DOCTOR NIKUNE NA HUKU KUNAWASHA
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Chapter 06
Nilikuwa zangu kwenye biashara akaja shoga angu yule jana nilienda kwakee
“Weee yaan jana sijalala kila nikipiga simu yako inatumika utafikiri ulikuwa unaongea na kijiji” kabla hata hajakaa alianza kunipashaa
“Heheh mwenzangu ilinibidi jana niongee na kijiji we kuwezaa”
“Basss ,,waenda harusini jana walipo rudi mwenzangu namuuliza mele huko kwemaaa nikajua umepigana labda na bi harusii akanambia bora hata wangepiganaaa kuliko hilii bibi harusi kaowa😆😆mana watu wanajiandaa kusindikiza harusi kumbe baba harusi ndo kafikaa nikasema ngoja nikupigie simu mie nichekee we nae unatumika tuu … nawe ulikuwa unamlea mikaa???'”
Ilibidi kwanzza nitabasam kwa uchungu
“Kwahiyo happy unataka kuniambia mika pale ndio kafika”
“Eeeh navyosikia huyo mika hana hata makazi anaishigi kwa washkaji zake tu,,kwahiyo we hujui “
“Khaaa!!! Alhamdulillah…”
Nilinyoosha mikono juu kumshkuru mungu
“Yaan happy mimi mika hata simjui vizuri jamani , tulikutana kwenye mishe mishe mtaani tukaanza mahusiano hata miezi miwili bado nikagundua anatembea na emmy kuwafatilia ndo ile siku nikawakuta chumbani kwa emmy tena wanasuguana heee mbona makubwaaa!!!”
“Ndo hayo dada waswahili wanasema likuepukalo lina heli nawe” mmmh niliguna Tu tukaendelea pale kupiga umbea mana ndo chakula cha uswahilini tena
(Umekula..??) Hee kikaingia ki msg kutoka wa Abbas jamani kamoyo kakafanya Puh🙌🥰
( ndo nataka nifanye mpango)
(Fanya ule muda wa lunch huu)
(We tayari)
(Ndo nakula hapa nikasema mamkubwa kala kweliii??)
Nikaweka emmoj za kucheka tuu sikuandika chochote akanijibu unanichekaa?? Hee nikaweka tena za kucheka safari hii zile za machozi kabisa Hapana bwana nimefurahi tuu
(Mmh haya bwana Mchana mwema)
Jamani mimi nilikuwa na hamu ya kuchati hivyooo et mchana mwema nikamjibu Tu nawe pia…
Nilimaliza biashara zangu siku hiyo karibu giza linaingia taratibu nikajisukuma kurudi nyumbani nikawa nakumbuka mahusiano yangu na mika yaludumu kwa muda mchache sana ila hajawahi kunionesha anapoishi mara zote alikuwa anakuja yeye kwangu na nikimwambia nahitaji kupajua kwako ananiambia muda bado nisiwe na haraka kwahiyo hivyo pia vilifanya mimi nijione nina mkosi mana mwanaume hataki kushea na mimi chochote hata kazi yake tu hataki kunambia mladi namuona ona tu aise sasa nikawa nakumbuka na Tambo za emmy mmh nikaguna tu nikafik zangu home emmy alikuwa anapika pale nje ya mlango wake mume wake amekaa pembeni ya mlango nikasalimia zangu waliitikia majirani wengine na mume wa emmy aliitika lakini bibie walaa nami hata sikujali nikaingia ndani nikatoka na ghanga yangu moja tu nikaenda jimwaia maji nikavaa nikajipikia wakati nakula simu ikaita alikuwa Abbas .
Nikawa naongea nae huku nakula ana story huyo kaka jamani duh ila ukinuona hivi kawaida uso wake utasema huyu kaka haongei mpoleee eeh anaongea jaman hakaukiwi story yaan mimi ni kucheka tu nacheka tuu wee tuliongea mpaka nikaanza kusinzia hapo nishamaliza kula kitamboo akanambia basi lala bibie nisikuchoshe aaah nikavunga mi hata sina usingizi mbona🤗🤗Akanambia kuna kazi nataka kufanya nitakucheck kesho asubuhi sawa nikasema poa , alipo kata simu na usinginzi ulipo potelea hata sijui.
Nikawa nawaza sa mbona hata hanitongizi huyu kaka jamani au hajui kutongoza au ananichukulia tu kama rafiki yake mmh mi hata sielewi ,ka sms kaka ingia( mamkubwa usiku mwemaaa)
Waoooh🥰🥰🤗 jomoniii nisipo nawili huu mwaka ndo basi tenaaa nikawa nawaza sijui nijibu aje nikiandika nawe pia naona imekaa vibaya nafuta Shukrani kwako pia mmh nafuta 🤦♂️sa niandike Ka neno gani kazuriiii??
Mwisho niliamua tu kuikumbatia simu usingizi nao ukanisalimu kimojaaa …
Asubuhi kama kawaida niliamshwa na simu kuangalia Babyyyy🥰🥰 Abbas huyoo nikapokea haraka haraka jamani hapo mi hata sijatongozwa wala sijui kwanini huyu kaka ananitafuta tafuta sana lakini mi ndo nampendaaa natamani hata mimi ndio nimtongoze Jamaniiii 🙌🙌
“Hellow kumekucha mamkubwa “
“Nakwambia ndo unaniamsha hapa ubarikiwe ilibaki kidogo nipitilize” nilijibu huku najichekesha😀 tukapiga piga story akanambia ye ndo anaenda kibaruani kwake kwahiyo badae nikasema poa nami nikainuka kuoga nina bahati mbaya kweli si nikakutana tena na mika kajifunga kagha😄😄😄 ila wanaume wengine bwana mi sipendi basi vile vimakalio vinakaa khaa🙌🙌😄 ujinga Tu
Nikachekea moyoni tukapishana akamsalimia sikuwa hata na shida nikaitika …
Huyo nikaingia mishe mishe zangu , sa wakati nipo pale nikasikia happy yule shoga angu akasema “weee mbona bi harusi anaanza kazi siku ya pili hakai hata saba” sindo nikageuka eh namkuta Emmy anasafisha kibanda chake mana sie ni majirani Haa!! Mwenyewe nikamshangaa yaan bibi harusi siku ya pili anaaza kazi makubwa hayo nikameza mate nikaendelea na kazi zangu ….
