MCHEPUKO WA ZANZIBAR
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya Tatu
“ndiyo tena ni gwiji, anaogopwa hapa,”
“mimi simuogopi!” alisema Damian.
Kama kawaida asubuhi na mchana haikuwa ya kusisimua kwa kina Bushiri na Damian. Wateja walewale wanaume walifika na kuondoka.
Wakati jua likizama na wavuvi kuondoka zako baharini, wakina Damian na Bushiri wakachekelea; wakawasha kandili zao, kutia mtego wake za watu.
Sasa kumbe taarifa zilifika mbali kwenye kingo zote za kijiji kuwa kuna duka na marikiti ndogo ya usiku, basi wateja wakamiminika kuliko jana yake, wote wakiwa wakike.
“nipatie sukari guru na iriki,” alisema mdada Fulani wa kipemba, pua yake ikiwa imechongoa mno na macho yake kuingia ndani sana hiyo ikimfanya awe na sura ya usiriaz mno, lakini weupe wake na urefu ulimchanganya Bushiri.
Wakati Damian akimpatia mteja wake huyo vitu hivyo na kurudisha chenji ya senti kadhaa, Bushiri akatia neno: “Zamda, njoo na huku nikupatie tangawizi, ukaponde chai murua!”
“mie siyo Zamda, naitwa Najma,” alisema binti huyo.
“ooh nimekisia tu maana uzuri wako nilijua lazima tu jina lako likawe na irabu ‘a’ ndani yake; kwa hiyo Najma, upikapo chai utujalie na sie japo vikombe viwili tu, maana baridi ati!” alizidi kuchombeza Bushiri, Damian akamshangaa mwenzake akiona jinsi alivyo fundi wa maneno.
“mh, aya tukijaliwa,” alisema huyo Zamda akiondoka zake.
“Damian huyu akileta chai tu lazima nimkae, leoleo,” aliongea Bushiri shetani akiwa amempanda kabisa kichwani.
“sasa utamfanyia wapi usiku huu? Utafunga genge?” aliuliza Damian.
“wee huoni mikoko hiyo? Sifungi, dakika kumi tu narejea,” alisema Bushiri akionesha msitu wa mikoko kwenye upwa wa bahari iliyotanda hatua chache nyuma yao.
Basi, wakafika wateja wengine wengi na kila mmoja wao, Bushiri alitupia kaneno kake. Mara wakafika wale wasichana wa jana yake; Habiba na Shahida.
“habari zenu wakaka?” walisalimia kwa pamoja.
“salama tu, karibuni,” aliitikia Damian, Bushiri akamuita mmoja pembeni yule mrefu mkubwa, Shahida. Maana ugonjwa wake ni wasichana warefu tu. Yuenda mkewe alikuwa mfupi ndiyo maana shetani lake la kuchepuka lilikuwa na kiu na warefu.
“Damwan, mie nna shida!” alisema Habiba akijilegeza.
“shida gani?” aliuliza Damian japo alichukia jina lake kukosewa.
“nataka leso, lakini bwana wangu hajaniachia hela, hadi arudi baharini kesho nitakueletea!”
“mh Habiba, mimi sikopeshi mbona!”
“we Damwan, mwenzio tumbo lanisumbua nipo mwezini mwenzio, nitafanyaje na sina khanga kongwe nyumbani,” alilalamika Habiba.
“we, hizi leso zinaletwa kutoka Dubai, na hapo mzigo kuupata mjini ni tabu sana, nitakukopeshaje kirahisi hivyo! Labda tuandikishiane!” alisema Damian akitoa daftari.
“mh we bahiri,” alisema Habiba na kulazimika kuandika jina na deni analodaiwa. Damian akatoa leso na kumpatia Habiba. “Damian niangalizie!” alisema Bushiri akimwambia Damian wakati huo akilikokotaza zigo lake kuelekea nalo mikokoni. Looh rahisi kiasi hicho! Aliwaza Damian akivurugwa na yeye akili zikamruka akamtazama Habiba.
“Habiba, utamaliza lini mwezi wako, twende walikoenda Bushiri na dada ako!?”
“mh kwani wewe unataka?”
“ndiyo, nataka, sijafanya tangu nije huku!” aliyesema si Damian bali kichwa cha chini kiliuteka mdomo saa hiyo.
“wee pole, hapo una ashki balaa!?”
“ndiyo nyege au?”
“ndiyo,”
“ndiyo,”
“basi nikunyonye leo, halafu nikipona nitakupa unifanye, unisamehe deni la leso,” alisema Habiba.
“uninyonyeje?”
“we hujawahi kunyonywa huko?”
“sijawahi, ninyonye njoo, usinitie meno tu!” alisema Damian akifungua duka kabisa.
Habiba akaingia ndani ya kiduka akakalia boksi na kumvua suruali Damian, akakuta Nkurunzinza ameshasimama kukataa kutoka madarakani. “Doh Damwan una kubwa! nipe na pipi kifua,” alisema Habiba.
“utalipia?”
“kha, we bahiri hutaki utamu?”
“basi chukua hii hapa,” alisema Damian wa watu.
Habiba akalimung’unyia na pipi kifua, dohhhh, Damian akawa kama amebanwa na kiazi. Akayumbayumba kwa utamu.
