BOSS AISEE MI SIWEZI KUBWA MNO
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 11
Alivyolizika akaniachia, nilichukia nikamtandika kofi, lakini hakukasirika, alinijibu tu, “asante J nilikumiss sana, nikaona nije tu angalau nikutizame kisha niende nikalale, lakini nashindwa kabisa kulala, kwa sababu natamani kukulinda, kukuona, nahisi nikiwa chumbani kwangu sitokulinda vizuri, Boss tuheshimiane tafadhali sana, alijibu tu “nimekuelewa J, kinyonge akaondoka, mimi nikajua huenda nikisahau kufunga, nikaenda nikafunga mlango, kabisa na funguo, nikarudi kitandani, upande wa Boss alimpigia Bibi yake akamuomba amuelekeze namna ya kumshawishi mwanamke mpaka akubali kuolewa nae…
Bibi yake alifurahi mno, akamshauli, kama binti amekukazia, nenda kwao huenda hakuamini, kama anaonyesha dalili nzuri, mpaka kakubali kusafiri na wewe, basi kuna asilimia anakupenda ila anaogopa ama hakuamini, wewe nenda kwako moja kwa moja, wazazi watakuona ni kijana bora sana, wanaweza kukusaidia kumshawishi binti yao, kama hio mbinu itaferi utanijulisha nikupe mbinu nyingine, “lakini bibi mimi natamani anipende na mimi, atamani kuniona kama mimi, “Jordan mjukuu wangu, mwanamke anatabia ya kuficha hisia zake kwenye hasira ili usigundue, huenda hakuamini, anahisi huna malengo nae, hivyo hataki kujipa matumaini hewa, ukifika kwao ndio utajua kama ni kweli akutaki kabisa ama laaa, lakini kama anakupenda, hawezi kukukana mbele ya wazazi wake…
Boss alikubali wazo la Bibi yake,tulipata chakula tukalala, niliongea na dada na mama, baba na mdogo wangu, kisha nikalala, kulikucha Boss akaja kunijulia hali, nilijibu tu naendelea vizuri, aliniomba nijiandae twende kwenye kazi iliyotuleta, alinipa maelekezo, nilijiandaa tukaenda nilikuwa makini sana na kazi yangu, nilihakikisha kila kitu kiko sawa, tulitoka saa moja jioni nilikuwa nimechoka sana, nilipita angalau kunywa kwanza sikumjulisha Boss kama nimepita kunywa alianza kunitafuta, akaniona apo apo kwenye hotel ya mkutano nakunywa juice lakini ajabu nilikuwa nahisi kulewa, kumbe kuna mtu alishaniwinda, hakujua ata kama niko na mtu, akaplan kunitumia bila ridhaa yangu, baada ya kuona niko peke yangu na ninaonekana kama mgeni…
Bahati nzuri tu, Boss aliwahi kunipata, akaja kunichukua akashangaa mtu anamzuia nakusema yuko na mimi, Boss alimtizama na kumuuliza, “uko na mke wangu kivipi? Yule jamaa alishtuka akaogopa ila akahisi huenda ni mtu anataka kumuibia tonge lake mdomoni, ikabidi Boss amuoneshe ushahidi wa no alivyonisave na akanipigia simu ikaita kwangu, hakuishia apo akamuonyesha pich nilizopiga nae kwenye sherehe, na asubuhi wakati tunaenda pale kwenye mkutano wa biashara, mwamba akaishiwa pawa, ikabidi asepe tu, nilikuwa sijawahi kutumia kilevi, aisee kilijua kunipeleka, Boss aliziona dalili za kuvuliwa nguo kwenye gari, ilibidi achukue tu chumba apa apa tulipo…
Akanipeleka nikajikuta namtaka tu, alijitahidi asiniguse lakini ilikuwa ngumu kwake kujizuia, alijikuta ananza kunipa ushirikiano, alininyonya shingo, chuchu, kama hana akili vizuri hakuishia hapo, akaamua kuzama chumvini, alinyonya uku ananichezea chuchu zangu nilijikuta navurugwa nataka aendelee, asiache, nilijikuta na mimi nataka kunyonya pipi, hakunizuia nilinyonya, mpaka Boss akaanza kuopoga kelele za utam…
