MAMA ALIPOSHIKWA TAKO MBELE YANGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 31
ILIPOISHIA…
Gwakisa alijifikiria ila alipomuona mdada mwenyewe alimkubalia kwani hata hivyo ndio kawaida ya hapo Morogoro na alishawahi kupakia watu mara nyingi tu huku wakichangia mafuta.
Yule dada alipanda kwenye gari wakatambulishana vizuri kisha safari ikaanza, maongezi yalikuwa yanaendelea japo kwa kusua sua sana kwani Gwakisa alikuwa na mawazo yake hivyo Yule dada muda mwingi alikuwa anaongea na Princess wakichekeshana.
Kuna wakati ulifika Gwakisa nae akawa anavutiwa na maongezi ya Princess na Yule Binti kiasi kwamba akawa anajisikia kucheka.
Safari iliendelea huku Gwakisa akimchunguza huyu dada na kugundua kuwa alikuwa mrembo kwelikweli, alikuwa mrembo kuliko hata Verity, kuliko hata wanawake wengi aliowahi kukutana nao.
Alipomuona nguo yake imepanda juu kidogo na sehemu ya Paja kuonekana kidogo ndio kabisa aliamini kuwa huyu dada hakuwa wa kawaida.
Alikuwa mrembo kupitiliza, kwanza alikuwa kama chotara flani hivi.
Gwakisa hakuweza kukaa kimya?
“Dada umeniambia wewe ni mwenyeji wa Mbeya?”
“Hapana niko kikazi tu?”
“Okey unafanya kazi gani?”
“Mimi ni askari polisi”
“Ahhhh acha utani bhana, askari gani yuko hivyo”
“Kwani nikoje? Tena mimi niko kikosi cha FFU”
“Duh aloo siamini kabisa, anyway na mimi ni askari wa JWTZ”
“aaaah nilijua tu, huo mwili wa kijeshi kabisa”
“Kumbee najulisha kabisa”
“Haswaaa”
Maongezi yalikuwa yamenoga sasa kiasi kwamba ilibidi Gwakisa apunguze mwendo ilia pate muda wa kutosha kupiga story na huyu dada.
Story zilinoga mpaka wanafika Mbeya saa tano usiku Gwakisa akaamua kumpeleka huyu dada mpaka kwake kisha akaondoka na mwanae kurudi nyumbani.
Alipofika na kumwona Verity alijikuta hasira zikimuwaka ila akajitahidi kumsalimu na kumchangamkia kinafiki.
Waliongea mawili matatu huku Verity akifurahia kuonana na mwanae kisha wakalala hadi asubuhi ambapo Gwakisa aliondoka kwenda kazini huku akiwa na mipango kibao kichwani kwake.
Katika mipango yake aliyokuwa anapanga mmoja aliuona unafaa sana na akaamua kuutekeleza haraka sana.
Alichukua simu yake akatafuta namba kisha akakutana na namba ya Yule dada aliyempakia jana yake na kumpigia simu.
“Uko hpo kwako eenh, sawa nakuja dada, nakuja kukusalimu”
Gwakisa alikuwa nyumbani kwa askari huyu wakike ambaye alimpakia kutoka Morogoro mpaka Mbeya.
Alijuta kwanini alijipeleka kwani mambo aliyokuwa anafanyiwa hakuwahi kuyatazamia.
Askari huyu alikuwa anamwekea mitego milioni kasoro, alikuwa amevaa kanga tu huku akijipitisha kila wakati mbele ya Gwakisa kwa madai kuwa anamwandalia chai.
Gwakisa aliishia kukodoa macho tu, rangi ya nguo ya ndani aliyokuwa amevaa askari huyu ilikuwa inaonekana kabisa kuwa ni pinki.
Kila alipokuwa anatembea kanga ilikuwa inafunuka na kuliacha paja wazi kiasi.
Weupe wa huyu dada unaoambatana na uchotara wake ulimfanya avutie kuliko kawaida,
Makalio yake makubwa kiasi yalikuwa yanamzidishia urembo mwingine.
Kifuani alikuwa kachongoka kama kajitengeneza mwenyewe.
Kila alichotaka kuongea Gwakisa alijikuta anakikosoa mwenyewe, mwisho aliibuka na swali lisilo maana…
“Hivi wewe ni askari kweli”? Gwakisa aliuliza.
Askari huyu kabla hajajibu alimkata Gwakisa jicho la mtego kisha akamfwata na kumpiga kijikofi shavuni huku akimchombeza…
” nawewe bhana, usichoamini kipi sasa”
“Kwa urembo huo unawezaje kuwa askari?”
Gwakisa ilibidi afunguke…
“Kunywa chai kwanza wewe afande”
Gwakisa aliambiwa hayo huku ananawishwa mikono…
Askari huyu alikuja akakaa kochi linalotazamana na Gwakisa na kuwa wote wanakunywa chai.
Mapaja ya huyu dada yalikuwa nje kiasi kwamba mhogo wa Gwakisa ulikuwa ukiisukuma suruali yake ya Bakabaka kama inatobolewa vile…
Gwakisa alipomaliza kunywa chai alinawishwa mikono na kuulizwa kama ameshiba akasema nimeshiba.
“Basi ngojea nikaoge tutoke wote”
Alisema yule askari.
” ila mimi naelekea kazini”
“Usijali kuna sehemu mimi nataka unipitishe fasta”
Gwakisa hakuwa na cha kujibu kwa jinsi alivyomuona Huyu dada askari akipita mbele yake na kijitaulo kifupi mno…
“Tunaweza kwenda sasa”
Gwakisa alikuwa anapelekeshwa kama mtoto.
