MWALIMU ALITAKA MWENYEWE
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 5
Kijana Michael akusubiri kuikuta kumi na mbili aka aachia shuti moja kali sana, ambalo lilimsinda gori kipa ambae licha ya kuambaa mbaa kuufwata lakini akaziona wavu zinacheza, hapo zililipuka shangwe za hali ya juu, siyo tu wanafunzi peke yao, ata walimu nao waliinuka toka kwenye bechi na kushangilia, gori lile, ata mwali Jackiline nae akiwa ameshikilia kijikaratasi chake, alijikuta anainuka na kushangilia, tena kwa sauti ya juu kabisa, huku akirusha rusha mikono yale na kusababisha kifua chek kilicho beba maziwa mazuri na magumu yenye chuchu mchongoko yatikisike kwafujo sambamba na makalio yake makubwa.
Naam hapo ndipo mchezo ulipo badirika, nan a kurudisha uhai kwa timu ya shule, ambayo ilirudi mchezoni, na paka wakati wa mapunziko walikuwa wamesha rusha magori mawili na kuwa manne kwa mawili, ata kipindi cha pili kilipoanza, Michael alikuwa kivutio kwa kila alie utazama mpira, huku nje ya uwanja wanafunzi wakianza kuulizia habari za mwanafunzi huyu mgeni, ikiwa ni kwa malengo tofauti, wakati wanafunzi wakiume wakivutiwa na uchezaji wake, huku wanafunzi wakike wakivutiwa na jinsi alivyo na kuita kuwa nae kimapenzi, asa ukizingatia leo usiku kunge kuwa na disco, ambalo idadi kubwa ya wanafunzi asa wale wanao jiamini kwa uzuri, kila mmoja akipanga kumnasa mwanafunzi huyu mgeni, ambae kikawaida asinge kuwa na mwanamke kwa muda ule mfupi, toka aje pale shuleni.
Hali iliwabadirikia maji maji, magori yakarudi yote manne, ata wakaamua kuingiza wachezaji wao wakutegemewa, wakina Stiven Mapunda, Kitwana Kondona wengine wengi, japo juhudu hizo zilizaa matunda lakini siyo kama walivyo walivyo kusuia, maana waliongeza gori moja tu! la tano, ambalo walilipata kwa mbindde kweli kweli, na kulilinda kwa nguvu zote, wakicheza rafu, na mazambi ya kila namna kwa Michael, mradi asilisogelee gori lao, tena kuna wakati walimsababishia maumivu kwenye kisigino, alionekana wazi akichechemea, mwalimu Jackline alijikuta akiumia roho, na kutamani mwanafunzi Michael atoke ili ampatie huduma ya kwanza, japo akuwa na dawa yoyote ya kumsaidia, Zaidi ya Panadol na bandeji pekee iliyokuwepo mlendani box lake, lakini Michael akajitaidi kucheza hivyo hivyo mpaka mpira ulipoisha.
Shangwe na vifijo nderemo na mayowe, vyote kwa pamoja vililipuka eneo lile la uwanja, wachezaji wa maji maji walimpa mkono wa hongera Michael, wakimshauri kuwa akimaliza masomo yake, ajiunge nao kwenye timu yao, pengine ndio kazi ambayo alipangiwa, mwalimu Jackline alipenda kwenda kuwammoja wawatu ambao wataenda kumpa mkono wa hongera kijana Michael, lakini kwabahati mbaya, wakati anapanga kumsogelea mwanafunzi yule, ghafla kundi la wanafunzi lilimvamia na kumbeba juu kwa juu, kisha kuondoka nae eneo la uwanja, huku wakishangilia, “hooo ! jamani hivi awaoni kama mwenzao alikuwa ameumia, si wange mwacha nimtibu kidogo” alijikuta akisema mwalimu Jackline Peter, huku anatembea taratibu kuelekea kwenye eneo la nyumba za walimu, kichwani mwake ikimjia taswira ya kijana Michael, alivyokuwa anacheza mpira kwa umahili na umaridadi mkubwa.
Naam hiyo ndiyo ilikuwa mala ya kwanza mwalimu Jackline peter anakutana na mwanafunzi wake Michael Eric, mwanafunzi mgeni na yeye akiwa ni mwalimu mgeni katika shule hii ya Namtumbo.
Naam Michael Eric, nikijana mwenye umri wa miaka ishilini kasoro miezi michache kwa kipindi hicho, alikuwa ameamia shule hii ya Namtumbo akitokea shule ya vulana, ya songea yani songea boys secondary school, ikiwa ni msamaa, kwa mbadala wa kufukuzwa kabisa toka shule hiyo, kutokana na kosa alilo lifanya, kosa ambalo mwisho wa siku lilikuwa ni siri baina yake na wazai wake, kosa ambalo nita kudokeza msomaji, na ninaomba liwe siri kati yako na yangu, kama walivyo kubaliana wazazi wa Michael na uongozi wa shule ya songea boys.*****
Ilikuwa hivi, Michael ambae ametokea kwenye familia ya mzee Eric Michael, mzee mwenye uwezo mkubwa wa kifadha, pale mkoani mkoani Ruvuma, fedha ambazo alikuwa anazipata kwenye biashara zake za viwanda na ukusanyani wa bidhaa toka nje, kama ile ya kuagiza bief za nyama yang’ombe toka Zambia, na kuziuza kwa bei za jumla, aliyiita E kwa maana ya Eric, Cow bief Com limited, pia ukusanyaji wa mazao ya nafaka makama mpunga mahindi, ngano, soya nk, kuzisaga na kuzisambaza Tanzania nzima na mchi za jirani kama msumbiji Malawi na Zambia, alicho kipa jina la mwanae Michael Mill company, ikiwa ni maandalizi kwa kijana wake huyu, pindi atakapo maliza shule, tuachache na biashara nyingi za mzee huyu, makama za mifugo, kilimo na kuuzaji Wanyama za kuku ng’ombe na maziwa pia, turudi kwenye mkasa wetu.
Hakika Michael japo kuwa alilelewa Maisha ya kifahali na raha, lakini wazazi wake walihakikisha anasoma vizuri, na kwa juhudi, na pia ana ana ishi kwa kufwata maadiri na mila za kitanzania, hivyo Michael ambae wazazi wake walikuwa ni waumini wa kikatoliki, alijitaidi kuhudhuria kanisani kila jumapili, toka akiwa mdogo ata alipokuwa kijana mkubwa, aliheshimu mkubwa na mdogo, aliogopa kila lililo baya, na kutenda kila lililojema, huku muda mwingi akiutumia kusoma na kucheza mpira katika timu yake ya mtaani, Michael alijichanganya na kila mtu, tofauti na vijana wengine, Watoto wa majiri, usinge fahamu kama ni mtoto wa mzee Eric, waschana wengi wa lika lake walipenda kuwa na Michael, kutokana na mwonekano wake watulivu na upole, pia na mwili wake ulio zowea mazoezi wenye urefu wa wastani, wapo pia wapo waliopenda kuwa nae, baada ya kugundua kuwa ni mtoto wa mzee Tajiri yani mzee Eric Michael, lakini Michael akuwa mrafi wa vitumbua, sababu kati ya vitu ambavyo mama yake mzazi alikuwa anampigia kelele, ni kuhusu waschana, alimsisitiza kuwa mwangarifu na kuogopa maradhi, na kusingiziwa ujauzito, maana kesi kama hizo zilisha tokea kwa baadhi ya Watoto wa majiri, sitopenda kuwataja, pengine sasa ni watu wazima wenye familia zao.
