HAINA MABEGA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA KWANZA
Naitwa Gasper elimu yangu ni kidato cha nne, sina ujuzi wala kazi yoyote ya kuniingizia kipato, wazazi wangu ndio wananiweka mjini kwa mambo yote, ukinikuta nilivyopendeza nikidundika, usingejua kwamba sehemu kubwa ya nguo zangu nimeazima kwa wanangu na nyingine nimenunuliwa na wazee nyumbani…vya kuazima vinapendezesha bwana nilikuwa napendeza mno kwakuwa nilikuwa nauchukia uchafu, muda wote ambao ungekutana na mimi bhasi ungekutana na mwanaume msafi sana mwenye kunukia vizuri, mwonekano mzuri, mcheshi na mwenye kujiamini, sifa zote za kiume nilikuwa nazo ni mfuko pekee ndio ulikuwa apeche alolo.
Usiku mmoja baba alipotoka kwenye mihangaiko yake ya siku ya kutafuta riziki ya familia, baada ya chakula cha usiku wazazi walinikalisha kikao, kikao kilikuwa kimebeba mstakabali wa maisha yangu.
Baba aliniuliza juu ya umri wangu, nilimjibu kuwa ni miaka ishirini na nne, baba alinieleza kwamba yeye akiwa katika umri huo, tayari alizijua njia nyingi za kutafuta pesa hivyo alinisihi nitafute kazi ya kuniingizia kipato na sio kulandalanda mtaani na kurudi mikono mitupu, niliona wanachoongea wazazi wangu ni sahihi, kipyenga cha utu uzima kilishapulizwa napaswa kuipambania kesho yangu.
Nilipoingia chumbani kwangu nilimtafuta mwanangu mmoja wa kuitwa Emma, yeye alikuwa anafanya kazi kwenye mgahawa mmoja uliokuwa unafanya shughuli ya kuuza chakula ndani ya chuo kikuu Ardhi, kwa miezi mingi ya nyuma Emma alikuwa akinishauri juu ya kuungana nae kwenye kazi hiyo, lakini nilimkatalia nilihisi itakuwa fedheha kufanya kazi hiyo mahali palipo jaa warembo wengi kama chuoni, maji yalipofika shingoni sikuona kama nitaweza kubeba zege sikuwa na nguvu hizo. Nilimpa Emma taarifa kwamba nipo tayari kuungana nae kwenye hiyo kazi. Emma alifurahi sana na kuniambia “ngoja kesho nikaongee na boss pale kazini, nikirudi usiku nitakupa mrejesho ila naamini utapata tu kazi kwani wafanyakazi tupo wachache sana” niliitikia sawa tuliagana na mimi kulala zangu ilipofika asubuhi mzee alijihimu kwenda kazini kama kawaida nililala mpaka saa nne nilipoamka nilikuta chai nilikunywa na kuendelea na mishe za siku, ulipofika mchana nilipokea simu ya Emma akinipa taarifa ya kwamba boss amekubali nikaanze kazi na amesema ikiwezekana niende hata muda huo, niliangalia saa ilikuwa saa nane mchana mida hiyo bi mkubwa alikuwa anapika na jua lilikuwa kali kweli kweli nilimwambia Emma sio kweli tufanye kesho tutaenda pamoja, tukaagana na kukata simu, usiku ulipoingia mzee aliporudi aliniuliza kama nimepata kazi au laaa na kama nimekosa bhasi kesho yake nikaungane nae kwenye mishe za buchani alizokua anazifanya yeye, nilimweleza kuwa nimepata kazi ya mgahawani na ifikapo asubuhi nitaenda na Emma, mzee wangu alinipongeza kwakupata kazi huku akiniambia sasa nakwenda kuuzika uvulana na kuuvaa uanaume kamili.
Saa kumi na moja alfajiri niliamka wakati baba anaondoka kwenda kazini kwake mimi nilikuwa najiandaa, nilivaa jinsi nyeusi, tisheti na jordan yangu miguuni, niliamini katika kuvaa vizuri haijalishi ni kazi gani nakwenda kufanya, nilitoka sebuleni nilimkuta mama, kwanza alianza kucheka baada ya kuniona “nilijua unawahi ndege ya alfajiri kumbe unaenda kazini baba angu nisitie neno zaidi Mungu akutangulie” mama aliongea kwa mafumbo lakini nilimwelewa kwamba nilipendeza sana kama mtu anaekwenda safari kumbe nilikuwa naenda kazini tena kazi yenyewe ya mgahawa niliishia kucheka tu, nilimpigia simu Emma alikuwa tayari ameshajiandaa nilitoka kwenda kukutana nae mahali ambapo tulikubaliana.
“Aah mzee wa kubaruza pamba zote hizo kama unaenda benki kutoa pesa kumbe tunaenda kuzitafuta” Emma alianza kwa kunitania, nilimjibu kwamba ni mambo ya kawaida kupendeza na kunukia vizuri ni kanuni ya binadamu yeyote anaejielewa kwani unadhifu unaficha vingi mojawapo ni umaskini.
Tulitembea umbali mfupi kisha tukakwea daladala na sisi tulishukia chuo cha ardhi getini, kwakuwa Emma alijuana na walinzi haikutusumbua mambo ya vitambulisho, saa kumi na mbili tulikuwa ndani ya mgahawa wanachuo huita Cafeteria au Cafe kwa kifupi, Emma alinitambulisha kwa mama shirima aliekuwa mmiliki wa huo mgahawa. Mama Shirima alinitilia shaka namna ambavyo nilikuwa nimevaa na mwonekano wangu kwa ujumla, shaka yake ni kama nitaweza kazi, mimi na Emma tulipambana kumwelewesha kwamba kazi nitaiweza, akakubali kunipa kazi pia mama shirima alinieleza kwamba hapo hakuna mshahara bali kuna posho ya siku ambapo ningelipwa shilingi elfu kumi kila ifikapo muda wa kuondoka, nilikubali kwani ukitoa pesa ya nauli ningerudi na elfu nane mia tano nyumbani haikua pesa ndogo.
