KAMA UTANI, IKAZAMA MPAKA NDANI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 11
“Myra amenipigia simu …. alikuwa ananiambia amepata dharura ila akirudi ndo tuendeleze swala la taraka “
” ulimwamwambia kama wew ni mjamzito “
” hapana sijamwambia kwani hakunipa hata wakati wa kumjibu kisha akakata simu yake ….je umeongea nae lakini”
“Ndio nimeongea nae…..wala usijar minasha wewe akikisha unakuwa salama wewe na mwanang” nikamwambia hivoo kisha akasema ” chakula tayari kipo mezani Njoo ule ” akanambia hivo kisha akaondoka zake . Mimi nikaingia bafuni nikaoga nikavaa na kwenda kwenda mezani kupata chakula .Leo familia nzima ilikuwepo pale kwa ajiri ya kupata msosi yaani mimi minasha mama na baba tulijumuika wote kwa pamoja kupata misosi
Baada ya kumaliza kula baba alitoa wosia kwamba tuishi vizuri tupendane na wala tusigombne kisha akanyanyuka na mkew wakaenda zao kulala mi nikabaki pale na minasha na mfanyakaz mmoja . Nikamaliza kula kisha nikaondoka zangu na kumuacha minasha . Nilichokuwa nimekiona mina hakuwa mtu wa kujivuna pamoja na kwamba kwao kulikuwa na pesa chafu alipenda sana kujichanganya na alikuwa mchangamfu sana
Nikiwa chumbani sikulala nilimsubiri minasha aje ili niweze kumzuia asiweze kulala chini tena kutokana na hali yake . Alipofika nikamurkeza kweli na akawa amenielewa mimi nikalala miguuni yeye akawa amelala kichwani usiku mzima tukalala hivo
Asubuhi tulikuja tu kuagwa na mama na baba yangu kusha wao wakawa wameondoka na kutuacha sisi kwenye mjengo ule .Nilimwagiza mfanyakaz akakifanyie usafi kile chumba mana kama.nisinge ongea minasha angeenda kufanya yeye ila huyu mwnamke mmmh bhasi .Chumba kikafanyiwa usafi na minasha akawa analala humo baada ya mwezi mmoja kuishq ndipo nilianza kuona changamoto alizopitia mama katika ujauzito wake
Minasha alikuwa akibagua chakula kila siku alitamani apikiwe ugali maini au ugali samaki admsubuhi asipopata supu ya miguu ya ngombe nyumba ilikuwa haikaliki minasha alikuwa anafoka sana .Siku moja nikiwa kazini minasha alinipigia simu na kunambia
Malick naomba naomba leo uniletee samaki wabichi nina hamu ya supu “
“Mchana huu au usiku “
“Usiku malick najisikia kula yaani tola asubuhi sijala ……nataka samaki samahani lakini “
“Sawa nitajitahidi kuwahi nikuletee ” pamoja na kwamba alikuwa na mimba yangu bado sikuwa nimekubali kulala nae kitanda kimoja yeye alikuwa akilala kivyake na mimi kivyangu .Ila leo nilifikilia nikaona kama nafanya ujinga sana kama mwanamke anamimba yangu ya miezi miwili bado tu niweze kumkataa kama mke wangu aaaah leo ngoja nikamrudishe chumbani kwangu
Muda wa kutoka sikutaka kusahau samaki ya watu kwahiyo nilienda nikanunua samaki na kuanza safari ya kurufi nyumbani . Nilipofika alinipokea na kunishukuru sana aliposikia harufu ya samaki
Ilikuwa kawaida yangu kabla hajaenda kulala kupitia ghumbni kwangu na kumuliza kuhusu hali yake
“Vipi leo umeshindaje “
” salama kabisa ila kidogo nilikuwa natapika ila nikakaa sawa…”
Nikamuangalia kwa muda kisha nikamwambia “leo naomba kuona tumbo lako mana sijawahi kuliona …..harafu hata halikuwi”
“Mama alinambia kuwa …tumbo litaanza kutoka baada ya miezi minne mpaka mitano sahivi ni miwili tu haiwez kuonekana “