“Ila umejua kunitesa leo” alifunguka Gwakisa…
“Usijali twende kwanza”
Gwakisa alijibiwa akajikuta mwili wote unasisimka, alikuwa anajiuliza ninini yule dada anamaanisha akashindwa kuelewa ila yeye akawa anasonga mbele tu.
Aliyekuwa anatoa maelekezo ni yule Binti askari, kama vile lile gari amekodi.
Gwakisa alikuwa anapelekwa tu hadi alipofikishwa kwenye jumba moja la kisasa likiwa limezungushiwa ukuta mrefu sana.
“Njoo umsalimu kaka yangu”
Gwakisa aliingizwa ndani nae akaingia.
Pale ndani hakukuta mtu yeyote isipokuwa kulionekana kuna watu wanakaa humo…
Gwakisa alipelekwa mpaka chumbani ambapo kulikuwa na chumba kikubwa chenye vitu vya thamani mno.
Katika hali isiyo ya kawaida yule dada alianza kusaula nguo zake akabaki na chupi tu.
” Njoo umalize mateso yako”
Gwakisa alivutwa akaanza kunyonywa midomo kitendo ambacho hakukiamini.
Michezo ya mapenzi ilianza huku wakipelekeshana kwa Romance za kiitaliano, Gwakisa alikuwa hoi bin Taaban na nguo zake zote zilikuwa chini.
“Hiki kifua na umbo lako ndio vimenifanya nikupe mwili wangu, mimi sio malaya” aliambiwa Gwakisa.
Gwakisa hakuwa na uwezo wa kujibu lolote, alikamata mtarimbo wake mkubwa akawa anauchomeka kwa yule askari
“No no no nooooo, vaa hizi, sikuamini”
Gwakisa alipewa kondom, alizichukua na kuvaa kisha akachomeka mzigo, alipokelewa na joto si la kitoto na hapa makasia yakaanza kwa fujo.
Walifanya ngono ile yenyewe kisha wakaoga na kutoka sebuleni.
Katika hali ambayo ilimshangaza Gwakisa alikuta kuna wanaume zaidi ya kumi pale sebuleni wenye miili na vifua vikubwa kuliko yeye, alipigwa na butwaa lakini alikumbana na sentensi chache kutoka kwa mmoja wao aliyekuwa amevaa suti nyeupe pee….
Sehemu Ya 32
“Karibu Meja Gwakisa, usihofu, hapa ni Pesa na amani tu! jihesabie wewe ni mshirila kuanzia leo”
Alipokelewa kwa makofi mengi kutoka kwa hawa wanaume wengine wakiongozwa na yule Dada askari
……………………..
Rafiki alikuwa kwenye tax anaenda kugegedwa na Dr Kelvin.
Alikuwa na mawazo lukuki juu ya uamuzi wake lakini uamuzi wa kusaliti ulikuwa umezidi kwenye uzani.
Wakati anaelekea huko alikuwa anaendelea kuchat na Dr Kelvin ambaye alikuwa anamchombeza kwa maneno lukuki ya kumhakikishia kuwa kila kitu kitakuwa shwari.
Kwa maelekezo dereva wa tax aliyopewa na Dr Kelvin akawa amemfikisha sehemu muafaka.
Rafiki alishuka ndani ya gari na kujiweka nguo yake sawa ili aelekee kule aliko Dr Kelvin akagegedwe.
Alipogeuka upande mwingine ghafla alikutana na sura ya mwanamke akiwa kwenye gari anamuitaa
Mrs Sam……
Rafiki alishtuka na kabla hajajibu yule dada alishuka kwenye gari na kumfwata kwa bashasha huku akimkumbatia.
“Waoooooh jamani mtusamehe toka mmefunga ndoa hatujawatembelea jamani”
Huyu alikuwa matron aliyewasimamia kwenye ndoa yao…
Rafiki alikuwa kwenye taharuki kubwa kiasi cha kumfanya ajichangamshe kwa lazima tu….
” Roho mbaya hizo sasa, kwanini mmetutupa jamani”
” mtusamehe bure kwakweli, Mr wangu alikuwa anaumwa kweli, nilikuwa nauguza nashukuru sasa kapona, Vipi Mr mzima”
“Mzima tena yuko kozi Kenya”
” haa hongera zake, haya twende ukapaone kwetu, kule tulihama,…au una safari muhimu”
Rafiki alishindwa kukataa kwa kuhofia ataulizwa unakwenda wapi, alijikuta anakubali kupanda kwenye gari ya yule dada na safari ikaendelea.
“Hivi mlishajaliwa mtoto au bado?”
“Mh bado kwakweli, tunatafuta bado’
” usijali mtapata tu, kikubwa ni muwe na subira huku mkivumiliana maana huenda mmoja ndio ana tatizo”
“Sawa dada”
“Unajua hata mimi nilikuwa na tatizo na nashukuru mme wangu alinivumilia miaka mitano ndio nikapona na sasa tuna wale watoto watatu unaowaona’
” kweli?”
” Ndio hivyo, kikubwa mvumiliane, msitangetange nje, Mungu atashusha baraka zake, yani msijeshawishika, tena wewe ndio uwe makini zaidi maana ukibeba mimba isiyo ya mume wako itakutesa maisha yote”
Rafiki alishtuka akaona kama vile yule dada anamjua mawazo yake.
Dr Kelvin alikuwa anapiga simu kila mara lakini ilikuwa inakatwa, Rafiki alikuwa keshabadilika.
Mbele ya matron wake asingeweza kupokea simu na akili yake ilishavurugwa…
…………..
Sam alikuwa kwenye graduation ambayo ilikuwa inahitimisha mafunzo yao, alivishwa nishani na hatimaye akapanda cheo na kuvaa nyota.
