CHOMEKA BASI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 01
“nimesema siwezi kufanya huo ujinga na kama hutaki basi…!” ilisikika sauti ya msichana ikitokea kwenye chumba kimoja kilichokuwa nyumba ya uwani.
Hiyo sauti ilikuwa ya juu kiasi cha kuwafanya hata watu waliokuwa wamekaa nje wakicheza karata washtuke na kubaki wakitazamana na kutazama mlango wa kile chumba kwa mshangao. Walionekana wadada wawili waliokuwa kati ya wale watu waliokuwa wanacheza karata wakitazamana kisha wakacheka kicheko kikubwa cha umbea na kugongesha mikono yao.
“eehheheheheheheheheeeee….! Yatakukuta mambo….!” Wale wasichana walisikika wakicheka na kuzungumza maneno hayo.
“hebu na nyie achene umbea wenu basi…!” mvulana mmoja aliyekuwa nayeye akicheza karata Pamoja na hao wasichana alizungumza huku akiwa ameshikilia karata zake.
“babu eeh! Umbea sunah kwa mwanamke, upo bobo?” msichana mmoja aliyeonekana machachari huku akiwa amevaa kipini puani alionekana akiongea huku akisimama.
Watu wote waliokuwa wanacheza karata mahala pale wakabaki wakimtazama na wengine wakitabasamu na wengine walionekana kumshangaa maana walikuwa wanajionea maajabu tu ya mwaka. Yule msichana aliposimama alionekana kujibinua kiuno chake na kuanza kutingisha makalio yake kwa nyuma huku akikatika kiuno kwa staili ya mgandisho. Watu wakabaki kumtazama huyo dada na wengine wakiwa wanVailethngilia maana yalikuwa ni mauno ya uzazi aliyokuwa anayamwaga mahala hapo.
“hebu ka abasi nawewe tumalizie.” Alisikika kaka mwingine akiongea huku akiwa anamtazama.
“babu wee…! Hebu niache nitingishe alichonipa mama, maana silipii ushuru wala kodi, kipo tu hata hakitumiki.” Huku akimalizia kukitingisha kwa makusudi hadi mguu mmoja akiuinua juu na watu wakaanza kumpigia kelele.]
“kama hakitumiki nawewe si uende ndani huko anakokataa mwenzako…,” alisikika yule mvulana akizungumza huku akiwa anatabasamu.
Hakuna aliyemjibu maana wote walikuwa wako kimya wakitazamana na ukimya ulikuwa mkubwa kiasi cha kushangaza na kila mmoja alionekana usoni anawaza lake.
Tukiachana na hao watu waliokuwa wamekaa hapo nje tukirudi huku ndani ya kile chumba alionekana mkaka mmoja akiwa amekaa kitandani yuko uchi wa mnyama huku mashine yake ikiwa imesimama utasema ni mkuki uliosimikwa ardhini.
“kwa hiyo ndio umekataa?” mvulana huyo aliuliza.
“nimesema sitaki kama ndio unataka huo mchezo wako.” Huku akiwa anavaa kufuri lake lenye rangi nyekundu.
“haya poa nitakuongeza pesa.”
“shida hata sio pesa yako.”
“sasa shida nini?”
“shida ni kwamba hatukukubaliana kufanya huo upuuzi na sikuwahi kufanya hata siku moja.” Akiwa anachukua na taiti yake fupi na kuivaa.
“haya sawa njoo basi tumalizie vile vile.”
“aka sitaki tena…, hiko hiko kimoja ulichokimwaga kinatosha.” Mwanamke alikuwa anongea huku akivaa nguo yake moja baada ya nyingine.
“jua unakwenda kinyume na tulivyokubaliana?”
“tulikubaliana kipi?”
Jamaa akawa hana jibu la kumjibu mwanamke wa watu Zaidi ya kubutwaa na kumtazama usoni utasema mtu aliyeona siafu wakisambaa chumbani mwake.
“tulikubaliana kimoja na cha pili kama ofa…, haya nimekupa kimoja ukaanza kunifosi kufanya unavyotaka wewe…, ehhee…, kwamba ofa niliyokueleza nikupe ni kwa mpalange..!?”
“sasa kuna ubaya gani hapo?”