Nilikuwa wa kwanza kumaliza kabla ya emmy nikarudi om, ule muda napika ye ndo akawa anarudi anajipigisha vimafumbo et uchawi umekomaa mpaka kwenye biashara basi anacheka na shoga ake alikuwa wa chumba cha mwisho nikaona wote wajinga hapo Abbas akanipigia simu basi naongea zangu ananichekesha we nachekaaa nacheka mpaka basiii tulipiga story nikamwaliza kupiga nikawa nakula tunongea tu yaan mpaka muda wa kulala basi mi naona Rahaaaa🥰🥰 kazi yangu ni kuhamisha tu sikio hili mara lile kubadili pozi za kulala yaan mpaka basi….
Siku moja nilikuwa naongea na abbas kama kawaida usiku akanambia anaomba hata anione maana imekuwa siku nyingi kweli tangu tuonane tunaongea tu kwa simu , mwenyewe hiyo ndo nafasi nilikuwa naitaka mana mnh sio poa basi akaniuliza lini upo free wacha niseme mi siku yeyote tu nipo free akanambia sio kweli we ni mtu wa kazi bwana,🤦♂️ nikaona mpaka aibu maana mi kila siku mtaani sina jpl wa ijumaa nikamwambi w/end huwa napumzika nikamuongopea mi staki hii nafasi niikose mjue🤗🤗 akasema basi mi nitakuchek jpili ndio siku siendi kazini okay nikasema poa poa ……
W/end basi inachelewa🥰🥰 naona kama ni mwakani kulee kila siku nilikuwa napanga vile viwalo nilikuwaga naanunua vya kishua navijaribu wapii mmh naona kama vya kihuni afu hawa wasudani hawa si wanajifunikaga funikaga sana wacha nikavunje kibubu changu huyoo mpaka dukani nikaenda kutafuta nguo ya heshima nikanunua zangu gauni Refuu sema ndo limenishika hatari yaan ule mshepu wa kitusi mule mulee🥰🥰🥰
Chapter 07
Nikachukua gauni langu hilo la heshima lisilo kuwa na adabu na kimtandio kidogo dogo tuu nisije onekana mzee buree👌
Siku hatimae ikafika mwenyewe niliamka asubuhi nasubiri tu simu yaan hapo nishajipanga kila kitu kipo kitandani, mida ya sa 5 hivi akanipigia simu akanambia mamkubwa jiandae nitakwambia uje sehemu nikasema sawa ,fastaa nikaenda kuoga zangu nikajiweka sawa mtoto wa kikee nikavaa gauni langu la utu lisilo na utulivu nikajitupia kimtandio changu viatu vyangu vya bei bei hivyo nilinunuaga kariakoo nikavitunza mana hata mitoko mi sina 🤦♂️
Nikapaka ki wanja wa chini ya macho na ka rangi ka mdomo poda angu kwa mbaliii na hili joto la Dar utafikiri nitafika nayo hata mbali😀😀 ,namaliza tu kujiweka sawa na simu inaita akanambia njoo hapa Pweza beach nikasema sawa akaniuliza nauli unayo ,huyu kaka vipi wakati wenzie wanatumaga tu nauli bila hata maswali aah nikamjibu ninayo 🤔sitaki mambo mengi mana hata hakuna mwanaume wangu hata mmoja aliwahi kunipa mtoko sana tunakutana vichochoron wananishika shika weeee afu naenda hom hakuna hata la maana humo Beach tubebane na mashoga zangu tu ….
Wakati natoka sasa si nikakutana na mika anatoka chooni sijui hata kama anatokaga huyu kaka jamani puuuh🙌🙌🙌
Nikashangaa ananiita pale palikuwa kimyaa kweli nilkuwa nje mimi na yeye nikageka kumtazama et akanambia umependeza nikamwambia asante akanambia Samahani Naah naweza kupata muda nahitaji kuongea nawewe “
Haa hivi huyu kaka anaakili sawa sawa nilimtazama kwa zaidi ya sec kumi kwanza afu nikamwambia mi sina muda kaka angu nisepa huku namtikisia takoo👌👌 nikamuacha kakodoa macho kama mjusi aliebanwa na mlango.
Nikakumbuka kuna siku niliamka usiku kukojoa nikasikia wanazozana mwanamke alikuwa anamwambia mika
“Nimechoka we kila siku uongo ndo uongo ulisema ndugu zako waliokuja harusini wanaondoka tunaamia kwako lakini kila siku huishiwi mapya mi mika nimechoka haya hela huna kila siku kila siku aah nimechoka bwanaa najua nimeolewa ili nipumzike kumbe mateso ndo yanazidii:”
.”lakini emmy si nimekwambia kuhusu matatizo yangu kazini kuna ubadhilifu wa fedha ulitokea bado kuna uchunguzi unafanyika nitarudishwa kazini naapa nitakununulia kiwanja chako kule siwezi kumfukuza baba emmy embu nielewe ” haloo nilisikiliza kidogo nikaenda zangu uwani mambo yawapenzi haoo..
