MAMA ALIPOSHIKWA TAKO MBELE YANGU
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya 26
ILIPOISHIA…
Nyumbani kwa RPC kila mtu alikuwa anastaajabu jinsi mtoto wa Verity anavyofanana na Sam, mama mtu ndie alikua wakwanza kushtukia huo mchezo kwani toka awali alishahisi kuwa Verity ana Mimba ya SAM.
Siku moja wakiwa wamelala usiku alijaribu kumuuliza mme wake… “Umemuona mjukuu wako?”
“Ndio kwani ana nini”
“Hapana ni kwa vile umefanana nae sana”
“Nimefanana nae?”
“Ndio maana yake”
“Una wazimu nini yani aache kufanana na baba yake au mama yake afanane na mimi?”
“Haaa kwani wewe si babu yake”
“Hata kama, ngoja kesho nitapita niwasalimu nimuone”
“Wala usihangaike kesho watakuja watashinda hapa”
………………………………..
Ilikuwa ni tayari saa tisa na nusu Rafiki alikuwa ameshafika ofisini kwa Dr Kelvin ambaye anamalizia kazi ya upasuaji kwa mwanamke aliyepata tatizo kwenye kujifungua.
Baada ya kumaliza alikagua simu yake akagundua kuwa Rafiki alimtumia meseji kwamba amefika muda mrefu japo hakuwa na wasiwasi kwani alikuwa na uhakika kuwa taarifa lazima ameshapewa kuwa mwenyeji wake yuko wapi.
“OH karibu Mrs Sam”
“Asante”
Rafiki alinyanyuka akamfwata Dr Kelvin mpaka ofisini kwake
“Pole kwa upweke wa kuwa mbali na mume wako”
“ASANTE lakini nadhani ni kawaida tu hasa mnapooana mkiwa mmeajiriwa”
“Ni kweli, mimi mwenyewe wakati mwingine naondoka nyumbani hata mwaka mzima nikienda masomoni”
“Sasa nadhani muda umeenda sana, unaonaje tukifanya kesho?”
“Mh kesho itakuwa ngumu sana Dk kwani ratiba za kazini zimebana sana”
“Oooh au tufanye tu saivi si huna woga wa kuchelewa si ndio”
Dr Kelvin alivaa koti lake na kuchukua vifaa vyake muhimu kisha akaagiza faili la Rafiki na kuanza kumhudumia.
“Sasa dada naomba uvue nguo yako ya juu au uipandishe juu alafu ulale hapo kwenye hicho kitanda.”
Rafiki alivyosikia hivi alishtuka kidogo lakini hakutaka kuonyesha, alifungua vifungo vya blauz aliyokuwa amevaa kisha akaisogeza pembeni na kuacha tumbo wazi kisha akapanda kitandani.
Dr Kelvin alianza kibinya tumbo la Rafiki taratibu huku akizungusha mpaka kiunoni kitendo ambacho rafiki alizidi kukishangaa kwani ni kama vile anatomaswa ila alishindwa kuuliza.
“Ulishawahi kutest saratani ya matiti?”
“Hapana sijawahi”
“Basi naomba uondoe hilo sidilia”
Kwa mara nyingine Rafiki alinyanyuka akakaa kisha akasogogea braa yake na kubaki maziwa yakiwa nje.
“Haya rudi ulale”
Alilala na kwa mara nyingine Dr KELVIN alirudi na kuanza kubinyabinya ten tumboni huku akizungusha mikono kiunoni na baadae akarudisha mikono yake kwenye nyonyo za Rafiki na kuanza kuzibinyabinya tena huku akizungusha kidole kwa kupikicha kwenye chuchu za Rafiki kitendo kilichomfanya Rafiki aanze kufumba macho.
Dr Kelvin kuona vile alimuuliza Rafiki… “Vipi unajisikiaje?”
“Ah Ah Ah …ka..ka…kawaida tu”
Sauti ilikuwa inatoka kwa kukata kata kwani tayari joto la mahaba lilikuwa limeshapandishwa na ukizingatia Rafiki ana muda mrefu hajashiriki mchezo huo.
“Uliwahi kupima magonjwa ya zinaa?”
“Ha..ha..pan.a”
“Oky ni vizuri kutest kwani wakati mwingine magonjwa hayo yanakuwa sababu ya kutoshika Mimba”
Wakati Dr Kelvin anaongea yote haya alikuwa anaendeleza zoezi lake aliloliita ni la kumpima Rafiki na tayari hali ya mgonjwa ilikuwa sio nzuri.
“Sasa sikia, ni vizuri tupime magonjwa ya zinaa kwa kuchukua yale majimaji ya ukeni kwani ndio yanatoa majibu mapema.”
“Sawa nipime”
“Vua nguo zako za chini”
“Lakini Dr…mbona…”
“Mbona nini tena, harakisha muda unaenda”
Rafiki alitoa suruali aliyokuwa amevaa akabaki na skin tait,
“Vua na hiyo”
Huku akiwa anaona aibu Rafiki alishusha nguo yake na kubakia na kufuli ya ndani chumbani pekee.
“Haya panda hapo hiyo nyingine nitakusaidia kumalizia”
Rafiki alitamani aseme kitu lakini akajikuta anakwama na hatimaye akapanda kitandani na Dr Kelvin akaanza tena kazi yake.
Safari hii Dr Kelvin alizidisha uchokozi kiasi ambacho ilikuwa ni wazi kuwa yale hayakuwa matibabu,
“Dr mbona hivyo?”
“Sasa unadhani majimaji yatatokaje?”
“Jamani kwa hiyo unakuwa kama unaniandaa kwa ajili ya mapenzi”
“Sio kama nakuandaa… ndio hivyo nakuandaa kabisa”
Dr Kelvin alishika kufuli ya Rafiki na kuanza kuishusha chini mpaka ikatoka miguuni, hapa ndipo kazi ilikuwa ya hatari.
Alimchezesha rafiki mchezo ambao alikuwa hajawahi kufanyiwa kitendo kilichomuacha Rafiki anaweweseka huku akitema majimaji ambayo Dr Kelvin alijifanya anayaweka kwenye kidude kama kioo.
Kitendo kilichomshtua Rafiki ni kumuona Dr Kelvin anavuta Zipu ya suruali chini.
“Dr unataka kufanyake? ”
“WE tulia hapo”
“Dr Nooooo, siwezi”
“Sikiliza binti, nimegundua wewe ni mzima kabisa sasa mme wako ndio tatizo na mimi nataka tu kusaidia upate mtoto”
“Nitakupeleka Polisi Dr”
“Unajikosesha mtoto mwenyewe, mumeo hawezi mapenzi ndio maana hata hiki nilichofanya hajawahi kukufanyia, lala na mimi leo tu alafu nimegundua uko kwenye siku za kupata mimba na leoleo ukilala na mimi unashika ujauzito”
Dr kelvin alimwendea Rafiki na kumpapasa huku no akijianda kuweka mdudu wake kwenye Eneo la Rafiki ambalo lilikuwa limeloa vya kutosha
Sam alikuwa amekaa Nairobi vya kutosha na hakuna kitu alikuwa na hamu nacho kama mkewe, alikuwa amemmiss sana Rafiki na alitamani hata angekuwa nao hapo hapo alipo na wakati huo huo lakini ndio hivyo tena haikuwezekana.
Alichukua simu yake na kuanza kuperuz kwenye picha mbalimbali zilizokuwa kwenye simu yake hadi alipokutana na picha za mkewe.
Alianza kufunua moja baada ya nyingine, alizikagua akaangalia picha za mkewe alizopiga akiwa kavaa kihasara hasara, picha alizoacha kifua wazi, picha nyingine kavaa mini skirt pekee, picha zingine kavaa chup tu….
Aliendelea kuangalia picha hizo hadi anamaliza sehemu zake zilikuwa zimetutumuka vilivyo kwa hamu ya mke wake.
Alikaa akawaza kisha akaamua kumpigia simu ikiwa ni kama majira ya saa kumi na moja jioni,
Alipiga ikaita mara ya kwanza bila kupokelewa, akapiga mara ya pili na yatatu lakini haikupokelewa pia, wivu ulianza kumshika akiwaza mkewe atakuwa wapi na anafanya nini.
