HAINA MABEGA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
Nilivunja siti kisha Nilimweka kwenye engo nzuri, kifo cha mende kwanza kisha tulihamia mbuzi kagoma kwenda nikiwa nimepiga magoti nyuma yake, mikono yangu ilikua inayabinya binya makalio yake meupe na laini, nilimaliza kila kitu aliniambia yupo safe kwahiyo sikutaka kumwagia kwenye gari nilimwagia ndani kabisa yaani huko ndani tu, toto halikua zuri kwa nje tu bali mpaka kunako lilikua na utamu wa upekee. Baada ya shughuli pevu ambayo niliikamia haswa kwakua sikutaka kuaibisha ukoo wetu hivyo nilicheza vizuri, nilimrudisha hostel kwake tayari ilikua saa sita inayokimbilia saba nilimcheki Troy alinipa maelezo kwamba kuirudisha gari home kwao kwa usiku huo ni uongo hivyo nikaiache kweye supermaket moja kwa nje kulikua na huduma ya kuegesha magari, nilimkabidhi mlinzi gari niliondoka na funguo, nilienda nyumbani kulala, kwa muda niliorudi nyumbani ndio sababu ambayo ilinifanya niwaze mara mbili mbili swala la kuendelea kukaa nyumbani na kuchelewa kurudi kwakua nilikua na mambo mengi sana niliwaza siku moja niongee na wazee kuhusu swala la kwenda kupanga.
Usiku huo ulikwisha niliamshwa saa kumi na moja nilikua nimechoka sana kutokana na kuchelewa kulala, kwakua nilihitaji kuendelea kufanya kazi niliamka kibishi nilikutana na Emma tuliongozana kwenda kazini njiani tulikua tunapiga stori.
“Kaka haukamatiki siku hizi yaani kukupata imekua adimu sana” Emma alichombeza.
“Aaah kaka si tupo ofisi moja ni vile tu mimi huwa nawahi kurudi home si unajua sipo kitengo cha kushika pesa tena, hivyo huwa nawahi kuondoka ndugu yangu” nilijitetea
“Kweli kweli lakini mambo si yanaenda”
“Ndio yanaenda kaka nashukuru Mungu” tulizungumza mambo ya hapa na pale mpaka tunafika chuoni, tulifanya kazi ilipofika mchana nilipokea oda ya kupeleka chakula ofisini kwa madam Brigita nilijizunguusha ili nisiende lakini bado jukumu liliangukia mikononi mwangu, nilibeba chakula nilipofika niliruhusiwa kuingia ndani, madam Brigita alifurahi kuniona ila kwa upande wangu sikumwonesha bashasha lolote, niliweka chakula mezani na kutaka kuondoka alinishika mkono kunizuia nisiende, nilipogeuka kumtazama nilimwona anatiririsha machozi.
“Usiende tafadhali nisikilize, siku zote hizi mwenzako siko sawa kabisa mpaka najishangaa mwenyewe kila nikijitahidi kuwa sawa nashindwa kabisa, naomba unisikilize bhasi kidogo najua nilizingua ile siku lakini nipo tayari kukusimulia kila kitu usinizibie vioo tafadhali niruhusu” aliongea maneno yote kwa namna alivyokua analia nilijua wazi anamaanisha japo wanawake sio wa kuwaamini sana kwenye michezo ya kulia wapo vizuri, nikamvuta na kumsogeza karibu zaidi na kumkumbatia
“Badae tutaongea vizuri, utanisimulia kila kitu”
“Ahsante Gaa, wapi sasa tutaonana?”
“Nitakuja humu humu ndio salama zaidi, niache niwahi sasa” nilimjibu.
“Sawa nakupenda eeh” aliongea, kutomwacha peke ake katika neno hilo zito lililohitaji ujasiri mkubwa kwa mwanamke kuanza kukutamkia nilimjibu kwa ufupi.