Leo linataka kuongea nini na mimi?? Wakati analelewa😀😀 Anikomeee!!!!
Nikachukua boda mpaka zakhem mwenzangu nikapanda gari za kigamboni ,
Baada ya lisaa kama na nusu hivi nipo nje ya geti pale nikampigia simu akanambia ingia nitakuona , nilipo ingia akasema “MASHAALLAH kidogo nikusahau kama nisingeona huo mwanya” 😀😀😀 nikacheka yaan hapo ndo nikakumbuka kumbe mimi huwa nina mwanya
Tukaenda kwenye meza flani akanambia unakula nini nikasema chochote, naona aibu achaa sijawahi mimi mitoko kama hii jaman mjueee, akamuita muhudumu akaja akamuuliza et hapa mnachakula kinaitwa chochote yaan mpaka nikacheka kwa sauti muhudumu nae ilibidi tu acheke akatupa menu tuchague nikamuomba anichagulie mana niliona soda tu 2000 jaman
Nisije kuchagua vyakula bei ikawa kubwa mfuko mdogo basi akanichagulia pale nikasema ewaa yaan alipita mule mule😋😋
Nikala zangu tunapiga tu stoy za hapa na pale baada ya kula akanambia twende tukaguse hata maji basi si wanasema maji ya bahari yanatoa mikosi ,mmh nikamjibu mi mwenyewe nasikiaga sema sina hata nguo za kubadili..
Akachukua begi alikuwa nalo la mgongoni dogo dogo akanipa
” nenda kuna nguo humo kabadilishe ” nikaenda mpaka maliwatoni nikakuta ki kaptura kizurii cha jinzii afu Highest na crop top jaman niliona aibuuu yaan hizi kabeba kwa ajili yanguuu au ???
Nikavaa afu nguo zangu nitajia kwenye begi natoka hata kutembea hatua zinakanyagana nilikuwa namuonea aibuu na vile manyonyo yangu yalivyodede afu yamejaa basi nikitembea hivii yanaruka aah🤦♂️🤦♂️🙌 huo mshepu nilijaariwa Tumbo mie sina japo umri umeenda 😀😀Na vile sijajaaliwa mtoto tumbo bado safiii ka kitovu kazurii nyiee🙌🙌 basi nikamkuta amekaa pale pale nae kashabadili nguo wakati nasogea alipo alisimama aiyaa weee🥰🥰🥰🥰Mungu fundi bwanaaa🙏 mkaka amevaa pensi bwana pensi kalii achana na bukta za wacheza mpiraa kwanza afu juu kifua wazi anatumbo kama la wazungu limeingua ndaniii 😀 Afuu pensi kama inataka kutoka hivi kiunoni lakini bado ipo basi nyonga kwa mbali zinaonekana akaja akanishika mkono hao mpaka kwenye maji ilikuwa ndio mara ya kwanza yeye kunishika mkono mkono wake ulikuwa rainii mi nae sijui ndo kupenda yaan mi naona hata akilia nitaona analia vizuri tena anavutia mnoo😀😀
“Unajua kuogelea??” Aliniuliza wakati maji yametufikia magotini
“Mimi najua tu kuchezea maji ” nikajibu huku nacheka
“Hayaa twende nitakuogesha ” mwili wote ukanisisimkaaaa kuogeshwa tenaa👌👌
Akanipeleka mpaka maji yakafika shingoni hapo naogopa jamani wee ” mi sijawahi kufika huku naogoaa”
“Usiogope njoo hapa” akachukua migu yangu akawa amenipakata yaan nimeipitisha kwenye kiuno chake , tupo bahari lakini anaharufu bado nzurii we nasra wee acha ujinga😀 nikajishtua mana niliona kila dalili za shetani kunipitia akawa anapeleka kwenye maji marefuu nilienjoy hatariiii hapo ananibadilisha tu mara nisimame anishike niwe natembea mwenyewe kwenye maji kuna muda akaishika miguu yangu akawa anaivuta mi najidai kupiga mbizii 🥰🥰Raha kwelii kwenda beach na mtu anajua kuchezea maji.
Mwisho akanipakata tenaa ila pensi yake ilikuwa imerowaa😜😜 akaniuliza umechokaa ,?
Nikamwambia “hata sijachoka labda kama wewe umechokaa tutokee “
“Nasraa” aliniita huku ananitazama usonii nyieee nilipo mwangalia maana alikuwa kama amenipakata kiunoni nyuso zetu zinatizamana macho yake yalikuwa mekunduuu ndo akazidi kuwa muhandome🥰🥰
“Abee” nami si nikamkazia macho bwana tukawa tunatizamana mwe🙌
“Una boyfriend ” mpaka nilipaliwa na mate kwanzaaa , moyoni nikasema tunda limeivaa hiliii muda ndo huu
Chapter 08
Mapigo ya moyo yakaanza kudunda kwa haraka haraka nameza mate tu yaan hapo mikono yake kanishika kiuno afu mi nimemshika kwenye mabega kwenye shingoni
“Nasra do you have a boyfriend???” Alirudia tena safari hii alitumia lugha tofauti moyo ukapiga tena Puuuh×2❤ almanusra niudakee yaan Asante kwa ma Ex wangu woooote maana leo najibu hili swali kwa kujiamini mnooo
“Sinaa!!” Nilijibu bado namtazama usoni tena nimemkazia machoo
“Really???”
