MWALIMU MKUU, TARATIBU JAMANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 7
Alivyoondoka nikaanza kulia, nilianza kuona kama mazingira yangu ya kazi ni magumu sana, sikuwa na raha kabisa, maana niliona kama nitafanya kazi kwa shida, na huenda nikashindwa kabisa kumuangalia mkuu wangu usoni, ila nikajiambia pia, nay eye huenda akakosa nguvu hata ya kunifokea, kutokana na alivyokuwa anahisia na mimi…
Kesho yake nikaenda kazini, ila sikutaka kabisa kukaa pemben ya ofisi yake kama ambavyo huwa nakaa kila siku, nikapitiliza zangu ndani na kwenda kukaa kwenye ofisi ya walimu wote, na baada ya hapo nikawa nimejiinamia, roho ilikuwa inaniuma sana sio siri nilikuwa nahisi kuchanganyikiwa kila nikifikiria kuwa nimeingiliwa na mwanaume tena bila ridhaa yangu, ndio nikawa nachoka kabisa…
Sasa kuna muda alikuja ofisin akaniona, akanisalimia na nikamuitikia kwa bashasha kabisa, akashangaa maana alijua kuwa nitakuwa na kisirani kwa kilichotoke, ila nikawa kama mtu ambae hana tatizo lolote na hakuna chochote kile ambacho kilitokea kati yetu…
Ila kiukwlei sikuwa nataka hata kuongea nae kutokana na namna nilivyokuwa nina hasira nae balaa, na alijua hilo, akawa anashinda anazunguka zunguka, kumbe anatafuta nafasi ya kuongea na mimi, ila ndio hivyo sio ustaarabu walimu wengine wakijua alichokifanya kwanza ni utovu wa adabu hata kama yeye ni mkuu hapaswi kunilazimisha kufanya kitu bila ridhaa yangu…
Basi kuna muda walimu walienda madarasani, nikawa nimebaki mimi nay eye na mwalimu mmoja ambae alikuwa anasoma ile online hivyo aliingia kwenye ofisi ya nidham na kuanza kusoma zake maana alikuwa anajiandaa na mitihani, basi mkuu akaja mpaka nilipo na wakati huo nilikuwa nimelalia dawati tu………..
“ unajua unanifanya kama mtumwa wewe mwanamke, akasema..
“ kwani nimefanya nini mpaka nikufanye kama mtumwa?..
“ wewe mwenyewe unajua ni kiasi gani nakupenda sana, wewe mwenyewe unajua ni kiasi gani nateseka sana unaponikasirikia, kuwa basi kawaida kama ambavyo huwa unakuwa, na kama una hasira sana na mimi nipige, au hata nitukane ila usifanye unachokifanya mamaa, naumia..
“ siwez kukufanya chochote kile, kwa sababu wewe ni mkubwa na una mamlaka yako na huenda ukanizuia, kwa hio nimemuachia mungu anilipie, na usijali hata kama nitagundulika nina ujauzito nitahakikisha mwanamke wako hajui na mtoto hata kama atafanana na wewe, ila bado nitapambana kumlea mwanangu, asante sana kwa ulichonifanyia asante mno maana naona unatumia madaraka yako vizuri……..
“ usiseme hivyo madam kumbuka mimi sijaoa, na hata kama ningekuwa nimeoa sisi wote ni waislam hivyo naweza hata kukuoa mke wapili, akasema..
“ na mwanamke wako? Ikabidi niulize maana mwanamke ambae anaishi nae hajamuoa alafu anakuja kusema kuwa atanioa mimi, nikaona sasa huu ni uongo wa wazi wazi..