Tatizo lilianza siku moja ya jumapili, Michael akiwa kanisani pamoja na wanafunzi wenzake wa songea bosy, ambao idadi kubwa kati yao, walikuja kanisani kukutana na wascha wa songea girls secondary school wakati huo wanaita TAMSALA, ikiwa ni kufupi cha majina ya shule flani, ambazo wanafunzi wake walitimuliwa na kuletwa pale songea girls, hivyo mala baada ya kumaliza misa, ingewaona wanafunzi wana simama kwa pea na kuanza maongezi, yao, na kama wangekuwa na miadi ya kupeana tamu tamu, basi wange toka mapema kanisani na kuelekea sehemu wanayoitumia kufanyiana michezo yao, lakini kwa Michael ilikuwa tofauti kidogo, pasipo kujari kama alikuwa anaziba nafasi ya waschana kazaa ambao walikuwa wanaitaji dudu yake, yeye alipomaliza kusari uelekea nyumbani malamoja, tena alikuwa anapenda kutumia daladala.
Lakini leo wakati anatoka kanisa na kuagana na wenzake, iliwai stendi kupanda daladala, mala akasikia sauti toka nyuma yake, “Michael tusubiri” hapo Michael akasimama na kugeuka, macho yake yaka kutana na masister wawili wale wakanisani, wengine upenda kuwaita masister vilemba, ila jina zuri masister watawa, au kwakizungu wanaitwa Nuns, ambao walikuwa wanaumri unao linga na wake kabisa, Michael akatoa macho ya mshangao, akiwatazama masister wale, ambao kiukweli siyo kwamba akuwafahamu, au ilikuwa ni hajabu kuitwa na sister.
Hapana, Michael na wenzake walikuwa wanafahamiana nan a watawa awa, kutokana na kuwa, mala kwa mala uwa anakutana nao kwenye makongamano ya dini, lakini ukweli ni kwamba, wale masister walio msimamisha, kwanza ukiachilia kuto kuzoweana nao, masister wale vijana, pia mmoja kati ya wale masister aanamfahamu na mala nyingi sana amewai kujiuliza ni kwanini mschana yule mzuri ameamua kuwa sister, “au tunakuchelewesha Michael, ila nasisi tunaelekea upande wa sokoni tunaomba tuongozane” alisema sister yule yule ambae Michael alimuacha mdomo wazi, huku anaachia tabasamu ambalo lilisababisha vijishimo flani kujitokeza mashavuni mwake…
na kuongeza uzuri wake, “hapana sister, ila sikujuwa kama unanifahamu” alisema Michael, kwa sauti ya mshangano, huku anamtazama yule sister, ambae yeye na mwenzie baada ya kumfikia Michael wakaanza kutembea kulekea kule walikokuwa wanaelekea, ambako sasa walikuwa wanakatiza barabara iendayo pande wa mashariki, kwenda kutokea mtaani kwa kina Soraya Mahamud, “kwanini nisikufahamu Michael, ni kijana mzuri mpole upo tofauti na wenzako” alisema yule sister ambae sauti yake ninzuri na tamu, Michael akacheka kidogo, kisha kikatawala kimya kifupi, huku sister yule akitabasamu mala kwamala asa alipomtazama Michael na macho yao kukutana, “naitwa sister Judith, nakuona mala nyingi sana unakuja kusari kisha uonaondoka, kwani auna Rafiki wakike?” aliuliza sister yule ambae niwazi kabisa umri wake ulilingana na Michael, ambae alicheka kidogo, “hapana sister sina Rafiki wakike” alijibu Michael, ambae kiukweli kwamala ya kwanza alianza kuona wazi kutamani kitumbua “kwanini michael, mbona naona wanafunzi wenzako, wanaongea na waschana, au unafikili wanakosea..?” aliuliza sister Judith nah apo Michael, akageuka kumtazama yule sister mwingine ambae toka wakutane alikuwa kimya kabisa, akamwona yupo hatua kadhaa nyuma yao, ungesema alikuwa anawapisha waongee jambo flani nyeti, hapo michael akajibashiria kuwa, wanawake wale watawa, walikuwa wamepanga kutoa nafasi ile kwake, “hapana sister, nikwambaaaaa! Naona kama vile sijamwona mwanamke wakuwa Rafiki yangu, sababu wengi bado awajaturia” alijibu Michael ambae kiukweli mawazo yake yalikuwa tofauti na alicho kusudia sis Judith, ambae alimaanisha kuwa nimarafiki wakawaida, “unataka kusema wale ni wapenzi?” aliuliza Judith kwa sauti ya mshangao kidogo huku anatabasamu, “ndiyo bila shaka” alijibu Michael, huku safari yao ya taratibu ikiendelea, na yule sister mwingine akiwa mita kadhaa nyuma yao, hapo sister Judith akatabasamu kidogo, na kusogea ubavuni mwa michael, kisha kwa sauti ya chini iliyoambatana na kicheko cha aibu akauliza, “inamaana Michael ujawai kuwa na mausiano na mwanamke yoyote mpaka unatimiza umri huu?” wali la Judithi, lilimfanya Michael acheke kwa aibu kidogo, maana mpaka mtumishi huyu, anamwuliza kwa namna ya kutoamini basi kuna hatari ya kuonekana mshamba, “ndiyo, nimekuwambia kuwa sijampata mwanamke ambae anaweza kuwa mpenzi wangu” alisema tena Michael kwa sauti ya kujiamini, “hongera sana Michael” alisema sister Judith huku livuka jingo la mzee Mahamud, na kuelekea barabara kuu usawa wasoko kuu.