“we kaka una sinzia au? dukani!” alisema si mwingine bali ni Mama Aymar, Naifathy, mke wa mzee Salum bin Salum, mwanamke aliyemtikisa moyo Damian. Uzuri kwa nje Damian alionekana kuanzia kifuani hivyo yaliyoendelea kwa chini hakuna aliyejua isipokuwa yeye tu na Habiba eliyeendelea kama kawaida. “uuuu, uuna taka nikusaiii, diiiii, eee, nini?” alizungumza kwa vituo visivyostahiki maana chini alikokonwa htr
“Naomba ngano na hamira,” alisema Naifathy, Damian likampitia huku na kutokea huku maana ubaridi wa pipi kifua; msuguo wa ulimi, mibano ya midomo na min’gato dhaifu ya meno ya Habiba yalimfikisha shindo lake, akasaga juisi na kuyamwaga mashudu ya haja.
Akahema huku juujuu akitamka: “haaaaaa, haaaa!” angali amefumba macho kwa ugiligili.
“wee, nimekwambia Hamira, huijui kuitamka au! Mbona waishia haaa! Haa! Kama wataka kunimeza mie!?” alifoka Naifathy.
Sasa akili za Damian zilirudi akachomoka mikononi mwa Habiba aliyekuwa chini huko akijifuta udelele na kutulia kimya akisubiri huyo mteja aondoke zake kwanza.
Haraka Damian akapima ngano robo na kumpatia Naifathy na kuchukua hela yake asiseme neno maana mfumo wake wa fahamu bado ulikuwa ukikata mawasiliano na kichwa cha chini na kurudisha kwenye kichwa cha juu.
“mh leo una usingizi waonekana, mbona chenji waniongezea!?” alisema Naifathy akirudi maana alishapiga hatua chache mbele.
“nilikupa senti mbili, unanipaje senti moja badala ya thumuni, wanihonga?”
“aisee, nilikuwa nimechanganyikiwa samahani,”
“mh, nimekuchanganya eeh kwa uzuri wangu kalaghabao,” alisema Naifathy akiondoka huku akitikisa na kutazama nyuma kila mara kumuangalia Damian.
Basi Habiba akasimama na kutoka nje ya duka, akachukua maji pale nje kwenye ndoo na kusukutua mdomo kisha akasimama mbele ya Damian.
“mh we mwanaume, umejaliwa, laiti nisingekuwa mwezini leo ningekuonja walahi! Nikimaliza tu nakuja, sitaki umpe mwingine kwanza kabla yangu maana nilishaanza ona inzi wengi,” alisema Habiba akiwa nusu siriaz nusu utani tena huku akikitazama kinjia alichoendea Naifathy na kumgeukia Damian tena.
“Sikia, yule aliyetoka hapa ni Naifathy kama humjui! ana hamu nyingi yule. Mumewe anamuoa leo, wiki ijayo anaishiwa nguvu za kupanda mtungi, yaani hajafaidishwa hata kidogo, ashukuru tu aliolewa na mimba ndiyo huyo mtoto wake anamsitiri. Naona anajipendekeza kwako kuwa makini mumewe anamchunga nasikia kamtilia na dawa ukimlala unapata dhara,” alisema Habiba nyakati hizo ndiyo Shahida naye alitoka vichakani na Bushiri.
Bushiri akionekana mwepesii! Akafika na kuchukua fumbate la nyanya, kitunguu maji na pilipili akamfungia Shahida kwenye galazeti na kumpatia.
“hizo zawadi yako,” alisema Bushiri. “asante Bushiri, bora wee sio bahiri kama Damwani,” alitia za hivyo Habiba kumuumiza roho Damian.
Haoo wakaondoka zao.
Damian akisikia afueni ambayo hakuwahi kuipata mihula mingi. Alisikia damu yake ikizunguka kawaida sasa na hata alifikiria sawasawa, akaanza kufunga duka lake maana ilikuwa saa nne usiku hiyo.
Akatazama mahesabu ya siku kichwa chake kikifanya kazi harakaharaka, akatazama bidhaa zilizobaki na zilizopungua akashtuka kuona chupio zimetoweka pale chini.
“mshenzi Habiba ameniibia!” alisema kwa sauti Damian.
“Habiba? Ameibaje? Ulikuwa naye dukani?” aliuliza Bushiri maswali mengi harakaharaka naye akaacha hata kutandika gunia juu ya vitunguu.
“agh aliingia dukani, alikuwa akininyonya babu,” alisema Damian.
“weee mbona mimi sijawahi kufanywa hivyo, aisee itabidi uniachie Habiba anionjeshe utamu huo,” aliongea Bushiri kwa tamaa kabisa yaani.
“we subiri kwanza namdai, hadi alipie deni langu, nikimmaliza we mchukue tu, mimi simtaki,” alijibu Damian, akili yake ikirudi upya kichwani akimuwaza Naifathy na alichosikia kutoka kwa Habiba kuwa hajaguswa muda ndiyo kilimchanganya akili.
Basi wakafunga na kuondoka njia nzima Bushiri akimueleza Damian alivyofanya na Shahida kwenye vichaka kuanzia jinsi walivyosimama akishikia mashina ya mikoko huku wakiswaga mbuzi na kupara samaki.
“aisee, we yule mtoto mtamu,” alisema Bushiri, Damian akajaa wivu mno.