Kama masihara akiwa na umri mdogo tayari alikuwa ni afsa wa Polisi.
Alikuwa sasa anajiandaa kurudi kwake kimya kimya bila kumtaarifu Mkewe.
………
Watu watatu wenye gari aina ya Noah nyeusi walikuwa nyumbani kwa Gwakisa…
Hakuna walichokuwa wanataka isipokuwa kumteka mtoto Princess….
Geti liligongwa akatoka Verity aliyeshangaa kuwaona wale watu asijue wametokea wapi….
Gwakisa alikuwa anasainishwa mikataba ambayo ilikuwa ni ya lazima huku kashikiwa Bunduki.
Alipomaliza kusaini alipewa Kopi ambayo aliambiwa anatakiwa aiweke na iwe siri yake.
Wakati wote huu wa hili zoezi pembeni alikuwepo Yule dada askari aliyetoka kungonoka nae akiwa amejaa tabasamu usoni kama vile kile kinachofanywa kwa Gwakisa kilikuwa na amani.
Gwakisa alikuwa anajiuliza sana moyoni mwake ni kwanini amedakwa kirahisi namna hii aijue kuwa wenzake walikuwa wanamlia timing mda mrefu na walishajipanga kumuingiza kwenye ushirika wao kwa mikakati mingi sana ndipo wakaamua kumtumia binti huyu mrembo.
Baada ya kila kitu kukamilika wale wanachama mule ndani walikuwa wanamshika Gwakisa mkono wa Pongezi kila mmoja kwa zamu hadi wa Mwisho akawa Yule aliyevalia suti nyeupe ambayo alipomaliza kumshika mkono alimkabidhi BriefCase na kumwambia aketi afungue aone kilichomo mule ndani.
Gwakisa aliketi akaiifungua na kukutana na vitu vilivyoulipua moyo wake.
Zilikuwepo pesa nyingi tena Dollar za Kimarekani zilizopangwa kwenye vibunda vingi, alipigwa na butwaaa hadi mikono ikawa inatetemeka.
Zilikuwa mpya na zimejaa kabisa pale kwenye kile kijibegi, katika zile noti ya bei ndogo ilikuwa ni dollar mia moja ambayo ni sawa na laki mbili na zaidi za Tanzania
“Hizi ni pesa za nani” aliuliza Gwakisa
“Ni zako kwa ajili ya chai na soda” Alijibiwa Gwakisa
“Yani mmenipa tuu”
“Ndio hii ni ili uendane angalau na sisi kwenye ushirika wetu kwani kwetu hatutaki mtu wa kulia lia shida”
Kwa Gwakisa huu ulikuwa ni muujiza tosha, ghafla akili yake ilianza kuwaza magari ya gharama, nyumba za kifahari na vitega uchumi mbalimbali.
Alisita kujilaumu kuwajua hawa watu na kujikuta akiwa tayari kwa lolote.
“Unaweza ukarudi kwako ila utaenda na huyu binti mkafanye jambo moja la muhimu sana” aliambiwa gwakisa na hapohapo wakaamka kwenye makochi.
Safari ilianza na aliyekuwa anatoa maelekezo ni YULE dada askari.
Walienda mpaka Kambini ambapo Gwakisa alibadili gari na kuchukua la Jeshi kisha moja kwamoja wakashika njia ya mpakani.
Kote polisi hawakuwasimamisha kwasababu ya lile gari la Jeshi, walipofika mpakani askari baadhi waliwasimamisha lakini Gwakisa alitoa kitambulisho chake cha Jeshi huku Yule dada nae akitoa cha kwake cha uaskari Polisi FFU.
Waliendelea mpaka mpakani na Kongo wakakutana na watu wengine waliowakabidhi mzigo na kurudi nao mpaka Mbeya mjini kisha wakaagana kwa lengo kila mtu aende kwake baada ya kufikisha mzigo panapotakiwa.
‘ngoja kidogo Gwakisa’
Gwakisa alitulia asikilize anachoambiwa lakini cha ajabu alifwatwa mdomoni na kupewa denda ambalo liliibua tena hisia zake ambapo alianza kupitisha mikono yake kwenye maziwa ya Yule dada.
“Subiri wewe hapa njiani ” aliambiwa Gwakisa na kutoa mikono yako,
“Nenda kwako lakini utakachokutana nacho usishtuke, kama utakuwa na maswali utaniuliza siku tukikutana ila usishtuke kila kitu ni salama tu na hakuna kibaya”
Gwakisa alianza kuogopa lakini akiwa anawaza Tayri Yule dada alishashuka na kutokomea zake.
Kwa hofu Gwakisa aliendesha Gari mpaka kwake na kukuta kumefungwa na hakuna mtu.
Alichukua simu yake ampigie mkewe lakini aligundua kuwa simu yake ilikuwa imezimwa, alijua kabisa walioizima ni wale jamaa kule alikotoka.
Aliiwasha na kumtafuta mke wake ambapo alipokelewa na kilio kikali.
“Nini wewe unalia nini” aliuliza Gwakisa
“Mtoto wetu amepotea mume wangu uuuuuwiiiii, mamamamaaaaaaaaaa, mamaaaa mimi mwanangu jamaniiiiii” alikuwa analia Verity
Hapo hapo Gwakisa aliwahi kituo cha Polisi ambapo alimkuta mke wake akiwa na wazazi wake wakiwa wanatoa maelezo pale na tayari taarifa zilishasambazwa kila sehemu kwenye vituo mbalimbali ili utafutwaji uanze wakifwatia maelezo ya wahusika anaowashuku Verity.
