WAPANGAJI WENZANGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 21
Yalikua ni maneno mataam yaliomtoka msichana huyo,. Swalehe alijikuta akitabasamu kwa mbaaali
Tukijua huku upande mwingine, Hutaamini macho yako
Wakati huo huku ndani…. Farida alikua akimpa maneno rafiki yake..
“Zahra, kwa kawaida huwa kuolewa sio kazi.. Kazi ni kuilinda ndoa yako… Usifuate maneno ya watu,… Kwahio usione ajabu kuolewa, ila jitahidi kuiheshim ndoa yako… Usimjibu mumeo vibaya, mtengee maji pale anaporudi kazini… Mpe vile vitu anavyopenda… Mimi sina cha kukuambia, mana wewe mwenzangu ulikua na kungwi, hivyo najua kakupa somo vizuri… Ila nakuomba sana, mpende mumeo mheshim mumeo… Hapo utaiona raha ya ndoa yako…”
Aliongea farida huku Zahra akitoa machozi kwa kua.. Kumbe alikua akimkosea sana farida kipindi kile.. Kumbe alikua anamkosea mtu ambae ni nuru katika maisha yake…
“pia.. Mumeo akipata Shukuru, akikosa muombe mungu kesho apate… Na hata akikosa tena, usikasirike… Zidisha kumuombea mumeo,… Achana na utajiri wa majirani au watu wengine, huo hauwahusu… Mpende mumeo, ipende ndoa yako”
“PIIIIII… PIIIIIII. PPPPIIIIIIIII”
Ni sauti ya honi ya gari ikilindima huko nje, mume aliingia ndani fasta na kumchukua mkewe, waliingia ndani ya gari wote ili kumsindikiza mwenzao mpaka kwake.. Ilikuwa ni furaha kubwa kwa Zahra na mumewe….
Yalikua ni maneno matamu sana yaliomtoka Farida, wakati huo wametulizana katika pango jipya, walilo hama hivi karibuni,.. Tena wamepangisha dabo rumu (rumu mbili zilizo shikana) na maisha yao yalikua na furaha sana
Tukija huku kwa akina Zahra akiwa katulia pembezoni mwa ukuta, sambamba na chumba chao,.. Alikua ni mwanamke mwenye huzuni sana, na kujiona mwenye nuksi ya wanaume katika dunia hio, alikua akijiangalia sana katika mwili wake… Haikutosha, aliingia ndani na kuvua nguo zake zote katika kioo…
Dada yake alikua akimuangalia tu mdogo wake kile alichokua akikifanya…
“we Zahra, haya sababu za kukaa uchi mbele ya kioo ni nini”
Aliongea dada yake huyo ambaye ni mama Saidi au Fatuma…
“dada, naumia sana kumkosa Swalehe.. Najiangalia mwili wangu, labda nina kasoro dada”
Aliongea Zahra huku akilia sana, mpaka dada yake alimwonea huruma mdogo wake…
“Zahra mdogo wangu,.. Kasoro alio iona Swalehe, haipo kwenye ngozi”
Aliongea Fatuma huku Zahra akiuliza
“iko wapi sasa,… Na kama ni kumpenda nimempenda”
“tatizo sio kumpenda tu… Mwanaume anahitaji vitu vingi vizuri toka kwetu… Busara na hekima ni moja ya vitu wanavyopenda… Unaweza ukavaa chupi tu na ukatembea nayo mtaani.. Ila hekima na husara unayo, ispokua mavazi ndio yatakutafsiri vibaya… Jirekebishe… Ikiwezekana fuata nyayo za Farida, kama kweli unahitaji kuolewa”
Aliongea dada yake huyo kisha akawa anaondoka, lakini Zahra alimzuia dada yake…
“dada, hebu shika hili tako langu… Au ni gumu ndio mana sipendwi”
Aliongea Zahra huku dada akicheka sana
“Zahra, naona sasa unakwenda kua chizi kisa Swalehe… Alafu nataka kuuliza,.. Hivi mahusiano yako na Swalehe yalianza lini? Mana mimi najua mna ugomvi nyie.. Sasa nashangaa sasa ukisema alikua mchumba wako”
Aliuliza fatuma huku Zahra akikaa kitandani na kusema…
“ni kweli dada,.. Mimi na sheby ilikua hivi… Wakati anahamia hapa, sheby alikua akinipenda sana,.. Lakini kipindi kile, nilikua na ayubu, nikajua nimepata mume.. Sasa sheby nikawa simuelewi, saa zingine namtukana.. Saa zingine namletea nyodo na maneno ya kashfa juu yake na wakati huo alikua akinitaamkia kunioa… Ilifikia hatua Swalehe akachoka kunifuatilia, mpaka akaaniacha kabisa,… Sasa nilipo achana na ayubu, ndio nikaanza kumsumbua Swalehe, mpaka nikawa naanika chupi mlangoni kwake kwasababu ndio udhaifu wake… Kiukweli Ilifikia hatua akanisamehe… Sasa tukawa na mahusiano mazuri tu,.. Kuna siku alitaka kunilala (kufanya mapenzi) lakini kila akitaka kuingiza, mara simu imeita… Kila akitaka kuingiza mara mlango umegongwa, Kiukweli siku ile hakufanikiwa kuingiza uume wake kwangu… Na baada ya siku ile.. Kesho yake ndio akapata safari…. Nakumbuka huko alikaa miezi kama sita hivi.. Na ndani ya hio miezi sita ndio akaja farida…. Baada ya Swalehe kurudi,.. Nilishangaa alilala na farida badala yangu… Basi ndio ikawa bifu mimi na farida, mpaka ikafikia wameoana”
Dada alisikia kila kitu toka kwa mdogo wake….
