KWA UTAMU HUU SIKUACHI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Episode 1
maisha ni Kama fumbo, fumbo ambalo ni ngumu Sana kulifimbua usipokuwa makini..
Katika maisha Ni Bora kupendwa na mtu yoyote yule kuliko kupendwa na muhuni, ambae kila mtu anajua Tena mwenye tabia mbovu Sana …
Nilisoma kidato Cha tano katika shule ya sekondari ya korongwe, nilikuwa nachukua mchipuo wa PCB nilikuwa Nina ndoto kubwa Sana za kuja kuwa DAKTAR mkubwa Sana wa upasuaji..
Kweli Mungu aliweka mkono wake nikawa Ni miongoni mwa wanafunzi wanaofanya vizur pale shulen, jina langu lilivuma kutokana na ufaulu wangu na ujasiri mkubwa niliokuwa nao katika kipindi chote cha masomo yangu,nilikuwa ni hodar pia kwenye midahalo, hakuna mdahalo wa shule utakaokuwepo bila kuwepo mimi, na kila mtu alikuwa anataman nikae upande wake, na hichi kikaniongezea ujasir zaid ..
Siku Moja mwalimu alitangaza kuwa kutakuwa na mdahalo mkubwa sana ambao utahusisha shule mbili, na kulikuwa Kuna mashindano ya midahalo Kati yetu sisi wanafunzi wa shule ya wasichana tupu ya korongwe pamoja na shule ya wavulana ya galanos..
Mdahalo huu ulikuwa unaanza saa sita mchana Baada ya chakula Cha mchana maana siku hio tulikula mapema Sana, na ulitarajiwa kuisha saa tisa kamili, na Mimi ndio nikawa miongon mwa wasemaji wa kuu wa mdahalo huo ambapo mada ilikuwa ya kimombo zaidi ilikuwa inasema “WHO FACE THE GREATER CHALLENGE DURING PUBERTY BETWEEN BOYS AND GIRLS….
kwa kuwa sisi tulikuwa wanawake watupu tukawa upande wa girls na wanafunzi wa galanos wakawa upande wa boys…
Mdahalo ukaanza na Kama tunavyojua mabishano namna yanavyokuwa mkali Sana, sasa tukiwa katikat ya mazungumzo Kuna mwanafunzi mmoja ukimuangalia kwa haraka haraka hauwezi kubisha kuwa alikuwa Ni muhuni, maana kwanza alikuwa Ana mangeo ya kutosha na macho Yake yalikuwa mekundu kana kwamba alikuwa ametoka kuvuta bangi muda mchache uliopita, alikuwa amekaa nyuma lakin ghafla akaja kukaa mbele akawa ananiangalia Sana….
Na nikitoa point alikuwa yupo pamoja na Mimi,.kwa maana alikuwa anapiga makofi na kushangilia pamoja na wanafunzi wa korongwe badala ya kushangilia upande wake, na kama vile kila ambae alikuwa pale alikuwa anaogopa maana hakuna mtu hata mmoja ambae alijaribu kutoa neno, kwa sababu yay eye kushangilia na kusherehekea upande ambao sio wa kwake na hakupaswa kufurahia mafanikio yetu, ila kwa upande wetu tukauona huo kama ushindi mkubwa sana , maana angalau wameshangilia na kusherehekehekea upande wetu licha yakuwa walikuwa ni washindani wenza ..
Tukamuona Kama mtu ambae amesaliti kundi lake na kuwa pamoja nasisi kwa kuwa amekubali hoja zetu, kumbe ni kwakuwa alikuwa ana jambo lake moyoni, hakuna ambae alilijua hilo hata mmoja kati yetu..
Basi mdahalo ukawa unaendelea na kikawaida huwa kuna kuwa na zawadi kwa mzungumzaji Bora na upande wa walioshinda..