Alivyokumbuka utamu wa mkewe nakuanza kuwaza kuwa huenda kuna mwanaume mwingine anaufaidi ndio alizidi kuchanganyikiwa kabisa.
….nakupigia simu hupokei, utanijibu unafanya nini na uko na nani maana wanawake nawajua nyie…..
Sam alituma hiyo meseji kwa Rafiki lakini hata hivyo alikaa kama dakika mbili bila kujibiwa na hasira zikazidi kumlipuka, aliamua kuingia bafuni ili ajisaidie na wakati akiwa huko alisikia mlio wa meseji kwenye simu yake akarudi fasta akiamini ni mkewe katuma,
Alipofungua ujumbe aligundua ni wa wasap na umetumwa na shemeji yake ‘Verity’
Ujumbe ule ulikuwa umeambatana na picha ya mtoto wa kike huku ukiwa umeandikwa…. “mwenzangu kwa damu kali tu nakusifu”
Sam ghafla mawazo yote juu ya mkewe yakapotea akaanza kuangalia ile picha ya mtoto wa Verity ambae kiukweli alikuwa amefanana nae sana.
Mwenyewe alikiri bila wasiwasi kuwa hakika anafanana mno na Yule mtoto na uwezekano wa asilimia nyingi kuwa ni mwanae ni wa uhakika.
Akiwa kwenye hali hiyo simu yake iliita……………
………………………
Wakati simu ya Rafiki ikiita Dr Kelvin alikuwa anaiona vizuri tu lakini akawa anaiweka silent ili rafiki asisikie mpaka amalize adhma yake,
Wakati huo Dr Kelvin anataka kumuingilia Rafiki ambaye hata hivyo analeta upinzani simu ya Rafiki iliita tena na hapa ndipo Rafiki alikurupuka kitandani na kuiendea simu ambayo ilimfanya mapigo ya moyo yaende mbio.
Alikuwa ni mumewe anapiga…. Rafiki roho ilimsuta na kuhisi kama vile mumewe alikuwa anaona yote ambayo alikuwa anafanyiwa na Dr Kelvin.
Alishindwa kupokea maana mapigo ya moyo yalikuwa juu sana na inawezekana angeulizwa kwanini yuko hivyo na akakosa cha kujibu.
Alitulia kidogo kisha akakutana na ujumbe kutoka kwa SAM ambao ulizidi kumuweka roho juujuu na kisha akaamua ampigie Sam sasa wakati akiwa ametulia.
“Haloo hubyy mambo?”
“Uko wapi wewe” aliuliza Sam kwa sauti kali kweli
“Niko nyumbani mume wangu kwanini unauliza hivyo?”
“Nyumbani ipi?” Sam alikuwa anaendelea kuuliza maswali ya mtego kumpima mkewe.
“Kwanini useme nyumbani ipi kwani kuna nyumbani ngapi?”
“Nadhani unanielewa, nijibu uko nyumbani ipi?”
Rafiki alianza kuogopa tena akahisi mumewe kuna jambo anajua ama kuna kitu kimempa wasiwasi.
“Nyumbani kwetu mimi nawewe”
“acha uongo mbona niko hapa na hakuna mtu ?”
“Haaaa mume wangu kweli, umerudi lini” rafiki alianza kujichanganya
“Nijibu uko wapi nakwambia niko hapa nyumbani na hakuna mtu”
“Hebu subiri kidogo mume wangu”
Sehemu Ya 27
Rafiki alikata simu na kuizima kabisa kisha haraka haraka akaanza kuvaa nguo zake huku akiwa na mawazo tele.
Alifanya haraka haraka akaanza kuvaa nguo moja moja kisha akkachukua mkoba wake na kuanza kutoka…
Wakati anatoka Dr Kelvin akamvuta mkono
“We mjinga nini, unataka kuniharibia si ndio?”
“Umesahau simu yako mrembo”
Rafiki alikwapua simu akachukua boda boda kisha haraka sana akaenda kwake.
Alipofika alishuka na kumlipa Bodaboda kisha akaingia ndani kwake haraka na kukukuta kama alivyokuacha.
Ainyanyua simu yake akaiwasha na kuipiga tena..
Alipiga zaidi ya mara nane lakini haikupokelewa, alipiga tena na tena lakini wapi, mwisho aliamua kupanda kitandani na kujilaza akitafakari mambo mengi ambayo yamepita kwa kasi ya umeme ndani ya siku hii ngumu
Akiwa anawaza simu yake iliita tena na aliyekuwa anapiga ni mumewe…
“Haloooo”
“Ulikuwa wapi”
“Kwanini mume wangu”
“Kwanini nini, nasema ulikuwa wapi mke wangu?”
“Nilikuwa kwa mama”
“Nimempigia mama sasa hivi ameniambia haupo huko, hata kwa mdogo wako pia nimepiga, hata kazini pia nimepiga, ulikuwa wapi?”
“Ahh Ahh Nili…likuwa sokoni mme wangu”
“Sokoni eeenh? Na kwanini uliniambia uko nyumbani alafu tena ukaniambia ulienda kwamama?”
“SAMAHANI mume wangu”
“Kwakosa gani ”
“Nimesema nilikuwa nyumbani wakati nilikuwa sokoni”
“Sasa sikiliza nataka uandae majibu ya ukweli la sivyo utaniona mbaya, na nakwambia ukweli wako ndio dawa, ninajua kila kitu kinachoendelea na mawasiliano yako nayaona”
…………………………………..
Sam alishahisi kitu ambacho sio sawa kabisa kwa mke wake, alihisi huenda mkewe ameanza matendo mabaya.
Aliwaza sana kiasi kwamba alijutia kuja hii kozi ikiwa ndoa yake bado changa na walikuwa katika harakati za kutafuta mtoto.
Aliwaza huenda mkewe anachepuka ili azae mtoto kwani ni jambo ambalo lilikuwa linawasumbua wote hivyo akaona mkewe anaweza kuwa na wazo la kujaribu kwa wanaume wengine.
Kwa mawazo haya Sam aliamua tena kumpigia mkewe simu….
“Jiandae uje Nairobi weekend hii inayokuja”
“Jamani mme wangu wewe si uko masomoni”
“Ndio tutakuwa na mapumziko ya wiki moja”
“Sawa nitumie nauli basi”
“Chukua kwenye mshahara wangu”
Sam alimuagiza mkewe ambaye alijiandaa na baada ya siku mbili akapanda ndege mpaka Nairobi akapokelewa na mme wake ambaye walielekea moja kwa moja hotelini.
Huko hotelini mchakato ulioendelea ulikuwa ni mapenzi ya kukata na shoka.
Kwakuwa walikuwa wamemisiana kwa miezi kadhaa hamu zao zilikuwa juuu sana kiasi ambacho hakuna alyetaka kusubiri.
Walivyoingia chumbani tu, Sam alianza kusaula nguo za mkewe, alizisaula mpaka akambakisha na chupi tu kisha akaanza mambo ya Romansi, walichezeana kwa muda kisha Sam akambeba mkewe juujuu hadi akambwaga kitandani na kuanza kunyonya nyonyo za mkewe ambaye alikuwa kamlalia kwa juu
Wakati huu alikuwa anaitoa nguo ya ndani ya mkewe taratibu mpaka ikatoka kwa kusindikizwa na miguu ya mkewe kisha ikadondoka chini.
Sam alichukua tango lake na kulielekeza kwenye ikulu ya mkewe na kuizamisha taratibu kitendo kilichomfanya Rafiki aachie ukulele “aaaaaaasssssssh” kisha viuni vikaanza kazi ya Propela.
Walifanya mapenzi kwa muda mrefu kisha kila mmoja akiwa ameridhika wakaenda kuoga wakamaliza kisha wakarudi kulala usingizi ambao uliwachukua kama lisaa limoja baadae wakaamka na kwenda hotelini ambapo waliagiza chakula na vinywaji wakaanza kunywa huku wanazungumza.
“Mme wangu huku Nairobi nasikia wana hospitali nzuri kweli, unanonaje twende kwa ajili ya ile ishu?”
“alafu kweli mke wangu…ngoja nikupeleke kesho wakakuchek”
…………………………………
Kesho yake Sam na Rafiki walikuwa Kenyatta Hospital kwa ajili ya kucheki tatizo la mkewe kutokushika Mimba.