“nazani umesahau ya kwamba ofa huwa huchagui unayepewa, bali anayekupa ndiye anayeamua akupe ofa gani.” Huku akichukuwa na viatu vyake kisha akavitinga miguuni mwake.
“nisikilize basi.”
“aka mwenzangu naomba uniache usije ukanipasua mfupa wa makalio kisa tuhela twako.” Kisha akafungua mlango na kuondoka zake.
Mlango ulipofunguliwa na yule dada kutoka kwanza watu wote walitulia na kukaa kimya huku wakimtazama anayetoka kwenye hiko chumba. Dada wa watu alitoka bila hata ya kuaga na wakati alipokuwa anaingia aliwasalimia vizuri na kwa bashasha zote mpaka watu wakawa wanasema mgeni ndio huyu. Yule dada aliondoka huku akiwaachia vumbi tu na hata wacheza karata na wao wakabaki midomo wazi na karata zao mkononi.
“yamemshinda nakwambia.” Yule dada machepele aliongea huku akiwa anatabasamu.
“mh! Kuna watu watakuwa wamebalikiwa, maana kila msichana anayeingia ndani ya kile chumba lazima atoke kwa hasira sijui kuna kitu gani?”
“huo umbea na nyie.”
Wakiwa wanendelea kubishana mara mlango ulifunguliwa na akatoka yule mvulana aliyekuwa ndani huku ameva bukta yake na kifua kikiwa wazi. Alitazama kule alikokuwa ameelekea yule msichana kisha akawatazama wale waliokuwa wanacheza karata na kwa sura ya aibu akaanza kupiga hatua kuelekea uwani.
“mh! Heheheheheheheheheeee…! Hallooooooh!” wale wasichana wa mbea walisikika wakicheka kwa sauti.
Jamaa hakuwa na mambo mengi alichokifanya yeye ni kwenda uwani huku watu wakiendelea na mambo yao maana hawakuwa na muda wa kupoteza. Karata ziliendelea kuchezwa huku wakiwa wanaendelea na mazungumzo yao na wakati huo jamaa nayeye akiwa anatoka uwani huku akiwa mwenye huzuni usoni na mikono yake ikiwa nyuma. Aliwapita wenzake huku kichwa chake kikiwa kiko chini na wenzake wakawa wanamtazama na kukonyezana chini chini.
“wewe naye punguza umbea basi.” Alisikika mdada mmoja akimueleza mwenzake aliyekuwa anaonekana mapepe sana.
“jamani mbona mmenikazania sana?”
“kwasababu hutulii, au ulitaka nawewe uende ndani?”
“nani…!? Labda anichukue nikiwa maiti.” Yule dada machepele aliyeonekana kutotulia aliuliza kwa mshangao huku akiwatazama wenzake waliokuwa wanamtazama yeye.
Yule kaka hakutaka hata kuzungumza wala kusimama, alichokifanya yeye ni kuingia chumbani kwake huku akiwa mwenye hasira ya kwanini amemuacha yule dada aondoke zake bila kumaliza ama kukata kiu yake. Alifika chumbani kwake na kujitupia kitandani lakini kichwani alionekana kabisa anamawazo ya kile alichokuwa anakifanya na yule mrembo aliyekwisha ondoka. Kila alipokuwa anavuta picha kwenye kumbukumbu zake basi hiyo mashine yake ndio kwanza ilikuwa inazidi kuchachamaa utasema haikupiga hata hiko kimoja.
“sijui kwanini nimemuacha aende?” alijiuliza huku akiwa anasimama na kwenda kwenye dressing table yake huku akiwa anatafuta mafuta ya kupaka.
Alionekana kuwa bize mpaka akawa anaangusha baadhi ya vitu na kuviokota kwa wenge huku akiwa ameyaona mafuta ya kupaka na kuanza kuyachukuwa kwa kidole chake cha kati cha mkono wa kulia. Wakati huko ndani kaka wa watu akihangaika na hayo mafuta huku nje walikokuwa wamekaa wale wacheza karata na watu wengine wakiendelea na mambo yao, alionekana msichana mmoja mjamzito akiwasalimia huku mimba yake ikionekana kwa mbali. Kwa jinsi ilivyokuwa inaonekana ilikuwa ni mimba ya miezi mitano ama sita hivi maana haikuwa kubwa sana japo ilichomoka kwa mbele.