Kwenye mzungumzaji Bora Mimi nikashida nikashangaa yule muhuni anakuja na kunipa lolipop na kunambia hongera Sana, nikatabasamu na kumshkuru maana sikuwa na chakufanya zaidi ya kutoa shukrani tu..
Basi nikashangaa ameshika mkono wangu Kisha akaubusu na kusema “jitunze kwa ajili yangu Kisha huyo akaondoka zake…
Kwa maadili niliyokuwa nayo niliona Kama amenidhalilisha ila sikutaka KUBISHANA nae na wakati anaondoka watu wakawa wanashangilia ila Mimi sikujali kabisa yaan, ila wenzake licha ya kuwashinda ila walikuwa wananiita shemeji, na sikujua nimekuwa shemeji kwa namna gani, maana nilikuwa najiona kabisa kuwa sikuwa shemeji kama wanavyosema na mpaka kwenye umri huo ambo nilikuwa nao, sikuwah kuwa na mahusiano hata ya kusingiziwa kwa bahati mbaya kwenye maisha yangu yote, alafu ghafla nakuja kuitwa shemeji, weee kuweza..
Episode 2
Basi bana maisha lazima yaendelee..
Bas yule kijana akawa anakuja shulen usiku unashangaa kaingia hostel na hamna mtu ambae anashtuka hata room mate wangu, sijui hata alikuwa anaingia kwa namna gani, maana milango yote unaikuta imefungwa vile vile kama ambavyo imefungwa, ila ghafla unashangaa umeshikwa, kwa mara ya kwanza niliogopa sana na kupanici, ila nikaanza kumzoea na nikawa naogopa kupiga kelele maana sikutaka kuleta mtafaruko..
Akawa anakuja ananiangalia alafu anaodoka zake, hakuwa anakuja kila siku ila alikiwa anakuja Mara nyingi, kiukweli nilikuwa namuogopa Sana na hakuwah kunambia jina lake hata Mara moja, Wala kunambia kitu chochote zaidi ya kuniletea mauwa na zawad za hapa na pale..
Basi siku zikaendelea kwenda nikawa namuogopa ila kuna namna nilianza kumzoea..
Basi ikafika wakati wa kuhitimu, tukaqnza kufanya kwanza mitihan na Baada ya hapo ndio tukafanya maafali, siku ya maafali wanafunzi wa galanos walialikwa na tukawa tinafanya maafali pamoja,ila yule kijana alikuwa hataki niwe karibu na mtu yoyote yule..
Sasa kumbe wanafunzi wa galanos walikuja na pombe wakawa wameziweka kwenye chupa za maji na wameekea na sild kabisa ukiona unaweza kudhan n maji yakunywa kumbe n pombe na wakawa wanapeana hizo pombe kwakuangaliana usoni, si mwamba akanywa Sana hapo Mimi sijui, sasa nikawa nipo kwenye darasa moja ambalo wazaz wangu walikuwa wananifanyia mahafali, Basi wakaondoka Baada ya muda kwenda na marafiki zangu wakaenda kukaa na familia zao, nikawa nimekaa pale nakula zangu cake taratibu, kagiza kalikuwa kameshaanza kuingia, nikashangaa taa ya darasan inazimwa alafu kuangalia mbele namuona yule muhuni, akafunga mlango Kisha akaanza kucheka, akacheka Sana Kisha akasema ” yaan Mimi na usela wangu nimeshindwa kukutongoza kweli, yaan kweli Mimi ni mzembe Sana, sasa n hivi LUCIA Mimi Boniface nakupenda kinoma yaan, siwez kulala bila kukuona ndio maana kila mtu anajua vizuri kuhusu wakati naruka ukuta kuja kukuona leo nimeshindwa kabisa kuhimili hisia zangu I want you Lucia, Baada ya kusema hivyo akaanza kunishika kifua..
