MWALIMU NAKUPENDA ILA INAUMA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 1
Sheyrose handerson ,ndo jina langu Mimi ni
mwanafunzi wa darasa la saba shule ya the hois
iliopo mkoani Dodoma ,baba angu ni billionaire
na mama angu ni millionaire wanamabiashara
kadha wakadha ambazo zinawaingizia kipato
kikubwa sanaaa .Ukiachana na utajiri wao uo ata
babu yangu upande wa baba angu ni anaela
sanaaa ila Kwa upande wa mama angu wazazi
wake walifariki na kumuachia Mali zote na
kumkabithi kweny familia ya baba angu ili
waoane kuimarisha biashara zao
Mimi ni mtukutu sana iyo tabia yangu ilichangia
na malezi ninayoyapata nyumbani kwetu
tumezaliwa watoto wawili tuu kama macho
.Nipo Mimi na kaka angu ila tumepishana miaka
12 ,msishangae kwanini tuna age gap kubwa ivo
nikwasababu mamangu alipatwa na shida sana
kweny uzazi wake mara nyingi mimba zake
zilikuw zikitoka ,na Mimi nikapatikan bila wao
kutarajia maan walishakata tamaaa kwaiyo ndo
maaan wananipenda sana .Kaka angu anaitwa
Jeyson Handerson.
Kwasababu ya utukutu wangu mama na baba
wakanipelekaga shule ya boarding kumalizia
elimu ya msingi kwaiyo kwasasa nipo boarding
.Leo nikiwa darasan akaingia madam wakike
nakutuambia kuwa kuanzia kesho hatutosoma
Tena tunajiandaa na graduation ya lasaba
maana ilikuwa ni mwezi wa 9 mwanzoni
.Wanafunzi walishangilia sana ila
Mie nilikuw hatasijali maan naona wanafanya
utoto tuu na Wala sio wa hadhi yangu hawa
.Baaada ya kumaliza masomo Kwa siku iyo
tukaenda Bwenini bweni letu sisi ni zuri Kam la
malkia na tulikuw tunakaa watoto watatu tuu
nawote tulijichagua kwetu pesa zipo .
Shuleni kwetu walikuw wanaruhusu simu basi
wenzangu wakawa wakifika Bwenini tu
wanachat na wapenzi wao mara wanajichekesha
wenyew mie nawashangaa tuu maaan siamini
katika uo ujinga ,nakujiona mtu mzima kote kule
ila kwenye mapenzi hapana sishawishiki ila awa
wenzangu duuuuh ndo kwanza lasaba ila
wanamahusiano ,na Kila siku huwa nawaambia
waachane na mapenz watakuja kufeli ila wao
hata hawajali ndo kwanza wanakazana.
zikaenda ,hatimae ikafika siku ya
Siku
graduation
walikuja wasani wakubwa
mbalimbali pale shuleni ,na tulipendeza sana ,ila
wakati wote uo nikawa naangaza angaza Kam
nitawaona wazazi wangu ,chaaajabu hamna ata
dalili ya kuwa wanakuja Nikawa najiskia vibaya
sana,maaana Kla mwanafunzi mwenzangu
alikuwa kakaa na mzazi wake .Nikiwa nimesama
pale nawaangalia wazazi wa wenzangu nikaskia
naitwa na mtu kugeuka iv alikuwa ni nanny
wangu nilivyomuona tabasamu lote likakataa
maaan nilijua ni mama ananiita.Yule Yaya wangu
akaja Kisha akanikombatia akanipa hongera ila
nilikuwa na hasira sema nilivumilia tuu swal la
kwanz nililomuuliza ni wazazi wangu wako wapi
akawa anajing’atang’ata Kisha akaniambia
wamepata dharura kidogo ,nikaaanza kulia Yan
always wanachagua siku muhimu kwangu kuwa
na dharura ,nililia sana na hata zawadi alizoleta
yule nanny sikuzipokea nikamwambia Rudi
Nazo.ile siku iliisha Kwa majonzi San kwangu
,siku İyo ilikuw jumamosi ambapo ndo
graduation
ilifanyika alafu jumatatu yake ndo tunafanya
mtihani wataifa .
Jumatatu ilifika ilabado nilikuwa namawazo adi
nikawa nataman nisifanye mtihan maaan naona
miyayusho tu.