“Aaah okay bhasi ni vizuri …..lakini leo utalala humu chumbni mwangu yaani tutallala wote kama mume na mke si unajua mtoto anahitaji rutuba”
” malick toka lini “aliniuliza kwa mshangao mkubwa sana
“Af mimi sio malick mimi ni.mumeo si nimekuoa wew …..harafu haka katabia sikapendi ety upo siriaz mume wako unamwita malick” nikasema vile akaomba msamaha mtoto wa watu huku akilitaja jina la mume wangu
Kama kawaida akaenda kuoga alipomaliza akavaa na kijora chake akapanda kulala nikamuliza kwahiyo huko kwenu mmefundishwa kulala na vijora na wanaume zenu nikamwambia aende akajifunge taulo aje alale .Minasha bila kusita akaenda zake choo kubadilisha nguo na kuvaa taulo ambacho nilikuwa nimempa
Mlango wa chooni ukafunguliwa akatoka sasa minasha mmmh nilichokiona ilibidi kwanza ninyanyue kichwa afu nikae daaa asee
SEHEMU YA 12
Mbele yangu alisimama malaika sio tena minasha mana sio kwa jinsi alivokuwa amefungasha kila sehemu .shepu hili la hamisa mobetto sikuliona ile siku wakati nina uchu wa mapenzi ila leo taulo lilinionesha uumbaji wa mungu kikweli kwenye hili sikuwaza kabisa kumlinganisha myra na minasha . Alivokuw amefungasha nyuma na akitembea kuja kitandani malick mdogo alianza kusumbua baada ya kuliona lile zigo nyumba mtoto akijitikisa
Alipanda kitandani na kunigeuzia figa zake yaani hapo ndo alipozidi kunichanganya medula yangu nikajisemea moyoni sizani kama kuna kulala hapa yani hivi hapana
” sasa ukishalala mbali hivo tunampaje mtoto jotoπ π ”
“Kwani unataka mimi nilalaje jaman “
” sogea huku kwangu nikukumbatie….. kwani kwenu ndo mlifunzwa hivo ndo namna ya kuwacare wame zenu ” Nilikuwa naongea sana mpka minasha akaona isiwe kesi akasogea akajilaza kwenye kifua changu harafu mimi nikapeleka mikono kwenye makalio nikaanza kuyapapasa
“Ndo nini sasa malick unafanya “
” ndo mume na mke waga wanafanya πππ”nilimjibu huku nikiendelea kumpapasa makalio yake mwishowe nae akaanza kupapasa kifua changu kwa stahili fulani hivi ya kimahaba na mimi nikapata nafasi ya kuhamia kwenye sehemu nyingine laini
Hatimaye malick nikala tunda tamu sana siku ya leo mana minasha alikuwa active sana lakini cha ajabu kila muda minasha alikuwa anataka mchezo yani hachoki .Ikabidi nishughulike mwanaume nikamshughulikia kisawa sawa minasha mpka mwenyew akatuli . Ila kama ndo hali ya mimba bhasi atanimaliza nguvu za kiume
Mpaka inafika asubuhi mida ya samoja bado minasha alikuwa amenikumbatia tu .Nikasema huenda huyu minasha alikuwa ananipenda mbona leo chance ya kulala tu na mimi ananikumbatia hivi .Lakini kila nikimuangalia huku nyuma yaani najisemea mimi kuchepuka tena siwezi ukizingatia mtoto mwenyew anaupenda san mchezo πππyaani mwamba ndo kanifikisha yaani kama angejua
Mahaba yakawa ndindindi nyumba sasa ikaonekana kama ya mume na mke sasa kila nikirudi jioni alinikaribisha vizuri kama mume wake alinipikia chakula nikala nikashiba sana nikala tena kama mnavojuaππ
Siku ya leo sikwenda kazini nikaona siyo mbaya kama nitamsaidia mkewangu kazi ndogo ndogo sio mbaya . Nikamfata jikoni ili nimsaidie kazi
” mmmmh mume wangu ……jikoni vipi tena njaa imekuzidi au”
“Hapana mama nimekumiss tu ….nimekukosa kitandani nikajua utakuwa huku”
” ahhhhhh nakuandalia chochote kitu tule mana hata mimi nina njaa” nikamuona mina anaandaa chakula pale