“sasa mpaka hapo bado hujaiona kasoro yako”
Aliongea fatuma au mama saidi…
“Kiukweli sijaona dada, labda ni kwasababu farida ana shepu kuliko mimi”
Aliongea Zahra tena kwa kutia huruma sana…
“Zahra mdogo wangu, mbona wewe ni mzuri,.. Tena mzuri kushinda mimi na una umbo kushinda mimi.. Lakini mbona mimi nina mume..”
Aliongea fatuma
“sasa kasoro yangu iko wapi dada”
“kasoro yako.. Hekima huna… Busara huna… Mavazi mazuri ya heshima uliacha kuvaa.. Wewe na saluni kila kukicha… Angalia Farida, toka amekuja hapa, anasukwa na dada yake msuko wa twende kilioni, haijui saluni… Ulimsema Farida ana chupi zilizo toboka.. Haya wewe mwenye begi zima lenye chupi mpya mbona hujaolewa…. Ulimsema Farida ni mshamba, haya wewe mjanja mbona hujaolewa… Ulimsema Farida hajui kuoga.. Haya wewe unae oga kutwa mara tatu, mbona hujaolewa… Kwahio usidhani kwamba kuvaa kwako vizuri na kunukia labda mwanaume ndivyo anavyo vutaka… Mwanaume anahitaji mwanamke MPOLE, MNYENYEKEVU, ANAEJUA SHIDA NA RAHA… MWENYE KUMHESHIMU MUME… MWENYE KUVAA MAVAZI YA HESHIMA…MWENYE KUIFUATA DINI YAKE… wewe hivyo vyote, ulikua navyo ulipokua kijijini.. Ulipokuja tu mjini ukaviacha.. Ona dada washamba wamekupita… Mtu ana miezi mitatu tu kapata mume.. Wewe una miaka minne sasa…. Na usipobadilika, utachezewa sana”
Aliongea fatuma au mama saidi kisha huyoo akaondoka zake, Zahra alilia sana, mana maneno ya dada yake yalimchoma na kumuingia haswa,.. Pale pale tabia yake mbaya akaacha, mana ndio nuksi katika maisha yake,.
Huku nje kwao mama Mwajuma akiwa anamenya viazi kama chakula cha usiku, alikua na watoto wake wakiwa wana andaa chakula cha usiku.
Ghafla Zahra akatoka nje,.. Huezi amini Zahra kairudia asili yake ya zamani…
“heeeee, Zahra, ni wewe au macho yangu”
Aliongea mama mwajuma, lakini Zahra alikaa kimya.. Huku mama mwajuma akisubiri jibu chafu kutoka kwa Zahra, lakini Zahra alikua kimya, kana kwamba, hahitaji ugomvi na mtu…
“Samahani mama,… Kama nina kosa juu yako, naomba unisamehe. Kwa sasa sina kinyongo na mtu.. Kwan mtu aliekua akitugombanisha, keshaoa sio wakwetu tena. Hivyo sioni haja ya kugombana”
Aliongea Zahra, hata semeni au mama abuu alitoka nje na kumkumbatia Zahra, mana kaongea point nzuri sana… Hata mama mwajuma aliona kweli haikua na haja ya kuwekeana bifu la hapa na pale…
BAADA YA WIKI MOJA KUPITA
Swalehe akiwa kijiweni kwake,.. Na baadhi ya marafiki zake..
“sasa hivi swai anang’aaa, kuoa raha kweli”
Aliongea mmoja wa rafiki zake
“asikwambie mtu bwana, kuoa ni raha”
Aliongea Swalehe huku rafiki yake mmoja akisema
“kwaio sasa hivi unaoga maji ya moto”
“kama kawaida yangu”
“aaaaaaa Hahahahahahahah”
Ilikua ni furaha juu yao,… Basi ilifika nyakati za kurudi nyumbani, hivyo swai na rafiki yake mmoja walikua ni wapitaji wa njia moja..
“unajua bwana swai, kitendo ulicho kifanya, ni kizuri sana, nami natamani sana kuoa..”
“aliongea bwana Bakari huku Safar ya kurudi nyumbani ikiendelea.
“ni kweli, na kama uko vizuri, kwanini usioe… Kupata na kukosa ajuaye mungu.. Usiwaze kua, ukiwa na mke afu ukakosa itakuaje”
Aliongea sheby
“enheeee…. Sasa kwa wewe ambaye tayari umesha oa… Hebu niambie, siku umekosa, je inakuaje hapo ndani kwenu”
Aliongea bakari kana kwamba hicho ndicho anacho ogopa sana… Na yote hio ni kwasababu wanawake wengi wanajua raha tu, shida hawazijui, na ndio mana wanaume tunatatazika sana katika swala zima la kuoa..