“ sheila najua haujui kitu kimoja, ipo hivi kwenye maisha, kila mwanaume huwa ana password yake, ikitokea mwanamke flan amefungua hizo password basi huyo mwanamke ndio mwanaume huwa anamuoa na sio mwanamke ni mwanamke, kweli mungu anajua kuwa nimefanya makosa mengi sana, nimefanya uzinifu kwa miaka mingi sana, na licha ya hivyo nimempotezea muda mwanamke wa watu, ila Yule niwe mkweli sikuwa nampenda ila sikuwa na mwanamke ambae naweza kukaa nae ndio maana nikamchagua kwakuwa yeye alinichagua ila sio siri nakupenda sana Sheila , yaan kuna kuda nahisi kama umeniroga maana nikikaa dakika chache bila kukuona nahisi kupagawa sio siri, nahisi kuchanganyikiwa na nikikaa na wewe sio siri nakuwa nahisia sana yaan nataman kukukula kila dakika, hivi umenifanya nini wewe mtoto…
Episode 8
“kwanza achana na mawazo ya kuwa na mimi mkuu, nina mahusiano yangu, naomba usiniharibie mahusiano yangu kwa sababu ya tamaa zako za muda mfupi, usijali nitahama siku sio nyingi na nitahakikisha nikihama sihamii karibu na hapa ili kusiwe na uwezekano wa kuniona, yaan hautakaa unione tena kwenye maisha yako yote…
Akacheka sana, kisha akanigeukia na kusema “ haya tusubiri tuone kama utahama, ety utahama alafu na mimi unaniacha na nani, kaa jitulize hasira zako ziishe, nambie tu zitaisha ndani ya muda gani, maana huo muda ukifika jua kabisa mimi ndio wako, na huyo mchumba wako ambae unamuwaza na kumfikiria hawez hata kwa bahati mbaya kukuchukua kwenye milki yangu, kisha akaondoka zake…
Nikawa najiuliza huyu mpuuzi anajiamin nini, yaan kabisa anasema kuwa hakuna mwanaume ambae anaweza kunitoa kwenye milkii yake hivi huwa anajiamin nini huyu mjinga…………
Basi muda wa kula ukafika, siku hio kazin kulipikwa ugali samaki, nikashangaa naitwa na mkuu, sikuwa nataka kwenda, nikashangaa anakuja kisha akapakua chakula kisha akasema “ madam njoo tule hapa, ikabidi nikubali tu ili kuondoa simtofahamu ambazo nahisi zingejitokeza kama nisingekubali kuungana nae..
Basi tukawa tunakula, yaan akawa anafanya makusudi, mara alikuwa anajifanya kama amekose ananishika mimi badala ya kushika tonge, mara anikonyeze, akawa ananiangalia sana, ila nikawa najifanya kama simuoni vile..
Akawa ana hangaika sana, mara afanye hivi, mara afanye vile ila nikawa nampuuza, basi tumemaliza kula akawa ananiangalia sikumsemesha nikaenda kuondoa vyombo, kanambia nimletee maji ya kunywa, na kweli nikafanya hivyo, nikamletea maji ya kunywa akanywa, baada ya kunywa akanipa glass ila alikuwa dhahiri kuwa anataka ,kunigusa tu hana lolote…
Sikutaka hata kugusana nae, nikaondoka pale ofisin na kwenda uwanjan kisha nikaanza kuongea zangu na simu kana kwamba sikuwa namuona…
Alikuwa anaonesha kuumia sana, yaan alikuwa anahangaika niende alipo ila nilikataa, muda wa kutoka shule ukafika, nikaenda zangu kusaign kwenye daftar kisha nikaanza kuondoka zangu na miguu nay eye wakati huo alikuwa ana usafiri, nikashangaa naona pikipiki imesimama nyuma yangu, hapo nilishatembea kidogo kama umbali wa dakika tano kutoka nyumban , nikageuka nashangaa namuona mwamba….