Wakafikia njia panda na Damian akaelekea kwake, akakuta kama kawaida jumba limepigwa kufuri, akagonga mno lakini mlango haukufunguliwa, akapiga hesabu na kuona njia nzuri ni kutembea hadi usawa wa dirisha la Sabrina na kumuita.
“Sabrina, sabrinaa!”
“abeeeee!” “naomba nifungulie, mimi Damian.”
Baada ya dakika chache, mlango ukafunguliwa na Sabrina mtoto mlaini nywele hadi mgongoni. Alionekana anausingizi bado na alianza kurejea chumbani kwake.
“Sabrina, asante, chukua na hii,” alisema Damian akimpa jojo mbili Sabrina kama bahshishi ya kumfungulia mlango siku hiyo. Sabrina akasema asante yake na kwenda kulala.
Siku hiyo tena ilikuwa ni ya Damian kudamka asubuhi na kwenda dukani kwake, lakini akaona afagie kwanza uwanja na kudeki chooni maana mara kadhaa akiwa amewahi mno hufanya hivyo. Akaanza kudeki chooni na bafuni kisha akashika ufagio kuanza kufagia uwanja.
Ndiyo akaona mlango wa chumba cha Sabrina ukifunguka na Sabrina akitoka mle ndani akifikicha macho maana bado ilikuwa ni mapambazuko.
“salamaleko,” alisalimia Damian.
“aleykum Salaam,” aliitikia vizuri Sabrina.
“he, kaka niache tu nifagie mie,” alisema Sabrina.
“hapana we niache tu ninamaliza fastafasta tu hapa,” “hapana mama atanikaripia, amesema nihakikishe haushiki mfagio wowote, tena amesema kama ukiwa na nguo chafu nikufulie,” alisema Sabrina akikwapua ufagio kutoka kwa Damian na kuendelea yeye kufagia.
“aaar, eee, aisee nguo ninazo kweli lakini nafuaga mwenyewe jumapili,” “hapana mama atanichapa, alisema nikwambie maana majirani na wapangaji hukushangaa ukifua.”
“haa! Kwanini wanishangae nikifua?” aliuliza Damian.
“mwanaume mwenye ndevu hafui, lah!” alifafanua nikavuta picha na kuona ni kweli sikuwahi kumuona mwanaume anafua tangu nifike Jambiani na nilikuwa mimi tu kwa kweli.
“Kwani bara wanaume wafua?”
“ndiyo, tunafua, tunapika, tunafagia na tunafanya kila kitu hata kubeba watoto mgongoni,”
“mh, wanawake wenu wa huko wana raha!?” alisema Sabrina kumbe naye ni mwingi wa maneno sema sikuwahi kuzungumza naye kama siku hiyo.
“hahaa,” nilitupia cheko nikiwa nakinga maji kwenye ndoo ili nikaoge.
Sehemu Ya Nne
“mkeo aja lini naona wateseka hata kupika,” aliniuliza Sabrina. Nikakumbuka kuwa nilimdanganya mzee Abdullah kuwa nilikuwa nimeoa, ili mradi tu nisikataliwe kupangishwa humo ndani hivyo kila mtu alijua nimeoa kumbe hapana.
“atakuja tu, nataka nipate hela mwezi wa kumi na mbili nimtumie,” nilisema.
Nikaenda zangu kuoga na kutoka haraka maana tayari jua lilianza kuchomoza kwa mbali.
“utaniwekea nguo hapo koridoni,” alisema Sabrina.
“sawa, halafu nitakuletea na zawadi usiku ukinifungulia mlango,” Damian alisema, Kasabrina kakafurahi vimashavu vyake vyeupe vikimpanda juu, hakika kalikuwa kazuri na kameiva.
Damian kwa sekunde kadhaa, akijiuliza: hivi si haka katoto nikaoe tu kwani dini nini bhana. Naifathy wa nini!”
Basi akavaa nguo na kuchagua vizuri nguo za kumuwekea Sabrina afue, akaziacha nguo za ndani na zile alizofutia udelele tu. Akazitia kwenye ndoo pale koridoni na kuweka sabuni. Akaenda zake kidukani kwake akiwa na furaha iliyoje.
Kwa bahati mbaya sana, siku hiyo Bushiri hakuwepo kwenye marikiti yake. Akajiona mpweke mno, hata siku nzima iliisha akijiuliza Bushiri yu hali gani.
Giza liliingia na yeye akawasha kandili yake na kuzuga akiyasoma magazeti kadhaa ambayo huyatumia kufungia wateja bidhaa wanunuazo.
Siku hiyo kama kawaida, wakaja wateja wengi wamama kwa watu wazima, wasichana kwa vigori, Damian akawahudumia vyema lakini macho yake yakipepesa tu kuhakikisha kama atamuona Naifathy.
Loh asiwaze jambo, mara Habiba huyo na Shahida, wakipekuapekua, wakafika dukani mwa Damian wakijichekesha kwanza.
“Damwani eti Bushiri leo hajaja?” aliuliza Shahida.
“hajaja,” alisema Damian.
“mh aya,” alisema Shahida akijitenga kidogo, wakati huo Habiba akasogea kwenye mlango wa duka la Damian, Damian akalitia loki kwa ndani.
“vipi kwani!?” alishtuka Habiba.
