BOSS AISEE MI SIWEZI KUBWA MNO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 16
Nililala, mpaka saa mbili asubuhi, Jordan aliniacha mpaka nikaamka mwenyewe, alikuwa kashaniandalia chai, ila sikuwa namuamini nilihisi ata anajisogeza anitoe mimba, niligoma kunywa chai, alinimbembeleza lakini wapi, nikalazimisha kwenda ofisin kwangu, ilibidi tu aniruhusu, nilifika nikaanza kazi, watu hawakujua kama leo nimechelewa walijua nilikuwepo tu, washanizoea mi mzee wa kuwahi, niliendelea na kazi, jioni kama kawaida, siku ikaisha nikakutana na mabango yangu, nikamlilia Mungu, nikaingia kulala leo tena bila kula, mama akahesabu ni kiburi nimeanza kumdharau, ikabidi nijikaze tu nile, ata sikushiba,nikawa nahisi tu chakula kinaninyiga…
Niliingia kulala, kulikucha nikafanya kazi zangu, halakahalaka, nikaondoka, bila kuangalia saa kumbe ni saa tisa usiku, nilifika mlinzi akawa anashangaa ila akahisi mimi na Boss wake tunaitana, niliingia nikalala, haukupita muda, akaja na yeye, alikuwa bado hajafika, alipewa taarifa na mlinzi ndo akaja, alinibeba nikiwa ata sina habari mpaka ofisin kwake, akanilaza leo alikuja na blanket kabisa…
Alinifunika, akabonyeza mahali sofa likaongezeka kumbe lilikuwa ni bed sofa, aliniweka vizuri akafunga mlango na yeye akalala,kulikucha akawahi kuamka, bibi yake alimtaarifu kashafika akampokee, aliogopa kuniamsha akampigia James akamlete bibi yake, alimweleza bibi yake ukweli, siku izi nakuja usiku kulala kazini, ndo yuko kunitizama, ilibidi bibi akubali kufatwa na James, akaomba aje moja kwa moja kuniona…
Aliletwa akakuta bado sijaamka, akaniona na zile alama, alimgombeza sana mjukuu wake, wakajadili waje nyumbani kutatua hili tatizo, mimi mda huo sina habari niko zangu kwenye usingizi, na James alikandia kwa Bibi makosa ya Boss wake, Bibi aliungana na mimi kulala,nimekuja kuamka najikuta ofsin kwa boss afu pembeni yangu kuna mtu, Bibi nae alishtuka, akaanza kuniuliza hali yangu, uku ananikumbatia, nakutoa vimachozi, nilibaki namshangaa, nikatizama mezani kwa Jordan sikumuona…
Nilimsalimia yule bibi, uku simjui ata, alisema yeye kaja tu kuonana na Boss wangu, nikamkaribisha vizuri na kumchangamkia, nikamuomba awe mvumilivu Boss atakuja muda sio mrefu, Bibi alitabasamu akasema, mimi sio mteja ni mke mwenzio, nilikuwa na kuchezea tu, nilishindwa kumuelewa nikamuuliza anamaanisha nini,akajitambulisha yeye ni bibi yake Jordan, nilishtuka nikainuka kabisa niondoke, alinuzuia, “pumzika usikimbie kimbie na hio hali, nimeshaongea na mwenzako, akuache kwanza na hizo kazi zao, atafanya yeye, wewe pumzika, sitaki kusikia unafanya chochote kwa sasa…
Nilikuwa nahisi kuchoka kweli, alinishawishi adi nikarudi kulala, Jordan alitoka kwenye kikao akashangaa, kuona sijaamka, bibi akamjibu, “kamechoka sana,inaonekana kana fanya kazi sana, aliamka nikamuomba alale kazi zake utafanya wewe, ndio akalala, inaonekana anafanya kazi kwa sababu hana namna, Jordan alishusha pumzi, nakuuliza kama nimekunywa chai, bibi akasema kahakikisha nimekula…
Walipanga ratiba yao nakuona iwe leo leo, nilikuja kuamka mchana kabisa, nikaletewa chakula nikala, nikawa nimetulia tu, nikataka kuondoka bibi akaniomba nisubiri muda wa kazi uishe tu niende nyumbani, nilikubali nikatulia kusubiri muda wa kazi uishe, naz ata haukukawia,nilitoka nikaanda toyo mpaka nyumbani, bibi aliniomba niwajulishe wazee kama wanakuja jioni hii, lakini nilifika nikasahau, Wakati wanaanza kuja, James alimpigia dada, kumjulisha ndo wanaanza kuja dada akauliza wapi? Ikabidi James amwambie dada, dada akasema hana taarifa, akanipigia nikamwambia nimesahau…
Ilibidi yeye ndo awapigie make hawakuwepo nyumbani, walikuja huku wanalalamika kwa nini sikuwaandaa mapema, ukweli ata kuongea nilikuwa nimechoka, nikawa nasikiliza tu kesi, naiacha hapo…
Episode 17