“Ndio”
“Nasra Ahmm!! Mi nakupenda Really nakupenda sana Nasra Amh Nlikuwa naomba nikae karibu yako zaidi yaan ….” moyo wangu ulikuwa unaenda Puuh ,puuuh,puuuh puuuh❤❤nameza mate sio poa natamani kushangilia kama wahidi wakiambiwa wanapenda wananza kuimba nyimbo za furaha yaan nilitamani hata ningekuwa muhindi hapa ningeangusha masongi ya kufa mtuu
“Abbas ukanipende mimi kwelii?? Mbona mi sio staili ya mwanamke unatakiwa kuwa nae” nilivunga tu lakini moyoni wee nilitaka kusema baby love you more 😀nikajituliza mchecheto wewe ..
“Nasraa!! Embu niambie huyo mwanamke naetakiwa kuwa nae awe na mapembe au asiwe na mwanya Come one!!!!” Wakati anaongea akanipakata vizuri yaan akanivuta mbele zaidi eeh Thi nikagusa chululu yake bahati sio mbaya sijui nzuri 🤦♂️ nikahisi mwili wote umepigwa shotii🤗 nikasisimkaa, wacha jicho lizidi kulegeaaa mana hapo akili ilishahama ikaenda mbaliiii🙌
“Nakupenda Nasra “
“Tujaribu”
“Unasema”
“Tuwe wapenzi tuone ” we alinikumbatiaaa akanikiss shingoni hapo karibu shingo yoteee mi hapo mwenzie nshakuwa chepe chepe akanishukuru et kwa kukubali kuwa wapezi basi akanipigisha mbizi hapoo mpaka jioni kabisa tukaenda kula , tukaondoka kwenda majumbani nikafika mpaka Zakhem pale nikachukua boda ye akatafuta usafiri wa kwenda kwake sijui kwao hata sijui mie ,
Nafika home , nyumba imejaa wambea wotee wamejipanga wako wanapika mi tena nikaanza kutembea na taratibu mwendo wa minyato nikasalimia wakuitika wakaitia wa kuchuna wao hawakosi mi hata sikujali nikaingia ndani nachukua simu nakuta sms
(Hey Dearing umefika salama??) Nikatabasam kidogo nikamjibu ndio wangu vipi wewe akanambia bado kidogo nikifika tu nitakupigia nikasema poa nilikuwa nimeshiba zangu aah nikasema hapa ni kulala tu kupika kesho hata kuoga siogi nisije kuyatoa maji ya bahari buree nilale nayo yaniondolee mkosi …
Ilipita kama nusu saa hivi Abbas akanipigia simu akawa ananisifia nimejaaliwa uzuri mashaallah 🥰🥰 basi mi nacheka cheka tuu basi ahadi ndio kama zote si mnajua penzi likiwa jipya eeh kwenye Masaa 5 mnayoongea vya maana ni dakika mbili tu vinavyofata vyotee ni utopolo pro max 😀 yaan mladi tu muongee …
Basi huo ndo ukawa mwanzo wa penzi letu mimi na Abbas ukweli hakuwahi kunitumia si hela ya kula wala ya bundle😅 , nikawa najisemea mimi nina mkosi jamani Sijawahi kuhongwa ila tu nadet na mkaka ambae Duniani kama hayupo vile hata sijali ananijali kwa maneno , muda wote ananiuliza uko sawa?? Kuna kitu kinasumbua?? Mimi hiyo kwangu ilikuwa burdaniii ila kwenye pesa nilijua tu abbas mbahili 😅au hana hela mana ile siku kantuma maji alidai chenchi yake wakati wengine angenambia hiyo ya usumbufu haya bwana mi sikuwa najali mana pesa naingiza na kula nachotaka na akiba naweka ,mapenzi ndo kitu ambacho sipatagi kinanifanya nakuwa kama yatima vile 🤦♂️
W/end abbas akanambia Nasra naomba nikutembelee leo maa!! Weee nikamwambia haina shida yaan nilifurahi mtoto wa watu nilikuwa ndo natoka kutafuta biashara nilirudia njiani si nina mgeni nikaenda kutafuta masotojo nimpikie mana yeye alionekana wa kishua kishua sio nimpikie ugali mchicha 😜 nikaingia sokoni chaap nikahemea vya kuhemeleka hatari😋 Na yale maviungo viungo yale hata siyatumiagi hiyo siku nikanunua.
Mida ya sa 6 hivi mchana akanipigia simu akanambia nipo hapa tulipo achania ile siku nikamwambia naomba boda niongee nae akasema anausafiri wake ooh nikamuelekeza kweli mpaka akafika nyumbani, alikuwa amependezajee yaan kila ninapo zidi kumuona ndio anazidi kuongezeka mvuto unaweza zani labda jini maana anavutia mpaka macho yanataka kutoboka ukimtazama sana , basi majirani hee nilivimba kichwaaa mana mitaa yetu hakuna mkaka wa hadhi kama yeye aliwahi kukanyaga kule kwahiyo iyo siku nilijua kuosha vya hajaa
Alikuja na piki piki yake ,nyuma kuna mizigo kafunga akanambia ni mizigo yako shusha , uweuwee nikashusha mtoto kulikuwa na samaki mchele unga , mafuta ya kupikia Sabani za unga zile Toss nazionaga tu madukani vitu vilikuwa vingii nikamkaribisha ndani mwenyewe
Ndani kwangu mimi si haba jaman huwa napenda mno chumba changu kuwe smart mara zote japo sina vitu vingi ila sijajaza makolo kolo , nina kiledio changu ALLYTOP spika ndefuu ,Tv yangu nch32 ukutan na Showcase yake kitanda changu cha mbao cheupe kizurii na godoro Nch 10 ki friji changu na kabati la nguo na ki sofa cha double yaani mimi bora nisivae lakini chumba changu kiwe cha kisasa napenda mnooo, nikamkaribisha chumbani , nilikuwa na furaha hiyo siku basi tu jamani , nikapika pale fasta tukala zetu , ndo zikaanza story
Story nyingiii alikuwa ananiuliza maswali maswali si unajua ile anataka kunijua sasa kiundani et, nami nafunguka tu kazi yangu , mi hata sina kazi nafanya zangu tu biashara akanambia hiyo ndio kazi sasa , tukacheka mpaka mida ya sa kumi na mbili akanambia mi nakukimbia sasa kwa vile nimepajua nitakuwa mgeni wako mara kwa mara , sasa nje bwana kulikuwa na wingu hiyo siku nikamwambia ungesubiri hii mvua ipite kwanza mana inaweza kukushukia njiani akasema sawa naomba nijinyooshe nikamwambia aalale tu hapo kitandani kweli hata dakika kumi hazikupita ikaangua mvua ya maana nikawa namwambia yaan hii hata usingetoboa tunacheka mpaka sa mbili mvua haina hata dalili ya kupungua nikawa namtania unalala tu huku huku leo ..