“panda twende, nikagoma nikawa najifanya kama sijamsikia vile, akanifata kisha akanambia “ panda twende, nikaendelea kukataa, sikutaka kuongozana nae, sio siri nilikuwa nina hasira sana juu yake…
Alijua hilo, akawa anaondoka zake, kulikuwa na jua kali sana, sijui ndio alijua kuwa nitamuita au vipi, ila sikujali, licxha ya kuchoka na majukum na kupigwa na jua bado niliendelea kusimamia msimamo wangu wa kuwa sikuwa nataka mazoea nae hata kidogo…
Sasa nilianzisha mahusiano na mwalimu ambae alikuwa shule jirani, ila ndio tulikuwa kwenye hatua za mwanzo sana za mahusiano, hatukuwa tumezoeana sana, sasa kwakuwa mimi sikuwa mtu wa watu, na wala sijawah kuonekana na mtu hata mara moja , basi siku hio akasema anakuja kunisalimia, sikukataa niliamin kuwa ukaribu ndio unaweza kututengenezea ukaribu zaidi baina yetu…………..
Amekuja nikawa namtembeza maeneo mbali mbali ya mtaa wetu, nikampeleka shulen maana kulikuwa mbali kidogo tofauti na kijijini, sasa kumbe taarifa zimemfikia mkuu, nashangaa napigiwa simu, nikaikata, mara ikatumwa sms inasema “ huyo uliekuwa nae ni nani?…
Episode 9
Nikaona sasa huku ni kufuatiliana maisha, nilichokifanya nikazima simu, na baada ya hapo nikawa natembea zangu kwa kujiachia, kwenye majira ya kama saa nane mchana nikarudi zangu nyumban na mgeni wangu, tukala na baada ya hapo nikamsindikiza mpaka barabaran kisha akaondoka zake..
Nikawa narudi zangu nyumban nikiwa naongea nae kwenye simu, basi nilipohakikisha amepata usafiri nikaachana nae na kuendelea na mambo yangu, nafika nyumban namkuta mwamba huyu hapa alikuwa amekaa kabisa ananisubiri, aliponiona akanifata na kunikumbatia kwa nguvu sana…
“shida nini? Ikabidi nimuulize maana sikuwa namuelewa kabisa…
“ naumia Sheila, naumia sana, embu nambie Yule mwanaume ambae ulikuwa nae ni nani, na kwanini ulikuwa nae na kwanini alikuja nyumban kwako?..
“ mbona kama natakiwa kujieleza sana kwako kwani wewe ni nani, mbona unaniuliza maswali kana kwamba umenioa, embu nambie umenioa lini, na kwanini niwe najielezea sana kwako, nikawa namuuliza…
Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akanisogelea na kunambia “ nitakuoa muda sio mrefu, ila kabla ya hapo naomba unambie Yule uliekuwa nae ni nani?…
“ ni mpenzi wangu, nikajibu kwa sauti ya kujiamini..
Aisee aliniangalia kwa hasira sana, akaanza kuzunguka zunguka nyumban kwangu kama mtu ambae amevurugwa, ghafla akaja kunibeba na kwenda kunitupa kwenye godoro langu, nikaanza kupiga kelele, aiseee niliwekwa kibao kimoja maridhawa na baada ya hapo akanifunga mdogo na mikono, akaanza kunipapasa sehemu mbali mbali za mwili wangu, kisha akasema “ nakupenda sana Sheila mpaka nashindwa kabisa kuhimili hisia zangu, nashindwa kabisa kujizuia, naomba usiwe karibu na mwanaume mwingine yoyote Yule maana nitakuja kufanya kitu ambacho sijawah kuwaza kufanya…
Hapo kanifunga mdomo hata kuongea siwezi, akaanza kunipapasa nywele huku akiwa anatabasamu, nikaona sasa hichi kizaa zaa sasa, akanipapasa weee mpaka hamu yake ikaisha kabisa kisha akanambia “ nataman siku moja unipe mwenyewe bila kukulazimisha ila sijui hio siku itakuwa lini, kisha akaendelea kunipapasa, nikaanza kuleta vurugu, akanishikilia kwa nguvu kisha akasema “ unajua kuwa ukihangaika ndio vichuchu vyako vinajichora vizur zaidi nashindwa hata kujihimili kabisa kihisia, nikabidi nitulie, akaniaandaa wewe, mpaka mwili wangu ukaanza kusisimka, na ute kwenye kipochi manyoya ukaanza kumiminika kwa mstari , nikaona kaanza kuachia matusi, kisha akafunga macho na kuanza kazi, akawa anafanya akikaribia kumwaga anaanza kusema “ k hii ni mali yangu Sheila, hautakiwi kumpa mtu mwingine zaidi yangu, mara aseme mimi pekee yangu ndio natakiwa kukutia na sio mwanaume mwingine yoyote Yule, nina wivu sana na wewe mamaa, akawa analalamika pale na kuunganisha mabao mawili, amemaliza akawa ananiangalia huku anatabasamu kisha akaanza kunambia “ nakuoa Sheila na hakuna mwanaume hata mmoja ambae anatakiwa kukumiliki zaidi yangu………..