Walihudumiwa haraka sana baada ya kujitambulisha kuwa wao ni watanzania, walifanyiwa hivi kwani wakenya walitaka wageni waondoke na sifa nzuri kuhusu huduma zao ili wapate wateja wengi kutoka Tz.
Vipimo vilionyesha kama kawaida rafiki hana tatizo lolote kiafya na afya yake ya uzazi ni poa kabisa.
“Umekuja na Nani binti?” dokta alimuuliza Rafiki?
“Nimekuja na mme wangu”
“Oooh muite aje hapa ”
“Rafiki alitoka kidogo akarudi na mme wake”
“Karibu sana Mr. ”
“Ahsante sana pole na kazi Dr.”
“asante sasa tumempima mke wako anaonekana hana tatizo lolote, hivyo basi kwa taaluma yetu tunaona umuhimu mkubwa wa kukupima na wewe ili tujue tatizo ninini hasa ”
“Sawa hakuna shida Dr, japo mimi niko vizuri tu”
“Ni sawa kwasababu hata mwenzio yuko vizuri pia ila ni vizuri kujihakikishia ili kufikiria vyanzo vingine”
Sam alichukuliwa vipimo ambavyo havikuchukua mda mrefu sana na walikuwa wanasubiria majibu ambayo baada ya nusu saa waliitwa kule kwa daktari kisha wakaambiwa waketi kwa ajili ya mrejesho wa Vipimo na majibu yake……………..
Sam na Mkewe walikuwa wamekaa wanasubiri majibu ya Dr Otieno ambaye alikuwa ameshakaa tayari kwa kuwapa wateja wake mrejesho.
Sam alikuwa hana wasiwasi hata kidogo, alijiamini kwa kiwangi kikubwa sana kuwa yuko vizuri na hakuwa na shida kwani hata hivyo tayari yeye ana mtoto mmoja ambaye aliamini yeye ndie kazaa na Verity.
“Sasa jamani poleni kwa kusubiri”
“Asante dokta wala usijali”
Dr Otieno aliweka miwani yake vizuri kisha kwa jicho kama la kuchungulia hivi akawa anasoma ile karatasi ya majibu ya vipimo.
“Kwanza nawapa pole kwa mara nyingine katika harakati za kutafuta mtoto, najua mmepitia mengi lakini ndivyo ilivyo”
“Kimsingi tunapompima mwanamke ambaye amekuwa anatafuta mtoto bila mafanikio kwa kipindi cha kuishi na mumewe kwa zaidi ya mwaka mmoja huku wakifanya tendo kamili la ngono ni muhimu kumpima na mumewe pia kwani Mimba sio ya mwanamke pekee”
“Tatizo lililopo kwenye jamii nyingi za Kiafrika ni kwamba kuna mfumo ambao tatizo la uzazi (infertility) linahesabika kuwa la mwanamke pekee na mara nyingi husababisha mwanamke kuhangaika kwenye matibabu bila mafanikio huku akionekana hana tatizo lolote lakini mimba bado haitungi”
Sehemu Ya 28
Aliendelea kufafanua Dr Otieno kuwa kuna wakati mwanamke anapoonekana hapati mimba hufikia hatua ya kuachwa na mumewe kwa kigezo hicho na hatimaye huweza kuolewa na mwanamume mwingine na kufanikiwa kuzaa nae, hii huonyesha kuwa tatizo lilikuwa kwa mwanamume.
Kitaalamu uwezo wa kuzaa na ama kutokuzaa uko 50/50 kwa mwanamume na mwanamke, hivyo basi wakati wa matibabu na vipimo wahusika wote wanatakiwa wapate.
Kutokuhudhuria kliniki kwa wanaume kumewafanya waliowengi wasipate tiba ya matatizo yao na ama kuyafanya matatizo yao yakakomaa zaidi, ndio maana tunasisitiza sa a mwanamme na mwanamke wote wapimwe.
Sasa basi kwa upande wa Rafiki tumeona hana tatizo lolote ila tu kuna dawa itabidi upate ili kuongeza uwezo wako wa kupata mimba zaidi na pia nitakuandikia vyakula ama diet muhimu kwa ajili ya afya ya uzazi.
Kwa upande wako Sam tumegundua kuwa kuna tatizo kwenye uzalishaji wa mbegu zako…
Sam baada ya kusikia hivi alishtuka sana kwani hakutarajia.
Dr Otieno aliendelea….
“Vipimo vimeonyesha kuwa uliwahi kupata majeraha kwenye mfuko wako wa kuzalishia mbegu kitendo kinachopelekea mbegu zisizalishwe zikiwa hai lakini pia mrija wa kupitishia mbegu una uvimbe unaozifanya zisipite kwa kasi inayotakiwa”
” labda nikuulize Mr Sam, Je? Umewahi kujeruhiwa ama kupigwa kwa vitu vizito kwenye korodani ama sehemu ya chini ya Tumbo?”
Sam kusikia vile alipeleka kumbukumbu zake haraka sana kwenye matukio ya kupigwa na akina afande miraji pamoja na Baba yake Mkwe yaani RPC.
Hapo hapo machozi yalianza kumwagika usoni kwake kitendo kilichomfanya Rafiki aanza kupatwa na huzuni na kuamua kumkumbatia mumewe na kumfuta machozi.
” usijali Sam, nitakuwa nawewe bega kwa bega”
“Nyamaza Rafiki, baba yako ndie aliyataka haya”
Rafiki kusikia vile alianza kunyong’onyea mwili na viungo.
” kwahiyo unanihukumu mimi Sam?”
Dr Otieno kuona vile ikabidi aingilie…
“Mr Sam haimaanishi kwamba hutazaa, laah! Utazaa lakini inabidi upate matibabu kamili na baadae ndipo utaweza kupata watoto, ila hupaswi kuanzia sasa kufanya mazoezi magumu”
Dr Mimi ni askari alafu niko kozi
“ni sawa Mr Sam lakiini mimi naingea kitaalam kwamba ni vyema ukasitisha kazi ngumu ama mazoezi magumu mpaka upate tiba kwanza”
“Kazi ngumu kama zipi doctor”
“namaanisha kazi zisizo za kawaida kazi ambazo haziishii tu kwenye misuli”
Kwa Sam huu ulikuwa ni mtihani mzito kwani alikuwa anakaribia kumaliza kozi yake ambayo ingeweza kumpa cheo kizuri tu.
Mjadala kati ya Sam na Dk ulihitimishwa baada ya kupewa dawa za kutumia yeye na mkewe kisha wakarudi hotelini walipofikia.
………………………..
Mawazo ya Sam sasa yalikuwa yanarudi kwenye mtoto aliyezaa na Verity. Alikuwa anajiuliza kama yeye ana tatizo iweje kule aambiwe Yule mtoto ni wake.
Aliwaza ni kwanini iwe hivyo? Au Verity aliamua kumdanganya?
Wakati anawaza haya yote aliamua kuchuka tena simu yake na kuanza kuangalia picha ambazo Verity alimtumia zikimuonyesha Yule mtoto.
Aliichunguza moja baada ya nyingine huku akiikuza kuchunguza baadhi ya vitu kwenye muonekano wa Yule mtoto.
Kilichomshangaza ni jinsi ambavyo Yule mtoto anafanana nae…
Alifikia hatua akaanza kutokumuamini Yule daktari aliyewatibia kwa kudhani huenda amemdanganya.
Rafiki alikuwa nyuma ya Sam anamuangalia jinsi ambavyo mumewe anaangalia picha ya mtoto wa Verity, roho Ilikuwa inamuuma sana anapoona kile Sam anafanya.
Alitamani amshtue lakini akawa anasita, ghafla alimuona mumewe anafunga zile picha na kwenda kwenye upande wa meseji ambapo alilitafuta jina la Verity likiwa limeseviwa Shem Verrity.
Alipolipata Rafiki alishuhudia meseji ikitumwa….
“Nina maongezi na wewe”
…………………….
Verity alikuwa ameketi nyumbani kwake baada ya kutoka kazini akawa anacheza cheza na mtoto wake.