“Me pia” nilinyonga kitasa na kuondoka zangu, nikiwa njiani kwa mbali nilimwona Phia na marafiki zake Husna na Edina kwa kuwa Husna ni mtu wa shangwe alinipungia mkono kwa mbali nami nilimpungia, Phia alishindwa kunitazama kabisa nikajua hiyo ni aibu ya kile tulichotoka kufanya usiku uliopita nikarudi zangu mgahawani, niliendelea na zoezi la kugawa na kuhudumia wateja, Ester mtoto wa boss aliponiona tu alinipungia mkono kuniita mimi hilo sikutii niligomea wito nikaendelea na mambo yangu kuna muda wateja waliisha nilikaa kwenye kiti nikiperuzi kidogo, Ester alinifuata na kukaa pembeni yangu.
“Umeninyima sana, sasa bhasi usiku wa leo naitaka, ukanisugue usiku mzima la sivyo” binti wa kichaga alifunguka maneno yote na kunitisha.
“La sivyo nini?” nilimuuliza bila kupepesa macho.
“Nitamshawishi mama akufute kazi hapa Cafe kama unaipenda kazi yako, usiku ukanipe raha” Ester aliongea na kuondoka aliniacha nikiwa mwingi wa hasira nazani tungekua eneo la peke etu ningemchapa makofi ya kutosha, umaskini wangu wa kufanya kazi kwao ndio kiwe kigezo cha yeye kutaka kunitumia kimapenzi, nilijiapiza siwezi kufanya nae mapenzi tena vitisho vyake ndio sababu ya kumfungia vioo mazima. Nilisubiri ilipofika saa mbili nilikwenda ofisini kwa madam Brigita, walimu na wafanyakazi wengine walishaondoka kwenye maofisi mengine, ni madam Brigita pekee ndie aliebaki.
“Ahsante kwa kuja nitakueleza kila kitu kilichotokea kati yangu mimi na Ali” nikampa ishara azungumze ni kipi kilichomsibu, nilikua makini kusikiliza ili nisidanganywe.
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
“Sikatai kama Ali alikua mpenzi wangu, tena nilimpenda sana na yeye alinipenda ilifikia mpaka akaja nyumbani kwetu kwa lengo la kujitambulisha ili mchakato wa ndoa ufuatie, ilipopangwa tarehe ya kulipa mahali siku hiyo Ali hakutokea nyumbani tulimsubiri sana hakufanya hivyo ubaya zaidi familia yangu ilikwisha kopa pesa ya maandalizi kwani tuliarika watu wengi vyakula vingi vilipikwa kwa maana mahali ikitolewa pesa kidogo itachukuliwa na kulipa yale madeni kibaya zaidi Ali hakutokea tukabaki wenye aibu na madeni mengi, mimi nilikua katika hali mbaya zaidi nilihisi kuchanganyikiwa nilikua natembea kama kichaa sina hili na lile namna mapenzi yanavyojua kutesa na kumpa wakati mbaya mtu, kuna siku nilikua natembea kuna wanaume watatu walinikamata na kunipeleka kwenye jumba bovu, licha ya kuwa walitaka kunifanyia kitendo kibaya sikupiga kelele wala nini nilikua tayari kwa kile walichotaka kunifanyia wale watu bahati nzuri alitokea mbaba mmoja ambae alisikia minong’ono ya wale watu alikuja kwa makelele wale watu walikimbia na kuniacha mimi pale, alinichukua na kunirudisha nyumbani sikua kwenye majozi ya kutaka kubakwa bali majonzi yangu yalikua ni yale yale kwanini Ali kaniacha, kwani mimi nina kasoro gani, kitendo cha kutokua sawa ndio sababu ya baba yangu kunipeleka kwa mwanasaikolojia ambapo nilikua chini ya uangalizi wake kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipopona na kumsahau kabisa yule fedhuli Ali, mwaka huu ndio nikaenda polisi kwa lengo la kuomba kibali cha kumiliki bastola hii ni kwaajili ya kujilindia tu kwani Ali amekua akinisumbua mara kwa mara kwamba anataka kurudi kwenye maisha yangu kwa matusi na vitisho”
“Oooh pole sana kwa hayo yote uliyoyapitia lakini sasa huyo jamaa yako hatotulia, ataendelea kukusumbua wewe na kila mtu atakaekua karibu na wewe atajikuta kwenye hatari kubwa ya kuwindwa maisha yake”
“Kuna habari njema kuhusu hilo jambo” Madam Brigita aliongea huku akitabasamu.