“sikia jana uliingia ukaiba seti ya chupio, ulidhani sitagundua au? Sikia leo huingii humu! Kwanza nakudai nilipe.” Alisema Damian.
“hahaa, we Damwani mimi mwizi! Utakosa vingi wewe, leo nilitaka nikupe kitu kingine sema ndiyo hivyo umejikosesha bahati limbukeni.” “kwani umemaliza siku zako?” aliuliza Damian kwa shauku.
“akuu namalizia kesho,”
“sasa ungenipa kingine kipi?”
“Kwani nina matundu mangapi?” alisema Habiba, Damian akatumbua macho, akijiongeza kuwa anachomaanisha hapo Habiba ni mambo ya Sodoma tu. “Sikia Habiba naomba uondoke dukani kwangu, sitaki mambo ya dhambi mimi, ondokeni!” alifoka Damian maana aliwahi kusoma kwenye vitabu tu vya dini kuwa Mungu aliuchoma mji wa Sodoma kwa watu kufanya dhambi hiyo ya kugeuzana. Naye hakuwahi kuona mtu akiongea bila hofu kama Habiba, akamuogopa na kumkinai. “mfyuu, mshamba, huyoo!” alizomea Habiba na kuondoka na dada mtu Shahida wote wakimbetulia midomo.
Doh siku hiyo ilimkera Damian akahisi ni gundu hata kukaa peke yake lisaa limoja mbele, akafunga duka lake ikiwa ni saa mbili tu usiku, akaanza kutembea kuelekea nyumbani, lakini mara akakumbuka zawadi aliyomuahidi Sabrina pindi akimfungulia mlango usiku.
Ikambidi arudi dukani na kuchukua biskuti moja, akafunga duka lake na kupanga kichwani sasa, kuwa kama atawahi basi Sabrina hatokuwa na haja ya kumfungulia mlango na hotapata nafasi ya kumpa zawadi ile, sasa bora achelewechelewe. Lakini aende wapi usiku huo?.
Akapata wazo la kutembeatembea kwenye kijiji hicho ambacho wateja wake wanatokea ili ajionee maajabu ya wanaume kushinda baharini na wanawake kubakia majumbani.
Lakini Zaidi ya yote kimoyo kilimsukuma kusema, atafute nyumba atokayo Naifathy. Basi akazunguka zake, akitembea taratibu giza likimkumbatia na macho yakimuongoza kufuata vinuru vya vibatari vya vijumba. Akatembea taratibu pua zake zikishibishwa na harufu za udi ambao ulifukizwa karibia kila nyumba.
Sasa alikuwa katikati ya vijumba vingi, akasikia sauti za kike humo na vicheko, mara zote alikuwa akipenda sauti za wasichana wa kizanzibar wakichekacheka, kwani vilimsisimua mno na ni nadra kuvisikia. Basi akili yake ikachambua kati ya sauti hizo na kugundua moja ilikuwa ya Habiba na nyingine ya Shahida hakika.
Akaitazama ile nyumba na kuiepuka, akaenda mbele Zaidi, na huko akaona kijumba kilichopakwa chokaa nyeupe, hapo ndiyo moyo wake ukamzubaisha na kutuama bila kujua kwanini.
Loh, mara akatoka msichana, amejivisha khanga tu mabegani, mweupe na nywele za singasinga, mkono huu kibatari, mkono ule ndoo ya maji. Loh! alikuwa ni Naifathy.
Damian akatumbua macho maana kuona mabega ya mtoto wa kike Jambiani ni sawasawa na umeona uchi kabisa huku bara. Uzuri giza totoro lilimlinda akajishindilia kwenye vichaka vya mnazi. Akaminya hapo akishuhudia Naifathy akisaula ile khanga yake na kuipachika kwenye kamba, akawa mtupuu.
Doh! Damian akapata mfadhaiko, Naifathy akainama na kujimwagia maji akioga, akajipapasa na povu la sabuni kuzungukia tamu za mwili wake.
Damian akafadhaika Zaidi, pale alipojificha selebobo wake akataka kuchana suruali kwa udindifu. Akalazimika kumfungulia zipu apumue nje bila kuweka jicho lake pembeni asimtazame Naifathy aliyejisinga na kujisugua pale nje bila hofu yoyote akidhani wanaume hawapo kijijini kumbe Damian alikuwepo pale tena kajaa tele akila video ya asili.
Loh sasa Naifathy, akamaliza kujiosha sehemu za nje, ikabakia sehemu za mgodini, machimboni huko kwenye vito vya lulu na ulanga. Akajitiliza dole akijichambua kwa maji safi.
Damian akahusianisha, moyo wake ukimdunda kwa kasi, akajikuta amelitemea mate joka lake na kulichua sanjari na afanyavyo Naifathy, ambaye alitumia muda mwingi kujiosha hapo kama vile alifanya makusudi.
Damian akapata tabu sana, akapambana na hali yake mno, joka lake likatapika chefu lake huku sauti ya afueni ikamtoka Damian,” aaaaahshhhh!” kisha kuti alilolishikilia wakati akifanya uziduaji wake likamdondoka naye maana stamina za miguu zilimlegalega. ikasikika tu Puh!
Loh Naifathy akashtuka na kujitia khanga begani haraka, akasogea na kibatari chake kwa wasiwasi kutazama kuna jambo gani hapo.