Nilishtuka Sana ila nilipata msisimko wa ajabu maana sijawah kushikwa kuanzia nimezaliwa, nikawa najilazimisha kutoka kwake niondoke ila alikuwa amenishika vizuri, nikaona kabisa leo na liwa hivi hivi naona, akanipapasa na kunipa kiss za hapa na pale, yaan mara anibusu nyuma ya shingo, mara anishike tuchuchu twangu, mara anikiss kwenye lips, yaan wakati wote nimetulia naogopa kupiga kelele , mwisho nikamuona Ana kakamaa , hapo ametoa mdudu wake, mara mavito yakaanza kutoka, na akawa ana kujifuta mavitu meupe kwenye mashine yake Kisha ananiangalia Kisha akanambia jitunze..
Nilikuwa Nina hasira balaa ingawa hakuwa amenila, nikaanza kumtukana na kumtolea maneno mabaya, akawa kimya tu mwisho akanambia “chagua moja utajitunza kwa ajili yangu au laa…
“Kuliko kujitunza kwa ajili yako bora niende kujiuza bure kabisa nijue moja kuwa mimi ni changudoa kuliko kujitunza kwa ajili ya muhuni kama wewe..
Niliongea kwa hasira Sana ila yale maneno yalimuuma Sana, akasema kuwa hatakaa anisumbue Tena niendelee na maisha yangu..
Akajua kuendelea na maisha Yake n rahisi kwa kuwa yeye Ni muhuni, kumbe mapenzi Ni kitu kingine kabisa yaan, hata Kama ukiwa mbabe kiasi gani kwenye mapenzi lazima ulegee…
Episode 3
Basi maisha yakawa yanaendelea kwenda Kama kawaida, tulimaliza kidato Cha sita na nikapangiwa muhimbili kusomea udaktar, na kipindi chote ambacho nilikuwa nasomea udaktar sikuwah hata mara moja kuwa kwenye mahusniano, ni kwa sababu niliamin masomo ambayo nilikuwa nasoma yalikuwa magumu sana, hivyo sikutaka kuchanganya mambo mawili kwa wakati mmoja hjata mara moja kwenye masomo yangu yote..
nilisoma pale kwa miaka mitano na nilipomaliza nikaajiriwa muhimbili pia, kwenye hospital yake maana nilikuwa ni miongon mwa wanafunzi ambao walikuwa wanafanya vizur sana kwenye mitihan yangu hivyo wakaniajiri moja kwa moja mara baada ya kuhitimu chuon….
Basi maisha yakaendelea, nikawa nafanya kazi ambayo nilisomea Kama daktar bingwa wa maswala ya wanawake, niliachana na maswala ya upasuaji nikaamua kusaidia wanawake…
Nikafungua ukurasa wakijamii, yaan insta nikaanza kufundisha kuhusu uzaz na maradhi mbali mbali yanayowakumba wanawake pamoja na namna ya kuyatibu nakuyaepuka..
Nikawa Ni mmoja wa watu maarufu Sana maana nilikuwa na followers laki sita na kitu..
Nilishawah kuanzisha mahusiano hapo nyuma ila hayakudumu Sana kutokana na namna nilivyokuwa busy na utafutaj mwanaume akatafuta mwanamke mwingine mieizi mitatu tu Baada ya kuanzisha mahusiano na Mimi..
Maisha yakawa yanaendelea Kama kawaida na nilishasahau kabisa kuhusu maswala ya Boniface ..
Sasa kuna mtu nilitakiwa Ni muhudumie, kumbe alikuwa amewekwa kimkakat kwa ajili ya kuchafua jina langu, maana nilikuwa n bint mdogo Sana ambae nilikuwa nimefanya makubwa Sana kwenye Carrier yangu, na kusababisha madaktar wa kongwe majina yao kufifia na jina langu kung’ara Kama muangaza wa jua..
Ila huyo ambae alikuja kimchongo nilimuhudumia vizuri Sana mpaka akabadilsha dhamira Yake, nilikuja kugundua Hilo baadae Sana…
Sasa maadui zangu Bado walitaka kuchafua jina langu, siku Moja nilialikwa sehemu kuzungumzia maswala ya kikazi pamoja na wataalamu wenzangu, na niliitikia wito nikaenda bana..
