiyo, mtumaji alionekana kutopenda mambo mengi.
Namimi nilijibu kwa kifupi.
“Hi” sikutaka kujiongeza zaidi ya kikomo changu.
“Nani hapo?”
“Gaa” nilijibu kwa kifupi watu wanaonifahamu walifahamu vyema huwa najiita Gaa ili kufupisha jina langu pili nilifanya hivyo ili kama ni mtu mpya asienifahamu iwe rahisi kwangu kujua namna ya kudeal nae.
“Who is Gaa?”
“Umenicheki hapa, ungejitambulisha then nitakueleza mimi ni nani” niliandika na kutuma.
“Ni Phia hapa” nilihisi mwili ukisisimka mtoto mzuri, mtoto mkali kanitafuta mimi muhudumu wa Cafe, oya weee niliona shangwe tu kwangu nikasema kajileta machinjioni mwenyeweee.
SEHEMU YA KUMI
“GAA means Gasper”
“Ooh yule kaka alituletea chips pale uwanjani”
“Yap yap ni mimi” bhasi kuanzia hapo tukajikuta tunazungumza mambo mengi, nilijitahidi mtoto acheke na kufurahia mazungumzo, inatoka hii namchapa hii yaani mambo yalikua mwake mwake, kufika saa nane usiku nilimuaga kwamba nalala kesho mapema nitaamka kuwahi kanisani, tuliagana na kulala zangu, niliamka saa mbili kamili nilienda kuoga nilipata kifungua kinywa nilivalia kinadhifu sana, nilivaa suruali rangi ya udongo, shati jeupe, nilinyonga tai, mkononi saa kali, nilijipulizia manukato, sikusahau vimiwani vya kuniongezea unyama usoni, baada ya kuhakikisha niko kamili nilikunywa chai na kuelekea kanisani misa ya pili, ibada ilipoisha sikutaka mambo mengi wala kusalimiana na watu nilirudi nyumbani mishale ya saa saba, kama kawaida chakula cha mchana kiliandaliwa tulikula pamoja kama familia, tulipomaliza nikamtafuta Phia, alinijibu bado amelala, nikajua zaidi kumbe jumapili alikua hostel za chuo sio hivyo tu mtoto yupo bored, nikamuuliza kwa mitego.
“Vipi tutoke tukacatch breeze kidogo” akanijibu ni “sawa but kuna condition moja” nikamuuliza ipi, akajibu
“Ni lazima tuwe na private car, kama utaweza kuafford it, lets go” nikajiambiza oooh mtoto ameset standard yake hataki mambo ya daladala wala bolt, nikamjibu.
“Good jiandae nitakufuata saa kumi na moja” sikua na gari ila jeuri yote hiyo ya kujibu namna hiyo niliipata kwa mwanangu Troy huyu jamaa alikua wakishua kweli kwao kulikua na magari mengi sana, uchague ni lipi la kutoka nalo nikampandia hewani Troy na kumweleza kwamba nina shida na gari, nitajaza mafuta na kila kitu nitashughulikia mimi, Troy hakua na shida kabisa na mimi, alinijibu mida ya saa tisa na nusu atakuja nalo mitaa ya karibu na home, nikamjibu unyama nikaingia kujiandaa nilitaka kupendeza haswa, nilivaa tisheti kubwa hivi jeusi, chini nilivaa traki nyeusi, na sendo nzuri, kichwani niliiweka kofia ya duara nayo nyeusi, nilijipulizia manukato ya kutosha nilimcheki Dr Furaha na kumweleza nina shida ya laki tatu, haraka alinitumia pesa hiyo nilikua kamili kwa matanuzi ya siku hiyo, nilitoka nyumbani mpaka alipokua Troy ananisubiri tuliingia kwenye gari mpaka kituo cha kujaza mafuta hapo niliweka mafuta ya elfu arobaini, mbele kidogo nikamshusha Troy yeye alikua anaingia kwenye misele yake mingine, na mimi nikachoma mafuta mpaka chuoni, nyumbani kwetu hatukua na gari lakini nilijua kuendesha gari, kuna vitu hata kama kwenu havipo ni muhimu kuvijua ukiwa kama kijana ulie na ndoto ya kuishi maisha mazuri, lazima uwe na uwezo wa kuendesha gari, kuendesha pikipiki, kuwa na passport ya kusafiria ni muhimu sana, kufika hostel sikutaka kutoka nje kwakua sikutaka watu wanione.