“Kiukweli nisikudanganye bwana bakari… Mimi nimeoa juzi juzi tu.. Nina wiki ya pili sasa, na Namshukuru Mwenyezi Mungu, kwani hakunikosesha riziki toka nimeoa.. Ila kabla hamjaoana, ni vyema kuambiana ukweli wa maisha yenu.. Mwambie kabisa bwana kazi yangu ni hii na hii…. Ila sio lazima ajue kipato, labda uamue ajue… Kwahio cha kufanya, hakikisha unampa ukweli wa maisha yako, ajue kazi ya mume wake ina kukosa na kupata, na siku mume kakosa basi walale… Unajua bwana bakari, wanaume wengi tunakosea sehemu moja tu katika kuoa…. “
Aliongea Swalehe,.. Bakari hapo alikua makini sana kujua kosa lilipo…
“tunakosea wapi sasa”
Aliuliza bakari… Wakati huo safari inazidi kwenda
“unajua, swala la kutafuta mke ni tofauti na kutafuta kahaba… Jinsi tunavyo tafuta kahaba wa kutumia kwa muda, ndivyo jinsi tunavyotafuta mke wa kudumu… Niulize kwanini”
“haya nakuuliza kwanini”
“ok safi sana… Wanaume hua tuna tabia ya kujikweza mbele za wanawake,.. Unakuta kwa mfano kazi zetu hizi za ujenzi.. Wapo wanawake ukiwatajia kazi hii hawakuelewi,. Sasa tunajikuta tunataja kazi ambazo sio zakwetu, unajikweza kutaja kazi ambayo inaingiza kipato kikubwa kwa siku,… Hio yote ni ili mwanamke akuelewe na uwe nae… Sasa jua kua anapokukubalia mwanamke huyo,.. Kakubali kwakua unaingiza kipato kikubwa kwa siku, hivyo hakuna siku atashinda au kulala njaa mana mume ana kazi nzuri,.. Sasa umeshaweka mtu ndani, mara kazi zikaanza kuyumba… Mwanamke hatakuelewa hata kidogo, mana anajua kwa kipato unachoingiza kwa siku, hata kazi ikiyumba, bado hakiba ipo kubwa tu… Kwahio ukimwambia sina anakua hakuelewi, na hapo ndipo ugomvi unapoanza mara mmepigana mara mmeachana… Kosa sio lake, kosa ni lako wewe mwanaume, mana ulijikweza mbele yake… Na ikumbukwe kua, siku zote mwanamke hukarili maisha, hivyo mkarilishe maisha yako halisi,.. Mwanamke hua haelewi bali anakarili… Sasa ole wako umkarilishe maisha yasiyo yakwako”
Aliongea Swalehe huku bakari akibaki kimya na kujikuta ni kweli wanaume wengi tunapenda kujikweza mbele za wanawake, kana kwamba nawewe uonekane umo kwenye waliomo… Usiige maisha ya mtu, fuata yakwako…
“aaahhhh kweli Swalehe leo umenifungua masikio yangu… Ni kweli na sio mara moja hata mimi nimejikweza sana kwa wanawake… Kumbe nilikua nakosea sana”
Aliongea bakari huku Swalehe akijibu
“unakosea sana bakari… Tujikweze kwa wanawake wa muda ila sio mwanamke wa kudumu”
“nimejifunza kitu.. Na inaonekana hata wewe yalikukuta”
“ndio… Yaani ile kumtajia tu kazi yangu… Daaahhh niliangaliwa juu mpaka chini.. Kisha akatema mate… Kana kwamba kazi yangu imemtia kichefuchefu”
“Duuuuuuu, kweli kazi ipo kutafuta mke”
Aliongea bakari, na hapo walifika eneo la njia ya panda katika kuachana…
“sasa swai, lini nitamuona shemeji… Tusije kupigana vikumbo mjini huko”
Aliongea bakari, ili kumjua mke wa sheby
“aaahhhh, kesho kwakua ni Jumapili.. Utakuja kumuona usijali”
“nitafrai sana rafiki yangu”
“basi poa, kama vipi kesho”
“poa”
Basi waliagana kisha haooo kila mmoja na njia yake.. Ikiwa ni mida ya saa kumi, mana hakukua na kazi siku mbili hizo…
Lakini wakati Swalehe anatembea peke yake kwenda kwake, alihisi kuna mtu anamfuatilia kwa nyuma….
Lakini kila akigeuka haoni mtu, na hapo alipo na kwake hakuna umbali sana ni kama kilomita moja hivi.. Sasa Swalehe akajifanya kasahau kua kuna mtu nyuma, ikafikia mahala, akaguka kwa haraka… Aliona ni mwanamke, na hakua mwingine bali alikua ni Zahra…. Zahra baada ya kuonekana, ilibidi ajitokeze tu… Wakati huo kashikilia fuko la nguo.. Swalehe alipata wasiwasi kua labda Zahra kafukuzwa kwao..