Tulifika na KUJADILI maswala mbali mbali kuhusu taaluma yetu na Baada ya hapo tukaanza kula na kunywa..
Kikawaida Mimi huwa situmii kilevi chochote kile, ila nilikunywa wine kidogo nikashangaa inaanza kunipelekesha nikaanza kuhisi kizungu zungu Cha ajabu, na kingine sikuwah kufanya mapenzi ila nilikuwa Nina hamu ya kufanya mapenzi balaa..
Nikawa nayumba yumba sijui hata nilikuwa naelekea wapi..
Mara nikapishana na mtu, nikamparamia akanishika, nikasikia anasema kuwa ” nilikuacha miaka sita nyuma nikaapa kuwa sitakaa niwe karibu na wewe, ila leo umenifata mwenyewe nadhan sio kosa langu, akanibeba ila hapo akili zangu hazikuwa sawa nikawa hata sielewi nimebebwa na Nani, nikawa nachekelea tu na nilikuwa najisikia vizuri Sana kubebwa bila kumjua alienibeba ni Nani..
Nikahisi nimetupwa kitandani na maandalizi kabambe yakaanza kufanyika, nahisi nilipewa dawa za kuongeza hamu ya tendo la ndoa hivyo nilikuwa na hamu balaa na kila kinachofanyika kulikuwa kinanifanya nijisikie vizur Sana, nikaanza kunena kwa lugha, nikaaanza kulalamika na kuililia kwa utasmu maana sio kwa raha zile ambazo nilikuwa nazipata…
Hapo sijui nipo na Nani, mwisho nikaanza kutoa ushirikiano kabisa ndio Kama nilimpa nguvu mwanaume, mwisho akazama kulee..
Basi nilikuwa nasikia maumivu ambayo yalikuwa yamechanganyikana na utamu..
Maana sikuwa nimeshawah kufanya mapenzi mpaka umri ule ambao nilikuwa nao..
kuna muda maumivu yakawa yananizidia, yaan hata kama nilikuwa na mawenge kiasi gani ila maumivu nayajua, nikaanza kumsukuma huyo mwanaume ambae nilikuwa nae..
Nikashangangaa ana nguruma kama simba kisha akaanza kusema “ ahhhh shiiit ahhhh mamy, niache nimalizeee ahhhh namaliza mamaa, namaliza vumilia kidogo, ahhhhh yamoto sana mamaa, yamotooo, ashhhh nakuja, nakuja mamaangu nipokeee, nakuja nipokee mamaa, n shiit shiit shiit nakujoa mamaaa mamaaa, mwisho akaanza kuhema kama gari mbovu kisha akajitupa na kulala pemben yangu…
basi Tukajikuta tumelala, nimekuja kustuka asubuh kabisa yaan, na kichwa kulikuwa kinaniuma balaa, ile naangaza angaza nikashangaa namuona Boniface ..
” Umenibaka, bony Kwanini umenibaka,nikaanza kulalamika akanambia kuwa Mimi ndio niliemfata na hakuwa na muda na Mimi kabisa, ila kwakuwa nyama imejileta hakuwa na kosa kuichapa..
Episode 4
Maneno Yale yalinikera Sana nikaanza kukumbuka namna ilivyokuwa kwenye ile tafrija fupi,nikapata jibu kuwa niliwekewa kilevi na huenda na Boniface na yeye alikuwa anahusika na mchezo wote..
Nikasimama na kutaka kuondoka, ila akanishika na kunambia “nguo zote zimechanika ila mtoto fundi wewe sio utani alafu mtamu balaa, nimeagiza nguo subiri zinakuja muda sio mrefu, zikija ndio utaweza kuondoka ila Kama unahisi unaweza kuondoka na hali hio hio uliyonayo Basi safari njema..