“He Damwani!? unafanya nini hapa! Ulikuwa unanichungulia!?” alisema Naifathy kwa sauti ya chinichini, tena akazima na batari lake.
“hapana nilikuwa nikipita tu, nikakuona, Naifathy, ulinipumbaza kwa uzuri wako; Naifathy wewe mzuri, sijawahi kuona, ukivua nguo ndiyo unazidi kuwa mzuri,” alianza kuropoka Damian.
“mhh, nilijua tu wanitaka,” alisema Naifathy akimsogelea Damian akambana kwenye shina la mnazi, akamkumbatishia mwili wake wa baridi. Damian haraka akapitisha mkono wake kwenye pasuo la khanga ya Naifathy na kuiachanisha akigusa ngozi ya Nafathy kwa mara ya kwanza.
“mmmhhh, Damwani, huogopi?” alisema Naifathy kwa sauti ya vinanda vya winta sonata, Damian akaongea kwa huba: “niogope nini!”
“uchawi wa mzee Salum!” aliposema hivyo, Naifathy akamtoa mkono Damian na kujiweka kando.
“siogopi bwana Naifathy njoo,” alisema Damian akimvutia Naifathy kwake, Naifathy akajitoa.
“we mgeni huku, hujui habari ya mume wangu ndiyo maana, Damian sitaki upotee,” alisema Naifathy kisha akakimbilia kwake akinmuacha Damian pale kichakani.
Itaendelea..
Njia nzima Damian alitembea akiwaza yaliyomtokea usiku huo, wala hakujali kuhusu onyo la Naifathy kuhusu mumewe. Yeye ubongo wake uliirudia ile picha ya Naifathy akioga pale nje, tena akaicheza ile kumbukumbu taratibu kichwani mwake, kisha akakumbuka jinsi mtoto wa baridi alivyomkumbatia pale chini ya mnazi, na yeye kumshika kiuno chake ngozi kwa ngozi.
Walahi alichanganyikiwa Damian, akajikuta anatembea bila kutazama mbele akashtuka kujikuta anapita kinjia cha kuelekea baharini badala ya kuelekea kwake, loh! Akarudi na kutembea sawasawa akiendelea na mawazo yake kuhusu Naifathy, akajiapiza hata arogwe lazima amle Naifathy.
Basi akafika nyumbani na kukuta mlango umefungwa kama kawaida, akazunguka dirisha la Sabrina akaona kuna mshumaa unawaka, akaita: “Sabrina!”
“rabeeka!”
“mimi Damian,”
Haraka Sabrina akafika na kumfungulia, akampatia na nguo zake alizozikunja vyema, Damian akamshukuru na kumpatia Sabrina biskuti. Sabrina akasema asante zake na kurudi chumbani kwake.
Damian akaingia chumbani mwake na kushindwa kupata lepe la usingizi. Akili yake ikimchezea shere kwa taswira za Naifathy. akachukua mafuta na kujichua tena.
***
Wakati yote haya yanaendelea nyumbani kwa mke wake mdogo, Mzee Salum bin Salum alikuwa baharini, yeye tofauti na wavuvi wengine, alikuwa akivua peke yake. Alikuwa na mtumbwi wake na chemli yake peke yake, na alikuwa akienda maji ya peke yake kuvua.
Na Kila asubuhi piga ua. Lazima arudi na samaki wanne tu, pweza mkubwa, shana, changu na kuku wa bahari almaarufu ngisi. Samaki hao siku zote huwagawa kwa nyumba za wakeze, akiweka zamu kila nyumba na samaki tofauti kila siku.
Mzee huyu hakuwa mtu wa mchezomchezo, ujana wake alikuwa ni mganga wa mizimu akifanya kazi za Sultani Barghash wa ngome kongwe. Mzee huyu alitibu na kuagua mizimu enzi hizo akawa tajiri na kununua eneo kubwa la kijiji cha wavuvi hapo Jambiani na maeneo ya Mwanakwerekwe huko. Sultani alipoondoshwa na mapinduzi ya Karume, akakosa Amari, akauza maeneo yake, akaisha hadhi na kuwa mtu wa kawaida tu
Lakini jina lake liliharibiwa na hizo habari kuwa huwaroga mabinti wadogo na kuwaoa wakiwa hawajijui, pindi wakizundukana hujikuta tayari wameshafungwa na uchawi wake na kushindwa kutoka.
Unaweza kukubali mara moja habari hizo maana wake za mzee Salum wote ni wazuri tena washiraz haswa. Halafu umri wake ni mara mbili kwa mkewe mkubwa, mkewe wa kati kamzidi miaka karibia ishirini na tano na mkewe mdogo ambaye ni Naifathy, alimzidi miaka thelathini mizima.
Naifathy mzuri kuliko wake zake wote na hata mji mzima wa Jambiani alimchanganya akili Mzee Salum, akamzingira na dawa zake na kumuoa, akamjengea nyumba ya peke yake pembeni ya wake zake wote na kumtilia chokaa.
Lakini uzee wake ukamrudi, akishindwa kusimamisha mrumerume wake; akajawa Wivu wake ukamfanyia dawa Naifathy, wanaume wasimlalie, maana yeye mwenyewe hakumfaidi binti huyu; akaishia kutamani kurudi ujana kumfaidi lakini wapi! ndiyo kwanza mbu mbaya akamng’ata na kumtia shipa, linalomfanya atembee kwa shida.
