AFANDE INAUMA JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 1
Jamani kila kitu kimeandikwa na kila mtu ana hatma yake, wee fanya unavyojua lakini jua hatima yako ishaandikwa tu ,utazunguka lakini ishaandikwa na kivyovyote vile lazima ukitane nayo hyoo hatma yako iliyoandikwa kwa ajili yako, twende na mimi mwanzo hadi mwishoo wa hii simulizi ujue au uone jinsi nilivyokutana na hatma yangu
Naitwa Latifa, ukipenda niite latty ni sawa ni binti mtukutu sana kuliko watukutu wote japo nyumbami wananiona nimetuliaa vibaya sana ila kama kuna watukutu duniani mimi ni namba moja asee π, hakuna ugomvi ambao sihusiki hakuna kigoma nisichoenda, hakuna shughuli nisiyoenda yaani, japo nyumbani najikutaga mtaratibu kwetu tumezaliwa wanne na mimi ndio wa mwisho hao watatu wote washaolewa, maana kwetu tumezaliwa wakike watupu,mimi ndio wa mwisho na niligoma kusoma kwahyo mimi sijawahi kusoma hata A, nimekuliaa mtaani uswahilini balaa, baba na mama ni watu wazima sana yaani kama vile bibi na babu yaani kiufupi washazeeka sana, hivyo hata nguvu za kunisimamia hawana na mimi ndio nimeachwa hapa kuwatizama, hivyoo huwa nashinda dukani kwa Mama yangu maana yeye hawezi kwenda tena, hivyoo naendaga mimi
Leo bwana nipo dukani akaja shoga yangu anaitwa Nasraa mmbea huyoo ππ€£ “pambe yangu, kuna shughuli huko pambe ni vipi?, afu ni ya vile adui yetu twende tukaanzishe vurugu tusepe zetu” alisema Naa, nilimtizama kwa muda mimi
“Ngoja nitizame kama nishakusanya hesabu ya kila kitu, ambayo najua ni Friday na hela ya kula nyumbani ipo tuondoke niombee duaa nikute mambo yapo sawa maan si unajua tena” nilimwambia Naa
“Haya kagua vizuri” niliangaliaa nikakuta mambo yapo poa kabisa hakuna shida, nilifunga duka nikaondoka alikuja kabisa na kijora tukavaa tukasepa zetu hapo mchna jua kali vibaya, akanambia tupitie saloon yaani anataka tupendeze kuliko hata bibi harusi yaani π, nikasema huyuu nyiee ana hatari vipi, kweli bwana tukapita saloon tulipakwa make up na vile nina kisura Mashallah nilinogaa, yaani sura bila mkorogo, wala vidoaa yaani ukinitizama unanitaka mbona bwana harusi atasahau kama yule Subira ni mkewe, akinioma hayo yalikuwa mawazo yangu tu mjinga mimi ππ€£
Tulitoka hapo tukaelekeaa mpaka, huko kwenye shughuri muda huoo saa 12 unaambiwa ishafika, tukakuta kitaarabu ilikuwa shughuli ya wanawake tu, kwenye taarabu saa ngapi tusianzee fujoo mama, maana bibi harusi mwenyewe hajapoa hata yaani ukisikia ndimu ndio ile siku ya ndoaa ndio kwanza kwenye taraabu anachezaa kama mgeni mwalikwa ππ€£ , si ndio ikawekwa ile taarabu ya domo la udaku πΆ wee tukaanza kumzunguka mara tumvutee gauni mara tumvute lile dude la kichwani, saa ngapi team yake isiibukee, ikatugamiaa moyoni nasema mimi na ubabe wangu wote hii vita ya watu wengi siiwezi kabisa, ngumi zikaanza acha nikimbiee nimuache Nasraa akuu
Nipo nakimbiaa hivi nimefika barabarani gari likataka kunigongaa π, afu barabara yenyewe ilikuwa ya vumbi, si ndio mwenye gari akasimama yaani nikachanganya na hasiraa za kushindwa ugomvi na nimeanzisha mwenyew nikasema zote namkusanyia huyu huyu yaani, hapo sijamuona hata alieshuka π