Nikaamka na kuanza kutafuta nguo zangu,nikakuta nguo zangu zote zimechanika chanika kutokana na purukushan za Jana usiku, nikajikuta naanza kujilaumu maana sikuwah kutegemea Kama naweza kulala na mwnauame kwa namna rahisi kiasi kile..
Ikabidi nipoe maana kweli siwez kutoka na nguo zilizochanika..
Nikashangaa naletewa supu, na kiukweli nilikuwa na njaa balaa hivyo nikanywa mpaka nikamaliza na wakati wote huo Boniface ananiangalia huku anatabasamu zake kwa raha zake..
Basi nguo zikaja nikaendelea kuvaa pale Kisha nikawa naondoka zangu, ila kabla sijafika mlangon nikasikia sauti ya Boniface inasema ” haijawah kuwa rahisi kwangu kukaa mbali na wewe kwa miaka sita yote na kwakuwa safari hii umekuja kwangu mwenyewe licha ya kuapa sitakaa karibu yako Tena ila sitakaa nikuache Tena, kuanzia Leo ndio mwisho wa maumivu yangu na utanipenda tu wewe mwenyewe, na kwa utamu huu ambao nimeupata leo sikuachi ng’o, labda uniue..
Ingawa ndio alinitoa usichana wangu Ila niliona Kama anajisemesha tu na sikutaka kumjibu nikaondoka zangu…
Ila wakati wote Boniface alikuwa anacheka zake tu kana kwamba kanipata sasa..
Ila wakati nataka kufungua mlango niondoke, nikshangaa nadakwa kisha mwamba akasema kwa sauti ya chini kuwa “ mamaaa nataka tena nataka tena mamaa…
Nimetoka pale nikajua Nina maadui wengi maana n dhahiri kinywaji ambacho nilikiwa nimekunywa kilikuwa na kilevi nikajua Nina maadui wengi kuliko ambavyo nilifikiria, nikarudi nyumban kwanza nikaona nilale maana Mambo yalikuwa yametokea haraka Sana na SIKUJUA nifanye Nini..
Ila akili yangu nyingine ikanituma kuwa huenda boniface nay eye ni mmoja wa watu ambao wako kwa ajili ya kuniharibia, ila kumbe haikuwa hivyo nilikuwa nachukiwa na kutaka kuharibiwa jina na madaktar wenzangu tu na Boniface hakuwa anahusika hata kidogo………….
Nikajaribu kujilaza ila hata chembe ya usingizi sikupata, nikawa najikuta mwili wangu unasisimka sana, na kujikuta nakumbuka kila kitu ambacho kilitokea kjati yangu na Boniface maana ndio ilikuwa ni mara ya kwanza na sijitambui ila ile miguso na mipapaso bado iliendelea kuninyanyasa kiakili na kujikuta nataman sana kurudia mchezo ila haikuwa rahisi , na akili pamoja na nafsi yangu ikawa inanituma kuwa nilikuwa namchukia sana Boniface maana ni kijana wa mtaan ambae bhana maadili na atakuja kuniangusha na hata kupoteza muelekeo mzima wa maisha yangu, na kunifanya niwe ni miongoni mwa watu ambao nitajuta kukutana na mwanaume kama Boniface na imani yangu haikuwa sahihi kuhusu Boniface maana alinipenda kwa dhati na kunifanya kama mwanamke wa kwanza na wa mwisho kwenye maisha yake, na hata kama tulikaa mbali kwa muda mrefu hakuwah kuthubutu hata kwa bahati mbaya kuwa na mwanamke mwingine yoyote maana akili na hisia zake ziliamin kuwa yeye ni mali yangu na mimi ni mali yake, nitake nisitake…
Episode 5
Boniface akaanza kutoa maagizo kuwa anataka nifatiliwe na anataka ajue naishi wapi na naishi na nani, na nilikuwa nafanya bibi kwa kipindi chote cha miaka sita ambacho hakuwa na mimi…
Mimi hapo sina hili wala lile, na siku hio haikuwa ngumu tu kwangu, bali hata kwa bonifance, yaan kila wakati alikuwa anakumbuka kuhusu namna ambavyo aliumiliki mwili wangu na namna ambavyo nilikuwa nampa ushirikiasno kwenye jambo ambalo hakuamin kabisa, maana kuna muda alikuwa anahisi kama sikuwah kumpenda na huo ndio ulikuwa ukweli………….