Akawa anafika kwa mkewe na kumwambia nilalie nipate joto lako niridhike, naye Naifathy akamlalia na kumchukua kidole chake akakikalia akidanganya kumridhia mumewe, lakini wapi? Hakuwa amefika miisho ya haja zake. Na hata Mzee Salum alijua Naifathy alimdanganya. Hivyo akaongeza kirogo.
Wanne waliomthubutu kumuingiza walau kichwa tu Naifathy wakafia kifuani pake, wakazikwa maiti zikitoa jasho; ndio hapo habari za wake za Mzee Salum kuogopwa zikaenea.
“Shomari sitaki huyo Pweza mdogo, zama tena, kalete mkubwa mwanaharamu wewe! Hiyo ndiyo adhabu ya kutaka kumlala mke wangu!” alikoroma mzee Salum akiongea peke yake hali amekaa tu kwenye mtumbwi wake katikati ya bahari iliyotulia mara kukasikika pwaa! Kama vile mtu amerukia kwenye maji humo.
“Hamisi! Piga kasia twende mbele hapa, hatuwezi kumpata shana. Shehe Sadiki na Yusufu, mtatandaza wavu mie nalala, mkileta ujinga siwapi chakula leo!” alisema tena Mzee Salum akiongea na watu wengine wasiokuwepo naye pale kwenye mtumbwi. Lakini mtumbwi kimaajabu ukaelea kusogea mbele zaidi
Wakati huo Mzee Salum bin Salum pande la jitu likalala likikoroma kwa muda lakini ghafla likashtuka, likahisi kuna jambo sio jema. Shipa lake likambana na kuachia. Likakasirika na kucheka: “Hahaa Naifathy mke angu unataka kumuongeza mwingine si ndiyo!? Namsubiri,” alisema mzee Salum. ***
“Mjukuu wangu unaenda sehemu za watu, umekataa kupokea uganga sawa, lakini jua tu mizimu imekuchagua wewe na daima itakulinda na kukufundisha dawa zetu za kimila, nakushauri uzifuate maana zitakulinda vyema huko ugenini” Hayo yalikuwa maneno ya bibi yake Damian, Bibi Ansila kipindi kile Damian anaamua kuondoka kijijini kwao huko Arusha.
Hakuupenda uganga aliuchukia, na hata alipoondoka ndoto za ajabu usiku akielekezwa na mtu asiyejulikana dawa mbalimbali zilimuandama mno alikerekwa na akapuuzia; lakini ndoto aliyoiota usiku huo ilimtisha mno ilionekana mizimu yake ilimuonesha kuhusu Naifathy na mzee Salum bin Salum.
Akaamka asubuhi ile akaoga na kwenda dukani kwake, njiani akichuma jani la kisamvu, hayo ndiyo maelekezo aliyopokea kutoka ndotoni na mizimu yake.
Sasa unaweza kuona wapi Damian alitoa kiburi chake akijiona hawezi kurogeka.
Sehemu Ya Tano
Akafungua duka lake na kutazama wavuvi wakitoka ufukweni wakielekea mnadani na wengine majumbani mwao, lakini mara akapita Mzee Salum bin Salum, mkononi na samaki wake wanne.
Tofauti na siku zote mzee huyu siku hiyo akasimama kwa muda kutazama kiduka cha Damian akikikata jicho kali, akawa kama anatafunatafuna kitu mdomoni, akakitema na kuondoka zake.
Damian, akajishtukia na uoga ukamuingia.
Damian akafanya biashara zake kama kawaida hadi mchana ndiyo alipomuona Bushiri akija na batavuzi kapakizwa nyuma na mwendeshaji wake.
“salamu aleykum, Damian,” alisalimia Bushiri kwa furaha.
“waleko musalamu, vipi mbona haukuwepo, ulikuwa wapi?” aliuliza Damian kwa shauku.
“dah kaka we acha tu, ndugu yangu wanawake wengine acha tu, dah!” alisema Bushiri akifungua marikiti yake, akiruhusu hiyo batavuzi iondoke.
“kivipi?” “kaka, Shahida, na Habiba sio watu wazuri, ni Malaya wanajiuza kwa mabaharia ferry, hapa kumbe wamekuja kupumzika tu,wale sio watu wazuri.
“Huyo Shahida kaniambukiza mie gono kweli mie napata gono!?” alilalamika Bushiri kwa uchungu.
Basi Damian ndiyo akajionea machangudoa wa kwanza katika historia yake na walikuwa Jambiani Zanzibar.
“Asiee pole sana kaka,” alisema Damian akishukuru Mungu hakumgusa Habiba maana pengine angepatwa na yaliyomkuta Bushiri pia.
“enhee za hapa,” aliuliza Bushiri.
Damian akampa michapo yote iliyotokea.
“kaka achana na yule mtoto, nakuonya tena kaka, shauri yako. Kama unataka ukojoe dagaa sawa,” alishauri Bushiri, lakini maneno yale kwa Damian yaliingia huku yakatokea kule.
Jioni kama kawaida, wavuvi walienda ufukweni na hata mzee Salum Bin Salum tena kama kawaida akilitazama mno duka la Damian.