SEHEMU YA 2
Kitu kilichoshuka asee nilibaki hoi yaani π, yaani kashuka mkaka kavalia nguo zaki polisi, mrefu, chocolate colour, ametuna kifuani kiasi kwamba ile shart imekaa mahala pake ππ, jamani macho yake sasa sikuwahi kuona wakaka wazuri kiasi hiki mimi π, kila hatuaa aliokuwa anasogeaa kuja kwangu moyo wangu uliendaa mbioo hasa mpaka nikawa nashindwa nifanyeje yaani π, nilikuwa nimebaki mdomo wazi sina neno mimi π,
“Kwani wewe huoni kama gari linakujaa kwa kasi, mhh huoni hiloo ? Ningekupamiaa ingetokea nini eeh” alikuwa ananambia muda huoo mimi namshangaa tu, ndio mawenge yakakata kichwani nikamgeukiaa na sonyoo juu sijali yeye ni askari au mwanjeshi sonyo lilimuhusu
“Kwahyo wewe hukuona kama kuna mtu pia si ndio ? na ungenipamiaa ungenizaa upya, hayo magwanda yako yasitutishee sawa babu?π hovyoo π” nlisema bila hata kujali naongea na nani yaani ” umenichelesha mipango yangu nimeitwa mbio nikatulize vurugu wewe unakuja kupita mbele hapa ujue nawahi ni hatari watu watakuja kuuana” alisema nikashtuka nikawaza anaenda kwenye vurugu sehemu gani sio kule alipo Nasra kitakuwa kimenilamba afu mimi nimemkimbia nimemuachia msala π
“Samahani kaka Afande unaenda sehemu gani?” Niluliza nikiwa nimekodoaa macho balaa ” usiniulizee kazi yangu haitakiwi maswali mengi sawa?” Alisema yule Afande na kuingia kwenye gari na kusepa yaani sikupenda hata robo na mimi nikaondoka zangu, nikaenda zangu nyumbani kwanza nilipitia dukani japo ni mbali nilienda. Kubadili nguoo kwanza mabo mengine baadae π, nilienda nyumbani haraka nilikutaa mama kashapika tayari kakaaa ukumbini na baba
“Shikamoni” niliwasalimiaa na kwenda kulala juu ya kochi, na jinsi nilivyokuw mvivu sasa π, “muone vile ulivyoo yaani uvivu utakuja kukuuwa wewe binti Wallah, haya kabadilishe nguoo uje ule huko alafu wewe mhh sijui nani atakuja kukuoaa maana mbishi wa kila kitu yaani” alisema mama
“Sijasoma ndio ni mvivu ndio ila dukani kwako ndio nakaba pale na hakuna siku nimekuletea mauzo sio mama eeh mimi sitaki kabisa usiniseme kwanza mimi sijaona faid aya hyoi elimu yenu yenyewe nadhani umenielewa hapo ” nilisema kwa kupanic kweli nilikuuwa nishasusa na kusussa maan mimi kususa ni dk mbili yaani chap kwa nimesusa kila kitu naacha hapo, hata kula sikula tena yaani nikaamua kwend kulala mazima hapo nashindikizwa na maneno ya kuchambwa na kusemwa vibaya mno ila sikutaka kuwajali nishawazoeaa
Asubuhi ilikucha kwa sauti nzuri za ndege na ule mwanga wa kwanza wa jua jekundu naupenda vipi, niliamua kuamkaa nikafungua dirisha kabisa nikawa nautizama unipige machoni naupenda sana ule mwangaza sana kuna ule na ule wa mwezi naukubali sana yaani π, nilimaliza nikaingiaa zangu kuoga nikatoka nipo napasi nguo yangu simu yangu ikaiita nikazima switch nikaenda kupokeaa kukuta hivi namba ni ngeni π
“Hallow Latifa Shabani, unahitajika kituoni haraka sana bila kuchelewa” afu simu ikakata hee π³, ile simu ilinishtua vipi hadi nikaanz kutetemeka π
SEHEMU YA 3
