BAO TATU ZA MGENI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu ya 6
Mzee Jomo alitaka maelezo yaliyoshiba sababu kumpokea mtu kijijini bila kumfikisha kwa mjumbe au mwenyekiti ni kosa kubwa,mfano angefanya ubaya wowote ni wazi angewajibika yeye.Ndiyo maana alitaka maelezo ya kutosha kabisa ili ajiridhishe kuwa yupo na mtu salama!
“kijana jieleze vizuri bwana!”
Lukas alikohoa kidogo kurekesha koo kisha akajipanga kunyoosha maelezo ambayo hayakuwa na ukweli ndani yake,alichotaka ni kupata hifadhi ya muda mrefu ili aliyoyafanya mjini yasahaulike!
“Mzee wangu kama nilivyokwambia natafutwa na majambazi wanaotaka kuniua kisa mali za baba yangu,juzi nilivamiwa ndani kwangu bahati nzuri nikafanikiwa kutoroka,na kama unavyoniona sikubeba chochotye hata simu yangu niliiacha ndani,nilikimbia na nguo zangu tu nilizokuwa nimevaa!”
“Kwanini hukwenda polisi kutoa taarifa?”
“Mpaka sasa kifo cha wazazi wangu hakuna kilichotokea kabisa,tunazungushwa tu dana dana za kila siku na wauaji wanajulikana,ndiyo maana nilipovamiwa tu nikajua maisha yangu yako hatarini,nilikimbia mwisho nikaenda stendi nikapanda basi ambalo hata sikujua linaenda wapi?sikuwa hata na nauli nikashushwa porini na kujikuta nimefika kwenye hiki kijiji,naomba nafasi baba ninusuru roho yangu wataniua,walau nipotee kwa muda wanisahau!”
Aliongea Lukas kwa hisia na kumfanya Mzee Jomo amuamini aliyamwaga machozi kama mtoto,Lukas alilia kama mtoto!
Mzee Jomo alimuangalia bado hakuonyesha kama amekubali au lah!bila kusema neno aliinuka akaingia ndani na kumuacha Lukas akiwa na maswali mengi,hakuelewa kama amekubalika au lah!
Alichofanya ni kuendelea kuyavuta machozi kwa nguvu na kulia kwa hisia kali yote ni kuonyesha huruma ili ahurumiwe!
Mzee Jomo aliingia ndani aliporudi alitoka akiwa na familia yake yote,yeye mke wake na bintize wanne!
Alipofika aliketi kitako akakohoa kidogo kisha akamuangalia Lukas ambaye alikuwa kama mfungwa anayesubiri hukumu ya mwisho!
“Lukas!”
“Naa..m!”
“Naitwa Mzee Jomo huyu ni mkewangu na hawa ni binti zangu,historia yako imenigusa na nimeamua kukufanya mmoja kati ya familia yangu,utaishi hapa mpaka pale utakapohisi hali imekuwa shwari utaondoka!”
“Ahsante baba sijui nikushukuru vipi?”
Alisema Lukas akionyesha kufurahia kiasi akataka kupiga magoti kabisa kushukuru kupokelewa katika familia ile!
“Usijali kijana huna haja ya kunishukuru hivyo cha msingi ni kuzingatia heshima kuniheshimu na kuwaheshimu dada zako basi,pia usisahau hii ni SUMBAWANGA!”
Baada ya utambulisho ule Lukas aliingia kwenye kile kijumba alichopewa kuishi,alifika akaanza kurukaruka,alifurahi sana kuruhusiwa kukaa pale!
“Ooh!afadhali nijifiche kwanza huku maana moto niliowasha mjini hauzimiki leo,ila nitulie sasa Lukas dah,funga zipu Lukas!’”
Alijisemea Lukas kisha akajitupa kwenye kigodoro cha pamba akalala chali akaanza kuwaza namna alivyonusurika!
“Wanafunzi watatu wote wana mimba,kwa hiyo kila mwanafunzi miaka thelathini kwahiyo jela miaka tisini,bado yule mke wa mjeda ana mimba yangu yule mjeda anagenifuata jela aniambarruti bila mafuta yule,na yule mke wa jirani daaaah Lukas funga zipu sasa,ila ntaweza kweli maana mzee ana pisi kali tupu mmh Lukas tamaa itaniponza!”
*********
“Hivi mume wangu unamkubaliaje kirahisi ivyo je kama anadanganya?”
“Hapana machozi hayadanganyi mkewangu yule kijana ana shida ila kama anadanganya shauri yake hii ni Sumbawanga,itamfundisha kusema ukweli!
Mke wa Mzee Jomo alionyesha wasiwasi juu ya Lukas lakini mzee Jomo alimtetea,machozi ya Lukas yalimfanya amuamini moja kwa moja kabisa!
*********
Binti mkubwa wa Mzee Jomo alikuwa chumbani amejilaza,tayari taswira ya Lukas ilishamuingia akilini,alikiri ameona vijana wazuri lakini hajawahi kumuona kijana mzuri kama yule,alijikuta anamuwaza Lukas kwa hisia ambazo hakujua zim,etoka wapi!
Lukas alikuwa kijana mwenye sura iliyovutia hata umbo lake na urefu viliwachanganya sana wanawake,Lukas kilichokuwa kinamoponza ni kutokuwa mchoyo!
Alikuwa anampa kila mwanamke anayeonekana kulitaka penzi lake,hicho ndicho kitu kinachomponza siku zote!
Zubeda alionyesha kumpenda tayari kijana yule ambaye ndiyo kwanza ana siku ya kwanza pale kijijini!
“Mhh!ana kifua kizuri,mmh kale kasura kake jamani mmh!tutaonana wabaya tu kwa kweli hakuna jinsi!”
********
Mzee Jomo aliwaita binti zake akawaonya na kuwaambia wamuheshimu mgeni yule kama kaka yao,huku akiwasisitizia kuwa walikuwa wanataka kaka basi wamuheshimu Lukas kama kaka yao!
Kwa Zubeda ni kama hakuwa akisikia nini baba yake anasema,moyoni alishampenda yule kijana na alishaamua kufanya kila kitu ili mradi tu awe naye kimapenzi!
Mchana ulifika baada ya kuivisha chakula zubeda akatumwa kwenda kumuita Lukas aje kula,alifuirahi sana akatoka na kuelekea kwenye kijumba cha mgeni!
Alipofika hakugonga mlango,alipita moja kwa moja mpaka ndani na vile kile kijumba hakikuwa na sebule,moja kwa moja akajikuta yupo chumbani!
Hakuamini alimkuta mgeni akiwa mtupu kabisa hajajifunika chochote,alitumbua macho baada ya kuiona bakora ya mgeni ikiwa imening’inia!