Mama shirima alinipanga na mimi kuelekea mahali alipokuwa akifanya kazi Emma, kazi yake ilikuwa ya kuuza chips, na alituambia kwamba siku hiyo tulitakiwa kumenya na kukata viazi gunia nne kwani mgahawa mwingine ulikuwa umefungiwa hivyo wanafunzi na wafanyakazi wengi wa chuo watafika kwenye mgahawa wa mama shirima ili kupata chakula, tulimuitikia ‘sawa’, nilijua kazi itakuwa nyepesi kumbe usilolijua ni sawa na usiku wa giza totoro. Kwa upande wa eneo la kuuzia chips tulibaki wawili kwani aliekuwa akifanya kazi na Emma alipelekwa kitengo cha kuuza juice. Kazi ilianza mara moja tulichukua magunia na kuanza kumenya viazi aiseh nilimenya viazi mpaka mikono iliniuma lakini ndio kwanza gunia langu halikuonesha dalili ya kusogea. Emma alikuwa akinicheka tu na kuniambia kwamba bado gunia lingine ambalo nilitakiwa kulimenya tena, ilipofika saa nne asubuhi, Emma alianza kukaanga viazi huku mimi nikiendelea kumenya na kukata kata viazi, saa tano kamili niliona wee usinitanie wacha nitoke nje kidogo nivute hata hewa nilijikung’uta mavumbi na kutoka nje huko ndipo nilikuwa mateka wa macho yangu mwenyewe, wanachuo wazuri wazuri wenye miili ya kila aina walikuwa wanapita mbele yangu, nilijikuta nikizuzuka tu na mionekano yao, mara nikamwona Emma akija huku akiniita kwa nguvu kwamba niende.
“Mwanangu boss amemind kutokukuta pale sasa tukienda akiwa anafoka, wewe tulia tu wala usilete noma mzoee ndivyo alivyo” Emma alinisisitiza nikasema sawa tulirudi na kumkuta yule mama wakichaga ameshika kiuno.
“Yaani umekuja leo tayari umeshaanza kuzurula na kuacha majukumu yako ya msingi, si niliwaambia kwamba hapa tutakuwa na wateja wengi au Emma hujamweleza mwenzako kwamba hapa kupumzika ni muda wa kula au umemaliza kazi, sasa iweje unapumzika na kazi zipo nyingi, kijana nipo mjini kutafuta pesa tusileteane utani na jambo la pesa” mama shirima alifoka.
“Naomba uniwie radhi boss, sitofanya tena makosa kama haya”
“Sawa hebu nifuate kuna mahali nikuagize naona huku pamesha kushinda” Nilitoka na kumfuata boss wangu mpaka nje ilipokuwa imepaki BMW X5 moja kali sanaa rangi nyeusi, tulipoifikia mlango ulifunguliwa na ndani ya gari nilimwona mama mmoja.
“Dr utaenda na huyu kijana nyumbani kwako ukampe hayo mayai, pesa yako nitakutumia kwenye lipa namba yako ninayo. Kijana hii elfu tano utapanda bolt ukishachukua hayo mayai jitahidi sana kuwa makini, lisivunjike yai hata moja kwani ukivunja nitakukata kwenye posho yako ya kazi ya leo badae usiku” Mama Shirima alikuwa mchumi kweli kweli na alidhihirisha hilo katika maagizo yake.
“Sawa boss nitakuwa makini”
“Lingine hakikisha unawahi kurudi”
“Mama shirima nawewe sasa huyu ni mtoto kwani atakuwa anachezea makopo njiani yaani unavyomsisitiza sasa, hebu muache kijana atarudi kwa wakati tena bila maagizo yote hayo” Dr aliamua kuingilia kati.
“Hahahaha Dr Furaha kwani wewe ni mgeni na hawa vijana wa siku hizi, usibabaishwe na miili hiyo mikubwa wengi wao hawajapevuka kabisa akili sio kama zetu tukiwa katika umri wao”
“Heeee umeshaanza maneno yako utaanza kunisimulia stori za mabibi na mababu, hebu kijana tuondoke zetu zunguka upande wa pili na uingie kwenye gari” Dr Furaha Simbeye aliamua kufunga mlango akijizuia dhidi ya maneno mengi ya mama shirima. Gasper aliingia ndani na kufunga mlango. Dr Furaha alimsaidia kufunga mkanda vizuri.
“Unaonekana ni kijana mpya pale Cafe”
“Ndio Dr nd’o nimeanza kazi asubuhi ya leo” nilijibu kwa unyenyekevu mkubwa.
“Usijiogope kijana kuwa huru tuzungumze”
“Sawa Dr” tulizungumza mambo ya kawaida mpaka tunafika nyumbani kwa Dr Furaha. Kilichonishangaza jumba lilikua kubwa sikumwona mlinzi wala mtu yeyote.
“Hapa unakaa mwenyewe Dr?”
“Yes yes nakaa mwenyewe, nimeshazoea tayari mume wangu yupo uingereza anasomea masomo ya PhD, watoto nao wapo uganda wanasoma kwahiyo ni mimi pekee” niliitikia sawa, huku nikiendelea kutalii kwenye jumba hilo kubwa lililokua na bustani nzuri ya maua kila kitu kilikua katika mpangilio wake, nilijua kweli kuna watu wameumbwa kuishi vizuri tu na sisi wengine tupo kwaajili ya kuwasindikiza wanadamu hao.
