KAMA UTANI, IKAZAMA MPAKA NDANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 6
Niliendelea kupasua bila kujali wananiangalia au laa π mana mimi niliona kabisa mikosi ilianzia pale niliruhusu minasha aingie ndani na kuwa mkwe wa familia hiii
“Malick stop please “alisema mama lakini sikutaka kumuelewa kabisa moyoni nilijiambia kazi na iendele nikaendelea kupasua vitu mpaka pale nilipohisi mkono wangu umeshikwa na mikono ya moto . Niligeuza shingo taratibu na kukutana uso kwa uso na minasha ambae machozi yalikuwa yamelowanisha uso wake hapo kwa ukaribu ndipo niligundua minasha alikuwa amepigwa maana alama za vibao usoni zilionekana kabisa machozi yake yalionekana sio ya usoni tu bali yalikua yakitoka moyoni kabisa
“Malick naelewa hali ambayo unapitia……na unakuwa hivi kwa sababu yangu ” “kama.unajua kwanini usiende mbali na maisha yangu …..mimi sijawahi kukupenda unajua nini minasha naona kabisa huruma yangu na moyo wa kusaidia vimeniponza mimi ona sasa nimempoteza mwanamke ambae nilikuwa nampenda sanaππ”
” nipo tayari kubeba adhabu yoyote ile kwa ajiri ya kurudisha mapenzi yako naomba niadhibu mimi achana na hivo vyombo “
Sikuwa na la kumjibu ila niliacha kila kitu na kwenda zangu chumbani kwangu kutulizq akili yangu . Chumba changu kizima kilikuwa kinanuka marashi ya minasha .Nilijitupia kitandani nikalala chali nikawa nawaza sana myra atakuwa ameenda wapi mana .Nikakumbuka kuwa alikuwa anabibi yake kibaha huenda ameenda huko
Baada ya kujua kama kuna kitu cha kunitia moyo nikalala usingizi mzito kweli .nililala ovyo hata viatu sikuvua Minasha alikuja akiwa anaogopa ogopa mana alijua kabisa bado nilikuwa nina hasira juu yake lakini alinikuta nimelala nikiwa sijitambui .Alivofika akanivua viatu na kupunguza nguo zangu kisha akaniweka vizuri na kunifinika shuka
Kisha akaenda zake . Nilikuja kushituka saa sita usiku wakati huo njaa ilikuwa inaniuma sana . Miguu yangu ikaniongoza mpka kwenye meza ya chakula lakini napo nilikuta hakuna kitu mmmh nikawaza inamaana leo uwepo wangu ulikuwa zero humu ndani ππhata kama tumegombana lakini chakula sina ugomvi nacho1π π πͺ
Nikiwaza nawaza kwenda jikoni nilimuona minasha akija na chakula kwenye sahani na akija upande wangu
” pole na usingizi nilijua tu ukiamka utakuwa na njaa kali ndo mana nilipokuona umeamka nikaenda kukupikia fast food ukule malick”
” kwani uliambiwa mimi nanjaa siwez kula chakula chako mtu ambae uliaribu maisha yngu na mwanamke wangu”
“Sawa chakula ndo icho mimi naenda zangu kulala”
Kisha mina akaondoka zake nilipoona amepotea kwenye macho yangu nikavuta sahani nikaanza kufakamia chakula . Kiukweli alikuwa na mkono wa kupika chakula kilikuwa kitamu sana nilikula hadi nikalamba na sahaniπππ nikachukua sahani nikapeleka jikoni nikaliosha kabisa kisha nikaenda chumbani. katika kuangaza nikamuona mina amelala chini
Mtoto chotara mwenye umbo la kichokozi alikuwa amelala pale chini na amejifunika kikanga nikamuonea huruma tena ukizingatia nilimuona kama alikuwa amepigwa nikachukua shuka kisha nikamfunika mana pia kulikuwa na baridi sana nikamfunika kisha nikapanda kitandani nikalala zangu
Asubuhi nilichelewa kuamka nikakuta mina tayari ameniandalia nguo za kwendea kazini na wakati huo nilisikia maji yakimwagika bafuni nikajua yupo anaoga mana nguo zake zilikuwa pale . Toka amekuja alikuwa anavaa hizo hizo nguo hajabadilisha bhas nikatoka nikamfata mama angu nikajua hawezi kosa abaya jipya ndani la kumtosha minasha
Mkuku mkuku nikaenda mpaka kwa mama
“Mama! mama! mama !