Kimya kilitawala kidogo, na sasa walianza kupisha na watu wengi maana walisha ingia kwenye eneo lenye watu wengi, “michael nimefurahi sana kwa ucheshi wako naomba week ijayo niwe mwenyeji wako utakapokuja kanisani, nazani tutakuwa na mengi ya kuongea” alisema Judith kwa sauti tulivu ile ya kisister kabisa, usinge kujuwa kuwa ni yeye aliekuwa anaongea na kucheka, mita kadhaa nyuma walikotoka, sasa ata yule sister mwingine alikuwa amesha wafikia, asante sana sister bila shaka, nitakuwa mgeni wako, asante kwa muda wako” alisema Michael, na kwamala ya kanza yule sister mwingine nae akaongea, “mungu akujalie yaliyo mema, uzidi kuwa na tabia ya ukarimu na upendo bila majivuno, kwa kila mtu” alisema sister yule ambae aliwazidi umri kidogo wawili awa, “asante sana sister” alisema Michael, na yule sister akamalizia, “baraka za bwana ziwe juu yako, na uende kwa amani”ndivyo walivyo agana, na kila mtu akashika njia yake.******
Kitu cha kushangaza kilitokea kwa Michael, ambae toka alipoachana na sister Judith alijikuta akiamsha hisia za mapenzi, juu ya sister Judith, ambae ukiachilia uzuri w asura na utamu wa sauti yake, pia maswali ya ndani ya sister yule vilimfanya michael atamani, kile ambacho alijitaidi kukikwepa kwa miaka mingi sana, nimeita acha kushangaza, sababu Michael aliweza kuwa kwepa waschana wengi sana, tena ambao walijileta wenyewe, wakiwa wanaitaji mapenzi yake, lakini leo anajikuta anamtamani yule sister, ambae akubanduka kichwani kwa siku kadhaa, huku hakiri yake, ikimtuma kuwa sister Judith anaitaji penzi lake ndiyo maana akamwuliza maswali yausuyo mausiano.
Hatimae ikawadia siku ambayo Michael alikuwa anaisubiri kwa hamu, siku ambayo sis Judith aliomba awe mwenyeji wake, ni ile siku ya jumapili, na kama kawaida ya Michael uwa anasali misa ya pili, misa ambayo kanisa ujazwa na vijana wengi, asa wanafunzi, na ata alipoisha Michael alisimama pembezoni mwa barabara itokayo majengo na kwenda KAHURU, inayotenganisha majengo ya watawa na kituo cha redio Maria, ambacho kilikuwa na miezi kadhaa toka kime anzishwa.
Michael akiwa ametulia pale barabarani, aliweza kuwaona wanafunzi wakiwa wamesimama wawili wawili, kwa pea ya mschana kwa mvulana, wengine wakitokea kanisani, na wengine wakitokea sehemu wanazo zijuwa wao wenyewe, na kuja pale kanisani, ili kuanza safari ya kurudi mashuleni ambako walitakiwa kuhesabiwa saa saba kabla ya chakula cha mchana, Micahel aliendelea kuwaza juu ya sister Judith, huku akitazama upande wa kanisani, kama angemwona sister lakini akumwona, na alipoona muda unaenda akaona bora aondoke zake, huku moyo una nyongea kwa kumkosa sister Judith.
Naam ile Michael anaanza kuondoka tu! akashtushwa na sauti toka nyuma yake, “Hoooo! Michael unawezaje kukata tamaa kumsubiri mwenyeji wako” Michael aligeuka na kumtazama alie msemesha, ambae sauti yake aikuwa ngeni kabisa masikioni mwake.
Nikweli alimwona sister Judith, ambae uso wake ulikuwa umetawaliwa na tabasamu pana, “nilizani umebanwa na kazi, ndio nilikuwa na ondoka zangu” alisema Michael, huku anatabasamu pia, na wakati huo pua zake zililikuwa zina nusa harufu nzuri ya mafuta ambayo jina akulifahamu, ila arufu yake ilikuwa inafanana na ile uya uwa ridi, (rose) “inabidi uwe mvumilivu kidogo Michael, asa unapo subiria kitu flani, aya karibu ndani mgeni, ukanywe japo kikombe kioja cha maziwa” alisema yule sisister,huku akiongoza kuelekea ndani na Michael akafwatia nyuma, huku hakiri zake zikizidi kuchafuka kwa tamaa ta kitumbua, maana ata hapa alikuwa anayatazama makalio ya sister Judith, alie tangulia mbele yake, kuingia ndani ya uzio mkubwa wa eneo la watawa.*****
Sehemu Ya 6
Nikweli alimwona sister Judith, ambae uso wake ulikuwa umetawaliwa na tabasamu pana, “nilizani umebanwa na kazi, ndio nilikuwa na ondoka zangu” alisema Michael, huku anatabasamu pia, na wakati huo pua zake zililikuwa zina nusa harufu nzuri ya mafuta ambayo jina akulifahamu, ila arufu yake ilikuwa inafanana na ile uya uwa ridi, (rose) “inabidi uwe mvumilivu kidogo Michael, asa unapo subiria kitu flani, aya karibu ndani mgeni, ukanywe japo kikombe kioja cha maziwa” alisema yule sisister,huku akiongoza kuelekea ndani na Michael akafwatia nyuma, huku hakiri zake zikizidi kuchafuka kwa tamaa ta kitumbua, maana ata hapa alikuwa anayatazama makalio ya sister Judith, alie tangulia mbele yake, kuingia ndani ya uzio mkubwa wa eneo la watawa.*****
Naam sister Judith alimwongoza Michael mpaka ndani ya uzio huu mkubwa ulio zunguka nyumba nyingi sana, zikiwepo hoster za watawa wakike, na majengo ya kituo cha redio Maria, wakaelekea eneo moja tulivu lenye vibanda vidogo vidogo vya wazi, yani mizurungi au midure kama vitano hivi, vilivyo jengwa mbele ya kijumba flani kidogo cha vioo, maalumu kwa kuuzia mikate cake na maziwa, sehemu ile walikuta watu kadhaa wamekaa kwenye midure wakiongea huku wanakunywa mziwa na cake, na wao wakachagua kibanda ambacho akikuwa na watu, wakakaa wawili tu!, walikaa kwa mtundo wa kutazamana, wakitenganishwa na meza, wakiagiza maziwa na cake, “nilikukumbuka sana Michael, ila natumaini ulifika salama” alisema Judith, mala baada ya kuletewa vile walivyo agiza, mlipaji akiwa ni Michael, “nilifika salama, na mimi nilikukumbuka sana” alisema Michael kwa sauti tulivu, huku akiachia tabasamu la kiume lililojaa uchokozi, lakini macho yake yalikuwa yanajaribu kutathmini mwili wa mwanadada huyu mtawa, japo nguo alizovaa ziliuficha mwili wake, japo kuna baadhi ya viungo vya Judith vilionekana vikiwa vimetuna kidogo, kama eneo la mapaja, makalio na kifua chake, “ulinikumbuka kwa lepi Michael, inabidi utumie muda wako kwenye masomo na Rafiki yako wakike…” alisema Judith huku anatabasamu, na alisha yaona macho ya Michael, yalivyo kuwa yana utazama mwili wake, kwa matamanio, “sina Rafiki wa kike, nilikuambia toka siku ile” alisema Michael kwa sauti ambayo licha ya utulivu, pia ilikuwa nzito ilio ambatana na tabasamu la kiume, na macho ameyakaza usoni kwa sis Judith, ambae pia alimtazama na macho yao yaka kutana, sister Judith akatazama chini kwa aibu, akikwepesha macho yake, na tabasamu “hooo! ulisema auna Rafiki wa kike” alisema Judith, ambae kiukweli mwili wake ulisisimkwa kwa mtazamo hule wa Michael, ambae ni mvulana wa kwanza kuwa nae karibu kwa miaka mingi sana iliyopita, kipindi anasoma shule