“Ooh sawa hebu subiri mara moja” Dr aliniaambia huku akipiga hatua tano na kupokea simu.
“Joh sasa jana ndio umenifanyia nini, wewe wa kusababisha nijichue na maji ya moto mtu mzima mimi na mpaka sasa ny*g* hazijaniisha mbona unanipa mateso wewe na kila kitu nakuhudumia kazi yako wewe ni kunipa raha tu na tunapopanga appointment wewe hutokei ndio nini sasa,sawa fanya badae tuonane ole wako usije na leo, ukizingua leo ujue mimi nawewe tunapotezea hivyo, haya badae” Dr alilalama kwenye simu kwa sauti ndogo akijua labda simsikii kumbe mimi nilikua nasikia kila kitu, sio kwa ubaya nilipewa masikio ya kimbea na yalikua yamechanua kweli nakuwa na uwezo wa kusikia ya mbali.
“Hebu twende huku bandani nikakupatie hayo mayai” Dr Furaha aliniambia tulielekea bandani, nilimfuata, banda lilikua kubwa sana, mayai yalikua yamewekwa kwenye matrei tayari.
“Madam ni nani anakusaidia hii kazi ya kuhudumia hawa kuku, maana ni wengi sana” nilimuuliza maana nilichokua nakiona mbele ya macho yangu kilikua ni kikubwa sana.
“Ni mimi mwenyewe, mimi natokea mbeya unanichukuliaje wewe hahaha” Dr Furaha alinijibu huku akicheka wazi nilijua huo ni uongo.
“Acha sasa banda lote hili ni vigumu kwa mtu mmoja kushughulika nalo Dr”
“Nikweli kuna vijana watatu wanne huwa wananisaidia kudeal na hawa kuku” Dr Furaha aliinama kuchukua mayai yaliyokua kwenye matrei ya mashelf ya chini kwa bahati mbaya wowowo lake likagusana na suruali yangu kwa mbele, hee bwana wee mjomba nchumali si akasimama, nikasema lahaula nini hiki, nikweli shape la Dokta lilikua kubwa haswa, ajabu ndio alikua anarudisha nyuma kiuno chake kama nizidi kumbambia vizuri, mjomba huku chini akazidi kutuna na uzuri sio kwamba najisifia nimebarikiwa haswa lidude la haja.
“Hivi umekula kweli?” Dr Furaha aliniuliza baada ya kusimama nilipomtaza usoni, bwana wee kumbe si macho yalishaanza kulegea kama ametafuna kungu, kumbukumbu ikanijia namna alivyokua analalama kwenye simu kwamba mwili umejaa ny*g* na hilo nililiona mpaka kwenye kope zake.
“Ha hapana” nilijibu kwa kifupi,
“Oooh bhasi twende nikakutengenezee chai japo upate kikombe kimoja cha moto ni vibaya mgeni kuondoka bila kupata chochote” Dr Furaha aliendelea kuongea kwa kurembua bila kufikiria kwamba nilikua na umri mdogo kuliko yeye.
“Laakini” nilitaka kujitetea kwamba nitachelewa kabla sijamaliza kusema nilichotaka kusema alinituliza.
”Shiiiiiiiiiiiiiii”
Nilipoa ilibidi nimfuate kuelekea ndani, alifungua mlango na kuingia ndani nilipokewa na upekee wa sebule kubwa iliyokua na samani za kumwaga, zile ambazo huonekana kwa majumba ya wahindi matajiri kwenye movie bhasi zilikua mbele yangu, nikiwa nimetekwa na kushangaa uzuri wa sebule hilo, Dr Furaha alinisogelea, nilijifanya sielewi chochote alichuchumaa bila aibu aliukamata mkanda na kuanza kuufungua, nilikua mtulivu nikimtazama tu kama mtoto mdogo anafunguliwa zipu ili akojoe.
SEHEMU YA PILI
Hee huyu Dr vipi anataka kufanyaje huyu mbona majaribu haya alinifungua mkanda na kuishusha suruali chini, alinishusha na boxer yangu, alaaa kumbe anataka mchezo nikajiwazia leo namkimbia kama yusuph kabla sijafanya maamuzi, Dr si akalibugia bhana, kijana wenu mbio zangu zikaishia ukingoni, kilichofuata ni matumizi sahihi ya masofa, nilimpeleka chenja za moto kupanda mlima kitonga alipofika kileleni akataka kuanguka chini nikamdaka nikamuanzishia vurugu za kuutafuta mlima tena, alipiga ukelele, aliimba kilugha, alinipa sifa na mwisho alinitandika busu akiwa ameniganda kama mtu aliekakamaa, hapo nikamuachia kimoyo moyo nikasema utakuja fia kiunoni, mimi sio mtu wa mchezo mchezo, alinishukuru sana kwa kumkata kiu, ubaya wa maji yangu yalimkata kiu na kumsababishia njaa, tulienda bafuni tukaoga pamoja tulipotoka huko alichemsha chai ya maziwa ilikua na viungo kibao, tulinyweshana huku kitafunwa kikiwa mikate, baada ya hapo tulivaa nguo na kuelekea bandani ajabu Dr ndio mara ya kwanza kukutana na kufanya dhambi lakini hakua akinionea aibu kabisa nikasema kweli huu mshangazi,alinipatia mayai yote yanayohitajika pale mgahawani, alishampigia simu boss wangu kwamba amekutana na shida ya kupoteza funguo ya geti hivyo ningechelewa kidogo kwahiyo sikua na wasiwasi wowote juu ya kibarua changu, baada ya kunipa mzigo wangu alinikunjia elfu sabini, alooo ndio mara yangu ya kwanza kushughulikia mwanamke na kupewa pesa kwakua wanawake wote ambao nimewahi tembea nao kule uswahilini kwetu Kimara, mimi nd’o nilikua nawapatia vijisenti. Nilimshukuru sana yule Dr, tulibadilishana namba za simu na mimi kurejea chuoni kwa usafiri wa pikipiki, nilipokewa na mama shirima kama kawaida alinisema lakini mimi sikumsikiliza sana ni kama niliweka pamba masikioni, alikagua mayai ili kubaini kama kuna yai lolote limepasuka ili anikate posho ifikapo muda wa malipo, baada ya kujua kwamba mayai yote yalikua mazuri aliniruhusu niyapeleke jikoni, nilivaa neplon na kuingia kazini kumsaidia Emma ambapo alishaanza kukaanga chips siku ya kwanza ilikua ngumu sana kwangu yaani kucheza na mafuta na moto haikua kazi nyepesi hata kidogo kwangu, ubaya zaidi nilikua natoa chips yai mbaya sana, wateja walilalamika sana, hiyo ni kutokana na mimi kutojua mambo ya mapishi nilichokijua mimi ni ubishoo tu.