Ilibdi na mimi sasa nijivute kulala kitandani baada ya kutoka kujimwagia maji si mpenzi wangu nikavaa zangu tu nguo ya kulalia nae nikampa maji akaenda kuoga akaja kulala pembeni yangu akanikumbatia jamani na ile mvua nje sasa🤗🤗 Moyo wangu ulikuwa unaenda Puuu Puuuh kwa kasi kweli nameza mate mpaka nikashindwa kujizuia yaan nilikuwa nahema haraka haraka hata sijui kwa nini hali yangu ilibadilika gafla baada tu ya kunikumbatia pale ,nikawa nahangaika hata sijui nataka nini mara nigeuke mara nijikune basi heka heka tu abbas ametuliaaa kama hakuna mtu yaan ..
Mwili wangu niliskia umefanya Ziiii!!! Damu ilisimama Gafla baada ya kuhisi nashikwa chuchu zangu damu ilirudi kutembea kwa kasiii mpaka nikahisi moyo unaenda kuzima sasa ,nilikuwa mimegeuka nimempa mgongo yeye kapitisha mkono wake mpaka kwenye kifua akawa anazibinya chuchu pole pole kama hataki vile aah niliona mimi hata sio mtoto bwana wa kuigiza embu anipishe ,nilijigeuza nikawa namtazama nae ananitazama kama sec mbili tu nikaingia mdomoni mwake nae akanipokea tukaanza kukiss Deeply 🥰 huku ananipapasa , nikasema jaman huyu kaka mbona anandimi tamu hivii🙌🙌🙌 afu anajua kukiss🤦♂️ akashika shingo yangu sasa wee alitembea na Urimi koteee mi nimenyooka , sasa hawa wapo kwenye vita mapenzi kayajulia wapiii?? Au uko wanajifunza na mapenzi ??
Wakati ananishugulikia nipo hoii afu ye yupo taratibu hana hata pupa , nikawa namkumbuka mika jamani anabonge wa mdude kama baba punda 🙄🙄lakini muda wa kutafuta utelezi hata hana ye ni vuuu!! Waa!! Kamaliza atakutemea temea Mpaka ukome ukitoka hapo shuhuri chini hunaa daah lakini niliumia alipo niacha afu kuna wanaume wazuri na wanajua kiasi hichi nikawa nawaza sa huyu akiniacha na hii raha si nitakuwa kichaa nipo kwenye dimbwi la mawazo hapo tenaa akili ikahama kwenye Tendo nikashtuka naguswa shavuni
“Sorry nasra sikupanga nikuker imetokea tu bahati mbaya labda kwa sababu nilikaa karibu yako sanaa” alisema huku kanikumbatia , sikumjibu kitu nilishika kichwa yake nikavuta mdomo nikaanza kula kiss yangu🥰🥰 anataka kuachaje sasa wakati mi nishalegea akajitoa Kaniuliza “unauhakika utakuwa sawa??” Nikajibu “kama ukiniacha hivi hivi nitachiziaka tafadhali naomba umalize ulichokiaza”
Wee ndo kama nimempa kichaa Rungu sasaaa…….
Chapter 09 na 10
Nikawa nimepa Go Ahead afu mvua ilikuwa imekata wakati huo kuna vi manyunyu vya mbalii vinasherehesha batiii , nilijikaza kugugumia bila kutoa sauti lakini yalinishinda wee ilibidi nianze kushindana na kelele ya bati bado yakanishinda sauti yangu ilibdi iwe juu niliimba mapambio na maomboleza naapa sijawahi kupelekewa kama hivii achana na wale wanapeleka moto ukitoka hapo kuna wakaa kwa bibi , Abbas aliniimbisha hiyo siku mpaka anamaliza nipo hoiii hata kuomba maji nilishindwa , nipo nahemea haraka haraka mlango ukagongwa nikasema huyu nae nani sa hizii kuniharibia mood kwanza anataka nini nikachukua kitenge nikatoka nilipo fungua mlango alikuwa emmy amevuta midomo kwelii
“Humu ndani wote tunajua kufanya mapenzi tukisema kila mtu amsifie mpenzi wake huyo wako mbwa tu kwahiy jitahidi mechi zenu ziishie kwenye chumba chenu”
Eeeh niliona aibuuu🤔🤦♂️🤦♂️ kumbe nilikuwa najinadi kwa sauti na vile nilikuwa natoa kila sifa nyie nimekutwa na nini?? Hata sikumjibu nilifunga tu mlango nikamuacha anasonya , nikarudi kwa Abbas wangu akanikumbatia vizur kwenye jifua lake huku maneno matamu ananipa kama yote …
Nikamuuliza “kwahiyo unaniacha lini”
“Eeh ,,,niniii ??? Sijakuelewa??”