Chapter 2
Ikafika muda wa mtihani tukaingia kwenye
mtihan uo mtihani wenywe sasa ulikuwa ni
mgumu ila sio sana ,nikafanya Kwa akili zangu
zote ila mawazo ya kuhusi wazazi wangu
hawanipendi yalikuwa yakinijia akili mara Kwa
mara ila namshukuru Mungu mitihani iliisha
salama .Nikajua labda nikimaliza mtihani mama
na baba watanifata shule ila haikuwa ivo na
wakaona stress nilizonazo hazinitoshi
wakaniongezea nyingine safar hii wamemtuma
dereva wa nyumbani ndo anifate eti.
Yan nilikasirika na kwahasira zaid
nikakusanya vitu vyangu hovyohovyo sikutaka
kuongereshwa na mtu nikapanda gar dereva
akanipeleka nyumbani Nafika nyumbn sijamkuta
baba Wala mama angu nauliza wafanyakazi
wananiambia wamesafiri kikaz ,ili liliniumiza
Sanaa nikapanda chumbani kwangu maan
nyumba yetu ni ya Ghorofa alafu chumba
changu kipo juu ,nikifika nikaingia chumbani na
nikafunga mlango niliwaza wee nikawazaa uku
nalia adi nikaanza kujiuliza au waliniokota labda
Mimi sio mtoto wao nikampigia shoga angu
agness ,eeeeh naskia miziki uko kweny simu
yake mwenyw anacheka mithili ya mtu alielewa
adi namuuliza we vipi kwan ananiambia njoo
club ,njoo upunguze stress maaan najua
ukinipigiaga wewe unastress tuu .Nikaona wazo
lake agness ni Zur nikavaa kimini icho kama
mama angeniona angeniua Yan kinguo
nilichovaaa ata shetani mwenyw anashangaa
maana iyo nguo nikiinama kidogo tuu mambo
yote hadharn nikampigia agness akaniambia
jina la club ni bay one ,kwanz picha linaanza
Nilivyotoka njee wafanya Kaz Wote
wananishangaa ,ila huwa wananiogopa maan
Mimi ni mkali ,mtoto wa boss ndo kwanza Nina
miaka 14 ila naogopeka na ninawafanyakaz
wangu special.
Nikamwita driver akaja nikamuuliza unapajua
bay one club akaniambia miss napajua ila siwez
kukupeleka mama Ako atanifukUza kaz
,nikamuuliza Kwan apa yupo mamaangu au nipo
Mimi akasema wewe ,nikamwambia Aya
nipeleke na Kam hutak nakusingizia kesi iyo kazi
yenyew ufukuzwe yule driver kinyonge akakubali
maaan Hana lakufanya .Na kwel tukafika
„kwangu mimi ilikuwa mara yangu ya kwanz
kwenda club ila agness yeye sijui maaan
anaonekana mzoefu alafu ukichangia tuna miili
ya mayai tunaonekana wakubwaa kumbe hola.
Jamn nyie stress mbaya „huwez amini
nilikuwnya pombe Kwa mara ya kwanz ila
nililewa nililewa Yan sana tuu adi saa sita usiku
Bado nipo club yeye agness atahawazi ndo
kwanz anacheza ,alafu mwenzangu yule anaakili
timamu alikuw hanywi pombe Sanaa ila alikuw
anafocus namahandsome wa club Tukawa
tunacheza sasa Kuna muda tukakaa Agness
akaniambia hivi ujue awa wanaume karibia wote
wanasoma sekondary ,mmmmh nikashangaa
maaan ao wanaume anaowaongelea ni maHB ni
wazur nikamuuliza agness sasambona wapo
huku Akanijibu siwametoroka shule wamekuja
kupasha mmmh nilishangaa nikamuuliza sas
hawapigwi agness Akanijibu pesa yako tuu ndo
inaongea .Toka siku iyo nikawa nashauku sana
ya kwenda sekondari nikaona kumbe sekondari
maisha ni kula Bata eeeh mahandsome kama
wote ,nilipapenda Sanaa bila ya kujua uko
sekondari ndo muhtasari wa maisha yangu
utakapoanzia.
Kule nyumbn kaka akarudi hakunikuta wakat
aliend shule kunichukua
akaambiwa
akaja
nishachukuliwa
nyumban
kachanganyikiwa ananiulizia Kwa Kila mtu mule
ndani wakat uouo baba na mama wakarudi pia
kutoka kazini Kwa pamoja nao wakamkuta kaka
walikuwa
anahaha ,wale wafanyakaz
wanaogopa kusema adi mama alipowatishia
kuita mapolisi ndo yule driver akasema .Baba
alikasirika Sanaa ,kaka yeye ndo akaja kunifata
alinikuta nimelewa sijielewi nachekacheka tu
Ovyo.