Lukas alishtuka akajifunika shuka lakini tayari akawa ameshachelewa,Zubeda alishayaona maungo yake ya ndani na kubaki ameduwaa!
Zubeda alibaki kimya akasahau kilichomleta kwenye kile kijumba cha mgeni,bakora ya mgeni ilimchanganya sana,ilikuwa kubwa nene balaa,kiasi kwamba akajikuta amelowa tayari!
Lukas ni mtun mzima alishajiongeza kuna kitu yule binti anataka,ila hakutaka kujionyesha mrahisi kiasi icho ukizingatia hajuia mazingira yamekaaje,ingekuwa enzi zake tayari angeshamsaula yule binti na kumkuna panapowasha!
“Vipi mbona unaingia bila hodi?”
“Na..nani mimi?nilikuwa nasema chakula tayari!”
“Sawa nakuja!”
Licha ya kutoa taarifa ile Zubeda aliendelea kusimama jambo lililomshangaza sana Lukas,akasimama akamwambia!
“Nimesema nakuja!”
“Sa…sawa!”
Aliitikia zubeda kisha kinyonge akazipiga hatua kurudi alipotoka,alipotoka mle ndani akatabasamu huku akijisemea!”
“Mgeni yuko vizuri jamani!”
Aliingia ndani akakutana na mama yake aliyekuwa anamuanghalia kwa macho yenye kuionyesha wasiwasi na alipotoka!
Zubeda alikwepesha macho yake akaangalia chini Mzee Jomo akamuuliza mgeni yuko wapi?
“Amesema anakuja!”
Punde Lukas aliingia wakajumuika kwa pamoja na kuanza kula,Lukas na Mzee Jomo walitengewa pembeni,mke wake na bintize wakala pembeni!
“Kula kijana nimefurahi kupata kijana hapa,sasa nyumba yangu itakuwa salama hata nikitoka!”
*********
Zilipita siku tatu huku Zubeda akiendelea kuonyesha nia ya kumtaka kimapenzi Lukas,Lukas hakuwa mrahisi kiasi icho,alijua kufanya mapemzi na binti wa Mzee Jomo ni kujitafutia matatizo!
Baada ya mwezi mmoja tangu afike Mzee Jomo aliiga familia yake kuwa anaenda safari,licha ya kuwa mkulima na mfugaji pia alikuwa ni muuzaji wa madawa ya kienyeji,hivyo alikuwa anaweza kusafiri akakaa hata mwezi au miezi miwili!
Baada ya kuiaga familia yake aliongea na Lukas akimsihi kuiangalia vizuri familia yake kwani sasa yeye ndiyo baba ndiyo kaka!
Baada ya wosia ule Mzee Jomo aliondoka zake na kumuacha Lukas na familia yake,sijui kwanini alifanya vile ila alitokea kumuamini sana yule kijana mgeni,ambaye ukimuona kwa sura ni mpole haswa!
Waswahili wanasema sura siyo roho,upole wa Lukas ulificha mambo mengi,ulificha makucha yake machafu,Lukas ni mwanaume anayependa ngono kuliko kula,na ngono imeshamletea matatizo mengi!
********
Kuondoka kwa baba yake kulimpa matumaini Zubeda,aliamini hakuna wakati mwingine wa kulipata penzi la Lukas kama wakati ule,tangu amuone akiwa uchi akili yake haijatulia kabisa!
Alipanga kuwa usiku wa siku hiyo ndiyo wa kumaliza matatizo yake yote,baada ya chakula cha usiku walitawamyika,mama yao akaingia chumbani na wao wakaingia chumbani na mgeni akajifungia kwenye banda lake!
Baada ya kuhakikisha wenzake wamelala taratibu alinyata mpaka mlangoni akatoka nje kwa tahadhali kubwa.
Lukas hakuwa na hili wala lile,usingizi ulishamchukua zamani,kama unavyojua milango ya kijijini siyo kama ya mjini!
Zubeda aliugusa mlango ukakubali akazama ndani alipofika aliwasha kibatari kilichokuwa mle ndani akamuona Lukas amelala hana habari!
Alimuangalia kwa hamu kubwa mgeni yule,akalishika shuka lake akalivutia pembeni bado mgeni hakushtuka,mgeni inaonekana alishazoea kulala bila nguo,baada ya kulitoa shuka Zubeda aliiona bakora ya mgeni ikiwa imesimama!
Mate yalimtoka damu yake ilikimbia na kujikuta anazitoa nguo zake moja baada ya nyingine,akabaki mtupu akapanda kwenye kitanda cha chuma kikanesa na kuachia sauti iliyomfanya Lukas ajihisi hayupo peke yake!
Zubeda alijua kuna mawili yanaweza kutokea kama Lukas akiamka,kupewa na kunyimwa,akawahi na kumkalia mgeni akaishika bakora yake ila kabala hajaitupia shimoni Lukas akawa tayari kashashtuka!
“Wewe!unafanya nini?”
Mwanga wa kibatari ulimsaidia kumuona na kumtambua zubeda,kilichomshangaza ni kumuona akiwa mtupu kabisa!
“Kaka naombaaa!”
Aliongea zubeda kwa sauti ya chini yenye kusisimua,bakora ya mgeni ikazidi kukaza na kuvimba!
“Unataka nini?”
“Nataka hii niingize kidogo eti kaka?”
Alisema Zubeda huku anaishika bakora na bila kusubiri ruhusa akaisogeza kwenye ikulu yake,kwa kuwa alishalowana ikapita japo ka tabu,sababu ilikuwa kubwa kuliko maungo yake!
“Wewe subi….!”
Lukas alikuwa ameshachelewa tayari Zubeda alikuwa anapanda na kushuka akijipimia tani yake,akila kiwango anachotaka!
“Asiiiiiiiii mgeniiiiiiii….tamuuuuuu….kakakaakkaaaaa!”
Sauti za binti yule zilimuhamasisha Luka akajikuta amekishika kiuno cha binti yule ambaye ni wazi alikuwa na kiu kikali cha mapenzi!
Sehemu ya 7
Kama ni vita basi mpinzani kafanyiwa shambulizi la kushtukiza,Luka hakuwa na ujanja na vile siyo mchoyo aliona isiwe tabu,kama mtoto kalilia wembe mpe,alishawapa kibao hivyo hakuna tabu kumpa Zubeda kiitu roho inapenda!
Zubeda ni kweli alilitaka penzi la mgeni ,ila tatizo bakora ya mgeni ilikuwa kubwa kuliko maumbile yake,ndiyo maana alipopanda na kushuka hakuruhusu samaki azame wote baharini!
Alishangaa hakuwahi kukutana na maajabu ya samaki mkubwa kuliko bahari,alishawahi kufanya mapenzi na vijana wa pale kijijini ila hakuona samaki mkubwa kama yule,samaki mkubwa anazidi sufuria!