ya msingi, “lakini…. Kwanini auna Rafiki, unanzani wenzako wanafanya vibaya, kuwa ma marafiki wakike?” aliuliza sis Judith ambae alikuwa anajitaidi kukwepesha macho yake yasi kutane na macho ya Michael, yaliyo jaa ushawishi mbaya, “ni vibaya, lakini urafiki unafaida pia, sema mimi sikuwa nimepata aina ya mschana ninae mwitaji” alisema Michael kwa sauti ile ile nzito na tulivu, ambayo ilizidi kumsisimua sister Judith, “mh! Michael unaitaji Rafiki wa aina gani, maana niliona hupo sahihi kuwa mwenyewe bila mschana” alisema sister Judith, akimtazama Michael usoni, ambae pia alikuwa anamtazama kwa macho legevu huku analamba midomo yake ya chini, iliyokuwa katika tabasamu mwanana, lenye ushawishi, ambalo alikumwacha salama matwa huyu, ambae kwa mala ya kwanza baada ya muda mrefu kupita, akajikuta anawaza kuhusu dudu, ambayo akuwai kuipata katika Maisha yake, na akufikilia kuiruhusu ipenye kwenye kitumbua chake, “unapenda kujuwa naitaji mschana wa aina gani?” aliuliza Michael kwa sauti ile ile huku anamemkazia macho Judith, ambae kila alipojaribu kumtazama Michael, alishindwa na kutazama chini, huku anatabasamu, na kuitikia kwa kichwa kuwa anaitaji kujuwa, “nimschana mwenye sifa kama zako” alisema Michael, na kumfanya Judith asisimkwe mwili mzima, kiasi cha kuhisi mkojo una mbana, “mh! Unamaanisha unapenda sister mtawa?” aliuliza Judith, kwa sauti ya chini, iliyojaa mshangao, akijaribu kumtazama Michael, ambae ilikuwa zamu yake kutazama chini kwa aibu, ukichukulia ni mala yake ya kwanza kuongea hivi mbele ya mwanamke tena mtawa, “siyo sister tu! ila niwewe” alisema Michael ambae alijaribu kumtazama Judith, ambae nae alikwepesha macho yake, “mungu wangu, unamaanisha unanipenda?” aliuliza Judith, kwa sauti ya mshangao mkubwa………… endelea………… kufwatilia hadithi hii
Huku anajihisi kusisimkwa kwa mastaajabu, “ndiyo sis Judith, labda nikueleze kitu, mimi toka nikiwa mdogo sikuwai kujiingiza katika mapenzi, na sikufikiria kufanya hivyo hivi karibuni, lakini uwezi amini, toka jumapili iliuopita nikuone, nime tokea kukupenda sana” alisema Michael, kwa sauti ile ile tulivu nanzito ila iliyojaa ushawishi.
Naam Judith alitulia kidogo, kama mwenye kuwaza jambo zito, kisha akashusha pumzi nzito, kama vile amechoshwa na jambo, kisha akasema, “lakini unafahamu kuwa aiwezekani, sababu mimi ni mtawa na ninakaribia kufunga nadhiri (ni hatua kubwa sana katika maisha ya watawa)” alisema Sister Judith kwa sauti tulivu, “najuwa sister, lakini tafadhari naomba usiniache niumie roho yangu, kwaajili ya upendo” alisema Michael kwa sauti ambayo ilikuwa inatoka kwenye upole na kwenda kwenye kutia huruma, sijuwi alifanya makusudi, aliona kuwa anaelekea kukataliwa, sister Judith akatoa macho kwa mshtuko na mshangao akimtazama Michael, “mh, Michael unamaanisha nini, mbona kama sijakuelewa vizuri?” aliuliza Judith kwa sauti ambayo iliendana na sura yake ya mshangao, Michael aka jitaidi kumkazia macho sister Judith, maana aliona kuwa akilegeza atapigwa chini, “nakupenda sister Judy, hakika sijawai kupenda kama hivi hapo kabla, naamini tuta fanya siri hakuna atakae juwa, nitaitunza heshima yako, tena sito kusumbua mala kwa mala” alisema Michael kwa sauti ya chini, iliyo jaa msisitizo, huku bado akimtazama sis Judith, kwa sura iliyo jaa huruma, sis Judith akazidi kushangaa, “unamaana Michael gani unataka tuzini, yani unataka tufanye mapenzi?” aliuliza Judith, kwa sauti ambayo sasa iliambatana na aibu, iliyosababisha ashindwe kumtazama Michael usoni, Michael nae akaanza kuitikia kwa kichwa, akimalizia kwa kwakusema, “lakini itakuwa siri yetu, nakuahidi sito mwambia mtu yoyote”
Hapo Judith akatulia kidogo, akitafakari kwa sekunde kadhaa, kabla ajainua usowake ulia umba tabasamu lililojawaa na aibu, na kushindwa kuvumilia akatazama chini, huku ananyoosha mkono wake, na kulaza kiganja chake, juu ya kiganja cha mkono wa Michael, “sikia Michael, umenipa mtihani mkubwa sana, ila naamini kuwa itakuwa safi, naomba nipe muda nitafakari kidogo, kisha nita kujibu, naamini utafurahi na kuridhika pia” alisema sister Judith, kwa sauti tulivu ya chini iliyo jaa upole na upendo wa hali ya juu, naam ile kushikwa mkono Michael alisisimkwa na moyo wake ukajawa na amani kubwa sana, joto la mkono wa Judithi lilimsisimua na kumfanya dudu yake ianze kututumka, huku harufu ya marashi ya mafuta aliyo jipaka sister Judith ikizidi kupenya puani kwake, na kuzidi kumletea labsha kwenye dudu yake, ambayo ata aliposimama wakati wakuondoka, ilionekana wazi machoni mwa Judith, jinsi ilivyo simama, na kutuma ndani ya suruali, kiasi cha kumfanya Judith atabamu na kutazama chini kwa aibu, “pole sana Michael, mwaliko wangu unakutesa” alisema Judith, akimweleza Michael ambae alijuwa amepewa pole ya nini, maana aliona wazi jinsi sis Judith alivyo iona dudu iliyokasirika.*****
Sehemu Ya 7
Naam zilipita siku tatu, Michael akienda shuleni huku akisubiri kwa hamu siku ya jumapili, siku ambayo aliamini kuwa angeenda kupata majibu yake kwa sis Judith, majibu ambayo aliamini kuwa yatakuwa mazuri kama alivyo ambiwa, lakini, Jumapili aikufika, ilifika siku ya alkhamis asubuhi, siku ambayo Michael aliitwa ofisini kwa mwalimu mkuu, ambako alishtushwa na watu aliowakuta mle ndani, ukiachilia mwalimu wa taaluma, na wanidhamu waliokuwepo na mwalimu mkuu, pia kulikuwa na baba yake mzazi, ambae alikuwa amekunja uso, na kilicho mshtusha Zaidi, ni kitendo cha walimu wale pamoja na baba yake, kuonekana wakisoma karatasi flani, huku wakipokezana, kila mmoja akimaliza usoma anamatia mwenzie, na kila alie soma aliishia kutikiasa kichwa kwa masikitiko, “shikamoni” alisalimia Michael kwa sauti iliyojaa tahadhari, salami ambayo iliitikiwa na mwamu mkuu peke yake, tena kwa sauti kavu na bila kumtazama usoni, ukweli Michael alikuwa katika wakati mgumu sana, maana akujuwa nini kilikuwa kina endelea, na alikuja kufahamu dakika chache baadae, ni baada ya mwalimu wa nidhamu kumkabidhi kile kipande cha karatasi, “ebu soma ulichoandikiwa kisha utujibu maswali yetu” alisema mwalimu yule nah apo huku ana anatetemeka, Michael akaanza kusoma kile kilichoandikwa kwenye ile karatasi, ambacho baada ya kutazama tu, akagundua kuwa ni barua, tena mbaya Zaidi ilikuwa na anuani ya mwandishi ambae alikuwa anatoka jimbo kuu la songea, na si mwingine ni sis Judith.