“salama dada angu za siku?” yule mwanadada mapepe aliitikia huku akiwa anamtazama mwanadada mjamzito.
“salama tu vipi nimemkuta huyu kivuruge wangu?” akiwa ananyooshea mkono kwenye chumba cha yule jamaa aliyekuwa ametoka kuvurugana na mwanadada.
“yumo ila…!”
“yumo ndani wewe ingia tu utamkuta.” Alidakia dada mwingine huku akiwa anamficha mwenzake na kumkatisha alichokuwa anataka kukizungumza.
Yule mwanadada mjamzito aliachana nao na kuingia ndani huku akiwaacha pale nje wakizodoana kwa kile walichotaka kukizungumza
SEHEMU YA 02
“yani wewe shoga yangu hunaga simile jamani?”
“mmh! Kwani nilichotaka kukizungumza ni uwongo?”
“hata kama ni kweli ila angalia unakizungumza wakati gani, mahali gani na unamwambia nani?”
“yani nyie kujifanyaga wastaarabu.”
“aka mwenzangu masuala ya kuonekana wewe ndiye chanzo cha watu kuchomana visu inahuuu? Mtu mwenyewe unamjua alivyo kauzu akamchoma kisu dada wa watu utasema nini?”
“kwani mimi nitakuwepo?”
“kumbuka wewe ndiye utakayekuwa chanzo.”
“jamani hebu chezeni basi…, mkianzaga kuzungumzia maisha ya watu huwa mnaandika makaratasi mpaka mnaomba za ziada ila maisha yenu hata nusu peji hamjazi.” Kaka waliyekuwa wanacheza naye karata aliwashtua huku akiwa anaweka karata kwenye mkeka.
“wewe naye kujifanyaga unajua kushushua watu.”
“kushushu kitu gani bwana…, sasa tusiwaeleze ukweli?”
“haya kunywa mbili kadi moja.” Yule mwanadada mapepe alizungumza huku akiwa anaweka karata kwenye mkeka.
“tulia basi mbona unaharaka shoga…, hebu kunywa tano kadi mbili.”
Huko nje waliendelea kucheza karata zao hali ya kuwa huku ndani alionekana yule dada akirudisha mlango na kusimama akimtazama yule mvulana aliyekuwa amekaa kwenye sofa akijichua na kusikilizia raha.
“ehhee! Ndio biVailethra gani hiyo mwenzangu umeanza kufanya siku hizi?” yule mwanadada alimuuliza huku akiwa anamshangaa.
Kaka wa watu hakuwa na jibu zaidi ya kubaki ameganda na mkono ukiwa kwenye mashine yake na taratibu ilianza kusinyaa maana alijihisi aibu kubwa kufumaniwa na huyo mwanamke.
“nakuuliza wewe mbona hunijibu umeishia tu kunitumbulia macho kama vile umeaona gari ya mshahara impata ajali uwani kwako?”
“kwani wewe unaona nini?” akiwa anajifuta futa mikono yake kwenye kitambaa.
“huna hata haya jamani.”
“haya ya nini? Kwani umesikia hii barua ama insha nianze na aya?”
“jipunguze tu.” Huku akiwa anakaa kwenye sofa.
“umefata nini na kwanini umekuja bila taarifa.”
“habari peke yake ndio huwa na taarifa na ndio maana waliziita taarifa ya habari.”
“usijifanye unajua kujibu kunya.”
“nawewe nijibu kukojoa.” Mwanamke alionekana anamajibu ya chooni na kwa ufupi wote walikuwa wamekutana.
“haya we endelea.” Huku akivaa bukta yake.
“vipi mbona unavaa tena?”
“wewe ulitakaje?”
“njoo ukae hapa nataka kuzungumza nawewe.”
“na uwe na mambo ya maana ole wako uniletee ujinga ujinga nitakutimua sasa hivi.”
“yani huoni hata aibu kunijibu hivyo na wakati nimekubebea kiumbe chako tumboni?”
“hiko kiumbe cha MUNGU sio cha kwangu.”
“ila wewe ni nani yako?”
“mwanangu.”
“haya sawa kaa hapa tuzungumze ili mwanao akusikie unamatatizo gani.”
“mimi ama wewe mwenye matatizo?”
“wote maana hata mimi nyege zangu ndio zimenileta hapa.”
