AAAHHH BOSS TARATIBU JOMON UTANITOA KIZAZI
ONYO: Wakubwa tu, kuanzia Miaka 18, ndio wasome hii Hadithi
SEHEMU YA 06
Ilipoishia…
Nilifurahi sana . Yani nikama bado sikuwa naamini yaani mpaka Sumy alivyonifinya,
Songa nayo…..
Hahaaa unachezea kupata kazi nini. Nilifurahi sana.kiasi kwamba nilishindwa hata namna ya kuelezea furaha yangu juu yangu,
Heeee hili nalo kama zombi vile, aliongea Sumy wakati huo me naruka ruka kama kachura, Sumy me sijali haya unite huna gani mwenzio kikubwa nishapata kile ambacho nilikuwa nalihitaji
Mmhh, usiku huo uliweza kupita kesho yake bado nilikuwa tu nafurahia bado , kikubwa ambacho nilikuwa nakiomba nisipate boss matata
Niliamini pindi nikipata boss ambaye sio mtata basi mambo yangu yataenda ipasavyo na nitaweza kutimiza malengo yangu pasipo na vurugu yeyote ile
Basi mwenzenu nilianza kujiandaa kwa ajili ya safari ambayo ilikuwa imebaki siku moja nijiandae kuingia kazini.
Ni raha iliyoje daaaah, hatimae Mungu aliweza kujibu maombi yangu ambayo nilikuwa nikikishe siku nzima niliona sio usiku wala mchana, subra huvuta kheri nimeamini kabisa
Haya siku hiyo iliweza kupita na kesho kukakucha, nilianza kuandaa mazingira nyumbani huku Sumy naye akijiandaa kurudi kwao maana likizo ilikuwa imeisha hivyo nilikuwa na safari ya kumsindikiza mpaka stendi ya mabasi kwa ajili ya kuianza safari yake yakuelekea kahama kwao.
Niliumia sana. Kuona Sumy anaondoka kwasababu nilikuwa nimemzoea vibaya kwa hiki kipindi ambacho alikuwepo nyumbani,
Sumy nilimuina kama ndugu yangu wa damu kutokana na urafiki mkubwa tuliokuwa nao, basi alidai atarudi baada ya kumaliza masomo yake na ikiwezekana akishikiwa basi ataombwa aletwe huku Dodoma.
Safari ya kuanza kumsindikiza sumy ilianza, baada ya dakika chache tuliwasili stendi ya mabasi kwasababu hapakuwa mbali na nyumbani kwa bajaji ni kama dakika kumi tu
Mnakuwa mmewasili, haya basi wakati huo tukiwa tumekaa pale jengo hilo lilikuwa likioneka kwa mbali kidogo japo hapakuwa mbali na stendi kwa kutembelea na miguu nikama dakika tano hivi.
Sumy nikwamba kule ndo kutakuwa kazini kwangu, kesho juma tatu sasa ndio nainza kazi yangu rasmi,
Nikweli neema, Mungu akutangulize katika kazi zako ila usiache kumjali mama,
Ndio kipenz yeye ndo kila kitu kipenz nawezaje kutomjali kwasababu yeye furaha yangu iliyobaki kwenye maisha yangu.
Basi mda kidogo basi liliwasili majira ya saa tano asubuhi lililokuwa likielekea bukoba, bas Sumy alinikumbatia nakudai tutaonana tena,alipanda gari kwa ajili ya kuianza safari yake yakuelekea kahama.
SEHEMU YA 07
Daah niliumia sana. Nilitamani Sumy Wang asiondoke kwasababu hata yeye alikuwa sehemu ya familia yangu.
Baada ya yeye kuondoka basi ilinibidi nianze safari yangu ya kurudi nyumbani siku hiyo sikuwa tayari kuchukua isafiri nilimua kutembea kwa muguu hadi nyumbani.
Nakweli nilianza kutembea mwendo wa taratibu kana kwamba me love , taratibu nilianza safari yangu.
Wakati njiani nilikuwa busy nachat na Sumy Wangu, alikuwa busy akinitakia kazi njema huko niendapo.
