MCHEPUKO WA ZANZIBAR
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
Sehemu Ya Kwanza
Mtu akitaja neno Zanzibar, kinachotakiwa kuja kichwani kwako haraka ni harufu ya karafuu, mandhari ya mji mkongwe na fukwe nzuri, ndiyo; hiyo ni kwa wanaoijua Zanzibar vilivyo kuanzia Unguja; Pemba na visiwa vyake.
Lakini kwa wengi wetu ukitajiwa Zanzibar, kichwa kitavuta taswira za fukwe safi, mitumbwi, minazi, wapemba na mavazi yao na ile lafudhi yao maridhawa ya Kiswahili.
Hiyo ni kwao hao watu wengine, lakini si kwa mzee Damian Shirima, yeye kwake neno Zanzibar lilimtia ashki na midadi kumpanda maana taswira iliyomjia ni ya Naifathy binti wa Kipemba anayekutana naye akiwa Mangi huko Zanzibar miaka mingi mno iliyopita.
Nini alichofanyiwa akiwa Zanzibar na binti huyu kiasi cha kumfanya apagawe na akili zimruke kama Zamwamwa ilihali angali mzee wa miaka sitini na mke na watoto kajaliwa.
Hii ndiyo simulizi yenyewe, tulia uisikie.
Damian katika hangaika zake za kimaisha jijini Arusha aliamua kufunga safari kujaribu maisha mahala pengine nchini. Naye kama ndugu zake wa Kichaga mishipa yake ilipitisha damu yenye vinasaba vya biashara na uthubutu.
Alihitaji sehemu nzuri kwa mtaji wake mdogo,
Kati ya mikoa yote iliyopo Tanzania akaamua kwenda Zanzibar akiwa hana ndugu huko wala hajuani na mtu yoyote.
Naye alivutwa Zanzibar na taswira zilezile zilizomjia kichwani mtu mgeni, yaani fukwe, minazi, majengo yaliyochakaa na wapemba. Hakuwahi kuwaona kabla isipokuwa kwenye vipande vya gazeti tu, ukizingatia maneno ya Arusha vijijini aliyokulia yeye palikuwa hapana wageni sana kutoka mikoa mingine.
Kwa hiyo basi mchaga aliyetumwa pesa akaanza safari yake ya basi akaingia Dar na kujionea jiji hilo enzi hizo likimetameta kuanzia magomeni, akaogopa watu hapo, aliona watamzidi ujanja, akalala kwa tahadhari siku ile kwenye nyumba ya wageni.
Kichwani hakuwa na ujuzi wowote zaidi ya kujua kuzitunza pesa, kuzihesabu pesa, kuzitumia kwa nidhamu pesa na pia kuzitafuta pesa hususani kupitia kazi ya dukani, kwani kuuza duka alijifunzia kwenye duka la mjomba wake Urio; duka la kwanza kijijini baada tu ya mkoloni kuondoshwa.
Damian kijana wa miaka ishirini na tatu, peke yake sasa alfajiri alipanda boti pale bandarini, safari ya kwenda Zanzibar ikamtimilia, hapo ndipo alianza kuona wanawake wachache wa Kizanzibari waliokuwa wakirudi makwao.
Aliwashangaa mno na kuwasikiliza lugha yao. Akaona wanaongea vizuri mno na walaini kwa mitazamo ya rangi zao. Lakini walivaa mabaibui akagundua hawakuwa na mizigo kuwafikia wanawake wa Kiarusha hivyo hawataweza kumfilisi kiduka chake kwa kishawishi.
Boti ilianza kuondoka na kuingia baharini, mawimbi ya Msasani yakiichezesha boti kama kawaida na kuwafanya abiria kadhaa waombe mifuko. Hata Damian alijisikia kichefuchefu naye akakaa na Malboro lake akikaza meno kwa kadri anavyoweza ili asitapike.