“Ni habari gani tafadhali niambie”
“Huyo Ali ni jana amehukumiwa kifungo cha miaka thelathini gerezani baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege huko Afrika ya kusini kwahiyo hakuna kikwazo kingine chochote kilichosimama mbele yetu, tujimwae mwae my love”
“Ni ukweli au?”
“Ndio nikweli kabisa sikudanganyi Gasper”
“Ooh sawa, saa tatu hii naona tuondoke”
“Mmh mbona mapema ila sijajua kama kweli umenielewa wewe”
“Nimekuelewa usijali tuondoke tu muda umesogea sana sitaki kuwakela wazazi kwa kuchelewa kurudi nyumbani”
“Ni sawa kama umenielewa kweli nisimamie ukucha kwa dakika kumi na tano tu zinatoshea, mwenzako sijafanywa kwa muda mrefu sana” Madam Brigita aliniambia huku akinilegezea sauti.
“Daah nimechoka aiseh tufanye siku nyingine”
“Aaah buanaa kidogo tu” Brigita alizidisha kudeka alianza kumpapasa mjomba nchumali wangu, sasa hapo ndipo penye udhaifu wangu, nilimsimamisha haraka nilimshikisha meza nikamvua chupi na kuipandisha sketi yake juu, nilimpima kama amelowana kunako, kweli bhana alikua amelowana tayari kwa mchezo hakukua na maandalizi yoyote nikampelekea chuma, sikuipeleka ndani nilianza kuisugua kwa juu kwanza nilifanya hivyo kwa dakika tano, nikaiingiza kama robo, nikapeleka nusu nilipotaka kuiingiza zaidi nikaona anapeleka kiuno mbele nikajua mashine yangu ilikua ndefu kuliko kisima chake hivyo niliirudisha na kumkadilia nusu nusu, kwa upande wake alikua anaikatikia kuzidi yaani alipiga makelele mengi ikabidi nimzibe mdomo ili asiendeleze makelele yake, ndani ya dakika ishirini nilizomfanya yeye alitoa madafu matatu kwa upande wangu sikua nimemwaga hata kidogo, nikavuta pumzi kwa nguvu nikashusha hisia zangu, alivaa chupi yake na kwenda bafuni baada ya dakika saba alirejea, tukatoka na kuondoka chuoni kila mmoja alichukua bodaboda na kwenda nyumbanj, nilipofika nilimtumia meseji Phia ilikua ni jumbe ya usiku mwema nikaweka simu huko pembeni simu ikaanza kuita kwa fujo kuitazama mpigaji ni Ester nikakata simu na kuamua kuizima kabisa, sikutaka usumbufu wowote muda huo, nikaenda bafuni kuoga niliporudi nililala zangu nikaamka saa kumi na moja kama kawaida kufika kazini nilikutana na mama Shirima ameshika kiuno uso wake hauchekeshi hata kidogo, nilijua tayari nimeshachochewa maneno ya uongo na huo ulikua muda wa mimi kufukuzwa kazi. Kweli kazi za watu ni kazi zisizokua na kibali cha kudumu milele, nilikua mnyonge na kumsalimia aliitiikia kwa kifupi sana, nilipiga hatua kwenda ndani aliniita, niligeuka kwa woga mkuu nilipiga hatua na kurudi alipokua mama Shirima boss wangu, masikio yangu hayakutaka kusikia swala la kufutwa kazi ila akili iliniambia hiko ndicho nitakachoambiwa wakati huo.