Gwakisa hakuelewa afanye nini kwani akili yake ilishawawaza wale jamaa zake lakini akawa anashindwa kuelewa kuwa ni kwanini wamchukue Yule mtoto, yeye anahusiana nini….
Akili yake ilimpa mawazo kwamba huenda wale watu ni washirikina na wanataka wakamtoe Yule mtoto kafara.
Roho ilikuwa inamuuma sana, japo Yule mtoto sio wake lakini alikuwa hana mpango wa kumdhuru, mpango wake ulikuwa ni mwingine kabisa na sio kumdhuru.
Roho ya kibinadamu na kiulezi ilikuwa inamuuma sana, alimfwata mke wake na kumnyanyua pale chini akasogea kando na kumwambia….
“Usilie mke wangu, nitapambana na mtu yeyote mpaka mtoto apatikane.”
……………………………..
Sam alikuwa njiani kurudi Tanzania kwa kutumia usafiri wa anga, ndani ya lisaa limoja tayari alikuwa Dar es salaam na mawazo yake yote yalikuwa kwa mwanae.
Alipanga kuwa akifika tu ni lazima amchukue mtoto wake.
Siku hiyo hiyo kwakuwa alishakata tiketi online aliunganisha ndege na kutua uwanja wa Songwe Mbeya kwa Ndege.
Alipofika breki ya kwanza ilikuwa kwa Gwakisa na Verity ambapo alitaka amuone mwanae na waweke kila kitu wazi.
Alipanga kuwa endapo wakikataa tu ataomba vipimo vya DNA vifanyike.
Alipofika pale alishtushwa na uwepo wa gari la RPC pamoja na magari mengine yakiwemo yenye namba za Jeshi.
Kwakuwa simu yake mda wote ilikuwa imezimwa kwa ajili ya safari za kwenye ndege akawa hakupata taarifa yeyote kuhusu kilichokuwa kinaendelea na mke wake alishampigia simu mara kibao bila kumpata.
Alipofika pale alilakiwa na wakwe zake huku akisikia kilio cha Verity ambaye anamtaja mwanae .
Sam alishindwa kuelewa haraka lakini picha aliyoipata ni huenda Princess amefariki. Mapigo ya moyo yalikuwa yakimwenda kwa kasi sana.
“Kuna nini kwani”
“Alimuuliza Mama yake Mkwe”
“Mtoto wa Verity amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha”
Sam alisogea kando akawaza, kisha akaibuka haraka mpaka kule ndani alikokuwa anafarijiwa Verity….
“Nisikilize Vizuri Verity, ujanja wenu nimeshaujua, mimi ni askari by Profesheni, mmeamua kumficha mtoto wangu nisimchukue lakini mtamtoa tu huko aliko”
Sehemu Ya 34
Maneno ya Sam yalimshitua kila mtu na wala hakuwa na muda wa kubaki hapo, aliondoka mpaka kwake ambapo alikuta kuko kimya kwani Rafiki alikuwa kwenye harakati za kusaidia kumtafuta mtoto wa mdogo wake.
……………………………….
Gwakisa aliwahi kule kwa wale jamaa zake na aliingia kama mbogo. Alikuwa anarusha ngumi nzito na mateke huku akihoji aliko mwanae.
Ghafla mijitu minkubwa ilijitokeza mbele yake na kumkamata huku ikimpa kichapo kilichomkalisha chini hawezi hata kuamka.
Ghafla mbele yake alitokeza Yule dada askari na kuuliza kwanini Yule Gwakisa yuko kwenye hali ile….
“Kaja hapa analeta tabu anaulizia sijui mwanae sijui vitu gani tumempa adabu kidogo atulie”
“Okeeeey, wewe bwege unapaswa kuwa na heshima hapa ni ikulu hupaswi kuleta fujo”
Yule dada alimkamata Gwakisa kichwani huku akimuangalia usoni akiwa kapiga magoti.
“Wakuu huyu nimempa mtego kidogo tu, mwanae ninae”
Gwakisa kusikia vile alishtuka kisha akaambiwa “nifwate huku”
Pamoja na Gwakisa kuambiwa nifwate na Yule dada hakuwa na uwezo huo kwani alipigwa kwenye viungo vya miguu, hivyo ilibidi apelekwe na wale mabaunsa.
Alipofika alilazwa kitandani kisha Yule dada akaanza kumpa maneno….
“Huwezi kulea mtoto ambae sio wako, hiyo ni fedheha kubwa wewe kijana, nimeamua kukusaidia hatua za kuchukua, Yule mtoto kwa sasa yupo sehemu salama na utamuona, ataenda kukaa mbali na atasoma huko huko wakati wewe unatafuta wako mwenyewe, tena nitakuzalia mimi…..”
Gwakisa alijiuliza sana kwamba imekuwaje hadi Yule dada akajua kuwa Yule mtoto sio wake.
Alitamani amuulize lakini akakwama namna ya kuuliza akabaki anajiuliza tu bila ya majibu.
“Au unakataaa kuwa mtoto hujachakachuliwa?”
“Kwanza yuko wapi?”
“Utamuona muda ukifika wala usijali”
“Nisijali vipi, hivi mnadhani familia yangu itatulia ikiwa mtoto hayupo?”
“Itatulia tu wala usijali”
“Hivi ninyi mnaofanya hivi mngependa ikiwa nanyie mngekuwa mnafanyiwa hivi”
“Unadhani kuna jambo zuri lisilo na maumivu?”
“Basi mimi siyataki haya maumivu na hilo jambo lenu zuri silitaki pia”
Yule dada alimuangalia Gwakisa kwa dakika chache kisha akamwambia….
“Kama wewe hulitaki tambua kuwa sisi tunakutaka kwenye mambo yetu, alafu pia kumbuka kuwa umesaini mkataba.”