Wageni walifika, tulikuwa tumepika japo tulichelewa, walipigwa faini kwa kunipa ujauzito, wakatozwa mahali, walitoa kila kitu, wakapanga sherehe zifanyike siku moja na ya kina dada,kwa sababu eneo ni moja, walielewana ila mimi moyo wangu haukuwa na furaha yoyote nilikuwa kawaida tu, tayari moyo wangu ulikuwa umeshapata ganzi, Jordan alijua baada ya hili nitakuwa namchekea kama zamani, lakini ikawa tofauti, ilibidi amwambie dada, dada alimwambia anipe muda bado ninahasira nae, huenda itachukua muda asikate tamaa, Jordan alielewa akawa ananijari tu japo mimi simpi ushirikiano vizur…
Leo nilikuwa kazini nafanya kazi, alikuja nakuniuliza, “J mbona nimeshakuzuia kufanya kazi na nimekuruhusu ukae kwanza nyumbani mwili wako unaonekana dhaifu sana siku izi umepungua, kwa nini unakuja? Jordan naomba uniache tu nifanye kazi, wewe haitabiriki ipo siku unaweza kunimbia tu, umenifuta kazi kwa sababu siji kazini, na unaweza pia usinioe yote kwako yanawezekana, maamuzi yako huwa ni ya ghafla, sijasahau hilo, na kwa hali yangu, nibora nijiandae mapema nisisubili kukatiwa mawasiliano kama mwanzo…
Jordan alishusha pumzi, akaniomba nimsikilize hawezi kurudia tena kufanya ujinga kama huo, Jordan wewe ni binadam, niache tu hapa siwezi kukuelewa imani yangu niliyokuwa nayo mwanzo kwako saiv, sina kabisa, siwezi kujilazimisha, Jordan aliamua kuniacha tu akaamua kunipunguzia tu kazi, nikawa namaliza mapema nalala, kesho yake bibi yake aliniijia nikatembee nae, nifanye maandalizi ya clinic, nilitoka tukaenda kuzukazunguka kwenye maduka, Bibi Jordan akawa ananinunulia vitu, baada ya kutoka kuhemea tulipita, nyumbani kwa Jordan, bibi aligundua nimechange, akaniambia mjukuu wake saiv hayupo, nilitabasamu tu, bibi aliuliza kama tuna ugomvi nilisema hapana, alinitizama, kisha akanipa ushauri, nisikae na kinyongo muda mrefu ninaweza kuleta shida, nijitahidi kuzuia hasira ili tuwe na amani, kusamee ni faida yangu binsfsi haijalishi mtu ataomba samahani ama laa, nisiweke mambo moyoni, nitaumia sana, alinipatia ushauri mwingi sana wa maana….
Alinishauri mengi mno, niliamua kujifunza kuachia, nikaanza kujilazimisha kuchamgamka, Jordan alifurahi, siku za kuanza clinic zilifika, tulianza na Jordan ndo alinipeka, tulifanya vipimo, nikaombwa nisifanye kazi ngumu, mimba yangu iko kwenye hatari, lakini pia niepuke msongo wa mawazo…
Jordan alijiona yeye ndio sababu, alikuwa ananiomba msamaha njia nzima, alienda kuongea na mama na baba akakae na mimi na bibi kwa uangalizi kwa sababu nimepewa angalizo nisifanye kazi ngum,na nipumzishwe kwa muda aliomba nikakae kwake ataweka doctor specil wakunihudumia mimi tu, wazee walikubali…
Bibi alipewa majibu, akanihurumia nakusema tatizo ni Jordan alilaumiwa sana, badae wakamkaushia make adi alikosa raha,nilizuiwa kwenda kazini nikawa mtu wa nyumbani tu, najuliwa hali na kuletewa zawadi, siku ya sendoff ilifika tulifanyiwa mimi na dada angu,iliita vizur lakini nilichoka sana…
Episode 18
Jordan alikuwa ananihurumia, tumbo lilikuwa linaonekana japo kwa mbari sana, ndoa pia ikapita, Siku hio Jordan alifurahi mno, kwanz nilikiwa na mnyima siku zote adi ndoa ikafika, alikuwa kanipania, nikawa namcheka, nakumuonesha tumbo, anihurumie, alinitizama kwa huruma, “J usinifanyie ivi mke wangu nimekumiss mwenzio naomba ata kidogo tu mi ata sikuumizi, nikamwambia naogopa dude lako kubwa tatizo ata sijui nimekubalije akati najua kabisa shoo siiwezi, Jordan alicheka nakusema, unaweza sema tu uliiogopa hukuwa naazoea na hivi vitu, nilicheka tu nikashangaa mwamba kashanikamata pabaya, nilimpa alichokitaka nikajikuta na zile hasira nilizokuwa nazo juu yake kama zimeisha tu ghafra nikawa nimechangamka kutoka moyoni, Jordan alihisi mabadiliko yangu, akaongeza dozi niachie vyote kabisa, nilijikuta namwambia nilikumiss Jordan wangu kwanini ulinifanyia vile najua umetoa sababu ya uongo, nayeye alijikuta anajibu…