Siku ilisogea hivyo hivyo kibishi ilipofika usiku wa saa tatu, Emma alienda kufunga hesabu na boss, hesabu ilitimia hakukua na hasara yoyote iliyojitokeza tulilipwa pesa yetu kila mmoja shillingi elfu kumi kumi, jumla mfukoni nilikua na elfu themanini kweli mkaa bure si sawasawa na mtembea bure, kazi ya siku ililipa kweli tulipanda daladala dakika ishirini tu tulishuka kituo cha karibu na nyumbani, bahati nzuri siku hiyo hakukua na foleni hivyo tuliwahi kufika.
Tuliagana na Emma tukisisitizana kesho ni muhimu sana kuwahi kwenda kazini kila mmoja alipita njia yake baada ya hatua kadhaa nilipita karibu na duka la Mangi kupiga jicho vizuri nilimwona Zai, huyu Zai ni mmoja kati ya wapenzi wengi niliokua nimewapangisha foleni, kiumri Zai alikua mdogo kuliko wote ni miaka kumi na saba tu ila niliishi na kujilia vyangu kwa uhakika. Nikaona ni muda wa kuonana na mrembo huyo, nilitembea mpaka dukani, nilisalimia na kuuliza swali hapo hapo.
“Mangi inakuaje, huyu mdogo angu hapa ameagiza vitu vya bei gani?” niliuliza kwa mbwembwe zote, si uhakika pesa ipo mfukoni.
“Ni Elfu saba” mangi alinijibu baada ya kupiga hesabu ya haraka haraka.
“Bhasi chukua elfu kumi, kata pesa yako change mpatie dogo”
“Ahsantee ka Gasper” Zai alinishukuru na kuniita kaka kinafki alifanya hayo huku akinikonyeza na vimacho vyake vizuri, mtoto alikua mdogo lakini alijua kunizuzua huyu. Nilicheka na kupiga zangu hatua kadhaa kumsubiri kichochoroni mtoto mzuri anikute.
Nilisubiri baada ya dakika tano Zai akanifikia bila kusubiri alinikumbatia kwa nguvu.
“Ahsante kipenzi changu kwa pesa uliyonipatia itanisaidia mahitaji yangu madogo madogo” Zai alidekea kifuani mwangu, mwanaume nilimtuliza taratibu aendelee kufaidi upana wa kifua.
“Usijari mchumba, nimeanza kazi kwahiyo pesa ndogo ndogo hazitanishinda kabisa, nafanya haya yote kwaajili yako”
“Ahsante babaa” mtoto aliongea hakuishia hapo alinipa juice ya mdomo, utamu wa Zai, umri wake ulikua tofauti na matendo yake, kalikua kafundi sana ndio maana tuligandana haswa, wakati wa denda tulinyonyana ndimi, huku tukiimumunya midomo taratibu kwa meno ila humng’ati mwenzako unamsisimua tu, nikaona mtoto analegea taratibu anashusha mkono wake kutaka kuikamata mashine yangu nikamzuia mtoto alikua anafika mbali, kagiza kalitupa jeuri ya kufanya yote hayo.
“Zai zai kumbe ndio ujinga unaofanya gizani” sauti nzito ya kiume ilituzindua kutoka kwenye dunia yetu nikajua kumekucha sasa.
SEHEMU YA TATU
Nilijua hiyo ni sauti ya Muddy kaka ake Zai baada ya kuona mdogo ake anachelewa kurudi nyumbani ndio akaamua kumfuatilia dukani akiwa mbali alimtambua mdogo ake akiwa kakamatiwa gizani, alichokosea ni kutushtua, kitendo hiko kilimfanya ajutie kwani nilitazama kulia na kushoto nilitembea na giza, Muddy alipomfikia Zai, alisimama mbele ya kaka ake kumzuia. Muddy alimsukuma Zai pembeni kwa bahati mbaya, Zai aliangukia mkono na kuanza kulia kwa maumivu, huruma ilimvaa Muddy licha ya kuwa na akili fyetu zilizochachuliwa na uvutaji wa bhange bado alimwonea huruma mdogo ake alimchukua na kumrudisha nyumbani, hakujua kama ni mimi ndie niliekua nimesimama na mdogo ake, licha ya maseke hayo sikupanga wala kuwaza kuachana na Zai, mapenzi yalivyokua na upofu mwingi, Zai alikua mwanafunzi wa kidato cha nne lakini kwangu sikutaka kumuachia katoto kalikua kanajua kuikunia nazi bakora yangu.