Mama akatoka chumbani haraka haraka akajua labda anatatzo”nini lakini malick kupiguana kelele asubuhi jaman”
“Mama una abaya ambalo hujawahi kulivaa mana mina hana nguo badae nitaenda kumuangalia nguo hapo badae “
Hata mama yangu alishangaa mimi kujari kuhusu minasha hakuwa na maneno mengi aliingia ndani akatoka na maabaya mawili kisha akanipatia na shungi zake nikamshukuru mama kisha nikaondoka zangu kwenda kwa minasha nikakuta tayari ameshatoka bafuni na amevaa gauni lake lile nikafika nikamkabidhi zile nguo na kumwambia avue nguo zile avae hizi ambazo nimemletea akashukuru sana akavaa akapendeza
Akaniomba anatoka kuna mambo anayafatilia sikuwa na pingamizi ikabidi tu nimruhusu ila kiukweli alikuwa amependeza sana . Namimi nikajiandaa nikaenda zangu kazini nilipofika nikaenda ofisini kwangu na kuanza kufanya kazi zangu kama kawaida . Ila kichwani mwangu bado nilkuwa namuwaza sana myra wangu sijui atakuwa ameenda wapi moyo wangu bado ulikuwa ukilalamika sana juu yake
Nilifanya kaz nikamaliza nikarudi nyumbni nikala nikaenda chumbni nikamkuta mina yupo bafuni ila vitu vyake vilikuwa pale kwa bahat mbaya nikapamia mkoba wake ukadondoka na ndipo nikaona picha ya mwanamke anayetesa kichwa na moyo wangu sasa nikajiuliza huyu minasha anafanya nini na picha ya mwanamke huenda anamloga au
Wakati huo nayeye ndo anatoka msalani akashituka sana pale alipoona nimeshika picha ya minasha akashituka sana hapo ndipo kengele ya hatari ikalia kwenye kichwa changu kwamba kuna kitu minasha anakifanya nikamtazama kwa jicho la uchuu sana wa kutaka kujua
SEHEMU YA 7
Minasha aliingiwa uoga gafla akabaki tu amesimama na kuniangalia mimi
” unaweza kunielezea kwanini unatembea au unamiliki picha ya mwanamke wangu “nilimuliza huku nikimsogelea macho yangu makavu kabisa
” nitakwambia kila kitu tafadhari naomba usiwe na hasira ila yote nafanya ni kwa sababu mimi ndo nilikuwa sababu”
” unafanya nini unafanya nini na picha ya myra”
” niko namtafuta kwa sababu ameondoka kwa ajiri yangu kwahiyo siwezi kuondoka hapa mpka nihakikishe namrudisha kwako”
” unachokisema unamanisha minasha ” ” ndio baba mimi namanisha na mpaka hapa nimepata uhakika kwamba myra hajatoka nje ya nchi bado yupo bongo “
Nilimkumbatia huku nikiwa na furaha sana nikamwambia asantee sana kwa kunitafutia furaha yangu bhasi akaniambia tu niwe mvumilivu ila myra tutampata tu hiyo kaz imeshafika kwa wataalamu kwahiyo kazi itakuwa nyepesi sana .Hatimaye palikucha nikaendelea kukaa na myra akawa ananihudumia kama mumewe kasoro jambo la kitandani tu ila mengine kama nguo chakula alikuwa akinihudumia lakini bado aliendelea kulala chini
Kila siku alikuwa akinipa mrejesho juu ya upatikanaji wa myra wangu na alikuwa akifanya hivo kwa juhudi sana ilimradi akamilishe furaha yangu. Siku hatimae ukapita mwezi bado upatikanaji wa myra ni mgumu sana . Bado nilikuwa na subira nikijua kabisa lazima ningempata myra wangu .Lakini siku ya leo ilikuwa nilikuwa ovyo sana hisia zilikuwa zimenizid ukizingatia ni mwezi sasa tayari umepita sijafanya mapenz na nilikuwa nishazoea kufanya mara kwa mara na myra wangu