Tukaandaa chakula tukapeleka mezani wakati huo yule mdada wetu wa kazi alikuwa nje akimwagilia maua tukiwa tunakula minasha akaanza
“Mume wangu malick……nilikuwa naomba leo twende nyumbani kwetu tukawasalimie ….unajua toka nimeolewa sijaenda tena nyumbni
” ooooooh kumbe ….. bhasi tukimaliza hapa tutajiandaa twende na tukitoka huko tutaenda kumuona mama na baba yangu “
“Aaaa sawa nimependa hio mume wangu”
Tukala tukamaliza kisha tukajiandaa safari kwenda kwa kinaminasha .Kwao palikuwa pazuri ilikuwa ni kama kasri tuliingiza gari mpka ndani ya geti kisha tukashuka tukakuta kuna wafanyakazi tayari waneshaandaliwa kuja kutupokea nikaingia ndani hapo ndo nilikutana na mandhari mazuri sana .Tukakaribishwa tukakaa kusubiri ndugu wa minasha waje
Nikamuona mzeee mmoja wa kiarabu akija huku akiwa amezeeka sana minasha alipomuona akamuwahi na kumkumbatia
“Babu umerudi jamani nilikumiss sana “
” ndio mjukuu wangu nimerudi baada ya kusikia umeolewa na unakitukuuu changu…nimefurahi sana mjukuu wangu”
” ndio babu .” Walikaa wenyew na babu yake kisha wakaanza kuongea yule babu akaagiza makaratasi yakawa yameletwa pale kisha akamwambia
“Nilisubiri uolewe na ubebe mimba ndo nikupe urithi wako …… yani mali zako alizokuachia baba yako uzimiliki mwenyew uziongoze sasa mali zako sawa”
” kwahiyo babu …. kumbe nami nilikuwa na mali mbona shangazi alisema sina kitu”
“Usijari mwanangu twende nikakuoneshe mali zako na hizi mali kuanzia leo utaziongoza wew na mume wako mana mali zako ni nyingi wew pekee yako huwezi kuzimudu”
Mmmmh niliposikia hivo mimi mwenyew ndo mume sasa zali likawa limeniangukia nikawaza kama nitakuwa mume wa mwanamke tajiri sana nyie kiukweli sikuwa naamini kabisa
SEHEMU YA 13
Tukaenda kutembelea katika baadhi ya makampuni yaliopo goba posta na temeke . Kiukwel kulikuwa na mali nyingi sana ambazo mina aliachiwa na wazazi baada ya kumaliza makabidhiano mbele ya mwanasheria ilitubidi tuelekee nyumbani kwetu kigamboni sasa .Yaani hapo nilimuona Minasha kama malikia kwangu alikuja na baraka nyingi kwangu
Nyumbani kwetu mama yangu alikuwepo pamoja na baadhi ya ndugu zangu ila wao walikuwa wanamuangalia sana minasha kutokana na kuwa mwarabu harafu sasa kajengeka vizuri niliwaona mashemeji zangu baadhi wakianza kumtolea macho ya tamaa wakati wakisalimiana ikaabidi nimwite wee usiniulize sangapi nilianza kumuonea wivu mwarabu wangu . Tukaenda mpka alipo mama na baba
“Kila nikikuona mwanangu natafakari tu wajukuu zangu watakuwaje mana β₯οΈ mana mama yao mzuri kweli na hata hivoo mnapendezana sana ukiwa wew na malick “
Mama yangu aliongea wakati huo nimekaa pembeni ya minasha
“Naomba unizalie wajukuu wengi sana wajae kwenye hii nyumba yangu …… wanisumbue mimi babu yao wawe wengi wakike kwa wakiume…….. nitawapenda sana minasha”
Basi minasha akaingia jikoni kama mkwe akapika chakula kisha tukala ila bado alikuwa akisumbuliwa na hali ya kutapika sana na kichefu chefu juu alijitahidi akala . Moyoni mwangu nilimuona minasha ameshatawala kabisa yaani kila siku nilijikuta naanza kumpenda na upendo wake kushamili
Baada ya chakula tuliaga na kuelekea mlimani city kushangaa na kufanya shopping ya hapa na pale .Nikamnunulia nguo minasha na yeye ety akaninunulia nguo usoni nilionesha kukwazika ila nilipenda sana mwanamke wangu kutumia pesa yake kuninunulia kitu aisee nilifurahi sana jaman kama mtu angeingia moyoni mwangu angeona jinsi ninavofurahi