Ile hali ya kuiogopa bakora,ilimfanya mgeni hasiskie utamu wa chungu,raha ya kuogelea uzame uibuke,alichokifanya alimpindua binti Zube na kumlaza kifo maarufu sana uswahilini,kifo ambacho ndicho kinaongoza kuua watu kila siku,kifo cha mende!
Baada ya kumlaza aliishika miguu ya Zubeda na kuitanua huku kule akapiga magoti na kuishika bakora yake!
Zubeda alijua sasa amekwisha mana kwa mkao ule ni wazi bakora ya mgeni itazama yote kisimani!
Luka hakuwa na muda wa kuchelewa aliishika bakora yake kubwa akaipiga juu ya kisima cha burudani cha Zubeda!
“Ooooshiiiii kaka mgeniiiiii jamaniiii!”
Baada ya kuipiga juu aliishika na kuizamisha pangoni taratibu huku Zubeda akiipokea kwa sauti ya puani na tahadhali juu!
“Aaaaah…kaka uuuuuusiweke yote!”
Masikio ya Luka yaliziba kabisa hakusikia A wala BE aliizamisha bakora yake mpaka mwisho jambo lilimfanya Zube kuugulia maumivu yaliyochanganyikana na raha!
“Mgeniiiiiiiiii …usiweke …yo…yote uwiiiiiiiih!”
Mgeni hakuwa akisikia alichofanya ni kumpa kile kitu anachotaka,Zube hakujua wala hakupima maji anayotaka kuoga kujua ni ya moto ama baridi!
Luka alimkunja Zube miguu ikapanda kichwani huko akabaki anajipakulia kwa raha zake,staili ile ilimfanya Zube ahisi kufika safari yake mapema tu!
“Na….na…nakojoaaaaaa!”
Alipiga kelele kiasi kwamba kam mtu yupo nje anasikia kinachoendelea,muda huo mgeni naye alikuwa anashuka wakajikuta wanamaliza wote!
Mgeni alivunjia dafu lake ndani,huku Zubeda naye akimaliza mzunguko wake wa kwanza ,aliamini huo ni muda wa kurudi ndani akalale lakini cha kushangaza mgeni alimgeuza na kumuinamisha akaishika nakora yake iliyokuwa imevimba kama ndiyo inaanza safari!
Hali ile ilimshangaza Zubeda mapaka kujiuliza inawezekana mgeni kampakia cha mkongo,lakini akasema hapana sababu mgeni hakupanga mechi ile,ni yeye alimshtukiza!
Staili ile ilimfanya aenjoi japo kuna muda alipitisha mikono nyuma sababu bakora ilikuwa inamgusa kizazi!
Alijikuta anavunja madafu mawili dabo kiasi kwamba akajikuta anachoka,hakuwa amezoea mechi kama zile za bandika bandua!
Alivunja madafu matano ndiyo mgeni akaangusha bao lake la pili,Zubeda akahisi mechi imeishia pale ila hakujua mgeni anataka bao lake ala tatu!
Zubeda aliamka akiwa anataka kuvaa nguo zake aondoke akashangaa mgeni kamshika mkono,akamvutia kwake na kumbania ukutani kisha akaunyanyua mguu mmoja na kuizamisha bakora pangoni!
“Kaka nimechoka jamani!”
“Subiri tunamalizia!”
“Jamani polepole sasa jamani najuta mimi nimekuonyesha unataka kunikomesha sasa inauma jamani!”
Huyo ndo Lukas mzee wa bao tatu,akifanya mapenzi bila bao tatu huwa anajihisi hajafanya mapenzi kabisa!
Zubeda alichoka ile staili ya kusimama inataka nguvu nyingi na uzoefu,wakahamia kitandani mechi ikaendelea mpaka mgeni anamaliza bao la tatu Zubeda alikuwa hoi!
Alichokifanya aliamka haraka akabeba nguo zake hakutaka kuvalia ndani alijua mgeni anaweza kukinukisha tena ikawa balaa!
Alitoka nduki akimuacha mgeni kajinyoosha kitandani,alifika nje akavaa nguo zake kisha akarudi ndani kwa kunyata!
Bahati nzuri ikawa kwake aliwakuta ndugu zake wamelala hawana habari,alikuwa kachoka akachukua maji akajisafishe lakini bahati mbaya ikawa kawe,mama yake akamsikia!
“Nani anafungua mlango?’”
Kauli ile ilimshtua sana Zubeda hadi tumbo likamuuma ghafla,hakujua hamjibu nini mama yake!
“Ni…ni mimi mama!”
“Zube unaenda wapi usiku huu!?”
“Tumbo mama linaniuma naenda chooni!”
“Huogopi!”
“Sa ntafanyaje mama!”
“Nisubiri ndo muolewe mkawasumbue waume zenu huko!”
“Mmmh!mama jamani!”
Mama alitoka akiwa na chemli yake wakatoka nje ila alishangaa kuona nywele za mwanaye zimevurugika namna ile!
“Wewe Zubeda ebhu nisubiri!”,kauli ile ilimshtua Zube akajua moja kwa moja mama yake atakuwa amemshtukia!
Kitendo cha mama yake kumsimamisha kulimfanya aamini moja kwa moja kuwa mama yake kamshtukia,alisimama akiwa na hofu kubwa maana wamama wa kijijini hawachelewi kumshika mapaja kumuangalia kama ametoka kusex!
Mama yake alimsogelea karibu kisha akasimama kisha akamwangalia usoni,Zubeda akugeuza macho aliyakaza ili kuficha ukweli!
“Hizo nywele vipi mwenzangu ulikuwa unaruka sarakasi!”
“Mama kichwa kinaniuma!”
“Mh!makubwa kichwa tumbo vyote wewe,aya nenda kajisaidie nikupe dawa!”
Alishukuru kutokushtukiwa,alijisafisha akajimwagia na maji akatoka wakaingia ndani,mama yake aliingia chumbani akachukua dawa akampa akamsimamia akanywa kisha akaenda kulala!
“Afadhali!ila mgeni utakuja kuniua we kaka!”,alijisemea Zubeda baada kutoka kupokea penzi zito la mgeni!Bao tatu za mgeni zilimchanganya!
********
Luka ni kama alikuwa ameyafungua mashetani yaliyojificha ndani yake,baada ya kuonja penzi la Zubeda alijikuta anaanza kuwawaza na wengine waliobaki!
“Ila kile kidogo chake kiko vizuri,mmh ila hata mama yao ana mzigo yule dahh majaribu aya Luka funga zipu Luka!”
Aliwaza na kujikanya mwenyewe,alijua kabisa anachokifanya kinaweza kumharibia maisha yake,mwisho uje ule msemo wa kunguru hafugiki!