“ ila mimi sikutaki mkuu, nikaanza kujitetea pale…
“usijali utanitaka taratibu, kikubwa mimi nakupenda na unatakiwa uwe na mtu ambae atakuwa anakupenda zaidi ya wewe unavyompenda, umesikia mimi nipo tayar kufanya jambo lolte lile kwa ajili ya kuwa na wewe, na nakuahidi kuwa nitakulinda kwenye siku zote za maisha yangu, maana wewe ni mtu muhimu sana kwenye maisha yangu yote…
Nikamuangalia kwa sekunde kadhaa kisha nikamuambia “ naomba utoke nyumban kwangu…
Akanisogelea akanikiss kisha akaonikonyeza na kuondoka zake…
Ameondoka nikaanza kulia, nulilia sana kumbe hata hakuwa mbali, akanitumia sms na kunambia “ mimi ndio mwanaume pekee ambae nitafuta machozi yako, naomba usilie sana unazidi kuniumiza mamaa, sijafanya kosa lolote lile kwako ila nilikuwa nachukua tu haki yangu kwako na wewe mwenyewe unajua…
Sikujibu ile sms nikaenda zangu bafuni kisha nikaanza zangu kuoga, nimemaliza kuoga nikatafuta tena p2. Nilizinunuaga kadhaa maana sikuwa namuelewa mkuu na sikuwa nataka kupata mimba zisizotarajiwa kabisa…
Episode 10
Basi kesho yake nimeenda kazin sina raha, akawa ananiita hata sikuwa naenda kabisa, akanifat5a kisha akanambia “ unajua unanitesa sana mamaa, kwanini nikikuita hautaki kuja…
“ achana na maisha yangu, na kama utakuwa unataka kutumia ubabe haya tumia ubabe wako tu kwenye mambo yako, ila kaa ukijua kuwa utaniingilia kimwili mara nyingi upendavyo ila hautakaa uuteke moyo wangu hata kwa bahati mbaya maana sikupendi na sitakaa nikupende hata kwa bahati mbaya…
Akahema kwa nguvu kisha akatoka zake nje, nikaona kama amenilewa vile, ila kumbe hakuwa amenielewa kabisa, na sikujali maana kikubwa nimeshampa ukweli wake atajijua mwenyewe, na ukweli ni kuwa sikuwa na hisia nae ila ndio hivyo analazimisha mambo…
Basi bana mambo yakaanza kuzagaa mtaani, kuwa nina mahusiano na mwalimu mkuu, nikawa nayasikia, akawa ananiambia ety namkataa nini na kila mtu anajua kuwa mimi nay eye tunamahusiano, nikamuambia kuwa mimi sina mahusiano nae labda kama yeye ana mahusiano na mimi ila sio kweli kama mimi nina mahusiano nae…
Akawa anacheka tu na kusema ety anasikia raha namna ambavyo wanakijiji wanamtakia kheri ya maisha bora na kuwa na mwanamke sahihi kama mimi…
Nikawa namuangalia tu maana niliona kama anatumia ubabe sana, ambao haukuwa na kichwa wala miguu…
Basi siku moja nikiwa sina hili wala lile nipo zangu nyumban nafua, nikashangaa nakuja kuitwa kuwa nina mgeni, nikakutana na mwanamke mmoja ambae hata sikuwa namjua, maana mimi pale kijijin sikuwa nafahamiana kabisa na watu hata kidogo, akaniangalia kwa kuninyari, mpaka nikashangaa huyu vipi yaan simjui hanijui alafu anakuja na kuanza kuninyari ana akili kweli huyu…
Nikamsalimia maana alikuwa anaonekana kama ni mkubwa sana kwangu, akaniambia kuwa “ sina shida na salamu yako Malaya mkubwa wewe, nikaona ehee kazi imeanza, yaan ananiitaje Malaya na wakati hata kunijua hanijui..