“unamaana gani?” mwanaume alikuwa anauliza huku akiwa anakaa kwenye sofa pembeni ya mpenzi wake huyo.
“hebu tuache kuzunguuka, yani leo tangu asubuhi mwenzako nimeamka nawashwa huko chini nahitaji unisaidie jambo tu.” Huku akiwa anaweka miguu yake kwenye mapaja ya huyo mwanaume.
“hebu sikiliza kwanza.” Jamaa alijibu huku akiwa anataka kuishusha miguu chini.
“usijifanye kama hutaki ama huna hamu, nimekukuta unajichua hapa mbwa wewe.”
“kwa hiyo?”
“njoo uchangamkie fursa.” Huku mwanamke akipandisha dela lake juu na kuacha tunda likiwa linamtazama jamaa.
Jamaa alitulia kwa muda huku akimtazama mpenzi wake huyo lakini ghafla akamuona mwanamke anaanza kujichezea yani kama mtu aliyekuwa anajitekenya mwenyewe na kuanza kucheka. Maana mwanadada alikuwa anajichezea huku akiwa anaanza kujiliza ya kwamba alikuwa anajigusa mahala pake na hiyo milio aliyokuwa anajiliza ilikuwa ni ile milio ya kumfanya jamaa aanze kupata hisia fulani za mapenzi. Ukizingatia jamaa alikuwa ametoka kutaka kuutupa kwa kutumia demu wake mkono baada ya kukataliwa na mwanadada aliyemuokota huko mtaani ilia je afanye yake. Taratibu makagari yake yalianza kuwVaileth na mashine ikaanza kusimama tayari kwa ajili ya kuukabili mzigo wa mahindi ambao ulikuwa uko mbele yake ili mradi asage na kukoboa.
“njoo basi bwana…!” mwanamke aliongea huku akiwa anajichanua miguu yake na kumvutia jamaa katikati ya mapaja yake ili shughuli ianze.
Jamaa akajikuta mnara umesimama na mtandao ukiwa unasoma kisaw sawa, kwanza alichokifanya ni kuvua hata ile bukta yake na kuanza sasa kuzama kwanza chumvini ili apate kulainisha ardhi wakati wa kuanza kulipitisha jembe lake liwe linakata vizuri. Nazani nikisema hivyo mnakuwa mnaelewa namaanisha kitu gani? Kama hujaelewa naweza kukupa mfano mdogo tu ya kwamba kipindi kile tulipokuwa watoto tulikuwa tunaloanishwa maji kichwani ndio kaka ama babu anapitisha wembe kichwani. Yani walikuwa wanamaanisha ya kwamba kichwa kiloane ndipo nywele zilainike halafu kiwembe kipate kupita na kukata vizuri, sasa ndicho alichokuwa anakifanya jamaa mbele ya huyo manzi yake mjamzito.
Unaambiwa mbuzi kafia kwa muuza bucha kinachofata hapo ni bei ya nyama ya mbuzi kushuka na usishangae akauza kilo miatano, ama paka kafia kwa muuza supu, utVailethngaa supu bakuri lenye nyama za kutosha linauzwa mia moja na nyongeza juu. Hapana chezea fursa wewe zinapokuchagua.
“ai! Jamani taratibu basi mpenzi.” Huku mwanamke akiwa anahangaika hata kujinyanyua kichwa chake apate kumuona mpenzi wake lakini alikuwa anashindwa kwasababu ya tumbo lake kumzuia.
Ilimbidi sasa arudi nyuma ilia pate kulaza kichwani chake kwenye pembe ya sofa na huku akipata wakati wa kupumua maana aliohisi kama pumzi zinataka kukata.
“ngoja kwanza babe” huku akivua na dela lake lililokuwa linaonekana kumbana mwili wake.
“ngoja nikuletee mito usiumie shingo.” Jamaa alizungumza huku akiwa anakwenda kitandani kuchukuwa mito na kuja kumuwekea mgongoni na shingoni ili mradi wakati anapatiwa dozi asiwe analalamika kuumia.