Nilimpigia simu Phia na kumpa taarifa kwamba nimefika aliponiuliza nipo kwa gari gani nilimwambia aicheki Crown nyeusi nd’o nilikua ndani yake, alitoka akiwa amevalia nguo za ufukweni zilikua na maua maua hivi, aliegesha miwani kwenye paji lake la uso, nguo zilimkaa na kumwenea vizuri mwilini, kila hatua moja aliyokua anapiga alikua ananisisimua kweli, Phia alikua mwanamke mzuri zaidi ya neno lenyewe, nilimfungulia mlango na yeye kuingia ndani, tulikumbatiana kidogo kishikaji, kisha nilichapa mwendo kuondoka.
“Nilihisi nikikupa mtihani wa kunifuata na gari utashindwa pili sikujua kama unauwezo wa kuendesha gari, wee mwanaume umeruka hivi viunzi kama unakunywa maji hongera yako” Phia alinimwagia maua yangu.
“Ooh kwaajili yako sikua na namna nyingine zaidi ya kufanya hivi, kwahiyo tuenjoy siku hii, jiachie ufurahie tumalize uchovu wa siku then kesho tuendelee na other stuffs za chuoni”
“Yah sure sure” tulienda mpaka kwenye hotel moja iliyokua karibu na ufukwe wa bahari, tukaagiza vinywaji wine tukawa tunapata taratibu huku tunazungumza mambo mbalimbali, Phia alijisikia furaha sana kuwa na mimi pale, nami nilihakikisha mtoto mzuri hakaukiwi na tabasamu, nikamuuliza kama atapenda nimpe machaguzi ya mambo yafuatayo, moja tukaogelee swimming pool, mbili twende tukaendeshe jet ski hizi ni zile pikipiki za juu ya maji, tatu tukimbizane na unyama wa pikipiki wa mataili manne, yeye alichagua tuendeshe pikipiki ya mataili manne, tulilipia elfu arobaini kwa nusu saa, tulianza kuendesha tulifurahia sana wenyewe, nilimuendesha kama dakika kumi na nyingine aliomba aniendeshe nilikua nyuma ya ule mdodo nilinogewa nao aiseh nilimkumbatia kwa nyuma nae hakugoma, alionesha kufurahia namna nilivyokua nimepitisha mikono yangu kiunoni mwake na kuibana mbele ya tumbo lake dogo, tulipendezeana kwakweli kila mtu alietutazama alizidi kufurahishwa na namna yetu tulivyokua tunapeana furaha, tulipiga picha nyingi sana giza lilipoingia tulirudi hotelini, tuliagiza seafood tukawa tunakula na kunywa wine, huku tukizungumza mambo ya hapa na pale ilipofika saa nne usiku tuliona ni muda wetu wa kurejea hostel, tulipanda kwenye gari nilimpeleka mpaka karibu na hosteli za chuo, kabla ya kushuka kwenye gari alinikumbatia kwa nguvu sana, pumzi zake zilizidi kuwa za moto kama mtu anaepandwa na kitu mwilini, nikajua huyu mbona kama anakaribia kuiva nikamnong’oneza sikioni mwake kwa sauti yangu nzito yenye umahaba ndani yake.
“Twende mbele kidogo, najiona natamani kuendelea kuwa na wewe tu ikiwezekana tukeshe wote” hakunijibu kwa kufungua kinywa chake bali aliniangalia tu nae alionesha kunihitaji zaidi, nikawasha gari nikaendesha mpaka eneo fulani lenye giza kidogo ilikua nje ya chuo, hapo nikazima taa ya gari, nikapandisha vioo mpaka juu, nilikua mimi na yeye tu, nilikua na kinga zangu ila kwa mama kama hii nikaona hii niichape kavu kavu ili niupate utamu wake wote wote, nikamvuta karibu yangu nae alijaa, nikampa ulimi nae aliupokea, sikua na pupa nikadendeka nae kwa dakika kama tano hivi alikua hoi taabani, mkono wake ulikua unakazana kushika kwenye kitumbua chake alikua anafanya kama anapasugua kwa nguvu nikajua panamuwasha panataka dubwana langu lililovimba karibia kutaka kupasuka, nikaamua kushusha pumzi kidogo niliivuta hewa kwa nguvu, nikaibana pumzi nikaanza kuiachia taratibu hiyo ilikua mbinu ya kunipunguzia hisia kali nilizokua nazo nilizitoa nguo zake zote, hapo aliendelea kujisugua kwa kidole chake huku akitoa maji, alikua na maji mengi kinoma nikamtomasha zaidi kwa dakika tano nyingine ilifika hatua hajiwezi tena, oya moyoni nilikua natabasamu sikuamini kama yule demu mkali niliemtamani na sikuona kama ni hadhi yangu alikua mbele yangu mtupu kama alivyozaliwa yaani utamu wote nje nje.
INAENDELEA