Nikaona sasa hichi kizaa zaa, ikabidi niulize kuwa yeye ni nani, akaniangalia kwa dharau kisha akanambia “ mimi ni mwanamke wa mkuu wa hii shule, na nimezaa nae, unajua nilipotoka na huyu mwanaume mpaka unatoka ulipotoka kuja kutraka kumchukua?…
Nilishangaa sana, ni kweli najua anaishi na mwanamke na amezaa nae, na sio kwamba amezaa na huyo mwanamke tu, amezaa na wanawake wengine wengi tu, ila sio mtu wa kujali, nikaona hapa sasa natakiwa kujituliza kisha kwa sauti ya upole nikamuambia “ mimi sina mahusiano na mume wako, naomba uongee nae, na atakueleza vizuri kuwa mimi ni nani na nina ukaribu gani nae..
“ unajitetea kwa sababu nimekuja nyumban kwako, ila kila mtu anajua kuwa una mahusiano nae, naomba uvae viatu vya mwanamke mwenzako ambae ni mimi, kila siku n apigwa matukio, nadharaulika, naonekana sina akili, naonekana sina maana kwa sababu yako, kweli hii ni haki, au unahisi kuwa wewe hautakaa uje kuolewa na nakuapia utapitia mambo ambayo ninayapitia mimi kwenye ndoa yangu, umeharibu amani ya familia yangu, na nakuapia na amani ya familia yako itaharibika pia zaidi ya namna ambavyoumeharibu yangu, nikaona ehee sasa hichi ni kizaa zaa sasa, nikamuacha aongee hapo ndani kisha mimi nikaingia zangu ndani, maana huwa sinaga kawaida ya kupenda kubishana na watu……..
Episode 11
basi akakaa pale weee akawa anaongea kinoma hata sikumfuatiliza, zaidi sana nikamtumia sms mwanaume wake na kumuambia kuwa aje amchukue mke wake, akaja akawa anataka na mimi nitoke nje ety tuongee, sikuona kitu ambacho naweza kuongea nae, kwanza nilikuwa nina hasira zangu balaa, alafu mtu anatokea alipotokea anakuja na kunambia kuwa anataka kuongea na mimi, kwanza anataka kuongea na mimi kitu gani…
“ Sheila naomba utoke tuzungumze, na nakuapia kama usipotoka nitalala hapa hapa nikawa kimya, hapo mwanamke wake anatukana na kusema “ sitaki kuamin unaendekeza wanawake wengine kuliko mimi, unajua tulipotoka shaban, nimepitia mambo mengi na wewe, nimekuvumilia kwenye vitu vingi, leo hii najua unataka kunitetea unakuja kumuita mwanamke mwingine ambae hajui hata tulipotoka kweli…
Hata hakuwa ana bishana nae kabisa, akawa yupo busy anagonga zake mlango kana kwamba hamsikii, mwisho nikaona isiwe kesi nikatoka nje kuwasikiliza, maana siku zote kubali wito na ukatae maneno, nilipotoka tu hata hakujali akanivuta na kunikumbatia kwa nguvu mbele ya mwanamke ambae anaishi nae, kisha akasema “ usije ukawaza kuniacha kwa sababu ya mtu mwingine, mimi sijaoa Sheila na kama nitataka kuoa nitakuoa wewe tu…
Nikashangaa huyu mwanaume anajiamin nini, yaan mwanamke anaishi nae amesimama mbele yake kisha anajifanya mr romantic kwangu, hivi mnamuelewa kweli huyu, ila nikatulia, akanikumbatia kwa karibiu dakika tano kisha akaniangalia na kunambia “ najua nina makosa mengi sana, nimeteleza sehemu nyingi sana, ila siwez kukosea tena kutokuishi bila wewe, maana nitakuwa nimejidhulumu mno, moyo wangu, hisia zangu na akili yangu haijawah kujisikia ninavyojisikia sasa hivi nikiwa na wewe, hakika wewe ni zaidi ya rafiki, na zaidi ya mtu ambae unajua kunipa amani…