SEHEMU YA KUMI NA TATU
“Kijana baadae mida ya saa tano hivi nitaomba twende wote nyumbani kwangu kuna kazi ukanisaidie kuifanya” Mama Shirima aliongea kwa sauti ya upole maneno yake sikuyatarajia lakini yalinipa ahueni ya moyo, afadhali nilikua na uhakika wa kuendelea na kazi yangu, nilimjibu.
”Sawa mama tutaenda wote usijali”
“Vyema nenda kaendelee na kazi zako”
“Ahsante mama” niliitikia na kuondoka zangu kabla ya kufikia mlango nilimwona Ester amesimama mbele yangu.
“Huyooo mwone alivyonywea, nilikuona ulivyokua unatetemeka wakati unaongea na mama, kwa taarifa yako sijamwambia mama kuhusu kukufukuza kazi ila leo nitamwambia ukigomea kunipa utamu na leo” Ester aliongea maneno yake yale yale
“Daaaah” niliishiwa maneno nikajikuta naguna tu.
“Eti daaah itakua moro nakwambia wewe jiandae tu kichwa chako” Ester aliongea na kunipiga kikofi cha mahaba begani, akilini mwangu nikajisemea hunipati ng’ooo. Niliendelea na kazi zangu ilipofika saa tano. Mama shirima aliniita na kuniambia ndio muda wa kuondoka hivyo, nikakubali, usafiri wa kuondoka nao ni kirikuu, hivi ni vile vigari vidogo vya kubebea mizigo, ndani walikaa mama shirima na dereva mimi nikakaa kwa bodi la nyuma, iliniuma ila sikua na namna, iliniuma sababu nilikua na wachumba pale chuoni halafu unanipandisha nyuma ya gari, sio mbaya nilipanda, bahati nzuri mpaka tunatoka getini sikuonana na Madam Brigita, Phia wala marafiki zake Husna na Edina, tulienda mpaka nyumbani kwa mama shirima, hakukua na mlinzi hivyo geti alifungua mwenyewe tuliingia ndani na gari.
“Sasa kijana hapa kuna mizigo ya kubeba na kuiweka kwenye hili gari, kuna watu niliwaagiza mizigo yangu badala ya kupeleka chuoni wameleta hapa, nilipowataka wapeleke chuo wakataka niwaongezee pesa ya usafiri, ujinga huo sikutaka kuufuga ndio maana wakanishushia hapa hapa” Mama Shirima aliniambia nami nikamwambia hamna shida, kazi ilianza ilikua ya kubeba gunia za maharage na unga ambazo zilisafirishwa kutokea huko mkoani morogoro, tulizibeba na kuziweka kwenye gari zote kwa ushirikiano wangu na dereva wa gari la mizigo tulipomaliza sikuonesha kuchoka kabisa mpaka mama shirima alishangaa aliniita pembeni ili tuongee.