“Mpendwa Michael, nimekaa na kutafakari ombi lako la kuwa na mimi kimapenzi, na nimeona nikueleze kama ifuatavyo, kiukweli wewe ni kijana mzuri ambae akuna mwanamke anaweza kukataa kuwa na wewe, ata mimi na kupenda sana, lakini bahati mbaya, dini na Maisha niliyo ya chagua, ayaniruhusu kuwa na mwanaume, Michael mpendwa unafahamu kuwa mimi ni sister mtawa, na ninakaribia kufunga nadhiri, hivyo naomba unisamehe, sitoweza kufanya hivyo, lakini sito kuacha hivi hivi, naomba nikusaidie kumpata mschana ambae anasifa ambazo unaziitaji, mschana ambae ukiwanae utanikubuka mimi, mschana ambae utampenda kama mimi, naomba tukutane tena jumapili, pale pale tulipokutana, wako akupandae na kukujari sister Judith” hivyo ndiyo ilivyo someka ile barua, ambayo ilikuwa inatoka kwa mtawa Judith, hakika Michael aliishiwa pose, ni wazi barua ile ilitumwa kwa njia ya poster, na kupokelewa na ofisi ya mwalimu wa nidhamu, ambae anadhamana ya jambo ilo, na mala zote uwa anafungua barua zote binafsi za wanafunzi, na kuzisoma kama zinazingatia maadiri.
“Michael, unamfahamu alie kuandikia hiyo barua” aliuliza mwalimu mkuu kwa sauti kavu, ambayo ilionyesha kuchukiza na jambo lile, maana katika vitu ambavyo mwanafunzi akutakiwa kujiusisha navyo, ni swala zima la mapenzi, ata kwa bahati mbaya, endapo ingebainika, adhabu yake ni kufukuzwa shule moja moja, “ndiyo namfahamu, nisister Judith wa pale jimboni” aljibu Michael kwa namna flani ambayo ungesema kuwa akuwa amefanya kosa lolote.
Hapo baba yake yani mzee Eric, akainua uso na kumtazama usoni kijana wake huyu wa pekee, kwa macho ya mshangao pengine alizania kuwa angejitetea kidogo, “lakini Michael si unafahamu kuwa kwa sharia za shule yenu nikosa kujiusisha na mapenzi?” aliuliza mzee Eric kwa sauti ya masikitiko, “lakini baba siyo sija fanya nae lolote, siyo mwanamke wangu” alisema Michael, nah apo mwalimu wa nidhamu akadakia, “lakini tayari umesha onyesha utovu wa nidhamu, kwa kumtaka kimapenzi” alisema mwalimu huyu wa nidhamu, na mwalimu mkuu akadakia, “tena bila kujari kuwa ni sister” aliongea mwalimu mkuu kwa sauti iliyo jaa hasira, “anaonyesha ni jinsi gani amekubuhu katika uzinzi, yani akuweza kuwaona ata washana wa songea girls, mpaka uwafwate watawa wakanisani?” aliongea mwalimu wa nidhamu, na hapo, waka mshambulia Michael kwa dakika kadhaa, kabla ya kumtangazia hukumu yake, “sasa Mzee Eric, tunamsimaisha shule Michael kwa muda usio julikana, huku anasubiri bodi ya shule ikae na kutoa maamuzi juu ya hatima yake, kama aendelee na shule au fukuzwe kabisa” mpaka hapo mzee Eric, ambae alikuwa njia panda asijuwe kama alahumu mwanae kwa kutongoza sister, au achukulie kwamba ni moja ya hatua za ukuwaji wa kijana wake, ambae kwa umri alionao, angepaswa kuwa na Rafiki wa kike, “mwalimu nimewasikia na sina la kuwachagulia, kuhusu hukumu, ila ninaombi moja, sababu bado hamja mfukuza kazi Michael, naomba mnipe uhamisho, ili akasome shule binafsi” ili ndilo lilikuwa ombi la mzee ambae siyo tu kuwa Tajiri na kufahamika hapa mkoani, pia alikuwa anaheshimika sana, walimu awakupinga ombi lake, hivyo Michael akaandikiwa uhamisho na kuamia Namtumbo secondary, huku baba na mama yake kila mmoja akimpa onyo na maelezo tofauti.