Akawa anatamani kunizuia ila jeuri hana, utam ukamkolea akaanza tu kunisifia, alivyoona sina mpango wa kutoa mdomo wangu kwenye pipi, akaamua kunichanganyia mambo akaweka dole lake kwenye utam akaanza kusugua nilijikuta naachia mwenyewe ili nisikie utam vizuri, alinyoona nimeachia utam umenikolea akazamisha kitu, nilitoa macho akaniuliza “honey vip inauma mke wangu nitoe? Uku anaingiza nakutoa, ananilingishia, anazamisha anatoa nilianza kuililia, usitoe nisugue kabisa inawasha, nilimpa tu ruhusa mwamba akaanza kuichapa uku ananiromace nyie nilizidi kuchanganyikiwa, nikawa sijui nisikilizie utamu wa wapi uku juice uku pipi inakoroga sio poa, nilijikuta napata hisia mchanganyiko, nikawa natapa tapa…
Sijui cha kufanya, sielewi natamani aendelee tu, najikunja kunja, alitoa mdomo, akaanza kunitizama uku anauliza, “honey inauma nitoe, nikawa namzuia usitoe Baby, “kweli honey? Unasikia utam ee, ndio sugua baby nataka usiache jamani, “nakuhurumia honey ama nitoe, akaanza kuitoa nikainua kiuno kuifata uku namsihi asitoe, baby weka siumii nasikia raha tu usitoe plz baby nataka, Boss aliisokomeza akaongeza speed na mauno, uku ananipa tena mdomo, nyie nilitoa ushirikiano kwa jinsi nilivyokuwa nasikia raha sikutamani kabisa aaache, alijua kunipa vitu jamani…
Episode 12
Utam ulinizidia, nikawa nampapasa Boss chuchu zake, akaanza kuunguruma kwa raha, namimi nikawa nafurahi anavyotapa tapa, uku ananiongezea moto, alinibadirishia mkao akanitoa kitandani nyie hii ilikuwa naipenda nikajikuta nataka kukojoa, nilimwaga, lakini sikuachiwa alijua kuniunganishia mabao, mpaka anakuja kumaliza nimeshakoma,aliniingiza bafuni kuoga lakini nako hakuniacha salama, alidai mwili wangu unamchanganya kila akiushika, hasa kifuani anazidi kuchanganyikiwa, alonichumisha mboga bafuni, ilikuwa inazama kupita maelezo, mkao ulifanya akawa anasugua pale kwenye uvimbe na ndani, nilijikuta nawahi sana kufika, nilimaliza kuogeshwa na mabao yakutosha, alinileta chumbani tukalala, apo akili kama zilikuwa nusu, alfajiri sana, niliamka na wenge nikagusa mtu ila sikuitilia maanani, kwenye kugusa saa ngap nisishike mashine ya mtu, na inaonekana imevimba, ndo kushtuka…
Kutizama ni Boss, nikaanza kuvuta kumbukumbu ata sikumbuki, ila nilivyoona love bite kwa Boss nikakumbuka kiasi, nikahisi kuna tatizo sio bure, nilimuamsha kwa hasira, nikaanza kumlaumu kanitilia kilevi, alinitizama sana , kisha akaniambia “J siwezi kukufanyia hivyo, kwa sababu nakupenda, na wakati unaondoka hukuniaga, kama sio kukutafuta kwa wakati, huenda jana ungefanyiwa vitu vya kikatiki sana, mimi ni mwanaume kwa hali yako ya jana namimi ninahisia na wewe ilikuwa ngumu sana kukukwepa, nilishidwa nilitamani nikuache mwenyewe, ili ukae sawa, lakini kabla sijaondoka, ulinasa mashine yangu, ulikamata udhaifu wangu…
Alijieleza adi nikaona aibu, alisema kama simuamini tukacheki cctv camera, niligoma nikakimbilia bafuni kuoga, nilitoka nguo ziko chumbani, Nilitoka nataulo tu, uku naona aibu, Boss aliamka nakitaulo chake akaniomba nilale kwanza leo hatuna kazi ni off mpaka kesho, nilikuwa naogopa na aibu juu, alinikumbatia,nakuniambia nakupenda sana basi tu huniamini, sikujibu kitu, alinilazimisha adi nikalala tena,nimekuja kuamka, tayari ni asubihi kwenye saa mbili, aliniagizia supu,nitoe wenge langu, kisha tukajiandaa kurudi hotelin kwetu, niliwajulia hali nyumbani, kisha nikakaa kuwaza, Boss atakuwa ananipenda kweli ama anamipango yake, au kisasi, nilikosa majibu niliamua kutulia tu…