Ni rafiki wachache wanaokupendea mema, kwa ulimwengu wasasa, watu waliobaki kwenye ulimwengu wetu watu wengi kwasasa hawawatakii wenzao mema.
Utasikia oohhh mtu fulani kapata kazi kabla yangu wewe hilo siwezi kulikubali lazima nimuharibia,kwa sasa ndo watu tuliokuwa nao aswa wale wanaotuzunguka katika mazingira yetu.
Ila Sumy Wang hakuwa hiyo yeye siku zote alikuwa mtu wakunijali na kuniombea mema tu.
Hakuwa na tofauti na mama angu, baada ya mda mchache niliwasali nyumbani kwetu, nilikaa zangu sebreni huku nikiangalia moves na kesho yake ndo ilikuwa siku ya kuanza kazi.
Hiyo siku iliweza kupita na kesho kuka kucha nilimka majira ya saa kumi na moja huku nikijindaa kwa ajili ya kuwahi kwasababu ilitakiwa saa moja kamili niwe nimefika pale.
Mama angu naye hakuwa amelala alikuwa macho alihakikisha binti naye nikiwa nimekulala chochote yeye alikuwa busy akiningadalia kifua kinywa.
Jamani mama angu yeye ndo anayenifanya me nizidi kunenepa nakuongeza shepu yangu kiwa kubwa kila siku.
Baada ya mda mchaynilimaliza kukiandaa wakati huo kifungua kinywa kilikuwa mezani, tayari kishaandaliwa namama angu, basi mama aliniomba nipate kwanza achai ndipo nianze safari yangu, basi name niwewe nani wakumkatalia mama angu.
Niliketi zangu mezani na kuanza kupata chai yangu taksi iliondaliwa kwa mikono iliyobalikiwa kutoka kwa mwenyezi Mungu.
Baada ya kumaliza nilimkumbatia mama angu kisha nikaamuaga nilikuwa na nusu saa yakuwa nimefika kule,
Mama angu aliniombea dua baada ya hapo me niliondoka ila mama alionekana kufurahi baada ya kuniona nikiwa na furaha binti yake
Nilichukua usafiri wa haraka, na kutokana na foleni nzito barabarani, nilitumia nusu saa badara ya robo saa.
Na kweli niliwasili pale saa moja kamili, niligonga geti na baada ya hapo nilifunguliwa mlango na mlinzi,
“Habari kaka
” Salama karibu sana. Maadam tayari nimepewa ruhusa yako hivyo unaweza kupita boss yupo ghorofa ya nne anakusubiri, rooom namba 55.
Daah changamoto Mungu wangu nilifunguliwa geti nikapita ndani kabisa, wao palikuwa pazuri, nilitamani kudondoka kwa mshangao wa jumba hilo lilivyo lilikuwa nyumba kubwa sana mpka Daah.nilipigwa na mshangao kwa mara nyingi.
SEHEMU YA 08
Basi baada ya mshangao wa mda mrefu nilikumbuka kama nimeambiwa saa moja kamili niwe nimefika ,na kwenye saa ya simu yangu ilikuwa saa moja dakika nne.
Nilitembea haraka haraka nakuzama kwenye liftihataka mpaka froo ya nne, nilishuka kwenye lifti huku nilitafuta room namba nne mahala ilipo.
Na kweli nilibahatika kupata sasa kazi ilikuwa kuzama ndani moyo wangu ulidunda kwa kasi sana .
Ila nilikataa moyo konde nakusema liwalo na liwe , nilibomyeza kengele ya mlango na baada ya hapo mlango ulifunguka ikisika sauti inasema pita.
Nilizmaa ndani ila sikuona mtu ilinibidi nibaki nimesimama pale nyumbani ila pembeni kulikuwa kuna kupyuta ilikuwa pale ikionyesha mambo yote ya nje na ndani
Sasha kwaiyo nikwamba boss alikuwa ananitazama wakati ule niliokuwa nje, mda kidogo wakati nikiwa zangu nafikiria Mambo yangu boss aliwasili.
Karibu sana. Neema unaweza kuketi, heeee boss sikuwa namjua bonge mmoja la handsome nilishindwa kuitikia asante nilibaki nimetumbua macho yangu kama tungule namanisha kama nyanya..