“Unaniacha lini?? Wanaume kawaida akitembea tu nawewe ndo mwisho kwahiyo nataka kujua kabisa ili nisikusumbue “
“Nasra came on!!!!!!!!” Alivuta akanikumbatia vizuri akanipa busu la paji la uso
“Kila kitu anapanga mungu nasra ,Mi nakupenda sijakutamani tuombe mungu tufike mbali sana sawa natamani mimi niwe mumeo nasra”
Puuuh❤❤ ni mwanaume wa kwanza kunitajia neno mume wangu 😥😥 Sijawahi mimi kudanganywa et nitakuoa hakuna jamani alie wahi atleast huyuuu moyo wangu ulipiga kwa uchungu mpaka chozi likatoka la huzuni nilijisikia huzuni sana akanikumbatia tena vizuri akawa anakiss karibu uso wote
“Naomba niwe mume wako Nasra siku za mbele please ” sikuwa hata na jibu la kumpa kwanza nilijikuta natetemeka sijui kwa furaha au Huzuni au hofu sijui …
Simu yake ndo ilinitoa kwenye ile hali ilikuwa inaita kwa umbea nikajiuliza sa hii usiku nani anampigia?? Nikahisi wivu ilikuwa pembeni ya kitanda nikapiga jicho la wizi pale anaichukua nikaona jina Martha hee huyu mwanamke tena huyu nikawaza itakuwa wanamahusiano huyuu
” mpokee Mpenzi wako huyo!!!” Nikasema huku najitoa mikononi mwake ,akanitazama tu nilivyokuwa nimekuja uso,afu akacheka akaipokea afu akaweka sauti kubwa
“We Abbas kwani upo wapi???” Ilikuwa ni swali baada tu ya kupokea simu
“Kuna sehemu nipo kwani vipi???”
“Unakuja sa ngp mi nipo hapa kwako tangu sa kumi na mbili lakini kimyaa “
“Aah Martha kwakweli leo sintarudi mpaka kesho asubuhi”
“Kwani upo wapiii???”
“Kuna mtu wangu wa karibu sana nimekuja kumcheck hukuu”
“Mmmh nielekeze nije “” hee nikashangaa hawa watu vipi mbona kama Martha amepanic sana ?? Nilihisi hawa ni wapenzi hawa sio Rahisi kupanic kama watu mnajuana tu nilimkata jicho kali abbas afu nikainuka zangu
“Aah Martha embu tulia nitakucheki au tunaonana asubuhi sawa” alikata simu akainuka kunifata nimekaa zangu kwenye kochi hapo nimenuna sio poa😡
Akanishika mkono akanambia “sio hivyo Nasra , mi sina mahusiano nae lakini nilikuwa na mazoea nae pindi tu nimeanza kazi pale , sijawahi hata kufikiria ipo siku nitamtaka “
“Muongo!!!”
“Kweli nasra naapa sijawahi hata kumtamani”
“Mh muongo”
“Nasra !! ” akanikumbatia tu wala hakusema kitu tena!! Akanibeba juu juu akanibwaga kitandani wacha aanze kunitomasa nikalegea , mechi ikaanza nilimaliza hapo hata Martha sina shida nae tenaaa !!!
Asubuhi simu ya Martha ndio ilituamsha jamani huyu dada nimejikuta tu ananinyima raha , Abbas aliitazama akanitazama na mimi jicho nililokuwa namtazama mpaka alicheka afu akanivuta kifuani kwake
“Usije bure ukapasuka malkia wangu bwana”
“Malkia wapi, si ulimuahidi mtaonana asubuhi haya nenda zamu yake ” nikamjibu huku nimevuta mdomo hatari
” nashinda hapa kwako leo au unatokaa??” Nikasema mi nipo stoki popote, kweli mapenzi kitovu cha uzembe nikasahau kabisa natakiwa kuuza utumbo wa kuku hukoo, niliamka nikaandaa chai afu nikapeleka maji bafuni sa wakati natoka kumchkua abbas tunaenda bafuni , chumba cha jirani yangu emmy nikasikia purukushani humo sec mbili tu najiuliza emmy alisukumwa nje akaanguka chalii afu kavaa nguo ya ndani tu na kama unavyojua asubuhi mishe mishe kibao watu wengi , niliona aibu mana nilipo mwangalia abbas alikuwa akimtazama nayeye
“Ndo uswahilini kwetu huku twende zetu” nikamshika zangu tena kimahabaa🥰🥰 kumuoshea emmy tukapita hapo hapo karibu yake moyoni nasema ulilochukua umenitolea chafya sasa napumua asante 👌👌 .
Mumewe alitoka ndani nae ana boxa tu yaan hawa mpaka wanatia aibu alifika akamshika shingo kwa nguvu afu kamuwekea goti kifuani abbas akanambia si anaweza muuwa kweli we Nasraa , uso wake ulikuwa na woga kwelii nikamwambia achana nao ni wapenzi haoo….
“Nakuuwa we mwanamke nakuuwaa”
“Niuwe mjinga wewe nimekuchokaa, Toka kwangu tokaaaa!!! Nikulishe kodi nilipe kazi yako kunifanya tu usiku na mchana na hilo dude lako kama punda Nenda tokaaaa!!!!”