Ex wangu alimtafuta na kumpa mpaka ushahidi wa picha nikiwa nae chumbani, akahisi huenda nilimtengenezea bikra feki, alijikuta anapanic na haniamini, ila akawa ameshindwa kuniacha, na biashara pia hazikuwa sawa akajikuta anapitia mambo magumu mawili kwa wakati mmoja, alifanya uchunguzi, akapata uhakika na kuna dada akampa mkanda mzima jamaa hana inshu, ikabidi atafute kila mbinu akatoka na ex wangu nakwenda nae kuogelea private swim, jamaa akaonekana, japo alificha sana, ila akajisahau na kwenda kukojoa ndo Jordan akamuona, akajumlisha taarifa akapata uhakika kuwa sina hatia, na tumeachana muda kwa sababu ex wangu pamoja na hali yake ila ni kicheche balaa, na anajidai, utazani amekamilika…
Nilihakikisha namchezea , Jordan muwa wake mpaka akasema ukweli, na kuahidi hatarudia tena kusikiliza taarifa kwa mtu yoyote nje na mimi, nilivyoridhika na ukweli wake, angalau nikapata amani, Jordan alinikuna utazani analipiza, nilichoka mno, tulilala, kukakucha apo niko na vibe nimeshasamehe, na kanuru kakaanza kuja…
Tulienda honeymoon, tulivyorudi Jordan aliniomba nitulie kwanza nijifingue anifungulie ofisi ya salon, nikagoma kusubili, make nilikuwa naogopa kuwa mama wa nyumbani, nilijua inaweza kuleta shida na kudharaulika, japo sio kwa wanaume wote ila asilimia kubwa ukiwa mama wa nyumbani, utateseka sana, na kuonekana, huna akili, lakini pia kuna namna tu akili inakuwa imelala unakuwa mpekwe, unaweza mtumia mmeo sms, asijibu ukajisikia vibaya, usijue ata kama kuna ubize, biashara inapunguza gubu kwa mwanamke…
Ilibidi akubali tu,alinifungulia, akaniomba nitafute wafanyakazi, nilitafuta, nikaanza biashara, ila akawa makini sana na mimi, siku zilikimbia hatimae nikajifungua mtoto wa kiume, Jordani na bibi walifurahi mno, mama alikuja kuniuguza uzazi mpaka nikapona, alimpenda mjukuu wake kuliko ata mimi, nilifurahi na biashara iliniendea safi mno, dada nae alikuwa na ujauzito, ilibidi mama ahamie tena kwa dada, make nae siku zilikuwa ukingoni, apo mimi mtoto alikuwa kashafikisha miezi minne, alihamis huwa siendi kazini, nikawa bize nammasaji bibi miguu, jamani uyu mzee anazeeka na utamu wake,ngozi laini adi raha,nikawa namtania, tunacheka wenyewe, kumbe Jordan alikuwa nyuma yangu mimi sijui, namtania tu bibi, tena najimaliza kweli, bibi akaanza kuniuliza kuhusu Jordan kumbe kashamuona, alianza nakuniambia, Babu ndo amefanya awe ivo, ukipendwa vizuri nuru inakuja yenyewe, vp lakini mjukuu wangu shoo anaiweza kuwa wazi kama inamatatizo tiba zipo, nilicheka nakumwambia bibi, yani nahisi inanizidi usinikumbushe tu bibi uyu jamaa haitaji dawa hata kidogo, labda kama unataka aniue tu, hapa tu kuna muda huwa nataka kukimbia, sema ni mchoyo tu, nakweli,anakauchoyo, kisa ubize, ila yeye sasa akitaka hataki umnyime, atafanya kila njia apate, ila thubutu wewe, nachukia bibi basi tu, nikikumbuka asubuhi tu katoka kuninyima, niliongea kwa uchungu, bibi akawa ananicheka tu…
Akasema usiku atanipa mbinu, nikitaka namna yakumbana, nilimwambia bibi, we humjui tu Jordan, yani uombe akiwa hataki ata ufanye nini hatoi, nikasikia mtu kakohoa nyuma, toba nini tena iki, niligeuka kwa uoga, nakuta Ni Jordan nilimuuliza kaja saa ngap, akasema saiv tu, nikapumua nikiamini hajasikia kumbe nimepigwa ya utosini kabisa…
Aliniiomba mara moja nilimfata, kufika akasema kaja sasa, asubuhi alikuwa na haraka, nilimtizama kwa hasira nikataka kutoka akanirudisha, na kuniomba samahani, “najua nimeku disapoint sana mke wangu, naomba basi unasamehe, sawa yameisha ila sitaki tena hisia zishaisha, alinibembeleza lakini sikuwa tena na mud, alizani natania ila ndio hivyo sitaki mtu uninyime afu saiv unajileta kunidanganya danganya 🤨…
Aliamua kutumia tu uanaume, akihisi nijeuri tu,nikamsusia ata hakuiacha akaipiga vizuri tu na kuisifia juu, ikafika hatua nikakamatika 🙌,saivi nalea uku nina kibendi (mimba), tena asante sana kwa kuwa na mimi Simulizi za Raha Special, mwanzo hadi mwisho, Mungu akubariki sama dear kwa saport yako, akuzidishie pale ulipotoa nakupenda sana, karibu tena.
GLORY TO GOD
THE END.