Nilifika nyumbani nikiwa na hema.
Wazazi waliniuliza nini shida mbona nahema sana, niliwadanganya kwamba nimekimbizwa na mbwa wa mjeda aliekua anakaa mtaani kwetu, wazazi walinicheka tu, niliingia ndani nilibadili nguo na kutoka nje ili kujumuika na familia kwenye chakula cha usiku, tulikula, wakati wa kula waliniuliza kazini kulivyokwenda niliwaambia kila kitu kipo sawa japo kuna ugumu lakini nisingeshindwa kupambana nao, mzee alizidi kunipongeza na kuniona nazidi kuwa kidume cha kazi, nilitoa shilingi elfu sita na kuzitenganisha, baba nilimpa elfu tatu na mama nilimpa elfu tatu waliponiuliza za nini pesa hizo niliwaambia ni malipo yangu ya kwanza kama mwajiriwa, hivyo nilitaka wao watumie pesa hiyo ili wanibariki, wazazi walikataa kupokea lakini niliwasisitiza na kuwapa mistari ya biblia kabisa, ila mimi hahahahah, mwishoni walikubali kuipokea ile pesa ni kweli waliniachia baraka zao kwa lolote nitakalolitenda niweze kufanikiwa, moyoni nilifurahi sana niliona milango yangu ya mafanikio itakua wazi ni mwendo wa kutusua tu, baada ya chakula nilioga, nikala kisha nikaenda kujitupa kitandani kwakua nilikua nimechoka sana uchovu wa kazi na uchovu mwingine ni ule wa kujitakia uchovu wa kushughulika na kiuno cha Dr Furaha nilipitiwa na usingizi niliamshwa saa kumi na moja na mzee kwani muda huo nae alikua anaamka ili kwenda kazini kwake, nilijiandaa kama kawaida nilitupia, kupendeza kwangu ilikua ni kama dini sikupaswa kukaa kinyonge, niliwaka haswa, nilitoka nyumbani tuliongozana na Emma mpaka kituo cha daladala tulipanda daladala na kushukia chuoni, tukafika mgahawani tukaanza kazi mapema sana, mpaka saa tano tulikua tumemaliza kumenya magunia mawili ya viazi, nilipokea ujumbe kutoka kwa Dr Furaha kwamba atakua busy sana na vipindi ila ikifika saa nane kamili nimpelekee chips yai na mishkaki mitatu ofisini kwake, nikamjibu sawa nitafanya hivyo, tuliendelea kuhudumia wateja pale, wanafunzi walinizoea zaidi japokua sikua hodari wa kutengeneza chips yai ila nilikua mcheshi kuliko Emma, kingine ambacho nilichukulia ujiko ni kwenye kufunga chips mkono wangu ulikua chap chap hapo niliponea ilipofika saa nane kamili nilichukua chips yai iliyotengenezwa na Emma niliweka mishkaki mitatu ya kuku juu yake, niweka chumvi pembeni, kachumbali pembeni kisha nilifunga tomato na pilipili kwenye vimfuko ili akajiwekee mwenyewe, nilimuaga Emma kwamba napeleka chips kwa Dr Furaha, Emma alicheka na kunitania ‘sawa mtoto wa Dr’ sikumjibu niliishia kucheka tu, nilichukua vitu na kupeleka ofisini kwa Dr Furaha nilifika kwa kuulizia, niligonga na kupewa ruhusa ya kuingia ndani niliwakuta watu watatu ndani yaani Dr Furaha na mamadam wengine wawili, niliwasalimia na kumkabidhi Dr Furaha vitu vyake.
“Samahani kaka na wewe ni muuza chips pale kwa mama shirima?” madam mmoja aliniuliza, kabla ya kumjibu macho yangu yalikua yanatalii kwenye mwili wake, alikua mdogo kiumri kwa mwonekano kuliko wenzake, pili aliwazidi uzuri kalikua size ya kati hana mwili sana wala si mwembamba, ila yale mambo muhimu yanayounda umbo namba nane kwake yalikua ya kutosha, macho yangu yalineemeka kumwona madam huyo.
“Ndio madam”
“Oooh sawa bhasi kaniletee na mimi chips yai ila liwe zege lisikauke sana, weka tomato nyingii, pilipili kwa mbali pia niwekee soseji tatu, usisahau na pepsi ya kopo ya baridi, utaniletea ofisini, ofisi yangu ipo kule karibu na Library ya chuo utaulizia ofisini kwa madam Brigita, utanikuta sawa eeh” madam Brigita alitoa maelezo kamili kwa namna alivyokua anaongea ndipo nilijua kwamba alikua na sauti nzuri sana yaani ile sauti yenye uwezo wa kupanda na kushuka na kuachia burudani kwa sikio lolote litakaloisikia.
“Sawa madam nipe dakika kadhaa nitakuletea huko” niliaga na kuondoka ofisini nikiwa na oda moja, chuo kilikua na watu wazuri sana si wanafunzi si walimu wote walikua na mauzuri mengi sana, kidogo niwape pole kwa mauzuri yao labda nilihisi yanawatesa, ukweli ni kwamba nilijisikia fahari sana kuwa ndani ya chuo hiko ni kama nilikua vacation vile. Nikiwa natembea kurudi mgahawani iliingia jumbe kwenye simu yangu niliitazama japo nilishangazwa sana na ujumbe huo.