Chapter 3
Kaka akanibeba kunitoa pale ila sasa simnajua
pombe ipo kichwani nikawa nakataa kuondoka
eneo lile nikawa napiga mikelele akinibeba adi
security wakaja wakazan labda ni muhuni tu
anataka anichukue bila malipo ,kaka alikuwa
kakasirika na wale security nao wanamzingua
ndo Agnes akaja kuwaeleweaha kuwa anamjua
ni ndugu yangu kaka alimkata jicho agness
maaan hampend na alishamkataza kukaa karibu
na Mimi kaka hakutaka maelezo mengi
akanibeba mpaka nje alipopaki gari Kisha
akanirudisha nyumbani
Tulivyofika nyumbn kwanz akanidumbukiza
kwenye swimming pool ilipombe ikate
,alivyonitoka nikawa naendelea kuongea
maujinga ujinga akanizaba mkofi uo sikuamini
macho yangu pombe yote shwaa ikakata ,Aya
naingizwa ndni nakutana na baba na mama
wamenuna ao wanakaribia kupasuka wakaanza
kunigombeza wameongea weee
mie
nawaangalia tuu wameongea Kuna maneno
walinitamkia yaliniumiza Sanaa mama anasema
sijui kwann alinizaa Yan ayo maneno yaliniumiza
nililia nikaanza kuwalalamikia hawanipendi ndo
maan Kila siku wapo busy na kazi tu na sio Mimi
mtoto wao ,nililia adi mama akanikumbatia
akaanz kuniomba msamah maan wao ndo
wamechangia Mimi kuwa hivi sababu ya
kuzingatia kazi zao sana
msamaha
Wakaniomba
nikawasamehe
wakanibembeleza Kam katoto baba ananisomea
hadithi mama kanikombatia ,ikapita miezi mitatu
ulikuw mda wa kwenda shule sasa kuanza
kidato cha kwanza ,tulipata shida kutafuta shule
ila wazazi wa kina agness wakapendekeza shule
ambayo wanampeleka agness nakusemea ni
nzur sana kaka alipingana na wazo Hilo la
kunipeleka shule moja na Agness sababu
hampend agness ila baadae akakubali baada
nilivyombembeleza sana .Tukaanza kununua
mahitaji ya shule kama ilivyoada mahitaji
yalikuwa nimengi sana maan nilikuw nataka adi
bitesbites za shule watajuane Mimi ni mshua.
Tulinunua Kila kitu na nilikuwa na shauku ya
kuingia sekondari maana niliojitunza primary
,nilikuw sitak wachumba wadogo wadogo sasa
ndo naenda sekondar ,na kitu kingine kilichonipa
shauku ni jinsi watu walivyokuw wanaongelea
sekondari sijui Kuna mabadiliko na watu
wengine Wanaharibikiwa uko mie shida yangu ni
kujua watu wanaharibikaje uko shule.
Siku ya jumamosi ambayo jumapili yake
napelekwa shule kuripoti ,mama aliniwosia sana
kuhusu maisha ya shule na pia mie nilikuwa
Bado sijavunja ungo ,akawa ananifundisha
kabisa Incase ikinitokea akaninunulia adi na
vipads .Yan mama angu anavyonipend akaniitia
adi mchungaji aniombee ,familia yetu inahofu
ya Mungu Sanaa hivyo mchungaji nae akaitwa
akaniombea „sasa shughuli inaanza kile
kimuhemuhe ,usiku kucha usingizi hauji nawaza
sekondari ,Kila nikilala usingizi hauji nawaza
shule na ukitegemea safar hii naama mkoa
shule ipo morogoro alafu sisi tunaishi Dodoma.
Sikulala usiku kucha asubuhi saa kumi na moja
mama akaja kuniamsha tukasali maana
nilipitiwa na kausingizi asubuhi lle tulivyomaliza
kusali nikapakia vitu vyangu ,kwanza sikupakia
Mimi wafanyakazi wangu walinipakia baba
mwenyW akawa driver na mama wakanipeleka
shule .sasa uko njiani nilikuwa nachekacheka
ovyo adi mama akawa ananishangaa.