Kitu kilikuwa kinamfanya atabasamu muda wote ni yuke mtoto wake…alikuwa akimuangalia jinsi alivyofanana na Sam anajikuta anatabasam tu,
Alikuwa akimuona mwanae kama vile anamuona Sam, kwa jinsi anavyompenda mume wa DADA yake (Sam), ilitosha kabisa kufurahishwa na uufanano wa mwanae kwa Sam.
“Bebiiii”
“Ma..ma…ma…ma”
Kitoto cha verity kilikuwa kinamfwata mama yake huku kinaita kwa kukatakata maneno huku kinamchekea mama yake
Verity nae alikuwa amejiachia mpaka jino la mwisho wakati mtoto wake anamshangilia, sura na muonekano wa Sam vilikuwa juu ya huyu mtoto.
“Bebiiiii…njoo bebiiiiii….waooooooooh”
Verity alimkumbatia mwanae.
“Bebiiii umefanana na baba yakoooooo, hadi raha”
Wakati Verity anamwambia mtoto hivi mtoto nae akaanza kutamka….
“Ba…ba….ba….ba….”
Gwakisa alikuwa amefika nyumbani anamuangalia mkewe ambaye anacheza na mtoto pasi na wao kumuona.
Alikuwa anafurahia jinsi mkewe anavyocheza na mtoto lakini ghafla alibadili mudi baada ya kusikia verity akimmwambia mtoto amefanana na Baba yake hadi raha.
Hapa Gwakisa alikuwa anajiuliza ni baba yupi huyo anayefanana na mtoto wakati yeye hafanani nae hata kidogo.
Ghafla meseji iliingia kwenye simu ya Verity ambaye aliichukua asome ile meseji
“Nina maongezi nawewe”
Verity aliisoma hii meseji kutoka kwa Sam, wakati anataka kuijibu alicheki pembeni na kukutana na sura ya Gwakisa akiwa ameegemea mlango.
“Baba mbona mkimyakimya”
“Kwni hapa si nyumbani kwangu”
“Haya karibu baba”
“TOTOOOOOOO…umemuona baba…njoo umsalimie”
Verity alikuwa anamvutia mtoto kwa baba yake (Gwakisa)
“Huyu mtoto nimefanana nae eenh?” gwakisa aliuliza
“Mh hata hujafanana nae sana, labda pua tu mimi ndio nimefanana nae” verity alijibu bila kujua kuwa anategwa.
“Si nimekusikia sasa hivi hapo unamwambia amefanana na baba yake hadi raha, alafu saivi unasema sijafanana nae ”
“Mh umenisikia sangapi, mimi sijasema hivyo”
Hapa Gwakisa alizidi kuchanganyikiwa?
“Hujasema hivyo wakati nimekusikia? Verity kuna nini kinaendelea”
“Aaaaah si ndio hiyo pua niliyokwambia umefanana nae”
“Yani Pua ndio useme nimefanana nae hadi raha?”
“Ndio, kwani mbona unauliza sana, una wasiwasi juu ya huyu mtoto”
“Sina wasiwasi wala usijali”
Tangia siku hiyo Gwakisa alikuwa amejenga picha mbaya sana kichwani mwake kuhusu Verity na Yule mtoto.
Kuna roho la mauaji lilikuwa limeanza kuisonga akili yake na lilikuwa linamtuma kufanya kitu kibaya.
……………………………
Rafiki alikuwa anawaza mengi sana kichwani mwake, kitendo kile alichokuwa anakiona kwa mme wake na mdogo wake kilikuwa kinampa wakati mgumu sana.
“Vipi una maongezi gani na Verity?”
“Kwani nimesema nina maongezi nae, yanini sasa?”
“Mme wangu…nimekuja mda tu na nimekuona unavyomuangalia mtoto wa mdogo wangu kwenye picha kisha ukamtumia verity meseji kuwa una maongezi nae, sasa unakataa nini?”
“AHHH kwahiyo unanichunguza? Unaanza kuniendesha kwasababu nimeambiwa nina matatizo si ndio?” sam alikuja juu.
“Usijali Sam, matatizo yako yanatibika ila unatakiwa uwe na subira, siwezi kukuendesha wewe ni mume wangu”
Ukweli ni kwamba Rafiki alikuwa amesoma saikolojia ya mume wake na kuona kuwa haiku sawa hakutaka kubishana nae na aliona njia nzuri ni kwenda nae polepole kwa kumbembeleza asijisikie vibaya.
Alimuendea pale alipo akamkumbatia na kuanza kumsugua sugua mgongoni ambapo Sam alianza kuwa normal na hata ile tempa ikawa imeshuka.
Rafiki alichukua simu ya Sam na kufungua picha za Yule mtoto na kuanza kumtania mme wake..
“Mh mume wangu umefanana na huyu mtoto?”
“Acha bhana sasa nifanane nae kwani ni ndugu yangu?”
“Lbda wewe ni baba yake?”
“Acha utani bhana, Verity si shemeji yangu, kwanza umeshaambiwa mimi nina matatizo”
“Sasa kama matatizo uliyapata baada ya kutungisha mimba, kwani si ulipigwa ukiwa tayarii ushatembea na Verity?”
Sam alipigwa na butwaa la mwaka kwani katika akili yake alikuwa hata siku moja hajawahi kudhani kuwa Rafiki anajua kuwa aliwahi kutembea na Verity. Alijua siri hii anaijua Verity na baba yake tu kumbe Rafiki alikuwa anajua kila kitu.
“Ahhhh….AHHHH acha utani bwana”
Sam alishikwa na kigugumizi kabisa na kushindwa kuongea jambo la maana.
“Tuachane nayo tuongelee yetu, ila chondechonde usije ukaharibu ndoa ya mdogo wangu”
Sam alitaka ajibu neon lakini Rafiki alimuwahi na kumnyonya mdomo na kuanza kufanya yao hadi walipochoka na kuamua kulala.
………………………………………….
Asubuhi na mapema Verity alichukua simu yake na kutaka kumpigia Sam, simu iliita kisha Sam akapokea
“Haloo”
“Mambo vip”
“Poa, umeniambia una mazungumzo na mimi”
“Ndio ni kuhusu huyo mtoto”
“Ana nini, si tulikubaliana hutamuulizia”
“Sawa Verity, hivi nikuulize kitu kimoja”
“Uliza… ”
“Mbona hospitali nimembiwa sina uwezo wa kuzaa alafu nawewe unaniambia mtoto ni wangu?”
Wakati Verity anataka ajibu alikutana na mumewe uso kwa uso akiwa anamuangalia
“Haloo, halooo, halooooo” Sam aliendelea bila kujua kuwa mwenzake yuko kimya kwasababu kataitika.
…………………………
Rafiki alitoka nje baada ya kumuona mumewe anaongea na simu kwa kujiibiza, aligundua kuwa Sam alikuwa anaongea na Verity.
Roho ilimuuma kiasi ambacho aliona anaweza asiweze kuvumilia…akiwa anawaza simu yake iliingia meseji, alipoifungua akakutana na meseji ya Dr Kelvin… “Nimekumiss mrembo”
Rafiki alifikiria ile meseji na kujikuta akivuta kumbukumbu nyuma na kisha akaishia kushusha pumzi kwa nguvu na kufuta ile meseji.
………………………
Gwakisa alikuwa anaemia mno moyoni, na Verity alionekana kabisa hajali….
Gwakisa aliingia kwenye kabati la nguo na kufungua chemba yake akaitazama Bastola yake kisha akaiweka vizuri, pepo la kuua lilikuwa limekaribia kabisa na vitendo, hakupenda kudharaulika…………
Sehemu Ya 29
Maisha ndani ya Nairobi yalikuwa yakienda kwa kasi sana, Rafiki alikaa na mme wake kwa muda wa wiki moja huku Sam akijitahidi kumtembeza maeneo mazuri nay a starehe yaliyojazana kwenye jiji hili la Nairobi.
Rafiki alikuwa na furaha na aliionyesha usoni lakini ndani ya moyo wake alikuwa na kinyongo kinamtafuna.