“ni wewe tena?, ivi Zahra?? Kwanini hutupi uhuru wa ndoa yetu,.. Kwahio unataka tuhame na hapa tulipohamia juzi tu”
Aliongea swai huku Zahra akiwa kimya, tena kavalia vizuri sana, kana kwamba karudia hali yake ya zamani…. Zahra hakutaka kumjibu, badala yake alishuka chini mwenyewe kwa kupiga magoti.. Swai haamini leo Zahra ndio anapiga goti
“swai… Najua Mwenyezi Mungu hawezi kunisamehe kama wewe na mkeo hamjanisamehe… Naanza nawewe.. Naomba unisamehe kwa yote niliokufanyia.. Yote ilikua ni mapenzi yangu kwako… Ila kwa sasa nimetua mzigo huo mana tayari wewe ni mume wa mtu… Sasa sitakusumbua tena, na naomba unisamehe kwa kila jambo”
Aliongea Zahra, swai haamini macho yake, basi swai kwa haraka alimuamsha zaru juu, kisha akamwambia
“nimeshakusamehe, na pia nakuombea kwa Mwenyezi Mungu, akujaalie mume bora katika maisha yako… Na pia umefanya jambo la maana sana kama umebadilika”
Aliongea swai huku zaru akijibu
“ndio, nimeirudia hali yangu ya zamani, kwakua sikuzaliwa na tabia hii, kwahio, nimesha acha… Hata sasa hapa nimeshika nguo zangu ambazo nilizikunja, sasa nimetoka kuzifanya kua ndefu”
Aliongea Zahra, na hata swai alifurahi sana kuskia hivyo…
“nimefurahi sana kwa hilo, na nimesha kusamehe… Ila pia nitakuombea msamaha kwa Farida, hilo ondoa shaka”
Aliongea swai lakini Zahra alikataa
“hapana, sitaki uniombee msamaha”
“kwanini? Ina maana unataka ugombane na mke wangu”
“hapana swai… Sina maana hio,.. Bali nataka nikamwombe msamaha mwenyewe… Naomba unipe nafasi hio”
Aliongea Zahra, huku swai akiwaza vile jinsi Farida anavyomchukia Zahra,.. Sijui itakuaje…
“hapana Zahra,.. Sitaki ujue nyumbani kwangu, mana sitaki ugomvi wenu”
Aliongea swai
“swai… Nipo chini ya miguu yako… Mkeo namheshimu mno, sitakaa kugombana nae.. Nimesha badirika sana swai”
Aliongea Zahra huku swai akiamua moja tu…
“sawa twende”
Swai alikubali kumpeleka zaru kwa mkewe
Sehemu Ya 22
Walifika mahali, nyumba ipo mbele yao… Swai hakutaka kwenda nae,.. Alimpa nafasi yeye kama yeye..
“mlango ule pale ule… Ndipo alipo Farida, nenda mwenyewe”
Aliongea swai huku Zahra akitamani kwenda na swai
“kwanini tusiende wote swai”
“hapana… Nenda mwenyewe”
Aliongea swai kisha akawa kama anarudi nyuma hivi, kana kwamba anawapa nafasi waombane msamaha wenyewe na asihusike na lolote kati yao, mana hata kugombana waligombana wenyewe bila ya swai kuwepo, hivyo wakapatane wenyewe pia bila ya swai kuwepo….
Basi Zahra alifika katika mlango huo, na hapo ndipo wanapo ishi Swalehe na mke wake.. Zahra alikua akisita kugonga mlango,.. Lakini akapiga moyo konde,.. Aligonga
“ngo.. Ngo…. Ngo…. Ngo… Ngo.. “
Farida alikua akiandaa mboga za jioni,.. Alifurahi sana kuskia mlango umegongwa, kwani alijua ni mume wake anarudi kazini, na hua kazoea kumchezea kwa kugonga mlango…
“karibu mume wan…..”
Wakati huo swai yeye kaelekea zake mtaani, mana ni jirani na nyumbani hivyo hana wasiwasi na hilo, na pia hakuwafuatilia akina Zahra na mkewe, kama wanapigana wapigane yeye akiwa hayupo,…
Zahra alipiga moyo konde kwani alikua akisita kubisha hodi, mana anajua ni kama atamkwaza, kuna wakati alitaka kurudi ili tu asije kukwaza Farida, lakini akaona bado atakua hajasamehewa na watu hao japo mmoja keshamsamehe, bado mmoja ambae ndio mlangwa haswa aliokua akiteseka kwa ajili yake,…
Zahra aligonga mlango,.. Wakati huo Farida alikua akiandaa mboga zake za jioni,.. Hivyo kusikia mlango unagongwa, alifurahi sana, kwani alijua ni michezo ya mume wake, kugonga mlango….
“ngo.. Ngo…. Ngo…. Ngo… Ngo.. “
Farida kwa furaha aliamka na kwenda kufungua mlango…
“karibu mume wang…. Ni wewe tena?… Umejuaje nyumbani kwangu Zahra??.. Mimi sitaki ugomvi nawewe, nakuomba sana, tumehama pale kwa ajili yenu, leo tena umekuja hapa… Kwahio unataka tuhame na hapa”
Aliongea Farida tena huku akitamani hata kulia, mana Zahra ndio adui wa ndoa yake, hivyo haoni shida kumchukia… Zahra hakuweza kumjibu, alifanya kama vile alivyofanya kwa Swalehe… Alipiga magoti kumwomba Farida msamaha…. Farida haamini leo Zahra kawa mpole juu yake, wakati ndie aliekua akimdharau kupita kiasi…
“Farida, kwa sasa sina tabia ulio ijua awali, unavyo niona ndivyo nilivyo kwasasa… Nimejifunza mengi kupitia wewe… Nina hamu ya kuolewa lakini imeshindikana… Farida, naomba unisamehe kwa yote niliokufanyia, ilikua ni akili ya mapenzi ya kitoto tu,.. Najua nilikuumiza sana katika moyo wako.. Naomba unisamehe sana Farida, kuanzia leo mimi ni kama dada yako, nitamheshim mume wako na hata wewe pia.. Nisamehe Farida”
Aliongea Zahra huku akiwa kapiga magoti bado,… Farida alilia sana,.. Na kulia huko ni kwa furaha, kwani anapenda sana kuona mtu akibadirika na kua mtu mzuri
Haraka haraka alimnyanyua na kumkaribisha ndani… Zahra haamini kama Farida kamsamehe, mana alijua Farida hatakaa kumsamehe kamwe..
