MWANANGU ALIJIUA NA KUNIACHIA UJUMBE KUWA HII NDIO ZAWADI YAKO YA BIRTHDAY
Kuna vitu unavisoma kama stori ila vikikutokea ndo utajua kwamba sio stori vipo, naumia sana kuna muda natamani nilale niwe kama naota ndoto ila ndo hivo sio ndoto
Mimi ni Mama wa watoto wa tatu wawili baba mmoja na huyu 1 nilimzaa kimakosa maana nilizaa na mlinzi wa hapa nyumbani
Kiufupi mume wangu alinioa wakati nimefeli kidato cha 4 yeye alikua na kazi nzuri tu na alikua ameajiliwa tulipendana sana mpaka akafanya taratibu zote ndoa ikafungwa yes mume wangu ananyumba nzuri sana ana magari matatu Kiufupi uchumi wake upo juu kweli kwama mnavyojua ndoa ni watoto kweli nilibahatika kubeba mimba ya kwanza baadae nikabeba yapili
Badae mume wangu akabadilishiwa kitengo huko kazini mda mwingi anakua kazini anarudi usiku sana sasa hiyo hali mimi ilinitesa sana kwasababu ya upweke hapa nyumban sina dada wakazi kwasababu sikutaka maana mimi nilikua ni mama wa nyumbani kwaiyo kazi zote nilifanya mimi japo getini alikuepo mlinzi
Mda mwingi nakua na mlinzi kupiga story kubadilishana mawazo na kumbuka mume wangu alisafiri Alienda sauzi kama sikosei basi mlinzi yule tulizoeana sana kiasi kwamba anaweza hata kunishika kiuno nikaona ni utani tu alikua anapenda sana kuangaria mpira huyu mlinzi na chumbani kwake tv ipo Ila alikua anakuja kuangaria kwenye nyumba kubwa ili anipe Campani mazoea yalizidi sana mpka mda mwingine anakuja mpka chumbani kwangu tunapiga story weeeh mpk anaona haya masaa sasa niyakuingia lindo basi bhn siku hiyo alikuja ndani kwangu chumbani nilikua kwakweli nimejiachia sana yaani
Mlinzi alianza kunipapasa mwanzo kabisa nilimuambia hii tabia ife sitaki mazoea haya kwa kweli nilimfokea sana mpka akaniomba msamaha maana nilimuambia kuwa nitamuambia mume wangu alinipigia magoti huku analia nikamuambia toka hapa unakuja kunipapasa mimi ni mkeo kwendaaaaar kweli aliondoka huku aliniambia nisimuambie mume wangu chochote
Siku ilienda mpk mume wangu alirudi kwakweli si kumuambia chochote kuhusu mlinzi japo mume wangu aliniuliza vipi upo sawa Nikamjibu ndio
Na kumbuka siku hiyo nilinunua tisheti nzuri nikaona nikambembeleze yule mlinzi maana sasa sina wa kuongea nae kweli nilimpelekea alipokea japo alikua ananiogopa sana nikamuweka wazi kuwa yalishaisha mimi na wewe tuendeleze urafiki japo alikataa kabisa yaani akaniambia hawezi kwasababu anahofia atapoteza kazi basi pale nilimkumbatia nikamuambia usijari mimi ni rafiki yako sasa nikamuaga nikaenda ndani
Mlinzi huyu na kumletea zawa na kumkumbatia haikutosha maana hakuwai kuja kuangaria mpira ndani hivo basi mimi nikiwa nimelala na mume wangu hanisumbui yaani mimi ni yule mwanamke napenda mwanaume ambae ananiletea kausumbufu kitandani Mala kanishika hapa Mala kanilamba hapa Malahivi Mala vile mume wangu kama Hana hisia na wewe siku hiyo mnalala kama kaka na dada tofauti na nilivyokua nikikaa na yule mlinzi basi nilikua naboeka sana
Na kumbuka Kesho yake asubuh tu baada ya mume wangu kwenda kazini nilimuita yule mlinzi nikamuambia njoo chukua chai chumbani yule mlinzi alisituka chumbani basi akaingia kwakweli nilikua na mda sijazibuliwa kwakweli nilikua nimevaa taiti tu huku Kifua nimekiachia basi mlinzi hakuchomoka alilala na mimi nilimpa Penzi ili kurudisha urafiki maana upweke ulikua umezidi
Basi nilimaliza wiki mbili Ila nilianza kuona dalili za mimba nikaona sasa hapa nilale na mume wangu hata kwa kufosi ili Niseme ni yake kweli nilifanikiwa Ila kwakweli nilijidanganya maana baada ya mtoto kuzaliwa kamaliza miezi 7 mtoto akaanza kulete sura ya mlinzi kwa kweli nilimshirikisha mlinzi yule kuhusu tulichofanya sikuile alinipa mimba tukakubaliana kuwa aache kazi ili asisanuke kwa kumechisha sura kweli mlinzi aliondoka kumbe sikujua kuwa mume wangu nikama alisanuka maana alivofunga mwaka akasema anataka kapime watoto DNA ili Ajue kama ni wake nilichanganyikiwa kweli alifanya hivo
Baadae alichoamua mume wangu aliniambia watoto wawili hao atawalea mwenyewe na alinifukuza kwake na kunipa talaka na kunipa yule mtoto na kunitakia maisha mema nililia sana niwe mkweli huyu mtoto nilimchukia sana na Mala nyingi akinikosea nilikua namuambia wazi wazi kuwa ww nilikuzaa kimakosa maana uliharibu maisha yangu sikujua kuwa nakosea jamani
Mwanangu alifikisha miaka miaka 11 naikumbuka siku hii maana kila nikikumbuka moyo wangu unaumia sana acha maumivu yake hayaelezeki
Mwanangu alijiua kama zawadi sikuya kuzaliwa kwangu yaani siku ya BATHIDAY yangu Aliniachia ujumbe huu
Aliandika hivi leo ni siku yako muhimu mama nataka uwe na furaha milele, kila siku ulikuwa ukinambia furaha yako ilitoweka tangu siku uliponizaa mimi, ukanambia baba yangu piah alikuacha kwa sababu yangu mimi. Kwahiyo leo nimeamua kubadilisha hayo yote nataka uwe na furaha na uishi kama sikuwahi kuzaliwa. Ulinambia hukuwahi kunipenda tangu unizae lakini mimi nilikupenda na kukuona kama mama bora kwangu duniani. natumai siku moja utanikumbuka na utanifikiria, natumai mbinguni utanishika, utanikumbatia na kunibusu. Zawadi bora ambayo napaswa kukupatia ni kuondoka maishani mwako kama ulivyotamani usingenizaa. Nakupenda saaana mama. Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
BEBA VIATU VYANGU