Uhusiano kati ya Sam na Verity ulikuwa unamtesa sana, alijua baada ya ndoa kila kitu kitakuwa kimekaa sawa na Sam n verity watasahauliana lakini anashuhudia uhusiano ukiendelea kwa kupigiana simu na mawasiliano ya siri kuonyesha kuwa kuna jambo kati ya hawa watu wawili linaendelea.
Sam nae alikuwa anajaribu kuwaza kwanini Verity amemkatia simu ia alipokumbuka kuwa Verity ni mke wa mtu aliamua kuacha na kusubiri endapo Verity angemtafuta mwenyewe.
Siku ya siku ilifika Rfaiki akapakia kwenye ndege na safari ya kurudi dar es salaam ilikuwa imewadia. Kwa kuwa Dar es Salaam hadi Nairobi ilikuwa ni takribani lisaa limoja tu na dakika kadhaa haikumchukua muda mrefu sana Rafiki kufika.
Alifika na kuunganisha kwa basi lililokuwa linaenda Mbeya siku hiyo hiyo, akiwa ndani ya basi alikuwa akiwaza mambo mengi sana lakini mengi yakiwa yanaihusu ndoa yake.
Alikuwa anampenda sana mme wake na alitamani awe nae muda wote ili yale yanayowahusu wayajenge pamoja.
Alitamani sana awe na mtoto, alitamani amzalie mume wake ili atimize majukumu yake ya ndoa lakini ndio hivyo tena, wakati mwingine alijikuta akimchukia mdogo wake kwa kudhani kuwa huenda anamdharau kwakuwa yeye amezaa na Sam ikiwa yeye mwenye mume ameshindwa kumzalia mume wake.
Akiwa anawaza kumbukumbu zake zilienda mpaka kwa Dr Kelvin na kuamua kumtumia meseji kwani tangu alipotumiwa meseji na Dr huyo hakuwahi kuijibu.
“pole na kazi Dr. nadhani uko mzima”
Dr kelvin akiwa kazini kwake hakuamini kuona meseji kutoka kwa mwanamke ambaye toka aanze kazi ya udaktari huku akiwa na tabia ya kutembea na wagonjwa hakuwahi kukutana na mwanamke aina ya Rafiki. Alikuwa anavutiwa nae mno, alitamani sana alale nae hata mara mia moja ikiwezekana awe wake kabisa japo ni mke wa mtu tayari.
Kitendo cha kutumiwa ile sms kilimfanya auone ushindi ukikaribia mlangoni kwake.
Aliacha kila kitu na kuchukua simu kwa lengo la kumpigia kabisa Rafiki.
………………………………
Sam alikuwa kwenye kituo cha mafunzo ya kiusalama ambapo pamoja na mambo mengine lakini alikuwa anasomea masuala ya teknolojia na upelelezi jeshini.
Hizi ni kozi ambazo walikuwa wanasoma watu wachache ambao huwa wanalengwa kwa ajili ya vyeo vikubwa kwenye jeshi la Polisi.
Pamoja na uzuri wa hii kozi lakini Sam alikuwa anateswa na masharti ya dokta kwamba asifanye kazi ngumu sana hadi atibiwe tatizo lake la kutokutungisha mimba(infertility).
“Heeey…njoo hapa”
Sam aliitwa na kamanda wa mafunzo…
“Kwanini hujaenda mazoezini”
“Najisikia kuumwa mkuu”
“Pumbaaav….haya lala chini”
Sama alibidi alale, ahakukuwa na namna ya kujibishana na mkuu wake.
“Roll mpaka kuleeeee kwenye gereji”
Sam ilibiidi aanze kujibiringisha hapo chini mpaka akafika kwenye gereji ya hapa chuoni na kuamriwa ageuze tena.
Zoezi hilo lilipoisha alikuwa amechafuka kama aliyekuwa amezikwa.
“Miguu juu kichwa chini tembea na huu ukuta uende na kurudi”
Hili ni zoezi lingine ambalo Sam alikuwa analia nalo akiwa anazunguka kwenye ukuta kwa kutumia mikono huku miguu ikining’inia juu ya ukuta,
Mateso aliyokuwa anayapata alijiona wazi akiwa anaharibu masharti ya daktari, hakuwa na namna ilibidi aendelee na zoezi lake.
Alihenyeshwa kwa zaidi ya masaa mawili ndipo akaachiwa na kwenda kujumuika na wenzake.
Siku ya kesho yake aliamua kumfwata mkuu wa mafunzo na kumueleza matatizo yake akiambatanisha na vielelezo kutoka kwa daktari wa Kenyatta Hospital.
“Wewe Mtizedi shenzi sana…umewahi sikia askaria akililia kuzaa?” sam alikuwa anaambiwa maneno ambayo hakuyatarajia.
“Kwa kukupa tu taarifa, hawa wote hapa wanaowafundisha hakuna aliyepata zaa mtoto, hakuna aliyeoa bibi” askari huyu alikuwa akiongea lafudhi ya Kikenya akimwambia Sam kuwa eti sio lazima Askari azae.
“Wewe nenda fanya research yako alafu uniambie uliwahi ona komandoo wangapi wakizaa watoto?”
Sam kwa wakati mwingine alikutana na mtihani mwingine. Nikweli kuwa mazoezi yale magumu sana waliyokuwa wanapewa ilikuwa sio rahisi kuwa na uwezo wa kupata watoto, yalikuwa yanaharibusana mfumo wa uzazi wa awe mwanamume ama hata mwanamke.
Sam alijipa moyo kwamba whatever ili mradi tayari ana mtoto wake mmoja.
“Nitahakikisha namchukua mwanangu kutoka kwa Verity, sitajali chochote hata kama ni DNA tutapima, siwezi kupoteza damu yangu” sam alikuwa anawaza kimya kimya.
………………………………………
Verity alikuwa anashangazwa sana na mabadiliko ya mume wake Gwakisa, upendo uliongezeka mara dufu.
Kila siku jioni ilikuwa ni lazima watoke wakatembee wale na kunywa kwa furaha
Kila Gwakisa alipopata nafasi ya kutoka basi alikuwa anawaletea zawadi nyingi sana ikiwemo nguo na vitu vingine vingi tu vya kupendeza.
Ofisini kwa Verity kila mtu alikuwa anamuonea wivu jinsi ambavyo alionekana kupendwa na mume wake.
Alikuwa analetwa asubuhi na gari na jioni anafwatwa kurudishwa nyumbani na Gwakisa huyuhuyu bila kumtuma mtu.
Siku zilisogea kidogo na siku moja ambayo haikuwa na taarifa Verity alishtuka kupewa funguo za gari.
“Hii ni yako baby…utakuwa unaendesha mwenyewe kwenda kokote”
Verity alibaki mdomo wazi akiitazama Harrier Mpya ikiwa imepaki ukumbini huku iking’aa kwa upya wake….
“Waoooh baby mbona siamini, ni lakwangu kweli”
“Ni lako mke wangu…I LOVE YOU” Gwakisa alimwambia Verity ambaye hakutaka kusubiri akamvaa mme wake na kuanza kumnyonya mdomoni.
Gwakisa alikuwa ni mwanamume mwenye mwili mkubwa uliojengwa kwa mazoezi, aikuwa mrefu na mwenye misuli kiasi kwamba Verity alivyokumbatiwa alikuwa kajaa kwenye kifua cha Gwakisa na kupakatwa kama mtoto huku miguu yake ikipita kiunoni mwa Gwakisa wakinyonyana ndimi.
Zoezi liliendelea pale nje na hatimaye likahamiia ndani ambapo Verity alinyonyolewa nguo zake na kuegeshwa ukutani kisha gwakisa nae akatoa suruali yake huku akiwa kambeba verity kifuani akauchomeka mhogo wake kwenye ikulu ya Verity ambae alianza kugugumia kwa utamu.
Uimara wa Gwakisa ulimfanya afanye mapenzi na Verity huku akiwa kamshikilia juu juu mpaka wote wakamaliza mizunguko ndio wakaachiana na Verity akashushwa chini akiwa hajiwezi kwa furaha.
Zoezi la kufundishwa kuendesha gari liliendelea kwa siku kadhaa huku likisimamiwa na Gwakisa mwenyewe ambapo sasa Verity alikuwa na uwezo wa kuendesha gari anaenda kazini na kurudi pamoja na kwenye mizunguko mingine.