Hali hii ikaanza kunisumbua sana nikawaza nataman hata myra angepatikana leo bhasi angenitibu ugojwa huu unaonisumbua nikawaza au nikapige nyeto mana siwezi kulala na mwanamke tofauti na myra wangu au nikamuombe mfanyakazi wetu wa ndani daa nikawaza sana nikaona bora nikaze bora tu nivumilie
Nikapiga kazi baada ya hapo nikaenda kufanya mazoezi ili kupoteza hisia za kimapenzi nilipomaliza mazoezi nikaenda nyumbani nikamkuta minasha kama kawaida yupo bize akisaidiana kazi na wafanyakazi aliponiona mimi alitabasamu kisha akanambia
“Pole na kazi “kisha akanipokea mzigo na kwenda nao chumbani wakati huo leo namuona yani ananivutia kinyama namuona anazidi kunitamanisha zaidi moyoni nikajisemea eeeh mungu naomba unipe nguvu ya kushindana na hizi hisia za kimapenz. Nikakaa mezani minasha akaniletea chakula akanitengea ila huwezi kuamini leo manukato ya minasha yakanifanya nisisimke yan na wakati sio kawaida
Baada ya kumaliza kula nikaenda kuoga tena kisha nikatoka na kumkuta mina amekaa kwenye kochi yaani mkao aliokuwa amekaa sasa ndo ukazidi kufanya mnara wangu uzidi kuchachamaa ila ikabidi tu nipotezeee .Nataka kupanda kitandani minasha akaja kwa furaha kweli akanikumbatia yani hapo ndo alinimaliza kabisa yani nilisisimka hatari ikabidi nimtoe
” nini kunikumbatia kumbatia na wewe”
” nina habari njema tayari wamegundua kuwa myra yupo mbeya kwahiyo wamesafiri kwenda kumuangalia myra na kuja nae ……”
“Daa unasema kweli minasha” nilimuliza kwa furaha japo hali yangu ilikuwa mbaya sana
Alinijibu” ndio inabidi tu tuwe na subira emu ngoja nilale mana kesho nategemea kupokea taarifa nzur” akaenda zake kulala na mimi nikapanda zangu kulala
Lakini kwangu usingizi ulikuwa mzito sana sikupata hata na lepela usingizi nikaona kama noma na iwe noma mimi siwezi kufa bhana nikamuita minasha ambae nae bado alikuwa hajalala akanisikia kisha akaja
“Nini shida mbona sahivi ni usiku sana”
” shida yangu kubwa sana minasha mwenzio nimeshindwa kulala naweweseka sana “
” nambie hio shida mana mimi niko hapa kukusaidia ” akanijibu minasha kwa ujasiri huku akinishika mikono na kuniangalia machoni
“Mimi hapa mimi minasha nimezidiwa yani hali yangu mbaya nimeshindwa hadi nahitaji msaada “
“Mbona sijakuelewa “
” ninahisia kali za kufanya mapenzi naomba nisaidie sana minasha wew ndo msaada wangu ambao umebakia wew myra hayupo ……naomba unipe leo tu sitakusumbua sawa ni leo tu yaani leo tu mina plzz”
Mina akaniangalia kwa jicho la huruma sana kisha akanmbia
“Lakini malick mbona kesho kutwa tu myra anakuja hapa kwanini usivumilie tu akaja sasa mimi… nawezaje kushika nafasi ya myra “
“Huuu hapa sio kuchukua nafasi ya myra……hapa nikunisaidia tu nakuomba sana minasha sitamwambia mtu itakuwa siri kati yangu mimi nawe” nilitakiwa kumbembeleza mana alionekana amekaza sana nilitamani nisikie akikubali anipe tu aniponyee