…………………………………
Sam hasira alizokuwa nazo zilikuwa hazielezeki, alijua kuwa kuna mchezo anafanyiwa ili asimpate mwanae, alijipanga kwa mambo mengi ila la kwanza ilikuwa ni kumtafuta Gwakisa.
Alirudi kule alikotoka kwa mara nyingine ili amtafute Gwakisa.
Safari hii alienda kisataarabu sana ambapo aliegesha gari getini kisha akazama ndani.
Alimfwata kijana mmoja ambaye alimjua ni wa karibu nah ii familia, alimshika began a kumvuta kando kidogo.
“Dogo hivi huyu baba wa hii familia yeye yuko wapi”
“Yani huyu aliyepotelewa na mtoto?”
“Ndio huyo huyo” sam aliitikia kwa sitaki nataka
“alitoka hapa mda mrefu, nadhani yuko kwenye harakati zake za kumtafuta mwanae”
Sam alijua moja kwa moja kuwa Gwakisa yuko sehemu na sehemu alipo itakuwa ni kwenye vyombo vya usalama wanazuga tu.
Sam aliridhia kuwa kila kitu kwa siku hiyo kisimame mpaka kesho yake.
Alienda kwake akamkuta mkewe ambaye alikuwa amenuna si kawaida.
“Sam hivi kweli yani wewe ni mume wangu lakini unarudi safari hata kunitaarifu”
“Please sitaki usumbufu rafiki niache nipumzike”
“Hivi wewe mwanaume una matatizo gani lakini, najuta kuolewa nawewe”
Ile Rafiki anamalizia herufi ya mwisho tu ….. ‘paaaaaaa,paaaaaaa,paaaaaaa’
Yalikuwa ni makofi matatu mubashara yaliyokuwa yanatua kwenye shavu la Rafiki, kofi moja lilipotaka kumdondosha chini alizuiwa na kofi la upande mwingine, alipotaka kuanguka upande mwingine kofi la shavu jingine lilimbadilisha mwelekeo na kuangukia upande mwingine huku akiachia ukelele mmoja tu kisha akatulia kimya.
Yalikuwa ni makofi matatu yaliyotua kwenye mashavu mawili kwa mtiririko yakamzimisha mtoto huyu wa RPC kimya kabisa pale chini.
Sam alikuwa na hasira nyingi mno na kuanza kuropoka….
“sitaki usengeeee, nasema usenge sitaki, baba yako alinipiga mpaka nimekuwa mgumba alafu unanipandishia sauti….kufaaaaaa”
Sam alikuwa mbogo sana na alikuwa akiongea peke yake…..
“Mimi nimehaso, nimehaso kupata haya maisha nimepitia mambo elfu kidogo, mimi ni mhuni tuuuuu, nitaua mtu yeyote lakini mwanangu nitamchukua tu”
“Mwambie mdogo wako lazima mtoto wangu amtoeeeee”
Sam aliongea bila kujibiwa na mtu kwani mkewe alikuwa pale chini hajitambui lakini wala hakujali na cha ajabu zaidi akamsindikiza na teke la mgongoni.
Aliingia chumbani kwake akabadilisha nguo akaoga na kuvaa zingine, akiwa anataka kulala akakumbuka kuwa kule nje aliacha mtu.
Alitoka akamkuta mkewe kalala pale pale alipomuacha na wala hatikisiki. Alimgeuza akamtikisa lakini wala hakuonyesha kujielewa kwa lolote.
Sam wala hakujali na ndio hasira zilimzidi, alimburuza mpaka nje kwenye korido akamuacha humo kisha yeye akafunga milango na kuingia ndani kulala.
Alipanda kitandani akawa anapanga mipango yake lakini ikawa haipangiki, aliamua kuwa kesho yake adamkie kwa Gwakisa wamalizane kuhusu mtoto.
Alijaribu kuutafuta usingizi sasa ili apumzike. Kila alipojaribu hakuupata, usingizi ulikuwa mbali nayeye kabisa.
Alijitahidi kutulia labda utakuja lakini masaa yalikuwa yanakatika tu bila kusikia lolote.
Aliamka na kujimwagia maji bafuni akijua huenda usingizi utakuja lakini wapi, hakuambulia chochote,
Alijifunika gubigubi na kulala huku kafumba macho lakini alipotaka tu kupitiwa na usingizi alijiwa na ndoto iliyomtisha ikabidi aamke kwa kukurupuka.
Alianza kuwaza hatua moja hadi nyingine kuanzia alipokutana na mkewe akajikuta akianza kuingiwa na roho ya huruma na woga.
Kwanza aliogopa akijua huenda ameua lakini pia alimuonea huruma mkewe kwani alijua kuwa mkewe anampenda sana.
Taratibu alijikongoja mpaka sebuleni akakusanya funguo ili aanza kufungua milango akamuangalie mkewe kule nje alikomuacha.
Alipotaka tu kufungua mlango roho ya ukatili ilimjia tena na kujikuta akijilaumu kwa zile huruma anazoanza kuwa nazo.
Alirudi haraka mpaka ndani chumbani na kupanda kitandani kisha akalala zake.
…………………………….
Gwakisa alikuwa kawekwa mtu kati hafurukuti na kila alichokuwa anauliza alipewa majibu yasiyo na matumaini.
Aliikumbuka mikataba aliyosaini akaona hana uwezo wa kuwakwepa hawa watu hivyo ikambidi akubaliane na kila kitu.
“Basi nae naomba niende nyumbani”
“Mkandeni hiyo miguu yake mumpeleke kwake asije akaachika” Yule dada askari alitoa amri.