“pole kaka, kwani hii ni safari yako ya kwanza kwenda Unguja!?” aliongea kwa lafudhi ya Kipemba mwanamama Fulani aliyeketi pembeni ya Damian huyu alikuwa amevaa ushungi wake vizuri lakini hakuvaa baibui.
“ ndiyo,” alijibu Damian akijitahidi asiongee maneno mengi maana alihisi tumbo lake limemchachamaa zaidi akajizibia ufuko na kuinama akitabika tapiko lake.
Punde saa ile abiria wengi wakafanya hivyo na mchafuko wa tumbo ukaisha kadri walivyozidi kusonga mbele ndani zaidi ya bahari indi.
Safari ikaenda kwa masaa takribani matatu na vidakika vyake, wakatia nanga hapo bandari wakashuka aridhini na Damian kuingia rasmi humo kisiwani hiyo ikiwa ni mapema mchana.
Kichwani alifahamu kuwa alipofika ni mjini, hivyo hakupaswa kuwa hapo, alitaka mahali mbali mno na mjini.
Akapanda usafiri asiouzoea wa vigari vya chai maharagwe, akaenda mbali na mbali akitajiwa majina asiyoyajua, yakiwemo Unguja Ukuu, Jozani, akakutana na njia panda ya Kizimkazi Dimbani akanyoosha Paje, na kuambaa na ufukwe hadi Jambiani hapo ndiyo akashuka akasema: hapa nitakaa na kufanya biashara. hapo ndiyo akaomba sasa kupata nyumba ya kupanga akitafuta madalali kwenye ofisi zao.
Akazungushwa jioni ile na kupata chumba cha elfu tatu kizuri lakini masharti lukuki ambayo hakuwahi kuyasikia tangu azaliwe.
Subiri usitoke.
“Ami nitakupeleka kwenye nyumba nyingine, lakini sasa hivi, danganya kidogooo, utakosa pa kulala!” aliongea huyo dalali aliyezungumza kipemba baada ya kutoka na Damian nyumba ya kwanza aliyoambiwa masharti lazima awe ameoa, marufuku kulewa na kurudi mwisho saa moja usiku.
Damian alimwambia ukweli yule baba mwenye nyumba kuwa sharti la kutolewa angelitekeleza mara moja, lakini suala la kuchelewa kurudi eti mwisho saa moja usiku kwa mwanaume mtafutaji lingemshinda na kama haitoshi alisema kuwa hajaoa hivyo hiyo nyumba waliishindwa. “vyumba vipo. Ila masharti hapa, lazima uwe umeoa, uswali swala tano, usilewe na kuleta nguruwe maana watu wa bara sie twawajua, wakorofi,” alisema mzee Abdullah. Huyo ni mwenye nyumba mwingine waliyeenda kumuona na dalali.
“Mzee mimi ni mkristo, ila silewi, wala sitaleta nguruwe nyumbani kwako, sio mkorofi, nimeoa ila mke wangu yupo Arusha, nimekuja huku kote kutafuta mzee wangu, sina hata ndugu, nategemea kama nitaishi hapa nyinyi ndiyo mtakuwa ndugu zangu,” alisema Damian.
“nimekupenda, umekuwa mkweli, wengine wanajifanya kubadilisha majina kujifanya waislamu wakifika huku, sasa sawa, chumba ndiyo hiko kione, bei yangu ni elfu mbili kwa mwezi,” alisema Mzee huyo aliyeonekana mstaarabu walau. Dalali wa watu akashusha pumzi maana walizungumka mno.
Wakaona chumba kizuri haswa kikiwa kimesilibwa vyema kuta zake kwa dongo na chokaa, ikawa kama kuta za mji mkongwe, kulikuwa na miti mikubwa darini na sakafu lake lilikuwa limekomaa na halina vumbi huku ukutani kukirembwa na simbi mbalimbali za baharini.
wakalipana pale na kuandikishana, Damian akaweka vitu vyake ndani na kwenda kununua mkeka nje, akaingia kulala haraka maana alikuwa amechoka mno kwa safari ndefu.