Niliamuaa kubadilisha nguo nikabeba baibui langu ambalo najua halitumii pasi nikatoka na duaa nzito nyuma yangu, nikatoka moja kwa moja kituoni, nilifika mpaka mapokezi nikaelekezwa kwa RPC, hapo moyoni natetemeka vipi ?π mhh nikanyoooka hadi officine namkuta yule mkaka yule wa jana usiku mhh kwanza nilishangaa pili nilikiwa siwazi kama nitakutana nae tenaa huyu afande pisi kali, tulikutanisha macho ikanipasa niiname chini
“Enhe wewe tena tumekutana tena hatimaee π, na wewe una kesi” alisema yule Afande acha nitoe macho kama mjusi kabanwa na mlango π€£π€£π, nyie acheni tu maana niliogopa sio poa yaani π,
“Mimi na maswala ya makesi wapi na wapi Afande ? Mimi sina kesi wala nini mbona unanitisha jamani π©π©” nikaanza na kuliaa kama vile katuni yaani π
“Wee kituoni hawalii weka hapo simu yako, vua viatu tunakupeleka sentro” wee unaambiwa ndio machozi yalipozidi mambo ya centro tena hapana jamani mimi siwezi nikazidisha kulia yaani machozi haya huku mguuni maana kituo chenyewe tumeletwa mbali na nyumbani, akatabasamu ni kama alikuwa ananichezea na alikuwa anaenjoy ninavyoliaa, nilikasirika vipi?
“Kwahyo unacheka wewe ntaku….” sijamaliza nikadakwa neno ” kwahyo unataka kumpiga Afande sasa endelea tu nakutizama, maana makosa yanazidi kuongezeka haya endelea π” alinibinulia mdomo upande kama vile mwanamke nilichukiaa mimi π , kisha akaendelea kuongea hapo nina hasira vibaya yaani
“Wewe Latifa ni kwamba hapa kuna kesi ya rafiki yako, anaitwa Nasra Mohammed kwenye dhamana kakutaja wewe kwahyo ndio nilichokuitia hapa unalia lia tu wakati jana, mliemda kufanya vurugu nimekukaushia tu ila naelewa kama jana ndio mlienda kufanya vurugu” alisema yule Askari nilimtizama jicho baya kweli yaani
“Haya hyo dhamna ni shilingi ngapi sio mnaniachanganya na dhamana yenyewe ni elfu 20 bhana “Nikaanz akuongeaa kawaid akama kawaid yangu cha mdomo mimi π” nilisema nikimwambiaa huyo Afande alinitizama akatabasamu tena kwa dharau, mhh ila huyu Afande nyie wewe mwenyewe ukimuona nadhani utampendaa yaani kwa jinsi alivyokuwa mchunu yaani mzuri mpaka anakera jamani nikikaa mimi na yeye, yeye ni pisi kali kwangu, afu hapa anajifanya bandidu
“Okay toa faini 50k” nilimtizama sikua nayo ila nikasem nina pesa za dukani sitaki kuonekana mdhaifu hata robo yaani nataka nione pambe, pambe na mimi yaani π, nikachomoa nikampa ila moyoni nasema huyoo Naah atanilipiaa atake asitake maana kashindwa kuwapigia wazazi wake anajua kabisa ni washika dini wakali balaa ila binti yap ni moja toa moja, akili zake kama za Latifa hapa hamna lolote kwa kichwa π
Tulitoka mimi na Naa hapo nina bando la kichambo na yeye ” Enhe wewe ndio nini kuniacha pale mwenzangu mpaka nimekuja kukamatwa mwenzanguπ?” Alisema Naa, kilinishuka kihere here cha kumchamba maana ni kweli nilimkimbia
“Hee we nae hebu tuachane na hayo nambie cha msingi ushatoka nambie mambo mengine sawa ? ” nilimjibu
SEHEMU YA 4
“Enhe shoga kabla hata ya hatuja fika mbali kipenzi ujue yule Afande ni rafiki yake na kaka ake na yule mpuuzi tulioenda kumfanyia vurugu jana?” Alisema Naah nikasimama kwanza nisikilize umbeaa kwanza