Chapter 4
Yalipita masaa kadhaa Kisha tukafika shule
,mmmmh jamn hii shule ilikuwa ni kubwaaa
alafu ni nzur inavutia sanaaa ,pale reception tuu
mamb mazur yanaoneka ni nzur kuliko ata shule
nilipotoka ,pale Kwa njee tu unakuta a na bango
kubwa limeandikwa Diamonds Secondary
school maneno yaliyopambwa Kwa naksh naksh
za kutosha na taataa sasa tukiwa reception
wakapita wavulna wawili waarabu ni mahb ao
wapo very hot ila Mimi ata hawakunivutia ,mama
alivyowaona akaniangalia Kisha akaanza
kuninong’oneza ili baba asisikie,ananiambia
nikakazanie kwenye masomo tuu niachane na
ao wanaume nawao nikama Mimi tu wanaenda
chooni vilevile na wanategemea wazazi wao
,ila mamaangu kwaiyo anadhan nimewapenda
au.
Ikafika zamu yetu baba akaenda na mama
waliniambia nisubiri ila nikawafatasitaki
kupitwa baba angu alivyonajeur ya pesa ada
ilikuwa ni mil 25 Kwa mwaka baba akalipa yote
ya mwaka mzima .Yule mkuu wa shule
hakuamini amini maaan niwazazi Wachache
sana Kam yeye ,walivyolipia tu wakaniaga Kisha
wakaondoka zao .Mkuu akamuita mtu
anielekeze mazingira ya shule na anipeleke
sehemu ya kuchukua uniform ,uyo mtu mwenyw
sasa anamashauzi uyo adi kero lle shule ilikuw
utaratibu ule ule kama shule yangu ya msingi
nilipotoka utaratibu wa kutoa tablets za kusoma
Kwa wanafunzi na ni Kam nilijua maaan nilibeba
laini yangu.
Nikakabidhishwa kwenye Dom letu kulikuwa ni
kuzur haPo Bado ninakimuhe muhe nikamuuliza
Bedo wangu maaan yeye alikuw sio form one
Kam sisi hivyo itakuwa anajua mambo ya shule
akawa ananielezea anasema shule ni nzur ila
miyayusho sana Yan ,nikamuuliza kwanini
akaniambia hapa hii shule adi
adi darasani
wanaume na wanawake wanatenganishwa na
Wana madarasa Yao tofauti, eeeeh nilishangaa
mdogomdogo nikaanza kutokupenda shule
,akaniambia pia hii sio kama shule zingine haina
hata utaratibu wa kuwa na disco
Daaah nilivyosikia ivo nikaanza kuichukia shule
yenyew ila nikajikaza nikikumbuka baba katoa
mil 25,siku iyo niliyoenda kuripoti ilikuw ni siku
ya usafi na kibaya zaidi ni wanafunzi wenywe
usafi wa madom Yao iishh
wanafanya
nikamuuliza yule dada Kam Kuna
nilikasirika
mtu wakumlipa anifanyie kazi akaniambia ndio
Kuna wanafunzi wengi tuu wa scholarship,ndo
huwa wanawatumia ,nikamuomba anitafutie na
nikawalipa elfu 50
tukawapata
kwel
wakatufanyia usafi ila mpaka hapo shule
nilishaanza kuichukia.
Usiku ukafika tukaenda canteen kula ,na mambo
yote ayo ila shule ilikuwa na menu nzur sana ya
canteen sasa hapo kidogo ikanifurahisha ,nikala
na yule Bedo wangu anaitwa laira Kisha
tukarudi kulala.
Chapter 5
Yan tumelala ata usingizi wangu haujakata vizur
saa kumi na moja kengere imepigwa Mie ndo
kwanza najiviringisha Shuka vizur wenzangu
washaamka Yan nilikasirika Kuna limama likaja
kutuamsha ,nilichukia ila sikuwa na lakufanya
nikaamka tukaenda kuoga nikavaa zangu
ndo ilikuwa jumatatu ,Yan nikazidi kuichukia
shule tukaenda mstarini baada ya matangazo
mengi yaliyotufanya tusimame Kwa muda mrefu
mstarini tukaruhusiwa kwenda madarasani
sasa.