Asubuhi iliingia na sasa nyumba iliamka. Ilikuwa kubwa, chumba chake kilijaa mwangaza na kuwa kizuri. Akafungua mlango na kuutia komeo, akakutana na vyumba vikuukuu vingi na watoto lukuki wakichezacheza hapo koridoni.
“saa aleku,”
“aleko musalam,” aliitikia Damian akigundua huko hakukuwa na shikamoo
Akatoka barazani na kumuona Mzee Abdullah mwenyewe akivuta kiko.
“Karibu, Damian, umeamkaje, hali waionaje visiwani, njoo unihadithie ya huko kwenu bara haaahaa,” aliongea kwa harakaharaka Mzee Abdul.
Damian akagundua mzee huyo alikuwa mcheshi sana, akakaribishwa chai akaionja, ilikua tamu sana, Damian hakuwahi kuinywa tangu azaliwe.
“Enhee kijana umekuja kufanya biashara gani huku?” aliuliza Mzee Abdullah, Damian akamwambia malengo yake ya kufungua duka. Mzee Abdullah alifurahi mno na kumtaka azunguke kujionea mandhari na kumwambia kuwa mahali popote aendapo ikiwa atakutana na kikwazo chochote aseme ametokea kwa mzee Abdullah wa Jambiani ataachwa salama kabisa, kwa sababu alidai yeye ni mtu mashuhuri mno.
Kweli Damian siku hiyo alioga na kuvaa nguo zake akachukua shilingi mia tano na kuzunguka nayo akipanga kununua vyombo, ndoo, kandili, na vitu vingine vidogovidogo,. Huku nikisavei eneo zuri la kuweka duka lake.
Alizunguka akigundua watu wa fukwe walivyo; wanawake hawakuonekana mitaani, na wakionekana wachache hujitanda kwa kuvaa kininja kabisa, wanaume wengi walikuwa wamekaa vivulini wakichambua nyavu zao, Mtu mmoja akamwambia Damian kuwa nyakati za usiku wanaume wote kijijini hapo huondoka kabisa kwenda kuvua na majumbani huwaacha wake na watoto tu, wao huwa baharini wakivua samaki hadi alfajiri mno ndiyo hurudi.
Kijiji kingine kilikuwa cha changanyikeni, walilima na kufanya shughuli nyingine pia ikiwemo utalii na ufugaji, hivyo basi Damian biashara yake akaona ingeweza kufanyika vizuri ikiwa duka atafungua mahali katikati ya kijiji cha wavuvi na cha changanyikeni.
Loh akabahatika kuona mahali safi kabisa kwa duka lake, akapakariri na kutafuta eneo jingine tena, ili awe nayo kama matatu hivi, kweli aliyapata na kuyanakiri yote tena yalikuwa karibu na barabara ya magari maana yake itakuwa rahisi hata bidhaa kuzileta kutoka duka la jumla.
Damian akarudi sasa, akiwa nyumbani pale nje kibarazani, akagundua sasa uzuri wa Zanzibar kwa kujionea wanawake walau sura zao, maana majumbani walivua uninja na kuacha nyuso zao. Loh walikuwa wazuri, nusu waarabu nusu wa afrika.
Wiki ilipita sasa Damian akiwa amelisimamisha duka lake vizuri. Akajua bidhaa zipi wanazozipenda wateja wake, kuanzia mikate ya boflo, unga wa ngano, dengu, tambi na ndoano, mpaka mafuta ya taa, iriki, mdalasini na asali.
Akaanza kuzoeleka kijijini wengi wakimuita kwa jina la Mangi na ndiyo hivyo walipendelea na pengine Damian akawa ndiyo Mangi wa kwanza huko visiwani.