Wakati mama akimsisitiza kuachana na habari za mapenzi, na kuweka hakiri yake kwenye masomo, huku baba akimweleza kijana wake kuhusu, umakini pale anapotaja kufanya jambo flani, “najuwa kwa sasa unaitaji kuwa na mwanamke, sababu umri wako una luhusu, lakini unapo amua kuwa na mwanamke, ebu jaribu kuchagua mwanamke ambae, ata ikitokea bahati mbaya ume mpatia ujauzito, basi anaweza kuwa mke au mchumba kwa hapo baadae, siyo unaanza kujilahumu, na kumtelekeza, kwamaana uwezi ata kumwonyesha mbele za watu wengine” alisema mzee Eric, ambae akuishia hapo, alizidi kumweleza mwanae kuwa, ajitaidi kufanya mambo yake kwa siri, na kwakutumia hakiri, huku anazingatia masomo kwa huo mwaka mmoja uliobakia, wa kumaliza kidato cha sita.*****
Hiyo ndiyo sababu ya kijana Michael kuamia Namtumbo sekondari, msimu huu mpya, wa kidato cha sita, ambae siku yake ya kwanza kushiriki mechi ya kirafiki ilimfanya afahamike na kujichukulia umaarufu mkubwa sana, huku wanafunzi wenzake wakimtoa uwanjani, kwa kumbabe juu juu, kwa shangwe na vifijo, huku kelele na nyimbo za ushindi zikisikika, wanafunzi wakike nao awakubakia nyuma, walisindikiza msaafara huo mpaka kwenye mabweni ya wavurana, na kurudi kwenye mabweni yao kwaajili ya kujiandaa kwa chakura cha jioni, kisha wange elekea bwaloni, kwaajili ya music ambao ungeushia saa sita za usiku.******
Eneo la makazi ya walimu wa shule hii ya namatumbo, yalitenganishwa kwa barabara na eneo la madarasa ya shule hii kongwe, pamoja na bwalo la shule na bweni ya wafurana, huku upande wa magharibi mwa eneo la makazi ya walimu, kukiwa na mabweni ya wanafunzi wakike, na jiko la shule.
Nyumba za walimu zipatazo saba, zilikuwa zime jengwa kwa kuachiana nafasi kubwa, ya kati ya mita hamasini kila nyumba, hivyo ilifanya kila baada ya nyumba ungekuta kichaka au shamba dogo la maindi au viazi na mihogo, ukweli eneo ili lilikuwa tulivu kidogo, maana ukiachilia kukosekana kwa umeme, pia baadhi ya nyumba azikuwa zikikaliwa na watu, ni nyumba nne tu! kati ya saba ndizo zilikuwa zinakaliwa na walimu, huku nyumba mbili pekee, ndizo zilikuwa zina kaliwa na walimu wenye familia, ikiwa ni nyumba ya mwalimu mkuu, na mwalimu wa nidhamu, yani mwalimu Haule, au Njwanga kama walivyo mbatiza wanafunzi wake, ambao walikuwa wanalithishana jina hilo kila mwaka.
Nyumba nyingine kati ya zile nne, ni nyumba ya mwalimu Nyoni (charanga) na mwalimu Mbele, mtu na mpenzi wake walio amua kukaa nyumba moja, huku nyumba ya nne ukiachia hii ya walimu Jackline, alikuwa anaishi mwalimu Charles Kambuzi, walimu wengine wengi ambao walikuwa ni wenyeji wa hapa Namtumbo, walikuwa wanakaa Namtumbo mjini, idadi kubwa ikiwa ni walimu waliostaafu serikalini, na kuamua kujishikiza hapa Nandungutu.
Mwalimu Jackline Peter akiwa amebanwa na mkojo toka uwanjani, alifika nyumbani kwake, akipanga kuwa akajiandae kwenda kuoga kisha, akishaoga, avute muda kidogo mpaka kwenye saa mbili za usiku, ndipo ale chakura chake alicho akiandaa kabla ya kwenda kwenye mpira, kisha akalale, maana akuwa na mpango wa kwenda kwenye disco, aliingia ndani, ambako aliweka lile box la huduma yakwanza mezani, pale sebuleni, sebule ambayo ukiachilia, meza ile ndogo, kulikuwa na sturi mbili moja ikiwa imewekewa meseni lililoifadhiwa vyombo vya kulia vhakura, yani sahani vikombe vijiko bakuri nk, usingeshangaa wala kujiuliza kuwa mwenyenyumba alikuwa anaanza Maisha, Zaidi ya hapo akukuwa na kitu chochote ambacho kiliongezeka pale sebuleni, labda mkeka, ambao mwalimu Jackline aliuweka pale sebuleni, kwaajili ya kupunzikia mchana, wakati kura au kujipunzisha kawaida.
Naam Jackline ambae akuwa na mpango wa kwenda disco usiku ule, alichukuwa ndoo ya maji ambayo ilikuwa na majinusu, huku akitafakari mchezo wa mpira wamiguu, aliokuwa ametoka kuutazama, hakika ulimvutia sana, na akutegemea kuvutiwa na mchezo ule, “bila yule mwanafunzi, tunge bugizwa mengi sana” aliwaza Jackline huku anawai mlango wa uwani, na mdoo yake ya maji, kwaajili ya kukimbilia chooni, maana mkojo ulisha mbana toka akiwa njiani, na alifanikiwa kufika chooni, ambako kulikuwa na choo cha nje peke yake, akapandisha gauni lake haraka, na kushusha nguo yake ya ndani, kisha akachuchumaa kwenye sink la choo, ambapo kilifwatia, “mwaaaaaaaaa!” na ndio wakati ambao, mwalimu huyu mschana mrembo alipogundua kuwa bado alikuwa ameshikilia karatasi mkoni mwake, akaona itakuwa vyema akitumia muda huo kuliangalia lile karatasi, lililotoka kwa mwalimu wake wa nidhamu.
Naam ile analikunjua na kuanza kulisoma, mwalimu Jackline ambae alisha tegemea ujumbe ule ndani ya karatasi, alijikuta ana kunja sura kwa mshangao na fadhaa, “mwalimu nitakuja baadae, nyumbani kwako, mida ya saa mbili za usiku, kuna jambo lina nisumbua juu yako, naitaji tulijadiri kwa pamoja, naimani wewe ni mtu mzima na unaelewa ninacho maanisha” Jackiline alijikuta ana ishiwa nguvu za miguu, kwa ujumbe ule……….
Sehemu Ya 8
“jamani awa wanaume wananitakia nini, kweli kizee kama kile nacho kina nitaka” aliwaza Jackline huku ana liweka lile karatasi kwenye sink, la choo na kuanza kujinawisha kwa bibi, kisha akasimama na kupandisha chupi yake, ambayo ungesema ni ndogo, kutokana na jinsi ilivyokuwa inapita kwa shida, kwenye mapaja manene ya mschana huyu, na balaa ilipofika kwenye makalio, ungesema itachanika.
Nalipomaliza alimaliza akashisha gauni lake, na kumwagamaji kwenye sink, ambapo ile karatasi ilienda na shimoni, kisha yeye akatoka na kuelekea chumbani, aka washa taa yake ya kandiri, “hapa sikai tena, huyu mpuuzi akija akute nyumba tupu, ye mshenzi nini, wakati anasisitiza wanafunzi wasifanye mapenzi, alafu ananivizia mimi ambae nisawa nab inti yake” aliwaza Jackline ambae aliingia chumbani kwake na kuvuanguo zake zote kisha akaandaa nguo za kuvaa akitoka kuoga , ikiwa ni gauni flani jepesi, na chupi moja matata aina ya bikini, aina ya nguo ambayo upend asana kulalia, baada yah apo akaelekea bafuni kuoga, akipanga kuwa akisha oga aelekee bwaloni, ambako atavuta muda mpaka, mida ya saa tatu, kisha aje alae na kulala.******
Michael akiwa mwenye maumivu ya mguu, eneo la kisigino, alioga na kujiandaa kwaajili ya chakura, na kwakuwa chakura cha shule hii ya wazazi, kilimpa wakati mgumu, kutokana na uafifu wake, akuangaika nacho kwa muda huo wa saa kumi na mbili iliyokuwa inaelekea saa moja kasoro, na kupanga kuwa ataenda kununua ubwabwa kwa babu chenga.