Wale jamaa walichukua dawa ya kupulizia ambayo humaliza maumivu na kumpulizia huku wakimpaka nyingine kwenye magoti na kwenye viungio vya mikono.
Walimkanda na maji ya moto pia kisha wakamfunga vizuri na kumpakia kwenye gari mpaka nje kwake kisha wao wakarudi na gari nyingine waliyoambatana nayo.
Jinsi gwakisa alivyoingia pale kwake kila mtu alishangaa, aliondoka bila taarifa na alipotafutwa hakupatikana alafu anarudi akiwa kwenye hali hii.
Baba yake Mkwe na Mama yake Mkwe walimuweka chini na kumuuliza kilichomkuta kule alikoenda na hapohapo Gwakisa akajua jinsi ya kupata uongo.
Aliwaeleza kuwa alipokuwa kwenye harakati za kumtafuta mtoto nae aliishia kutekwa na watu asiowajua wakampeleka sehemu yenye maficho kisha wakaanza kumtesa kwa kumpiga sehemu mbalimbali za mwili wake.
Aliwaeleza kuwa wale watu walimwambia kuwa endapo ataendelea kumfwatilia Yule mtoto basi wataua familia nzima.
…………………………………………
Asubuhi na mapema Sam aliamka ili aende kwa Gwakisa waongee kuhusu ishu ya mtoto, alijiandaa vizuri kisha akatoka nje lakini pale alipomuacha mkewe hakumuona na wala hakuhangaika kumtafuta.
Aliondoka moja kwa moja kwa lengo la kumtafuta Gwakisa, kabla hajafika huko aliamua kumpigia kwanza simu.
Waliongea vizuri lakini Gwakisa akamwambia kuwa hangeweza kutoka nyumbani kwani hali yake sio nzuri hivyo aje nyumbani.
Sam hakusita, tena aliona ni vyema akimkuta Gwakisa akiwa na mke wake kwa pamoja…..
Sam alienda mpaka hapo kwa shemeji yake na kuingiza gari ndani ya uzio na kupaki….
Alikaribishwa ndani na kukaa sebuleni, baada ya muda kidogo alitokea Gwakisa akiwa anatembelea fimbo huku anachechemea, Sam alishtuka kuona vile akajua Gwakisa aanmuigizia.
“Karibu ndugu, habari za nyumbani?”
“Nzuri tu vipi hapa?”
“Hapa ndio hivyo ni matatizo tu, afadhali umerudi kutoka masomoni utasaidia maana mimi nimejitahidi kwa siku moja tu nimeishia kufanywa hivi”
“Kwani wamekufanyaje?”
“Ndugu yangu yani acha tu, wameniteka wakaanza kunipa kipigo si unaona nilivyovimba huku…wameniambia nikiendelea kufwatilia ishu za mtoto wangu wataniua kabisa”
Kwakuwa Sam alikuwa hamuamini Gwakisa alienda akamuangalia akagundua kuwa ni kweli kavimba ila bado hakutaka kuamini moja kwa moja, alijua anachezewa mchezo….
“Vipi shemeji yuko wapi?”
“Ngoja nimuite”
Aliitwa verity aliyekuwa huko chumbani kisha akaja pale walipokaa Sam na Mme wake, Verity alikuwa ana majonzi ila pia alikuwa hajiamini kutokana na hali halisi iliyokuwa pale….
“Kwanza kabisa nawapa pole kwa kupotelewa na mtoto katika mazingira kama haya”
“Asnte sana kaka roho inaniuma sana kwakweli nikimfikiria huyu mwanangu” alijibu Gwakisa.
“Ila mimi naumia zaidi kuliko wewe maana Yule mtoto ni wa kwangu” alisema Sam kitendo kilichomshitua Gwakisa na kumkata jicho Sam.
“Unasemaje wewe? Umeugua ukichaa sio?” Verity aling’aka kama mwendawazimu.
Sehemu Ya 35
“Mimi sio kichaa, na hilo unalijua Shemeji Verity, na unajua kuwa Yule mtoto ni wangu na sio wa Gwakisa, Hebu leo mwambie mme wako ukweli ajue”
Gwakisa alimgeukia Verity na kumtazama kwa ishara kuwa anataka kusikia kutoka kwake
Verity alisimama wima na kuanza kuapia kwa Mungu wake…..
“Nakuapia mume wangu Gwakisa, Princess ni mwanao kabisa, usimsikilize huyu ni kichaa”
Gwakisa hakujibu chochote bali alibaki amemtolea macho Verity asiyejua kuwa Gwakisa ana ushahidi wa DNA kuwa mtoto sio wake isipokuwa baba halizi wa mtoto ndio alikuwa hajamjua bado…..
Gwakisa alifikiria cha kusema kutokana na uongo wa mkewe akashindwa afanye nini, akaishia kuguna tu.
Jambo moja ambalo aliamini ni lazima alifanya ni kulinda heshima yake, ya familia yake, ya mke wake nay a ndoa yake…
Japo alijua mkewe kakosea sana lakini mbele ya mwanaume mwenzake hakutaka aonekane dhaifu hata kidogo.
Mr Sam nimekusikiliza vizuri sana, nimekusikia vizuri mnooo ila nimegundua kitu kimoja…alisema Gwakisa.
“Kitu gani hicho” sam aliuliza
Gwakisa alichomjibu sam ni kwamba … “nimegundua kuwa huna akili kabisa”
“Unasemaje, mimi sina akili?”
“Huna hata kidogooo”
Sam alisimama wima akitaka ngumi zipigwe kwa kuona kuwa ametukanwa.
“Ndugu yangu Sam acha hasira za kijinga, unataka upigane namimi wakati unajua naumwa. Subiri nikipona ndio uanzishe vita, hapa ukinipiga wala huna haja ya kujisifu kuwa umenipiga”
Sam alikaa chini pale kwenye kochi huku Verity akimng’ang’aniza Sam aondoke pale nyumbani.