SEHEMU YA NNE
“Ole wako umpelekee chakula Brigita ofisini kwake nakwambia ole wako, tutaonana wabaya” ulikua ni ujumbe uliosomeka juu ya kioo changu cha simu mtumaji akiwa Dr Furaha, ujumbe huo ulinichefua kwa upande mmoja kwakua, katika maisha yangu sikupenda kupelekeshwa na mwanamke yeyote kasoro mama angu, hapo haijalishi umri ila swala la kupelekeshwa nilikua nalichukia sana. Upande wa pili wa jumbe hiyo ilinipa muwasho wa kutamani nifike haraka mgahawani nichukue hizo chips niwahi ofisini kwa madam Brigita, niliamua kutoujibu ujumbe huo niliweka simu mfukoni na kuendelea kutembea baada ya dakika tano, simu yangu ilitetemeka tena ikionesha kwamba kuna ujumbe mpya umeingia kwenye simu yangu.
“Ndio ubaya wa kupendana na vibibi vizee aaaaaah” niling’aka kwa hasira nilijua mtumaji atakua Dr Furaha akisisitiza kile alichokituma mwanzo baada ya kutazama ujumbe huo, uso wenye hasira wote ulibadilika, sasampa zinaondoa minuno, pempe zinakunjua roho mpaka mikunjo ya ngozi, kubwa zaidi pesa zinatakatisha roho, Dr Furaha alituma muamala sio muamala wa kitoto ni muamala ulioshiba, laki moja iliingia kwenye akaunti yangu, nikasema kumekucha, yaani mimi Gasper nabembelezwa kwa pesa, huu mwaka wangu kuna watu nitawaamisha duniani, nikaandika ujumbe na kuutuma “sawa babe sitokwenda” nilijibu namna hiyo, japo nilijua ni uongo nilipofika kwa Emma nilimpatia pesa ya chips zilozokwenda kwa Dr Furaha, nilichukua nyingine na kuweka vitu vyote alivyohitaji Madam Brigita nilitembea kuitafuta ofisi ya madam Brigita, pesa nilipewa na bado nilikuwa njiani kuitafuta ofisi ya madam mrembo kweli wanaume haturidhiki hata tupewe nini, kwa kuulizia mara mbili nilioneshwa ofisi ya madam Brigita, nilipofika niligonga na madam aliniruhusu niingine ndani, nilimkuta madam yupo makini mbele ya kioo cha kompyuta, aliponiona alinyanyua macho na kunitazama, madam alinifanyia makusudi alivalia miwani na kuniangalia alooo weee, nilijikuta moyo unashtuka, nilijituliza kwakua nilikua karibu kuweuka.
“Itakua bei gani?” Madam Brigita aliniulia, nikamjibu ni elfu saba akanipa elfu kumi akasindikiza na kizungu “keep change” nikamjibu “Thank you madam, may our almighty God bless you abundantly”
“Mmmh kumbe unakichapa kingereza namna hiyo”
“Ndio sio lugha inayonisumbua kabisa” nilijitapa kidogo mwanaume, hii sio kamba nikweli kabisa kingereza nilikua nakichapa haswa na jambo ambalo lilinifanya nikijua kingereza ni mambo ya debate nikiwa shuleni, nilikua napenda sana kuongea mbele ya wadada wengi, nilikua maarufu sana, shule yetu inapokutana na shule nyingine, nilikua nahakikisha lazima shule yetu ishinde tena mimi nikiibuka nyota wa mchezo.
“Ooh hongera sana sasa mbona unafanya kazi kwa yule mama”
“Its a long story nitakuelezea siku moja ukihitaji kujua zaidi”
“Yes why not, nataka kujua kila kitu kuhusu wewe”
“Your welcome” sikuvunga nilimpa mkono huku namuangalia usoni, alipojikuta nunda nae kunitazama nami nilimtazama zaidi, nilikua namwonesha nina confidence ya kutosha wala sio ya kudownload, mwishoni niliibuka mshindi alishusha macho chini, nikajiambiza moyoni, baaaaaaaasi ameisha huyu tulibadilishana namba na mimi kurejea mgahawani, siku hiyo mama shirima aliwahi kuondoka jioni ya saa kumi na moja kwakua siku hiyo alikua na tenda ya kuhudumia chakula kwenye sherehe moja kubwa sana, kwahiyo mambo ya hesabu aliyaacha kwa mwanae wa kike wa kuitwa Ester, baada ya masaa mawili yaani kufika saa moja usiku, Emma alimwomba Ester awahi kurudi nyumbani kwani mtoto wake mdogo ameshikwa na homa ya ghafla, Ester hakua na roho mbaya kama mama yake alimkubalia Emma alimpatia posho yake ya siku na kumwongezea elfu tano nyingine, Emma aliaga na kurejea nyumbani haraka, ilipofika saa tatu usiku nilifunga kila kitu na kurejesha mahali pake, nilielekea kwa boss kufunga hesabu, boss alinitaka niwe wa mwisho kwenye zoezi hilo baada ya wengine wote kumaliza na kuondoka, nilifunga hesabu baada ya kumaliza niliaga ili niondoke boss alinizuia na kuniambia nisubiri kwanza kwani aliniomba nimpe ulinzi mpaka kibanda cha wakala atakaporusha fedha kwa mama yake kwani usiku huo kutembea na pesa isingekua vizuri, nikaona sio mbaya tulipitia kwa wakala alirusha fedha kwa mama yake na mimi niliomba niwahi daladala ili nirudi nyumbani, bado Ester alinizuia na awamu hii alinizuia kwa kunishika mkono kabisa, nilijiuliza sijui anataka nini huyu nae aiseeh, niliachia pumzi ndefu aliniambia kuna safari yake nyingine nimsindikize kwakua mama yake atachelewa kurudi nyumbani hivyo na yeye hakuona sababu ya kuwahi kurudi nyumbani kwani nyumbani kwao walikua wanaishi wawili tu yeye na mama yake tena huwa na kawaida ya kusikika sauti za mapaka yakilia hivyo kurudi nyumbani peke ake ingekua kujipeleka kwenye nyumba ya mapaka, nikamuuliza.