Sam Na Verity walikuwa wanawasiliana kwa siri kitendo ambacho Gwakisa alikishtukia lakini hakutaka kusema jambo alikaa kimya tu, mapenzi kwa mkewe na mtoto aliyazidisha mara dufu kiasi ambacho kilimpa nafasi Verity kuhisi anapendwa sana,
Kutokana na mapenzi haya Verity alimsihi sana Sam kuwa wasitishe mawasiliano kwani hakutaka kumuudhi mme wake lakini Sam alikuwa mgumu kwa kuwa alikuwa anampango wa kumchukua mtoto.
……………………………………..
Gwakisa alikuwa ndani ya Gari la mkewe huku akiwa na mtoto wanaenda matembezi. Walikuwa wamekaa sehemu wanapata vinywaji na marafiki zake huku mtoto wake akiwa anacheza gemu kaka kwenye kiti.
Rafiki zake Gwakisa ambao walikuwa hawajui kuwa Yule ni mtoto wa Gwakisa walimuuliza…
“Gwakisa huyu mtoto ni wa nani?”
“Mtoto wangu huyu”
“Kweli?”
“Haaa , huamini au?”
“acha masihara bhana”
“Huamini nini sasa”
“Mh mzuri kweli, atakuwa amefanana sana na mama yake maana ulivyo na sura ngumu angefanana na wewe sijui ingekuwaje”
Hili lilikuwa ni dongo jingine kwa gwakisa kuhusu mtoto, roho ilikuwa inamuuma ila akawa anajikaza tu.
Maisha yaliendelea huku Gwakisa akiwa karibu sana na mtoto wake kuliko hata mtu mwingine, kwa Verity ilikuwa ni furaha na alikuwa anapenda yale mapenzi ya Baba kwa mtoto japo alijua kuwa mtoto ni wa Sam.
“Mimi kesho ntaenda dar mke wangu”
“Kufanyaje?”
“Nimeitwa makao makuu ya Jeshi”
“Mhhh tutakumis”
“Hata mimi nitawamis, hasa haka katotoooo”
“Nenda nae”
“Kweli kabisa”
Kwa Gwakisa hili lilikuwa ni zaidi ya ushindi kwani mda wote alikuwa anatafuta ni namna gani anaweza kuondoka na mtoto.
Kitendo cha mkewe kusema hivi kilimrahisishia na kuishia tu kufurahi huku akikimbia na mtoto chumbani kwenda kulala.
……………………………………………
Gwakisa ndani ya gari anaelekea DAR huku pembeni amekaa mtoto wao ambae alikuwa na amani zote anapokuwa na baba yake.
Walikuwa wanasuka kwenye milima ya Kitonga huku safari ikiwa imeiva kabisa, kila mara Gwakisa alikuwa anakitizama hiki kitoto na kutikisa kichwa chake tu.
Walipofika dar kwenye mida ya saa mbili usiku aliwasiliana na watu wake ambao walikuja hapo hotelini na kufanya nao mazungumzo kisha wakaagana kwa ahadi ya kuonana tena kesho yake.
“…dadiii ojoa..”
“Nini ”
“Ojoa”
“Umekojoa?”
Ni Gwakisa akiwa na mwanae chumbani akimwambia kuwa anataka kukojoa, Gwakisa aliamka akamchukua mtoto mpaka bafuni ambapo alimvua nguo na kumpa nafasi ya kukojoa.
Walirudi mpaka chumbani kisha wakapanda kitandani kulala. Kabla hawajalala alimvalisha pampas vizuri na nguo za kulalia kisha akamfunika na kuanza kumbembeleza kwa kumpigapiga mgongoni ili alale.
Wakiwa wanabembelezana simu iliita ambapo alipoangalia aligundua kuwa mpigaji alikuwa mkewe,
“Vipi mpo salama”
“Tuko salama sijui wewe”
“Mimi niko poa, vipi huyo mtoto hakusumbui”
“Wala hasumbui hapa ndio anataka alale”
“mhh hajalala tu mpaka mida hii?”
“Hajalala ongea nae umsikie”
Yule mtoto ambae alikuwa anaitwa Princess alipewa simu ili aongee na mama yake
“Kamoo mamiii”
“Marhabaaa, hujambo”
“Jambo mamiii”
“Haya lala mtoto mzuriiii ee”
“Haya mamiii”
Walipomalizana Gwakisa aliendelea kumbembeleza mtoto wake ambae alikuwa amejikunyata huku akiwa kama kamkumbatia baba yake kitendo ambacho kilimfariji sana yeye Gwakisa mwenyewe.
Alikuwa amemzoea sana huyu mtoto kiasi ambacho alikuwa anafarijika sana kuwa nae japo wakati mwingine alikuwa anaemia sana.
Baada ya dakika chache usingizi uliwapitia wote na kuzama katika dimbi la usingizi hadi kulipokucha siku nyingine.
……………………………….
Sam alikuwa akiwaza sana kila wakati akifikiria mustakabali wa maisha yake.
Aliwaza ikiwa hatakuwa na uwezo wa kuzaa kabisa maisha yake yatakuwaje? Ina maana hataitwa Baba kamwe, ina maana atazeeka akiwa na mkewe tu?
Lakini je mkewe atakubali kumvumilia mpaka mwisho bila kuzaa nae au ndio ataenda kwa wanaume wengine?
Sehemu Ya 30
Aliwaza sana hadi mwishowe akajikuta akiichukia kazi ya Uaskari.
Lakini hata pamoja na kuichukia kazi ya uaskari hakuona kama ilikuwa ni njia sahihi ikiwa tayari yumo humo nay a kutokea tayari yameshatokea.
Aliamini kilichobaki kwakuwa tayari ana mtoto wake anayeamini ni uzao wake ni lazima iwe iwavyo amchukue.
Katika mambo aliyowaza na kuyapitisha kwenye kichwa chake ni kwamba ampigie Verity simu ajadilian nae kuhusu hilo swala.
“Haloo”
“Enhee unasemaje?”
“Hata salamu hakuna Verity?”
“Hivi lakini Shemeji Sam mbona hujiheshimu?”
“Unamaanisha nini Verity”
“Nimeshakwambia sitaki mawasiliano na wewe, mimi ni mke wa mtu na wewe ni mme wamtu tena mme wa dada yangu, hivi ukiharibu hizi ndoa unadhani utafaidika nini?”
“Yani wewe Verity ndio wa kusema hivyo, wewe na mimi nani ambaye alimuingiza mwenzake kwenye haya mambo?”
“Sasa nisikie Sam, elewa kwamba yaliyoppita yamepita, mimi nampenda sana mme wangu, sitaki unigombanishe nae”
“Sawa namimi sina shida na hilo, mimi nataka tu mtoto wangu na sio kingine”
“HAHAHAHAAAAAA Sam umelogwa sio bure, hivi hutaniwi? Nakuuliza hutaniwiii? Aliyekwambia Yule mtoto ni wako kakudanganya na kama ni mimi basi nilikutania tu, huna uwezo wa kuzaa Sam, ungekuwa nao ungeshamzalisha dada yangu”
Sam kwa hasira aliamua kukata simu.
Mawazo lukuki yalikiandama kichwa chake akaona kinataka kupasuka, kabla hajafanya lolote simu yake ikaingia meseji.
“Nakwambia ukweli Sam, nilikutania tu kusema ukweli Yule mtoto sio wako, mtoto ni wa Gwakisa na nakuomba usimtaje tena mimi nilikwambia vile kwasababu nilitaka tuendeleze mapenzi yetu ila nimegundua nampenda sana mme wangu, please naomba uzae wa kwako, huyu sio wako”
Sam alisonya kisha akaamka alipokuwa amekaa na kuanza kupiga ngumi ukutani kwa hasira, hakuamini maneno aliyoambiwa na Verity. Yalikuwa yamemuumiza kuliko kawaida kiasi kwamba alijikuta akikata tama kabisa.
…………………………
Ilikuwa ni saa mbili asubuhi ambapo tayari Gwakisa alikuwa ameamka na mtoto wake wanajiandaa kwa siku nyingine.
Gwakisa alikuwa anampigisha Princess mswaki kisha akamuogesha kwa maji ya moto na yeye mwenyewe akajisafisha kisha hatimaye wakavaa vizuri na kuondoka pale chumbani.