“wewe nu mwanamke mwenzangu,… Nimefurahi sana kuona umebadirika kiasi hiki… Kama upo hivi basi kuanzia leo, nimekusamehe Zahra”
Aliongea Farida huku Zahra akifurahi kwa kusamehewa na farida… Kweli alimkosea sana, alimzalilisha sana.. Lakini karudisha moyo nyuma na kumsamehe…
“kwa hali hii, nakuapia hutakaa utapata mume bora”
Aliongea farida huku Zahra akishukuru kwa maneno hayo….
“Ahsante sana wifi yangu.. Nakupenda bure, kumbe ushamba wako ni dili kwa waume zetu.. Nilikua sijui”
Aliongea Zahra, na hapo sasa ilikua ni stori za kucheka mana tayari wameshakua marafiki, au mawifi..
“ahahahahaha, Usijali Zahra, tupo pamoja… Haya niambie umepajuaje hapa”
Aliongea farida huku Zahra akijubu bila kigugumizi…
“Shem ndio kanionyesha…. Unajua, nilikua natoka kwa fundi, kuongeza nguo zangu zilizokua fupi… Nikaona mtu kama shemeji Swalehe akiwa na rafiki yake.. Nikaona niwafuate nyuma ili nijue kwenu, nije kuwaomba msamaha… Na kweli mpaka rafiki yake akaenda kule na shem akawa anakuja huku.. Ndipo akaniona… Nimemuomba msamaha nae kanielewa, nio akanionyesha kua mnaishi hapa.. Ila baada ya kunionyesha, yeye akaondoka zake… Samahani kama nimekuuzi kukutana na shemeji”
Aliongea Zahra huku akiwa kavalia vizuri mavazi ya heshima mpaka raha yani daahh…
“wala Usijali, mimi sina wivu kiasi hicho.. Japo nikiona ntaua mtu atari”
Aliongea farida kwa utani utani fulani hivi..
BAADA YA MASAA KADHAA KUPITA
Swalehe akiwa ndio anafika nyumbani, lakini wakati huo Zahra alisha ondoka zake,..
“heeee karibu mume wangu,.”
“Ahsante, hali yako vp hapa”
“safi tu,.. Maji tayari kaoge uje upate chai”
“eti eeh”
“ndio”
Basi ilikua ni ndoa iliojaa furaha sana katika maisha yao….
Ikiwa ni mida ya saa mbili, tukija huku kwa akina Zahra,…. Zahra akiwa na furaha sana kwani wale watu aliowakwaza wamemsamehe wote…
“leo mbona kama una furaha hivyo”
Dada yake alimuuliza, na wakati huo Zahra alikua akisonga ugali…
“dada we acha tu, nina furaha sana”
“kwanini? Au ushapata shemeji mpya nini”
“hapana dada,.. Kwasasa nataka nitulie kwanza kwenye swala la mapenzi”
Aliongea Zahra kua kwa sasa acha atulie kwanza katika swala la mahusiano
“sasa furaha hio ni ya nini”
“nafurahia kwakua nimepajua wanapo ishi Swalehe na mkewe”
Aliongea Zahra, lakini fatuma alikasirika sana kuskia hivyo…
“hivi una akili wewe…”
“kwanini dada”
“unataka ukavunje ndoa ya watu… Acha ujinga wako”
Aliongea fatuma au dada yake
“hapana dada… Nina furaha kwakua nimewaomba msamaha wote wamenisamehe”
Aliongea Zahra na hapo ndio dada yake akafurahi kuskia hivyo
“aaaahhh ungesema hivyo sasa”
“yaani dada,.. Wanaishi kwa furaha sana, mpaka natamani kuolewa… Kwanza dada nikianza kua na mahusiano, staki mwenye pesa.. Mi nataka mwanaume tuanze maisha yetu,… Tuwe matajiri nikiwa nae”
Aliongea Zahra huku dada yake akiguna
“mmmhhhh wewe uyo”
“dada? Ina maana mpaka sasa hujaamini kua nimebadirika”
“naamini hilo, ila kutopenda pesa, sijui kwakweli”
“Kiukweli dada hutaamini kwa hilo, ila huo ndio ukweli wangu”
KESHO YAKE, BAADA YA SIKU HIO KUPITA
Swalehe akiwa zake barabarani kuelekea kwa rafiki yake bakari, mana siku hio ilikua ni siku ya Jumapili, hivyo ni siku ya kutembeleana… Sasa Swalehe akiwa njiani ghafla aliitwa
“swaiiiiii…”
Aligeuka nyuma, kuangalia alikua ni mama Mwajuma… Swai haamini kua kakutana na balaa la mama huyo… Sasa swai alitaka kuendelea na safari kana kwamba hakutaka mazoea naye..