“Kwahiyo unataka nikakae nawewe nyumbani kwenu mpaka mama ako arudi” akajibu “hapana” nikamwambia
“ni jambo lisilowezekana kwakua na mimi nna kwetu, sema nimechoka sana hebu niambie ni safari gani unataka nikupeleke kama inawezekana nikufikishe hapo na mimi niwahi nyumbani kwetu”
“Poa nifuate” nilimfuata tulitembea kwa dakika kumi na tano tulikua mbele ya gesti moja, nikamwona anapiga hatua kutaka kuingia ndani.
“Si umefika mimi nakwenda zangu” niliweka ngumu.
“Heee we nae mbona mshamba hivyo unaishia nje kwani mimi dada ako?” binti maneno yalimtoka, kwa upande wangu sio kwamba sikujua dhamira yake kwamba alitaka kupasha mwili ila kilichokua kinanisumbua kwa Ester ni kwamba hakua na vitu vyangu kabisa, sura ilikua ya kawaida sana, pili nyuma alikua flat unanyoosha na ruler, nilijaribu kuvuta hisia nae niliona zinakata tu nikajua huko ndani atakwenda kunitumia tu na sio mimi kufurahia tendo.
“Hata kama unaniona mimi mshamba naenda zangu” niliongea na kuanza kuondoka zangu kama utani si akanifuata na kunishika mkono akaanza kunivuta kwenda ndani kutazama huku na kule kuna washkaji wakawa wananiangalia nikajua sio kweli nazalilisha jinsia, nikakubali kuingia ndani kabla ya kufika mapokezi alinishikisha elfu thelathini mkononi hiyo ilikua kwaajili ya kulipia chumba ili mdada wa mapokezi asione kama nimepelekwa pale, kufika mapokezi unyama mwingi nikalipia na kwenda huko chumbani, akilini nilipanga kupiga kimoja cha nguvu mpaka hisia zitakapokata, kuhusu mzunguko wa pili ningemridhisha kwa kidole tu, mipango hiyo ilikuja kutokana na kuona kwamba sikua na hisia zozote na Ester kabla ya mchezo niligoma kwenda kavu kavu, alicheka kidogo alitoa vifaa vya kupimia ukimwi, tupime kabla ya tendo kujilizisha juu ya afya zetu nikagoma, weee nani afe kwa stress mapema yote hiyo, akaridhia akatoa condom na mafuta yalikua special kwaajili ya tendo yaliitwa Clean Love, nikasema kweli binti kajipanga, akanisogelea kunipa denda mimi nikaishia kumpiga busu tu na kuhamia kufuani ambapo nilikua nafanya utalii huku nikifyonza fyonza maembe bolipo yaliyopo kifuani mwake kwa zamu, mtoto wa watu akaanza kuhema kwa nguvu sana, nikamvua nguo zote na kumweka vizuri, sikutaka kumfakamia haraka mimi sikua wa namna hiyo nilicheza kwa kila pembe ya mwili wake, niliutafuta udhaifu nikaupata upo chini nikapitisha kidole kimoja kutest niliona kisima kinaruhusu kata moja tu, nilifanya usuguaji wa kiharage, hakuchelewa maji yaliruka nikajua binti ameumiss mchezo, alikua msumbufu akitaka nimvamie mimi sikuleta pupa niliendelea kuuwashia moto mwili wake kwa kumshika kila mahali, alikua kama anawashwa mwili mzima.. nikarudisha kidole tena kunako, hapo sasa aliweweseka huku akirusha rusha miguu.
“Doooont stop, f*ck me babe, dont stooop, hapo hapo babaaa, nileeee, nakupa yote yako, aaaaaaah ichaaaapeeee” kusikia maneno hayo nikajua tunda limeiva ngoja nilile, nikavaa condom kwa utaratibu kabisa nikamwagia mafuta ya clean love pale kati, kisha sikutaka fujo za kutaka kuchimba ndani wakati utamu unaanzia nje, nikasugua nje kwa ustadi sana, hapo nilikua nammaliza bibie alichanganya lugha zote zilizokua akilini mwake, mwisho nilimpelekea yote sasa, hakua fundi wa kuzungusha kiuno ila kisima chake kilikua cha moto sana, tena kilikua kimechotwa mara chache na mchotaji wa mwisho alichota misimu mingi iliyopita bwana weee nilimpelekea moto wa fasta fasta kuna muda naenda taratibu bhasi kumtesa mtoto wa boss, bila kujua tukaenda raundi nne za kishefa, usingizi ukatuchukua, ile tunazinduka usingizini tayari ni saa mbili asubuhi, tumechelewa kazini na Ester hajarudi kwao, vita nyingine ya tatu ya dunia.
SEHEMU YA TANO
“Daaah tumechelewa kuamka, sijui tunafanyaje hapa” nilionesha kuchanganyikiwa kutokana na muda ambao tuliamka.
“Tutulie tu tayari imeshakua cha kufanya mimi naenda nyumbani, kazini nitakuja badae, wewe nenda kazini moja kwa moja ukifika huko mwambie mama unaumwa ndio maana umechelewa kuingia kazini, kidogo swala la mtu akiumwa huwa analizingatia kidogo”
“Sawa, sema kuna jambo lingine hapa” niliongea huku nikionesha huzuni niliyonayo.
“Jambo gani tena?”