“Sawa nitakusaidia lakini mara moja tu”
Wew sikuamini hadi nilimkumbatia jaman sikuamini hatimaye naenda kupunguza kichupa
SEHEMU YA 8
Nilimkumbatia minasha huku nikiwaza naenda kumla binti wa kiarabu jaman nilianza hadi kujiramba nilizungusha mikono yangu mpaka kwenye kiono cha mdada nikaona na yeye ameshituka nikamsogeza karibu zaidi na mwili wangu nikaanza kuzifata hizo lipsi zake nzuri za pink nikaanza kuzinyonya kwa ustadi zaidi nikamwangusha binti kitandani nikamuweka vizuri kuku wangu huyu ili niweze kumla vizuri
Nilianza kuona anatoa pumzi kwa shida sasa nikaendelea kumchokoza kwa kumpapasa sehemu hatarishi ambazo zilifanya atoe sauti za raha .Baada ya hapo nilishika kwenye shingo .nilinyonya ile shingo nikashuka kwenye ziwa la victoria likiwa limejaa vizuri aisee nilikunywa maji ya ziwqni mpaka nikamuona mina ameanza kuteseka
Nikashuka kwenye kitovu pia nikakishughulikia ipasavyo harafu nikaanza kushulikia papuchi ya minasha mtoto alikuwa msafi kitu ilikuwa laini kweli nikaanza kuisugua huku nikimsikia malick mdogo akifurukuta kwenye boksa .Minasha alianza kulalamika nimuingizie mana hali yake ilikuwa ni mbaya sana na mimi niliendelea kumyima huku nikiendelea kuchezea kisimi
Hatimaye mchezo ukaanza nikazamisha mashine ya kazi na kuanza kumwadhibu minasha .zile sauti za kulalamika za mina zilizidi kunichanganya yaani nikawa nazidi kuchochea ukuni fasta fasta . Huku nikisema moyoni kazi iendeleee
Hiyo siku nilimsulubu sana mina mpka inafika saa kumi na moja ndo nilimruhusu mina apumzike hapo nikajiona nipo mwepesi sana daa mtoto alikuwa amekamilika kila idara yani aisee leo nilikutana na kitu mpya mina alikuwa mtamu sana na halikuwa hachoshi hakinai yaani kila muda unatamani kumrukia umzagamue aisee nilichoka mimi pia na yeye alikuwa amechoka sana
Hapo sasa nikajitupa kitandani pembeni ya mina nikalala usingizi .Asubuhi na mapema nikaamka ila sikumkuta nikajua tayari atakuwa ameamka kweli alikuwa nje kama kawaida akihangaika na wafanyakazi wengine .Mimi nikaoga nikavaa nguo mana nilikuwa nilishaandaliwa kabisa nikavaa vizuri kisha safari nikatoka mpaka sebuleni
Nilipokutanisha macho na minasha nilikumbuka kilichofanyika usiku daa nilibaki tu kuguna .Kwa aibu alizokuwa nazo alikuwa akinitengea chai nikawa nakunywa huku namuangalia mina na yeye akaenda zake kuoga akatoka na kuniacha bado nakunywa chai
Baada ya tukio hilo kupita zikapita kama wiki mbili hivi nikiwa kazini minasha akanipigia simu na kunambia kuwa anashida na mimi anaomba nikamuone yupo kwenye hotelini akaniekekeza na chumba kabisa ambacho yupo .Nikajua tu hapa mtoto alielewa shoo nikaacha kazi zangu nikatoka nikiwa na furaha
Nikaenda mpaka mahali ambapo alikuwa amenielekeza mpaka chumbni nikagonga mlango na gafla hadi macho yangu yalishangaa nikakutana na sura ya asali ya moyo wangu .Mbele ya macho yangu alikuwa amesimama myra akiwa ametabasamu machozi ya furaha .Alinikumbatia kwa moyo wote na mimi nikamshika vizuri