Nikiwa kwenye mawazo, nikasikia mtu anagonga, nilienda kufungua nikakuta ni Boss, niliachia mlango akaingia, ila ndo siwezi ata kumtizama machoni, aliomba ashinde na mimi chumbani kwangu, kwake anakuwa mpweke, niliinua uso nikamtizama tu, alivyonikazia nikashusha uso wangu, sikujibu nikatulia tu, alikuja pale pale kitandani nikataka kukimbia, akanishika nakunituliza kitandani, apo alikuwa tayali juu yangu, nikajikuta nimekumbuka dudu yake, adi nikafumba macho kwa hisia, nikama alinielewa hivi akaniuliza “vipi J wangu umeimisi? Nakuona ni kama unaivutia hisia, usiogope niweke wazi basi…
Episode 13
Nilikosa kabisa ata ujasiri wa kujibu, sijui kwanini leo nilionekana, kuitamani sana, nikawa kama nawashwa kabisa, nikaona wee usinitanie, si iko apa apa na kama nikuingia ishapita hakuna jipya, nikasogeza mdomo uku naona aibu,alinipokea bila shida, apo ilikuwa saa moja moja, Boss naomba, alinisikia lakini hakujibu, aliendelea kuniandaa tu, mpaka nikajikuta nafika na kitu haijazama ni ulimi tu unatembea mwilini kwanguna mikono, saa nzima naandaliwa, shoo haikuchukua muda mrefu kama maandalizi make nilikuwa nimeiva vilivyo nikawa nayamwaga tu kwa muda mfupi sana, tulivyotosheka tulioga tukala na kulala, sikumzuia kulala na mimi ata, alifurahi mno, akajua tayari hali ni shwari…
Alifurahi mno, tuliamka na kuamkia majukumu,siku za kazi ziliisha tukarudi nyumbani, tukiwa tayari kwenye mahusiano rasmi, nilipewa off ya wiki moja, ndo nikarudi kazini, nilirudi Boss alinipa taarifa anasafiri kwa mwezi mmoja atarudi tukawa tunawasiliana, mwezi ukaisha akarudi, apo tuna mwezi na wiki hatujaonana, nilijikuta nimefurahi, mno, hio jioni aliyofika aliniomba tuonane ila mzee alikuwa makini sana na mimi, nikakosa nafasi tukakubalina kesho yake, asubuhi kama kawaida yangu nikawahi kazini, nilifika nikapiga kazi zangu, muda wa chai nikaenda kwa Boss, nilifika nikajikuta nimeingia bila hodi, alikuwa bize nakazi nilifunga mlango nikaend kumhug kwa furaha mno, lakini hakunipa ushirikiano, aliinuka nakuniuliza hiki nini? Nilishtuka, nikamuuliza mbona sikuelewi? “Mkataba wako unasemaje kuhusu huu ujinga unaofanya hapa, hujui kama hapa ni kazini unaleta mapenzi ama ni mazoea sasa,sikuwa ata najibu nilijikuta tu najuta, nilisema tu samahani Boss, kisha nikatoka ila machozi hayakuniacha salama, nililia nikashindwa ata kufanya kazi, muda wa kazi uliisha, niliondoka nahisi nilikuwa mtu wa kwanza kuondoka…
Nilipitiliza kwa dada nikamsimulia uku nalia, dada alishtuka, apo nina mimba tayari na Jordan nilikuwa nimeshamwambia, anajua, sasa kwa hizi dalili atakuja kweli nyumbani Mungu wangu niliamini napendwa mimi, nililia nikalala pale pale kwa dada simu yangu nilizima kabisa,upande wa Boss Jordan wala hakuwa na pressure, alikuwa bize na kazi zake tu, leo aliondoka usiku, kwa sababu ya kazi…