Usingizi ulimpitia alikuja kushtuka asubuhi jogoo anawika,aliamka akajinyoosha kidogo mechi ya jana ilimpa uchovu sababu alipitisha muda bila kusex sababu siyo kawaida yake!
Aliamka akajikokota mpaka zizini sababu moja kati ya kazi alizoachiwa na yule mzee Jomo,alifika zizini akakutana na mke wa mzee Jomo ambaye kiumri mzee Jomo kampita mbali sana,kiufupi Mama Zubeda alikuwa mzuri na hajazeeka kabisa licha ya kuwa na mabinti wakubwa tu!
Mama Zube alikuwa amekaa anakamua maziwa ya ng’ombe hana habari,kigoda alichokalia kilifunikwa na wowowo kubwa kiasi ni ngumu kukiona!
Luka aliganda kama sanamu,damu yake ilichemka bakora yake ikainyanyua suruali yake kwa mbele,na muda huo huo mama Zubeda akashtuka na kugeuka nyuma,na kama unavyojua macho hayana pazia!
Mama Zubeda alipogeuka aliona suruali ya Luka ilivyoinuka kwa mbele,haraka akageuka na kuendelea kukamua maziwa,kwa utu uzima wake alijua tayari mgeni ameweweseka,alijua mgeni kamtamani!
“Ma…mama shi..shikamoo!”
Alisalimia kwa mashaka Luka maana hakuwa na uhakika kama mama Zube aliona suruali yake ilivyoinuka kwa mbele au lah!
“Marahaba mbona umesimama njoo unisaidie kukamua!”
“Si…si…sijui sijawahi!”
“Njoo nikufundishe!’
Mama Zube alianza kumuelekeza Luka huku mara nyingi akiibia na kuichungulia bakora ya Luka lakini hakuiona sababu Luka aliibana!
Alichokifanya alimtuma makusudi Luka ili ainuke,lengo likiwa ni kuiona tu bakora ya mgeni,alihisi itakuwa kubwa!
“Ebhu nisogezee ile ndoo pale!”
Luka aliinuka akawa amejisahau bakora ikajiachia na kujichora Mama Zube akabaki anameza mate,maana ugomvi mkubwa alionao kwa mume wake mzee Jomo ni tendo,Mzee Jomo alikuwa hampi haki yake mpaka wanagombana ndani,na mpaka anaondoka kamuacha na nyege zake!
Luka alirudi na ndoo lakini safari hii alianza kukamua yeye maana tayari alishaelekezwa na alionekana kuwa na kichwa chepesi sana kuelewa !
Hali ya mama Zube ilikuwa imemfika pabaya,hakuweza tena kuendelea kukaa pale,kwa hamu aliyokuwa nayo alikuwa hata akiona ng’ombe wanapandana anateseka,anatamani yeye ndiyo angekuwa yule ng’ombe wa kike anapelekewa moto!
Aliinuka ili aondoke maeneo yale bila kuaga akaanza kuzipiga hatua lakini kabla hajafika mbali luka alimuita akageuka!
“Mama!”.mama Zube alisimama akageuka akijiuliza anaitiwa nini na mgeni yule ambaye alishaanza kumuweka majaribuni!
“Samahani mama nani ananipeleka machungani,maana sipajui!”
Swali lile lilimpa wakati mgumu sana kujibu Mama Zube,alitamani ampeleke yeye machungani kisha wakamalizane huko,lakini alihofia maneno ya wanakijiji kuonekana machungani na mgeni!
Alijua hata mzee Jomo akisikia habari zile atachukia sana,ni kweli aliitamani na aliitaka bakora ya mgeni lakini siyo namna ile,alihitaji kutumia akili ya ziada!
“Ngoja nimuamshe Zubeda kama atakuwa anajisikia vizuri akupeleke maana jana usiku alikuwa anaumwa!”
“Sawa mama!”
Mama Zube aliondoka huku sehemu zake za nyuma zikiwa zinatikisika hali iliyomtoa mate Luka!
“Wallah!huyu mama ana mzigo uuuwiiiih Luka hapa nakula kuku na mayai yake!”
Alijisemea Luka kisha akaendelea kukamua maziwa japo kuna swali alijiuliza,Zubeda anaumwa nini na huku alikuwa naye jana?Bila kujua ni BAO ZAKE TATU ndizo zimemlaza kitandani!
Punde mama Zube alirudi akiwa ameongozaqna na binti wake wa mwisho ambaye naye alikuwa si haba japo mdogo lakini alijazia sana!
“Utaenda na Selina machungani Zubeda naona kalala anaumwa!”
Sehemu ya 8
Ukisikia mbuzi kufia kwa muuza supu ndio vile sasa,mama Zubeda bado hakumjua mgeni ni nani?hakumjua mgeni ni bakora mkononi,mpaka hapo ameshafanya mapenzi na binti yake mkubwa ambaye amelala ndani kwa uchovu wa bao tatu za mgeni!
Luka alitabasamu moyoni maana Selina alikuwa bado mbichi kabisa,si ajabu hata alikuwa bado na usichana wake!
“Sawa mama!”,aliitikia Luka akiamini huko machungani kunaenda kuchimbika!
“Na wewe Selina usimpeleke mapori ya mbali huyu bado mgeni!”
“Sawa mama!”
Mama Zube aliyachukua maziwa muda huo chakula cha wachungaji kilishaandaliwa,Selina alibeba chakula na maji,muda ule Luka akawa anafungulia ng’ombe ambao wallikuwa wengi sana,walikuwa ng’ombe kama mia mbili!
“Huyu mzee ana mifugo kibao badala auze hii anaenda kuhangaika na madawa ya kienyeji mjini!”
Alijisemea Luka akiamini angekuwa ni yeye anamiliki mifugo ile angekuwa tajiri mkubwa sana mjini,angeshaziuza na kwenda kufungulia biashara mjini!
Safari ya machungani ilianza huku wakiwa kimya kimya,Selina alikuwa mkimya hakuwa muongeaji sana kama dada zake wengine!
Hali ile ya ukimya wa Selina ilimpa wakati mgumu sana Luka kumuingia,maana kila akiongea hakuna jibu zaidi ya ukimya uliopitiliza!
“Tupite huku”
Hizo ndizo kauli alizokuwa anaongea njia nzima mpaka wanafika machungani,ng’ombe waliendelea kula majani muda huo Selina alikuwa pembeni kabisa amekaa kivyake!
Luka hakutaka kuonekana mnyonge alimsogelea na kukaa pembeni yake kisha kajikoholesha kurekebisha sauti!
Muda huo huo Selina aliamka akataka kuondoka eneo lile,Luka akamshika mkono Selina akashtuka maana ni jambo ambalo hakulitegemea kabisa!
“Unaenda wapi?”