“ mkuu naomba uondoke sitaki matatizo mimi, nikaanza kusema huku namsukuma maana alikuwa bado amenikumbatia…
Akashusha pumzi kisha akanambia kuwa “ niahidi nikitoa mguu wangu hapa hautakaa unikatili tena na kuhusu mambo mengine naomba uniache nitamalizana nayo mwenyewe, yaan hapo mwanamke wake yupo ananifanyia mambo yote hayo..
Mwanamke aliniangalia kwa chuki kisha akaondoka zake kwa hasira, nikaona sasa hapa maisha yangu huenda yakazidi kuwa magumu maana mimi kwanza ni mgeni, alafu sijajua Yule mwanamke alipanga kunifanyia nini…
Taarifa zikaanza kusambaa kuwa natembea na waume za watu mtaani, kila mtu akawa ananiangalia kwa tahadhari sana, mpaka nikawa nashangaa kwanini wanawake wa kijijin wananikwepa kiasi chote kile, nikawa namuambia kuwa sitaki mazoea nae, ila ni kama ndio kwanza nilikuwa nampigia mbuzi gitaa, maana hakujali hata ninasema nini na alikuwa anahangaika kuhakikisha kuwa napara kila kitu kwa wakati, na alikuwa ananiletea mchele unga, mafuta nayakuta tu mlangoni, nikawa nataka kumrudishia hataki, na nilikuwa naogopa kupeleka nyumban kwake, maana sikuwa nataka kugombana na mwanamke wake………
Siku moja nilikuwa kulikuwa na msiba, karibu na nyumba ambayo alikuwa anaishi mkuu na familia yake, sasa tukawa tumekaa kwa nje, tukaanza kumsikia Yule mwanamke anaanza kuongea akawa anasema “ yaan nimekuvumilia kwenye mambo mengi sana, nimehakikisha kuwa mpaka tunajenga kwa kujibana bana alafu leo unakuja kusema kuwa unataka kuoa mwanamke mwingine kweli wewe Malaya unaakili…
Hatukuwa tunasikia sauti ya mwanaume, ila Yule mwanamke akawa anaongea mpaka anatukana, mara tukasikia kibao paa, na baada ya hapo tukasikia mkuu anasema “ unajua kwanini nampenda sana Yule bint, sio kwa sababu ni mzuri sana, na sio sababu kanitega sana, ila ana adabu ambayo wewe huna, kanibadilisha mambo mengi sana kwenye maisha yangu, ile hasira yangu ya kukasirikia kila mtu nimeacha kwa sababu yake, kanifundisha namna ya kuishi na watu, ww mwenyewe ni shahidi kuwa sasa hivi nimebadilika na kuwa mwema, unafikiri ni wewe umenibadilisha?…
Episode 12
Yule bint anajua wapi pa kuongea na wapi pa kukaa kimya, na hata akiongea hafoki kama wewe na kunidhalilisha, anakuja na busara zake na sauti yake tamu kunielekeza na hakuna mwanaume hata mmoja ambae anaweza kumuacha mwanamke anaeongea vizuri kama yule, sasa badala ya kujifunza na kuangalia ni wapi unakosea ili ujirekebishe unazidi kujikolezea kuni za moto, sasa ni hivi mimi mwenyewe nimekuchoka kama ni watoto nitalea mwenyewe na Yule mwanamke, na wewe kama unataka kundoka hakikisha unafungasha kila kitu chako na kuondoka maana nampenda sana Sheila na hakuna mtu hata mmoja ambae anaweza kufanya chochote