“Kijana hongera sana kwa hiki ulichokifanya hapa umejua kunishangaza, sikukuamini siku ya kwanza ulipoletwa kwangu, nilikuona ni bishoo usiejua kazi, tena mwenye kupenda kupendeza tu, lakini kaxi uliyoifanya pale mgahawani ya kusambaza chakula kwa namna ulivyoitekeleza kazi yako vizuri umeutangaza sana mgahawa wetu wateja wamekua wakija wengi sana na wengi wao wamekua wakikusifia sana kwa namna unavyowahudumia vizuri pili uwezo ulionioneshea hapa wa kubeba magunia bila kulalamika ni kipimo tosha kilichonionesha kwamba wewe ni mwanaume wa shoka na si legelege kama akili yangu ilivyokua inanieleza, nitakupa mkataba wa kudumu pale mgahawani kwangu nitakulipa laki nne kwa mwezi hakuna mfanyakazi hata mmoja mwenye mkataba ni wewe wakwanza nakuhitaji pale mgahawani kwa miaka mingi zaidi endelea kuchapa kazi mwanangu” mama shirima aliteririka maneno mengi mpaka nikawa najiuliza ni mama shirima huyu kweli au mwingine alitokea kunikubali kwa kazi yangu niliyoifanya mgahawani kwake, ni ukweli usiopingika mimi ni bishoo kwa kunitazama lakini likija swala la kutekeleza wajibu nilikua nafanya zaidi ya kawaida kama kwenye kundi la watu wengi ujue nitaonekana tu, kuacha alama mahali popote ni jadi yangu ndio maana hata kitandani watoto niliowashughulikia waliendelea kuniganda. Mama shirima alituambia sisi tutangulie na yeye atakuja kwa usafiri mwingine, tuliingia kwenye gari na kurejea chuoni. Maisha yangu chuoni yalikua ya mtindo huo kwenye mahusiano niliendelea kuishi na Phia, Madam Brigita na Dr Furaha kwa upande wa Ester nilimpotezea kwakua sikuona kama ataweza kunifukuzisha kazi tena hivyo nilikua na jeuri ya kuachana nae, miezi miwili ilipita nikiendelea kuwa traffic mwenye kuijua kazi yake vyema, sikutaka magari yagongane hata kidogo. Siku moja nikiwa chuoni kwenye shughuli zangu mgahawani nilipokea simu kutoka kwa mzee alinipa taarifa kwamba bibi mzaa baba amefariki, nilihuzunika sana kwa msiba huo kutokana na kwamba nilimzoea sana bibi yangu kiasi kwamba kwa umri wangu huo bado nilipoenda kijijini bibi alikua ananipakata mara nyingi alikua anasema nimefanana na marehemu mumewe yaani babu yangu mzaa baba kwahiyo alikua aniona mimi kama mumewe, kifo chake kilimaanisha nimempoteza mke wa thamani kwenye maisha yangu, nilimfuata mama shirima na kumpatia taarifa hiyo ya msiba alihuzunika na kunipa ruhusa ya kurudi nyumbani na kwenda huko msibani, nilirudi nyumbani na siku hiyo hiyo tulifanya safari ya kuelekea mkoani morogoro sehemu flani inayoitwa mvomero ndipo alipokua akiishi bibi angu, nikiwa msibani niliwapa taarifa wapenzi zangu, Madam Brigita na Dr Furaha kwani wao walikua wananitafuta sana, mtu ambae sikumtafuta ni Phia kwani niliona kuna maringo alikua nayo kuzungumza nae mara nyingi ni mpaka mimi nimtafute, sijui alikua anajikuta nani, anyway ni mzuri wa sura na umbo ana kila kitu, tumwache aringe tu, maringo nayo ni haiba ya kike tena ukiwa mzuri ruksa kuringa.
Nikiwa pale msibani giza lilipoingia nikaona nitembee tembee kidogo nilitoka pale msibani nilipita nyumba mbili tatu nilikuta eneo wanachoma na kukaanga nyama ya ng’ombe na mbuzi yoyote unayotaka utapewa, ni pesa yako tu. Watu walikua wengi kutokana na uwepo wa msiba wa bibi. Nikiwa pale nikiangalia nyama ili nijue nichome au ikaangwe.
“Nyama kilo bei shillingi ngapi” sauti ya kike ilisikika pembeni yangu, sauti haikua ngeni masikioni mwangu niliijua vyema nilipotazama pembeni sikuamini aliekua mbele ya macho yangu.
SEHEMU YA KUMI NA NNE
“Phia ni wewe au naota” nilijikuta nalopoka ni kweli aliekua mbele yangu ni Phia, maswali niliyokua nayo kichwani amefikaje pale.