Luka alimtwanga swali Selina akabaki ametumbua macho hasijue anajibu nini?Luka ni mzoefu sana kuhusu wanawake,mabinti kama wale alishakutana nao sana,alijua kinachomsumbua yule binti ni barehe na aibu!
“Kaa hapa unaenda wapi?”
“Mi siwezi bhana niachie!”
Selina alitumia nguvu akajitoa mkono lakini Luka hakukubali kushindwa kabisa alichofanya alisimama wakawa wanaangaliana,Selina katumia ujanja!
“Ng’ombe wametawanyika!”
Kauli ile ilimshtua sana Luka akamuachia mkono yule binti akakimbilia kwenye mifugo lakini akawaona ng’ombe wametulia hawana hata presha!
Alirudi lakini hakumkuta tena pale Selina,alikuwa amesimama mbali hana habari,njaa ilikuwa imemkaba sana Luka akatoa mfuko wa chakula akakutana na viazi vya kuchemsha na maziwa mgando ambayo hayana maji hata kidogo!
Alipoanza kula tu Selina alijisogeza na yeye akachukua kiazi akaanza kula japo kwa aibu aibu,katika hali ya kushangaza kuna ng!ombe walikuwa wanakimbizana dume na jike wakasimama mbele yao wakaanza kupandana!
Luka alicheka akamuangalia Selina ambaye kwa aibu aliangalia chini huku anakula kiazi chake,walimaliza kula kisha usingizi ukamchukua Luka kutokana na shibe ya viazi,alipokuja kushtuka hakumuona Selina akaanza kujiuliza atakuwa ameenda wapi?
**********
Ilikuwa ni dozi ambayo ilimuacha hoi Zubeda,tangu aanze kufanya mapenzi hakuwahi kukutana na mwanaume kama Luka,bao lake moja lilikuwa kama bao tatu za mtu!
Uchovu ulimfanya ashindwe kuamka kabisa asubuhi kitu ambacho si kawaida yake kabisa,aliona ni bora kusingizia ugonjwa!
Hata mama yake alipokuja kuamsha alikataa kabisa kuamka akisema anaumwa sana,na vile alishamlaghai tangu usiku ilikuwa rahisi kwa mama yake kukubali!
Bila kujua binti yake anaugulia mahaba mazito mazito ya mgeni,mahaba ambayo hajawahi kuyapata tangu ayajue mapenzi!
Aliamka baadae akakutana na taarifa ambazo zilimshtua sana hata yeye,aliambiwa mgeni kapelekwa machungani na mdogo wake Selina,alipata hofu na wivu lakini alijipa moyo sababu aliamini selina bado mdogo sana!
“Hapana angekuwa Suzy sawa lakini huyu hawezi bado mdogo!”,alijisemea akaendelea na shughuli zake akijaribu kuyapuuzia mawazo yake!”
Siku hiyo alishinda na dukuduku moyoni,alikuwa anatamani kusimulia alichofanyiwa na mgeni,na hakuna mwingine wa kumsimulia zaidi ya rafiki yake Zahara ambaye ndiye shoga yake walioshibana!
Alifunga safari mpaka kwa kina Zahara akamkuta yuko jikoni anapika,bila kuchelewa akaingia na kuvuta kigoda akakaa!
“Hee!shoga kwema huko!”
“Siyo kwema shoga yangu unavyoniona mwenzako mahaba yamenifika hapa!”
“Wee usinambie umegombana na Juma tena!”
“Juma yule kikaragosi sitaki hata kumsikia,shoga yangu jana nimepatikana nimeingia kisimani bila kupima maji,navyokuambia nimelala miguu kule miguu huku ili upepo upite!”
“Shoga umekutana na punda?”
“Mgeni shoga yangu,nyumbani kaja mgeni nikamtamani nikamtega kategeka ila dozi aliyonipa aiseeh!nimekoma shoga nimekoma!”
“Heeh!ilikuwaje nipe ubuyu!”
*****
wanawake wameumbwa na udhaifu mkubwa sana katika utunzaji wa siri,kati ya watu ambao ni ngumu kukaa na neno ni hawa wanawake,utamu wa penzi aliopewa Zubeda alitamani kumwambia rafiki yake!
Ndiyo maana akafunga safari mpajka kwa rafiki yake koo lake likiwa limezidiwa linatkana kutapika umbeya!
“Heeh!ikawaje?”
Alisema Zahara akitamani kuusikia umbeya wa rafiki yake ambaye ameuleta bila kuulizwa wala kuombwa!
Zubeda alimsimulia mwanzo mwisho jinsi ilivyokuwa,historia ya mgeni ilimsisimua sana Zahara japo hakutaka kuonyesha mbele ya rafiki yake!
“Weeeh!kwa hiyo unasema ni bao tatu ndiyo zimekufanya ulale siku nzima?”
Aliuliza Zahara kwa mshangao bado haikumuingia akilini eti bao tatu zinaweza kumfanya mtu alegee ahisi homa kabisa!
Alimuwaza mpenzi wake ambaye huwa anaenda naze mpaka bao tano na anatoka yupo fresh tu anatembea bila tabu!
“Shoga mi naona we ni mzembe tu,mi Shebby ananipigaga bao tano na nazimudu vizuri tu!”
“mmh!shoga unaniona mzembe ila nakuambia ukweli yule mgeni ana balaa,ingekuwa wapenzi wanaazimishwa ningekuazima siku moja!”
Zubeda aliondoka na kurudi kwao huku akiwa amepumua baada ya kusema kitu kilichomkaba kooni!
Zahara alibaki na maswali mengi juu ya huyo mgeni,alijikuta anatamani kumuona huyo mgheni anafananaje?Aliapa lazima amjue huyo mgeni na ikibidi afanye naye mechi moja ya majaribio!
********
Kitendo cha kuamka na kumkosa Selina kilimfanya ashtuke na kupata hofu kubwa sana,aliamka na kuanza kumuangaza,mifugo ilikuwa salama kabisa!
Alianza kuzunguka huku na kule lakini hakumuona kabisa Selina ,baada ya kuzunguka huku na kule alifika sehemu akahisi kama kichaka kinatikisika,alisogea taratibu akaona ng’ombe alipoangalia vizuri hakuamini!
Alimuona Selina yuko na ng’ombe dume analichezea bakora yake kwa mkono mmoja huku mkono mmoja kauingiza kwenye sketi yake!
Jambo lile lilimshangaza sana Luka akatamani kumshtua lakini akaona asimame aone Selina atafanya nini na yule ng’ombe!
Selina hakuwa na habari aliendelea kuichezea bakora ya yule mnyama huku anajisugua uchi wake na mkono,alitamani sana kama angeweza kufanya mapenzi na yule ng’ombe lakini alishajaribu mara kadhaa akashindwa!