Michael alijifunga clip bandage, kwenye kisigino chake, na kuendelea kuvaa taratibu, huku wenzake wakiangaika na sahani zao, kuelekea kwenye bwalo la chakura, japo wapo baadhi ambao awakuwa na mpango wa kwenda kwenye chakura cha shule kama yeye.
Naam kuna kitu ambacho Michael akikuweza kumtoka kichwani mwake, licha yay a mambo mengi ya kufurahisha kutokea hapa katikati, nacho ni kile kilicho mtokea kule kwa sis Judith, alikumbuka jinsi alivyokuwa anaongea na sis Judith, siku ile anamtongoza, “mbona, alionyesha kukubari kabisa, alafu akaghairi ghafla?” alijiuliza Michael, ambae bado alikuwa anaendelea kuvaa katatibu, nguo ambazo alipanga akaingie nazo kwenye welcome form five, “lakini siyokosa lake, sababu yeye alinijibu vizuri tu, sema kimbele mbele cha DP, kufungua ile barua” aliwaza Michael ambae alijuwa fika asingeza kuvaa viatu vya kutumbukiza, maana licha ya kufunga kisigino chake kwa clip bandage, pia bado alikuwa anasikia maumivu kwambali.********
Saa moja na robo, music ulianza kusikika kwambali, ukiashilia unatoka bwalo la la mikutano la shule, ndio mida ambayo mwaliamu Jackline alie valia gauni jepesi, koti la baridi, na viatu vya mikanda, alifunga mlango wa nyumba yake, na kutoka zake taratibu, kueleka upande wa mabweni ya wanafunzi, huku akiwa makini sana kutazama huku na huko, asije akakutana na mwalimu Haule, ambae alipanga mida ya saa mbili angekuja kwake.
Njiani mwalimu Jackline alianza kukutana na wanafunzia ambao awakuweza kumpatambua kwa haraka, kutokana na giza, na pia kulingana nao kwa kimo, japo yeye aliwazidi kwa umbo lake matata, kwa jinsi hiyo mwalimu huyu mlimbwende aliweza kuwasikia wanafunzi waki wakizungumza juu ya mchezo wa mpira wamiguu ulioisha muda mfupi uliopita, kati ya timu yao na timu ya maji maji, huku maongezi mengi yakiwa ni juu ya mwanafunzi mgeni wa kidato cha sita, aliefahamika kwa jina la Michael, ambae nikama alikuwa nyota wa mchezo, “mkaka mzuri yule jamani” mwalimu Jack aliweza kuwasikia wanafunzi wa kidao cha pili, waliokuwa wanaelekea bwaloni, “yani ukimpata yule, mbona mpaka raha” alijibu mwingine, huku mmoja wao kati ya wale sita walio ongozana akidakia, “tena anaonekana anayajuwa mambo, si umeona alivyonanguvu, akikushika tu chupi inalowa” hapo wote wakacheka, kabla awajashtukia kuwa wanapishana na mwalimu na kujikausha kisha kuongeza mwendo kupishana na mwalimu huyu, ambae pia alihamishia hisia zake kwa mwanafunzi yule, ambae kiukweli ndie mwanaume wa kwanza kumtazama kwa mtazamo tofauti, japo alijizuwia asimuwazie kimapenzi.
Mwalimu Jackline akuishia hapo kusikia vibweka vya wanafunzi wake, ambao idadi kubwa nikama alikuwa anashea nao lika, maana alipofika usawa wabweni la kwanza la wanafunzi wakike, akakuta maongezi na hadithi zote zilikuwa ni juu ya mwanamfunzi Michael, “sijuwi nifanyaje nimnase yule mkaka?” ilikuwa sauti ya kike toka ndani ya bweni ilo, “sikia hidaya, tukiingia tumtafute, tukimpata unamganda mpaka mwisho, akikusemesha tu! wala usi mzungushe, mchangamke kweli kweli” alishahuri mwingine, na hapo mwalimu Jackline akaamua kutulia nje ya bweni ilo ilikusikiliza maongezi ya wanafunzi hao, “nyie jisumbueni tu, ole nione mtu anamsogelea, yule atakuwa wangu, tena mimi ni form six mwenzie” ilisikika sauti nyingine ya kike iliyojaa ukorofi, “ lakini dada mariamu wewe siunasemaga utaki wanafunzi wenzako?” aliuliza mwanamfunzi mmoja kwa sauti ya kulalamika, “nilisemaga, lakini huyu nimeamua, najuwa wanafunzi awa ela ya kunipa, lakini najuwa ata nitomb.. vizuri, na mimi ndie nitakuwa nampa ela” alisema huyo Mariamu ambae alinyesha kuwa licha ya kuwa mwanafunzi lakini alikuwa amekubuhu, katika maswala mazima ya kuchezea dudu, kauri zake zilimfanya mwalimu Jackline ashtuke na kusisimkwa na mwili wake, kiasi cha kuhisi kidudu flani kina cheza kwenye kunde yake ambayo aikuwai kuijuwa dudu, mpaka siku hiyo ya tukio, “lakini dada mariamu, ungeniachia mimi, au kama vipi basi kila mtu afanye kwa wakati wake” ilikuwa ni sauti ya yule mwanafunzi waknza iliyo onyesha unyonge na malalamiko.