” malick naomba unisamehe sana sikukupa wakati wa kukusikiliza nisamehe sana mpenzi wangu minasha amenambia kila kitu ” nilimuangalia malikia wangu ambae alikuwa amelala kifuani kwangu huku akilia kwa uchungu nikamuliza minasha yuko wap akaniekekeza kuwa ameenda nyumbani kupmzika mana alionekana kama ana homa inamsumbua
“Myra nimekumiss sana nilikumiss mpaka nikawa naumwa ….plzz naomba usije kufanya kitu kama hichi tena utakuja kuniua mama”
“Sawa baba mimi nitakaa upande wako siku zote ….na baada ya wew kuachana na minasha mimi nitaolewa nawe “
“Bhasi mama si unajua umeniacha muda mrefu….naomba bhasi tuchangamshe damu hata kidogo nimekumiss mwenzio”
Myra aliniangalia kwa macho ya huba kisha akanisukuma kitandani . Kama kawaida yake hunipa vitu roho inapenda hadi waga nakosa la kusema bhasi mimi na yeye tukaenjoy mpka mida ya saa mbili usiku ndo nikashituka pembeni yangu alikuwa amelala . Nikambusu kwenye paji la uso kisha nikaamka nikaingia bafuni nikapiga maji nikatoka nikaanza kuvaa nikamuona chimama wangu anaamka
“Oooh mama umeamka tayari”
“Yes baby nimeamka nakuota tu wew yani “
“Daa mama angu utaniua kwa mahaba yako yani hapa nawaza nikurukie tena “
” hapana baby nenda kwanza nyumbni kaongeee na mina kuhusu taraka ili mimi nawe tuweze kuoana”
” alisema hivoo au mana siku zote alikuwa akihangaika kukutafuta wew kwahiyo kama anahangaikia taraka ni jambo jema”
Bhasi tukakumbatiana kisha tukaagana na mimi nikaenda nyumbani na kiukweli leo nilikuwa na furaha sana kumuona myra na kupunguza mafuta na mwanamke ninae mpenda sana .Nikaingia kwenye gari safari ya kwenda nyumbani ilianza na nilipofika nyumbani nikaingia ndani gafla nikapishana na Daktari anataka mmh nikashangaa nani anaumwa
” samahani nani anaumwa humu ndani mbona sina taarifa za mgojwa”
“Aaah sawa au wew ndo Mr malick mana mkwe wa nyumba hii ni MJAMZITO” Daktari alinipa hizoo taarifa nikabaki nasema moyoni mkwe gani mwingine zaidi ya minasha kama vile nikahisi joto nikawaza balaa lingine hili hapa . Haraka nikawahi kwenda chumbni kwangu ambako minasha alikuwa amelala nikafungua mlango kwa pupa nakutana na mama tena ananambia ” malick, minasha ni mjamzito “
Nilichanganyikiwa aisee
SEHEMU YA 9
Nilichanganyikiwa sana kwanza pale kitandani Mina alikuwa hajitambui alikuwa amelala lakini mama alikuwa anacheka tu yaani yaan anafuraha sana kusikia minasha ni mjamzito lakini kwangu lilikuwa ni pigo kubwa sana kwangu kwanza ukizingatia yaani ni leo tu nimetoka kumpata myra harafu apate taarifa hizi haya si majanga
“Yaani malick mwanangu wew ni kidume nilijua waga humpendi minasha kumbe mkiwa ndani mmmh ” mama yangu aliongea kwa kejeli sana kisha akatoka ndani na kunambia kuwa jambo hili lazima familia nzima lijue kisha akatoka
Nikabaki mimi malick nimetulia namuangalia mama kijacho wangu mawazo mengi yakanijia
Mawazo yangu yakahamia kwa myra nikawaza kama myra akifahamu kuwa nililala na minasha na kumpa mimba itakuwaje siwezi tena kukubali kumuacha myra wangu apotee yani aende mbali nami tena kwa sababu ya minasha