Kitendo kile kilikuwa kinamkera sana Selina basi akabaki kuwa analichezea tu bakora lake anajishikashika basi!
Luka alisubiri sana kuona kama Selina angefanya mapenzi na yule ng’ombe lakini haikuwa ivyo!
Selina aliendelea kulishika dude la ng’ombe huku anjishika na kutoa milio ya kimahaba !
Sauti za kimahaba za Selina ziliamsha hisia za Luka na kujikuta anasimamisha,wivu mkali ukamkaba akajikuta anatamani awe yule ng’ombe!
Alijkuta anawaza kumrukia Selina lakini akajizuia,muda huo Selina naye alikuwa amemaliza mambo yake akasimama!
Luka akaona isiwe tabu alirudi alipokuwa amelala na kujifanya hana habari kabisa na Selina!Selina alitoka kichakani akiwa anamswaga yule ng’ombe na kumrudisha kwa wenzake!
Alimsogelea Luka akasimama na kumuangalia kama anamtathimini kisha akaanza kumuamsha kwa kumtikisa na mguu!
Luka aliamka huku akiwa najifanya kama ametoka kwenye usingizi mzito,Selina akaamini Luka alikuwa amelala bila kujua alikuwa nampiga chabo wakati anachezea bakora ya ng’ombe!
“Vipi?”
“Twende tukanyweshe maji mifugo we unalala tu!”
Luka aliamka akajinyoosha wakaswaga ng’ombe mpaka mtoni kisha wakaipeleka kwenye malisho sehemu nyingine!
Muda wote huo Luka alikuwa anatafuta gia ya kumuingia Selina lakini hakupata nafasi kabisa,Selina ni mwanamke ambaye hakupi nafasi ya kumzoea kiasi inakuwa ngumu sana kumuingia!
Mpaka unafika muda wa kuondoka bado Luka alikuwa hajaambulia kitu kabisa mbele ya binti yule kauzu zaidi ya dagaa!
“Tuondoke muda umeisha!”,alisema Selina!
“Dah!ina maana muda umeisha?”
Aliuliza Luka lakini hakujibiwa Selina alikuwa bize anaswaga mifugo kuelekea nyumbani,Luka naye alijiunga wakaanza kuondoka kurudi nyumbani!
Ulikuwa umbali wa saa moja kama na nusu ivi ndiyo wafike nyumbani,njiani ukimya ulitawala ila ghafla Selina alifungua kinywa akasema!
“Huwezi kuchunga mifugo yetu,utapoteza ng’ombe wewe unalala sana,naenda kumwambia mama hufai kuchunga bora tuzichunge wenyewe tu!”
“Huwezi kuchunga ng’ombe zenu kama unabeba ng’ombe na kwenda kufanya nazo mapenzi kichakani,naenda kumwambia mama bora nizichunge nmwenyewe tu!”
Kauli ile ya Luka ilimshtua sana Selina alisimama akamuangalia Luka hakuamini kama mgeni kaona mchezo wake mchafu,Luka alimuangalia kwa macho makavu bila kupepesa macho!
“Sema niseme!ficha nifiche,mwaga mboga nimwage ugali!”,alisema Luka kwa kujiamini!
Sehemu ya 9
Ukisikia kushikwa pabaya ndiko kule,Selina alibaki ameduwaa,alisimama akamuangalia Luka ambaye naye alimkazia macho,kwa aibu Selina akainama chini kisha wakaendelea na safari!
Ilikuwa ni aibu kubwa kwake,alikosa kabisa uwezo wa kumtazama tena Luka machoni,ni bora angefumaniwa hata na mume wa mtu kuliko kuonekana akichezea bakora ya ng’ombe!
Ukimya ulitawala Luka alikuwa anaiongoza mifugo kama alizaliwa huko,kumbe ni siku ya kwanza kwenda machungani!
Walipokaribia kufika tu Selina alimsogelea Luka akamshika mkono,Luka alisimama akiwa haamini kama binti yule kalainika vile,aliamini kweli kamshika penyewe!
Walitazamana ila Selina alikosa ujasiri akayatupia macho yake pembeni,Luka alijua kazi imekwisha alitaka kulitumia lile jambo kufanikisha jambo lake!
“Kaka ivi kweli unaenda kumwambia mama?”’aliuliza Salome huku anang’ata vidole vyake kama anatongozwa,japo staili hii walifanya madada wa zamani ila hawa wa sasa,unamtongoza anakukodolea mpaka unaona aibu!
“Ukinipa sisemi!”,alijibu Luka kwa mkato!
“Nikikupa nini kaka?”
“Kile unachompa ng’ombe!”
“La..la…lakini kaka mi…mi nachezeaga tu simpagi ng’ombe!”
“Basi ukichezea yangu kama unavyochezea iile ya ng’ombe sisemi!”
“ka..ka…mi sijawahi lakini!”
“Usijali siyo kazi ni vile tu unamshika yule ng’ombe na yangu uishike ivyo ivyo!”
“Sawa kaka usiposema kwa mama kesho tukija machungani nakushika!”
“Sawa!”
Walikubaliana kisha wakaongoza mifugo mpaka nyumbani,waliifikisha salama ikiwa imeshiba sana mpaka mama Zubeda akafurahi!
“Mama yaani mgeni kama mwenyeji halafu kama alishawahi kuchunga yaani sijapata hata tabu kumuelekeza!”
Selina alimshushia Luka sifa ambazo hata yeye alibaki kushangaa tu,mama Zubeda alikuwa na furaha sana siku ile akiamini sasa wamepata mtu wa kuwaangalizia mifugo yao!
Luka alichukua maji akaingia bafuni kuoga,japo alikuwa kijijini ila hakutaka kuishi kama vijana wengine wa kijijini,alitaka aonekane maridadi ikishindikana walau awe msafi!
Zubeda baada ya kusikia mifugo inalia akajua moja kwa moja mgeni karudi,alitoka ndani mbio mbio mpaka nje akamuangaza huku na kule lakini hakumuona!
Alimuona mdogo wake pembeni ambaye ndiye aliyeenda na mgeni machungani,alimsogelea akamuuliza!
“Mgeni yuko wapi?”
“Mhh!dada hata salamu jamani,shikamoo!”
“Marahaba aya nijibu swali langu!”
“Dada mi sijui kaenda kwake!”
“Mmefanya nini machungani?”
Swali lile lilimfanya Selina aanze kumtafakari kwa kina dada yake,lilikuwa swali la ajabu ambalo hakulitegemea kabisa!
“Si nakuuliza mmefanya nini huko,mbona unanitumbulia macho?”
“Tumechunga ng’ombe!”
Selina alijibu kwa hasira na jeuri kisha akaondoka zake akamuacha dada yake amesimama anamuita!
“We Selina….Selina!”