Wiki ya pili iliingia akaanza kuona faida maana aliweza kuzungusha bidhaa zake haraka mno, yote hayo yakifanya matarajio yake ya kujichanua kibiashara sehemu ile kuwa ni makubwa mno.
Kwa wiki zile chache hizo alijikuta akijulikana na watu wengi sana, akajua pia sehemu ya kupata chakula, na mahitaji mengine madogomadogo, lakini yote kwa yote hakuwa ametazamia timizo la hitaji moja tu kubwa.
Awali hakuliona la lazima kulitimiza isipokuwa sasa, maana lilimfanya asilale na lilimtafuna ndani kwa ndani, nalo si jingine bali ni hitaji la kufanya mapenzi.
Ona Damian alikuwa mtu mzima, alikula chakula cha moto, nacho kikameng’enywa na kufanya mwili urutubishwe kwa protini na nishati joto, zote hizo ni malighafi muhimu katika kutengeneza mbegu za kiume na homoni zake chochezi.
Wiki za kwanza hakuona tabu sana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda na tena kwa kula samaki wa pwani huyo wamuitaye Pweza, tabu ilimuandama, dudule likamsimama kutaka suluhisho.
Vinyweleo vilidinda kila sauti ya kike iliposikika kwenye kingo za kuta za chumba chake, pengine ni mke mdogo wa Mzee Abdullah au bintiye kindakindani, Sabrina.
Hakujua lakini hakika alihitaji kutumbukiza toto lake tunduni. Usiku huu akachukua mafuta ya mgando na kulisugua rungule akilifanya dhihaka ya njia mbadala, likafukuta na kutema hasira zake kisha likapoa walau, lakini Damian alijua kesho yake hamu ingerudi kwa kasi mno Zaidi ya siku hiyo.
Kama mwanaume alijua njia pekee ni kunjunja tu, laiti kama angekuwa Arusha angeweza kutembea na mwanawake kirahisi tu, lakini Zanzibar, Unguja huko Jambiani, wanawake adimu mno, hata dukani wanafika wanaume tu, atampata wapi mwanamke amtibie! Aliwaza Damian.
Sehemu Ya Pili
Hata kazi zake hakuziwaza vizuri tena kila aalipofunga kope aliota vipochi vya manyoya, kila alipoalala aliota vitwangio na kinu.
Asubuhi alfajiri kama kawaida aliamka na kujiona mnara umesimama vilivyo tayari kunasa mawasiliano, akachukia na kuupindia kwa juu ya kaptula lake.
Akaingia chooni kuoga maji ya baridi ukavyonda walau. Akavaa nguo zake na kuondoka, koridoni akipishana na Sabrina binti Abdullah, aliyejitanda ushungi akidamka kufanya usafi.
“saa leko,” alisalimia Damian, macho yake makali yakipenya hadi ndani ya baibui ya Sabrina kuchambua dhima na maudhui anayoyatafuta kwa udi na uvumba.
“aleykum musalaam, shikamoo,” aliitikia Sabrina, mtoto laini. Babaye alimtega Damian kubadili dini amuoze, naye alikataa, sasa aliishia kula kwa macho tu huku misimamo yake ikitikiswa kila siku.
Naye hata hivyo alijiambia hatobadili dini na kuoa kisa nyege, hapana.
Hivyo basi Damian yampasa atafute kutimiza haja zake kwa njia ya wizi, wapi atafanya hivyo? Ilikuwa ni mtihani mkubwa mno.
Siku hiyo alifika dukani kwake, akasali sala zake na kufungua biashara zake kama kawaida. Akapata wateja wake wa asubuhi na mchana, baadaye akaja Bushiri kupiga soga huyu alikuwa na marikiti ndogo pembeni. Nao waliweka kibenchi pale nje.
Bushiri huyu alikuwa rika sawa na Damian, yeye alipata kutembelea Dar kidogo hivyo hakuwa mwenye mada moja walizungumza mengi tu,hata kuhusu wanawake wa Zanzibar.