“Yes ni mimi, nami nimeshangaa kukuona hapa”
“Aiseeeh kweli tunamengi ya kuzungumza hapa” tulinunua kilo moja ya nyama ya mbuzi aliekaangwa vizuri, muuzaji alitufungia na kutupa limao na chumvi tulitoka hapo na kwenda kukaa sehemu ili tuweze kuongea vizuri”
“Nimeshangaa kukuona hapa ujue huu msiba unakuhusu na wewe kwani” nilimuuliza Phia swali la udadisi nilitaka kujua juu ya uwepo wake pale.
“Aah mimi sizani sana ila nimemsindikiza mama yangu, aliniambia huu msiba ni wa ndugu yake wa mbali sana ila ni muhimu kuhudhuria na vipi kuhusu wewe” Phia alinijibu na kunichapa swali hapo hapo.
“Mimi aliefariki ni bibi angu yaani mke mwenzio kwa maana ya kwamba ni bibi mzaa baba yangu kabisa”
“Ooh pole sana mbona hulii na umepoteza mke”
“Wacha sasa si kaniachia wewe”
“Heee muone”
“Emu kula kidogo” niliongea na kumlisha kipande cha nyama kwa mdomo, hapo nilikua huru na yeye japo mwanzo nilikua na hofu isijekua siku zote nilikua namla ndugu yangu kabisa, baada ya kuambiwa, bibi angu ni ndugu yake mama ake tena ndugu wa mbali sana ndio nikajua ule undugu wa bibi mzaa shangazi, sijui shangazi akamzaa mdogo ake binamu na yule binamu akaenda kuzalisha ukoo mwingine bhasi taflani sisi na mambo yenu ya kiafrika yenye kufuatiliana zaidi tofauti na wenzetu wazungu, tuliendelea kulishana pake namna tulivyokua karibu zaidi na kaupepo kalikokua kanapuliza ndipo miili yetu ilizidi kuhitajiana, niliona kichaka kwa mbele kingefaa kukata kiu kwa haraka haraka, shida ikawa naongea vipi na demu wa kishua Phia, nilipata mbinu ya kumfanya aishiwe na ujanja ni kumpapasa, nilimshika kila mahali mpaka akalegea nilipomvuta kichakani alikitamani kichaka kuliko mimi, nikimfakamia huko huko bahati nzuri hatukupata ugeni wowote wa nyoka wala mdudu wa kutudhuru, tulipotosheka tulirudi msibani, usikua ulipita na siku mpya ililingia majira ya saa kumi tulimzika bibi angu, ilikua safari yake ya mwisho kuuona tena mwili wake ukiwa duniani, wazee walituambia kwamba msiba utaisha siku inayofuata mpaka kikao cha ndugu kitakapokaliwa, tulilala tena pale msibani na siku ya pili ilipoingia kikao kilipangwa kifanyike saa nne asubuhi, kufika saa tatu asubuhi, baba angu mdogo aliekua wa mwisho kwenye familia ya kina baba alitukusanya watoto wote yaani watoto wa baba zangu wakubwa, wadogo, mashangazi na kutuweka kikao, cha ajabu kwenye kikao hiko alikuwepo Phia, alianza utambulisho wa watoto mmoja baada ya mwingine cha ajabu alimtambulisha Phia kama mtoto wake ambae alimzaa kwa mwanamke mwingine ambae si mama angu mdogo niliekua namfahamu.
“Alaaa nimegonga ndugu yangu kabisa dadeki” nilijiongelesha mwenyewe hata nilipomtazama Phia nae alikua katika hali mbaya kama niliyokua nayo, baba mdogo aliongea zaidi.