“Shemeji Sam nakuomba uondoke nyumbani kwangu la sivyo nitakuunguza hata na maji ya moto”
Sam aliamua kutulia kitendo kilichomp Gwakisa mwanya wa kuongea kidogo.
“Ndugu yangu tena mme Mwenzangu Sam labda nikuambie tu kuwa ungekuwa na akili ungeweka juhudi zooote kumtafuta kwanza mtoto ndio uanze kumdai kuwa ni wako”
“Mimi sio mjinga najua huyo mtoto mmemficha ili nisimchukue”
Gwakisa akiwa na hasira alimkata jicho kali Sam akamwambia nivile tu anaumwa lakini angempa disipilini ya kutosha na wala asingerudia kukanyaga hapo nyumbani kwake.
“Sam nashukuru sana kwa kunidhihirishia kuwa umekuwa ukitembea na mke wangu, ila nataka kukwambia kuwa mla vya wenzake na vyake huliwa, kampime mkeo ujauzito kwani inawezekana na mimi nimepanda mbegu zangu kwenye shamba lako”
Gwakisa alisema maneno hayo ili amuumize Sam kwa kile alichomfanyia bila kujua kuwa maneno hayo yalikuwa kama mwiba kwenye moyo wa Sam.
Sam alinyong’onyea akatahayari kwa yale aliyosikia, alioanisha mambo mengi mwisho akaamua kuondoka bila kuaga moja kwa moja kuelekea kwake.
Akiwa njiani kuelekea kwake alipokea simu ambayo ilimtaka afike ofisini mara moja.
Aligeuza gari na kuelekea ofisini ambapo alimkuta Bosi wake akiwa na RPC.
Kitendo cha Sam kufika pale akatiwa Pingu na kuwekwa mahabusu.
…………………………………………….
Kwenye mida ya saa tisa usiku RAfiki alikuwa akijihisi baridi kali mnooo, pamoja na baridi lakini alikuwa anahisi maumivu hasa kwenye maeneo ya mbavu zake.
Alijitahidi kufumbua macho yake akakutana na giza nene, taratibu alianza kukumbuka jambo moja baada ya jingine hadi alipofikia kukumbuka ugomvi wake na mmewe.
Hapohapo machozi yakaanza kummwagika, alinyanyuka taratibu ili afungue miango huku akichechemea.
Alipofika alianza kwa kutingisha grili lakini akakuta limefungwa kwa ndani, hakuamini kuwa mme wake ndie amekuwa katili kiasi kile.
Alirudi tena pale chini kwa kujikongija na kuendelea kulia sana, alilia akachoka na kuona sio suluhisho alisogea mpaka nyuma ya dirisha kilipo chumba chao cha kulala na kuanza kumuita mmewe lakini alisikia tu sauti ya kukoroma kwani ndio muda huo Sam nae usingizi ulikuwa umemkolea baada ya kuutafuta kwa muda mrefu.
Hakuamini kuwa pamoja na kumsubiria mme wake kwa muda mrefu kiasi hicho akitegemea mapenzi motomoto baada ya mume wake kumaliza mafunzo lakini kile ndicho alichokuwa anaambulia.
Alijuta sana kung’ang’ana kuolewa na Mwanamume kama Sam, alijutia ndoa lakini hakuwa na uwezo wa kurudisha mambo nyuma.
Alisubiria angalau kupambazuke ili aondoke pale nyumbani atafute sehemu yenye usalama…
Kweli masaa yalisogea kwa mwendo wa kinyonga na hatimaye kukaanza kupambazuka na watu pamoja na magari vikawa vinasikikika vikipita huko nje.
Aliamka kwa kujikongoja mpaka nje ya geti kisha akasubiria pikipiki akaisimamisha japo hakuwa na hela ila akapanda mpaka nyumbani kwa wazazi wake.
Wa kwanza kumuona alikuwa ni mama yake ambaye alimshangaa sana binti yake kwa jinsi alivyokuwa,
“Mwanangu umepatwa na nini”
“Nomba kwanza umlipe huyo bodaboda alafu nitakwambia”
Mama mtu alimshangaa binti yake anavyotembea kwa shida roho ikamuuma sana, alimwambia bodaboda amruhusu kisha akamshikilia bintiye na kumkongoja kwenda ndani kisha akamkalisha na kurudi kumlipa boda boda.
Aliporudi kwa binti yake alimhoji akasimuliwa mkasa mzima kitendo kilichomfanya ashike mdomo kwa kuhamaki kuwa yani Sam waliyemjua ndio kawa vilee?
Mama mtu hakuweza kuvumilia, alikimbilia chumbani kumsimulia mme wake ambaye nae alifadhaika sana kwa binti yake aliyempenda sana kufanyiwa yale.
Muafaka uliofikiwa ni Rafiki apelekwe hospitali huku taarifa zikiwa zinnafika ofisini kwa Sam ili hatua zichukuliwe kwa kitendo alichokifanya.
……………………………..
Dr Kelvin alikuwa anampigia sana Rafiki simu lakini alikua hampati, rafiki alizima simu yake na hata hivyo akawa ameiacha kule kwake wakati wa kuondoka baada ya ugomvi na mume wake.
Alishakata tamaa lakini kwa jinsi alivyokuwa na usongo na Rafiki alisema kuwa atamtafuta kivyovyote amtie mikononi mke huyu wa mtu.
Akiwa anaendelea na majukumu yake alipita korido ya mapokezi na kukuta mwanamke amejiinamia chini huku kashikiliwa na mama mmoja mtu mzima akashtuka kwani alimfananisha Yule binti.