“baba, mzee majini yake yalishamwambia kuwa unamsalandia mkewe! Kazi unayo.” Alisema Bushiri.
Damian akacheka tu, akahudumia wasichana usiku ule, wakina Shahida wakafika kama kawaida yao, wakijidangisha kwa Bushiri maana Damian walimshindwa. Bushiri akawabalasa, na kuropoka kabisa: “una gono sikutaki ondoka!”
Loh Habiba na Shahida wakaanza kumrushia matusi na wakaondoka zao. Saa tatutatu, Damian akaapia kama Naifathy hatokei hakika ataenda yeye kwake, lakini kabla hajafanya hivyo, mara Naifathy huyo alifika dukani, kama malaika mtoto yule.
“Damwani mambo?”
“poa Naifathy, za tangu jana,” alisema Damian, Bushiri akamkata jicho la onyo lakini akapuuzia.
“jana sikulala, bwana!” alibonga mtoto.
“we si unanibania?”
“hamna Damwani, mimi nimefungwa na mume, nikifanya tu na mtu inakuwa matatizo, namchukia kweli Damwani, siku nyingine nashinda kulia tu ndani.” Alilia Naifathy masikini. Damian akatoka dukani na kumvutia Naifathy nyuma ya duka ili watu wasiwachore.
“Naifathy, mimi kwangu haitatokea tatizo,” alisema Damian.
“Damwani wenzako walisema hivyohivyo, wakafa kifuani kwangu,” alisema Naifathy akihisi Damian ataogopa,
“wee ninadawa ya kugandua hicho kifungo ulichofungwa, sikia, vua chupi achama miguu nikuoneshe,” alisema Damian akachukua lile jani la kisamvu. Akalipitisha kwenye usawa wa kishududu cha Naifathy jani likakauka kauu!
Naifathy akashtuka kuona vile. “Umefungwa mno, sasa sikia najua jinsi ya kukutibu,” alisema Damian.
“Damwani nitibu tafadhali,”
“Sikiliza Naifathy, nenda nyumbani kwako pale juu ya mlango bwana ako ameweka jambia na amelikobeka kwenye ala yake. Nenda kalichomoe utapona,” alisema Damian.
Naifathy akashtuka na kukumbuka vyema jambia lile alipewa na mzee Salum kitambo, tena aliambiwa: mke wangu lichomeke Alani na uliweke hapo huu kwa ajili ya ulinzi kamwe usiliondoshe.” Na yeye Naifathy alitoa matandabui na kufuta mavumbi lakini hakulitoa pale kwa miaka sita ya ndoa yake.
“Damwan naogopa naomba twende sote, naapa nitakuwa wako daima,” alisema Naifathy.
Damian akafunga dukale, akatembezana na Naifathy wakiongozana usiku ule. Bushiri akitikisa kichwa.
Hao wakaingia ndani mwake, Damian aliyaota haya jana akiambiwa na mizimu yake na kuoneshwa kila pembe ya nyumba ya Naifathy, hivyo hakushangaa wala kustaajabu, akapapasa juu ya mlunda uliotengezewa mlango, akatoa lile jambia na kulichomoa Alani, akalitia jambia kwenye chaka fulani lisipatikane tena, kisha ile ala yake akaitia mfukoni akamwambia Naifathy.
“Tayari kipenzi, nimeshamaliza kazi, nipe yote uliyokuwa ukiogopa kunipa, halafu naomba niongelee kwa lafudhi ya kipemba na unighanie na mashairi maana nayapenda mno,” aliongea Damian mwenyewe akianza kuharibika lafudhi yake ya Kichaga ikibomboloka kabisa kwa kukaa muda mrefu pwani.
“mh, sawa Damwani, sasa ili niamini nipitishe, msamvu tena nione kama hautakauka,” alisema Naifathy, Damian akapitisha jani la msamvu kwenye kisusio cha Naifathy likatoka bichi vilevile.
“ooh Damian, ngoja nikuimbie shairi la Kamange wa Makunduchi,” alisema kwa furaha Naifathy akaanza kumpapasa kifuani Damian akiimba:
Kichwa chako cha mviringe, ndiyo mwanzo wa khabari.
Haukuumbwa vungevunge, kama wangu khantwiri.
Huna pazi huna tenge, sawasawa mdawari,
Wakuache unighuri, wewe ndiye wangu jasiri.”
Loh Damian akasifika kwa shairi lile na sauti maridhawa ya Naifathy na vilevile uchokozi wake. Wakarukiana ili kulipana hisani.
“Damian anza na dole, usije nipa huzuni, naogopa mie,” alalama Naifathy kwa furaha akimsihi Damian aliyeanza papara za kutaka kuvamia mkondo wa maji mbiji.
“usiogope, mie tabibu wako,” alisema Damian akamlambalamba Naifathy kama Chatu maana alimtamani hata kumla kama keki.
“Ooh jamani Damwani, nikate kiu yangu, nilambe kotekote na huku, usinibakize pahala,” alisema Naifathy akilipiga teke juba na gagulo akabaki utupu. Kwa mahab akaimba ushairi mwingine kuzidi kumchanganya Damian.
“Ndimi tazo nembetele, majini ndimi mbuaji.
Nishikapo nishikile, nyama ndimi mshikaji,
Ndipo nawe unile, umemshinda mbanaji,
Kiwiji simba wa maji, wewe halali mwindaji.”