“Mjue misiba na sherehe ndio hukutanisha watu mbalimbali, sisi baba zenu tumeshazeeka ninyi ndio wa kuunganisha undugu endapo tusipowasimamia saivi siku tukiondoka duniani mtasahauliana kabisa au mkafanya makosa ya kuchumbiana mkaleta laana kwenye ukoo, leo ndio mnajuana hapa na kutokea hapa mtaunda kundi la whatsap la ukoo ili muendelee kuwa na mawasiliano ya karibu sio mawasiliano tu bali muweze kusaidiana kwenye michongo na mambo mbalimbali ya kimaisha mimi nimemaliza mfanye kazi ya kuunganisha hilo group saivi kabla ya kikao, Gasper kazi ni yako hiyo” baba mdogo aliongea maneno yenye kunigusa tena yalikua yanapita kwenye moyo wangu kama moto kisha ananipa jukumu aiseh, sikua na namna zaidi ya kuchukua namba za watu wote nilipofika kwa Phia tulishindwa kutazamana usoni, tulijua makosa tuliyoyatenda lakini ni makosa bila kujua, kila mmoja alikua na mgogoro nafsia. Niliunda group la whatsap na kuwaweka watu wote.
Kikao cha ukoo kilifanyika pale kilipokwisha kwa wao kupanga mipango mikubwa kama ukoo, msiba ulihitimishwa tulipanda gari na kurudi jijini Dar es salaam.
Nilipofika nyumbani nilimuuliza baba maswali mengi ya kuzunguka na mwisho nilimuulizia baba kama ba mdogo alikua na mtoto mwingine wa kike ambae ni Sophia(Phia) ukiachana na wale niliokua nawafahamu mimi yaani wa nyumbani kwa ba mdogo. Baba aligongelea msumali wa moto na kusema ni kweli huyo ni mtoto wa ba mdogo nilimuuliza ilikuaje alishindwa kujulikana kwa miaka mingi.
“Ngoja nikueleze kilichotokea mpaka huyo mtoto akashindwa kujulikana” niljtega masikio vizuri kusikiliza kisa hiko.
SEHEMU YA KUMI NA TANO
“Yule mtoto Sophia ni damu yetu kabisa kilichotokea ni kwamba alikua mtoto wa nje, mama ake alipata mimba wakati anasoma chuo, baada ya familia ya yule mama ake Sophia kubaini kwamba amepewa mimba na mwanaume aliekua ndani ya ndoa tena ni mkristo na wao walikua waislamu walimrudisha mtoto wao nyumbani na kumpiga marufuku baba ako mdogo kutomfatilia kabisa yule mtoto, kwakua familia ilikua inajiweza sana kiuchumi ndio sababu ya Sophia kukua pasipo kuwa karibu wala kumjua baba yake, miaka imesogea binti amekua mara nyingi amekua akimwuliza mama yake kwamba baba yake ni yupi miaka na miaka mama ake alikua akimficha, ulipotokea msiba wa bibi ako ndipo mama ake akambeba na kwenda nae mvomero ili akawajue na ndugu zake wengine nazani hapo umenielewa vizuri eeh”
“Ndio baba umefafanua vizuri nami nimekuelewa vizuri, halafu baba kuna jambo nataka kukueleza hapa” Niliamua kubadilia gia hewani sikutaka tuendelee kuongelea mambo ya Sophia kwakua yalikua yananiumiza moyo wangu.