Zubeda hakuweza kuingia kwenye nyumba ya mgeni sababu mama yake alikuwa karibu na mlango wa mgeni anafua!
Akiwa bado anashangaa hasijue cha kufanya alimuona rafiki yake Zhara anakuja kwao,alimshangaa Zahara sababu ametoka kwao muda si mrefu!
Zahara alifika akiwa na tabasamu pana kwa rafiki yake,alimsalimia mama yake kisha akaenda mpaka aliposimama rafiki yake,muda huo huo Luka alikuwa anatoka zake bafuni kuoga!
Zahara alipata kumuona mgeni kwa mara ya kwanza,moyoni alikiri kweli mgeni licha ya kupewa sifa zake nyingine ila ni mzuri!
“Shoga mgeni mwenyewe ndiyo yule?”
Sali lile lilimshtua Zubed kidogo akaanza kuwa na wasiwsi na ugeni wa ghafla wa Zahara nyumbani kwao!
“Shoga si nakuuliza ndiyo yule mgeni?”
“Ndiyo yeye!”.aliongea kinyonge Zubeda mpaka rafiki yake akabaki ameshangaa!
Zahara hakukaa sana aliaga akaondoka zake huku sura ya mgeni ikiwa imemchanganya na zile sifa alizozisema Zubeda ndiyo kabisa akawa kila muda anajihisi kulowa bila kuguswa!
“Yule mkaka jamani mmh!mbona majaribu haya,Zubeda tusameheane tu hapa siwezi kukuacha ule mwenyewe kbisa!”
Alijisemea Zahara akiwa kwao,aliwaza atumie njia gani kumnasa yule mgeni mwenye balaa lake chumbani!
Aliwaza mwisho akapata wazo moja ambalo alihisi moja kwa moja lazima lifanikiwe tu,alitabasamu kisha akaendelea na mambo yake!
“Mgeni nazitaka hizo bao tatu!”
Zahara hakunywa wala hakupumua,tayari mgeni alishamtawala akilini kabla hata ya kumgusa!Hli ile hata yeye ilimshangaza akajikuta anajiuliza!
“Huyu mgeni mchawi nini?sijawahi kujisikia hivi mimi!’
Ilikuwa ni vita baridi baina ya Zubeda na Zahara,kilichomponza Zubeda ni kumpa umbeya shogae kuhusu kila kitu alichofanyiwa na mgeni!
Sasa Zahara alishaiona sura ya mgeni na amempenda,na yeye anazitaka bao tatu za mgeni kwa udi na uvumba!
Kuna wazo aliliwaza namna ya kumpata mgeni na kumuweka kwenye himaya yake akaishia kutabasamu!
“Huyu mkaka lazima nimuonje,hawezi kumlaza mtu kwa bao tatu tu,kama anatumia alkasusu nitajua tu!”,alijisemea Zahara!
Ujio wa ghafla wa Zahara ulimuacha na maswali mengi sana Zubeda,na hasa kitendo cha kumuona tu mgeni na kuondoka!
Alijaribu kuwaza na kuwazua mwisho akaamua kupotezea akiamin shoga yake hana mpango mbaya,sababu alishamueleza mgeni ni bwana yake!
Mawazo yake yalikuwa kwa Lukas ambaye alikuwa kwenye kijumba chake amepumzika hana hili wala lile!
“Kamtengeeni mgeni ale,si mnajua ametoka machungani!”,alisema mama Zubeda!
“Sawa mama!”,alijibu haraka Zubeda akainuka kwenda bila kutenga mpaka mama yake akabaki anamshangaa,maana kati ya mabinti zake wote Zubeda ndiyo mgumu kufanya kazi kuliko wote!
“Kwa hiyo mama mimi sitengewi au sijatoka machungani?”,aliuliza kiutani Selina!
“Hupajui jikoni?”
“Mhh!mama jamani!unihurumii katoto kako kwa mwisho!”
“Aya subiri nimalize nije nikubebe nikupeleke jikoni mwanangu sawa binti yangu eeh!”
“Ulivyoongea kama kweli vile!”
“Hahahahaha!”
*******
Luka alikuwa kwenye kile kijumba hana habari usingizi ulishamchukua zamani,uchovu ulimshika sababu hakuwa mzoefu na uchungaji wa ng’ombe!
Akiwa kalala alihisi mtu anamtikisa alipoamka alikutana na Zubeda ambaye alikuwa anamuangalia kwa macho malegevu!
“Mume wangu amka ule!”
Neno mume wangu lilimshangaza Luka hakuamini Zubeda anaweza kuwa serious kiasi cha kufikia kumuita mume wangu,Luka alikuwa na njaa isiyo kifani ndiyo maana hakupata hata hamu ya kuhoji kauli ya Zubeda!
Aliamka akakuta tayari ametengewa ugali na samaki na mboga za majani,Zubeda alimnawisha huku anamuangalia usoni ni wazi bao tatu zilimchanganya sana!
Baada ya kumnawisha hakuondoka alibaki pale akiwa anamuangalia Luka anakula,kitendo kile hakukipenda ikabidi aulize kulikoni!
“Vipi mbon unaniangalia sana!”
“Mhh!nakumbuka bao zako jamani!”
“Sasa nenda nje utashtukiwa na mama yako utakuja nikimaliza kula utoe vyombo!”
Zubeda aliamka kishingo upande akaanza kuzipiga hatua zake ila alipofika mlangoni akasimama akamuuliza!
“Vipi mgeni na leo nije?’”
Luka alimuangalia Zubeda,kiukweli mawazo yake yalikuwa kwa Selina na aliamini kesho ni lazima amchinje machungani!
“Wewe tu!”
Kauli ile ilimfanya Zubeda atabasamu na kuishia zake,alitamani usiku uingie ili akafaidi tena mahaba ya mgeni,japokuwa penzi lake lilimfanya apate homa ya ghjafla ila hakujali!
Baada ya kumaliza kula Zubeda alirudi kutoa vyombo,ila badala yale alimrukia mgeni na kuanza kumpiga mabusu mazito!
Luka alihisi hali ya hatari sababu alijua anakoelekea ataomba bakora na muda ule ndugu zake wapo nje!Alimsukumia pembeni akawa mkali kama mbogo!
“We vipi ?unataka nini?unanitakia mema kweli wewe,nitakuwa sikupi sasa naona unataka nifukuzwe!”
Zubeda alitoa vyombo kinyonge akaondoka zake huku akisisitiza usiku lazima aje kupokea bao tatu za mgeni!
Usiku uliingia na baada ya chakula walitawanyika kwenda kulala,kama kawaida Zubeda alitoroka na kuzamia kwenye gheto la mgeni!
Alipofika hakuataka stori,alikuwa na hamu isiyo kifani,alimvamia mgeni siku hiyo hakuwasha taa ilikuwa ni mechi ya gizani!