kile ili kunitenganisha nae, ndio mwanamke wa kwanza kwenye maisha yangu, ambae kuanzia nimekutana nae najihisi nina amani na anafanya niwe na furaha wakati wote, ndio mwanamke ambae amenituliza kwa kila hali na sio wewe ambae unajifanya kambale kwa mwanaume wako, au ndio simba kila wakati una nguruma, labda nikuhusie tu cha mwisho kuwa, mwanaume hapangiwi maisha ila anaelekezwa kwa busara, utii na kauli njema namna ya kuishi, kisha tukashangaa mwalimu mkuu anatoka nje…
Akaondoka zake hata hakutuona kama tumekaa matanga nje ya nyumba yake, mara mke wake akatoka akaniangalia kisha akanifata na kunambia “ nakuachia watoto uwalee wewe, maana naona umeshamloga mume wangu, watu wote ambao walikuwa pale wakaanza kuniangalia mpaka nikawa naona aibu sasa, akaingia ndani kisha akakusanya kila kilichokuwa chake na kuondoka zake…
Sio siri nilijisikia vibaya sana, yaan mwanamke mwenzangu anaondoka kwenye ndoa yake na inasemekana mimi ndio sababu, nilijiona kama mkosaji sana, na kuanza kujilaumu kwa nini nimeenda kufanya kazi kwenye kile kijiji…
Nikapata wazo kuwa natakiwa kuhama, ila sikuwa nimemaliza hata mwaka kazin hivyo kuhama haikuwa rahisi, nikaona nitafute mwanaume niolewe, kweli haikuchukua muda nikatafuta mwanaume na mungu sio athumani nikapata ka kijana kakanipenda sana na kutaka kunioa, sikubisha, basi akapanga mwezi wa tisa apelike posa nyumban kwetu, nikakubali maana pia umri ulikuwa unaenda na ndoa ndio niliona kama ndio muda na wakati wake huo, sikuwaza kabisa mkuu atachukuliaje akisikia naolewa na mwanaume mwingine na ameshaaminisha watu wote kijijin kuwa mimi ndio mke wake, na hakuna mtu hata mmoja ambae ana ruhusiwa kunioa zaidi yake….
Basi mkuu alikuwa na pikipiki, akawa ananilazimisha kunirudisha nyumban na kunipeleka kila siku, kiukweli sikuwa nataka kabisa kufanya hivyo, nikawa nadamka sana ili nisikutane nae, yaan kazin tunatakiwa kwenda saa moja na nusu, mimi saa kumi na mbili na nusu nimeshafika lengo ni kutokutana nae maana analazimisha sana mambo…
Na nilishachoka maneno ya kijiji kuhusu mimi na yeye, nilishachoka ile hali ya kila mtu kuniona kama mwizi wa mabwana za watu..
Sasa akawa akanikuta kazin anakasirika sana, ila sikuwa namjali, na kikubwa ambacho nilikuwa naangalia nia amani yangu na sio kisirani chake, ila pia hakuwa anaweza kuwa na kisirani muda mrefu na mimi, ni kama alishajiloga pekee yake kwangu, hakuwa anaweza kukaa muda mchache bila kuniona, yaan ikafikia hatua hata nikienda darasan nikikaa sana anakuja darasan kunitazama na nikitoka anaaanza kuniuliza kwanini nimekaa muda mrefu darasani….
INAENDELEA ……….


2 Comments
I really like your writing style, fantastic information, regards for posting :D. “Faith is a continuation of reason.” by William Adams.
I relish, cause I found just what I was looking for. You’ve ended my four day long hunt! God Bless you man. Have a nice day. Bye