Tukarudi nyumbani wote tukiwa tumechoka na safari ya kutwa nzima hasa mina alikuwa amechoka sana akaoga na kupanda kitandani akalala usingizi mzito kweli Mimi nikabaki namuangalia tu huyu binti mrembo nikapanda kitandani kisha nikalala pembeni yake akajigeuza chapu kisha akanikumbatia mwanaume wake na mimi nikamkamata vizuri na ule mtako wake wenyew tukawa tumelala
Kwa muda ule nilisahau kama kuna mtu anaitwa myra sahivi kwenye akili yangu minasha alikuwa ametawala yaani nilikuwa siambiliki wala siambiwi na mtu hata watu ambao walikuwa wanajua kuwa nampenda sana myra walishaanga kuwa sasa nampenda sana minasha
Minasha aliamka kabla yangu akaenda mpka jikoni akamkuta mfanyakazi wetu anaanda chakula cha usiku
“Vipi mbona nakuona kama hauko sawa unaumwa “
“Hapana dada niko sawa kabisa …wala usijari nitamaliza kazi mapema”
” hapana kama hauko poa mimi nitapika tu sawa nishakwambia mimi ni kama bosi wako wala sio bosi wako” minasha alinwambia kisha akamgusa usoni
” unahoma sio ….nambie ukweli kipnz”
” ndio dada nahisi nina malaria”
” haya sawa ……shika hii pesa nenda nyumbani nunua dawa pumzika sawa kama hali yako itakuwa njema utakuja sawa kipnz “
“Asanteee sana wew unamoyo wa kipekee sana nashukuru ntajitahid kuwa sawa kesho nije”
” sawa bhasi acha nimalizie kupika ” Mfanyakazi akawa ameondoka kisha minasha akashika jiko akaendelea kupika chakula alipomaliza akatenga mezani akaingia ndani akabadili nguo na kuvaa nguo zingine kisha akaja kwa mume wake mimi akaja kuniamsha akanambia niende nikaoge mana ni muda wa chakula cha usiku
Nikanyanyuka kumwangalia mmmh mpka nikashituka yani alikuwa amejipoa kapendeza kweli tena leo kanivalia tunguo flani hivi vya mitego mmmh huyu minasha mbona anamakubwa sana bhasi nikanyanyuka nikaenda zangu nikaoga nikamaliza nikamkuta anatandika kitanda shuka la maua maua mmmh nikaenda zangu mezani nikachukua chakula nikala nikakaa pale nikawa naangalia mpira pale
Ilivofika saa sita nikakuta mama kijacho tayari amelala kitandani hajajifunika hata shuka nikamfunika shuka kisha nikapanda kitandani nikamshikiria kama kawaida yangu ππ
Ilivofika asubuhi mida kama ya alfajiri nikaamka mapema sana nikaamua kumsaidia kila kitu sababu nilijua yule mfanyakazi hawezi kuja mana alinipigia simu kwamba amezidiwa na hali yake sio mbaya sana ila kesho hataweza kuja . Nikafagia uwanja na kufanya kazi ngumu ngumu ambazo zingemchosha mina wangu
Baada ya hapo nikatoka tayari nimejiandaa nikaenda zangu kazini . Nikiwa kazini minasha akanipigia simu tukasalimiana vizuri
” hukuwa na haja ya kufanya vile wew ungeenda tu kazini mimi na mlinzi tungesaidiana “
” hapana mama angu ….hali yako haifai kufanya kazi ngumu ndo mana nikaamua kukusaidia kazi baadhi”
“Asanteee mume wangu ila nilitoka kidogo nikaenda goba kule kweny kampuni yangu …na sasahivi ndo nimerudi ila hapa nyumbni kuna mgeni amekuja mdogo wako wa kiume yupo hapa”
Bhasi sawa usijari nitawahi kuja nimkute kabla hajaondoka ” nikamwambia kisha nikakata simu baada ya dakika tano ujumbe ukaingia what app kutoka kwa minasha ilikuwa ni video imetumwa view once mmmh nikajiuliza nini tena hiki ?????!