“we swai we nisubiri”
Wakati huo mama Mwajuma ana rafiki yake, na kwa muonekano walikua wanakwenda harusini,.. Mana hata mtaa aliohamia swai.. Sio kua ni mbali sana, ni kama mtaa wa tatu kutoka mtaa waliokua wakiishi,.. Katoka mnara wa voda, kaenda kuishi sombetini, hivyo ni kama mtaa wa tatu hivi kutoka walipokuwa wakiishi…
“skuizi umepata kuma ndogo,.. Langu bakuli unalikimbia… Ila jua mtu mzima dawa swai… Hata kama hutaki bakuli langu, basi nisalimie tu inatosha”
Aliongea mama Mwajuma tena bila aibu kua ana mwanamke mwenzie…
“shikamoni mama zangu”
Alisalimia Swalehe, lakini mama Mwajuma akajibu kuwa…
“akuuu, labda huyu ndio mama ako”
Aliongea mama Mwajuma,… Sasa na huyu mama mwingine akajibu kua
“aaahh we koma,.. Sina mtoto mkubwa kama huyu,.. Tena nakushangaa unalalamika.. Ina maana hujui kukaba mpaka penati wewe”
Aliongea mama huyo mwingine… Swalehe alichoka… Mana alijua mama huyo atakua na busara kidogo, kumbe ndio walewale…
“eeeeee mama suzy.. Penati haikabwi jamani na ndio mana nimetulia baada ya yeye kuoa… Mana penati anaachiwa mlengwa peke yake.. Wao wawili tu..”
“ila kama ni mimi mama mwaju… Huyu mtoto sio wa kumuacha”
Aliongea mama suzy… Sasa Swalehe akaona bora aondoke zake mana hakukua na la maana…
“naomba niende jamani”
Aliongea swai kisha huyoooo
“we mama mwaju… Kijana mzuri hivi, unamuachaje kwa mfano”
Aliongea mama suzy.. Kumbe nae mama suzy ni mijimama ya mjini vilevile….
“hapana, watoto watamu kama hawa hawahitaji haraka… Najua sasa hivi ana hamu na mke wake… Ila nampa miezi mitatu tu… Atamchoka tu”
Aliongea mama mwaju huku mama suzy akisema
“au kama huezi niambie….”
“weeeee,mi Nasubiri yule mtoto wa kike apate mimba… Swai atakuja tu hapa…”
“ni kabila gani huyu kijana”
“msambaa huyo”
Aliongea mama mwaju tena kwa nyodo…
“kama ni msambaa, basi ni haki yake… Mana hata mimi nilikua nae mmoja.. Weeee, mtoto anato***mba huyo… Yaani tena ndio kanifilisi yule mtoto..”
“sasa huyo ni cha mtoto…. Huyu ni balaaa”
“mmmhhhh ila mama mwaju,… Hii tabia tutaiacha lini? Mana umri unakwenda eti”
“aku mwenzangu… Acha nitomb****we kamwisho mwisho, kama ni dhambi ninazo nyingi tu, hata nikitubu sjui kama zitaisha… Acha watoto wadogo waje kwangu”
Tukija huku kwa bakari akiwa na Swalehe, kwani alisha fika kwa rafiki yake…
“Afadhali umekuja, mana najua wewe ndio mshauri wangu”
Aliongea bakari huku akiweka chai ili wapate kunywa,…
“mbona chumba chako kimesha kamilika.. Bado mke tu hapa”
“ni kweli kaka… Ila kumpata huyo mke ni mtihani shekhe”
“ni kweli kabisa, ila usiwe na haraka na hili”
“wala sina haraka japo nataka”
Basi walifurahi huku wakipata chai,.. Masaa yalisonga,.. Kisha waliondoka wote, ili na bakari nae akapajue kwa rafiki yake…. Mana karibuni marafiki zake wote wanajua alipo hamia Swalehe, na hata kaka yake anajua, mana ndio alimsaidia kuhama
“karibuni hapa ndio nyumbani”
Aliongea Swalehe, lakini walikuta ugeni humo ndani…
“aaahh shem karibuni”
Aliongea Zahra, kumbe Zahra ndio aliokuja, kwani kwa sasa ni marafiki wazuri
“Ahsante shem”
Aliongea Swalehe huku wakikaa katika kiti..
“we mama Rashid, vp chochote huko”
Aliongea Swalehe huku mama rashid akijibu
“mbona tayari mume wangu.. Ni nyie tu”
Aliongea farida, huku akiandaa chakula, na Zahra alikua akiandaa maji, yaani Zahra kawa mwema moja kwa moja, utafikiri wana undugu na farida…
Sasa bakari bado hajajua mke wa swai ni yupi, mana wote wana hekima kama mapacha….