“Unasemaje wewe maraya wewe mchawi si uliniroga mimi wewe” mika alimpiga ngumi ya uso emmy nae hakuwa kimya si tunaoga zetu huku tunasikiliza Burudani tena nasingwa mabegani mpaka mgongini Aloo👌👌🥰🥰 hilo balaa lao hukoo kuna maneno nikasikia Emmy anamwambia mika alinichefua
“Nenda kwa huyo huyo Nasra wako ulomzoea umemtanua Hilo dude lake sio mimi mjinga wewe , Nasra si ndio alizoea kukulea?? Mimi kwangu umegonga mwamba weweee !! Nenda kwa huyo maraya mwenzio aliegeuza chumba chake gest nawe nenda kapange foleni hapooo”
Khaa !!! Nikasema huyu mbona anataka kuniharibia mimi Cv tena yaan binadamu si ni yeye ndo alimchukua mika kwa mapana 60 na ndoa juu , nilijifanya kukausha Abbas akaniuliza anakuongelea wewe??? Nikamwambia achana nae mjinga tu tuogee ..
Ila emmy akaendelea yaan ni kama vile akaacha kuchambana na bwana ake akabaki kunichamba mimi ambae hata sikuwa nahisika na ugomvi wao
“Unafikiri sijui ile siku umemuita mkaongea akatoka nawe ukatoka au unafikiri hiyo taarifa sina ?? Najua sana kama unatembea na huyu Nasra najua mwenda wazimu wewe na huyo mwanamke wako “
Wakati tunatoka zetu kuoga shoga ndio alipamba moto sasa tena anaongea huku ananitazama ….
Chapter 11
Nikamuuliza naenda wapiii ,,,
“Chukua baadhi ya nguo funga mlango tunaondoka , sikia Nasra wewe ni jikumu langu okay! siwezi kuruhusu uishi kwenye nyumba ya kipuuzi kama hii umezungukwa na maadui kibao “
Aliongea huku anavaa akanambia nivae tunaondoka mi naona kama utani sa naenda wapi jaman naacha chumba changu na ninavyokipenda hivyo jamani😥sema nilifurahi nikaona baby ananijali sana , nikaeweka nguo zangu baadhi alinambia nisichukue nyingi aya tukatoka pale nje alikuwa shoga anachamba hatari tukampita kama sio sie mpaka alipo pack piki piki haooo tukasepa hapo hata sijui napelekwa wapi mi mladi naenda ….
Safari iliishia tabata kwenye nyumba moja hivi yalishua ipo kimyaaa akafungua geti akanikaribisha ” karibu kuanzia sasa hapa ndo nyumbani kwako ” kamoyo kangu puuh ndo nishaolewa hivyo auu??? Na miguu yangu nani atauza jamani??? Nikawa natembea hatua nusu nusu bila hata kusema neno tunamaliza geti nakutana uso kwa uso na yule dada Martha haa!! Moyoni nikasema kumbe hata funguo za nyumba anazo au
“Aah Martha karibu sana ” abbas alimkaribisha kwa kuchangamka kweli ilibidi mimi nipunguze mwendo zaidi na koba langu la nguo maana Martha alikuwa ananitazama sio poa hata karibu hakuitikia
“Nasraa njoo basi ndani” abbas alinirudia akanishika mkono kiniingiza ndani mlangoni alikuwa amesimama Martha akauliza “huyu nae vipi ” huku akiibinua midomo yake
“Aah huyu anaitwa nasra kuanzia leo ndo nitakuwa naishi nae hapa ndani , twende Nasra” nikajiuliza mbon hajamwambia mimi ni mpenzi wake isije kuwa akanitambulisha kama mfanyakazi wake mie mbona nitakoma 🙌🙌
“Kama namjua???” Martha akawa ananitazama kwa makini kwelii akasema tena “oooh ni wewe tenaaa??” Huku akipisha mlangoni sie tukapita mashaallah seble ilikuwa nzuri mpaka raha sikushangaa abbas kunukia kiasi kile mana seble yake inanukia mnooo yaan mpaka rahaaa kiharufu cha kipoaji
“Mbona hupokei simu zangu leo tangu asubuhi??” Martha akamuuliza abbas
“Kuna mambo yalikuwa yananibana bana hivi mhu nambie nipo hapa”
“Njoo tuongee huku” Martha alimvuta abbas wakaingi kwenye chumba kimoja kilikuwa mbele nikawaza sijui niwafate hukoo mi hata siwaelewi hawa , yaan siwaelewi nisije kuwa natumia mimi na huyo abbas ohoo , nipo najiuliza akatoka Martha akapitia mkoba wake kama mtu mwenye hasira na kuondoka zake bila hata kuaga ,nyuma nae alitoka abbas akiwa kawaida tu yeye
“Ngoja basi tupike au sio” akanambia huku anatabasam akapiga hatua kama mbili hivi akarudi “ooh mgeni hata sijakukaribisha eeh”
Mi nikatabasam tu tabasam la hasira hapo akili yangu ishahama tayari nawaza tu matukio ya huyo Martha,
Akanishika mkono mpaka kwenye kile kile chumba ambacho aliingia na Martha
“Haya badili nguo hapo uoge hichi ndio chumba chetu mazingira mengine nitakuelekeza pumzika kwanza mamaa eeh”
Mh nikaguna tu hapo tena akili ikavurugwa mbona Martha aliingia humu kama mwenyeji sana yaan Martha anaingia chumbani kwake kwa kulala kama anaingia chooni au sebleni alarm iligonga kichwani hapa sio salama kabisaa ,, ukisikia kutelekeza biashara kisa mapenzi afu yananitokea puani ndio hapa sasa yaan sikuwa hata na ile furaha ya kupajua kwake kama ule muda natoka hom nilikuwa najitapa kwa kutembea mapana yote 6 , nimelowaaa hii picha niliyoiona mbele yangu .