Akawa anakuja kazin kwangu alafu anakaa kwa mbali akiwa ananiangalia, na hapo sikuwa najua kama alikuwa anakuja au laa, maana kuna namna yale maneno yangu ambayo nilimuambia kipindi cha mahafali ni kama bado yalikuwa yanaendelea kwenye kichwa chake, kuwa kuliko niwe na yeye ni kheri niende nikajiuze..
Siku moja sikuwa nimekula kutoka na ubusy wa kikazi, nikaja kutoka kazin saa mbili kasoro usiku, hapo sikuwa nimekula kuanzia asubuh, sasa wakati natoka nikashangaa nasikia tumbo linaniuma balaa na nguvu zimeniishia, kwa haraka haraka nikajua fika sukari itakuwa imeisha mwilini, nikataka nirudi ndani nichukue glucose nilambe walau kidogo huenda nitapata nguvu ila sikuweza, nikajikuta nimeishiwa nguvu nikakaa chini, nikiwa natafakar namna ya kujisaidia, nikashangaa nabebwa juu juu, kuangalia alikuwa ni Boniface, akanirudisha hospital akaomba niangaliwe afya yangu, akaambiwa kuwa nilikuwa nina vidonda vya tumb0o na vinatokana na mimi kutokula vizuri…
Wakati huo huo Boniface akatoka na kwenda kuniletea chakula, sikutaka kula, maana ilikuwa ni supu na chapatti, akaona usinitanie, akanywa yeye ile supu, kisha akanishika mdomo na kuninywisha supu kwa mdomo wake,kisha sijui alinishika wapi nikajikuta nimemeza…
“ utakula kwa hiari yako au nikulazimishe, akasema kwa sauti ya ukali kidogo, ila alichokifanya wakati ule niliamin kuwa nitakula kwa lazima na huenda nisipende namna ambavyo ningelishwa, hivyo nikaanza kula mwenyewe, akawa amekaa pemben yangu ananitazama sana, akawa ananiangalia kana kwamba ananikagua namna macho, pua na mdomo wangu ulivyokaa..
Nimemaliza kula, nikataka kusimama ili niweke bakuli kwenye meza, akaniwah akalichukua kisha akanikiss kwenye lips na kusema, “ nilijua utaendelea kukataa kula ili tuendelee kubadilishana mate…
“ Boniface unanini lakin, kwanini unapenda kulazimisha sana mambo, yaan niwe mkweli sitaman kukuona hata kwa bahati mbaya pemben yangu, maana nikukuona nasikia kichefu chefu, nilisema kwa hasira, nikashangaa Boniface macho yanakuwa mekundu kana kwamba kavuta bangi, kisha akanibeba taksi bega hospital pale, na alivyombabe, hakuna mtu hata mmoja ambae aliweza kumzuia asiondoke na mimi, kisha akanipoeleka kwenye gari na kunirudisha nyumban, aliponifikisha nyumban alinibusu kwenye paji la uso kisha akaondoka zake…
Ni dhahiri kuwa Boniface alikuwa ananipenda sana, ila sikuwa najua hata nilikuwa nimepatwa na nini, maana kila ambacho alikuwa anakifanya kwangu niliona kama ni mateso na utumwa wa hali ya juu kabisa, maana sikuwa nina hisia nae hata kidogo ingawa kitandani amenichakaza balaa…
INAENDELEA …