“Bwana Damian, unajua unawahi sana kufunga duka, funga walau saa nne,” alisema Bushiri.
“hapana, saa nne usiku sana na giza la huku nitashindwa kurudi nyumbani aisee,”
“sikiliza, unakosa mambo, unajua wavuvi saa kumi na mbili wanaenda kuvua, wanarudi alfajiri, huku nyuma kijiji chote wanabaki wanawake tu, wanawake ndiyo usiku kuanzia saa moja wanatoka kutafuta mahitaji yao muhimu, sasa maduka yote wanakuta yamefungwa, ila ukifungua wewe, utawaona wanawake wanakuja kununua, au huwataki!?” alisema Bushiri, ikawa ni wazo zuri maana kusema za ukweli tangu Damian afungue duka hakuwahi kumuona mteja wa kike akifika hapo hata kwa Bushiri pia, alitaka waje walau apate tahfifu loh.
Wakakaa kweli wakipiga soga na kufanya biashara hadi saa moja, kuanzia hapo sasa Jambiani kukapoa, kukawa kimya na kiza totoro, ni wao tu ndio waliiokuwa na mwangaza wa kandili pale dukani mwao, kwenye vijumba vingine kulikuwa na vibatari tu vikionekana kupitia madirishani.
Hapo wakasikia hata bahari iliyokuwa magharibi mwao ikifoka kwa kutema mawimbi pwani. Kundi la mwisho la wanaume waliowaona lilipita wakiwa wamebeba nyavu, pondo na injini na nanga wakiingia baharini.
“Sasa wanaume wote wamekwishaondoka, na taa zetu zinaonekana kote kule kwenye majumba, utaona tu purukushani za wanawake zinaanza,” alisema Bushiri.
“kwanini purukushani zianze wakati wanaume wameondoka!?” aliuliza Damian.
“sikia, nikupe udhaifu wa wanaume wa visiwani, huku bwana wanaume hawana muda na wanawake wao, wengi hukesha baharini, usiku kucha, hurudi asubuhi ya saa moja, hapo hufikia ferry kufanya mnada wa samaki, wakishauza, hurudi nyumbani saa nne au saa tano, wakifika walala hadi saa kumi jioni, wakiamka hapo ndiyo wanapumzika hadi saa kumi na moja waanze kusuka nyavu zao na kuandaa mashua, saa kumi na mbili ndiyo wanaondoka baharini kama unavyoona, sasa hapo niambie wanafanya tendo saa ngapi? Na baharini hutakiwi kwenda na janaba maana ni mkosi chombo chaweza zama,” alisema Bushiri na kuongeza: “Sasa hapo kusema za ukweli, wanawake wao wamejaa ashki, usiku wanahangaika, utawaona tu, wanavua majuba na mabaibui kujichekesha tu;
Basi wakakaa Zaidi, Damian saa akaona haziendi, akatazama mwezi na kuuona ukiwa sehemu Fulani ya zenith, akagundua ni saa mbili hiyo, na mpaka hapo hakukuwa na mteja yoyote aliyefika dukani mwao.
“oya, tukalale bwana,” alisema Damian.
“Usikate tamaa, siku ya kwanza inakuwaga ngumu kama hivi, kwa sababu hawajazoea kuona duka likiwa hadi sasa hivi, we subiri tu, hebu ona huyo nani anakuja!” alisema Bushiri akimuonesha kwa ishara Damian.
Kwenye giza akatokea mwanamke, na msichana, walitembea kwa adabu lakini cha ajabu hawakuwa na ushungi wala kujitanda mwilini, wakasogea kwa tahadhari na kuuliza kwa sauti.
“eti hapo mwauza duka! Na marikiti!?”
Ilikuwa ni sauti mwanana yenye lafudhi ya Kiswahili cha visiwani haswa. Bushiri akasema kwa sauti; “ndiyo twauza hadi usiku siye!” Waliposema hivyo, vicheko vya kike vikawatoka hao wakina dada, wakati wakijongea Zaidi kwenye mwangaza wa walipo akina Damian na Bushiri.