Nikiwa katika dimbwi la mawazo nikasikia mtu akigonga mlango chumbani kwangu na kitu hicho kilimfanya hata na Mina kuamka . Nikaufata mlangoo na kwenda kufungua ndipo nikakutana na sura ya baba akinitazam huku akitabasamu
“Hongera sana mwanangu sasa umenipa heshima kubwa dume langu” nikashindwa hata nimjibu nini yeye hakutaka kusubiri majibu akaamua kwenda kumfata minasha na kuendelea kumpa hongera ila hawa wazee walikuwa wanafiki sana tena hasa mama
Yaani mama angu alianza kuwaambia watu kuwa mke wangu ni mjamzito yaani mama aisee alijua kunikomoa . Sikutaka tena kuongea na minasha nikaamua kuondoka kabisa niende mahali alipo myra wangu . Njiani nilikuwa nawaza nimchukue myra wangu twende mbali kabisa mana nikisema tuendelee kubaki hapa bhasi mambo mengi yatatokea na mapenz yetu yatapotea na nikitu ambacho sitaki kabisa kukisikia
Nikaangalia kama kwenye akaunti yangu nina kiasi chochote nikakuta nina pesa ya kutosha ambayo itakidhi mahitaji yangu mimi na myra wangu . Nakumbuka nilimuacha hotelin kwahiyo nilikuwa naelekea huko huko kwenda kumchukua twende hata mbeya au mwanza tukatulie kama kuoana tungefunga ndoa huko huko
Nilipofika nikapaki gari yangu nikaenda moja kwa moja mpka kwa chumba cha myra kabla sijagonga nikasikia maongenzi ya myra
” yaani yeye aowe huko aje kwangu ….nachotaka kufanya ni kuharibu ndoa yake kisha nipotee kama yesu …….hahahahahaha atajua mwenyewe……….huruma mbona yeye hakunionea mimi huruma ………hata kama nilikuwa kwake kwa maslahi lakini hakupaswa kunifanyis vilee……
Duuu nikaumia sana nikajiuliza kwanini myra kabadilika hivi gafla na huenda kamshawishi minasha kuhusu maswala ya taraka . Moyo wangu ukauma mno jamani nikasema hata pale ambapo nilitegemea ningepata furaha kumbe ndo jehanamu yani mwanamke hajawahi kuwa na malengo na mimi . Ilinibidi nibishe hodi na ndipo akaktiza maongezi yake na kuja kunifungulia haraka
” baba watoto wangu umekuja……mbona sura yako haina nuru shida “
” Nilikuwa mbali na wew na shida ya kuwa hivi ni wew myra…….myra hivi unajua kama mimi nakupenda sana
” ndio bebe najua kama unanipenda…..lakini hata mimi pia nakupenda tena nakupenda sana najua unafahamu hilo kama myra anakupenda “
“Naomba nikuoe uwe mke wa pili ……….myra nakuomba nipo tayari twende hata sahivi tufunge ndoa yetu mi nawew
Hivi malick unaongea nini wew yani mimi ukanifanye niw mke wa pili kwa sababu zip au nimepeleza nini ……malick icho kitu siwez kukubali kabisa “
“Kwanini hutaki kuolewa na mimi …..inamana muda wote umeishi na mimi hujuwahi kuwa na plani ya kuja kujenga na mimi…..au kuanzisha familia na mimi
” malick umefikiria mbali sio hivo ila nachomanisha siwezi kuwa mke mdogo …yani inakujaje kujaje niwe mke mdogo wakat mimi nilitangulia kabla ya minasha “
Kwahiyo huwezi kukubali kuwa na mimi kwa sababu ya minasha au ……nambie tu ukweli kama huwezi kuwa na mimi na muda wote ulikuwa kwangu kwa ajiri ya pesa ” niliongea hivo kwa uchungu huku machozi yakinitoka maneno ambayo nilikuwa nimeyasikia akiongea kwenye simu yalizidi kunichanganya na kumuona alikuwa kwangu kwa ajiri tu ya pesa