Baada ya kuweka mambo sawa na eneo husika kulainika baada ya mvua ya masika kunyesha vya kutosha ndipo sasa mvulana wa watu alipochukuwa jembe lake na kuliekeza eneo husika huku akiingiza kwa utaratibu mkubwa maana mpenzi wake huyo alikuwa akilalamika ya kwamba anahisi maumivu kwa mbali. Japo alikuwa nalalamika maumivu lakini alionekana kumkamatilia kiuno chake na kumtaka aingize ndani na wakati huo walikuwa wamekaa ule mkao nipakate nikupe yote. Yani mwanamke alikuwa amepakatwa huku akiwa amekaa kwa kumpa mgongo ili mradi tumbo lisiwe linamsumbua mpenzi wake huyo wakati wa shughuli kukolea maana unaweza ukajisahau na mkamkandamiza hata huyo kiumbe aliyekuwa humo ndani.
Shughuli humo ndani ilipoanza kukolea sasa mwanamke alishindwa kuvumilia ilimbidi sasa kutoa miguno na kuanza kulia kwa sauti maana utamu ulizidi kina. Huko ndani shughuli ilikuwa kubwa mpaka huku nje sasa kwa mbali walianza kusikia ile miguno ya yule mwanamke kwa jinsi alivyokuwa anahisi raha.
“mh! Jamani huyu ni mtu ama mnyama?” yule dada mapepe aliuliza huku akiwa anawatazama wenzake.
“kwani kuna nini nawewe?”
SEHEMU YA 03
“kwani kuna nini nawewe?”
“hivi hamsikii humo ndani kinachoendelea?”
“wewe naye…,”
“mh! sasa hivi ametoka kumshughulikia yule Malaya hata nusu saa haijapita ameanza kumpalamia dada wa watu na ule ujauzito.”
“wewe inakuhusu nini?”
“hata hainuhusu.”
“sasa kumbe? Kama unatamani nawewe nenda ukapalamiwe.”
“aku mwenzangu nitaweza wapi kumlidhisha mtu asiyeridhika.”
“hebu acheni basi makelele tusikie kinachojili.” Kaka mwingine alidakia akiwa anaonekana ametega sikio kwa umakini dirishani.
“heheheheheeeeee….! Umbea kwa mwanaume nayo inahusu…!?” wale wadada wambea walijikuta wakicheka kwa umbea huku wakigonganisha mikono yao.
Basi mambo yaliendelea huko ndani na huku nje na wao walikuwa wakisikiliza na kuendelea kufurahia kila kitu walichokuwa wanakisikia. Walionekana kati ya wale wasichana waliokuwa wamekaa pale nje yule mapepe ndiye aliyekuwa hamkubari kabisa huyo kaka anaeishi kwenye hiko chumba na ndio maana kila muda alionekana kumponda sana huku akiwa hatamani hata kumuona.
Baada ya nusu saa kupita yule mwanamke mwenye ujauzito alionekana kutoka huku akiwaaga na kuondozake maana alichokuwa amekiijia alikuwa ameshakipata. Hata dakika moja haikupita alionekana jamaa nayeye akitoka ndani huku akiwa amebeba ndoo yake ya maji akienda zake kuoga ilia pate kuendelea na mambo mengi.
“mwanaume huyo baada ya kazi.” Alisikika yule msichana mwingine akijisemea huku akiwa anamtazama yule jamaa aliyekuwa anaelekea uwani kuoga.
“wewe naye eti mwanaume…,”
“sasa kwani ni mwanamke yule?”
“hebu nipisheni hapa.” Akiwa anatupa karata chini na kunyanyuka.
“ipo siku nawewe utaingia kwenye kumi na nane zake tuone kama hautolia.”
“nani mimi? Labda niwe nimekufa nimekwambia ndio huyo jamaa yenu anilale.” Aliongea akiwa anaingia nyumba kubwa huku akiyaacha makalio yake yakitingishika kwa makusudi maana alijua kidogo yapo yaliyotepeta mithiri ya ule ugali uliotepeta.
Watu walibaki wakimtazama huku wakiwa wanacheka maana walijua huyo mtu bwana ni mtu machachari na huwa anapenda kujiona ni wa matawi ya juu kuliko wenzake.
“ila Vaileth mambo yake…!” alisikika yule kaka mpole aliyekuwa anacheza nao karata.
“ni wa kumuacha kama alivyo tu, akili zake anazijua mwenyewe.”
Wakati wanaendelea kuzungumza jamaa nayeye huko uwani akawa anatoka huku akiwa anajifuta kichwani maji na hata kabla hajafika mlangoni alionekana jamaa mwingine akija mbio mbio huku anahema.