“Swalehe, acha nivunje ukimya… Mkeo ni yupi hapa”
Aliongea bakari lakini wale wanawake hawakusikia swali hilo…
“mke wangu ni yule mfupi mnene na mweusi,.. Huyu mrefu mweupe, ni ndugu yake”
“sasa kwanini hunitambulishi mapema”
Aliongea bakari…. Kisha swai aliwaida wote
“mama rashid… Huyu ni rafiki yangu, anaitwa bakari, ni fundi mwenzangu”
“ooohhh karibuni sana shemeji”
“Ahsante sana shem, nimefurahi kukufahamu”
“na huyu.. Ni ndugu yake… Anaitwa Zahra”
Aliongea Swalehe huku Zahra na bakari wakipeana mikono ya kutambuana
“nashukuru kukufahamu nami naitwa bakari”
Aliongea bakari lakini papo hapo simu ya swai iliita… Kuangalia jina alikua ni fundi wake…
Swalehe alitoka nje kwenda kuongea naye…
“hallo fundi habari yako”
“salama swai, vipi upo wapi”
“nipo nyumbani”
Wakati huo huku ndani, bakari na Zahra, kama vile wanaangaliana kiwizi wizi flani hivi.. Zahra alitoka nje, ghafla na bakari naye alifuata nyuma… Wakati huo Swalehe anaongea na fundi wake
“Zahra?? Zahra??”
Bakari aliita baada ya Zahra kutoka nje,.. Sasa farida yeye alikua chumbani, ikumbukwe kua wamepangisha daborumu
Sasa farida kutoka haoni mtu hata mmoja
Hakua na wasiwasi sana japo anamuona mume wake anaongea na simu ila wengine hawaonekani….
“abeee”
“simama basi bibie”
Aliongea bakari kisha Zahra akasimama
“unakwenda wapi”
Aliuliza bakari,…
“unajua sijapenda… Umeniangalia sana mpaka najiskia aibu.. Na haileti picha nzuri kwakua ni hapo ni kwa watu”
“ni kweli, ila sio kwa ubaya… Katika macho yangu, nahisi kuona kitu kizuri kwako”
“kitu gani hicho shem”
Aliongea Zahra huku akijifunika funika.. Bakari kumbe tayari keshapenda
“nilikua natafuta mtu wa kuishi nae katika maisha yangu,.. Sijui kama nimekupata”
Aliongea bakari lakini Zahra kakaa kimya
“Zahra?”
“abeee”
“unanifaa kua mke”
Aliongea bakari, Zahra haamini kwa mara nyingine tena anataamkiwa kua mke… Aliwaza sana mambo ya nyuma, na kujisemea katika moyo wake kua
“Mwenyezi Mungu, ana makusudi yake.. Huenda huyu ndio bahati yangu… Siwezi kumtupa kama nilivyo mtupa Swalehe… Mungu anisamehe, kwani naweza kumringia na nikamkosa…”
Alijiongelea mwenyewe huku akimjibu bakari…
“Samahani shem… Labda uende nyumbani kwanza uonane na dada etu mkubwa, akikubali nami nipo tayari”
Aliongea Zahra, bakari haamini.. Yaani kaona tu kwa muda mchache, kataka mke
“kuja kwenu sio tatizo… Tatizo lipo kwako, kuridhia maisha yangu… Labda nikwambie ukweli wa kazi yangu.. Na pia maisha yangu kwa ujumla”
Aliongea bakari lakini Zahra alimkatisha na kumwambia…
“usijali.. Najua una kazi kama shemeji Swalehe, na sijaipenda kazi yako, bali nitakupenda wewe.. Kama kweli umenipenda, basi twende nyumbani wakakujue”
Aliongea Zahra kwani hataki tena kuwa na mahusiano yasiojulikana kwa dada yake…
Na bakari ana haraka ya kuwa na mke.. Alijikuta anakubali…. Sasa swai anashangaa watu wanasonga mbele..
“we bakari?? Vp mbona sielewi”
“nakuja bwana kaka nisubiri”
“skia basi ndugu yangu”
Aliongea Swalehe lakini ghafla sms iliingia kwenye simu yake… Kuangalia ilikua ni namba ya Zahra, na sms ilisema hivi
“shemeji Swalehe, naomba usimwambie tabia ulizowahi kuziona kwangu… Amenipenda, nami nimempenda… Na sasa tunakwenda kwa dada akamjue, nataka anione yeye… Tafadhali sana shemeji, nilindie heshima yangu”
Aliandika hivyo wakati wakiwa wanakwenda,.. Basi Swalehe hakutaka tena kufuatlia… Ila alibaki kucheka tu
“heeeee wale nao vipi”
Aliuliza farida baada ya kuona watu wameshikana mikono kuelekea huko
“washapendana wale”
“mmhhhh kwani walikua wakijuana kabla ya hapa”
“hapana, ila bakari anataka mke.. Nadhani hata Zahra vivyohivyo”
“lakini mbona mapema mno”
Aliongea farida kisha swai akamjibu
“kwani mimi nawewe tuna muda gani?? Mbona nimekuoa??… Sheria za dini yetu ya Kiislamu zinasema kuwa… ALIEKUFA NA AZIKWE HARAKA KWAKUA HANA HAKI NA DUNIA TENA…. LAKINI PIA KWENYE NDOA DINI INASISITIZA KUA.. MWENYE KUOLEWA AU KUOA NA AOLEWE AU AOE HARAKA SANA KABLA MMOJA WAO KUBADILI MAWAZO… Hivyo tuyaache yale hayatuhusu sana.. Kama wamependana, acha wakatambulishane…”
Aliongea Swalehe huku wakiingia ndani na mke wake….