“Baba nataka nikapange na mimi nijitegemee kwakua nimepata kazi wacha nikaupimie upepo wangu na mimi huko barabarani”
“Ooh hiyo nzuri kwakua umelitambua hilo mapema kama usingeongea mwisho wa huu mwaka ningekwambia kuhusu hili jambo la wewe kupanga chumba chako, tayari umeshakua mwanangu ni vyema ukakimbizane na mtaa, kelele za baba mwenye nyumba akidai kodi yake ziweze kukupa morali ya kutafuta pesa ya kodi kwa jitihada zote”
“Hakika baba yangu”
“Vizuri nenda kafanikiwe mwanangu mimi nakubariki kwa baraka zote za rohoni na mwilini” baba yangu alitamka maneno mazuri ambayo niliyafurahia sana, kubarikiwa na baba yako kuna nguvu yake ya kitofauti niliona huo ndio wakati milango yangu itazidi kufunguliwa zaidi na zaidi. Siku hiyo nilitoka na kwenda kutafuta chumba nilipata chumba na kodi ilikua elfu hamsini nililipa miezi sita yote, shida ikaja sikua na pesa nyingine ya kununulia vyombo vya ndani, nikaamua kuwatafuta wapenzi wawezeshaji wangu Madam Brigita na Dr Furaha niliwaeleza juu ya swala la kupanga kila mmoja alifurahi kwa namna yake, walinichangia kiasi cha pesa Dr Furaha kwakua alikua vizuri sana alinipa millioni moja na Madam Brigita alijivuta vuta akanipa laki tano, hizo zilitosha kabisa kujaza vitu kwenye chumba changu, siku zilisogea wapenzi wangu wakitaka kufika ninapoishi kitu nilichopambana nacho kwa nguvu zote ni wao kujua ninapokaa, nilipenda tukutane hotel na madam Brigita na upande wa Dr Furaha huyu raha nilikua nampatia nyumbani kwake, michezo kwa upande wa Phia ilikata kutokana na ukuta uliokua katikati yetu wa undugu.
Jumapili moja nikiwa nyumbani nikiwa nashughulika na mapishi niliona ujumbe kutoka kwa Phia.
“Hey bro uko wapi?”
“Niko nyumbani niaje”
“Safii nahisi kuwa bored hapa hostel halafu sitaki kwenda nyumbani unajua kilichotokea namwona mama angu ni mtu wa ajabu sana, sina pa kwenda naomba nije kwako nivushe wakati” niliisoma meseji hiyo mara mbilimbili kuona kama kuna usalama mwisho nilikubali baada ya kuona mtu mwenyewe kaniita bro kuna haja gani ya kuogopa nilimwelekeza mpaka kwangu alifika, nilipika ugali mayai, mboga za majani na nyama rosti, nilitengeneza na juice ya matunda, tulitenga na kula pamoja siku hiyo hakukua na michezo ya kulishana baada ya kumaliza kula tuliendelea kuangalia movie pale kwa bahati mbaya movie ilileta kipengele cha watu wakifanya mapenzi, si Phia akaanza vurugu nilijikaza sana kumzuia tusifanye hiko kitendo sisi ni ndugu, aliniomba nimfanye kwa mara ya mwisho na hata nikimnyima namnyima nini sasa wakati hakuna kipya ambacho hakukifahamu kutoka kwangu, nikajaa kwenye mfumo nikamfanya vizuri tu baada ya hapo kila mmoja akaenda kuoga tuliporudi nilikua kama nimekasirika nafsi yangu ilinisuta kwa kitendo hiko kibaya nilichokifanya na mtoto wa baba yangu mdogo alinipa simu yake na kuniambia.
“Acha kujinunisha nawewe bhana, kunikata ny*g* kidogo unaona dhaambi mwenyewe, leo ndio mwisho hatufanyi tena “kuthibitisha hilo chukua simu yangu hiyo mimi nakaa mbali tazama picha zilizopo halafu chagua rafiki yangu yeyote yule, mimi nitakufanyia mpango mpaka umpate sawa kaka” nikakubali nikachukua simu na kuanza kupita upande wa picha, kweli niliona vyombo vingi vikali nikishindwa kuchagua yupi niache yupi, ndio ubaya wa sisi wanaume kwenye wanawake wengi wazuri ukiambiwa uchague mmoja utachagua yule mzuri kabisa wa kukupendeza nafsi yako lakini moyo utaendelea kukuuma kwa kuwaacha wale wengine. Nikiwa nakazana na kutazama niliona kitu cha ajabu ambacho kilichukua umakini wangu, ilikua ni video ya Phia akifanya mapenzi na mwanaume mwingine, niliitazama kwa umakini kungojea kuona sura ya mwanaume huyo, nilipomuona nilishangaa sana kama mtu huyo ndio wakufanya kitendo hiko na Phia.
INAENDELEA