“oya Saimon..!?” jamaa alimuita huyo kaka huku akiwa anasimama mbele yake.
“vipi Jay…!?”
“bosi ameniagiza.”
“nini tena?”
“amesema kama jana uliondoka na funguo ya stoo unipatie ili akaingize mzigo.”
“lakini leo sio siku ya kazi?”
“hata mimi nVailethngaa.”
“ok! Poa nisubilie twende wote.”
“si unipe tu funguo kaka mpaka twende wote?”
“nitakuamini vipi na unajua sheria za ofisini kama stoo inafunguliwa basi lazima niwepo.”
“poa twende.” Jamaa aliongea huku akiwa anakaa chini kwenye benchi lililokuwa lipo nje ya mlango wa chumba cha Saimon.
“samahanini jamani…, maana hata kusalimia nimesahau…, za saa hizi?”
“nzuri kaka.!” Yule mwanadada aliyefahamika kwa jina la Stela aliitikia huku akiwa anatabasamu.
“hata usijali kaka kawaida ndio maisha yetu vijana.” Frank nayeye alimjibu Jay huku akiwa anaweka karata chini.
Baada ya dakika tano kupita alionekana Saimon akitoka chumbani kwake huku akiwa amekwisha vaa na kuanza kuhangaika na kufuli la mlango wake. Alipomaliza aliondoka zake na Jay huku wakionekana kuzungumza hapa na pale maana walionekana kama kuna kitu wanakijadili.
“nachompendea Saimon huwa anajali sana kazi na huwa anachapa kazi kweli kweli.” Frank aliongea wakiwa wanakusanya mambo yao ili wapate kuondoka na kila mmona afanye mambo yake.
“ni kijana wa mfano hapa mtaani na kikubwa hata mimi ninachomkubali ni kwamba hajali wala hazuzuki na mali walizokuwa nazo kwao.” Stela alizungumza akiwa anakunja mkeka wao.
Baada ya muda kila mmoja aliondoka na kwenda kwao, wa kuingia kwenye vyumba vyao alifanya hivyo na yule aliyekuwa hakai pale aliondoka kwenda kwao huku wakiwaacha jamaa wengine walionekana bado wanamazungumzo yao mahala pale.
**********
Baada ya muda wa nusu saa ilionekana bajaji ikipaki nje ya ofisi anayofanyia kazi Saimon na mwenzake wa kuitwa Jay, walionekana wote wawili wakishuka kwenye bajaji huku wakiwa wanamlipa dereva bajaji na kuanza hatua kuelekea kwenye mlango wa ofisi. Kabla hawajafika kwenye mlango Saimon alisimama na kutazama gari ya bosi wao na kugundua kuna kitu kinataka kufanyika mahala pale ndipo alipotingisha kichwa na kupiga hatua kwenda ndani nyuma ya Jay.
Walipoingia tu ndani wakakutana na bosi wao amekaa kwenye kiti akichezea simu yake na alipowaona akaachana nayo na kuanza kuwatazama kuashilia kuna kitu anataka kuzungumza nao.
“imekuwaje sasa umfanya huu ujinga?” bosi akauliza.
“kuhusu nini tena!?” Sai aliuliza kwa mshangao.
“inamaana ushasahau juzi tuliongea nini?”
Alionekana Saimon kushangaa na kujiuliza alichokuwa ameuliza bosi wake, na kikubwa bosi wake huyo alikuwa ni mwanamke mwenye uzuri wake na sauti yake na hata macho yake angavu yalikuwa yakimtazama kwa umakini Saimon usoni.
“umeshasahau?”
“sikumbuki tulizungumza nini ila nachokumbuka tulizungumza mambo mengi.”
“unaweza ukanitajia kimoja kati ya hayo mengi tuliyoyazungumza?”
“kuhusu kuandaa ratiba ya mizigo inayotoka na kuingia stoo kwa wiki nzima.”
“sawa, kingine?”
“sikumbuki.”
“sawa kama haukumbuki ila kikubwa umeshafika hapa.” Huku akiwa anachukua karatasi kwenye mkoba wake na kumkabidhi.
Saimon aliipokea huku akiwa anaitazama na kuisoma kwa umakini na taratibu alionekana kukumbuka kitu na mwishoe aliirudisha kwa bosi wake huku akiwa anatabasamu.