Mpaka hapo mwalimu Jackline aliona kuwa maongezi yale, yanamzidi kimo, japo yaliongelewa na mwaschana aliowazidi umri na madaraka, hivyo akaondoka zake, kulekea bwalo la mikutano ambako disco lilikuwa linaendelea, huku wanafunzi wengine wakiendelea kujiandaa na wengine wakielekea huko, ata wale alionongozana nao, bila wao kumfahamu, nao waliendelea kupanga vita ya kumpata Michael Eric, “yule dawa yake ndogo, nikumnunulia maandazi kila siku, mpaka yeye mwenyewe anaamua kuingia mzima mzima” ni baadhi ya mipango ya wanafunzi wakike, waliokuwa wamevalia nguo zao safi na wengine wakijifunga kanga chini, mwalimu Jack akuelewa maana ya mwanafunzi hao, ambao awakujuwa kuwa kuhusu fedha kwa kijana huyu, aikuwa tatizo, maana kwa umri mdogo aliokuwanao, tayari baba yake alisha mfungulia kampuni ya kukusanya na kusaga nafaka, nakusambaza nafaka hizo.*******
Saa mbili kasoro, ndio mida mbayo Mwanafunzi Michael alitoka kwenye bweni ambalo alikuwa anaishi, na kuelekea kwenye jiko la shule, sehemu ambayo pia kulikuwa kunafanyika biashara ya ubwabwa wa babu chenga, Michael alitembea taratibu kwakujivuta na ule mguu wake, ulio umia, ambao alikuwa ameufunga kwa grip bandage, huku ameuvalia viatu vya wazi, yani sendo, akivalia suruali ya jinsi na tishet zuri lenye zip nusu, huku shati ilo lenye mtindo wa nusu sueta, lenye shingo ndefu, kipindi hicho yakiitwa pull neck, lilikuwa jeupe, lililo bana mwili wake, nakuonyesha, jinsi mwili huo wa mazoezi, ulivyo jigawa gawa, kifua kilionyesha vizuri mkono ulionekana, ata vile vibox vya tumboni, navyo vilionekana vizuri, na kufanya ilenguo impendeze na kuvutia machoni pa Watoto wakike aliokuwa anapishana nao, wakielekea kwenye bwalo la disco, ambao awakuacha kumsalimia salamu ndefu defu zile ambazo upatikana asubuhi, salamu ambalo ziliambatana na vijitabasamu na vijicheko vilivyo ambatana na aibu ya kujifanya.
Naam Michael alipofika kule jikoni, ambako kunauzwa ubwa ubwa, akakuta chakura hicho adimu kimesha isha, na babu Chenga, alisha ondoka zake, sababu yeye alikuwa anakaa Kijiji cha mianzini, ambako ni kilomita nne toka pale shuleni, “dah! Nitakula wapi?” alijiuliza Michael huku akishika kiuno chake, kwa uchovu wa mshangao, na kutazama kushoto na kulia, ata yeye akkujuwa anatazama nini, akaona ni vyema aelekee bwaloni akaulize kihusu, sehemu nyingine ambayo anaweza kupata chakura, maana kuitafuta Kesho saa nne, mida ambayo ange kuwa Namtumbo mjini, ambako ange kunywa chai baada ya kutoka kanisani, ilikuwa ni inshu nyingine, “dah, ninge juwa ninge agiza mapema” alijiwazia Michael huku anatembea kwa kujivuta kueleka bwaloni, ambako sasa sauti ya music mkubwa ilikuwa inasikika.*******
Naam kwenye eneo la nyumba za walimu, bado kulikuwa kimya kabisa, giza lime tawala, alionekana mwalimu Haulie mwalimu wa nidhamu, akitemba haraka na kwa umakini mkubwa kuelekea kwenye nyumba ya mwalimu ya Jackline, ni wazi akutaka watu wamwone, huku moyoni mwake akiwa anaimani kwa hasirimia miamoja kuwa usiku waleo anaenda kula kitumbua cha mwalimu huyu mgeni mschana mdogo alie umbwa akaumbika.
Nimzee wa makamo, ambae licha ya kuwa na miaka hamasini na nne, lakini alisha wai kufukuzwa kazi katika shule mbili, ikiwa ni shule ya serikali, ambayo ilikuwa ya kwanza kuifundisha, ni baada ya kupata kesi ya kutembea na kumjaza mimba mwanafunzi wakike, wakidato cha kwanza, (kipindi hicho akukuwa na sharia kali za ngono juu ya wanafunzi) na shule ya pili ni Pelamiho girls, ambako pia alifukuzwa kwa kesi kama hiyo, japo hii ilikuwa ni ya ushawishi wa kingono, kwa kutumia adhabu za viboko na kazi ngumu, kwa mschana huyo wa kidato cha tatu, ambae alishindwa kuvumilia na kueleza wazazi wake, ambao walishauriana na walimu na kuamua kutega mtego, ambao ulimnasa Njwanga alie ambulia kufukuzwa kazi.
Na hapo ndipo alipo ajiliwa na jumuhiya ya wazazi, kama mwalimu, katika shule ile ya Namtumbo, ambako alifundisha kwa miaka sita na kupewa wadhifwa wa kuwa mwalimu wa nidhamu, ambao alianza kuuumia vibaya kwa kutembea na wanafunzi, na walimu vijana, ndio maana alipomwona mwalimu Jackline Peter Mbilinyi, nae aka tamani kumkamua, akiwa na uhakika kuwa lazima angekula kitumbua kilichonona cha mschana yule ambae kiukweli kama ni tunda, ungepaswa kulitoa mtini na kulitafuna bila kulimenya, wala kuliosha, sababu tayari lilikuwa lina vutia na kuleta uchu machoni kwa mtazamaji, alikuwa na nuhakika wakumpata, kutokana na madaraka na nguvu aliyopewa pale shuleni na jinsi kamati ya shule ilivyokuwa ina mwamini, maana ata nafasi ya mwalimu Jackline pale shuleni, ilipatikana kwa ushawishi wa yeye mwenyewe mwalimu Haule.
Lakini kinyume na matarajio yake, ile anafika nyumbani kwa mwalimu Jackline, akakuta mlango umefungwa na sebuleni kuna giza totoro, huku chumbani kwa mwalimu yule wakike kukiwa kuna waka taa ya kandiri, hivyo akahisi kuwa mwalimu Jackline atakuwa chumbani, nae akaenda upande ule wa chumbani, mpaka usawa wa dirisha, na kugonga dirisha lile taratibu, huku akiita kwa sauti ya chini, “miss Jack!! Miss Jack” aliita mwalimu Haule, lakini akujibiwa na mtu yoyote toka kule ndani, akarudia tena kugonga na kuita, lakini ikawa kimya, licha ya kurudia mala kdhaa, lakini patupu, akuna ata sauti ya panya aliyo isikia, ata alipojaribu kuchungulia ndani kwa kupitia dirisha lile, akuona mtu yoyote, mle ndani ya chumba, Zaidi ya kitanda kilicho tandikwa vizuri sana, “kumbe alisha jiandaa kabisa, sasa ameenda wapi?” alijiuliza mwalimu Njwanga, huku anazunguka upande wa uwani, akizania kuwa mwalimu Jackline atakuwa ameenda kuoga.
Lakini alipofika kule uwani, akuona dalili ya mtu kuwepo ndani ya bafu, hivyo akajuwa moja kwa moja kuwa mwalimu Jack atakuwa ameenda bwaloni kwenye disco, hivyo akaona ni vyema akimfata na kurudisha nyumbani ili wafanye yao, “atakuwa alienda kupoteza muda, wacha nikamchukuwe” alijisema mwalimu Haule, huku ananza safari yake ya taratibu ya kuelekea bwaloni, ambako music ulikuwa unalindima. ***
INAENDELEA