Alisimama na kuwasalimia kwa lengo la kuwatambua vizuri, roho yake ililipuka baada ya kuuona uso wa Rafiki lakini ukiwa umevimba.
“Rafiki ni wewe? Mbona uko hivyo? Una matatizo gani?” dr Kelvin aliuliza maswali matatu kwa pamoja kabla hata la kwanza likiwa halijajibiwa.
Haraka haraka alifwatilia kila kitu na Rafiki akaanza kuhudumiwa kwa uharaka.
Kwakuwa yeye alikuwa daktari wa akina mama hakuweza kumhudumia Rafiki ila alihakikisha anampeleka kunakohusika na kwa madaktari anaowaamini ili ahudumiwe.
Huduma alizokuwa anapata Rafiki hata mama yake alikuwa anashangaa, mama yake aliambiwa apumzike tu kwani kila kitu kilikuwa kinafanywa na wauguzi waliokuwa wanapokea amri kwa madokta.
Tabia za madokta wa hii hospitali zilikuwa zinafanana sana kiasi kwamba ikiwa mmoja atawaambia wenzake kuwa huyu ni shemeji yenu muhudumieni vizuri basi atahudumiwa kwa ukaribu mno, na hiki ndicho kilichokuwa kinatokea kwa Rafiki.
Japo Dr Kelvin hakuwaambia kabisa uhusiano wake na Rafiki kwni ni mke wa mtu ila wale madaktari wenzake walihisi tu na wakawa wanamhudumia vizuri sana.
Rafiki alitibiwa na kupewa dawa huku akichomwa sindano za kuzuia maambukizi na maumivu pamoja na dawa za kupunguza uvimbe,
Hakuwa mgonjwa wa kulazwa ila aliandikiwa kulazwa,
Dr Kelvin siku hii alikuwa na furaha sana na alifanya kazi kwa amani mno huku kila mara akipita pale alipolazwa Rafiki.
Alikuwa akimletea vitu vidogo vidogo vya kula na vizawadi mbalimbali kiasi kwamba hata Rafiki mwenyewe akawa anajisikia ahueni.
Siku hii Dr Kelvin hakwenda kabisa kwenye hospitali nyingine ambazo annafanya kazi part time kwani alikuwa anataka akae na Rafiki zaidi pale hospitali.
Ilipofika usiku alienda kule alikolazwa akakaa kitandani na kuanza kumhoji Rafiki kuhusu mambo gani yaliyompata.
…………………………………..
Gwakisa alikaa siku mbili kisha akajisikia nafuu kidogo na kuanza kwenda kazini, ishu ya mtoto Princess ilikuwa imeshikiiwa na Jeshi la Wananchi kwani mtoto aliyepotea ni wa Bosi wao.
Lakini pia Jeshi la polisi lilikuwa limeikomalia kweli kweli kwani Yule mtoto alikuwa ni mjukuu wa RPC hivyo walihusianisha kupotea kwake na mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na visasi labda dhidi ya majeshi ya ulinzi na usalama.
Ingekuwa watu waliomteka huyu mtoto wangekuwa ni wa kawaida tu basi angekuwa ameshapatikana lakini mpaka wakati huu kila walichokihisi na kukifwatilia waliishia kwenye hakuna.
Pamoja na kutangaza dau nono kwa atakayesaidia kupatikana kwa mtoto, kutangaza magazetini kwenye TV na media zingine lakini bado hakuna kilichowezekana. Mtoto alikuwa hajapatikana bado.
Verity ndani ya siku tatu za kupotelewa na mwanae alikuwa hali wala hanywi, alikonda ndani ya muda mfupi kwani stress zilimzidi.
Ndoa yake nayo ilikuwa kwenye hali sio nzuri japo mume wake alikuwa mpole tu lakini alijua amani hakuna kutokana na kile ambacho Sam amefanya.
Alijutia mengi sana lakini maumivu ya mtoto yakawa yamemeza maumivu mengine yote.
Mmara kwa mara alikuwa anazimia kiasi kwamba ilibidi nyumbani kwao wamchukue tu ili wamuangalie kwa karibu.
Ilikuwa ni pigo kwenye nyumba ya RPC kwani mambo yalikuwa yamepandana, huku verity kupotelewa na mtoto na huku Rafiki kupigwa na mumewe huku ndoa za watoto zikiwa kwenye sintofaham.
…………………………………….
Katika kitu kilikua kinawashtua maaskari ni kuiona gari ya Jeshi kila wakati ikipita kuelekea mpakani ikiwa iko na Gwakisa na askari mwingine wa Kike.
Walianza kuhisi kuwa huenda kuna dili chafu linachezwa kupitia kwa magari ya Jeshi la wananchi hivyo wakaanza kuwachunguza kwa karibu.
Wakiwa wamebeba mzigo mkubwa wa vitu haram kwenye gari yao ilisimamishwa na askari wanane wenye silaha nzito…
Sam alikuwa mahabusu siku ya pili sasa, alikuwa akiteseka kwa makosa ya kumpiga na kumuumiza mke wake.
Alikuwa amefichwa kwenye kachumba kakwake peke yake tena kenye giza nene ambapo alikuwa haonani na mtu yeyote isipokuwa wakati wa chakula kidirisha kidogo kilikuwa kinafunguliwa na kisha chakula kinaingizwa bila kusemeshana na kisha dirisha linafungwa na kubaki giza hivyohivyo.
Hizi zilikuwa ni adhabu za kipolisi ambazo walikuwa wanapeana polisi wenyewe ikiwa hakuna haja ya mambo ambayo yamekosewa kwenda mahakamani.
INAENDELEA