Walielekea moja kwa moja kwenye gari lao na hatimaye wakaenda mpaka Mikocheni kulipokuwa na hospitali moja ya kisasa kabisa iliyokuwa inamilikiwa na wajerumani.
Alipofika walipokelewa vizuri kisha Gwakisa akapelekwa sehemu ambayo kulikuwa na wataalam wa Maabara kwa ajili ya vipimo vya DNA kama ambavyo alishaweka booking siku kadhaa nyuma.
Walichukuliwa vipimo yeye pamoja na mtoto wake kisha wakaambiwa wakapumzike nyumbani hadi kesho yake aje achukue majibu.
Hakukuwa na jingine isipokuwa Gwakisa aliamua kuzunguka mjini akitafuta nguo za mtoto wake, yeye mwenyewe na mama yake hadi ilipofika mchana ambapo walienda mpaka Mlimani City wakajipatia chakula cha mchana.
Siku ilimalizika wakiwa wanatembea maeneo mbalimbali kisha wakarudi kwenye hoteli waliyofikia.
Mawasiliano na mkewe (Verity ) yalikuwa kila wakati yanafanyika huku akimdanganya kuwa yuko Dar es Salaam kikazi ili hali sio kweli bali ameenda kupima DNA ya mtoto wake.
……………………………….
Sam alikuwa bado na mawazo mengi sana akitafakari yote aliyoambiwa na Verity lakini kwa Upande mwingine Verity nae alikuwa amekosa amani kwa yale ambayo Sam alikuwa anayafanya, hakutegemea hata siku moja kuwa sam atakuja abadilike kiasi hicho juu ya mwanae.
Kwasasa Verity aliiona hatari ambayo ilikuwa inamnyemelea endapo Gwakisa ataugundua mchezo unaoendelea.
Alitamani hata kumuua Sam lakini kivipi alikuwa hajui, maisha yake mapya na mme wake aliyapenda sana na asingetaka mtu ayavuruge.
Sam hakutaka kumuacha Verity na ushindi, alichokifanya aliamua nae amtumie sms
….nakwambia ukweli Verity, kama huyo ni mtoto wangu nitamchukua tu, kama sio wangu swadakta ila kama ni wangu siwezi kuruhusu damu yangu ilelewe na mwanaume mwingine Never, Jiandae kwa DNA, kwa hili hata mme wako nitamtaarifu ili ajue…..!
Verity alipoiona hii sms alisikia kama kitu kinakata kutoka upande mmoja wa tumbo kwenda mwingine, hakuwahi kufikiria kuhusu DNA na hapa aliona mambo yakivurugika kabisa na ghafla mkono ukawa umepanda kwenye tama kuashiria kuwa mambo sio shwari.
………………………..
Kulipokucha Gwakisa kama kawaida alimuandaa mtoto wake Princess pamoja nayeye mwenyewe kwa ajili ya kwenda kue hospitali kupokea majibu.
Waliingia kwenye gari lao na safari ikaanza taratibu huku Gwakisa akiwa na mawazo lukuki, kuna wakati alijilaumu kwa uamuzi wake, alijiuliza hivi ikitokea kuwa Yule sio mtoto wake atamfanyaje?
Je atamuacha mke wake? Je atamfukuza mtoto nyumbani ama atafanyaje?
Kuna wakati alitamani asingeamua kupima akaishi tu akiamini ni mtoto wake kuliko atakapoujua ukweli kabisa.
Alimuangalia Yule mtoto pale pembeni anavyojisikia furaha akimuona Baba yake anaendesha gari, alifikiria jinsi mtoto anavyompenda hadi kuwa nae siku zote bila kumkumbuka mama yake alafu leo aambiwe sio wake atafanyaje?
Moyo ulimuuma sana lakini mwisho akaamua ni lazima amalize kazi aliyoianza.
Safari ya Hospitali iliendelea na hapa tayari walikuwa Mwenge, waliendelea na barabara ya Ali Hassan Mwinyi mpaka walipofika eneo linaitwa Victoria kisha wakakunja kushoto hadi ndani ndani huko ilipokuwa hiyo hospitali.
Alishuka kwenye gari akamchukua mtoto wake akamuweka begani kisha akafika mapokezi ambapo simu ilipigwa kwa wahusika.
“Kaka naomba ukae wanasema utaitwa baada ya robo saa”
Gwakisa alikaa kwenye kiti bila wasiwasi huku mwanae akiwa kamlalia mapajani.
Baada ya dakika kama kumi hivi Yule dada pale mapokezi alimuita na kumwambia kuwa anahitajika kwa daktari wake.
Gwakisa alimchukua mwanae kwa kumshika mkono wakatembea mpaka kule ilipokuwa ofisi ya daktari aliyewahudumia.
“karibuni sana mketi”
“Asante sana”
“Totooo jambo”
“Jambo”
Sasa ndugu Gwakisa Ambikile majibu yako yako tayari na tunakuomba uingie chumba hiki hapa kuna wataalamu uonane nao kwanza kabla sijakupa majibu.
Mawasiliano kati ya Sam na Rafiki yeliendelea vizuri tu japo hayakuwa imara kama awali, siku zote Rafiki alikuwa ndie wakkwanza kumtafuta Sam lakini moyo ule ulianza kupotea na alikuwa anamtafuta kutimiza wajibu tu.
Mambo mengi yalikuwa yamemkatisha tama lakini kubwa likiwa kitendo cha Mme wake kuwa na mawasiliano ya karibu sana na Verity.
Jambo jingine ni jinsi ambavyo hawapati mtoto na kugundulika tatizo lipo kwa mme wake, alikuwa tayari kumvumilia mpaka tatizo lile lipone lakini kinachomuumiza ni tabia ya Sam kutokuwa mwaminifu.
Akiwa anawaza haya yote simu yake iliita na mpigaji alikuwa ni Dr Kelvin.
Waliongea mengi sana ikiwa ni pamoja na hatua tatizo lao lilipofikia. Dr kelvin alikuwa anaongea kistaarabu sana na mpaka wanamaliza mazungumzo hakutamka jambo lolote la kimapenzi.
Kitendo hiki hadi Rafiki alikishangaa kwani kwa jinsi alivyokuwa anamjua Dr Kelvin na tabia yake mbaya alijua basi siku hiyo angeombwa “naniliu”.
“Haya dada nikutakie siku njema na Mungu awasaidie tatizo lenu liishe”
Dr Kelvin alimalizia kwa kusema hivyo
Kwenye akili ya Dr Kelvin alikuwa amepanga mkakati wa kumnasa Rafiki, katika mkakati wake aliamua kutokuwa na haraka, alijua kuwa kwa kufanya hivi ataonekana kuwa sio mtu mrahisi na mpenda hayo mambo hivyo anajenga kwanza kuaminika.
Ukweli ni kwamba Rafiki alibaki kaduwaa kweli kweli kwani alitaka achokozwe kidogo ili apunguze machungu ya Sam japo swala la kusaliti kabisa ndoa yake bado lilikuwa gumu kuafikiwa kwenye moyo japo kuchokozwa kidogo alitamani ili nae ajione anadai.
Kesho yake Rafiki akiwa kazini kwake alipokea simu nyingine ya Dr Kelvin.
“Haloo niko hapa nje ya ofisini kwenu”
“We mutu umekuja kufanya nini huku?”
“Kwani ofisi zenu huwa hazihudumii binadamu au mimi sistahili huduma zenu”
“Mh haya bhana, karibu”
“Njoo hapa nje unisalimie”
Rafiki aliwaza kidogo kisha akauliza “Uko na nani”
“Niko na mke wangu njoo umsalimie mfahamiane”
Rafiki kusikia vile alishtuka kidogo kisha akaona asipoenda ataeleweka vibaya ni bora aende tu.
Alitoka nje na kukuta gari imepaki karibu na geti huku Dr Kelvin akiwa ametoa kichwa dirishani.
Rafiki alisogea pale akamsalimia kwa adabu zote lakini cha ajabu hakumuona huyo mke wad r kelvin.
“Huyo mkeo yuko wapi sasa?”