Jambo ambalo nilikuja nalo ili nimwambie sikuwa na nguvu za kuongea ikabidi ninyanaze tu kimya na kujifunika shuka pale kitandani nikimuacha na maswali tele . Ilivofka alfajiri nilijiandaa vizuri tayari kwenda kazini nilipomaliza akaja nyuma yangu na kunikumbatia
“Malick mpenzi nilikuwa nashida na pesa kama milioni moja mama anaumwa kijiji ” mmmh ety anaomba pesa kwa sababu mimi nilikuwa akaunti yake
“Myra kwa sasa sina pesa ila nipe wiki moja nitakuingizia pesa yako mama angu si unajua mambo hapa katikati yaliingiliana kwahiyo now nipo hovyo sina hata pesa”
Malick jaman sasa mama yangu anahitaji kutibiwa kwani huwezi kukopa tu ukanipatia mana mimi ni dharura “
Jaribu kunielewa mama sahivi sina pesa na baadhi ya akaunti zangu mama kazifungia ndo mana nilikuomba tu nikuoe wew “
“Sasa wew malick unazani mimi nitaishije na mwanaume ambae hana fedha mimi nawezaje kuhendo ……kwakweli kwa sasa bora tuachane tu “
“Emu myra wew fanya maamuzi yako mwenyew ukimaliza utanipa tu mlejesho sawa
Kisha nikamuacha na hio aishii nayo nikaenda zangu kazini sema moyo wangu ulikuwa unauma na majuto juu
SEHEMU YA 10
Nikaondoka na kwenda zangu ofisini lakini akili yangu haikuwa powa kabisa muda wote nilikuwa namuwaza sana myra na mabadiliko yake .Nikiwa kazini nilipigiwa simu kuwa ninamgeni amekuja kuniona nikawambia wamruhusu tu aje
Macho yangu yaligongana na mwanamke anayefahamika.kama mke wangu nilishangaa ujio wake pale kazini kwani hakuwahi kufanya hivo kabla
“Kama ilikuwa shida muhimu sana si ungenipigia tu simu tukayamaliza kuliko wew kuja ofisini “
Najua malick lakini ni jambo la haraka nahitaji tu usaini hiz taraka kila kitu kiishe mana mimi nahitaji kusafiri “
“Kitu Gani icho ambacho unahitaji mim nilie sqini yangu”
“Taraka saini taraka malick ili nikuache huru …na wala usijari kuhusu mtoto wako atakuwa salama tu na nikijifungua nitamleta kwako “
” unatka kunambia mwanangu alele bila baba si ndio au …..hivi wew mawanamke unajisikia unavyoongea au nilijua umekuja na jambo la maana “
” kumbuka nafanya hay kurejesha furaha yako iliopotea lakini unaongea vitu ambavyo nashindwa kuvichanganua hata mimi kabisa emu acha maigizo na usaini taraka”
” subiri mwanangu azaliwe ndio ukumbuke kama kuna taraka ila kwa sasa naomba utulie tumlee mtoto wetu ” Nilimwambia minasha kisha nikaomba aende nyumbani mana nipo bize nina kazi nyingi sana nikija nyumbani tutaongea zaidi .Nilimuona minasha akiondoka kinyongee sana huku asiamini kama nimeongea mimi
Alivotoka nikaendelea na kazii zangu huku nikijitahidi kusahau vitu ambavyo vilikuwa vikilanda landa kwenye akili yangu majira ya saa kumi na mbili niliamua kwenda tena kumuona myra pale hotelini nijue anaendeleaje . Nilipofika niligonga akanifungulia nikakuta anapnga vitu vyake aondoke