“Nguo aiseh siwezi kurudia nguo moja siku mbili huo ni uongo mtakatifu”
“Hahaha wewe bhana usafi umezidi sana, haya kwakua mimi ndio nimesababisha nitakupa elfu hamsini ukacheck nguo mpya uende huko kazini”
“Hapo angalau inabamba kidogo”
“Muone vile unataka kwenda kumuonesha nani ulivyopendeza chibabaa” Ester aliongea na kuanza kunipiga mabusu mfululizo, kiukweli yale mabusu yalikua yananikwaza sana, nilikua namwona jau ni vile nilikua navumilia tu kwakua bado alikua hajatoa pesa kwenye pochi alinipa elfu hamsini, tulioga na kujiandaa tulipotoka yeye alichukua boda boda kuelekea nyumbani kwao, kwa upande wangu niliingia duka moja la nguo, lilikua na pamba kali mfululizo, nilichagua zile zenye kunikaa vizuri zaidi, kwenye swala la kujua nguo nzuri nilikua na dunia yangu, nilinunua tisheti moja kalii, jeans na chini nilivaa raba zangu, kwa mwonekano huo wenye kuvutia ilikua vigumu kwa mtu mwingine kubaini kwamba mimi ni muuza chips, nilitembea haraka kuelekea mgahawani hapo nilikutana na mama shirima kama kawaida boss aliuliza juu ya uchelewaji wangu siku hiyo, moyoni nilikua na hofu kwelikweli cha ajabu, nilipomwambia nimeamka na kahoma hata hivyo nilipitia hospitali kucheki afya ndipo nilifika kazini, alinipa pole na kuniambia kama sipo sawa nifanye namna nirudi nyumbani kupumzika kwanza yeye atanipa posho ya nusu siku yaani elfu tano nilikubali na kumshukuru sana kwa moyo wake wa huruma, nilipokea ile pesa, nilipitia jikoni kwa Emma nilikuta kuna kijana mwingine mgeni machoni mwangu, nilimvuta Emma pembeni na kumuuliza vipi akaniambia yule ni mfanyakazi mpya sio mpya kwa maana ndio mara yake ya kwanza kufanya kazi pale hapana, bali aliacha kazi miezi miwili iliyopita kwa madai anakwenda kujiajiri amechoka maisha ya kuajiriwa akaenda kufungua banda la mboga mboga bahati mbaya kafirisika akarudi kuomba kazi pale pale, Emma akamalizia kusema kwamba kwa mama shirima ni choo mtu uruke ruke huko weee utarudi tu, nilicheka sana mpaka yule mfanyakazi mpya akatuangilia japo hakujua nachekea nini, nikamuuliza vipi kuhusu mimi, akaniambia nisijari nafasi yangu ipo pale pale tu, nikamuaga Emma kwamba narudi zangu nyumbani nikapoe kidogo, akanikubalia nikasepa zangu kufika getini nikaliona BMW X5 la Dr Furaha ndio lilikua linaingia, kuniona akapiga honi na kuliegesha pembeni, nikasogea akashusha kioo.
“Hey handsome unakwenda wapi muda wa kazi huu” Dr Furaha aliniuliza, nikamjibu, “Narudi home sijisikii fureshi kidogo”
“Hebu nisubiri, nikasaini then nakurudia” nikaitikia kwa kichwa kwamba sawa, kweli alikwenda baada ya dakika kumi akarudi niliingia ndani ya gari, alinisogezea mdomo wake na kunibusu na mimi sikuona hiyana nikampokea pale pale tulidendeka kwa dakika kama tano za ushindi, nikamwona Dr Furaha analegea hivi nikamwondoa taratibu.
“Enhee tunaelekea wapi?” nilimuuliza nae akanijibu kwamba.
“Tunaenda kwangu kipenzi, yaani unaumwa ukasumbue wazazi wakati nipo naweza kukuhudumia vizuri”
“Oooh sawa, endesha bhasi gari tuwahi nikapumzike” niliongea kiume kuna namna sikujua bei ya gari ila niliamrisha akawasha gari pale pale tukaondoka mpaka nyumbani kwake, tukaingia mpaka chumbani kwake, ndio mara ya kwanza naingia kwenye chumba hiko, chumba kilikua na likitanda likubwa sana, yaani humo mnaweza biringishana wee na msianguke chini. Alinipa taulo na kuniambia nitoe nguo zangu nilifanya hivyo, nae akatoa nguo zake akavaa kigauni flani hivi chepesi ukichanganya na ule msambwana wake nyuma nilizidi kupagawa, nyie haya mafurushi makubwa yalikua na nafasi ya kipekee moyoni mwangu, akaniaga kwamba anaenda kuniandalia kifungua kinywa mgonjwa, alitoka kama nusu saa hivi alirudi na bakuri ndani ya bakuri kulikua na mchemsho wa samaki na viazi alinipakata na kuanza kunilisha taratibu, zamani nilikua najua wanawake waliosoma sana mambo ya kudekeza sio mambo yao kabisa lakini sio kwa Dr Furaha alinifanya nijihisi kifaranga wake, alinilisha huku akinipa pole za kujisikia vibaya nilipomaliza kula, alininawisha mdomo, kisha akanifuta kwa tishu, hakuniacha hivi hivi alinipiga busu moja tamu tamu. Aliponyanyuka kwa lengo la kupeleka vyombo jioni aliona simu yangu ikiingia ujumbe, aliisogelea na kuutazama ujumbe kwenye notification, ujumbe ulikua kutoka kwa Madam Brigita akinijulia hali. Dr Furaha aligeuka akiwa amekunja uso, huu ulikua upande wake wa pili hakuonesha kuchekesha alinifuata na kunikaba shingoni.
“Kumbe ulienda kwa Brigita ukaniona mimi mjinga sio, mimi fala wako eeeh” Dr Furaha aliongea huku akiendelea kunikaba, kijana wenu nilikua kwenye hali mbaya sana.
Inaendelea……..🔥