Mgeni alikuwa uchi wa mnyama,Zubeda naye akalitupia mbali vazi lake wakaanza kupapasana!Mgeni aliamua kumuonyesha ufundi wake wa kuchezea miili ya kinadada!
Alimpa ulimi wakaanza kudendeka japo denda la Zubeda lilikuwa la kishamba shamba hakuwa mzoefu na maandalizi,alishazoea kushikana shikana tu halafu imoooo!
Siku ile mgeni alimuonyesha mapenzi yanafanywaje alimnyonya shingo yake akalegea kama bakora iliyomwaga bao!
Utalii alioufanya mgeni katika mbuga yake ulimfanya aiombe bakora bila kupenda,utamu ulimzidia akaona anachelewa kuchinjwa!
“Jamani mgeni nichinje,nichome unile nimeiva baba!”
Sehemu ya 10
Wakati Zubeda anausubiri usiku kwa hamu ili akafaidi penzi la mgeni kumbe na shoga yake alikuwa na mawazo kama yake!
Aliwaza amvamie mgeni kwenye kijumba chake amtege mpaka aingie kwenye kumi na nane zake,bila kujua shoga yake naye kajimilikisha bakora ya mgeni!
Usiku uliingia Zahara akatoroka nyumbani kwao na kuanza safari ya kwenda kwa kina Zubeda,hakuogopa giza sababu alishazoea kutoroka usiku kwenda kwa bwana yake!
Alifika kwa kina Zubeda moja kwa moja akaelekea kwenye kijumba cha mgeni,lakini aliposogea kuna kitu kilimshtua,sauti alizosikia zilimuaminisha kabisa mgeni yupo kwenye mechi,aliposikiliza kwa ukaribu aligundua ni sauti ya shoga yake Zubeda!
“Mhh!shoga yangu jamani aridhiki hataki wengine tule,kamganda mgeni kamfanya mume sasa khaaa!”
Zahara alienda kucheza mechi lakini akajikuta amekuwa mpenzi mtazamaji,ilibidi akae asikilize kilio cha shoga yake akichapika ndani!
********
Zubeda alishikwa akashikika,aliguswa sehemu ambazo hakuwahi kuguswa,huyo ndiyo Luka kijana wa mjini,alihakikisha anampa penzi linalostahili binti huyu wa kijijini,aliutembeza ulimi wake kama nyoka anavyoteleza kwenye nyasi!
“Ooooshiiiii…tamuuuu…..aaaaaahhhh….babaaaa….!!”
Alilalamika Zube muda huo mgeni kapitisha kidole anapima oili na kukuta imejaa kweli kweli!kidole cha mgeni kilimpa raha na kujikuta anakikatia viuno kama imewekwa bakora ndani!
Hakuwahi kuwaza kama kidole pia kikiwekwa chunguni kinaweza kugeuza mboga,alijua kidole ni cha kuonjea chumvi tu kwenye bakuli mezani!
Baada ya maandalizi mazuri mgeni aliishika bakora yake na kuizamisha pangoni taratibu,Zubeda aliipokea kwa sauti tamu ya puani iliyozidi kumsisimua mgeni!
“Oooshiiii…taratibu baaabaaaa!”
Mgeni alipokewa na joto kali liliomsisimua na kumshawishi kuizamisha bakora yote pangoni bila kujali ukuwa wake na pango la Zubeda!
“Oooshiiiii!usiweke yote jamaniiii uwwwiiii aaaaahhh tamuuu jamaniiii!”
Kitendo cha kuwekewa bakora yote kulimpa utamu Zubeda na kujikuta mapema tu anavunja dafu lake huku akimkumbatia kwa nguvu mgeni!
“Oooohiiii aaaaahsshiii aaashiiiii!”
Utamu alioupata uliamsha maumivu ya mechi ya jana na kujikuta anajutia kuiruhusu bakora ya mgeni iguse gololi zake!
Hali ile ilimfanya aanze kumuomba mgeni amalize haraka amuachie,akasahau bao la mgeni ni gumu kuliko maelezo!
“Malizaaa aaah mwagaaaa basiiiiii!”
Luka hakuwa na mpango wa kumwaga muda huo aliendelea kusukuma ngozi na kumpelekea moto Zubeda bila kujali mwenzake anaugulia maumivu!
Zubeda alivumilia mpaka mgeni akamwaga bao lake moja tu kisha akasimama,siku hii hakutaka bao tatu moja ilimtosha!
Luka kawaida yake akifanya mapenzi ni lazima apige bao tatu ndiyo aridhike,kitendo cha Zubeda kuamka kilimshagaza!
“Unaenda wapi?”
”Naenda kukojoa baba narudiii!”
“kukojoa gani tena jamani,si tulikubaliana ni bao tatu?”
“Narudi beib!”
Zubeda hakusubiri ruhusa ya Luka haraka akachomoka na kutokomea akimuacha mgeni katika hali mbaya,kiukweli hakushiba kabisa!Alijipa moyo huenda Zubeda atarudi akakaa kumsubiria!
Zubeda alitoka moja kwa moja akakimbilia ndani,hakuwa na mkojo wala nini ilikuwa ni janja ya kumtoa kwenye mikono ya mgeni!
*******
Wakati Zubeda anatoka Zahara alimuona na alikuwa ameisikiliza kesi yake na Luka ndani,alimsubiri labda shoga yake angerudi kuendelea na mechi lakini haikuwa ivyo,Zubeda alikuwa ameikimbia mechi!
Zahara alitabasamu akaamini sasa anaenda kupata mechi na mgeni,anaenda kuendeleza pale shoga yake alipoishia!
Taratibu alizama ndani na vile kulikuwa na giza ilikuwa ni ngumu kwa Luka kumshtukia,alichokifanya baada ya kuingia tu ndani alizivua nguo zake na kupanda klitandani!
“Umerudi?”
Aliuliza mgeni lakini hakujibiwa badala yake alishangaa mkono inampapasa na kuishika bakora yake kisha ikawekwa mdomoni!
Ufundi ule wa ghafla ulimchanganya sana Luka,hakuamini kama Zubeda alikuwa mtundu kiasi kile!
Wakati anatafakari utundu wa gahafla bila kujua yule si Zubeda ni Zahara tayari alikuwa amekaliwa na bakora ikaingizwa pangoni kisha vilifuatia viuno feni vilivyozidi kumchanganya akili mgeni!
Shambulizi lile la kushtukiza lilimfanya apagawe mikono yake akaipeleka kwenye kifua ili azishike chuchu za Zubeda lakini alishangaa kuona chuchu ngumu halafu zimesimama kuliko za Zubeda ,hali ile ilimshtua na kujikuta anamsukuma pembeni kisha akawasha taa hakuamini alichokiona!
INAENDELEA