Niliweza kuketi,
“ohh karibu sana,
” Asante boos.
Mmhh ratiba iliyokuwepo kwasasa nikusaini makataba hapa ila mkataba wangu unaanza mwaka mmoja, me sikujali mambo ya mkataba sijui kiwa na masharti mengi, nilichojali nikupata kazi tu
Basi nilichukua fom nakuanza kujaza nilisoma huku nikijaza, baada ya hapo nilimkabidhi kwa moyo wangu safi.
Aliuliza? Upo tayari kuianza kazi yako, ndio boss nipo tayari, oohhh vizuri sana. Neema, karibu sasa tupate breakfast, asant sana boss nimetoka nyumbani mama angu akiwa ameniandalia hivyo nimeshinda.
Ok fine kama umeshiba basi haina shida kikubwa kuwa na Amani, alianza kupata chai yake , me huku macho yangu yakimkimtazama yeye kwa umri aliokuwa nao na nyumba anayomiliki haivikuwa vinaendana na umri wake.
Ila aliishi kwenye nyumba kubwa na nzuri , baada ya mda alikuwa amemaliza kifungua kinywa, na baada ya hapo alibeba begi lake la kazini niliomba kumsaidia na yeye hakubisha,
Tulipanda lifti lakini tukiwa kwenye lifti hakuisha kunitazama, DAAH niliona aibu sana nikaangalia zangu chini, tulishukaa froo ya chini kabisa huko, sehemu ya parking za magari.
Na baada ya hapo alinipatia fungua za gari na kunionyesha gari lake lililipo nilifungua nilifungua milango ya gari kisha nikamuomba apande nayeye alifanya hivyo basi safari yetu ilianza ilikuwa mara yangu ya Kwanza kuianza kazi yangu ambayo ilikuwa moyoni mwangu toka udogo wangu.
Sehemu ya 09
Na kweli alipenda uendeshaji Wangu wa gari, sikuwa na mwendo mkali wa mdogo ulikuwa Saiz ya kati tu
Alikuwa akinipigisha story mbili tatu ila me nilikuwa na aibu na istoshe ilikuwa mara yangu ya kwanza, hivyo haikuwa rahisi kumjibu kile ambacho alikuwa ananiuliza.
Baada ya mda nusu saa zima kupita tuliwasili kazini kwake kamwendo alikuwepo.
Nilisimamishwa gari na baada ya hapo alishuka , alinishukuru kwa uendeshaji Wangu mzuri , basi aliniombea nirejeshe gari kwake na miraa ya jioni saa kumi na mbili kamili niwe tayari nimesfika kazini
Kwake kwa ajili ya kumrejesha nyumbani, , nilimjibu sawa na baada ya hapo aliniagaa kwa kunipungia mkono, me niliwasha gari na kuondoka, wakati nageuza gari alisimama na kubaki akiwa amenitazama
Nikubali nilimuangalia kwenye sait mila, niliondosha gari, basi me huyo na safari yangu ya kurejesha gari, kwake wakati nikiwa naendesha gari nilimpigia sumy Wangu nakumuuliza safari yake kama alifika salam .
Ila simu yake haikupokelewa nilikutumia message kama alifika salama , baada ya hapo niliendelea na safari yangu.
Baada ya mda niliwasili nyumbani kwa boss Wang na baada ya hapo nilipaji gari kisha nikabeba ka em mbegi yangu nakuendelea na safari yangu ya kuelekea nyumbani kwetu.
Nakweli mda kidogo niliwasili nyumbani kwetu mama anti alikuwa kazini kwake , hivo ilinibidi nipumzike kidogo na baada ya hapo niingie jikoni kwa ajili ya maandalizi ya chakula cha mchana .
Kwasababu sikutaka kabisa kusikia kitu kula mgahawani, baada ya kumaliza kupika, nilipumzika huku nikusubiri mda wa jioni kwa ajili ya kurudi kazini, nililala nikiamini nitaamka mapande kwa ajili ya kuwahi kazini
Mda ulisonga mbele nikiwa nimelala, nilikuja kushtuka majira ya saa kumi na moja mwenzenu hata kula nilikuwa sijala, basi nikijindaa haraka kwasababu boss alidai saa kumi na mbili kamili niwe nimefika kazini
Sikugusa kabisa mambo ya chakula kazi yangu nilikuwa nahieshimu kuliko kutu chochote kile.