Alifika kwake, akanipigia akaambiwa sipatikani, akaingia zake kulala, kulikucha nilitakiwa kazini, nilijilazimisha tu ila sikuwa sawa, huwa ni mtu wa kutabasamu kila muda ila leo sikutaka mazoea ata na nzi wa hii kampuni, nilifanya kazi zangu, leo nikatoka kabla ya muda, nilivyomaliza tu kazi zangu nikaondoka, nilifika nyumbani, nikapika leo mdogo wangu alikuwa na mitihani chuoni,niliandaa kila kitu nikaoga nakulala, walivyokuja wakakuta kila kitu nimeandaa, nimelala, mama alianza kunitilia mashaka,akaanza kunihoji, ikabidi nimpigie Boss Jordan kumuuliza kuhusu kuja nyumbani, “J saiv niko bize sana, kuwa na subra, nitakuja tu lakini sio saivi, lakini Jordan kumbuka nina mimba, nyumbani watanimind, kwani ukija tu ata kwa nusu saa tu kuna tatizo?…
“J kuwa muelewa basi, alinijibu ivyo akakata simu, nyie nilijuta mimi, dada alinishauli niombe ruhusa kwanza kwa muda afu nyumbani pia atajua atakavyoongea nao ili angalau nitulize akili, shem alinipa ruhusa, ya mwezi mmoja, kwa jinsi nilivyokuwa nimevurugwa, ilibidi dada anipeleke kwa rafiki yake aliesomea maswala ya ushauri, ili anijenge, nilikaa kwa uyo dada likizo yangu yote adi ikaisha, apa kidogo nikawa sawa, nikawa tayari kwa lolote, mwezi mzima sikuwahi kumtafuta Boss nilizima simu, nikawa nawasiliana na dada na wazazi wangu kwa no nyingine, baada ya likizo kuisha, nilirudi kazini, sikutaka kujua tena mambo ya boss, nilijiandaa tu kuwa single mother…
Episode 14
Muda wa chai, nilienda zangu kunywa chai, wakati nimekaa nakunywa, nikapigiwa simu kucheki ni Boss niliwaza nipokee ama, nikaona acha nipokee tu, nilipokea akaniita ofisin, nilienda nikafika nakugonga hodi,aliniruhusu nikaingia, nilivyoingia nikasimama mbali kabisa sitaki shida nilimwambia anipe maelekezo, alinitizama sana, kisha akaniuliza, “unashida gani? Mbona sikuelewi, na vipi hali yako?…
Samahani boss, kwani kuna kazi yoyote nimeikosea, mbona niko sawa? Na kazi zote nimefanya vizuri?
Alinitizama nakujibu, “sijazungumzia kazi, nimeuliza afya yako,nilimkata jicho nikaomba kama hakuna kazi niende, “J mbona sikuelewi? Tunaugomvi mimi na wewe?, ulikuwa hupatikani mwezi mzima,sijui chochote, umerudi ata kunijulisha hakuna, basi ata uje tusalimiane hakuna kuna kosa nimefanya J wangu?..
Boss kama sijakosea, iki tunachokiongea hapa,nikosa kimkataba naomba niende, niliongea ivo uku natoka, sikutaka kujiuliza, nilighaili kurudi tena kwenye chai, nilianza kufanya kazi,nilimaliza, nikawa natoka niende nyumbani, Jordan akanizuia, “ J naomba uingie kwenye gari tuongee, samahani kwa leo ninaharaka, “J acha utoto basi tunapaswa kuongea, sikujibu ilikuja toyo niliyoita nikapanda nakusepa, nilienda nyumbani, nikakuta nako kumeiva, nishasanukiwa nina mimba, nyie nilitukanwa, na kupigwa juu, lakini sikutaja mhusika zaidi ya kusema hataki kulea nimejiandaa kuwa single mother, walivyochoka kunipiga wakaniacha, apo maumivu niliyokuwa nayo, yalikuwa makubwa mno, nilikuwa mvivu sana wa kuomba nilijikuta nakuwa muombaji ghafla, mapenzi yalinifanya niwe mwanamaombi…
Usiku Jordan akawa ananipigia, sikupokea, kesho yake kazini, sikutaka kuonekana na mtu, nilikuwa bize tu ofsin kwangu ata ham na chai sikuwa nayo, muda wa chai sikutoka, niliona aibu alama za kipigo zitaonekana, niliendelea kupiga kazi, nilikuwa niko hoi kabisa, nikasikia mlango wangi unafunguliwa bila hodi, nikashtuka, kucheki ni boss, aliingia akasimama uku ananitizama, “J unashida gani mke wangu? Mbona sikuelewi, na kwa nini hujaenda kunywa chai na unajua kabisa wewe ni mjamzito?