Aya tumefika madarasani akaingia mwalimu
wakike anaonekan tu ananyodo hatr eti kuja na
kuja anataka watu tumsalimie uku tumesimama
can imagine ,nilivyochoka vile alafu nimsalimie
uku nimesimama aaaah wap niligoma
kusimama Mimi kale kamwalimu kakaanza
kunisema iv nyie watoto wasikuiz mnajijua kama
ni wajeuri kisa kwenu mnaela ndo mnataka
mzoeee waalimu wenu vibaya sasa Mimi
ntawakomesha naawambia „baaada ya uyo
madam kusema ivo akasusa nakipindi eti
Ikanibidi niwaulize niliow
niliowakuta uyu madam
anaitwa nan wakaniambia uyo anaitwa madam
Lita na anagubu hatr, Na naona Leo gubu lake
kakuamshia wewe aaah nikasema Yan apa
nikitoka break ya kwanz naenda kwa mwalimu
mkuu .Vipindi vya asubuhi vilivyoisha tu watu
wakawa wanaenda kula break fast Mimi
nikaend kuongea na mama Kwa mwalimu mkuu
maaana sikutaka kutumia tablet niliopewa
mama asijeakaamuru nipokonywe bure.
Simu ikapigwa kwel mama akapokea ata kabla
sijamsalimia nikaanza kulia ,adi mwalimu mkuu
akawa ananishangaa ,nikamwambia mama
nataka aniamishe shule mama akawa anauliza
kwann nikamwambia sababu ni nyingi we
niamishe tuu ,akasema sawa ngoja ntaongea na
babaakO nikasema sawa Kisha simu ikakatwa.
Nilivyotoka Kwa mkuu nikarudi darasani hata
sikuenda kula ,sasa muda huo ulikuwa ni
wavipindi vya mchana na Ulikuwa muda wa
mwalimu wa mathematics,na vile ili SoMo
silipend usingizi ukanishika darasani.
Sasa wakt nimeinamisha kichwa nikaskia
wenzangu maaan madarasa wavulana na
wasichana tumetenganishwa ,darasa letu Lina
wasichana tupu.
Nikawa naskia vidada vinasema WOW
,wengine wanasema eeeh nyie uyu mkaka jamn
mbona mzur uyu kabila gani uyu jamn .Mie
nikajua labda nimwanafunz anapita nikaendelea
zangu kulala.
Mara Ghafla nikaskia sauti inasema good
afternoon class ,sauti nzur lle ya mamlaka
ambayo ukiiskia unajua yes uyu ni mwanaume
kwel nikainuka iv kuangalia who is this man
jamn Yan nilihisi mdomo umekufa Ganz oo00h
My God ,ni binadamu kwel uyu ,wo000000i uyu
si mtu .Na kitu kibaya zaidi ni mwalimu ,Yan
pale pale inaitwa love at first sight,nikampenda
yule mwalimu sikutaka kuulizwa Yan alikuwa ni
handsome kupitiliza sijui ata nielezeje mmh ,ila
nilimpenda palepale na alivyo na maksud sasa
akawa anatabasamu kiupande upande oooh my
God Ataniua uyu mkaka
Tulikuwa tumesimama kumsalimia mwalimu
Kisha akatuambia tuketi, akasema yeye anaitwa
sir .Kendrick atakuwa nasi kwenye Somo la
Basic mathematics, Yan kabla mwalimu
hajamaliza kuongea wadda wakaanza kupiga
makofi Mie Najichekesha tuu Kam mwehu
, yule mwalimu akaorodhesha topics tutakzo
soma Kisha akaweka namba yake ya simu
ubaoni ili ata likizo tuwape wazazi maana yeye
ndo class teacher wetu
nikajichukulia
maamuzi mkononi
Yan
nikaiandika lle namba kwenye mkono maaan
niliona nikichukua karatasi nitachelewa , yule
mwalimu akaondoka na yeye ndo alikuw
mwalimu wa mwisho Kwa siku lle .Nikatoka
chap kwenda Dom nikacopy lle namba kwenye
tablets nikaisave my hubby to be na
makopakopa kama yote
Usiku sikuenda prepo nikasingizia naumwa
nikampandia mwalimu hewani kwakumtumia
text, mambo mpenzi ..Nikaona tick mbili mara
ikaja blue tick Kisha sms ikajibiwa mwalimu
akajibu poa we nan, nikamwambia Mimi ni mtu
ninaekupenda ,mwalimu akatuma Sms
kuonesha kaguna Kisha akasema mbona Hajui
kama anapendwa ,nikamwambia we ukae ukijua
tu Mimi ni mwanafunzi ninaekupenda Sanaa
Yule mwalimu akatuma sms akasema we
mwanafunzi nshakujua sasa kesho utanitambua
O Eeeeh niliogopa Sanaa nikawa nawaza kajua
aje au ananitania tuuu .Nikajipa moyo labda
ananitania tuu iliniogope „nikakaaa pale
nawazaa baadae nikasikia mlango mkubwa wa
Dom letu una funguliwa
Inaendelea…