“umeshakumbuka?”
“ndio bosi na naomba unisamehe kwa hilo.”
“usijali ila umeniweka na nazani huko maeneo watakuwa wanatusubilia sisi.”
“basi tufanye hivyo na kilichofanya nisahau kwa kuwa wewe jana hukuja ofisini.” Huku wakiwa wanaelekea stoo ilipo.
Walipofika stoo walianza kuchomoa vitu vinavyotakiwa kutolewa kisha wakawa wanavipeleka kwenye gari ya bosi wao na mpaka pale walipomaliza na kuanza sasa kufunga funga stoo na kuifunga ofisi yote kwa ujumla.
“sasa Jay wewe utatakiwa kurudi nyumbani kikubwa nishampata muhusika haina shida tena.” Bosi alizungumza huku akiwa anampatia noti ya shilingi elfu10 Jay.
SEHEMU YA 04
“shukrani bosi.” Huku akiwa anaiweka mfukoni.
“sasa Jay…!?” Saimon alizungumza huku akiwa anampa tano mwenzake.
“haina mbaya bob.”
“tukutane kiwanja chetu kama jana mzee.” Saimon alizungumza huku akiwa anataka kuingia ndani ya gari.
“unakwenda kukaa wapi na wakati leo unatakiwa kuniendesha.” Bosi alizungumza akiwa anamzuia Saimon.
“ohhoo! Sorry.”
“poa basi utanikuta nishafika mapema.” Jay alijibu huku akiwa anaondoka zake.
“poa poa boy.”
Mwishoe safari ya kuondoka eneo la ofisi ilianza na ndani ya gari alikuwemo Saimon na bosi wake wakielekea walikokuwa wanataka kwenda kwa muda huo.
**********
Yalikuwa majira ya usiku kama saa mbili hivi, alionekana Saimon na bosi wake wakiwa wanamalizia kula huku wakiwa wenye nyuso za furaha maana biVailethra waliyokwenda kuifanya ilikuwa imekwenda vyema. Walipomaliza kula walinyanyuka na bosi akalipa bili kisha wakaanza safari ya kuelekea kwenye gari yao huku wakizungumza mazungumzo ya hapa na pale.
“ilikuwaje mpaka ukawa kwenye hilo janga?” bosi wake aliuliza huku akiwa anapiga hatua ndogo ndogo.
“hata sielewi maana nilijikuta tayari nipo ndani ya janga.” Huku akitabasamu na kucheka kidogo.
“mh! Lakini jinsi dada yako alivyokuwa ananisimulia habari zako sikuwa nawaza kama ungekuwa na majanga kama hayo.”
“kwanini?” wakiwa wamesimama wote huku wakitazamana.
“aliniambia wewe ndiye mtoto wa mwisho si ndio?”
“yeah! Hakukosea.”
“aliniambia kati ya watoto wa pole wa mzee Gulu basi wewe ni namba moja na ulikuwa unapendwa sana na wazazi wako.”
“hahahaha…!” Saimon alicheka huku akiwa anapiga hatua kwenda kwenye gari na bosi wake akimfata kwa nyuma.
“au alinidanganya alikuwa anakusifia tu ili mradi upate kazi kwenye kampuni yangu?”
“hapana sio kwamba alikuwa ananisifia ila ukweli ndio huo, naweza nikasemea huo upande wa kupendwa na wazazi wangu, maana ndio niliokuwa naushuhudia sana mpaka ilipelekea ndugu zangu wakawa hawanipendi kila ninapokuwa nyumbani.
“sasa ilikuwaje mpaka ukamtibua mzee na kuhama nyumbani kwenu?”
“dah! Ni mambo mambo tu ya ujana.”
“ndio nataka kujua.” Huku mwanamke akifunga mikono kifuani mwake na macho yakiwa usoni mwa Saimon.
Saimon aliacha kwanza kuzungumza na kujikuta gahfla akiwatazama watoto wakike wawili waliokuwa wamevaa vigauni vifupi kiasi cha kufanya mapaja yao ya kuvutia yaonekane vyema na kumtamanisha sana Saimon. Bosi wake alibaki akimtazama na kutabasamu huku akiwa anatikisa kichwa kuashilia kama anasikitika kwa ile hali aliyokuwa nayo Saimon.