Damian akamaliza kumlamba Naifathy akamlegeza na kuenenda sehemu muhimu sasa, akapanda fuoni na kunyonya mifuru akashuka kupekecha kokwa zake hapo Naifathy machozi yakamtoka akamparua Damian mgongoni kwa raha za papaso ampazo. Akaingiza mikono kuung’oa mkwiji wa Damian akamvuta Samofi wake, akampelemba mikononi mwake, na kumtilisha kilazima njopekani akamfikicha kwenye pulutu, ingawa hakuwa na yakini maana kufanya hivyo ilikuwa aghalabu mno kwake.
Akaiingia akaimeza taratibu, Damian akaishiwa pumzi maana alimaliza sherehe mapema kwa ulimbukeni wa kuonja malolo baada ya muda mrefu mno maana ilimpita kitambo atiii! akazima juu ya kifua cha Naifathy.
Naifathy akalia akihisi Damian amekufa kama wakufavyo wote watakaomgusa, doh! la hasha, Damian akasimama na kuunga cha pili maana vilijipanga Zaidi ya nane kiunoni mwake.
Naifathy akaimba tena kwa midundo ya mishinduo: “sengekuja sengekuja, asubuhi na jioni
Kwamba mimi sina huja, kwako mbeja wa shani.
Nikidhia yangu haja, wanitowa mashakani
Ndia haimeli mani, na nijialo ni wewe.”
Basi ikawa kila akimaliza kuimba shairi Damian akatuama japo alianza kwa tarajali lakini kumbe alikuwa nyani ngabu, mjuvi mno na hogo lake. Naye Naifathy hakula mkokaa wala allele, alitia viuno vya taratibu, akafika kila dakika mbili.
Wakalala kupumzika, utamu wa penzi la wizi ukiwanyungua wasikose hamu kila walipotazamana.
“tamuataje ni wangu mikononi nimepewa
Ananigusa matungu, kwa hiyo tamtukuwa
Mambo mtenzi ni Mungu, muumba wa mwezi na jua
Simuwati, muwatiwa, naradhiwa kufa nawe.” aliimba Naifathy. Akaanza kulia.
“kwanini unalia mahabuba?” aliuliza Damian.
“nalia kwa sababu bwana angu ashajua kuwa nimezindukana na dawa zake, akifika atanirudi na kunitia undondosha kabisa; naogopa Damian, kupona huku hakuna nafuu ukiondoka ukaniacha.”
“hapana sikuachi, tutoroke Naifathy, twende bara, twende sasa,” alisema Damian duka hakuona tena kama linathamani kuliko utamu wa Naifathy. Lakini kabla Naifathy hajasema jambo ghafla kwenye chumba cha pembeni kukasikika kitu kikigongagonga chini.
“nani!” alishtuka Damian akiogopa.
“mwana wangu huyo anaota njozi,” alisema Naifathy.
“muamshe twende,”
“hapana, babaye atamlea, twende tutoroke,” alisema Naifathy, usiku uleule, Damian akarudi dukani akiungana na Bushiri, akamkabidhi duka na mali zote kwa malipo ya shilingi elfu kumi, akakimbilia kule alipopanga akabeba vitu muhimu na kukimbia. Bushiri akiwasaidia.
“tutalala bandarini, kesho asubuhi tunaenda bara,” alisema Damian akimwambia Bushiri.
“Damian wewe ni Mangi, lakini ushujaa wa mapenzi umeuanza lini?” alisema Bushiri.
***
“Wekuja huna hunani, sisi kakupa malaji,
Wiji hapa ufukweni, kinyaa kitujituji,
Leo wenda mnadani, wawa mnunuaji
Huo ndiyo ulipaji, wenyeji kutufitini?” aliimba kwa hasira Mzee Salum bin Salum mtumbwi wake ukiendeshwa kwa kasi na misukule yake kuelekea pwani kwenye matumbawe.
Akashuka kuamrisha moto uwashwe apime nguvu za huyo bwana mdogo maana aliingia kwenye himaya yake, akala matufaa yake ya sumu na wala hakufa, tena ndiyo kwanza akamuiba mkewe.
Mzee Salum bin Salum jasho likamtota akamtafuta, kwenye rada na kusoma alikuwa bandarini, mbale za kwale zikamuonesha bwana mdogo amejawa nguvu za uchawi mpya.
Hasira zikampanda, akatia damu lake kwenye fupa la papa, akaomba mizuka ya mwanafyale imfanyize nguvu za kumlipia mgoni wake. Mizuka ikaona ana hoja maana mke ni halali yake. Yakamtia nguvu Mzee Salum usiku mzima akakesha akaumba dudu, likawa na mbawa, likiwa na korodani za mbuzi na uume wa punda. Akasema akiliambia hilo dudu: “mfate huko bara: alivyomfanya mke wangu naye ukamfanye, umpasue pahaja kubwa, umfanze kila usiku, dawa yake akaseme kwa watu kuwa kanajisiwa ndiyo umuache.” Na mzee Salum bin Salum akawa ndiyo muumbaji wa Popobawa, mwaka 1994 na chanzo ndiko hiko, si uzushi.
??Huuhuu Kiswahili kimewapisha wengi loh kama una rafiki mpemba muulize fasiri yake. Wabara polen
MWISHOOOO