Damian kwa mara ya kwanza akaona wanawake wazuri, rangi, ngozi, nywele macho yao, vipua vyao, vimidomo, na la vifua vyao vikamtia ganzi, hapo hakuona hata kasoro zao za hao wasichana hao kutembea peku na kukosa matako makubwa kama wanawake wa Kiarusha. Yeye aliona johari tu kwenye roho yake.
“kaka wa duka, mie ataka kiberiti, ataka leso ya kike na sabuni,” alisema huyo msichana mzuri Zaidi mdogomdogo, mwingine akiwa amesimama nyuma yake akitazama huko na huku.
“kiberiti, senti moja, Leso senti tatu na sabuni senti mbili, jumla senti sita,” alisema Damian akichangamka kinoma. Huku chini tayari akiwa ameshawaka gari lake na suluari ikimloa na kujikojolea angali akizungumza tu na hao wasichana.
“hiyo hapa, halafu Bushiri huyu mbona azungumza vibaya, anichekesha mie,” alisema mwingine akicheka kabisa kwa vile Damian anavyozungumza kichaga.
“haha, huyo mtu wa bara, wa kule kwenye mlima Kilimanjaro kama wapasikia, aitwa Damian,”
“Damwani,” alisema mwingine akijaribu kuliita jina la Damian.
“hapana Damian,” alisema Damian mwenyewe.
“mh aya, asanteni, sie twaenda, tutakuwa twaja usiku kumbe duka mwafungua, basi mtatupa nafuu,” alisema mwingine.
“wadada, mmejua jina langu na mimi niwajue basi,” alisema Damian.
“mimi Habiba, huyu dada angu Shahida,” walisema na kuondoka wakichekacheka, wakatembea kama wanataka kubakia lakini kama wanataka kuondoka pia. Ni wazi kuwa walikuwa na ashki kama alivyosema Bushiri na Damian aliligundua hilo kwa sababu na yeye mwenyewe alikuwa katika hali hiyo pia.
“Damian, umeonaaa!?” alisema Bushiri kwa furaha.
“Loh nimeona kaka, nitakesha kila siku, yesu na maria,” alisema Damian. Akakaa kimya akiona msichana mwingine akitokea kwa mbali.
“habari zenu, nimetumwa kiberiti na mafuta ya kuwashia,” alisema binti mzuri mno kuliko wale wa mwanzoni, Damian suruali ikamchafuka tena akahema kwa kufikia shindo lake.
“haaaaah! Karibu,” alisema Damian akiganda kwanza kumtazama vizuri binti huyo kama ni jini au mtu haswa.
“naomba nipatie basi, mie niende na zangu,” alisema tena huyo msichana aliyeonekana kuwa na haraka mno kuliko wale wa mwanzoni.
Haraka Damian akampatia kiberiti na mafuta kumtilia kwenye kichupa chake, kisha akampa na kumshika walau mkono wake kijanja.
“samahani msichana unaitwa nani?”
“naitwa mama Aymar,” alisema.
“umeolewa?” alisema Damian kwa mshangao.
“ndio kwani wewe hujaoa?”
“hapana sijaoa,”
“mwanaume mzima umejawa ndevu hujaoa! wasubiri nini?” alisema huyo Mama Aymar akianza kutembea.
“sikia mama Aymar, mimi naitwa Mangi, na wewe nitajie basi hata jina lako,”
“Naitwa Naifathy,” alisema hivyo huku akiyoyoma.
“kaka, usijaribu kumtongoza yule, utakufa, mumewe ni Mzee Salum bin Salum.”
“mumewe ni mzee?”
“ndiyo ana wake wanne, huyu ndiyo mke wa mwisho,”
“mzee mwenyewe yupo wapi?”