“nazani ndio mambo yaliyokufanya ukahama nyumbani?” alimsemesha Saimon huku akiwa anampiga begani na kucheka kidogo.
“ha…, hapana japo nayo yalichangia.” Huku akitabasamu.
“naweza nikajua…!?”
“yeah ila muda ukifika.” Huku akiwa anafungua mlango wa gari na kuingia.
Hakuwa na jinsi mwanamama wa watu aliyekuwa mrembo amevaa nayeye kimini chake chenye mpasuo kwa nyuma kiasi cha kufanya hata mapaja yake yaonekane vyema na kuwa mwanamke fulani mwenye mvuto wa aina yake. Alikuwa ni mwanamke wa shoka na hata kama uwe mwanaume kiasi gani basi ukiwa naye lazima matamanio ya kimapenzi yakushike na ukiwa sio mvumilivu unaweza ukajikuta unamvunjia heshima na kumuomba hata kimoja cha kusimamia ukucha.
Mwanamke aliingia ndani ya gari huku akiwa anamtazama Saimon na kutabasamu na usoni alionekana kabisa kuhitaji kujua kitu kutoka kwake lakini alikuwa anashindwa kwenda moja kwa moja.
“nasikia unatarajia kuitwa baba?”
Kwanza Saimon alimtazama bosi wake na kubaki akishangaa maana hakuwahi kusema hizo habari na hakuwahi kumwambia mtu yeyote kuhusu kumpa mimba mwanamke.
“la…, laki…,”
“najua hujawahi kumueleza mtu.”
“sasa imekuwaje kwako?”
“amenieleza dada yako.”
“kivipi na wakati hata yeye hajui hizo habari?”
“wVaileth gari twende usiku ushaanza kuwa mkubwa.” Huku akimbusu shavuni kimahaba.
Saimon hakuwa na jinsi wala hakuwa na swali japo uso wake ulikuwa unaonesha kabisa ya kwamba anaswali anataka kumuuliza huyo mwanamama mrembo aliyekuwa amekaa upande wake wa kushoto. Mwishoe gari iliwashwa na kuondoka kwenye ile hoteli kubwa ya kifahari ili kila mmoja apate kwenda nyumbani kupumzika.
“nahitaji unipitishe nyumbani kwanza.”
“halafu…!?” Saimon aliuliza kwa mshangao huku akimtazama bosi wake.
“ndipo wewe uwende nyumbani kwako.”
“ila ni usiku sana sizani kama nitapata usafiri kutoka pale kwako mpaka nyumbani kwangu?”
“ndio maana nikasema uanze kunipeleka mimi kwanza nyumbani kwangu.”
“sijakuelewa.”
“nakuachia gari hii uende nayo kwako halafu jumatatu ofisini utakuja nayo.”
“mh!” Saimon aliguna huku akiwa kama haamini kwa kile alichoelezwa na bosi wake.
“huamini ama?”
“hapana…!” huku akiwa anacheza na usukani.
Safari iliendelea na huku Saimon akionekana kama haelewi pigo za bosi wake maana alikuwa anamletea mambo ya kama kuna kitu anakihitaji kutoka kwake.
“ila bado hujaniambia kilichokutoa nyumbani kwenu na kwenda kupanga?”
“sizani kama leo ni siku inayofaa.”
“nazani inafaa.” Huku mwanamke akitabasamu.
“tulipishana machaguo kati yangu mimi na wazazi wangu.”
“machaguo yapi?”
“walinichagulia mwanamke wa kumuoa na mimi sikuwa tayari.”
“hilo tu!?” aliuliza kwa mshangao huku macho yakiwa kwa Saimon.
“ni dogo kwa nje lakini kwenye familia yetu ni kubwa sana na linawatesa watoto wote wa mzee Gulu.”
“kivipi?”
“kaka zangu kwenye ndoa zao wanalia na hata dada yangu pia.”
“unamaana gani?”
“kuishi na mwanamke ama mwanaume ambaye siye wa ndoto zako ni sawa kufungwa jela yenye mateso ambayo hayakuuwi mapema.”
“mh!”
“ndio hivyo na asilimia 90 kwenye bara letu la Afrika wanawake wengi huolewa na wanaume wasiowapenda na hata wanaume nao ipo hivyo.”
INAENDELEA