SEHEMU YA 14
Mikono yangu ikaanza kutetemeka kufungua sijui hata nilikuwa nawaza niniambacho minasha amenitumia jaman au jambo baya limemkuta .Nikawaza labda huenda mdogo wangu alikuwa anajaribu kumbaka ndo kanitumia ushahidi . Hapana nikajipa moyo kisha nikafungua ile video nilichokikuta nilijikuta nadondoka udenda yaani minasha na like umbo lake alikuwa akijari nguo zake za ndani harafu ananioneshea .Mungu wangu akili yangu ilishindwa kabisa kuchanganua mambo nikajikuta mjeshi wangu akisimama wima kama mnara
Ile video nikaangalia mpka mwisho kisha ikafutika nilitamani yani niione kila muda lakini ndo ivoo tayar ilikuwa imefutika muda huo ilikuwa ni saa nane na leo ilipaswa nikatembee kampuni ya kule kigamboni ya minasha pia tulikuwa na ujenzi wa nyumba za kupanga kama mbili hivi kwahiyo napo nilipaswa kwenda kupaona
Licha ya hivo bado nilikuwa na kazi nyingi sana pale ofisi .Nikaendelea kufanya kazi ila akili yangu tayari haikuwa sawa kabisa .saa mbili ndipo nilimaliza kazi nikaona kule site nitaenda tu kesho acha niwahi nyumbani nikawasha gari huyo nyumbni
Nikafika nikafunguliwa mlango na mdogo wangu imrani
” aaaaaah braza “
” imrani mdogo wangu hata siamini” bhasi mimi na mdogo wangu tukakumbatiana kwa furaha maan ni kitambo kirefu sana tulikuwa hatujaonana na alikuwa nje ya nchi . Huyo ndo alikuwa akimjua myra kama shemeji yake na hata hapa alitegemea angemkuta myra pale lakini ndo kamkuta mtoto wa kiarabu minasha
” za huko utokako mdogo wangu”
“Nzuri tu kaka sema niliwamis sana huku nikawa nawaza lini namaliza masomo yangu
” ndo ushakuja sasa karibu sana mdogo wangu”
“Lakini kaka mbona kuna vitu sivielew………nilizani hapa ningemkuta myra lakini nashaangaa nsmkuta huyu binti wa kiarabu tena anakuita mume” hapo hapo nae mina akaja kuleta juice
” shemeji pata juice” kisha minasha akaondoka zake
” kaka myra yulo wap …. emu nambie nijue “
“Myra …… emu tusimuongeleee hapa myra kama minasha atasikia itakuwa kesi nyingine tena na staki kumvuruga kabisa mana hali yake so poa”
” ni mjamzito sio”
“Wew umejuaje kama ni mjamzito na wakati sijakwambia””
” mimi ni daktari nimemuona na hata hivo …..muda mwingi akikaa anapapasa tumbo lake licha ya hivo kitovu kinaonekana “
” mmmmmmh sawa bhana”
“Bhasi kaka angu mi ngoja nikapumzike nashukuru shemu mwarabu kanipa chakula nimekula nimeshiba acha nikalale ” tukaagana na mdogo wangu nami nikaingia chumbani kuoga wakati huo minasha anatenga chakula mezani . Nilipomaliza kuvaa kila kitu nikatoka mezani na kwenda kula mezani nikamkuta mke wangu wa kiarbu yupo ananisubiri tuje kula
Akapakua chakula kama kawaida yake kisha tukaanza kula .Ulaji wake wa leo ndo ulivozidi kunichanganya zaidi siku zote tulizoea kulia vijiko ila yeye leo alikuwa analia mikono aisee vidole alikuwa anavilamba furani hivi yaani duuu harafu ananitazama mimi kwa macho kama kala kungu
” mume wangu chakula cha leo ni kitamu sana…..”
” eeeeeh ladha ya leo iko poa sana ” nilisem huku nikijaribu kujikaza lakini minasha hakuniulumia akahamia sasa kwenye ndizi akawa anamenya taratibu kama hataki huku anaitazama ile ndizi kimahaba mpk analamba na lips baada ya hapo akaanza kupitisha ulimi wake juu ya ile ndizi mara aingizee yote aipake mate ila nyie minasha alijua kunivuruga yani nikaanza kuimagine ile pale ndo nanii yangu
Sasa alipokuja kuingata mimi nikafumba macho kabisa maana nikajihisi kama mimi yangu ndo imengatwa hapo hapo nikajihisi nimeloaπ π π π harafu yeye akala ndizi yake akanyanyuka akatoa vyombo vyake akaniaga nitamkuta chumbni kabla hajaondoka akasogea karibu yangu akashika kijiko changu akanishikisha mimi alafu akajilisha harafu akanilisha kupitia mdomo wake jaman akaniachia hiyo code kisha akaondoka π³π³π³