“Hee yule Athumani mjeda ni rafiki yake na yule Afande aliokukamata ?” Niliuliza kwa mshangao kweli π “mbona umeshtuka shoga ?” Aliuliza Naa “wewe mimi yule mwenzangu aliwahi kukutongoza umesahau tukamchamba tukamwambia hawezi kuwa na watoto wazuri kama sie umesahau kipenzi?”nilimjibu Nasra
“Sasa hyoo inahusikaje na Afande” aliuliza Nasra, “kwahyo wewe huoni inahusikaje wakati unaona kabisa hapo, ila wewe umesema mimi ambae hata darassani sijakanyaga naelewa atatumia kama fimbo mara atakutishia kuhusu wazazi wako na kila kitu kwamba wakiambiwa au atawataarifu na kila kitu mambo yatakuwa makubwa hivyoo kama hutaki hilo mkubaliee huoni hivyo” niliongeaa ilikuwa ni moja ya point pambe, ila hili jinga Naa hata halijakubali yaani π,
Tulivyokuwa tunatembea mara simu ya Naa iliita namba ilikuwa ngeni kupokea hivi ni Athumani, akamwambia kama nilivyokuwa nimemwambia mimi yaani π “hee wewe latty au wewe ni mchawi?, kwahyo tutafanyaje?” Alisema Naa
“Hilo niachiee sawa kipenzi? Mimi nitaongeaa na yule Afande namba yake ninayo kesi ishaisha anataka kuleta mambo mapya kama lijuha anakwaza ngoja usijali kipenzi ” nilimtuliza tu, alielewa tulipitia dukani alisema atanilipa, alibadili nguo na kwenda kwao na mimi nilibakia dukani, mpaka muda wa kuondoka ulipofika maana nilikuwa leo sina sehemu ya kwenda kuliamsha , hata ingekuwepo sikuwa na mood hata, nilifika nyumbani baada ya kula na kuoga nikawa nimejilaza kitandani na nilikuwa nishasahau ule mpango wa kuongea na Afande pisi kali, mara simu yangu ikaita, sikuangalia ni nani nikaipokeaa tu
“Hallow” aliongea yule mtu wa upande wa pili, nikashtuka maana sauti ya kiume ikabidi nitizame namba kwanza ilikuwa ngeni nikashtuka kwanza ikanibidi nikae kwanza maan nilikuw animejilaza muda nikiangalia ni saa nne “Hallow nani jamani saa hizi, wengine sisi majambazi ujue namba ngeni tunaogopaa yaani hapa tushatoka kwenye kesi huko bado mnataka tuendelee kukaa kwenye makesi megine hebu mjuee kutupumzisha nani kwanz” yaani nilikuwa naongeaa hata sielewi naongea nini, nikasikia mtu anacheka bwana nilikasirika kweli
“Kumbe ni kawaida yako kuongea bwana hhh, mimi nikajua tu unavunga kumbe unaongea reality kabisa haya mimi naitwa Frank ni yule Afande” alisema yule wa upande wa pili, nikajikuta nakumbuka yale maneno ya Nasra na ahadi yangu nikashusha hadi na pumzi “okay sawa mimi mwenyewe nina shida na wewe kubwa hasaa naomba unisaidie kuongea na Athumani rafiki yako ni Mjeda, yeye anamtaka Naaa kwahyo anatumia hyoo namna ya yeye alivyoenda polisi kama fimbo ya kumpata” niliongeaa yaani najieleza utafikiria mtu kashakubali tayri kunisaidia π
“Hawezi kufanya hivyoo naelewa ni anawatisha tu hawezi hiloo najuaa, kesi yenu ishaisha hata hivi nitaongea nae usijali sawa ?” Aliongea Afande nilitabadamu kidogo
SEHEMU YA 5
“Sawa asante usiku mwema” nikakata simu utafikiri nimepiga mimi yaani π, Mara ilipigwa tena alikuw yule yule Afande jamani π , nilipokea
“Jamani si tumemaliza kuongea lakini au bado kuna lengine, wewe mimi nataka kulala ushasema unanisaidiaa inatosha kuna lengine ” nilishangaa mtu anacheka tu kama vile mimi ni kabibi lake yani π alinikwaza π