Sikujibu swali lolote niliendelea na kazi, aliona sasa dharau zimezidi akanishika mikono nakutaka nijibu maswali yake…
Wewe kaka wewe, naomba usinichumishe dhambi bure, niache kabisa sitaki matatizo na wewe, niko bze nakazi, ninamajukum makubwa sana, hivyo kama huna swali linalohusu kazi sepa, uzuri sheria umeziweka mwenyewe, na umezishika vizuri sana, usijitoe ufaham, “ J naelewa lakini tatizo hata nikikupigia nje na kazini hupokei simu yangu, sijui nini kinaendelea unanichanganya sana, sikujibu chochote, kidogo simu yangu ikaita, alikuwa ni dada, aliniambia, “mdogo wangu najua hujanywa chai kwa kipigo alichokupiga mama na baba jana, huenda unaalama nakujua nimekuagizia chai shemeji yako amepokea mimi sitaki kuingia nisije nikapata kesi bure, nilijibu asante, simu yangu nikiwa naongea na mtu, kama yuko jilani lazima atasikia…
Episode 15
Jordan alinitizama akaona zile alama, akaniuliza, “J kwanini nyumbani wamekupiga, nilijikuta nimemtia kofi, alinitizama nakuuliza “ni kwasababu ya mimba?, sikumjibu chochote, nilimwambia tu atoke sitaki jam ofsin kwangu, alitoka uku ananitizama sana, baada ya muda kweli shem aliniletea chai nikanywa, nikaendelea na kazi ata yeye nilipunguza mazoea nae, aliniaminisha niko sehemu salama, alihisi kabisa namchukia alitaka tuongee nikakataa, shem samahani, ukweli kwa sasa hivi sitaki kuongea na mtu yoyote, hamjui tu ilibidi shem atoke tu, Upande wa Boss alijikuta analia tu ofsin kwake, anawaza alimuita James msaidizi wake ili waongee, James alimchama makavu live, akampa mkanda mzima, na kumlaum juu, “James unajua kabisa wakati huo sikuwa sawa, nilikuwa na stress za kazi, sikumaanisha kumtupa, lakini pia nilitaka nimpe nafasi nayeye azame kwangu ajue umuhimu wangu, James, J akuwahi kunipigia simu muda wote niliokuwa mbali nisipopiga mimi yeye hawezi ata kunitafuta ni lazima mimi nianze, nikahisi kabisa hanipendi bado, nikashauriwa nimsuse kwa muda aone umhimu wangu pia, lakini imekuwa zaidi sasa, sitaki tena anipende nimekubali ata asiponipenda ila tu awe kando yangu, Aisee ivi na ukubwa wote huwa ukafata akili za kuambiwa kweli? Mwenzako saiv, unampitisha kwenye wakati mgumu….
“Sina cha kukusaidia tena, saiv naonekana mbaya kwa sababu yako,hili maliza mwenyewe sitaki tena kukutetea huenda nakujua kama boss wangu ila nje na hapo nimegundua sikujui kabisa, Shem alimwambia ivo Boss wake kisha akaondoka, Boss aliona amnyokee Bibi yake, akasema ukweli wote, bibi yake alimjibu tu, niandalie ticket nije haraka, Jordan alikubali, mimi nilipitiwa usingizi, muda wa kazi uliisha, ila nilikuwa naogopa kwenda nyumbani, nilimpigia dada simu nakumwambia hofu yangu, akanishauli nijikaze, nianze kuzoea, nikienda kwake kesi itaongezeka, na huenda tukajumlishwa wote nilimuelewa, kumbe Jordan alikuwa nyuma yangu alisikia kila kitu, alianza kunisemesha tena, “Juliet naomba unisamehe sana, sikutegemea kama nitakuletea shida, sikutaka ata kumsikiliza nikaaanza kutembea nikapande zangu toyo tu, aliniomba nikapande gari anipeleke, ata sikumjibu, niliendelea na safari yangu, alinitizama uku anaumia, nilipanda toyo nikasepa…
Nilifika nyumbani nikafanya kazi zilizokuwepo na kupika ili angalau kupunguza ugomvi, akini mama alivyorudi akahakikisha ananitafutia kosa tu, mpaka akalipata,na mimba ikaingizwa kwenye kosa kutofanya usafi store,nilikosa amani kabisa, ila nikajikaza tu, nililala usiku simu yangu ikaita, nilivyoona tu no, nikakata nakuzima kabisa, kulikucha nikaamkia kazini, niliwahi sana leo, mpaka mlimzi alishangaa, niliwahi ili kukimbia kelele za mama asubuhi asubuhi, nilifika nikalala ofsn kwangu…
Kumbe mlinzi aliachiwa maagizo nikifika, amjulishe boss wake kwa jinsi nilivyokuwa na mawazo ata sikuona gari wa Jordan, na sikutegeme kama atakuwa kazini, nikiwa nimelala ofsin, Jordani aliingia, aliniamsha nakuniomba nikalale ofsin kwake kwenye sofa, apa sio pazuri, Boss asante ila mimi hapa pananitosha naomba uende tafadhali sitaki kuona mtu ofisin kwangu, Jordan hakunielewa, alivyoona simsikii akanibeba kwa nguvu, nilikuwa namfinya lakini alivumilia, aliniingiza ofisin kwake akafunga mlango nafunguo, akanilazimisha kulala, “J nakuahidi, sitakusemesha wala kukusumbua wewe lala tu, ndo ninachokitaka, nilikasirika, nikaamua kutulia tu, mwisho usingizi ukanipitia, alivua koti lake akanifunika, alianza kunitizama kwa huruma mno, uku anajuta…
Inaendelea….🔥