Kwa haraka haraka watu wenye IQ kubwa za kufikiri nikaelewa huyu leo anataka vitu huyu ndo mana hata kazini alikuwa akinichokoza . Lakini mimi namuonea huruma na hio hali yake jaman daa ila minasha alijua kunivuruga ubongo
Nikala haraka haraka kisha nikapeleka vyombo nikawahi kwenda chumbni haraka kwenda kula vitu vyangu hahaha π π malick mimi bhan
SEHEMU YA 15
Malick mimi nikawahi chumbani haraka nikasikia kwanza minasha anaoga .Nikasema eeeh yaani akitoka tu bafuni namrukia . Nikamsibiri pale mpaka bhasi lakini hata hatokiii mwishowe nikapanda kitandani kinyongee kweli nikajilaza .Ndipo nikasikia mlango wa chooni ukifunguliwa akatoka minasha akiwa amejifunga taulo
” mbona umekawia humo chooni “
“Si nilikuwa naoga jaman kwahiyo ulitaka nisijisugue”
” hapana so hivoo ……. lakini umekawia sana yani mpka nikajua labda jambo baya limekukuta huko “
” kwanini hukuja kunitazama sasa ….. ila malick bhana bhasi mume wangu tulale”
” tunalalaje sasa mama kija …… mim hapa mimi mwenzio nimemmiss minasha ” nilivosema hivo bhasi yeye akacheka kwa aibu kisha akanijibu
” mimi leo najisikia kuchoka tufanye kesho bhana……..” harafu akawa anapanda kitandani .Nikajiuliza hivi alivokuwa anafanya vile alizani mimi ni shoga ety yaani sina hisia au
Sikusubiri nilimrukia pale kitandani kama paka amrukiavyo panya daa aisee .Nikajilia vitu vyangu kwa mama kija wangu na kila siku minasha alijua kunivuruga kwa kunipa vitu vipya tulipomaliza kila mtu alikuwa amelizika tukakumbatiana kisha tukalala usingizii
Asubuhi ya siku hio yule dada wa kazi alikuwa amekuja na ukizingatia mimi pia nilikuwa kwenye mapumziko yani jumamosi bhasi tulipoamka tu tukachangamsha kwanza damu kisha tukaingia kuoga tukarudi tena kulala .Wakati huo imrani aliamka na kumkuta yule dada wa kazi pale akashaangaa sana kwani hakujua kama kwenye nyumba yetu kuna dada wa kazi
“Samahani wew ni nani”
” mimi ni mfanyakazi tu humu “
Eeeeeh kumbe jana nilimkuta shemeji peke yake sikujua kama kuna dada wa kazi humu”
” Jana nilikuwa naumwa nilimwambia pia kaka malick…… lakini pia wew ni nani”
” aaah sawa mimi ni mdogo wake malick naitwa imrani “
” oooh sawa mmefanana sana na bosi malick ” bhasi wakawa wanasaidiana kazi za hapa na pale ” mimi naitwa Rehema “
” jina lako zuri kama ulivoo wew “
” jaman asante sana ” bhasi wakaendelea na hadithi zao huku mimi nipo na mkewangu tunabebika tunaambiana maneno mazuri mazuri yaani daa πππ
Tukajiandaa vizuri kwenda kujumuika kwenye chai .Sasa cha ajabu nikamkuta mdogo wangu leo anashiriki kufanya kazi na Rehema yani yuko pembeni yake
” Mina mke wangu hivi umemuelewa imrani pale”
“Ndio si yupo anafanya kazi na rehema”
” huoni ajabu wew” “ajabu ipi na wew ….. ushaanza kuwaza tu ujinga muonee emu twende tukanywe chai “
Bhasi tukafika mezani pale kila kitu kilikuwa tayari tukakaa na kuanza kunywa chai nikaanza kumuliza rehema kuhusu hali yake anajisikiaje .Niliamini hapaa nimepata kweli mke bora mwenye moyo wa kujari
Tukanywa chai kwa furaha sana tulipomaliza rehema akatoa vyombo na kusafisha meza
“Shemeji navokuona mimi …… unawatoto mapacha “
” mmmmh wew imrani umejuaje ……mana bado sijafanya utra sounds “
” kama ikiwa kweli utafanyaje ……mana mimi nina uhakika na nachokiongea”
“Utakacho shemeji” ” bhasi nitakwambia sawa nini ambacho nakitaka staki kaka asikie”
” nini ichoo ” nikadakia lakini kabla sijajibiwa mlango uligogwa kama mara mbili hivi mke wangu baada ya kuona rehema yupo bize akasimama yeye kwenda kufungua mlango akakaa kama dakika tano hivi ndipo akamruhusu mgeni aingie
Kwanza kabisa wote mimi na imrani tulisimama nikamwangalia mke wangu minasha nae macho yake yalibadilika .Niliinamisha kichwa chini kisha nikatoka pale ili nikahakikishe kama nachokiona kilikuwa kweli au naota
Niliposogea karibu aiseee niliamini alikuwa ni Myra ….!!
Inaendelea…..