“Sasa mimi ndio nimepiga afu wewe unakata unaona hyo ni sawa kweli ?” Alisema Frank “Enhee kwahyo unataka kunambiaje labda sema unataka kunambia ?” Nilijibu kwa namna kama vile namchamba
“Napenda tu kukuona tu unavyoongeaa, samahani tunawez kuwa marafiki kama hautojali ?” Alisena Frank, nilijikuta natabasanu tu ” hee wewe au una Mengine sio urafiki?” Nilisema huku naguna kama vile simuamini yaani π “hamna ila nataka tu nikuzoee wewe una kitu kimenifurahisha kwa mara ya kwanza nimekuona tu nikakiona nikasema Yes that is what I want” alisema mimi huko sikumuelewa kasema nini ” Wewe. Koma, koma usinitukane mtu mwenyew hata majengo ya shule siyajui hata kwahyo usinivuruge upo hapo?” Nilisema alicheka tu akanambia usiku mwema akalala sikuelewa hata
Asubuhi naamka nakuta muamala wa 50k na sms inasema ” Samahani nimekurudishiaa pesa yako, najua umeitafuta kwa hali na mali kumtoa rafiki yako uwe na siku njema ila natamani uwe rafiki yangu” namba ilikuwa ngeni ikabidi nikaangalie kwenye shemu ya namba zilizopigwa nakuta ni yule Afande nilishanga yani karudisha dhamana nikatabasamu nikasem huyu ana lake sio bure, haya ngoja tuone itakuaje, niliamka nikajiandaa nikaenda zangu dukani, …,
Waka narudi sasa ilikuw ni usiku mida ya saa 2 hivi napita zangu mitaa mitaa, nakutana na ngumi watu wanapigana balaa , ikabidi nisimame nishuhudiee kwanza makelele hasa unavyoambiwa hadi raha π, yaani mimi hii ndio burudani yangu kabisa watu wakapigana wee mimi natamani hata ninunue Pepsi ya baridi nikunywe, sasa buana sijui ni saa ngapi kuna mtu alienda kuita polisi yaani lilikuja gari likatusomba wote pale tukapelekwa kituoni nyiee π, kwanz hatukuingizwa kule ndani, tukaambiwa tupige simu kwa watu wetu wa karibu nampigiaa Naah hapatikani, nikakumbuka nina namba ya Afande Frank nikaamua kumpigia alinambia ankuja muda sio mrefu nilishukuru Mungu, ni aje ?hakuchelewa aliwahi yaani ile kufika tu , akapigiwa salute kali kweli akafika hata bola maelezo akanichukua tu, niliondoka kwa mbwembwe mwanamke wa boss huyoo πππ, akaniweka kwenye gari sikuwa na pingamizi
“Kumbe na wewe ni kakorofi kiasi hicho Lattyπ?” Nilitabasamu hadi jibu nililikosa yaani “hamna buana mimi nilikuw mpenzi mtazamaji tu yaani hata sikuwa nagombana si unajuaa mambo ya kusherehekea ugomvi tena ?” Nilisema kwa aibu kweli alinitizama akanikonyeza
“Okay napita nyumbani mara moja kubadili hizi nguo afu nikupeleke kwenu sawa?” Alisema nikubali sijui alikuw anajifikiria kitu gaani yaani π, tuliondoka mpaka kwenye jumba kubwa kweli yaani, nikawa najiuliza maaskari na kuw ana pesa Mingi kiasi hiki wapi na wapi ? Ila nikaacha umbe aakashuka akafungua geti tukaingia ndani, nikwa nimekaa sebuleni alikuja na chakula kwenye sahani akanipa ” haya kabadili sare tuondoke mama yangu ananisubiri” nilisema
Hee saa ngapi hajaanza kunisogeleaa yaani akakaa akaanza kunisogeleaa akawa anasogeza lips zake kwangu, akaanza kunipa juicee, na mimi nipo dhaifu sana hapo, alizidisha zaidi nikajikuta naanza kulegeaa naguna tu mmh mhh mhhh nikaanza kumpapasa upande wa kichwa π
Nyie tunaenda kulana bila kutongozana π
Inaendelea….π₯