Abbas alikuwa anajitahidi kweli kunichangamsha nilikuwa naziona jitihada zake lakini akuu nipo nipo tu …
Tukala akanitembeza nyumba yote ilikuwa ni nyumba ya vyumba vitatu jiko na choo humo humo chumba kimoja mastar geti kubwa nyumba ilikuwa imejegwa vizuri mjengo wa kisasa imetulia akanambia baada ya kuajiria ndio alipanga hapo nikasema tu sawa …
Asubuhi alitoka kwenda kazini maana ilikuwa j3 W/end zimeisha , akaniachia maelezo vizuri kila kitu kipo ndani lakini aliniachia pesa ya akiba kama nitatamani kitu kingine jamani sijawahi kuishi haya maisha et naachiwa pesa ya kula?? Mmh ile akili niliyokuwa nayo usiku kucha ya kuondoka kurudi kwangu nikajikuta inapotea yote nikaandaa zangu msosi wa asubuhi mzitooo🥰🥰 nishazoea Rakshal za mtaani kwetu mihogo imeisha au maandazi😀 .. mchana umefika hata hamu ya kupika sina baby akanitext (Queen umekula) nikatabasam haya si ndio mapenzi sasa🥰 ila sie wanawake bwana yaan zile hasira nilizo kuwa nazo jana sijui hata zilienda wapi jamani 🙌😀
(Bado wangu) nikamjibu huku nacheka cheka
(Kama haujiskii kupika kuna mtu nimemuagiza chakula hapo anakuletea)
Hee na nilivyokuwa nimeshiba jaman nikasema huu si uhalibifu wa hela huu na chakula , muda kidogo nikasikia geti linabishwa hodi nkatoka nilimkuta kijana akanambia Doctor kanambia nikuletee chakula 🤩🤩 weuweee et mi ndo mke wa Doctor sasa 😀😀 nikachukua nikarudi ndani baby akanitext umepata nikasema ndio asante sawa mke wangu kula ushibe) weeeee 🥰🥰🥰 almanusra niangushe sahani la chakula jamani mke tenaaaa👌👌👌 waniache mke wa Doctor miee tena msudanii afu handsome boyyy🤩🤩nikatamani hata tukaishi kule mabondeni kwetuu niwaosheee wale mashangingiii😜😀 mpaka wahame mitaa , sema huku ushuani hakuna anaejua Shida nilizopata kwenye mahusiano yangu🤗 ..
Nimemaliza zangu kula hapo tunachati tu na baby muda wote ananiuliza vipi uko boad sana mamaa??? Nami ndio baby ,akanambia nawahi kurudi kwa ajili yako sawa mke wangu ,hilo neno mke wangu jamani nilikuwa nahisi kuchanganyikiwa mwenzangu hapo ndo sijaolewa nikiolewa miee🙌🙌 sijui …
Akanambia wait kidogo kuna kazi hapa nikimaliza hii natoka nakuja kukuwahi mke wangu Tutafute watoto😋 mwili ukasisimka kwanza ile movie ikapita kichwani 🤗🤗 nikasema wahi baby ushaamsha ma vitu vitu hapaaa😀😀 akasema wee usitake nipae nije mana namuona na jamaa kashaguna huku🤣 basi nikacheka nikamwambia badae fanya kazi usije ua vitoto vya watu buree😘 nikatupia simu yake pembeni kwanza nikaanza kutazama movie maana hiyo ndio mood yangu namba mojaa napenda movie hatari ….
Nipo zangu bize na movie nashangaa mlango unafunguliwa nikajua baby nainuka huku nasema kumbe ulikuwa njiani ??? Nikabaki mdomo wazi mana aloingia sio mgeni ninae mtegemea mie alikuwa martha akatupia pochi yake juu ya kochi “za hapaaa” nikasema poa , hakuongeza neno akaenda chumbani nikawa nashangaa huyu mbona anapozoea humo chumbani kiukweli nilijisikia vibaya mnoo, nikajiona mimi sina thamani kabisaa tena alipozidi kunivuruga akili huyu mwanamke akatoka amevaa Tshirt na pensi za Abbas khaa nilisikia hasira mpaka machozi yalinitoka akaenda jikoni nasikia mtu anakaanga mayai huko daah😥😥nikaona hizi ni dharau aiseee tena dharau mnoo , nikachukua simu nikampigia abbas mara kibao akawa hapokei nikapiga hapokei nikamtumia sms naenda Nyumbani kwangu na marufuku kuja kunichukua , nilikuwa na hasira lakini kila nikitaka kuondoka moyo mzitooo yaan nawaza kweli nimuache abbas hivi mwanaume ambae sijawahi hata kumuota jamani??
Au nipambane tu na huyu Martha nitakuwa nawaachia achia wanaume mpaka lini kwanza ?? Ila mimi ndio mwizi mana Martha nimemkuta na abbas !!! …
Kichwa kilikuwa kinauma moja haisimami mbili haikai jamani , Martha akaja mpaka pale sebleni akawa anakula chips zake na mayai ,
Sasa mimi nimeweka movie akachukua limoti akaweka Dadaz khaaa😥😥 huyu mjinga hivi ananionaje mimi??
Nilikuwa naona hasira zinazidi kuondoka kumuachia nyumba?? Aah wapi hilo wazo liligoma kichwani , nikatoka zangu nje mpaka nyuma ya nyumba kule kuna miti miti hivii
Nikawa nimekaa,,, ndo nililiaa wew nililiaa yaan hasira , duku duku naapa sijawahi kulia mimi nimeachwa mpaka nimezoea kuachwa nimefumania wanaume zangu mpaka na mashoga zangu na sio mmoja lakini sijawahi kuumia roho hivi , abbas kweli nampenda nampenda mnoooo…
INAENDELEA….