BAADA YA MASAA KADHAA KUPITA
Ikiwa ni mida ya jioni hivi… Swalehe akiwa na mkewe, walishangaa ugeni,.. Walikua ni akina bakari wanarudi….
Zahra alikua na furaha sana, kwani alimrukia farida kwa furaha sana…
“Zahra una nini wewe”
“dada katupa baraka zote juu yetu”
“ina maana umekubaliwa kuoana”
“yes… Na sasa bakari ni mchumba wangu”
Aliongea Zahra… Na wakat huo Swalehe na bakari wapo nje….
“ila bwana kaka una zambi sana wewe”
Aliongea bakari huku Swalehe akishangaa
“kwanini sasa, na zambi zangu zinakujaje apo”
“yaani mi natafuta mke, kumbe shemeji yako yupo huniambii”
“aaaaaaaaaaaa, sasa mi najuaje kama mtapendana… Tuachane na hayo.. Kesho tuna safari ya kwenda Mwanza, kuna jengo la kwenda kujenga, litachukua miezi miwili”
Aliongea Swalehe, kwani alipewa taarifa na fundi wake,…
“aaahhhh…. Sasa mi nitaoa lini aiseee”
“acha haraka… Fanya kazi Kwanza”
BAADA YA MIEZI MITATU KUPITA
Ikiwa leo ni siku ya furaha kwa watu wawili baina ya bakari na Zahra… Lakini mbaya zaidi Zahra alikua akilia sana,.. Wakati huo kafunikwa mtandio maalumu wakati wa kufungishwa ndoa yao… Bakari alipata hofu sana baada ya kuona Zahra analia bila sababu.. Hofu ilimjaa bakari…
Baada ya ndoa kupita wakiwa wapo nyumbani kwa Swalehe, mana pale kwa Swalehe pana kisehemu kikubwa kubwa kidogo,…
“farida, hebu kamuulize mwenzio alikua analia nini wakati wa ndoa, mana bakari mpaka sasa ana hofu juu ya hilo”
Aliongea Swalehe huku farida akitekeleza alicho agizwa na mumewe….
“unaionaje siku ya leo”
Aliongea farida kumuuliza Zahra…
“Kiukweli nina furaha sana… Nalia hivi sio kua sijapenda… Yaani siamini kua nami nimekua mke wa mtu… Siamini kama nimeolewa,.. Nilihisi mume wangu bakari ananidanganya kunioa… Kumbe kweli… Farida??? Nampenda bakari…”
Aliongea Zahra, na wakati huo bakari yupo na Swalehe nje wakijadili mambo ya kazi,, yaani Swalehe muda wote ni mtu wa kazi, wakati mwenzie anawaza mke waondoke zao….
“sasa, kwakua tumerudi Mwanza juzi tu… Sasa tusubiri kazi zingine”
Aliongea Swalehe lakini bakari kama haelewi…
“aisee mambo ya kazi tutaongea kesho.. Ita tax tuondoke zetu”
“ahahahahahahahahahahahahahhaha… Aisee una haraka wewe”
Aliongea Swalehe huku bakari akiingia ndani,.. Alikua anapenda kumuona mkewe kila wakati…
“mume wangu.. Twende kwetu basi”
Aliongea Zahra huku akimkumbatia mumewe… Wakati huo tax inaitwa…
Swalehe alikuja ndani kumchukua bakari,
“njoo nje… Achana nao wakae ndani hao”
Wakati huo huku ndani…. Farida alikua akimpa maneno rafiki yake…
“Zahra, kwa kawaida huwa kuolewa sio kazi.. Kazi ni kuilinda ndoa yako… Usifuate maneno ya watu,… Kwahio usione ajabu kuolewa, ila jitahidi kuiheshim ndoa yako… Usimjibu mumeo vibaya, mtengee maji pale anaporudi kazini… Mpe vile vitu anavyopenda… Mimi sina cha kukuambia, mana wewe mwenzangu ulikua na kungwi, hivyo najua kakupa somo vizuri… Ila nakuomba sana, mpende mumeo mheshim mumeo… Hapo utaiona raha ya ndoa yako…”
Aliongea farida huku Zahra akitoa machozi kwa kua.. Kumbe alikua akimkosea sana farida kipindi kile.. Kumbe alikua anamkosea mtu ambae ni nuru katika maisha yake…
“pia.. Mumeo akipata Shukuru, akikosa muombe mungu kesho apate… Na hata akikosa tena, usikasirike… Zidisha kumuombea mumeo,… Achana na utajiri wa majirani au watu wengine, huo hauwahusu… Mpende mumeo, ipende ndoa yako”
“PIIIIII… PIIIIIII. PPPPIIIIIIIII”
Ni sauti ya honi ya gari ikilindima huko nje, bakari aliingia ndani fasta na kumchukua mkewe, waliingia ndani ya gari wote ili kumsindikiza mwenzao mpaka kwake.. Ilikuwa ni furaha kubwa kwa Zahra na bakari….
MWISHO


1 Comment
Thanks , I have just been looking for info approximately this subject for a long time and yours is the greatest I’ve found out till now. But, what about the bottom line? Are you certain about the supply?