Nilijindaa haraka basi nilibeba pochi yangu haraka, nilichukua boda boda haraka mpaka nyumbani bkwa boss wangu kwa ajili ya kutafuta gari,.
Baada ya mda niliwasili nyumbani kwake nilichukua gari haraka kwa ajili ya kumuwahi boss, zilikuwa zimebaki dakika chache kufika saa kumi nambili akili yangu ilikuwa inawaza ndo siku yangu ya kwanza alafu ndo nimechelewa kiasi hiki kuna kazi kweli tena hapa.
SEHEMU YA 10
Nikiendesha gari haraka huku nilijaribu kuwahi mda wakati huo dakika zenye zinazidi kusonga mbele , nilikuwa mtu wakuomba nishije kufukuzwa kazi.
Daah niliwaza mengi sana. Ila nilizidi kumuomba Mungu, kila kitu nilimuamini Mungu, baada ya mda niliwasili kazini wakati nafika, na boss ndo huyo anatoka hofisini ,
Oohhh nilivuta pumzi Kwanza ” nakusema asante Mungu kazi bado ninayo. Nilifunguliwa mlango na gari kisha akazama ndani.
Neema vipi mbona unasema hivyo, boss aliniuliza nikashindwa cha kumjibu nilibaki kumtazama hata yeye pia alibaki kunitazama hadi nikahisi aibu mwenzenu,
Boss nikwamba, nini? Neema, hamna tunaweza kuondoka boss, nilimuuliza hivyo baada ya kugundua niliendelea kupaki gari hapa basi maswali yatakuwa mengi sana.
Neema nahitaji unijbu maswali yangu, kwanini unasema hivyo kuna tatizo,
Hapaña boss nikwamba nikiendesha gari kwa kuwahi nikiwa na lengo la kuwahi kwasababu nilikuwa nimechelewa hivyo nilihofia naweza kupoteza kazi ikiwa ndo siku yangu yakwanza kuanza kazi.
Neema kwaiyo yupo radhi kupoteza maisha yako kwasababu yakazi yako, je ? Jinsi ulivyokuwa unaendesha endapo break zingekata nini kingejiri kwa upande wako
Niliona kabisa boss yupo sahihi nilithamini sana kazi kuliko uhai wangu,
Upo sà hihi nà omba nikwambie sitorudus tena, nilijua wenda utakasirika kwasababu ya kuchelewa kwangu boss ila naomba uniwie radhi naahidi aitojirudia tena.
Usijali neema alinishika mkono wangu akijaribu kuniliwaza, basi vile nilivyomzuri alibaki tu akinitazama,huku akisema neema unajua wewe ni binti mrembo sana.
Boss tunaweza kuondoka Yani nikama nimechoka hivi, basi nilianza visababu vyangu kwasababu najua mwanaume akianza kumsifia mtu basi huwa hawamalizi.
Basi niliwasha gari nasafari yetu ilianza yakuelekea nyumbani kwa boss, njia story za hapa na pale ila boss hakuacha kunisifia kila kiungo cha mwili wangu alikisifia.
Nilitamani tufike haraka kwasababu sikuwa naelewa kabisa mambo hisani yanavyokwenda , jamani me uziri Wang ulitaka kuniponza kila mwanaume alinisifia kadri awezavyo .
Hata boss Wangu pia alifanya vile kama wanaume wengine, daaah sikuwa na chakujibu mwenzenu, ila hata boss Wangu pia kwenye huu ulimwengu sikuwahi kuona mkaka handsome kama huyo hata nilivyogeuka kumtazama basi moyo wangu ulinienda mbio
Kitendo kilichokuwa kinanifanya nije shangae basi baada ya kumfikisha jumbani kwake niliianza safari yangu ya kurejea nyumbani huku akili yangu ikiwa unamuwaza boss jinsi alivyokuwa akinisifia kwa uzuri wangu.
Inaendelea