“Nilikuwa nakutania bhana, mke wangu yuko nje ya nchi anasoma”
“Hujatulia kabisa wewe”
“Sio kweli… twende ukapate breakfast kidogo”
Rafiki hakukataa kwasababu kwanza ndio ilikuwa mida ya chai hivyo alichoma ndani ya gari na kuelekea kwenye mgahawa ambapo walipata kifungua kinywa kilicholipwa na Dr Kelvin.
Walipomaliza Dr Kelvin alimpeleka mpaka ofisini kisha yeye akarudi kwenye kazi yake.
Siku hii tena Dr Kelvin wala hakumwambia Rafiki mambo yoyote mabaya, hadi Rafiki anafika ofisini alikuwa anawaza na kuamini kuwa huenda Dr Kelvin ameamua kubadilika.
Usiku rafiki akiwa anajiandaa kulala alipigiwa simu na Dr Kelvin ambapo waliongea mambo mengi sana kisha Dr Kelvin akaanza uchokozi wake.
“Hivi siku ile kule hospitali ulijisikiaje?” aliuliza Dr Kelvin
“Nilijisikia vibaya”
“Basi ungekubali tu tumalize ungejisikia vibaya zaidi”
“Walaaa siwezi kukubali, yani nikubali ili nijisikie vibaya zaidi”
Waliendelea kuchokozana na katika mambo ambayo Rafiki alikuwa hajui ni kwamba Dr Kelvin alikuwa mtaalam wa mapenzi mpaka ya mdomoni, yani mapenzi ya kuongea.
Alimpelekesha Rafiki kwenye simu mpaka ikafika wakati akawa anamvua nguo moja moja anaweka pembeni, anamtomasa, anamchezea sehemu nyeti mpaka ikulu kisha anampanua miguu na kuingiza mashine yake.
Anamkatikia viuno na kumbadililishia style mbali mbali hadi Rafiki anakojoa kabisa.
Haya yote yanafanyika kupitia kwenye simu.
Ilifika hatua Rafiki akakojoa kweli huku anamwambia Dr Kelvin kuwa anakojoa.
Siku ile iliisha kwa Rafiki kuwa amejisikia rah asana kukatwa kiu yake.
Ilifika hatua kwamba kila siku kabla Ya kulala Rafiki na Dr kelvin wanaongea na simu hata masaa matatu.
Mchezo huu Sam aliushtukia kuwa kuna mtu anaongea na mkewe kila siku usiku tena kwa mda mrefu kwani kila alipokuwa anampigia simu ilikuwa inatumika.
Baada ya hapo Rafiki anamtafuta na kuongea nae haraka haraka kisha anakata na hapo Sam akipiga tena anakuta inatumika kuonyesha kuwa alikata tu ili amalizane na Sam alafu aendelee na watu wake.
Kitendo hiki kilimuumiza Sam lakini akaamua kukaa kimya tu.
Pamoja na Dr Kelvin kuongea mengi na Rafiki kwenye simu lakini alipotaka kuomba mzigo atusue alikuwa ananyimwa. Rafiki hakuwa tayari kufanya mapenzi nje ya ndoa yake mubashara kabisa, roho ilikuwa inamsuta sana.
Dr Kelvin nae aliendelea kukomaa na safari hii alikuja na gia ya kumzalisha.
Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kutoa siri za ndani kwao pindi wanapokuwa na mahusiano ya nje.
Rafiki alishamuhadithia DR Kelvin kila kitu kuhusu mumewe, alishamwambia kuwa Sam ana mtoto na Verity na hapa Dr kelvin akaamua kupatumia kama mwanya wa kufungia goli.
“Hivi mumeo asipopona unajua wewe utabaki mgumba”
“Kwahiyo sasa”
“Kwahiyo nini? Sema nikuzalishe allafu mumeo akija nampima namwambia kuwa amepona ilia one kuwa mimba ni yake”
“Bado hujanishawishi”
“Nisikilize vizuri, mwenzio yeye hana shida kwasababu tayari ana mtoto na nikwambie kila mtu ataona wewe ndio una tatizo kwasababu mwenzako tayari ana mtoto, ina maana huna hamu ya kunyonyesha wewe”
“Ninayo lakini lazima nizae na mume wangu, ikishindikana basi”
“Nisikilize kwa makini, ninyi wanawake sio kama wanaume, wewe kadiri umri unavyoenda uwezo wako wa kuzaa unapungua, shauri yako mwenzako atapona wewe tayari umeshapitisha umri wa kuzaa ataenda kuzaa tena nje”
Kwa mbali Rafiki alikuwa anaanza kutekwa na maongezi ya Dr Kelvin, alitaka kumwambia ameridhia ombi lake lakini anasita akabaki anakaa kimya tu.
Dr Kelvin hili aliligundua hivyo alichomwambia ni kuwa ajiandae kesho jioni atampitia waende sehemu.
Rafiki aliitikia kwa kusema “sawa” kumaanisha kuwa ameridhia.
………………………………..
Gwakisa alikuwa kwenye chumba maalum cha ushauri nasaha.
Katika mambo ambayo alikuwa hajui ni kwamba swala la DNA huwa unapewa kwanza ushauri nasaha kabla ya kupewa majibu kama vile umeenda kupima VVU.
Alipewa ushauri mwingi unaohusiana na kama atagundua kuwa mtoto si wake ama akiwa wake ninini afanye ili asije akaleta madhara.
Gwakisa aliitikia kwa kumaanisha ameelewa kisha akaruhusiwa kurudi kwa Dr sasa akapewe majibu yake.
Moyo ulikuwa unamdunda sana mpaka akawa anajutia kwanini alikuja kufanya hiyo test.
Alipokaa vizuri Yule Dr alichukua makaratasi yaliyokuwa pale mezani na kumkabidhi Gwakisa.
Gwakisa haraka haraka alianza kupitisha macho akisoma kile kilichoandikwa lakini akawa haelewi vizuri maneno yale ya kitaaluma.
“Dr nifafanulie”
“Sawa usijali, sogea hapa karibu”
Gwakisa alisogea na kuanza kusomewa maandishi yote na maana yake halisi.
Gwakisa hakuamini masikio yake pale alipoambiwa kuwa vinasaba vyake na vya mtoto vilikuwa haviendani kabisa na hivyo mtoto Yule sio damu yake.
“Nilijua tu” aliropoka Gwakisa.
Yule Dr alibaki amemuangalia tu Gwakisa aliyekuwa kajiinamia huku machozi yanamwagika usoni, hakuamini kuwa mwanajeshi kama yeye tena Afisa wa Jeshi kuna wakati atatoa machozi yake.
Alikuwa anaemia sana moyoni huku akimlaani mkewe kwanini amemfanyia mambo mabaya kama hayo.
“Ndugu wala usilie, haya yaliyokukuta yanawakuta wanaume wengi sana, wengine huko majumbani wanalea watoto sio wao ila ni vile tu hawajapima, sasa wewe kwakuwa umejua tuliza moyo ujipange lisije likatokea tena”
“Dadiii lia nini?” masikini ka Princess nako kalikuwa kanatoa machozi kalivyomuona baba yake analia, hakuelewa kilichokuwa kinaendelea kuwa kinamuhusu.
Gwakisa alinyanyua uso akamwangalia Yule mtoto kisha akamnyakua na kutoka nae bila hata kuaga,
Alipofika nje aliingia kwenye gari na kuelekea hotelini.
Alichukua vitu vyake na hakutaka kulala siku hiyo akaamua kurudi mbeya.
Alipofika Morogoro karibu na Stendi ya Msamvu alisimamishwa na baadhi ya vijana wakamwomba kuwa kuna dada anaomba ampakie kwani anaenda Mbeya ila amekosa Basi.
Gwakisa alijifikiria ila alipomuona mdada mwenyewe alimkubalia kwani hata hivyo ndio kawaida ya hapo Morogoro na alishawahi kupakia watu mara nyingi tu huku wakichangia mafuta.
Yule dada alipanda kwenye gari wakatambulishana vizuri kisha safari ikaanza, maongezi yalikuwa yanaendelea japo kwa kusua sua sana kwani Gwakisa alikuwa na mawazo yake hivyo Yule dada muda mwingi alikuwa anaongea na Princess wakichekeshana.
INAENDELEA