“ni mtu wa baharini, alipita hapa mchana, ana busha hivi kubwa,” alisema Bushiri.
“duh, sasa anamudu vipi wanawake wanne, wakati mvuvi halafu ana busha!”
“hiyo ndiyo miujiza ya Mungu hapo sasa. We tongoza wake za watu wowote huku lakini nakuomba kwa usalama wako usimtongoze huyu wala wake wengine wa yule mzee, wakipita hapa nitakuonesha.”
“agh! kwani hamna wasio wake za watu huku?” aliuliza Damian.
“Huku utampata wapi binti asiye mke wa mtu? Sikia, wakiwa tu na miaka kumi na nne, mabinti hutafutiwa waume kabisa, ndiyo wanasubiri akue aolewe, hivyo huwezi kupata mwanamke labda ubake watoto , hivyo bora wake za watu, japo nao kurogwa nje nje,”
“wee mimi siogopi nimeaga kwetu, nimechanjwa na chale, mimi nilishampenda huyu Naifathy,” alisema Damian.
“mh, sawa, mimi nataka niwapitie wote wale wawili wa mwanzoni,” alisema Bushiri akionekana mroho mno Japo yeye tofauti na Damian, alikuwa ameoa na mkewe alikuwa huko Unguja mjini.
Basi baada ya hapo dukani na gengeni wakawa wanafika mabibi na wanawake wengine wasioridhisha kwa sura zao, wengine Damian alistaajabu kwani walikuwa weusi tii lakini sura zao kama waarabu kabisa, Hao hakuwapenda hata kidogo.
Moyo wake ukawaka kwa Naifathy, mke wa nne wa mzee Salum bin Salum. Akaapa atalala naye hakika.
Hadi saa nne wakati yeye na Bushiri wakifunga biashara zao na kusindikizana kurudi njia kuu, tayari walikuwa wamefanya biashara kubwa mno tofauti na waliyoifanya mchana.
“kesho tutakaa tena hadi usiku,” alisema Damian akionekana kunogewa tayari.
“haina shaka haha, usije ukamaliza hela zako kwa kuhonga,”
“weee mimi mchaga, hela kwanza, mapenzi baadaye, sijaja kucheza huku,” alisema Damian.
Akarudi kwa njia yake hadi nyumbani alipopanga, akagonga mlango na kufunguliwa na Sabrina katoto ka mzee Abdulrahman, akakaona kakiwa hakajitanda, akakashukuru na kuingia ndani zake, taswira za Naifathy zikamkosesha usingizi. Japo alijichafua mara mbili nzima pale dukani, lakini dudule hamu haikuisha lilisimama tena.
Akachukua mafuta, na kupakaa, akalichuachua huku akivuta taswira kabisa kama vile anamuingiza kunako Naifathy, na ile sauti yake ikimlilia sikioni kama kweli vile, akachukua muda taswira zake zikimlaghai akajiona tendoni kweli; basi hitimisho tamu hatari likamfika, dudule likatoa udelele. Utimamu ukamrudia kuwa kumbe alikuwa akivuta tu picha na wala Naifathy hakuwa pale na yeye.
Akakereka na kujifuta, kisha akalala, akijiapiza lazima kujichua kukome, lazima ampate Naifathy.
Asubuhi kama kawaida, akaenda kufungua kiduka chake, akijiona mpya kidogo, akakutana na chizi mwenziye Bushiri aliyekuwa akipanga nyanya, vitunguu maji na binzari.
Pamoja wakaanza kuuchora mtaa.
“ona sasa umemuona yule mzee aliyeshika samaki, yule sasa ndiye mzee Salum bin Salum,” alisema Bushiri akimuoneshea mzee Fulani mweusi, mwenye manywele yenye mvi, kuanzia kichwani hadi mikononi, ambaye kavaa msuli mkuukuu na anatembea kwa tabu kidogo.
“yule ndiyo mumewe Naifathy?”
INAENDELEA