” mbona na mabegi myra unaenda wapi wakati tayari nilishakutafutia nyumba ya kuishi kwanini unapenda kushikiria mambo lakini….” pamoja na kwamba nilifahamu qlikuwa hana malengo na mimi ila bado nilikuwa nampenda sana π’ Myra wangu na hapo nilikuwa najitahidi kumtuliza ili atulie
” sioni umuhimu wa kukaa na ww hapa …… yani umeshindwa kumwambia huyo mwanamke wako msaini taraka mpka sasa mmeniweka mimi hapa kama mdoli niangalie kila kitu ambacho unakifanya wew “
” nisikilize myra emu tulia bhas tuongee …..mmmmh mwanamke wangu usiwe na hasira hivoo kama mimi nitakuoa sita kuweka pamoja na minasha wew nitakujengea nyumba yako na.kukuhudumia kivyako”
“Yaani bado umesimamia mpango wako wa kunioa mke wa pili …hivi malick wew umerogwq na minasha …mbona hukuwa hivi kabla umepatwa na nini wew lakini??? Alisema hivo huku akinishika shika mashavu yangu
“Sijarogwa hata ila ninachoongea kinatoka kwenye akili yangu mwenyew na nimeona kuliko kumpa taraka minasha bora niishi na nyinyi wote “
“Sikia malick mimi siwezi ……tena naomba tuachane siko tayari kuolewa mke wa pili sawa wew kama umeamua kuingia kwenye ndoa ishi na mwanamke wako huyo … mimi naomba uniqche kabisa”
Kisha myrq akanipiga kikumbo na kuondoka huku nikimuangalia daa kweli myra ameamua kuondoka tena na kuniacha nikabaki pale nimekaa mwanaume mpaka machozi yakanidondoka nikayafuta ila yakazidi kudondoka ikabidi sasa nikubali kama mimi nilipaswa kulia kwhiyo nikaanza kumwaga machozi na kulia ili kupunguza mzigo niliokuwa nao kwenye kifua changu
Nikajiinua taratibu safari ya kwenda kwangu ikaanza .Niliendesha gari taratibu huku nikiwa na mawazo mengi .Nilipofika nyumbni nilipishana na gari la familia ya kina minasha sasa nikawaza walikuwa wamekuja kufanya nini .Ili kujua kila kitu ikabidi niingie ndani nikamkuta bimkubwa wangu amekaa pale sebuleni
” Mama shikamooo” nilimsalimia
” wazazi wa minasha walikuwa wamekuja hapa kuleta vitu vya minasha na baadhi ya pongezi kwa ajiri ya mimba ya minasha …….mmmmh kingine tulichoamua mimi na baba yako kesho tutaondoka hapa na kwenda kukaa kule kwenye nyumba ya kigamboni wew hapa ubaki na mkeo minasha “
“Mmmmh mama kwanini sasa …mbona nyumba hii ni kubwa kulikuwa na uwezo wa kukaa nyie na sisi” nilimjibu hivo mama .Mama yangu akaniangalia kisha akanijibu
“Kwa sasa unapaswa kubaki na mkeo ni hivo tu” kisha akanyanyuka na kwenda chumbni kwake wakati naongea na mama minasha alikuwa amesimama kwenye mlango wa jiko akituangalia mimi na mama alipoona mama ameondok akanifata mimi
“Malick , my……”
“Staki mambo ya myra sahivi ….. ongea na mimi nambie unaendeleaje bhasi ” kisha nikaenda zangu chumbni
Kuingia chumbni nikakuta mabegi ya minasha na vitu vingine vya minasha viko pale gafla na yeye akaingia ” kesho nitaviamisha kwenye chumba cha mama pale watakapo ondoka nitakuwa nalala huko ” alinambia huku akisogeza sogeza vitu vyake pembeni kuachia mwaya .
Kisha akanambia “myra amenipigia simu ” mmmh nikawaza tena myra kampigia minasha simu ya nini jaman
Inaendelea……

